NISUGUE HADI NIJIKOJOLEE
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
NAMBA 07
BAADA YA SIKU TATU
Ilikuwa ni siku ya Jumamosi, binti mchana baada ya kufua nguo zake, aliamua kwenda kwenye ‘internet cafe’ akaenda kuomba kazi ya ualimu kama ilivyokuwa imetangazwa
*
Kesho yake siku ya jumapili, asubuhi sana binti alijiandaa, bado alikuwa ana ombi lake kuu kwa Mungu akiomba apewe Kazi au Mume, alienda kanisani saa tatu, na alikuwa wa mwanzo mwanzo kufika pale ibadani.
Binti aliketi katika viti vya mbele kisha akasubiri ibada ianze, wenzake wakimsifu Mungu yeye alikaa kwa huzuni kubwa sana, hata baada ya ibada kuisha, mchungaji Emmanuel Kaaya alimuagiza kiongozi wa vijana na kumuambia Amuitie binti huyo anataka azungumze naye ofisini
Kiongozi yule wa vijana pale kanisani alienda akamuita mtoto wa kike na kumuambia “Unaitwa na mchungaji”
Vaileth alishangaa kwanza, halafu akaangalia kushoto na kulia halafu akamtazama yule kijana na kumuuliza “Mimi?” huku akijiwekea kidole kifuani kumaanisha yeye au mwingine?
“Ndiyo”
“Ananiitia nini mimi mchungaji? Kanifahamia wapi wakati yeye ni mgeni?” aliuliza binti
“Sijui, embu kamsikilize ofisini tafadhali” alisema kijana huyo
“Mh…..” Vai alibaki haamini, ila yule kijana alimshika mkono na kumpeleka ofisini kwa mchungaji ambapo alimkuta mchungaji ameketi anachezea chezea laptop yake mezani pale
“Baba Mchungaji, Bwana Yesu Asifiwe” Aliseva Vai kwa uoga fulani wa chini chini
“Amiiiin…..Ameen….Karibu ukae” alisema mchungaji na kutoa miwani yake machoni halafu akafikicha jicho lake la kulia kidogo na kuirudisha miwani kunako macho yake
“Oooopsss” Vaileth alivuta pumzi ndefu, alikuwa hajui kwamba ameiitiwa nini na mchungaji pale ndani, alijikuta anapata hofu kubwa kidogo maana mchungaji ni mtu aliyeheshimika japo yule alionekana kuwa na umri mdogo kati ya miaka 29 au 30 hivi
“Ah…mh wewe unaitwa nani?” aliuliza Pastor, E. Kaaya
“Ee…mh mi naitwa Vaileth”
“Oh, Vaileth…Nice…Nice….we we ni mwenyeji hapa?” aliuliza nak utega viwiko vya mikono yake mchungaji halafu akashika tama
“Ndio, nimekaa kama miaka mitatu hivi hapa”
“Sawa…samahani unajua mimi ni mchungaji mgeni, najua utakuwa na wasiwasi ya kwamba kwanini nikuite hapa…wakati hatufahamiani vizuri”
Juliet alitabasamu na kuangalia pembeni kidogo
Mi naitwa Mchungaji Kaaya, nimetokea huko ukanda wa Kaskazini” alisema kwa kitu na kujikuna kidogo kwenye nywele kisha akaendelea “Nimekaa pale kanisani, hii ni mara ya 3 nakuona hali yako sio ya kawaida”
Juliet alishtuka kidogo baada ya kusikia yale maneno, alimtazama mchungaji
“Naamini kuna kitu kinakusumbua. Uso wako tu unaonyesha, nayre roho mtakatifu” alisema na kunyoosha mikono juu kunakoaminika Mungu yupo huko “Roho mtakatifu amenionyesha unahitaji ukombozi mkubwa sana” alisema mchungaji na kuuma mdomo kwa hisia ya neno la Mungu
Kiukweli Vaileth alikuwa amemlilia Mungu kwa kipndi kirefu amkomboe, na aliona kabisa jinsi Mungu alivyokuja kumjibu kwa kumfunulia mchungaji yule. Alibaki akimshangaa mchungaji
Mchungaji akasema “Ni kweli ama si kweli?”
Binti alitazama mikono yake iliyoshikilia biblia na kitabu cha tenzi za rohoni halafu akatamka kwa aibu “Ni kweli mchungaji”
“Ohhh…haleluyaaa…pole sana binti” aliongea Mchungaji
“Asante pastor”
Ghafla aliingia msichana mmoja ambaye alikuwa amemletea soda mchungaji halafu akaweka mezani na kusema “Karibu mchungaji” mchungaji alishukuru kwa ishara ya mkono kisha yule msichana alitoka naye akaendelea na Vaileth “Enhee… Vaileth embu nieleze ni msiba gani unaokutesa katika moyo wako kiasi cha wewe kutokuchangamka kwenye ibada, ingawa wewe ni binti mdogo, halafu ninakukuta siku za katikati ya wiki upo peke yako ndani ya kanisa unamlilia Mungu”
Vaileth alishtuka zaidi maana siku alipoonekana na mchungaji kanisani akifanya maombi yake binafsi wala hakujua kwamba ameonekana
“Mchungaji ninasumbuliwa na mambo mengi akilini na rohoni mwangu pia”
“Mambo gani?” aliuliza pasta na kuvuta Opener akafunua soda yake halafu akaipiga pafu moja
“Mimi nimemaliza chuo miaka mitatu iliyopita, ndio nikaja hapa Farisayo….kiukweli pastor nimekutana na mambo magumu sana tu”
“Pole sana….mambo gani magumu kiasi hicho?”
“Nimekutana na maisha magumu yaliyopelekea mimi kuwa mtu mchafu na kumsahau Mungu wangu kwa muda wote huo niliokuambia mchungaji”
“Pole……..pole sana” alisema kwa hisia mchungaji akaendelea kusikiliza
“Asante…..pia nina matatizo, sina ajira, vile vile nimemuomba Mungu muda mrefu anipe ajira, ili niachane na tabia mbaya” alisema mtoto wa kike lakini aliacha suala moja la kusema kwamba anahitaji mume pia.
“Pole sana…hizo ni changamoto ndogo sana kwa Bwana wetu Yesu Kristo….usihofie kumtumikia, sasa ndio muda ambao ataenda kukujibia”
Vaileth aliinamisha kichwa chini na kukumbuka kwamba ana tatizo la kushindwa kuacha kujiuza kisha akamuambia mchungaji “Pastor nimekuwa nikifanya biashara ya mwili kwa muda wote ili kujikimu maana baba yangu hataki mawasiliano na mimi kabisa….nimejaribu kuacha nimeshindwa…naomba uniaombee”
“Usiogope, ninakuombea. Lakini baba yako kwanini hataki mawasiliano na wewe?”
“Niliondoka kutafuta maisha akanikasirikia, alitaka nibaki nyumbani kumsaidia kazi zake”
“Kwani, wewe ni mtu wa mkoa gani?”
“Natokea umasaini mchungaji”
“Ohhh…kumbe mmasaii…usijali. Nitahakikisha nakuombea kila mara mpaka utakapofanikiwa, lakini usikate tamaa kumtumikia Mungu wako” alisema mchungaji
“Asante,….nitajitahidi mchungaji” binti aliinamisha kichwa na kusema tena “Mchungaji naomba uniombee niache tabia ya kujiuza”
Pastor Kaaya alielewa kabisa hicho ndicho kinachomsumbua binti. Na ilibidi ainuke na kumuambia “Simama tufanye maombi kwa pamoja” alisema Mchungaji
Vaileth alisimama na kuwekewa mkono na mchungaji, akaongozwa sala ya toba na kuombewa katika vitu vyote alivyokuwa akivitaka kwa wakati ule.
Baada ya hapo aliondoka akiwa anajisikia faraja sana.
JE NI KWELI KWAMBA BINTI ATAFANIKIWA KUACHA TABIA YAKE?
NA JE WEWE UNAHISI SABABU YA BINTI KUSHINDWA KUACHANA NA TABIA YA UMALAYA NI NINI?
NAMBA 08
Hata hivyo binti hakuwa muelewa wa haraka, hivyo hakupata fursa ya kuelewa kwamba ni kwanini anashindwa kuachana na tabia yake ya kujiuza. Aliketi kitandani akiwa amepakata Biblia halafu akasema “Kwa hili Mungu naamini utanisaidia niweze kuepukana na hii tabia ambayo imenitesa sana” alipomalizak uongea sentensi ile, aliichukua simu yake na kutazama kulikuwa na missed call kadhaa kutoka kwa Rashid, maana aliiacha nyumbani ili isimsumbue kwenye ibada.
Vaileth alimtumia ujumbe mfupi kijana Rashidi kwa kumuandikia “HELLO” halafu akaweka simu pembeni na kuanza kuvua zile nguo alizotoka nazo kanisani kwani alikuwa anahitaji kuvaa mavazi tofauti na ya ibadani
Akiwa anabadilisha mavazi, Rashidi alimpigia simu, binti akapokea
RASHID: Hallo, mambo
VAILETH: Safi tu mzima wewe
RASHID: Mi mzima sana, ulikuwa wapi maana nimepiga mara nyingi sana
VAILETH: Nilikuwa kanisani…nikawa nimeacha simu nyumbani.
RASHID: Haya sawa, umesharudi nyumbani?
VAILETH: Ndio
Rashid alitulia kimya bila kuongea ndipo Vaileth akauliza “Kwani ulikuwa unataka kuniambia nini Chid?”
RASHID: Nilitaka tu nikusalimie si unajua ni siku nyingi kidogo hatujaonana naona kama uko bize sana
VAILETH: Ni kweli mpenzi, lakini usijali sasa hivi niko free, nilikuwa na stress za hapa na pale
RASHID: Una stress gani ambazo unashindwa kunishirikisha?
VAILETH: Binafsi tu…nawaza maisha sina kitu chochote natamani hata niwe na biashara sana
RASHID: Vaileth
VAILETH: Abee
RASHID: [alikaa kimya na kuwaza halafu akaongea] anyway nitakuja hapo kwako baadaye kidogo, ninataka tuongee mambo fulani fulani
VAILETH: Saa ngapi?
RASHID: Kwenye saa kumi na mbili hivi au hautakuwepo?
VAILETH: Nitakuwepo, leo sina ratiba ya kwenda popote
RASHID: Basi poa nitakucheki
VAILETH: Poa
Rashid alikata simu yake kisha akaendelea na shughuli yake ya bodaboda, huku Vaileth naye akiweza kuvaa dera lake safi halafu akaketi na kuwaza
‘leo inabidi nipike, masuala ya kula kwa mama ntilie akati mimi ni mwanamke sio vizuri….si ndio et?’ alijiuliza mwenyewe halafu akasogea jikoni na kuutikisa mtungi wa gesi akaangalia kama kuna gesi bado, akakuta bado inamtosha kwa kipindi kirefu tu.
Aliketi tena huku akikuna nywele zake kichwani kwa kutumia kidole chake cha pili cha mkono wa kulia. “Hapa nipike wali samaki” aliwaza na kuinuka akaangalia kwenye pochi na kutoa elfu kumi. Kisha akatoka na kurudishia mlango, huyooo mpaka sokoni.
Alihemea vitu vyake vya kupika na ilipofika mida ya saa 11 na nusu alikuwa ameshapika wali safi kwa samaki, ndipo akamtumia ujumbe Rashid “Nimepika njoo ule”
Rashid akauliza “Umepika nini?”
“Wali Samaki”
“Nakuja hapo sio mda”
“Poa”
Rashid alidandia pikipiki yake kisha akaendesha mpaka karibu na kwa binti ndipo akaingia gengeni na kununua parachichi kisha akaenda nalo hadi pale kwa Vaileth. Vaileth alikuwa hajaanza kula bado, alikuwa anachezea simu yake taratibu huku akiwa amejilaza kitandani
“Hodiii” alisema Chid huku akifungua mlango na kuzama ndani
“Karibu” alisema Vaileth
“Duh nyumba inanukia wali hii mama ake, inaonekana unajua kupika kishenzi yaani”
“Hahaha…kawaida tu” alisema binti huku akiketi na kushuka kitandani akachukua sahani na kumpakulia Rashid wali.
“Shika hili parachichi lioshe basi”
“Mh kubwa, umenunua shilingi ngapi?”
“Mia tano”
Vaileth aliosha parachichi na kulipasua kisha akampatia Chidi na kutaka kujipakulia chakula chake
“Wee mbona unapakua kingine? Tule hiki hiki”
“Mh utashiba?”
“Acha mambo yako, tusiposhiba si unapakua kingine…..wewe unaogopa kula na mimi”
“Hahahaa hamna Chidi” Vai aliongea kisha akachukua kijiko na kusogea kwenye sofa akaketi na kuanza kula kwa mkono wa kushoto, Chid akawa anamshangaa
“Unatumiaga mashoto?”
“Ndio, kwani vibaya?”
“Sana, halafu unalia kweli? Sio vizuri”
“Mh mi sipendi kuambiwa hivyo, ndo maana nilikuwa sitaki tule wote” alisema Vaileth huku akitaka kuususa msosi, Chid akamvuta na kumshika kiuno
“Kaa hapa unaenda wapi sasa?
“Nalala”
“Haa…wakati hujala? Kumbe una hasira za haraka sana Vai”
“Hamna” binti alisema huku akikaa, Chid akampa kipande cha parachichi “Asante
“Haya usikasirike, maana nasikia pia watu wanaotumia mkono huo ni magenius sana, wana akili balaa”
“Sidhani, sasa mi nina ugenius gani?”
“Si una degree wewe?”
“Kwani hamna wanaotumia kulia na wana degree?”
“Okeeee….anyway, unajua umenichanganya sana kusema una stress za maisha, hivi Vai kwanini tu tusioane tukaishi pamoja mbona mimi nina uwezo wa kukufanyia mambo makubwa tu? Au hunipendi kisa mimi bodaboda?”
Vaileth alitafakari, alikuwa kweli ana uhitaji na mume, na Mungu alikuwa anaelekea kumjibu ombi lake, lakini binti alisita kisha akamuuliza swali moja Chid
“Kweli unataka unioe?”
“Ndio, hata kesho ukitaka mi nakuweka ndani, au unataka mpaka iwe harusi kubwa?”
“Hapana sio hivyo, hata mimi pia ninahitaji sana kuolewa, ila nipe siku tatu nitakujibu”
“Swa hamna tatizo, vile vile fikiria na la dini pia”
“Mh dini tena? Kubadilisha au?”
“Yeah…”
“Mbona mtihani mkubwa huo?”
“Ndio maana nikakuambia ufikirie vizuri…..ukija kunipa hilo jibu unipe na la dini pia…sawa mama?”
“Sawa baba”
Waliendelea kula chakula, binti alikuwa na mtihani mzito sana akilini mwake, alishamuomba sana Mungu ampe mwanaume wa kueleweka, lakini Vai alisita kidogo kwa sababu alikuwa anahitaji akamshikrikishe Mungu kwanza ili asiwe amechukua maamuzi bila kumuomba Mungu wake.
Baada ya kula Chid aliondoka, wala hakuwa na papara kufanya na binti suala la mapenzi kwa sababu alikuwa anajua ni wa kwake tu, alipofika mbele alisema “Akikubali naweka ndani kabisa huyu demu anaonekana anajielewa sana….pia anajua kujali’
Haya yalikuwa mawazo tu, lakini nyuma ya pazia hakujua kuna nini, hakujua binti ni mchafu sana….aliondoka kwenda kutafuta abiria wa kufungia siku ile……
JE ITAKUWAJE?
VAILETH ATAMKUBALIA CHIDI AU ATAMKATALIA?
NAMBA 09
Siku moja ilipita, na kwa kuwa Vaileth alikuwa ameshawekewa wazo kwamba amfikirie kijana Rashid kuhusu suala la ndoa na dini alikuwa akilifikiria sana. Ni kweli alikuwa anatamani sana ampate mume lakini bila kumshirikisha Mungu wake, hakuamini kwamba atakuwa amepata mume sahihi.
Ilikuwa ni usiku saa moja, siku ya jumatatu, ndipo Vaileth alitoka nyumbani na kujiweka mtandio wake akaamua kwenda kwenye madhabahu kanisani kwa ajili ya kumuuliza Mungu kama kweli ndiyo kamletea yule mwanaume au la.
Alipofika aliingia kanisani na kuketi kwenye kiti cha mbele kabisa akawa anaomba kwa mwendo wa taratibu. Alipokuwa akiomba machozi yalikuwa yanaanza kumtiririka akainuka na kusogea mbele akapiga magoti na kuanza kuomba kwa sauti kubwa sana.
Ndani ya dakika kumi na tano binti alikuwa akiomba tu, na alipofikia muda fulani alimaliza maombi yake lakini akabaki amesimama anatazama mbele madhabahuni. Alipatazama kwa muda mrefu sana ndipo akageuka ili atoke nje.
Alishtuka sana baada ya kuona mtu ameketi kiti cha mwisho kabisa nyuma, anamtazama “Oh Mungu wangu” alisema na kusita kwanza huku akiweka mkono kifuani kumaanisha kwamba ameshtuka
Yule mtu alitabasamu, na alikuwa sio mwingine, ni mchungaji Emmanuel Kaaya. “Vipi mbona umeshtuka?” aliuliza mchungaji
“Umenishtua!! Kumbe ni wewe Pastor” alisema binti huku akisogea kuelekea kule alipokuwa ameketi Mch. Kaaya “Bwana asifiwe”
“Amina, naona unaendelea na maombi yako ya kila siku binti”
“Ndio, ninataka kuwa karibu na Mungu wangu zaidi….”
“Yesu akusaidie”
“Amen, halafu ni kweli tangu siku ile nimeona matokeo mazuri mchungaji wangu”
“Anhaa, ni jambo jema sana” mchungaji alisimama na kutazamana na Vaileth, akamtupia swali “Kwanza wewe una miaka mingapi?”
“Nani mimi?…..ah….nina miaka 27”
“Oh, umeshakuwa sasa, lakini, na unaonekana mchangamfu pia, jana nafikiri uliona neon nililotuma kwenye kundi la WhatsApp la kanisa” mchungaji aliongea
“Kundi la WhatsApp la kanisa?”
“Ndio”
“Mbona mimi sijui kama kuna kundi la WhatsApp la kanisa?”
“Lipo, kumbe haupo, mbona nili-share link na watu wewe haukupata?”
“Sikupata pastor, embu niunge leo leo”
“Basi sawa, utanicheki kwenye namba yangu ya WhatsApp”
“Sina namba yako” binti alisem huku akiitazama simy yake na kutoa lock “Nitajie nitakutumia message”
“Hamna tatizo, andika “0743……..77”
“Sawa nakutumia muda si mrefu”
“Haya mimi ninarudi nyumbani nikalale, wasije watu wakanikuta huku mi na wewe wakaanza kuwaza mambo mengine” alisema mchungaji
“Hahahaa…ni kweli, ila asante sana mchungaji, ngoja na mimi niende nikapumzike pia…” binti aliongea huku akiigusa gusa simu yake “Nimeshakutumia message WhatsApp usisahau kuniadd”
“Usijali”
“Ok usiku mwema Mungu akubariki pasta”
“Amina, na wewe pia”
“Haya”
Pastor alitoka akaondoka zake, hata hivyo Vaileth pia aliondoka, moyoni alikuwa na furaha isiyo na kifani, aliamini kuwa Mungu atamuonyesha ukweli kwamba Rashid ni mume sahihi au la
Alinunua Fanta Passion ya kopo halafu akaenda nayo hadi nyumbani akaiweka mezani na kuvua nguo zote akavaa ya kulalia na kujirusha kitandani na kuanza kuichezea simu yake.
Ilipita takribani dakika kumi ndipo alishangaa kupokea link ya kujiunga na group kutoka kwa Mch Kaaya akajiunga chapu na kumuambia “Asante Pastor nimeshajiunga”
“Haya wala usijali nita-share neno la usiku muda sio mrefu”
“Sawa mtumishi”
Aliendelea kuangalia group lina nini, ni kweli lilikuwa na amsha amsha sana, alipotazama watu wanachat sana, akatuma ujumbe na kusema “Mimi ni mgeni jamani, Bwana Yesu asifiwe”
“Karibu mgeni” alijibu mtu mmoja
“Asante”
Mara pastor Kaaya akajibu ule ujumbe wa kwanza wa Vaileth akasema “Mgeni na atume picha zake tumfahamu”
“Hahahhaaa” Vai alituma ujumbe wa kucheka
Watu wengine wakadakia “Kweli kabisa mtumishi, wengine hatuwajui kwa majina, ni heri wakatuma picha tuwajue kabisa kwa sura”
“Mh jamani haya natuma” alisema Vai huku akitabasamu kwa furaha na kuanza kutafuta picha nzuri sana kwenye simu yake akaituma kwenye group ilikuwa ikimuonyesha uso na kifuani tu ndo mwisho
“Haaah, hatujaridhika, sasa picha huonekani mwili mzima ndo nini?” alidakia binti mmoja ambaye alikuwa mcheshi sana pale kanisani kwao
“Kwelii” watu wengine walidakia kuonyesha kwamba wanahitaji kuona ya mwili mzima
“Jamaniiii…kwani cha muhimu si sura tu ili mnifahamu?”
“Hatutakiii…..tunataka picha full, je ukatumbukia sehemu miguu ikabaki juu, tutajuaje ni wewe?”
“mh haya”
Wakati wanachat yote haya, mchungaji Kaaya alikuwa nyumbani anacheka kwa furaha akiwa kama admin mkuu wa kundi hilo na kanisa kwa ujumla. Alipenda vijana walivyokuwa active
Vaileth naye alijikakamua akatafuta picha mbili nzuri alizowahi kupiga zikiuonyesha mwili wake mzima kisha akatuma kwenye kundi lile. Hakika yule mtoto alikuwa ni mzuri kupita maelezo, alikuwa ana umbo zuri, akijaziwa na Hips, zilizochora umbo lake na kuleta namba nane katika mwili wake.
“Yesu” alisema mchungaji akiwa anazitazama zile picha mbili, alimkagua kuanzia juu mpaka chini, ikabidi amuinbox na kumuuliza “ULISEMA WEWE NI MMASAI?”
Vai akajibu “NDIO PASTA”
“MH HAYA SAWA” alisema Mch. Kaaya
“KUNA TATIZO KWANI PASTOR?”
“HAMNA TATIZO WALA USIWE NA WASIWASI”
“MH PASTOR ULINIAMBIA PIA WEWE UNATOKEA KASKAZINI, KWANI WEWE NI KABILA GANI?”
“MI NI MMERU”
“AAAA….KUMBR MMERU, YEAH NI KWELI KINA KAAYA WAMERU” alisema binti kwa bashasha
“NDIO….VIPI LAKINI UMESHAKULA?” aliuliza pasta
“SIJALA, TENA BORA UMENIKUMBUSHA, NGOJA NILE NILALE MAANA NILIPIKA CHAKULA KINGI MCHANA….KARIBU TULE” alisema binti kisha akashuka kitandani na kwenda kupakua msosi……
NAMBA 10
Alipomaliza kupakuwa alisogea na kuketi kwenye kochi kisha akaivuta simu kitandani na kuangalia pastor ameshajibu
“Asante sana, kwani unakula nini?”
“Nakula ndizi nyama”
“Wow…asante nakuja”
“Kweli???” Alisema binti
“Yeah kwanza unakaa wapi?’
“Mh mi ninakaa Lalimbu”
“Lalimbu???” Pastor aliuliza kwa mshangao kidogo
“Ndio, kwani vipi mbona kama umeshtuka?”
“Hahaa…kumbe tuko mtaa mmoja tu”
“Mmmh wewe unakaa Lalimbu pia?” Vai aliuliza
“Ndio” alisema mtoto wa kike
“Wapi??” aliuliza
“Kwani wewe unakaa wapi pasta?”
“Karibu na hili duka la Mzee Nyoni”
“Khee… hapo tu?”
“Ndio, wewe wapi?”
“Niko nyuma ya Soko la Zamani”
“Ahahaha….Jirani kabisa”
“Ni kweli”
Siku ile Vai na Mch Kaaya walichati sana hadi baadaye ndipo ilipopoa kabisa.
Nikukumbushe ni kwamba pastor Kaaya alikuwa ni kijana mdogo tu mwenye miaka 29. Alikuwa na ndio ameajiriwa mpya kabisa kama mchungaji pale katika kanisa lile, japo lilikuwa kanisa binafsi la mtu mmoja aliyekuwa akijiita Apostle Mwakambonji lakini alimuacha Kaaya pale halafu akaenda uingereza kuongeza elimu.
Vai akiwa amejilaza usiku sana kama saa tano ameshazima data kabisa na kuiweka simu yake chaji, alisikia simu yake inaita ndipo akanyanyua kichwa na kuitazama akakuta ni namba mpya. Akaichukua na kupokea
“Hallo, ushalala?” ilisikika sauti ya kiume upande wa pili
“Ndio, vipi?”
“Safi niko sokoni hapa natembea tembea” alisema mtu huyo
“Anhaa….wewe ni Pastor au?” aliuliza Vai
“Ndio….”
“Mbona usiku sana jamani?” Vai aliuliza
“Anyway kama umelala basi, mi nilijua uko macho nikuone”
“Mh, haya pole mchungaji wangu, ngoja kesho utanitembelea, ni ngumu sana kutoka muda huu” alisema binti lakini ingekuwa ni biashara ya mwili wala asingeogopa kutoka. Siku ile aliamua tu kumuambia pasta vile kwa sababu alikuwa anahisi anampima kitu fulani cha kiimani.
“Okay usiku mwema”
“Nawe pia”
Pasta alikata simu na binti aliirudisha pale ilipokuwa mwanza halafu akaendelea kuusaka usingizi hadi ulipomchukua.
Siku ile Vaileth aliota ndoto fulani, kwenye ndoto yake alijiona yeye akiwa akifunga ndoa na mwanaume mmoja ambaye moja kwa moja binti hakufanikiwa kuiona sura yake hadi pale ilipokatika akashtuka usingizini
Kwenye ndoto hii binti alijiona akiwa amevalia mavazi ya asili ya kiarabu, alifunika kichwa chake na mikono alikuwa ameichora vyema.
Baada ya ndoa kukamilika usiku mume wake gizani alimuambia “kwa kukubali kuolewa na mimi, kamwe hautaweza kuisikia shida katika maisha yako yote”
Baada ya hapo kwenye ndoto pia aliona wakiwa kwenye fungate Zanzibar ambapo walitumia muda mfupi sana na walipoondoka kurejea Farisayo alishangazwa kwani alipelekwa eneo lingine zuri ambapo mwanaume huyo alimuambia kwamba ni tajiri na ile nyumba za kifahari nne zilikuwa za mwanaume huyo alizijenga
Aidha pia mume wake huyo wa kwenye ndoto alimueleza kwamba alishahangaika sana kutafuta mwanamke mtulivu, na alipompata yeye aliiahidi nafsi yake kwamba hatomuacha apeperuke kabisa.
“Nakukabidhi funguo hizi ni za gari yako kesho nitakupeleka kwenye biashara zako ambazo niliziandaa mke wangu wa ndoa aje kuzisimamia, na mke mwenyewe umekuwa wewe, enjoy”
Binti hakuamini moyo ulimuenda mbio hadi akashtuka kwenye ule usingizi, alipofumbua macho alikuta simu yake inaonyesha mwanga, akaitazama kulikuwa na ujumbe mmoja mrefu kutoka kwa Rashid
Ujumbe uliandikwa hivi
“HELLO MREMBO WANGU, NAJUA SAA HIZI UTAKUWA KATIKA USINGIZI MNENE LAKINI NAOMBA UKIAMKA USOME MANENO YANGU HAYA
NIMESHINDWA KULALA KWA SABABU NAKUWAZA WEWE, NINAWAZA ITAKUWAJE SIKU YA KESHO AMBAYO NDIYO WEWE UMENIAHIDI KUNIPA JIBU LA KUKUBALI NIKUOE. NI KWELI NAKUPENDA SANA NDO MAANA NAWAZA MAMBO HAYA, NINA IMANI YA KWAMBA NINAKUHITAJI SANA NA NINAWAZA UKIKUBALI TU HIVI NIKUPELEKE NYUMBANI TUKATAMBULISHANE HARAKA IWEZEKANAVYO.
NAKUOMBA UKIAMKA UENDELEE KUNIFIKIRIA, MNAMO SAA SABA MCHANA NITAKUJA KULICHUKUA JIBU LANGU KWAKO. NAKUPENDA SANA VAILETH, UWE NA NJOZ NJEMA”
Vaileth alishtuliwa na ujumbe ule kidogo, alipotazama majira aligundua ni saa tisa na nusu, aliwaza mambo mengi sana kuhusiana na Rashid
JE HII NDOTO INAMAANISHA NINI?
NA JE UNAMSHAURI NINI RASHID?
PIA UNAMSHAURI NINI VAILETH LAIZER?
NAMBA 11
Asubuhi na mapema binti aliamka alikuwa anawaza mambo mengi sana kuhusiana na ile ndoto aliyoiota. Kimoyomoyo alijisemea “Rashid ndiye mume niliyepangiwa na Mungu” alitabasamu halafu akajiuliza kwa sauti ndogo “It means kweli nitabadilisha dini mimi?? Mimi kabisa mimi??”
Aliwaza mambo mengi sana. Lakini bado hakuamini kwamba ile ndoto ndicho ilichokimaanisha, alipokea ujumbe kutoka kwa Mch Kaaya, “Habari, umeamkaje?”
Akajibu “Nimeamka salama, wewe je?”
“Mungu ni mwema”
“Nikuulize kitu pastor?”
Pastor aliposoma ule ujumbe aliamua kumpigia simu moja kwa moja binti huyo halafu wakaanza kuongea, kwa kifupi ni kwamba Vaileth alikuwa anataka mchungaji amfafanulie ile ndoto.
Alimuhadithia ndoto nzima mchungaji akacheka sana “Haki siwezi kuielewa, au labda Mungu amekuonyesha mchumba?”
“Sijajua ila ni kwamba mimi nimeingia kwenye mahusiano na mwanaume mmoja wa kiislam, na juzi aliniambia nimfikirie kama nitakubali anioe. Sasa baada ya kuipata hiyo ndoto tu ilinivuruga nikashindwa kuelewa kama ndiye au siye”
“Kama umeoteshwa ndoto kama hiyo, ndiye. Lakini pia nitajitahidi kuongea na roho mtakatifu anifafanulie zaidi” alisema Mchungaji Kaaya.
“Nitashukuru”
“Usijali basi, nikutakie asubuhi njema, ngoja nifue kidogo” mchungaji alisema
“Mh pastor unafuaga mwenyewe? Kwanini hata vijana wasije wakakusaidia kufua?”
“Vijana wenyewe ndio nyie, njoo basi wewe unisaidie kufua”
“Mh, sasa namsubiri mgeni wangu, labda ingekuwa kesho”
“Nikiziacha leo, je kesho utakuja?”
“Ndio nitakuja kukusaidia mchungaji”
“Basi sifui tena, na ubarikiwe”
“Eimeen”
Mchungaji baada ya kukata simu, Vaileth alishuka kitandani aliswaki na kwenda mtaani maana alihitaji apate supu iliyoenda shule.
Alipomaliza kunywa supu alipokea simu kutoka kwa Rashid “Hallo Chid” alisema Vai
“Najihisi kukuona. Upo nyumbani nije?”
“Ndio nipo nyumbani mpenzi”
“Sawa ninakuja”
Rashid alikuwa na hamu sana ya kwenda kupata jibu kutoka kwa Vaileth, hakika alikuwa na nia mathubuti kabisa ya kumuoa binti yule.
Na pia upande wa Vaileth alikuwa anawaza kutokana na maneno aliyoambiwa na pastor kwamba ni Mungu amemjibu basi binti alijikuta moyo wake ukimlainika na kutamani kumkubalia Rashid.
Vaileth alipofika nyumbani aliingia bafuni akaoga, akiwa anaoga pikipiki ya Rashid ilitua nje ya chumba chake, binti hakuisikia lakini, mlango alikuwa ameuacha wazi hivyo moja kwa moja Rashid aliingia ndani kwa Vaileth huku akiita ‘Vai Vai….’
Mkononi alishika mfuko uliyojaa vitu vya kupika, alijua Vai anapenda nyama ni mtoto wa kimasai, mzuri sana. Aligundua Vaileth yuko bafuni baada ya kusikia maji yanataririka kule ndani ya chumba chake. Akaweka mfuko chini halafu akaketi huku akichezea simu yake taratibu.
Kwa kuwa Vaileth alikuwa akiamini chumba kile aliishi peke yake, basi baada ya kuoga alitoka bafuni bila kuvaa nguo yoyote halafu akatua chumbani uchi.
Alipofika chumbani alishtuka nusra adondoke, hii ni mara baada tu ya kumkuta Rashid akiwa amekaa kwenye sofa.
“YESU WANGU” alisema kwa mshtuko huku akirudi nyuma
Rashid alimgeukia akakuta ni Vai yuko uchi, ikabidi acheke, na Vai akaingia tena bafuni lakini Chid alikuwa ameshalishuhudia umbo la binti ambalo ni mathubuti lililoumbwa likaumbika hasa.
“Sasa unaogopa nini?” aliuliza Chid
“Umenishtua Chid” binti aliongea akiwa ndani ya bafu halafu akajifunga taulo na kutoka nalo hadi chumbani. “Umekuja bila taarifa”
“Mh taarifa sijakupa Vai?” aliuliza Chid
“Ah, basi tu”
“Pole, ila nimeona minyama, umejaliwa!!!” Chid alimsifia Vai akatabasamu na kuusogeza ule mfuko kisha akaketi kitandani, Chid akasema “Nimekuletea vitu vya kupika, unaweza ukaandaa na mimi nile hapa hapa?” aliuliza
“Umenunua nini?” Vai aliuliza huku akiufunua ule mfuko na kutazama ndani akaona kuna matunda, nyama, mchele na mafuta lita moja, bila kusahau viungo vya mboga kama nyanya, vitunguu, biringanyi n.k “Mh unajua kujali Chid, inaonekana nikiolewa na wewe nitafaidi sana” alisema mtoto wa kike na kuifunga vyema taulo yake.
“Napenda mwanamke wangu awe na furaha muda wote japo hujawahi kunililia shida ila ninaamini unahitaji huduma kama hizi” alisema
“Ahsante Chid” alijibu binti huku akisogea kwenye kabati la nguo akafungua na kutoa nguo ili abadilishe lile taulo.
Akiwa anakagua nguo kabatini, mara ile taulo ilimdondoka binti akabaki uchi wa mnyama kabisa. Na kwa kuwa aliamini Chid ni mpenzi wake, wala hakuhangaika kujifunika aliitafuta kufuli. Macho ya Rashid yalitua juu ya umbo la binti akawa anamtazama
Kadri alivyomtazama alisikia mwili umebadilika kabisa, Chid ni muda hajatawanyiwa miguu, alijikuta ameinuka bila kutarajia na kumsogelea binti ambaye alikuwa uchi bado.
Chid alimvuta kwa nguvu binti akadondoka kufuli na sidiria kule akamgeukia Chid na kutua kifuani mwake akisema “Ah niache kwanza bana Chid”
Chid hakuweza hata kumuongelesha, alimvuta kwa nguvu akaketi naye kwenye kochi huku akiwa amempakata, mkono wake wa kulia uko juu ya nyonyo moja ya binti.
“Ngoja nivae nipike tule basi, jamani?” alisema binti huku akimtazama usoni Chid ameshabadilika muda mrefu.
Chid alimsogezea mdomo na kutaka busu lakini binti alijaribu kulikwepa na kumuambia tena “Chid, mbona unanifanyia hivi?”
“Nakupenda Vai” alisema huku akimtazama, yaani walipotazamana machoni, Vai aliona hisia kali, akajikuta naye anahitaji ulimi wa Chid kwani hata yeye alikuwa amekaa muda kidogo bila kufanyiwa kitu chochote mwilini na alikuwa amezoea.
Vai alimpa mwenyewe ulimi, wakanyonyana huku wakipapasana na hata kupelekea Chid kumbeba na kumlaza kitandani halafu akavua nguo zake haraka haraka, anataka apate ofa ya msichana yule aliyekuwa amempenda sana
“Nisamehe sikupanga iwe hivi lakini nimeshashindwa kuvumilia mpenzi” aliongea mtaalamu huku akipanda kitandani hana hata boxer. Binti analitazama dudu limening’inia lile.
Alimkumbatia kitandani halafu wakazidi kunyonyana mate. Mtoto wa kike anasikia inamgusa gusa tu juu ya kitumbua chake, akaanza kukatika hata haijaingia.
Alichokifanya Vai aliuchukua mkono wake na kuishika akaanza kujisugua sugua nayo juu kwenye kisimi,….
NAMBA 12
Alichokifanya Vai aliuchukua mkono wake na kuishika akaanza kujisugua sugua nayo juu kwenye kisimi wakati bado wananyonyana mate taratiibu. Alijisikia kuingiziwa akajilengeshea mwenyewe na kadri Rashid alivyojisukuma iliingia mpaka mwisho.
Vaileth aliuachia ulimi kwani alisikia raha zilizopitiliza, alikuwa amefumba macho kichwa kakigeuzia ukutani halafu anatoa miguno iliyoonyesha jinsi anavyopata raha mathubuti.
Rashid alichochea taratiibu kwa mapozi huku akimtazama msichana huyo machoni kwa hisia. Vaileth alikuwa analia, alikuwa anasikia raha sana. Alikuwa akikitikisa kiuno chake taratibu huku akitoa sauti nyembamba ya mahaba ikawa inapenya katika masikio ya Rashid.
Rashid alimchochelea kwa taratiibu sana. Binti alimkumbatia na kumpa mate kwa sekunde kumi halafu akamuachia na kumuangalia usoni. “Chid mi nakupenda” alisema Vaileth
“Please mpenzi naomba unikubalie nikuoe, nasikia raha ninavyokuwa karibu yako kwa namna hii, naomba uwe wangu wa halali, I promise nitakutunza” alisema Chid
Vaileth alimtazama usoni Chid alikuwa anaonyesha uso wa kumaanisha kwamba anataka kumuoa mtoto wa kike.
“Nimekubali mume wangu” alisema binti kwa hisia na kumkumbatia zaidi Rashid
“Kweli mke wangu?” alisema mtoto huyo wa kike
“Ndio……”
Chid kwa furaha aliyoipata kwa kukubaliwa kuona, alimpanua binti miguu vizuri halafu akachochea kwa speed ya hali ya juu
“Aaah….ah…..aaah…..sssssh baby,…..baby nisugue mume wangu **oo yako ni tamu aaaaassssh” alilia mtoto wa kike huku akikipandisha kiuno juu na kumsababisha Rashid amkojoleee ndani.
“Ooooh…baby” Rashid alisema
“Asante honey” alisema Vai
Chid taratiibu aliichomoa mashine ndani na kujilaza kando huku kijasho chembamba kikimtoka na kuhema kwa nguvu kwani shughuli ilikuwa ni nzito. Vai alihangaika akalichukua taulo na kujifutia halafu akajilaza na wote walifumba macho kulisindikizia bao zito.
**
Baadaye Vaileth aliamka akaaenda bafuni halafu aliporudi alianza kuandaa vitu vya kupika, siku ile waliongea mambo mengi sana kuhusiana na jinsi watakavyooana. Pamoja na hayo, walipanga siku ya kwenda kutambulishana kwa walezi wa Rashid, ni wiki mbili baadaye kwani alikuwa anataka kuharakisha amuoe binti ndiye aliyekuwa ameridhika naye.
Binti alipika chakula murua wakala na hata kuendeleza kudinyana halafu baadaye Rashid aliondoka akaenda zake mtaani kusaka pesa zaidi.
*
KESHO YAKE
Ilipofika kesho yake asubuhi saa tatu mchungaji Kaaya alimpigia Vaileth simu “Vai, bwana asifiwe”
“Amen mtumishi u mzima?”
“Mimi ni mzima kabisa. Ehee niko nyumbani vipi ile kazi unakuja kunisaidia au nipambane na hali yangu?”
“Pastor ninakuja, nitakusaidia usijali”
“Saa ngapi utakuja?”
“Muda si mrefu, kuna kitu namalizia hapa halafu ndo nije, kama nusu saa tu hivi nitakuwa hapo”
“Nitashukuru sana” alisema binti
“Usijali”
Mchungaji alikata simu
Vaileth alikuwa anafanya usafi ndani kwake, na baada ya kuhakikisha ameshaosha vyombo, amedeki chumba na choo, binti aliondoka pale nyumbani akiwa amevaa kijora kisha akaelekea mpaka kwenye duka la mzee mmoja aliyekuwa anaitwa Nyoni halafu akampigia Mch. Kaaya
“Hallo pastor”
“Hallo”
“Niko hapa dukani kwa mzee Nyoni, nijie njia ipi?” aliuliza Vai
“Nisubiri nakuja hapo”
“Sawa” Vai alisema na kukata simu yake halafu akakaa kimya kumsubiri mchungaji aje pale dukani.
Ni kweli, haikuwa mbali kutoka maeneo yale ya pale dukani, na ndani ya dakika kama tatu hivi alitokea mchungaji na kumkuta binti pale akiwa anamsubiri.
Vai alipomuona alimfuata “Mchungaji” alisema binti kwa tabasamu
“Mzima?”
“Mzima sana pasta……unakaa wapi?”
“Twende” alisema pastor huku akigeuka kuelekea kule alipotoka
Vai alimfuata nyuma huku akisema “Sikujua unakaa hapa karibu kiasi hiki, ningeshakuwa nimekuja kukusaidia kazi nyingi” alisema binti, na sio kwamba alikuwa anamaanisha hana msimamo ila mara nyingi walokole wanapenda sana kuwasaidia kazi za nyumbani wachungaji na watumishi wao.
“Nipo tu hapo kwenye hilo geti jeupe” alisema Kaaya huku akinyoosha kidole kwenye geti fulani lililokuwa mbele yao
Kimya kiliwatawala kwa sekunde kadhaa hadi wakalifikia lile geti, na mchungaji alipofungua waliingia ndani halafu akafunga geti na kwenda mpaka barazani.
Alipofika barazani alikuta mchungaji ameshazitenga nguo zote chafu pale ili binti amsaidia kuzifua. Mchungaji akafungua mlango wa sebuleni aingie ndipo akamkaribisha binti
“Ingia ndani kidogo”
“Mh hapana. Kwa kuwa nguo ziko hapa na vifaa vyote. Ngoja nianze kazi yangu ili nimalize mapema” alisema binti
“Sawa hamna shida mi niko ndani naangalia angalia TV”
“Sawa”
Vaileth alizicheki nguo, bomba la maji halipo mbali, akazisogeza pale na sabuni na ndoo na beseni halafu akaanza shughuli yake. Alifua kwa muda wa nusu saa akiwa amekalia ndoo. Mwishowe akaona kama amechoka kukaa, hivyo akasimama na kuchuchumaa akaendelea kufua.
Ubaya ni kwamba yule mwanamke alikuwa na bonge la kalio, halafu alivaa kijola pamoja na chupi tu ndani, kadri alivyoinama nguo ilimbana matako na kufanya mchoro wa chupi kuonekana.
Kwa bahati mbaya sana, Pastor naye alichoka alikumbuka kuna shuka chafu kitandani, hivyo akatoka sebuleni na kwenda chumbani akalitoa lile shuka ili akampatie binti aweze kumsaidia kulifua.
Mchungaji alipofika tu mlangoni hivi, alikutana macho kwa macho na wowowo ya binti maana alikuwa ameigeuzia kule barazani ambapo ndo kuna mlango. Mch Kaaya alisita kwanza akalitazama kalio limenona nalo likamatazama kumtamanisha.
Vaileth bila kujua lolote linaloendelea nyuma yake, alizidi kufua, na kadri alivyokuwa akisugua nguo, alikua akilitikisa taratibu.
Hisia zilimuandama mchungaji akafumba macho na kumuomba Mungu amuepushe na kikombe kile. Ghafla Vai aliinuka na alipoinuka kalio lake liliibana chupi katikati pamoja na kijola, ndo mchungaji akapagawa na kujikuta anasema “Wow”
Kwa mbali Vai alihisi kuna mtu nyuma yake, akageuka na kumkuta mchungaji amesimama pale. Vai akagundua alishamfanya apagawe, hivyo akaona aibu na kugeuka huku akisema “Pastor” na kutabasamu “Kumbe upo hapo”
“Ya…..ya……yaah nilikuletea na hili unisiaidie pia” alisema binti
“Hamna shida” alisema Vai halafu akalifuata na kulipokea.
Pastor alirudi ndani huku akiwaza lile kalio la mtoto wa kike lilivyonona, na lilivyotikisika, hakika alijikuta anawaza uzinzi pale pale.
“Mimi ni mtumishi wa Mungu, sitakiwi kuwa na tamaa kama hizi…Eh Mungu nisaidie”
INAENDELEA……….