AAAHHH BOSS TARATIBU JOMON UTANITOA KIZAZI
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
SEHEMU YA 15 & 16
Basi safari yetu yakwenda mazoez ilianza wakati huo tupo kwenye gari boss hakuacha kunitazama, DAAH nilikuwa najihisi vibaya kweli.
Nilitamani nishuke kwenye gari kwasababu alionyesha tabia ambayo hakuwa nayo nilianza kujuta kwanini nimevaa nguo za mazoe kiufupi ni sikuwa mtu wakubwa mavazi ya kubana wala nguo fupi nilipenda sana kuvaa nguo za stara.
Daah ila sikuwa namana siku hiyo ilinibidi nivae nguo za mazoea japo zilikuwa zinanibana wenda ndo kitu kilichopelekea boss Wang kubaki akiwa amenishangaa mda wote.
Alikuwa mtu wakinitazama kuanzia kichwani hadi miguuni, alionekana kuvutiwa na uzuri wangu.
Basi baada ya mda mchache tuliwasili uwanja wa mazoezi na kweli alinifanyisha mazoea japo sikuwa naamani kabisa nayeye.
Nilifanya mazoe hadi nikachoka ilinibidi nimuombe boss walau nipumzike kidogo, basi tulitafuta sehemu nzuri kwa ajili ya kuketi,
Tulikaa sehemu basi story mbili tatu zilianza boss alianza kinihoji kama nina mpenzi kama niliwahi kuingia kwenye mahusiano, daah swali lake lilikuwa gumu kweli daah nilishindwa hata cha kumjibu.
Niliona nikae kimya kwasababu hata cha kumjibu nilikosa, boss kwanini umeniuliza hivyo , alinijibu nakusema nimeuliza tu kwasababu we nimwanamke wa tofauti sana katika hii dunia kwasababu, toka nimekufahamu sijawahi kukuona ukiwa umesimama na mwanaume yeyote yule wala kuongea naye.
Nikweli boss ili kwa sasa sijafukilia neno upendo kwanza wala mapenzi, ninachokiwazia kwasasa nikumtoa mama yangu kwenye haya maisha wala sio kitu kingine boss.
Unamaanisha kutopenda mpaka pale utakapoikarisha ndoto yako ya kumtia mama Ako kwenye hayo maisha, ndio boss.
SEHEMU YA 17 & 18
Ndo ivo boss, neema je? Akitokea mtu na kusema yupo tayari kukufanyia kila aina ya ndoto yake ila uwe mke wake unaweza kukubali.
Boss kiukweli nikama unanipa changamoto kwa maswali yako, mbona unaniuliza maswali ambayo kabisa sitoweza kupata majibu yake.
Neema sio kwamba swali langu nigumu hapana, bali majibu yao maswali yangu unayo japo unaona vigumu sema ambacho moyo wako unataka kusema neema .
Nilijitikilia sana hivi kwanini boss anajiuliza maswali ya mitego kama hayo ana lengo gani namimi?
Boss ukweli nikwamba sina majibu ya maswali yako, nilitamani nimwambie ndio nipo tayari ikiwa atatokea mtu wakunipenda nakupenda familia yangu,
Ila nilihofia wenda akawa anajiseana yeye ndomaan kaniuliza swali kama hilo, ila niliona bora nimjibu kile ambacho moyo wangu unasemea.
Nikweli boss ikiwa tatokea mtu atakaye nipenda na kujijali na pia akaniuliza ndoto zangu sio ndoto tu na atakayeijali familia yangu ambaye nimama basi me nipo tayari kumkabidhi moyo wangu.
Boss nimechoka sana hivyo nahisi njaa alafu huu ni mda wa kupata K fungua kinywa naimani maswali yako sasa tunaweza kuondoka .
Nilihisi boss kama ameanza kuonyesha ishara furahi z upendo kwa upande wangu .
Alinishika mkono na kuninyanyua pale chini na baada ya hapo tuliongozana hadi kwenye gari, tukiwa kwenye gari huku tukiwa tuneinza safari yetu ya kuelekea nyumbani.
Me Nikiwa sina hili wala lile nawaza lini nitapona ili niweze kurudi kazini kwangu kwasababu nina mda mrefu sasa sijaenda kazini,,
Nihisi wenda ndani ya huo mwezi ambao nimepeta ajali basi boss hatoweza kunilipa mshahara wangu, hivo nilitaka nipone haraka ili niweze kurudi kazini.
Tukiwa kwenye gari nilishangaa!!!! Kumuona boss Wangu akiwa amenishika mkono , huku akiniuliza?
” Neema upo tayari kuwa namimi namanisha uwe mke wangu wa halali kwasababu nimetokewa kuvutiwa na wewe toka siku ya kwanza ulipo ripoti kazini, nilikuona mwanamke wa kipee katika ulimwengu huu hivyo nipo tayari kukutimiazia ndoto za maisha yako lakini kubali kuwa Wangu habibty..
Nyie nilihisi kama nipo kwenye ndoto nilibaki nimeitumbua mimacho yangu mithili ya mjusi kabanwa mlango.
Hivi boss anachokiongea kimetoka mdomoni mwake au nilijiuliza maswali mengi sana Kabla sijamjibu chochote kile.
Unahisi nini kitafuata
SEHEMU YA 19 & 20
Nilikaa takribani dakika sita bila kuongea chochote kile wakati huo akili yangu ilikuwa inawaza mambo mengi sana , moyo mwingine uliniambia kubali tu uwe mke wa kim
Ila nafsi nyingine uliniambia unwezaje kumkubali mtu ambaye humjui, na nimemjua tu baada ya kuajiliwa kikaI nayeye.
Daah nilijiuliza maswali nilikosa nijibu gani? Nichague mwenzenu nilihisi kama dunia imegeuka kuwa kijiji kwa upande wangu kwasababu sikuwa na chaguo sahihi nikipi nichague.
Nilifilia mengi sana em niwaulize wasomaji wa story imagine ndo umepewa chance kama hiyo nini ungefanya.
Me niwe nani jamani kukataa fursa hii, kama ni ndoto zangu tayari nimempata mwanaume wa kutimiza ndoto zangu kushinda naangaika na mambo ya udrive mwisho wa siku nikapata ajali na kupoteza maisha kwanini nisitumie furaha kama hii kutimiza ndoto yangu.
Mwenzenu sikutaka kabisa kusubiri sijui mambo ya nipe mda nijifikilie hiyo mambo sikuitaka kabisa
Nilimjibu nakusema” nipo tayari boss kim ila kwa sharti sitohitaki kuona unanisaliti kwa mwanamke mwingine yeyote yule wala kutekejeli me na mzazi wangu maana wanaume wengi huwa wako hivyo akiona yeye ndo mtu anayetoa msaada kwa upande wa wakwe zake basi huanza vitimbwi vya kila aina kwasababu anajua hamna msaada mwingine tofauti nayeye.
Aliniahidi nakusema” yeye sio kama wanaume wengine kwasababu aliwahi kupitia maisha hayo huko mwanzo kabisa hivyo hawezi kufanya mambo kama hayo ikiwa hata yeye mwanzo maisha yake hayakuwa tofauti na yangu.
Me sikutaka mambo mengi liwalo na liwe wacha niolewe hata hivyo umri wangu ulikuwa umeanza. Kwenda kwenye miaka ishirini na tatu, niliyokuwa nayo ilikuwa inaruhusu kabisa me kuolewa.
Sikutaka kuwa midomoni kwa watu kama muajuavyo watu hawakosagi cha kusema, Yani neema na uzuri wake wote aliokuwa nao bado tu hajaolewa , sikutaka kuwa midomoni kwa watu nilipenda kumuona mama angu akifurahi sawa pale atakapokuwa busy akiaandaa harusi yangu.
Basi nilimkubalia Kim wangu kiwa nipo tayari kuolewa na yeye ikiwa atatimiza kile ambacho ameniahidi kunifanyia, basi safari ya kurudi nyumbani me nakimu Wang ilianza japo nilikuwa naibu kwasababu nilitoa majibu yake pasipo kiwa na mda wakujifikilia nilijiwazie wenda akaniona me nimwanamke mwenye tamaa na pesa zake au mali zake.
Kum naomba nikuulize tu swali” alinijibu niwe huru kwa chochote kwasababu me nayeye hivi punde tunaenda kuwa kitu kimoja Yani mwili mmoja,
Hivi hunifikilii vibaya kweli kwasababu ya kukupa majibu ya kwamba nipo tayari ndani ya mfupi ikiwa sio kawaida ya wanaume,
No habibty, unawezaje kufikia ujinga kama huo sio kila Mwanamke anayekwambia naomba mda wakujifikilia basi ndo mwanke sahihi kwenye maisha yako bali wengine hukaa kwa mda huo wakati gikilia unjinga mtu mwingine huwaza lazima nimmalizie pesa zake huyo mwaume ili aache kuwa anatongoza tonga hivyo kila mmoja hufikiria ajuavyo yeye
Ni vyema mtu akaongea ukweli mda huo pindi utakapomwambia neno nakupenda, Aidha akwambie me sipo tayari kuwa nawewe au nipo tayari kuwa nawewe ila kuliko yule mtu ambaye anaanza kujfililia
Hata kama akupendi ila baada ya tu kugundua una kazi nzuri una mshahara mzuri basi unatasikia me nipo tayari kuwa nawewe akiwa na lengo la kukumaliza , hivyo me sikukimbilia kuoa bali nilikuwa natafuta mke sahihi wa maisha yangu hatimaye nikagundua we ni Mwanamke ambaye nilikuwa natafuta na tayari nimekupata habibty Wangu.
Kwa maneno ya Kim nilishindwa cha kumjibu zaidi ya kumkumbatia na kumwambia ” nipo tayari kuolewa nawewe.
Basi kuanzia hiyo siku nilianza uhusiano wa me naboss wangu na hatimae alipoitimiza ndoto zangu zote bakumjengea mama nyumba nzuri pia alimfungulia biashara tu nzuri,
Baada ya Kukamirisha kila kitu ndipo swala la me naboss kim kufunga ndoa lilianza, pamoja na yote aliyoyafanya kwangu hakuacha kuniifungulia biashara ya kufanya,
Basi baada ya miezi mitatu kupita tulifunga ndoa me nakim na baada ya hapo tuliishi maisha ya furaha sana bila kumsahau Sumy Wangu pia ,alikuja kuhamia hadi kwenye nyumba la kifahari huku naye akisubiri ridhiki ya mume naye apate kuolewa
Mama yangu pia aliishi maisha ya furaha sana nilitamani baba naye angelikuwa hai jamani akapata furaha ambayo tuliipata sisi ila ndo haikuwa riziki tena Mungu alikuwa kashapanga.
MWISHO

