MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Chapter 1
“Siwezi kaa ndani kila siku itabidi nitoroke nikatafute marafiki nje” alisema Saraah Alianza kunyatia nyatia huku akichungulia huku na kule bila kuona mtu Na kufanikiwa kutoroka ndani ya nyumba yao kubwa yakifahari. baada ya Saraah kutoka njee ya fensi yao alikimbia kwa watoto wa mtaani ili kucheza nao lakini watoto wale walimshangaa sana na kutamaani mdoli wake mdogo aliokuwa nao mkononi Sarah aligundua kwamba watoto wale wangecheza nae kwasababu aliona wakivutiwa na mdoli wake lakini haikuwa hivo wale watoto walimsukuma Sarah chini na kukimbia na mdoli yule
Sarah alianguka na kuumia kiwiko, chake kwa maaumivu yale alianza kulia Ndipo mtoto mdogo wa lika kama lake la miaka minane 8 anaoekana mbele ake na kumtuliza. “Naitwa Abdulh usilie ntakuwa rafiki yako na sitakubali uumie tena alisema Abdulh Sarah akiwa na tabasamu kubwa huku akifuta
machozi
alisema “naitwa Sarah asant kwa kunisaidia” Hapo ndipo walipo fahamiana na kuwa marafiki wa karibu sana huku wakitaniana kuwa wao ni baba na mama
Abdulh anaonekana kuishi na mamaake mwenye cancer ya ubongo katika familia yao ya kimaskini
lakini Sarah anaonekana kuishi na wazazi wake wote wawili wenye maisha ya kitajiri sana Tarehe 8/5/2008 babaake na saraah anapokea taarifa kuamishwa kikazi kwenda nchini
Marekani
anamtaarifu mkewe na wote wanaanza kufurahi lakini taarifa inapokuja kwa Saraaah anaonekanaa kuhuzunika sanaa na kukoswa amani na kuamua kujifungia chumbani kwake na kulia “naondoka namuacha Abdul wangu mwenyewe ‘saraaah aliisema huku akitingisha kichwa akiwaza kitu flani
“Itabidi nikamuage sasahivi “Saraah alisema lakini sauti ya mamaake ilisikika ikimwia tokaa njee tuundoke hatuna mda ticket ziko tayari Saraah ajakaa sawa anamuona babaake parking akiwasha gari
“ni saa 7 kasoro na ndege yetu inaondoka saa
nane kamili babaake alisema huku akimpa maelekezo mlinzi ya kufungua geti na kumpa taratibu za hiyo nyumba mpk watakapo rudi Saraah kwa uchungu zaidi inambidi ashuke tu kutoka chumbani had chini ilikuondoka kwaa maan kilakitu kilikuwa tayari kabisa geti lina funguliwa na gari lao linaanza kutoka kwa karibu sana Saraah anabahatika kumuona Abdulh akiwa amekaa chini akimsubiri aje wacheze lakini haikuwa ivo
Saraah Kwa Maaumivu Makali Anaamua Kufungua Kioo Na Kumuuagaa Kwa ishara Ya Kwaheri
Abudih Anaomuona Saraah Akifanya Vile Yeye Piaa Anarudisha Mkono Akiamini Saraah Atawah Kurudi Wa Cheze Tena Familia Ya Saraah Wanasafiri Kutoka Jijini Dar al Salaam Kwenda Marekani. Baada Ya Siku Chache Wanafikaa Na Kuanzishaa Maishaa Yao
Mapyaa
Uku upande wa pili Abdulh hamuoni tenaa sana kwa muda mrefu naakuuzunika sana lakini bado anapitia maumivu makali ya kifo cha mamaake ambaye alizidiwa na pasipo pesa za matibabu alifariki. Abdulh anaamua kupelekwa kwenye kituo cha watoto yatimaa lakini anatokea mama mmoja tajiri aitwae Linda asiyekuwa na uwezo wa kupata mtoto apendezwa na kijana Abdul na kumsomesha na kukaa nae kama mwanae wa kumzaa.
Kuanzia hapo maishaa ya Abdul yanabadilika na kuwa mapya mazuri na yenye furaha tele Miss Linda ni Manager Wa bodi Ya Utalii (Tourism) East Africa. Kwa upande mwingine Saraah anaamua kuanza kusoma uko na kuahidi kwamba ipo siku atarud kumtafuta mtu wake upande wa pili pia Abdulh anaahidi ivo ivo pia
miss Linda anaamua kumbadilisha Abdulh jina na kumwita Jordan.
Miaka Inasonga Sasa Ni 2020
Jijini Marekani anaonekana binti mrembo akihitimu masomo yake ya udaktari bigwa na akiwa na mawazo kwamba kesho lazima aende Tanzania kwa ajiri ya kumtafuta rafiki yake wa
zamani
“Dad mom kesho nitarudi tanzania kwa ajiri ya kumtafuta rafiki angu wa zamani saraah alisema
“Ivi kumbe ulikuwa serious kwamba unarafiki ako uliempoteza “babaake alisema
basi kwasababu Saraah alikuwa binti mkubwa tayari aliruhusiwa kuandaa safari yake ili aondoke
Chumbani Saraaah akipangaa nguo zake na vitu vyake babake aligonga mlango wa Saraah “ingia pako wazi ‘Saraah alisemaa.
“Mwanangu naona safari imewaka moto sawa then kwasasa najuaa hauna mahali pa kufikia Tanzania basi chukua hii home address na utafikia hapo ni kwa rafiki angu wa kitambo anaitwa madam Linda ishi nae kama mamaako mpaka pale utakapo rejea huku
“sawaa baba asante sana
Safari ilianzaa na saraah alifika salama na kupokelewa na madam Linda mwenyewe na kumpeleka kweny jumba lake kubwa sana.
Wanafika na kuingia ndani
“Welcome lady jisikle kama upo nyumbani “Linda alisemaa huku akilta
“Hey Jordan where are you?”
Baada ya dakika kama mbili Jordan anashuka kwenye ngazi kwenda resting room alipokuwa Linda na Sarah umbo la Jordan lilimshtua Sarah sanaa maana Jordan alikuwa kafunga towel kiunoni na nyingne shingoni akijikausha maji. Jordan alikuwa kijana handsome aliyechukua cheti cha uzuri katika shule yake ya fedha International School.
Packs zake zionekana vyema kabisaa Saraaah alijikuta akimuangaliaa sanaa na Jordarn Alimwangalia sana pia walionekana kama wanafahamianaa…
Chapter 2
Saraah alijikuta akimuangaliaa sana Jordan na Jordan pia alimwangalia sana saraah Jordan alitaka kusema kitu lakin ghafla mlango ulifinguliwa na wakaingia watu wawili mmoja kike mwingne wa kiume. wa kike aliitwa Narsha na kiume aliitwa Jay
kwa kuangalia ndani walimuona Jordan kwanza. “Oa inakuwaje tupo nje ya muda kapige code
chap tusepe Jay alisemaa huku akimsogelea madam Linda (mama mlezi wa Jordan) Good Afternoon Madam Linda Alisemaa Jay huku akitabasamu sana kumuona mgeni yule aliyekuwa pembeni ya madam Linda Hahahaha, za wewe naona unasalimia lakini mawazo yako hayapo apa yapo kwa Saraaah
alisemaa Madam Linda,
Pembeni upande wa jordan anaonekana Narsha akimsogelea Jordan huku akimkumbatia na kumpiga kiss.
“Hellow darlle how are you kavae basi wahi
tunachelewaa ujue” Narsha anasemaa. “Usijali nishaandaa code so ni dakika tano ntakuwa tayari tuondoke Jordan anamjibu Narsha huku akimchezea mashavu yake malaini.
Jordan anaamua kupandaa juu ili kuvaa waondoke maana leo walikuwa wanaenda kwenye tamasha kubwa la msanii mkubwa Diamond Platnum na ticket zao tatu za VIP zilikuwa tayar
Madam Linda anatoaa tabasamu la chini na kusema “karibuni sana anaanza kumtambulisha Saraah kwa Narsha na Jay Jay anaonekana kufurahi sanaa baada ya kumuonaa Saraah. Lakini Narsha anaonekana kuonyesha dharau
sana kwa Saraah.
“Karibu sana Saraah mimi naitwa jay nipo tayari kukutembezaa maeneo mbali mbali kama hutojali alisema Jay
Narsha kwa jicho la dharau alisema “karibu bana Jina langu nikama ulivyo lisikia ukipenda niite queen Jordan.”
madam Linda na Jay hawakushanganzwa sana
na majibu ya Narsha coz wamemzoea maana
wamefamiana kwa muda sana
Jay akaanza kwa utani huku akimsogelea Saraaah akisema “Narsha na Jordan niwapenzi vp mm na ww tuweje” Saraah kwa tabasamu la chini alisema ‘acha
utani etykwa sauti ya chini.
Kwa mbali marashi mazuri ya karafuu yananukia na Jordan anaonekan kushuka akiwa amependeza sana kuzidi mavazi ya Jay mazuri
na hata Narsha aliyekuwa amevaa nguo inayoonesha tumbo na mapaja yake pla “Am done let’s go mom ntachelewa kurudi pia mgeni badae naharaka tutaongea nikirudi alisema Jordan Kwa Furaha Madam Linda alimuaga jordan kwa
busu la pajani mwa uso nakumuaga. Jay, Narshi Na Jordan waliwasha gari lao la bei sana lenye mdundo wa juu na kuondoka.
Nyumbani hapo Madam Linda alimkaribishaa hapo nymbn na kumuonesha chumba chake kikubwa na kizuri sana saraah anashukuru na kupanga nguo zake na kuweka chumba chake
sawa
“Saraah kipenzi chakula kipo tyr kule dinning so kula ushibe wafanya kazi wapo wengi watasafisha na kukufanyia kila kitu mimi na kazi muhim naenda kufanya uko chumbani Jordan akija mwambie tutaonana kesho “Madam Linda
alisema
Saraah Alijibu Kwa tabasamu asante mama kwa ukarimu wako” madam Linda alitabasamu na kuelekea chumbani mwake.
Ilikuwa mida ya saa nne usiku saraa alikula na kuoga na kwenda kujilazaa kitandani mwake.
Upande wa pili Jordan na wenzake wanaenjoy.
na kucheza sanaa na kunywa piaa huku wakifurahi Jay alisemaa “ase Narsha anayakataa kama hana kiuno ase
Jordan akajibu huku akitabasamu yaaan vibe sanaa ase nazidi kumpenda mrembo wangu”
Muda unazidi kwenda na ni usiku sana “Nimechoka sanaa tuondokeni “Jordan akiwaa amelewa kwa kiasi lakini Jay na Narsha wakiwa wamelewa chakari
Jordan anaamua kuwapakiza kweny gari
nakufanikiwa kuwa fikisha mahali wanapo kaa wote. Na kuanza safari yake ya kurudi nyumbani anapoishi anafika na kufunguliwa na mlinzi na
kisha anaingia ndani
Ghafla seblen anakutana na Saraah aliye shuka chini ili kunywa maji naakalalee maana chumbani kwake maji ya kunywa hakuwekewa
na wafanyakazi.
“Hey katoto mbn hujalala mpk now aya nipe maj ya kunywa hapo Jordan alisema
Kwa sura ya mshangao Saraah alijibu “sawaa nakupa lakini subiri nimalize kunywa mimi” Jordan alimwangalia Saraah kwa jicho la dharau uku akitabasamu nakusemaa “basi kama ndo
hivyo ni heri tusinywe wote.” Moyoni Saraah aliwaza akisemaa ivi uyu chizzy ananipimaa eeeh ngi fuone “
Sikupi Saraah alisema Utanipa kwa lazima Jordan alisema kisha alinza kumsogelea Saraah. Saraah aliamua kupiga hatua mbele lakini Jordan alikuwa
ameshamfikia na kumvuta Saraah kora lake la night dress kwa nyuma Ikin Saraah alikazana kutembea mbele huku akinywa maji. Huwezi kunikimbia mtoto mdogo wewe”
Jordan alisema
“Hahaha siwezi lakini naweza kuwin nikiwa mikononi mwako Saraah alisemaa uku akigeuka nyuma na kumuonyesha glass ambayo haina maji tena akiwa ameshakunywa.
Kwa jicho kali ta jeuri huku akipiga makofi Jordan “alisemaa umeshindaa kwa leo tukutane kesho Jordan alipanda ghorfan ili kwendaa chumbani mwake. Saraah kwa kushangaa alitikisa kichwa na
kwenda kulala
Asubuhi nzuri Jua likiwa linang’aa kwa uzuri. Saraah anapokea simu ya mama yake mzazi ( video call)
Saraah Morning Mom How are u?
Mom & Dad We are Good, umeamkaje mrembo
wetu.
Saraah Nipo sawaa kabisa msijali kabisa. Huku wakitabasamu na kuongea machache na kumwambia Saraah kunajambo tunataka tukushinkashe
Saraah What is That mom and Dad namby ety Mom & Day Mmh Unaonaje kuapply kazi uko maana haujui ni mdaa gan utause kukaa uko so boraa uapply kazi katika hospital yyt najua
huwez kataliwa maana ww ni Daktar mkubwa. Saraah: Hahaha mom usiji nampango uwo pia Walikubaliana na simu ilikatwa Saraah anaamka na kutengeneza chumba chake
huku anapiga mswaki na kuoga ili akapate breakfast anapofika chini anakutana Na Madam Linda akiwa amepaki mizigo michache. Nahis anasafari “Saraah alisema moyoni.
Madam Linda alimsogerea Saraah nakumwambia kipenz nimepata dharura ya haraka ya kikazi kwenda Zanzibar Ntalejea
baada ya siku tatu Saraah alikubali na kumsalimia na kumuaga pia Madam Linda.
Saraah kupiga jicho pemben anamuona Jordan. Saraah anawaza moyoni kumbe aliwahi kuamkaa kichaa huyuu anapotezeas na wotw wanamuagaa madam Linda na wanarud ndni for
breakfast
Wakiwa wote mezni Jordan anaoneka kuwa busy na Sim yake uku akitabasamu sana “Mmmh uyu kaka ni chizzy kweli “Saraah
alisema moyoni na kuendela kula kwa speed maake alitakaa awahi ili atafute omna ya kuapply kazi yake huku pla akipangaa njia za kwenda kumtafuta rafiki yake wa utotoni.
wawill hawa wanamaliza kula breakfast Saraah Samahani naweza tumia laptop yako kuapply kitu flani
Jordan: hahaha hatimaye umejiletaa mwenyew katoto Saraah Hapana samahani nipo serious naomba
unisaidie kwa hili
Jordan: Haha kilaa kitu kinamalipo yakee ayaa laptoo ipo chumbani mwangu nenda ukachukue Saraah Seriuos niende ??
Jordan: Hahaha twende wote unasemaje. Wallangallaana kwa macho makali wote Kwa sekunde chache nakisha Jordan akampa ishara ya kwenda chumbni wote
Wakiwa wanapanda ngazi Jordan akawa anatabasamu sana moyoni “Na nyenyekea tu maake na shida ila kama sim
yangu ingekuwa chap nisingefanya hivi ilaa twende nikakufunze adabu huko juu Saraah alisemaa moyoni mwake. “Ntaakikishaa nakutesaa mpka unaombaa
msamahaa kwa kosa lako la jana alisema
Jordan
Wakafikaa chumbani Sarah akakaa kitandani ili
apewe laptop atumie ghafla Jordan anatengwa na nguo iliyokuwa chini na kujikuta anamuangukia Saraah juu yake na wanaanza kuangaliana Jordan uvumilivu unamkata
anaanza kusogeza lips zake karbu na za Saraah. Saraah pia anaishiwa nguvu kabisa na kukoswa cha kufanyaa…
Chapter 3
Wakafika chumbani Saraah Akakaa kitandani apewe Loptop atumie ghafla Jordan Anategwa Na Nguo yikuwa chini na kukuna anamuangukia Saraah juu yake na wanaanza kuangalia Jordan Uvumilivu Unakata Anaanza Kusogeza Lips zake karibu Na za Saraah, Saraah Anaishiwa nguvu na kukosiwa cha kufanya Wakiwa katika hiyo hal Saraah anakumbuka kuwaa lengo lake la yeye kuja uku Tanzania sio kupata mpenzi mpya Au kufanya Kitu Na mtu mwingine zaidi ya Abdulh Rafiki yake via zamani. Anajikutaa Anapata nguvu na kumsukumaa Jordan Nyumba Na Wote Wanajikuta Wakisema Kwa Pamoja kuwa ni bahati Mbaya tu
Jordan anavunga uku akijikunaa kichwa chalke
Sarsah pisa anavunga uku akichukua laptop no kuomba password Naomba Password Saraah Allsema Jordan Alimsogelea Na kuandika Jina La Sin Ambalo Hakutaka kahsa Saraah Aone Na jina hilo kuwa Grever J Sarahy
Basi Kweli Saraah hakuona.
Sarsach hokutaka mambo mengi Maake kwake haya muuhusu kbsa kwahiy allendelea na Application yake katika hospitali kubwa Ya Muhumbiri uko dar Sarasah alifanikisha na kumalizaa. Lakini mutta Si Punde Sauti il sikika. “Hey Jordan Where Are You Upo wapi Belb
Alisema Narshaa huka akifungua Mlango Wa
Chumba Cha Jordan Na kukutanishaa Macho Na
Saraah
Ni wewe Tena Unafanyaa nn katika Chumba
Cha mpenzi Wangu Wewe Dada Vep Narsha
Alisema
Jordan Baada Ya kisikia hayo i bidi Anyanyuke
Kitandani Na kumfata Narsha il Aepushe Ugomvi Maake Narsha Alikuwa Mgomvi Sana “Hey Darlie Shida nn Tena Hebu Usijali Huyu Allikuwa Anatumia Tu Laptop Kufanya Kazi zake Kwa hiyo Usijali Kabsa Jordan Alisema Huku Akimpapasa Narshaa mwilini. Saraah anawaangalia nakusema moyoni Mmmh kazi nimayo laa kwann uyu mdade anakuwas ivo ataivo hayanihusu ngi nipambane na yangu
Saraah Anaamua kutoka lakmi jicho la hasira
Saraah Anashuka Zake Chini Anakutanaa na Jay
akiwaa busy Na simu yake
“Niaje Jay Alisema Saraah
“Aah Pos Mrembo wangu” Alisema Jay
“Hahah Achaa Zako Allisena Saraah
Saraah anaoneka kuangaliaa muda
kunasehemu Alitamani kwenda Jay aligundua Na kumwambia “Kama unataka kwenda sehemu ntakupelekaa kbsaa sawaa usjali kose Sarach Anachekaa kwe mbali na kumuoneshaa
Isharaa ya kujiunga nae ill waendee
Jay na Saraah wanaondoka na kupanda gari
aliloachiwa Saraah Na Madam Linda kwa
matumizi Yake Madogo madogo. Saraah
alimtaka Jay sendeshe gori Maake yeye alikuwa
hana uzoefu vizuri Na kumuelekeza kuendesha
Gari hadi mtaa mmoja Ullioko Mbezii
Sarea Anafika Palee kwao Nyumbe Yao Ya
Zamani Na Anagongaa Na kufunguliwa na Mlirizi
Mzee (“Huyu ni miinzi wao yule wa zamamn/”)
“Karibu Sana Sarash. Umekuaa Sana Mlinzi
Patrick Alisemaa
Hahaha bado unansikumbuka jaman Sarah
Alisema.
Waliongea mambo machache huku Jay Akiwasikilizaa na kutabasamu kwa story zao. “Baba ako alinitafuta na kunamby upo uku tena Mlinzi Patrick Aliserna.
Na kumkaribishaa kwamba hapa ni kwenu
kwahiyo karb muda wwt na unaweza kuamia
ataa hapa
Saraah alifurahi na walimuagaa kwa
walikuwaa wanaelekea kweny ile nyumba ya
kina Abdulh ya zamni
imeshabomolewaa zamani,
Wanafika mitaa hiyoo nakukuta nyumbaa
Saraaah Anaumia Sana Jay Anatambua ilo
maana tyr Alikuwaa kashaambiwa na Saraah
kitu Kilicho Mietao uku Tanzania.
“Unijl Saraah Kuna majirani Wengi Tunaweza
Uliza Jay Anasema
Saraah na Jay wanaanza kutembea nyumba kwa
nyumba kuulizaa kuhusu mtoto aliyeitwa
Abdulh Lakini Hawefanikiwaa.
Huku Nyumbani Jordan Na Narsha wanaoneknaa wakaenjoy sanaa (“Romantic moments) Lakini Jordan Mawazo Yake Yanaonekana Kuwa
Mbali Akimuwaza Saraah.
Kumbukaa kwamba mpaka sasa hivi Jordan
Hafahamu Kuwa mgeni Wao Anaitwa Saraah
“Uyu Mdoli Kilaa nikiwa karibu nae najisikie
namna fulani ambayo sielewi sijui nikachawi
laa ngoja takachezes haka kamdoli mpk
kachoke michezo yangu Jordan Alipwazia
Moyoni nakutabasamu.
Mda Uliencia Na masaa yaliendaa pia
Nimajiraa ya Saa nne ucku Jay Na Sarash
Wanarudi Nyumbni
Jordan anaonekana kuwa chungulis dirishani na
Aufurahi kumuona Saraah na anaoneka kuwa na
plan ya kumfanyia Saraah
“Ngoja aingie atakutana na zawadi yangu kweny
mlango wa chumba chake
Saraah Na Jay wanaingia ndani wote wawili
lakini Saraah anaonekana kupoteza furaha yake
Jordan Anamuangalia na kugundua ilo anasema
“We Mooli Umeuruta
Saraaah anamuangalia kwa jicho la huruma na
anaendelea kutembea aende chumbani
lovake
Jordan anaonekana Akitabasamu sana
kujiserica Moyoni “Ayaa Mooli Jeuri Nenda
Saraah Anapandaa mpk juu Anapofika mlangoni
Anaanza Kusikia Harufu Ya Unga Anapotazama
Juu Anakuta ni Mtego ambao kama angefungua
mlango bas unge ungemmwagikla Saraah
Anajikuta Akitabasamu sana Hahahah Vil uyo
mbuzi mweupe ananichukuliaje hahaha ayaa
ngoj namjibu kwa mtego wake Alljiserneis
Sarasah Moyoni
Saraah Anaamua kwenda chumbni mwa Jordan
Na kukumkuta Narsha Akiwa busy na uso wake
akipaka make up na vipodoz vingne Saraah
Anaamia Kumsogelea
Narsha
na
Kusema Sarnahani Queen Jordan kwa
Kukusumbus Jordan Anakulta kule chumbani
kivangu
Narshe kwa akili zake ndo anatabasamu
nakuserna
“Hahahah nimependa iyoo yeah mimi ndo Queen
Jordan Mwenyew Naenda Ucil kbsa
Narshe anatabasamu huku akiondoka kwelekea
chumbni mwa Sarasah
Hahahaha pole Jordan Saraaah anasema huku
akitabasamu na kutoka kuelekea Alipo Narshaa.
Narshan Akiwa Mlangoni kwany Kitana
Akifungua Jordan Na Jay wanaonekana nao
kuelekea chumbani kwa Jordan kwa mbali
kidogo wanamuona Saraah Aliye Karibu Na
Narsha Ambaye anafungua kitasa.
“Ases nimekwisha Jordan Anasemaa
“Kwan kuna nini? Jay anauliza
Narsha Anapindisha kitasa na kufungua mlango
na hapo hapo
unamwangukia Narsha
ule Unga Wa mtego
“Aash Aaah Nan Kafanya hivi Narsha anasema
kwa sauti kubwa ya ukali na hasiraa sanaa
Anaingia chumbani mwa Saraah akimtafutaa
Jordan
Jordan uko wapi anaonekana kujaribu
kucontrol hasiraa zake maana Jordan Ni Mpenz
woke Kwahiyo kama kafanyaa vile bas kun
jambu
Sarasah Anatabasam Sana uku akimwangalia
Jordan
Na kumpa isharaa ya salute
Jordan anaonekana kuishiwa pose
mfanyakazi Kwaajiri ya usafi
kultaa
Jay Anajikutaa anaanza kuelewa shoo nam ya
michezo kati ya Jordan Na Saraah.
Narsha anatoka chumbni na kumuona Jordan.
Narsha Beib mbn ivil
Jordanmmh Ni surprise tu atausijali mrembo
wangu
Jordan Anamchukua Narsha Na kwenda nae
chumbani kwa ajin ya usafi.
Wote watakutana mezani wanakulaa na kunywa
pa
Nausingiz sana Kiweni na usiku mwema
Saraah alisema huku akiendas kulaalaa
Wote wale waliobaki pale Jay na Narsha piaa
walienda kulala katika vyumba vya wageni. Na
Jordan piaa Allendaa chumbn mwake.
Saraah Anakoswa Usingzi kbs kwasababu yo
mawazo yake ya kumpata rafiki yake.
Baada siku mbill
Jay na Saraah wanaonekana kurudi katika ule
mtaaa ili kuintafuta Abduth.
Leo wanaelekezwa kwa mmama mmojaa
allyekuwa anakaaa jirani na pale.
Sarauh
Jay baada ya sulamu wanaanza
kumueleza yule mmama shida yao.
Saraahh Kwahly ndo hivyo tunaltafuta iyo familia.
Yule mwanamke anaonesha sura ya huruma
nakusema
Marma: Polen ile familia toweka baada ya
mama mzazi kale katoto kufario maana
alikuwa na cancer. Kwahiyo sijui yule kijana
mdogo aliendaa wapi au ibda na yeye alikufa
maana nyumba yao ilivamiwa baada ya siku
chache na kubomolewas.
Sarasb anaishiwa ngumu nakuanza kutoa
machozi
Jay anaonekama akimbembeleza sanaa kwa
hanuma
wote hawa wanaelekea katika Gari
fool waondoke
Wanapowashaa garil kakammoja anawakimbilla
kwa speed sanaa anawataka kusubiri
Jay anapock tena garl kwa ajiri ya uyo mkaka.
Mkaka Samahanini nimesikia mnachokitafutaa
Ilaa naweza kuwasaidia kidgo kamaa mtanipa
pesa kidogo.
Jay anaonekama kutomuamini yule mikoka lakını
Saraah anapata shauku anazama pochini na
kumpa
elfu 30 yule kakaa Saraah anaamus
Kushuka kabisa ill amsikilize kwa makini
Saraah Nimby tafadhari Unafahamu nini.
Mkaka Baada ya kifo cha mamaaka Abdulh
Abdulh alichukuliwa kbisa na kupelekwa katika
kituo cha watoto kiitwacho kadogoo
Jay anaonekana kukifahamu na kumuomba
Sataah Arad kweny gari ili waende
Saraah anamshukuruuu sana mkaka yulee
Ni midaa ya jioni sanae unaonaje kama
tukiendaa nyumbn kesho tutaanza tena Gafari
Sataah anaoneshaa kuelewa na kishaa wanarud
Nyumbr
Huku Nyumbani wanakutana
allyerudi kutoka safarini
Madam Linda
Saraaah anafika na kumkumbatia na
kumsalimias pies Joy plea anamsalimias na
wote hao watatu wanafurahi sanaan.
Jay Madam karibu Sana lakn Jordan Yuko wap?
Madarn Naona Kamsindikizaa Zero Brain wake
Wote hao wanaaanza kuchekaa sanaa
Jay pia anaonekan kulala kwa kina Jordan Tena
maana pale ni karna kwao pia.
Ikiwa Ni Asubhi Njernaa Sane Saraaah Anaamka
Alows Na furahaa Sana Maana Leo Arnategemea
Kufika Mwisho Na kumpata Abdulh
Kama kawaidaa Jay Na Saraah Wanawahi
Kujandaa Nakuondokaa wakielekea katika
Jengo la Kulea Watoto Yatima liitwalo Kadogo.
Warnafika Palee Na Kuingia Ofsin wakiongean na
Mkuu wa Pale. Mkuu wa Palee anaonekanaa
kushtuka baada ya kuambiwa kuhus mtoto yule
Na anaonekana Kukasinkaa Sanaa
Mkuu Mzee Lonja Hapa Sina Habari Hizo
Naombeni Muondoke sasa hivi Na muharakishe
Jay na Barsaah Wanashidwa kuelewa Ni kwann
Uyu Yuiko ivo
Saraah ananong’ona kwa chini hapana Jay Hapa
kunakitu Usiondoke Subiri Tuone.
Saraah lakn Mzee tumeongeaa kwa upolee
mbnaa waja juu tenaa kwann??
Mzee Lunja Anazidi kuwa mkali na kuambia
kwambaa hawana adabu na kuwatusi sana
Lakini Kwa Sarash.
Jay haikuwapa shidaa
maana walikuwa wameshafahamu Kunakitu
hapa
Kwa mball anaonekana mfanyakazi mwingne
mtu mamaa sana anaewapa ishara ya kukutana
nae njee ya maeneo hayo huku yeye pia
akitembea huku akitoka eneo lile.
Wanafanikiwa
kutoka na kwendaa sehemu tulvu
wapate kujua kunanini
“Mimi naitwa Mzee Kobo nimekaa hapa kwa
mda mrefu na ninafahamu ukwell kuhusu
mtachotaka kupua” Alisemaa Mtu yule.
Je atwaambiaa kipi. Maan kunaonekana kuna
siri nzito sana ambayo ipo iliyofanyaa atawao
kufukuzwa kule ofsins
Upande Wa Pili Uku Nyumbani
Jordan anapokea taarifaa ya katika laptop yake
ya kuona kama Muomba Amekubaliwa katika
hospital ya Muhimbirt
Jordan hazingati hata kutaka kusoma jina au
Taarifa Anapotezea na kuondoka kushuka Chani
kwa Madam Linda Anapofika Chini
Madam Linda Anaonekana kumpa Taarifa
Jordan ya kwenda kuanza kusimamia Company
Yake kubwa Ya Utalii iliopo Arusha na kumtaka
Atafute msaidizi ili siku moja ijayo aanze kazi
hako
Sasa itakuwaje
Hahahah sifahamu Tukutane Katika sehemu ya
Nne illtujue kipi kijacho Kwa Upande Wa Sorsah
Na Upande Wa Jordan Pia
Chapter 4
Tunanzia Pale Mzee Kobo Anajitambulisha na kusemaa yeye kakaa kwa muda mrefu sana kwahiyo anawezaa kuwaambiaa ukweli wa jambo hili.
Upande wa pili uku Madam Lindaa Anaonekana kumpa maandalizi Jordan ya kwenda kuanza kusimamia company yao ya Utalii uko Jijini Arusha. Na Saraaah Anaonekana kukubaliwaa katika Hospital ile kama dactari mkubwa sanaa.
Saraah na Jay Wanaonekanaa kuwaa na hamu sanaa ya kusikia kipi ambacho mzee Kobo anafahamu kuhusu swala la mtoto Abdulh kwa maana kule ofisin hawakupataa taarifaa kamili waliishia kufukuzwaa tu
Mzee Kobo Anasema Mimi nmeanzaa kazi hil
kwa muda sanaa Nakumbuka Mwaka ule baada
Ya Mtoto Yule Kuchukuliwaa Madam yule
alinunua taarifaa zote kwa Million 60 bel
ambayo hamna aliyedhani kbsaa na aliombaa
Ushahidi wote ufutwe na historia yote ya mtot
yule Ifutwe kabisaa maan allakilishaa hamn mtu
atakae fahamu swala hilo na hi ilifanywa kuwa
sirii maan serikali haikutambuaa wala mtu yyt
zaid ya wahusikaa
Sarah kwa shauku alionekanaa kuwaa na swall lakin Jay Alimtuliza kwa isharaa ya kichwaa. Jay Aliuliza Sasa kwanini Mwanamke huyo alifanyaa ivo.”
Mzee kobo kwa suraa ya huzuni alijibu Kila mtu hajui hatima yake hii ndo Mwanamke Yule alikuwa hana uwezo wa kupata mimbaa yaan Alikuwa Tasaa”
Saraah ilibidi aulizee kama kuna kitu kingne anachofahamu Ibdaa sehm walipoenda Lakini mzee kobo alitikisa kichwaa akimaanishaa hamna taarifaa yyt juu yao.
Mda ulienda na maongezi yao yalilshaa. Saarah na Jay walipanda gar lao na kurudi nyumbn pale. Wanapofikaa Nyumbn masaa ya jioni wanamkuta Jordan akiandaa nguo zakee na mgeni wake akimaliziaa kuanda safari yake ya kesho. “Kesho nmepataa taarifa kutoka kwa mamaa.
kwamb natakiwaa kwendaa Arush kwa ajiri ya kazi ya kusimamiaa yaan kuwaa kamaa Director na nmechaguaa kwenda Na Narsha kama msaidizi wangu Jay alioneshaa tabasamu na Saraaah pla alifurahi baada ya kuambiwa amekubaliwa katika hospitali ilee.
Lakin Jordan alionekana kupataa was was na
uwogaa wa kumuacha mdoli wake (Saraah)
lakin alipotezeaa kwa kuwa walikuwa hawana ukaribu kiasi hicho. Mdaa uliendaa na hatimaye palikuchaa Safarii iliwakaa Motoo Jordan Na Narshaa walianza Safari yao kuelekea Arusha kutumiaa ndege Mida ya saa mbili asubhi walianzaa safari yao kwendaa Arusha na walifika baada ya muda
mchachee.
“Narshaa tumefikaa ‘Jordan alisema Wakiwa Airport walipokelewa Vizur sanaa na watu wa madam Lindaa na kupelekwa sehem ya kupumzika maana iyoo siku ilikuwa siku ya mapumziko kwa wote kwahiy walipaswa kuanza kesh yake kazi.
Usiku Ulipita Na palikucha.
Asubhi wakiwa wanaingia katika kampuni hiy wadada wengi walichanganyw na uzuri wa Director Jordan kilaa mtu alitamn hata amshikee au kumsalimia lakin haikuwezekana kutokana na
Jicho kali la Madam Narsha.
Walifika Oficin na kukabiziwa kila kitu mafiles na
meng mengn Narshaaa akiwa amesimama alianzaa kupitiiaa baadhi ya tarifa za muhazini.
“Jordan nashangaa faidaaa kubwa iliyopo kweny hii company nimependaa sanaa Alisema. Narsha.
“Yeah zote hizi ni juhudi za madam Linda katuamini ndo maana kataka tuje tuongeze faidaa kweny company hil ‘Alisemaa Jordan Uku akitabasamu.
Upande wa pili uku Saraaah anaonekana kureport kazini na kujikuta akipendwa na watu sana juu ya ukarimu wake tabia zake busara zake na nmn alivyokuwa. “
Daaah Uyu Daktari mpya nmempenda bure Madactan na Wagonjwa walisemaa huku
wanatabasamu sanaa na kumuangaliaa kwa furahaa sanaa “Nimevutiwa na watu hawaa Saraah Alisema.
Siku ya pili ya kazi. Upande Wa Jordan huku Narshaa anaonekana kukaliptaa wafanyakazi kuhus kumuangaliaa. sanaa Jordan.
“Nimesemaa hivii sitaki kuona mnamzoeaaa Jordan sawaa tumeelewana nikimuonaa kondoo yyt anamsogelea ata nijuaa mm nan Narsha
Alisemaa Lakin Narsha anaoneknaa kuwa na tamaa ya mali katika company hiyo
Kadri siku zinavyoenda Narshaa Anazidi kupata makundi mabayaa na kuazishaa group lake kubwaa aliloliita The Killers Tabiaa ya Narshaa. inazidi kuwaa mbayaa kabisaa na anaanza kutumiaa madawaa ya kulevyaa sanaa.
Wakiwaa Oficine Jordan uvumilivu unaishaa anaanzaa kusema “Narsha umebadilikaa sanaa asee mali unatumiaa vibayaa badoo umeanzaa kutumiaaa madawa ya kulevya kweli ww ni kiongozi gani ase Narshaa mbn Ivoo
Narshaa kwa jicho lake la dharau “Umemalizaa
sasa sikias naombaa tusifatilianee maisha na mm hapa ndo mwish wa mm na ww khs kazi ntakuwaa najifikiriaa kujaa sawaa Narsha.
Alisema.
“Haha kumbee bas sawaaa na leo ndo mwisho wa kazi yako kesho ntatafuta mtu mwingne na nisije kukuonaa “Jordan Alisema. Narshaa kwa kicheko kikubwaa akisemaa
“hahaha dont care byee” Daaaaah ichoo kitu kilimumaa sanaa Jordan na alishidwaa cha kufanyaa ilaa alibidi ampigie Jay
Ili kuomb ushauri.
“Hellow Jay” Jordan alisema.
“Vip Bloody inakuwaje nmekumiss sanaa ujuee Ikizo lin uje na uyo Mrembo Narsha Jay alisema
Jordan kwa saut ya chini alimuelezeaa kilaa kitu Jordan na kumuombaa ushaurii maake kwasasa hana secretary wala mtu yyt wa kumliwazaaa. “Daah pole sanaa ilaa kwann usimuombe Mdoli
wako (Saraah) Aje uko kwa mda maana mm nipo busy sanaa kwsasa ase fanya kuongeaa na Mdoli (Saraah) na umpe taarifaaa madam Linda pla
Waliongea kwa mda mrefu Ikn mada kuu ilikuwaa ya Narsha nmn aliivyobadilika sanaa
ase.
Mda uliendaa na Jordan alipewa nmba za Saraah. Kumbuka mpka saa hii Jorda hajui kuwa yule mdoli ndio anaitwa Saraah. Jordan aliamua kumpigia Saraah.
“We Mdoll Wangu Alisema Jordan.
“Haha yaan atabilaa kujitambulishaa najua ni ww chizzie Jordan Saraah Alisema. “Hahah daah leo nmekukumbukaa kweny shidaa ase so nisikilize tuu Mdoli wangu bn “Jordan. alisema na kumpaa story nzima na kumuomb
aje ili kuwa secreatary kwa mdaa.
“Mmh pole sanaa ntakujaa Ikni kama
utanisumbua fahamu kwamba ntakufanyaa kitu.
mbaya Saraah alisema waliongeaa kwa mdaa
mrefu sanaaa Na saraah Aliamua kukataa Ticket
ya ndegee kutokaa Dar mpm uko Arusha. Kweli mdaa ulipofikaa Saraah alifika Arusha na kupokelewaa na Jordan mwenyew na kumuombaa aweke mizigo kweny nyumb aliyokuwa akiishi Jordan na kisha waelekee Ofisin ili kusaini mikatabaaa yotee. Huku piaa wafanyaa kazi walimpendaa sanaa Saraah maan alikuwaa mtu mcheshi sanaa kwa watu tabasamu lake lilifanyaa kilaa mtu
amuulize anaitwa nan Saraah alivutiwa nao piaa. Jordan na Saraah waliingia Oficine “karbu sana”Jordan Alisemaa huku akimpa kiti
akae
“Banaa wewe chizzie mm ntainama na ntasine ucjl Saraah Alisemaa. Jordan kwa tabasamu la chini Alimuulizaa naombaa unitajie jina lako hili nijaze taarifa
muhimu kwanza zinazonihusu.
Saraaah bila kusitaa alisema “Naitwaa Saraah
Reymond Phillioser” Ghaflaa baada ya Jordan kusikia jinaa lile. alishangaa sanaa na kusemaa mmnh unaitwaa Sa sa sa raaah ??
Upande wa pili wa Narsha anazidi kupambaa vikali na ilo group lake yaan wanaoneaa watu na
kama ukimkoseaa Narshaa wewe fahamu utakufaa Kwahiy kikosi cha Narsha kinazid kuwaa na watu wengii sanaa Wakatili asee
Chapter 5
Tunaanza Pale Ofisini Jordan akishangaa sanaa kusikia Iñe jmaa la Sarasah Saraah na yeye anamuangallaa nakusema
Wewe Chizzie Vp kwan sikuzote hujui naitwaal
nani aandikaa. Besi mm na njaa nataka kwenda
kulaa Saraoh Alisema
Lakini Jordan
ule uwezo wa kushika Pen
ullmaishiaa kbsa na kumwambias “Najisikiaa
Vibayaa Sarauh naomba
niendee msalani
wewe endelea kujaza taarifaa sawaa Mdoli
“Jordan alisema
Kwa haraka sana aliendas chooni na kuwazaa
mengi kuhus rafiki yake wa zamni alivyoenda
Marekani na kumuachaa yeye upweke
anaunganishaa
Na tukio zimaa la Sarah kujaa kwake kutokaa
uko Marekani na anakumbuk harakt za Saarah kutafutaa rafiki ake alizopewaa Jay anapataa jibu kuwaa huyu ni Saraah Hatimaye nakutanaa Tena na Saraah daash nmemiss kweli lakn sitamwambias mm nan na ntazidi kuwa kerbu naee zaid Jordan alijisemea. mayani huku akijitengenezas na kutokaa msalani kurudi ofisine Jordan Anapofungua mlango kumbe ne Saraah kasimama mlangoni kwa bahati mbaya na nzuri ule mlango anafunguaa Jordan na kukutana na macho ya saraa kwa kushtukaa anajikutaa wanaangukaa na Sarash Saraah Anajikutaa upande wa Chini jou Uvumilivu unawashindaa wawili hawaa kbsaa hasa Jordan akiangaliaa uzuri wa Saraaoh na macho yake mazuri ya utotoni Awee Jordan anaamuaal kushushaa lips zake taratibu na kumpigaa busu kubwaa zitoo Sarasah kwa mdaa mrefu Saraah Jordan upande
nae hanaa naa analegesa na wote wanafall
deeply ikweny hill busu lạc
Lakını Saraab Anakumbukas achofanywa hakipo
sahihi maana alitakaa rafik ake yule wa zmn ndo
aje awe wa kwanza kufanyaa ivoo Wachaal
wee Saaraah anamsukumaa pembeni Jordan na
kumuwashaa kot mojaa zito sanaa,
Jordan anashidwaa afany on ilaa anajikuta
akimwaambia Saraah kuwaa Mda Ukifikaa
Utaelewa
Sarah otaki kuelewa anamwambiaa natkaa kuina njaa Wawil hawa wanaamua kwenda sehen na kupataa chakulaa lakin muda wote yanaendeleaa ni kwambus Narshaa Akatuma mtu ill amfatirile Jordan weweee hahah patamu
panas
Jordan na Saraah hawana wazo lolote kumbe
huku Narshan kashapewoa taarifaa na pichaa
zaoo na Narshas akafahamu kabsaa kuwaa
huyu ndo Saraah aliyekaliona kiti chokee cha
usaidizi pale kazini.
Ni siku nyingne Saraah anaonekana kuwahi
kufikaa kazini mapema kwa maana alikuwa
anawahi kuanzaa kazi zakee lakini akiwaal anaingiaa lango kuu anapishana na mtu aliyevaa Mask nyeusi na kofiaa iliyoziba suraa yake Saraaah anajarbu kumuitaa kn mtu huyu
hakujat kabisaa se sauti
“Mmh sikutegemea kukutana
mtu anubhi hi
mminh la so mbayaa haya nihusu Saraah
alisema huku akienda zake officine.
Anapofikaa ofisini anashangaa kuonaa
document nying zimezagaaa hasaa anazona re
za umiriki wa company
Mmh nimi ichi Sarah Anasemaa
Anaamua kuchukua sim yake
Jordan na kumpaa taanfaa zotee
kumpigia
Nakujaa sasa hivi usttake oficine Jordan
Anasemas
Baada ya dakikas kamaa mbili Jordan anaingiaa
Oficin na wanaanzaa kukagua na kibayaa zaid
wanakutana na document ambazo hazinaa
umutermu na wanagundua kuwa document kuu
haipi Ofisini
Saraah kwan hujakutaa mtu hapaa maana
allyekuwas hapaa maraa ya mwisho ndo
anaonekana kuondoka na hii document Jordan
Alisema
Saraah kwa kuwataa kwa uharaka alisema
“Kweli nakumbuka nmepishana na mtu aliyevaa
mask nyeus mdaa na ingiaa kweny lango kuu likn
nlimsemeshaa
Saraah Alisema
hakujibu na hisi ndo mwizi
Jordan kwa kubaha alinyanyukaa nakuondokaa
kwenda kwenye chumba cha Cameras (cctv
Camera) lakini anapofika mlangoni anamuaa
kurudi na kumshika mkono Saraah, Saraah
akaanza kuhisi kwamba Jordan Anamuhis yeye
ndo mwzi lkn alkaa kimyaa tu na wakaongoza
nae had kweny icho chumba lkn baada ya
kuangalias kilas kitu hawafanikiwi kuona sura ya
yule mtu aliyechukua Document lee.
Upande wa Dar er salaan nyumbn kwa madam
Linda Jay Amekas sebleni
ghaffa
aanamuona medam Linda akioneekana
kuharakishaa kwenda sehem lakini cha
kushaangaza anamuon Madam akitokea mlango
wa nyuma kwa siri sirii na kupanda gari na
kuondoka
“Mmh hapa kuna usalamaa kweli hapana ng
nimfatilie madam Linda anaenda wapi maana
hata salam hajanipaa mmh hor Jay alisemaa
na akaamua kuchukua gari lake na kumfataa
nyumas
Mdaa uliendaaa akimfatiliaa lakın Madam Linda.
alifika mwisho wa safari yake katika de centre ya
watoto yatimaa
Jay kwa mshangao na bumbuwazi anaona
madam akifika na kumzaba kofi yule Mkuu wa
Pale ambaye aliwafukuza Jay na Saraah
Jay Hee Nini Hichii Madam Linda kafataa nn
hapa sioni naota lkn hii sio ndoto madam
Linda kafikaa hapaa na tenaa anampigaa kibao
mwenyt hhaahha apa kuna jambo ase
Jay alamud kuendesha gari na kwendaa
sehemu ya ukimyaa na tulivu
“Duuh hapanaa mmh hii ni hatr Jay Alisemaa
huku akiwazaa kumpigiaaa Sarash Ili ampe full
story yote ikn Jay anapigaa simu kwa maras ya
kwanzao na ya pili Ikn Saraah apokel.
Tiaa sio mbaya wachaa niendele kukusanyaa
ushahidi mmh natss Lindaa yupo nyuma ya hill
Jay Alisemaa.
Mdaa uliendaa na masaa yalienda.
Saraah na Jordan wanaoneka Wamekaa meza
moja bilaa kuongereshana.
kushikas simu ya Sarsash
Jordan Anaoneka
Saraa kwa hasiraa Anasema ivi unahus mm ndo
mwizi mpk ukae na simu yangu eeh ofisini
uinivutaa ukataka twende wotee ukajuee
kamaa mm ndo maizi au laa jmn mm sio mwizi
Jordan
Jordan kwa jicho la hurumaa alimjibu kwa sauti
ya chini na kumwambiaa kwambaa Ni boraa
Akili yako ulwazisher kutafakali nani Mwizi
Kuliko Kunipigia kelele hapo”
Saraah Mpn usivunge asa mbn umechukua
simu yangu mm sio mwizi jimn
Jordan kwa hasiraa alinyanyukaa na kusogea
alipo Saraah nakumshika mabegaa yake
nakumwambian vi huwezi nyamazaa Saraah
nafanya ni kukukinda wewe velewe plz: mamy
Jordan alamua kumkumbatiaa kwa nguvu
Sarash na kumtak asiwe na hofu kbea
anamanda kwahiy asjar kikubwa tu amsaidie
kutafuta ushaidi wa uyo mwizi
Bas Saraah anatuliaa na kukubali kuwa yeye
hakuwa mwizi ni kujihisi tu kwake.
Saraah anashika simu yake na kukuta missed.
call za Jay anaamuaa kumpigiaa na ikn Jay
anapokeaa wanasalimianaa na kumwambiaa
Kwambaa swalaa la tafói Yake Abdul kuna mtu
tu ambaye anahis yupo nyumaa yakee
anamwambiaa kwambaa ushaid wake utakapo
kamilikaan ata mtaarifuu vyermaa kabsaa
Duuh Ase ilaa mefurahi kusikia ivo naombaa
tu uzingatiee kupata ushahidi uwo Saraah
alisema na mawasiliano yao yaliishas ivon
Usiku ulipites na ilikuwa saubhi nyingne ambayo
Jordan ndo aliwahi kufika Ofisin kabla ya Saraah
kufikaa
Hey umewahi sanaa leo za kwako lkn Saraah
Alisema.
Jordan aligeukaa na kumsogelea Saraah
kumwambias kiwa sauti ya chini sana ntakuwa
pos kama utaamisa lowangu
Sansah kwa mshtuko allisogea pembeni
kushikwa na kugugumizi kikubwaa
Mmhuu
spasikia
semaje kwani nha
Jordani akamwambio Fanya hivo kwanzaa
maana hiyo ndo na sahihi ya kukulindaa wewe.
Sarash kwa unga alijikuta akikubali na kusemao
neno Sawaa Ntaakujaa
Jordan moyoni alisemaa daah mbele yangu
Saraah ni mtu mdhaifu sanaa daaah
Vipi utaamiaa lini Jordan Aliukzaa huku
akimsogeleaa Sarash usoni mwaka
‘Leo terisa sasahivii naenda Saraah alisemas na
kukimbiaa njen kwa uwoga
Ivi amesemaa nn mm jms kwambaa naamiaa
kwake leo hapana Saraah alisema
Masaa
ya jioni Saraah anaonekan kuamla kwa
Jordan maana sehm alipokuwan anaishi hapa
kuwaa mball sanaa
watu wengi walquaa
wanaishi pomojaa maana hatas nyumbaa ya
kuish walipewa mojaa Ikn Saraaah aliondoka
akidai Jordan ni Jinsiaa Nyingne lkn kwasasa
Saraah anarudi mwenyew bilaa ujanjaa kbea
wowote
Usiku unaingia Saraah na Jordan wanamalizaa
kula na kukaa sebleni Jordan anaonekanaa
kumuangaliaa sanaa Sarasah. Anahama hadi
sebem aliyokuwepo had sehm aliyopo Saraah
nakukaa kantu yake na anaamua kumlallaa.
begani. Saraah anashituka sanaa
“Wewe unafanya nini Saraah Alisema
Shi naombaa nilale hapaa mdoli wangu
Jordan alijibu usku unazidi kwendaa na Sarash
anaamuaa kumlaza vizuri Jordan kwenh kochi
na kumfunika
yey plaa anaamuaa kulala
kweny kochi ki kabla ya Saraah kulala
anaonekana akifatilisa sanaa zile document
zipo kwa kutumia cctv Cameras Record kwa
bahati Nzur sana Anabahatisha kuona kitu flani
ambacho ni kama yule mtu ile siku alangusha
karatasi ndogo sanaa na akiona anaonaa
mfagiaji alifagia na kutupa dustbin anaamua
kuamkaa haraka na kwenda mpik offisini ne
kuanza
kutafutaa
kale
kakaratasi
Anapokachukua anabahatika kuona nambaa
nambaa ? Mh hizi namba nizanani na min
zineseviwa boss minh huyu bos ni nani?”
Sarsah Alliserna Hakutaka kupotez mda
alwashaa gan lake na kwendaa nyumbn
anapoficaa tu anankuta Jordan anamtafuta
nana
Saraah ulikuwa wapi na mbn ivoo hujui na hofu
na ww na mbn hukuaga” Jordan Anasem.
Hapo ndipo Saraah Alipomweka
kila kitu
Jordan kuhus yeye kupata zile namba kwahiyo
Saraah anaamuaa kuzipiga naa baada ya kupiga
kinachoshitusha anagundua kuwaa ile namba
niya Narshan baod ya kumuita boss naa Narsha
kullikiaa. Sasa Saraah anashituka na kujua kuwa
kumbe adul ni Narsha na huo huo mda Narsha
anagundusa uyu ni Saraah.
Hahahaha Saraah nakukanyaa kwa mara ya
kwanza na ya mwisho achnas na hayaa mambo
utaumia Narsha Alisema
“Hipan na siwez ntapembnas vikali ww
Saraah Alijibu
Kwa uharaksa Jordan allchukua simu na kuanza
kuongeaa na Narsha
Narshaa
naombas sanaa usije fanyaa chicht
kwa Saraah, nilijua pisa ndo mtu uliyenyuma
ya hili jambo na sasa nakukanya uache Jordan
alisemaa huku akiwao amemkumbatiaa Saraah
kwa nguvu. Saraah alishangaa sanaa kwann uyu
huwae anafanya vil
Narshaa hakujall wanachoongee ilaa alijibu kwa
cheko la dharau kwa nguvuu sana
Jordan aliumiaa sanaa na kumuombea Saraah
Awe mwangalifu sanaaa
Upande
Narshaa anaonekana akiwazaa
mambo flani nakusemaa.
“Saraah wewe ni mioto kwangu sasa kwa kuwa
hutaki kumuachias Jordan na unajuaa kbsaa ni
mtu wangu na ninampendaa na bado hutak
kuachiaa kiti changu bas pokeaa zawu yangu.
Narshaa baada ya kusema hayo alimpigiaa simu
mtu allyevallaaa
mask na kumwambia “Anzisha
Game simu ilee ilikatwan.
Usiku ulipitaa na palikuchaa, Saraah na Jordan
wanaonekana wakiwaa wamekaa Ofisini
wakibadilishanaa
mawazo
Jonian Ivi kitu gani unatamn sanaa.
kukikamilisha.
Sarah Hah mm natamn sana kukutana na rÃki
yangu wa utoto maana ndiye natamani aje avie
mtu wa maishaa yangu na atakae ninali na
kunipa upendo plaa..
Mazungumzo yao yanaendelea kwa mdaa sanaa
huku wakifurahi sanaa.
Hhha Jordan Ng nifate kahawaa apo njee
Samah alisem na kutoka njee allwa anavuka
barabarani ghflaa gari la ainaa ya cruzer
Inakujaa moja kwa moja na kumgonga
Lkn gall hilo lillendeleaa na masafaa yakee kwa
mbel Jordan anaonekan akija huku akikimbiaa
maana alishuhudiaa tukio Hall ya Saraah
naonekana kuwaa mbayaa zaidi maana
anavujaa damu nyingi sana upande wa kichwa
INAENDELEA

