MTOTO WA KISHUA USIINGIZE WEWE NI ADUI YANGU
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Chapter 16
Graziella alienda chumbani kwake na kuanza kulia akampigia simu mpenzi David na kumuelezea mambo yote yalitokea
“David hakuna nilichofanikiwa mimi, nashindwa hii vita ni ngumu etty” alisema Grazzy “hapana maamaa usilie kuwa huru ndio kwanza vita imeanza sas unaogopa nini saasa wakati mimi nipo na wewe?, kwa lolote litakalotokea nipo na wewe sawa usilie kila kitu kitakaa sawa, mimi nishamwambia mama tunakuja kwenu kesho kutwa itakuja kujulikana huko huk sawa mrembo wangu?” alisema David “sawa mpenzi ila sijui kama naweza hili natamani hata ningekuwa na wewe ukanifariji nimechoka kichwa kinaniuma sana David, najihisi sipo sawa babe” alisema Grazzy sawa mamaa yangu pole ila pumzika sasa kila kitu kitakuwa sawa mrembo wangu” alisema David na kukata simu
Siku zilipita na sasa ile siku ya kina David kuja kwa akina Graziella ilifika na Graziella hakuwapa taarifa yoyote wazazi kuhusu ujio wa wageni kwasababu kwanza alikuwa yupo upset na wazazi wake kipindi hiko, hivyoo ujio ugeni uliwasili sasa
“Karibuni ngoja nikawaite wahusika: alisema msaidizi wa mule ndani muda huo David akamtext Graziella kwamba wameshafika wapo sebuleni yaani Graziella alifurahi mno maana kwake ilikuwa na furaha ila kwa wazazi jamani mhh kimbembe maana hawapatani na ile familia hata robo saa, wazazi wake Graziella walifika sebuleni wakashangaa kuuona ujo uliokuja pale kwenye nyumba yao
“Mh sasa mmekuja kufanya nini yani?, mmekuja kusema kwamba mmefanikisha kumwambia uongo binti yetu? tuliyemtuma kwasababu mmeutumia udhaifu wake wa kuwasikiliza na kuwaelewa sio?, au mmekuja kutuua wote kam mlivyosababisha kifo kwa binti yangu wa kwanza maana hakuna watu wabaya kama nyinyi kwenye hii duinia jamani, wakatili sana” alisema Mrs.Roman “hapana leo hatujaja kw hilo tumekuja na jambo lingine kabisa maaan kama kuwaelewesha tumejaribu kwa uwezo wetu tumeshindwa sisi hatusababisha kifo kwa binti yako, ila binti yakooo………*
“Weee ishia haapo hapo kabisa kwa maaan naona kabisa mnataka kunichanganya mimi sitaki mauaji yatokee nymbani kwangu, hakuna mtu aneza kukubali tu kutoa uhai wake kirahisi hivyoo etty kwa ajili ya mtu mwingine, nyie ndio mlipanga daktari afanye hayo yote naomba tokeni nyumbani kwangu” alisema mama yake Graziella
“Sawa ila leo sijaja labda kwa kukukuelezea mwanamke mwenzangu najua maumuvu unayoyapitia kwa kile unchofikiria kwa sababu upo gizani bado, ila leo nimekuja kwasababu mwanangu na binti yako wapo kwenye mahusiano sasa kwa muda na wantaka kufunga ndoa kwahyo tulikuwa tumekuaj kweye posa alisema mam yake David
“Mh kama ni hilo sahauni kwa maan naona mnatafuta njia nyingine ya kuingia karibu na familia yangu ili mumuue tena mtu mwingine tafadhari kabisa mlango, mlioingiliaa ndio mtokee kwasababu hili halitowezakutokea kamwe” alisema Mrs. Roman
“Lakini mama elewa moyo wangu na hisia zangu nampenda saan Graziella, mimi nipo tayari kwa kila kitu basi tu niwe na binti yako” alisema David huku amepiga magoti
“Kwahyo unahisi hayo magoti yako yatasaidia. nini? sitaki ukaribu wowote na binti yangu, wauwaji wakubwa alisema mama yake na Grazzy, ila wakati anasema hayo maneno akiwa hajui kama binti yake yupo nyuma anawasikiliza, alikimbia ndani na kuanza kulia
“Tena ngoja nimfuate huyoo Graziella na nikitoka nisiiwakute maan kitu ambacho ntawafanyia sio kidogo” alisema Mrs. Roman huku akielekea chumbani kwa Grazzy
Chapter 17
“Wewe mtoto kwahyo unampenda yule kijana si ndio?” aliuliza mama yake Graziella “ndio maama na sio kumpenda tu na tayari nishalala nae, mama mimi mwenyewe siwezi kuishi bila yule mwanaume maana najihisi nitakuwa sio mtu tena, mama kama ni visasi ukweli si ushajulikana mama au kuna kingine?” alisema Grazielaa alipigwa kofi hiloo na baba yake
“Wewe mapenzi yameanza kukuchanganya kwahyo ulikosa wanaume wote mpak yule mtoto wa adui yako? ivi wewe mtoto, mbona umekuja kunidhalilisha sasa, hivi wewe mwanadada kweli kabisa unaeza kuwafanyia hivi wazazi wako etty kisa mapenzi unatka usilipe kisasi cha dada yako?” aliuliza baba yake Graziella
“Lakini baba mimi sioni kosa lang ila sawa hakuna tatizo nimekubali, kuwa nimekosea ila sasa kam mkitaka kuniweka mbali na mpenzi wangu basi jueni kabisa mtkaaa mbali na mimi kabisa msijali” alisema Graziella
Alizibuliwa tena kofi na mam yake maana ilionekana wenge limezidi sasa akapokonywa na simu na kufungiwa ndani maaan pia alionekana kachanganyikiwa wakamuach sas humo humo ndani
Sasa imeshapit wiki tatu ikiwa David na Graziella hawajaongea kitu chohote na kila upande hakuna aliekuew sawa hata kidogo maan huku kwa David hadi kazini aliacha kwenda kabisa na kwa Graziella alikonda sana jaman
Sasa ilikuwa wapo mezani wanakula mara Graziella akainuka mbio akaenda kutapika “mh Jamni harufu ya kile chakula ina nishinda jamani mhh isiwe nina mimba jamni mbona dalili zote naziona mimi?, Mungu wangu nitafanyaje?” alikuw anajisemea peke yake kule sehemu ya kunawia kumbe mama yake alikuwa nyuma yake na kasikia kila kitu.
“Mh na kam ni mimba y yule mshenzi utaitoa, sitaki ubaki hata na ushahidi wa mbali wa hiyo. familia” alisema yake,
“Hee mama niue!? haapan siwezi kwa hapo mtanisamehe mama niue kisa ni mimba ya David?, hapana maa mimi hilosiwezi kufanya” alisema Graziella
“Oooh okay ila nikwabie kitu, yani utake usitake
iwe isiwe kam ni mimba haizaliki utake usitake huyo mtoto anatolewa tu” Hee Grazzy aliona sas hay ni mazito tena sio kidogo maana mama yake kafika mbali, maana hadi baba yake pia alimshangaaa mke wangu
“Mke wangu, mbona wewe hukuuwawa lakini eety mpaka mwanagnu aue kweli mke wangu hivi? Kwahili naona haupo sahihi kabisa?” aliuliza baba yake Grazzy
“Usiniingiliee kwenye maamuzi yangu ni hayakuhusu kabisa maana yule ni bimti yangu mimi ndio nilimuweka tumboni najua baya kwake lipi na zuri kwake lipi, wewe ulifanya kumtoa tu kiunoni kwako. sawa kwahyo tuelewana sawa” alisema Mrs. Roman huku akiondoka zake
Upande wa Grazzy alipima akakuta kweli ni mimba na aliona sasa bora tu atoroke kuliko kubaki hapa imradi kwa kina David anapajua acha aondoke maana hawezi kuuwa kiumbe na kina familia hapana acha akalimalize hili kwanza la familia yake watamuelewa tu siku
Chapter 18
Alifika kwa usalama kabisa akapokelewa akawekwa ndani alieleza kila kitu alichokuwa anapitia kule kwao kwa ujumla tu,
“Usijali hapa ni ukweni kwako usijali usiwe na wasi wasi kabisa na kuwa na uhuru kabisa mimi pia ni mama yako na ninakupenda sana binti yangu alisema mama yake mkwe
“Ila sasa inabidi akae kwa kaka, kak yangu alikuwa anakaribia kufa kabisa maana alichanganyikiwa kwa wewe kutokupatikana ila bora umerudi sasa hivi hapa haina hata kupumzika tunaenda kwa kaka” alisema Graddy
Walifunga safari na kuelekea kwa David, na hatimae walifika sas kwa David David aliwapokea kwa shauku kubwa yani, hii siku ilikuwa nzuri saan, japo kwa Graziella kulikuwa bado kuna ukakasi ni kwamba kwao mtoto amebakia mtoto pekee yake na hakuwa na jinsi ila kufanya hivii japo alikuwa na wasi wasi, ila aliingia jkoni yeye peke yake alipika na alimwambia David kuhusu habari za ujauzito David alifurahi kinoma utasema kaambiwa labda atapewa migodi iliyojaa dhahabu
Usiku wasiku hyo ilikuwa nia patashika nguo kuchanika kwa maana ilipigwa mechi jamani hata ya Liverpool haifiki maana ilikuwa ni inshu. ya masaa matano kam sio saba japo kuwa tu Grazzy alikuwa anafanya kwa kuhofia sana mimba yake lakini upande wa David alikuwa anamkamia mpaka mtoto wa watu alikuwa anahisi kizazi kinachomoka maana sio kwa ile. mechi
Miezi ilipita mingi, na sas mimba ilikuwa na miezi sita, na kila Grazzy alikvyokuwa akijaribu kuwapigia wazazi wake, walikuwa hawaelewi hasa mam ayake ila baba yke alikuwa ashakunjua na ashaelewa ila mama sasa alikuwa na hasira tu bado, ila David alikuwa anajaribu kumuweka sawa Grazielaa maana kwa ile hali yake hatakiwi kuwa na stress italeta madhara makubwa sana kwa mtoto na mama
Huku upande wa wazazi wake na Grazzy ilikuwa ni ugomvi kila siku maan tayari baba yake Grazzy alikuwa ashakunjua ila mama sasa bado anakinyongo
“Kwahyo unaona mpaka mtoto kaondoka kam kweli, wangekuwa watu wabaya wangemuua siku ile ile wamejua kwamba ni mtoto wetu, sisi tumewafanyia mambo mangapi lakini bado wamesamehe, itakuwa kweli kuna ukweli ndani ya hili mke wangu ushahidi upo kwnye ile flash mke wangu jaribu kuwa muelewa acha kuwa na hasira za ajabu yule ndio mtoto wetu aliobaki na anahitaji support kama wazazi kumbuka na ni mjamzto mke wangu jaribu kuwa muelwa” alisema baba yake Grazzy
“Sio kama siumii mume wangu ila nawaza. naendaje pale kwenye ile familia kujielezea kwa maana mimi nishajua ukweli nilienda kufuatilia kwenye ile flash na nimejua kwamba sio edit ni ukweli mtupu mume wangu hivyo nawaza jinsi ya kuwaomba msamaha wale watu tumewakosea sana” alisema mama yake Grazzy
“Usijali mke wangu maadam umekunjua nafsi mengine yanazungumzika mke wangu, ngoja niongee na Graziella juu ya sisi kwenda kupanga kila kitu hadi mambo ya ndoa ukweni kwake kesho kutwa” alisema Mr.Roman
Ukiongeaa nae nipe simu walimpgia wakaongea nae na Grazzy alifurahi sana kwa maana ilikuwa raha sana kwake na aliwaataarifu wakwe zake, wakaandaa kila kitu
Chapter 19 & 20
Ugeni ulifika sasa maandalizi yalikuwa kama yote
“Naombeni tu mtusamehe, na tunaweza kurudi tu kuwa zamani, ila pengine bila hawa watoto leo tusigepatana tena samahani kwa kuwaelewa vibaya, tunaweza kuendelea hadi na ubia wa makampuni yetu jamani” alisema baba yake na Gradyness “usijali tunaelewa ile ni hasira tu kam wazazi lazima ingekuepo laki tushukuru kwamba kila kitu kimeenda sawa kabisa na tumekuwa kitu kimoja tena na tumekuwa Zaidi ya mrafiki saasa hiivi tuaweza unganishwa na watoto wetu hawa” alisema baba yake David
Muda huo wakina mama wote walikuwa jikoni maan waliamua wakakumbishie story walizokuwa wakipiga kipindi hiho wapo marafiki waliongea mengi na mwisho wasiku walipanga ndoa ifugwe baada ya Graziella kujifungua pia waliomba kuondoka na mtoto wao nyumbani kumuangalia hivyo walisherehekea pale mwisho wakaondoka na binti yao na upand wa pili wakabaki na kijana wao David
Siku hazigandi ilifika siku ya kujifungua Grazzy alijifungua mtoto wa kiume jamani alikuwa anafanaa copy lite na David kila kitu hadi kananiliuuu
Walifunga ndoa, baaada ya meizi mitatu ya uzazi, wakenda hukooo honey moon Paris huko walikaa na kumuacha mtoto kwa bibi zao maana kwa sasa walikuwa wamerudi kama mwanzo na tena mahusiano yalizidi kwa sasa kwasababu walikuwa wameonganishwa kwa ndoa za watoto wao na kulikuwa hakuna mambo ya visasi tena maana ukweli ulikuwa wazi sasa
Na wanandoa walikaaa huko Paris kwa mwezi mmoja heee cha ajabu Grazzy karudi na kibendii mhh jamani kuna wanaume afu huyu David jamani ni mtu na nusu kwakweli
Glory Be To God

