UTAJIRI WA MAJINI ULIVYOITESA FAMILIA
PART: 06
ILIPOISHIA:
“Hee!, nini tena hii!, Ndugu zake na Suzy walishangaa ndipo walipombemba na kumrudisha wodini huku akiwa haongei wala kujitingisha.
SONGA NAYO….
Watu wote waliokuwa eneo hilo, walibaki na butwaa ndipo mama mmoja maarufu kama mama mchungaji alipoanzisha maombi ya gafla kwa kushirikiana na ndugu zake Suzy.
“Kwa jina la Yesu!, ushindwe!..ushindwe!? Ee baba wa mbinguni, muumba mbingu na dunia, tunaomba msaada wako sisi wanao ambao tumekosea sana mbele yako. Utuhurumie, utuondolee kila aina ya ushirikina, uchawi na nguvu za giza. Tazama baba tupo chini ya miguu yako, tunakuomba umponye mwanao ambaye kaondokewa na mwanaye mda huu. Amina”
Mama mchungaji alihitimisha maombi.
Wakati anaomba, Dr. Majini alianza kuona kibuyu chake kinatikisika hali iliyoonesha hatari.
Alianza kuchekecha tena kwa mara nyingine lakini wapi.
Mambo yalianza kuonekana magumu kwake ndipo alipoamua kupasua kibuyu kimoja hali iliyosababisha moshi kutanda ndani.
Kwa hali ya kushangaza huku wakiwa hawaamini, gafla mhudumu wa ( mochwari) alisikia kilio cha mtoto kikitoka kwenye makabati ya kuhifadhia maiti .
Alisogea taratibu ndipo alipojiridhisha.
Kwa mshutuko mkubwa, aliwaita wenzake kisha wakamtoa mtoto huyo akiwa hai kabisa .
Mdomo wake ulikuwa umebadilika na kusogea pembeni kidogo.
Bila kuchelewa huku Mundiri akiwa anazozana na Masumbuko pamoja na Mkewe, alipewa taarifa ndipo alipojibu.
“Hee! acheni utani!, mtoto kafariki iweje afufuke tena?”
“Hapana usipanic, shukuru Mungu maana huwa inatokea mara chache kama hivi” mhudumu alisema.
Mundiri aliingia ndani na kumuangalia mwanawe ndipo alipokosa cha kuongea kwani sura ni yenyewe isipokuwa mdogo ulikuwa umesogea pembeni kidogo.
“Jamani Asante sana Mungu wetu kwa kutuokoa!, tukupe nini sisi wanao maana tungeishia jela” mama Masumbuko aliongea kwa msisitizo kisha wakapanda pikipiki na kurejea nyumbani.
Kesho yake, Suzy alikuwa ameshapata nguvu ndipo aliporuhusiwa na kurejea nyumbani.
Mundiri alikuja na mtoto wake Ivona ambaye alikuwa haongei tena huku akiwa ananyanyua mikono kama bubu huku akichekacheka na kutokwa na udelele.
Licha ya kuwa hivo, Suzy alimnyonyesha mwanaye bila kujali alivyokuwa anafanana.
Mundiri alitoka nyumbani hapo mpaka kwa baba mwenye nyumba kisha akamlipa hela yake ya miezi 6 pamoja ma hela ya umeme.
Baada ya wiki moja, Mundiri alirudi kwa Dr. Majini ambaye alimfunga hirizi kiunoni.
“‘Sasa hapa hatua ya kwanza imekamilika na baada ya mwezi mmoja utarudi tena ” alimwambia.
Mundiri alirudi nyumbani na kwenda kufungua duka lake.
Siku hiyo wateja walimiminika mlangoni mpaka akashindwa kuwahudumia kwa wakati.
Wafanya biashara wenzake, siku hiyo hawakuuza kabisa hali iliyowafanya wabaki wameshika tama.
Ndani ya wiki moja, Mundiri alikuwa ameshajaza duka lake mali kwa mkupuo huku wateja wakizidi kumiminika.
“Daah asee nilichelewa sana!, kama ningejua mapema, hata mzazi wangu ningemtoa kafara..” Mundiri aliongea mwenyewe huku akiwa anahesabu noti nyekundu tu.
Wakati anazidi kukusanya mpunga, mtoto wake mdomo ulizidi kusogea pembeni na miguu yake ikazidi kupungua huku kichwa kikiongezeka.
Suzy alijihisi mnyonge sana huku wakati mwingine akiwa anabakia kulia peke yake.
Ndani ya miezi miwili, Mundiri alinunua nyumba mpya akanunua na gari mpya kisha akamfata boss mwenye nyumba wa zamani.
Alimtimulia vumbi kwelikweli kisha akamwambia,
“‘Nenda ukachukue banda lako la kufugia kuku ulilokuwa unanitukana nalo. Kodi yangu haijaisha lakini sihitaji kukaa tena kwako hata bure sitaki..”
“‘Sawa haina shida lakini kibanda hichohicho ndo kilikuwa kimekustiri. Jifunze kuheshimu vitu vya watu …”
“‘Ondoka zako bwana mzee mwenyewe hujielewi” Mundiri aliwasha gari lake na kurudi nyumbani.
Baada ya kufika nyumbani, Mundiri alimwambia mke wake,
“‘Mke wangu, mtoto huyu atatutesa sana tena sana hivo kwakuwa haoneshi sura ya binadamu, tumpumzishe kwa kumpa sumu ili aache kuteseka. Ninaumia sana lakini hakuna namna”
“Hee!, tuue damu yetu!”
“Sasa wewe unafurahia nini kuona alivyonamna hii?”
“‘Mimi sina usemi na sitohusika kwa lolote. Maamuzi yote nakuachia wewe utafanya utakavyo…”
“Haya kwakuwa umekataa, basi kuna chumba hapo atakuwa anakaa humo maana kuna wakati mwingine naona aibu kuja na wageni nyumbani”
“Mimi nimekuruhusu kufanya utakavyo ila sihusiki kwa lolote”
Mundiri alimshika mtoto huyo na kumuweka chumba kidogo kilichokuwa kama stoo kisha akamfungia ndani.
Suzy alimwaga machozi mbele ya mme wake .
“‘Unalia nini?”
“Basi tu…” Suzy alijibu kwa mkato.
Mundiri alifunga kwa kofuri kubwa mlango wa kuelekea chumba cha mtoto huyo ili asiingie mtu yeyote.
Baada ya mda wa kama wiki hivi, Suzy alizoea na machungu yakaanza kupungua lakini kila alipovuta sura ya mwanaye kipindi amemzaa, alihuzunika sana.
Nyota ya Mundiri ilianza kuwaka kwelikweli mpaka akajikuta ametumiwa barua ya kurudi kazini lakini aliikataa katakata .
Haikuchukua mda mrefu, kumnunulia mkewe gari kali sana ambalo liliwafanya majirani zake kudhani anauza madawa ya kulevya.
Licha ya kuwa na mali hizo, Mundiri aliwekewa masharti ya kutosaidia ndugu zake, asivae viatu wala kuvaa nguo nzuri.
Ukimuangalia kwa mwonekano wa nje, hakuna ambaye angedhani anapesa kutokana na mwonekano wake.
Jioni akiwa anamalizia kukunja noti nyekundu, alipigiwa simu na Dr. Majini kisha akaambiwa aje nyumbani kwake haraka.
Mundiri alifunga duka kisha akaenda kwake mida ya jioni akiwa miguu peku huku akiwa amevalia mzula ili wasimtambue.
“Hee!, nilikwambia ndani ya mwezi mmoja urudi hapa !. Umeshakiuka maagizo ya jini langu..!, “
” Nisamehe !, nisamehe nilijisahau!”
” Sasa kinachotakiwa kwa hapa, ni kwenda kulala na bibi yako halafu ukimaliza mkate sehemu zake za siri uzilete hapa”
” Duuh!, “
” Unatakiwa kufanya hivo tena leo hii na bila kufanya hivo , utakuwa chambo”
Mundiri aliondoka hapo akiwa ameinamisha kichwa chake chini huku akiwa anawaza na kuwazua..
Mnamo mida ya saa 4 za usiku, Mundiri akiwa anatetemeka , alifika nyumbani kwa bibi yake kisha akagonga mlango….
JE ILIKUWAJE?….
PART: 07
Bibi akiwa ndani alisikia sauti ya mlango ukigongwa ndipo alipojikongoja tararibu mpaka mlangoni.
” We nani”? Aliuliza.
” Ni mimi Mundiri..”
” Ohh karibu mjukuu wangu…”
Bibi alifungua mlango kisha Mundiri akaingia ndani.
” Mbona leo umenitembelea usiku?” Alimuuliza
” Nimekumis kukuoana bibi maana kazi zinanifanya kuwa bize kidogo..”
” Shawa mjukuhu yangu, funua sufuria kuna chakula ule”
” Asante bibi nimeshiba..”
” Hapana lazima ule hata kidogo”
Bibi alimlazimisha Mundiri ndipo alipofunua sufuria na kukutana na viazi vitamu.
Alichukua kiazi kimoja kisha akaanza kula.
Wakati anakula, roho yake ilianza kuwaza ataanzaje kulala na bibi yake huku akitakiwa kumkata sehemu zake za siri.
Roho ya huruma ilimjia huku hofu kubwa ikiwa imetanda moyoni mwake.
Baada ya kumaliza kula kipande hicho cha kiazi, alituliza kichwa chake kidogo kisha akamwambia bibi yake,
” Bibi unalala saa ngapi?”
” Nalala mda huu, kwani unataka kuondoka?”
” Hapana nipo bibi nitaondoka kesho ..”
” Shawa mimi naenda kulala”
Bibi alienda kulala na kumuacha Mundiri akiwa sebuleni.
Alipiga hesabu zake lakini ikaonekana kuwa ngumu kwelikweli.
Akiwa anapiga hesabu, alikumbushwa na Dr. Majini kuwa amebakiwa na mda mfupi na asipofanya hivo atatolewa kafara.
Mundiri alichanganyikiwa kabisa ndipo alipoandaa kisu chake vizuri kisha akafungua mlango wa bibi yake.
Bibi akiwa amelala, alishangaa kuona mlango umefunguliwa ndipo aliposhutuka.
Alimuangalia nani anaingia ndipo alopokutana na sura ya Mundiri.
” Hee!, unatafuta nini huku!, si nimekwambia chumba chako cha kulala?”
” Samahani bibi, naomba unisaidie..”
“Nikusaidie nini”
Kabla hajamjibu, Mundiri alimrukia bibi kisha akamjaza manguo mdomoni ili asiweze kupiga kelele.
Alimfunga miguu na mikono kisha akamvua nguo zote na kubaki mtupu kama alivyozaliwa.
Mundiri kwa roho ngumu sana, alianza kumuingia bibi yake kimwili huku bibi akijaribu kujiviringisha lakini hakuwa na nguvu za kufanya hivo, machozi yalianza kumtoka bibi huyo huku yakiambatana na haja kubwa.
Mundiri alimfunga bibi magoli matatu ya kikatili ndipo aliposhika kisu ili amkate sehemu zake za siri ili azipeleke kwa Dr. Majini.
Bibi alimuangalia Mundiri kwa jicho la huruma ndipo Mundiri alipoamua kumfunga kitambaa cheusi usoni mwake.
Bibi hakuwa na uwezo wowote ndipo alipoanza kuomba kimoyomoyo,
” Mungu wangu wa mbinguni, nakuomba unikoea na shatani huyu!,. Najua siko mkamilifu lakini nakuomba unipokee nami niweze kuja kwenye makao ya milele. Umtupie kila aina ya janga liwezekanalo kwa hiki alichonifanyia, umlaani yeye na kizazi chake… Ee baba nisaidie.”
Wakati anaomba, gafla alihisi kitu kikali kinakata kwenye sehemu zake za siri ndipo alipojitingisha kwa maumivu makali sana.
Mundiri alizamisha kisu chake na kuanza kukata sehemu hizo huku damu zikichuruzika.
Bibi licha ya kukosa nguvu, alijitutumua kwa maumivu makali lakini aloshindwa kurukuta.
Mundiri alimalizia shughuli ya kuchomoa kiungo hicho kisha akakiweka kwenye mfuko mweuisi.
Wakati huohuo, bibi alianza kutokwa na damu nyingi hali iliyopelekea akoswe nguvu kwa mda huo.
Kwakuwa alikuwa ameafungwa miguu na mikono, Mundiri aliamua kumuacha hivo kisha akaondoka zake kuelekea kwa Dr. Majini.
Baada ya kufika, alimkabidhi kiungo hicho ndipo alipokinyunyuzia dawa kisha akamwambia,
” Sasa umefika daraja la pili ambalo litakufanya kuwa mtu maarufu sana kwa kile utakacho kifanya. Hatua ya tatu unatakiwa kumtoa kafara mke wako hapo ndo utakuwa umefikia level za juu”
Aliongea kisha akarusha kiungo hicho kwa joka kubwa ambalo lilikimeza na kutokomea.
Huko nyumbani kwa bibi, hali yake ilizidi kuwa mbaya ndipo alipoanza kuchungulia roho yake ikitaka kutoka.
Maumivu ya kukata roho ni makali sana tena sana .
Bili aliteseka kuona roho yake inataka kuondolewa.
Aligalagala mpaka haja kubwa ikamtoka na hatimaye roho yake ilikatika.
**
Huko upande wa Mundiri mara baada ya kukamilisha kila kitu , alirejea nyumbani kwake ndipo alipomkuta mkewe anaangalia Movie..
“Unatoka wapi mda huu?”
“Nilikuwa kwa rafiki yangu tukipanga jinsi ya kuagiza mzigo china..”
” Hee! Na hizo damu zimetoka wapi?”
” Ohh rafiki yangu alikuwa anatokwa na damu puani nikawa namsaidia ndio maana ikanimwagikia..”
” Mhhh…ayaa bwana..”
“Mbona waguna kwani huniamini?”
“Nakuamini na wala hakuna shida yoyote”
“”Sawa mke wangu love you mmmhmwaah” alimpatia busu la mahaba.
Mundiri alivua nguo hizo kisha akaenda kuoga bafuni.
*
Kesho yake asubuhi na Mapema, Mundiri aliamka kuelekea dukani kwake na alipofika tu, tayari kulikuwa na wateja wakiwa wamemsubiria.
Alifungua na kuingia ndani. Wateja baada ya kumuangalia Mundiri usoni , walishutuka na kuona aibu kali sana kwa kile walichokiona.
Sio kingine bali ni sehemu za siri za bibi yake zikiwa zimebandikwa usoni mwake huku Mundiri yeye akiwa hajui chochote.
Wateja wote walikimbia kwa mkupuo huku kila mtu akiwa haamini kile ambacho amekiona.
” Hee!, wanakimbia nini?” Mundiri alijiuliza lakini hakupata jibu…
JE ILIKUWAJE?
PART: 08
Wateja walizidi kumiminika dukani kwake lakini kila aliyetoa macho yake na kumuangalia Mundiri usoni, aliishia kukimbia huku akiwa haamini anachokiona.
Ni sehemu za siri za bibi yake ambazo zilikuwa usoni mwa Mundiri bila yeye kujua.
Baada ya mda mfupi, Mundiri alijifungia dukani kwake kisha akanitazama kwenye kioo lakini hakuona chochote.
Alihangaika huku na kule lakini wapi ndipo alipoamua kufunga duka moja kwa moja.
Mida ya jioni, alirejea nyumbani kisha akakaa karibu na mke wake kisha akamwambia,
“Nahisi kama ka upele usoni umekaona?, maana kananiwasha kweli”
Suzy aliangaa lakini hakuona chochote.
“‘Mbona sikaoni?”
“Ohh basi itakuwa ni muwasho wa kawaida”
Mundiri baada ya kuambiwa hivo na mkewe, alishindwa kujua kwanini watu wanamkimbia huku wakiwa wanastanabu.
Uso wake ulikosa furaha kwa mda mfupi sana ndipo alipoamua kwenda kujipumzisha.
Baada ya siku kama 3 hivi, harufu mbaya ilianza kutanda na kutapakaa kila sehemu zilizokuwa karibu na nyumbani kwa bibi.
Majirani waliishia kutema mate huku wengine wakishindwa kula kwa sababu ya harufu hiyo.
Baada ya kukosa uvumilivu, waliitana kisha wakaanza msako huku wakidhani ni mbwa.
Walikagua kila sehemu lakini wapi hakuna aliyeweza kuona wala kuhisi wapi harufu inatokea kutokana na uelekeo wa upepo.
Wakiwa wameshakata tamaa juu ya nini chanzo cha harufu hiyo, mwanakijiji mmoja alitilia shaka nyumbani kwa bibi ndipo walipoongozana mpaka sehemu hiyo.
Wakiwa wamesimama kwa nje, kaupepe kalipuliza ndipo harufu kali ilipotokea ndani na kuwafanya kila mtu azibe pua zake.
Wenye vichefuchefu waliumwa matumbo hapohapo na kutoka sehemu hiyo.
Waliobaki eneo hilo, waligonga mlango na kuita lakini hawakusikia muitiko wowote ndipo walipojaribu kuusukuma .
Ulifunguka na wakaingia ndani ndipo walipokutana na matone ya damu sebuleni huku yakitokea chumbani.
Harufu ilikuwa kali sana lakini walijitahidi mpaka wakazama chumbani humo ndipo walipostaajabu kwa kukutana na rundo la nzi wakubw waliokuwa na rangi ya kijani wakiwa wameuzingira mwili wa bibi mithili ya nyuki.
“‘Hee!, bibi ameuwawa tayari!” Aliongea jirani kwa mshangao kisha wakatoka ndani haraka.
Baada ya kufika nje, walienda moja kwa moja kwa mwenyekiti na kutoa taarifa.
Mwenyekiti naye alikwenda kituo cha polisi ambao walikuja moja kwa moja mpaka nyumbani kwa bibi wakiwa wamejifunga mwili mzima .
Waliingia mpaka chumbani kisha wakauchunguza mwili ndipo walipoadaa ripoti kutokana na vipimo vya daktari waliokuwa nao.
Kwakuwa mwili ulikuwa umeaza kuharibika, waliufunga kwenye mfuko maalumu kisha wakapulizia dawa ili kupunguza harufu.
Haya sasa baada ya kumaliza shughuli hiyo, msako mkali na uchunguzi wa nani alihusika, ulianza ndipo watu walipoanza kutawanyika mmoja baada ya mwingine.
Polisi licha ya uchunguzi wote, hawakuweza kugundua nani alihusika ndipo walipoamua kuwashikilia majirani wote na kuwaweka sehemu kwa mahojiano.
Habari za mauaji ya bibi, zilisambaa kwa haraka sana mpaka Mundiri pamoja na mkewe wakazipata habari.
“‘Mme wangu, nasikia bibi ameuwawa tena kikatili kwa kunyofolewa sehemu zake za siri..”
“‘Hee!, kweli!” Mundiri alishutuka.
” Ndiyo mme wangu meseji hii hapa”
Mundiri alianza kulia mbele ya mke wake huku akionesha uchungu mkubwa sana.
Suzy alijitahidi kumbembeleza mme wake mpaka pale alipotulia.
Harakaharaka, Suzy alijiandaa kwenda msibani ili kuweza kumzika bibi.
“‘Mme wangu twende!, twende maana wamesema anazikwa leoleo mda si mrefu..”
“-Tangulia nitakukuta maana nina uchungu sana” Mundiri aliongea kwa hofu.
“Mhh.., pole sana kwa hilo lakini lazima ukamzike bibi yako..”
“‘We tangulia nakuja mda huu”
Suzy aliwasha gari lake na kutangulia msibani.
Baada ya dakika kama 3 hivi, Mundiri aliwaza na kuwazua ndipo alipoamua kwenda kwa Dr . Majini kuona nini kinamfanya akimbiwe na watu kabla ya kwenda msibani.
Alipofika kwa Dr. Majini, alimueleza kila kitu ndipo alipojaribu kumuangalia lakini naye hakuona chochote.
“‘Huna shida yoyote..,” alimwambia
“‘Mbona watu wakiniangalia wananikimbia?” Aliuliza
“‘Wanakukimbiaje?”
“‘Yaani kila ninapopita wakiniangalia tu naona wanakimbia huku wamefumba macho..”
“‘Hiyo haina shida bali ni.dalili ya kupata pesa nyingi. Siku zote ukiwa na hela maskini watakukimbia..”
“‘Ohoohh..! , sawa vipi kuhusu mazishi maana askari wapo eneo la tukio na wanazika leo. Hawatonikamata?”
“‘Tena umekosea sana, unatakiwa kuwepo katika shughuli hiyo mwanzo mwisho na wala usijishutukie. Kutokwenda kutasababisha maswali mengine”
“‘Kwahiyo niende?”
“‘Tena umechelewa,,chukua dawa hii unyunyuzie kwenye viatu kisha uvae”
“Sawa”
Mundiri aliaga na kuelekea nyumbani kwake. Alifanya kila alichoambiwa na Dr. Majini kisha akawasha gari lake na kuelekea msibani.
Wakati anaelekea msibani, hali ilianza kuchafuka mara baada ya majirani kuhojiwa na kudai hakuna mwenye kujua chochote.
Waliwabananisha kwelikweli mpaka wakawapandisha kwenye defenda kuelekea kituo kikuu cha polisi wilaya wakatoe maelezo.
Watu wakiwa wamekusanyika kusubiria dakika chache kabla ya mazishi, Mundiri aliwasiri kisha akashuka kwenye gari lake.
Watu wote waligeuka na kumuangalia Mundiri ndipo wakipobaki na mshangao wa aina yake kwa walichokiona kwenye uso wa Mundiri.
Waliokuwa na wakwe sehemu hiyo, walikimbia kutafuta sehemu ya kuficha sura zao huku wengine wakiinamisha vichwa vyao chini.
Mundiri ambaye alikuwa amepiga hatua kama 5 kutoka kwenye gari lake, alibaki ameduwaa huku akiwa hajui nini watu wanashangaa kwake na nini akifanye kwa mda huo….
JE ILIKUWAJE?..
ITAENDELEA……..