NAJUTA KUMUOA CHANGUDOA
SEHEMU YA 26
Dah huyu dada alivyoniambia hivyo alinisisimua kiukweli sijawahi kusisimka namna hiyo ikabidi niweke chombo fasta nika nawa mikono nikamfasta fasta nikiwa nimesimama mbele yake bila kujifichaficha kama mwanzo “Unataka kujua hichi nini eehee”Akawa anacheka cheka huku anaona aibu basi nikamrukia kwenye kochi alilokaa nakuanza kumpa mate naye akapokea bila hiyana huku mikono yake miwili ikiwa inashusha suruali yangu niliyovaa bila mkanda nami nikajiongeza nikaanza kumvua blauzi yake aliyovaa nikambakiza na sidiria nikayabetua maziwa yake nikaanza kuyanyonya aise nilichanganyikiwa nikajisemea kimoyomoyo “Huu sasa ndo utamu wa ngono niliokuwa nautafuta”Mara akanistopisha kidogo huku akiwa tayari kashanivua suruali nimebaki na pensi “John nikwambie kitu””Eehee niambie””Mlango hatujafunga”Fasta nikanyanyuka kwenda kufunga na kurudi alafu akaniambia kingine “Hapa tupo sebuleni mama yako akija msala,alafu John una kinga chumbani kwako””Sina””Basi kanunue mpenzi nakusubiri”Aise nilitoka nduki fasta kwenda kufata kondom dukani ili nirudi nije kuuonja utamu wa ngono.Fasta kondom hii hapa nduki hadi home nafika home nakuta kuna viatu vya mama mlangoni dah aise nilichukia mama imekuwaje amewahi kurudi mbona hii kama sijaipenda vile.Nikaingia ndani nyege zote zimeniisha mama alishafika sebuleni “Vip mbona unahema hivyo””Hamna kitu mama, shikamoo””Marahaba unajua matokeo ya kidato cha sita yametoka Leo ushaangalia matokeo”Duh aise nilikuwa sijui hata kama matokeo yametoka Leo maana siku hivyo ilivyoaanza niliaanza kwa kuamka nakujua Leo ni birthday yangu natimiza miaka 20,Pili nikaenda kuonja utamu wa ngono kwenye mabanda ya malaya Temeke Sudani na Temeke sokota.Baada ya kuukosa utamu wa ngono ndipo nimerudi nile nikahadithiwa story tamu na mfanyakazi wetu Frida story iliyopelekea mpaka sasa nataka nionje tena utamu wa ngono na kinga ninazo mfukoni hii habari ya majibu ya kidato cha sita ni mpya Leo.”Dah Sina habari””Ndo hivyo majibu yametoka ,Kesho itabidi uende wilayani kuangalia majibu yako” Enzi hizo mitandao haikuwepo. Basi ikabidi niende chumbani kwangu kujipumzisha nikapitiwa na usingizi ilikuwa ni mida ya saa kumi na mbili jioni nililala mpaka saa mbili “Kaka John chakula tayari”Ni sauti ya mfanyakazi akinishtua nikale chakula.Nikaamka kiunyonge kwenda kufunua mapoti maana zile nyege zilikuwa zimekatishwa na ujio wa mama.Kufika sebuleni nikakuta mama hayupo “Mama yuko wapi?”Nikamuuliza mfanyakazi (Frida) “Ametoka yupo na rafiki zake pub ya hapo nyuma”Basi hapo nikaona hiyo ndo nafasi nikamvuta Frida”Mpenzi tumalizie basi””Mmh hapana John tufanye hata kesho mama yako anarudi saa hivi””Kwani kaondoka saa ngapi””Muda si mrefu””Harudi saa hivi huyo” nikamvuta Frida nikamtupia kwenye kochi na kuanza kumvua brauzi “John mbona huna haraka sana” Alibaki kuniuliza tu huku mimi nikiendelea kumsaula akabaki maziwa wazi nikaanza mnyonya maziwa nyege zikampanda akawa mikono yake kazamisha kwenye suruali yangu akalitoa dude langu Kisha akaniambia lala Kwa hapa nikalala kwenye kochi akaanza kuninyonya koni dah utamu niliosikia hapo sijawahi kuusikia toka nimezaliwa aise kumbe tamu mara ile nataka kukojoa tukasikia sauti ya mama akifungua Geti la nje kuingia ndaniĀ “Kwa hiyo kesho tena usiku mwingi huu””Eehee huyo sio mama yako?””Mama huyo”
SEHEMU YA 27
Tukavaa harakaharaka na kumfungulia mama.Mama alipofika tulikula mwisho wa siku tukaenda kulala.Siku iliisha kwa staili hiyo.Kesho yake kama kawaida nilitoka na mama asubuhi tukachukua daladala mimi nikashuka wilayani kwaajili ya kuangalia majibu.Majibu hayakuwa mazuri nilipata div four hivyo ilibidi niende ofisini Kwa mama kuhusu habari za majibu kama tulivyokubaliana nyumbani lakini nilipofika ofisini Kwa mama ambapo ni bandarini nilipata taarifa kuwa mama yangu amepata ajali ya chombo fulani kizito kimemuangukia kichwani alikuwa anapita karibu na fork lift Kwa kweli taarifa hizo zilinihuzunisha sana ilibidi niwahi hospital lakini nikakuta mama ameshafariki.Tulimzika mama na tukakaa kikao cha kifamilia ambapo baadhi ya wajomba zangu walitaka waje wakae nyumbani na wake zao ili wanilee pia wanisomeshe chuo cha kulipia.Mimi nikawakatalia kwani Kwa umri nilio nao wa miaka 20 sio mtoto wa kuongozwa hasa ukizingatia mama yangu aliacha nyumba mbili kubwa moja tunaishi sisi na pia kuna mabanda ya uhani kuna wapangaji,Pia nyumba nyingine ni ndefu imeenea uwanja mzima inavyumba 10 kodi elfu 50 kila chumba ukipiga mahesabu nyumba zote kwa mwezi mama alikua anapata laki 9 hivyo mimi sikuona umuhimu wa mtu kuja akae nyumbani ili anilee na badala yake mimi naweza kujilea mwenyewe ,Wajomba na mama wadogo walitoa maneno mazito ya kunilaani na kuniita mtoto mdogo hivyo yapaswa niwe chini ya uangalizi wao na mali wazisimamie wao ila mimi nikasimama kidete na hatimaye wakakosa hoja za ushawishi hivyo nikaachiwa mali za mama yangu nizimiliki mwenyewe.Kipindi chote hicho cha msiba Frida alikuwepo bado palepale nyumbani mpaka msiba ulipoisha ndipo wanafamilia walitawanyika nyumbani kwetu na kutuacha Mimi na Frida.Baada ya kifo cha mama ilibidi nikuwe sasa nikamuita Frida kumueleza kuwa mama ameshafariki na ndiye aliyekuwa akikulipa mshahara ,Mimi sihitaji mfanyakazi na hali yangu hainiruhusu kuwa na mfanyakazi hivyo anaweza kwenda Ila Frida akawa analia na kuniambia “Yahaani John kukueleza kote matatizo yangu bado unanifukuza nyumbani kwenu”Kwa kweli hili neno la kuwa namfukuza nyumbani kwetu liliniuma kwani sio kwamba namfukuza ila binafsi mimi sioni umuhimu wa kuwa na mfanyakazi “Hapana Frida, Sio kwamba nakufukuza Ila mimi sihitaji kuwa na mfanyakazi kwani mimi najimudu kazi zangu””Hapana John wewe lengo lako mimi niondoke yahaani unipendi” Huku akijiliza hali ambayo ikanifanya nijihisi ni mwenye makosa nikamshika kichwa chake ili nimfute machozi yaliyokuwa yakimtoka ajabu akanirukia mdomoni na kuanza kunipa mate,nami haya mambo ni mgeni nayo nikajikuta napokea denda,Basi akanivua nguo harakaharaka naye akavua nguo fastafasta akakalia mashine yahaani haikuchukua hata dakika tano nikakojoa dah yahaani nilipata bonge la raha nikajisemea kimoyomoyo “Mmh ndo maana watu wanahonga magari”. Wakati huo Frida alikuwa kanisogelea sikioni huku akiongea kwa sauti ya kimahaba iliyozidi kunipagawisha “Baby Nakupenda sana kwanini unataka niondoke jamani” Wakati huo mimi nilikuwa nakojoa “Mmh,mmh ,Hapana” “Basi tuoane”
SEHEMU YA 28
“Basi tuoane”Alisema Frida kwa maneno ya kuchombeza huku akiachia kicheko kidogo “Aahaa”Yahaani ni wazi alishaivuruga akili yangu “Yahaani nikimuoa huyu huu utamu kama wote ndo kila siku”Nilijiwazia kisha nikanyanyuka nikakaa kwenye Kochi nikamwambia “Upo serious kweli””Ndio nipo serious nioe bwana tuenjoy” Jibu langu hapo kimoyoni lilikuwa ni ndio ila nikawaza mambo mawili toka mama ameshafariki hazikupita hata siku arubaini alafu mimi nitangaze kuoa,la pili ni kuwa nikitangaza ndoa wale wajomba na mama wadogo watapata nguvu kwenye ukoo kuonyesha jamani si mnamuona huyu mtoto hana akili inapaswa asome aende chuo yeye anatangaza kuoa.Baada ya kuyawaza yote hayo nikamwambia Frida “Haiwezekani Kwa sasa” “Kwanini baby”Yahaani ni kwa sauti nyororo sana. Nikamueleza sababu zote mbili yahaani nilishasahau kuwa huyu demu aliwahi kuwa changudoa ila yeye ndo akanikumbusha “Sababu ndo hizo tu au kwasababu nishawahi kuwa changudoa?” Sasa hapo nikakumbuka kuwa Frida aliniambia amekuja mjini ataishi home kujenga uaminifu Kwa mama Kwa kuzugazuga kisha akishaaminika ataacha kazi Kwa usalama ili akafanye biashara zake.Sasa Mama hayupo inamaana sababu yake ya kuzugazuga haipo sasa anangoja nini hapa si akaendelee na biashara zake huko.Nilichukua muda mrefu kuwaza mpaka Frida akanishtu “We John mbona hunijibu au unanifikiria mabaya” “Hapana mpenzi ila najiuliza si ulipanga kuishi hapa Kwa muda kisha ukafanye biashara zako?””Baby ukinioa siwezi kufanya tena ile biashara kwani nitakuwa sina shida””Kweli””Kweli baby””Ila siunajua nijuzi tu mama amefariki na pia wanafamilia wanasema mimi nimdogo hivyo sipaswi kumiliki mali sasa nikikuoa ghaflaghafla ukoo mzima utalipuka na nitaonekana sina akili””Basi haina shida tuishi pamoja usinifukuze baby”Hilo nililiafiki basi toka siku hiyo mimi na Frida tulianza kuishi kama mume na mke.Maisha yalikuwa ya raha sana,Frida aliniambia kwanza tusitafute mtoto tule ujana kwanza penzi letu lilikuwa motomoto Kwa zaidi ya miaka miwili tangu tuanze kuishi kama mume na mke mimi sikwenda chuo tena na sababu ilikuwa ni kuwa nimefeli form six japo kuna njia nyingine ya kusoma mimi niliipuuzilia mbali kwani niliamini kusoma kutanipotezea muda tu kwasasa,Mimi na Frida tulikuwa tunapendana sana yahaani haipiti wiki bila kwenda beach yeyote na kuanza kula ujana.Mimi muda wote nilikuwa na shinda nyumbani na Frida tunaangalia TV na kupiga story zikitupanda tunapeana mambo, nyumbani pakituboa tunaenda viwanja.Kipindi chote cha miaka miwili hatukujiwekeza Kwa chochote zaidi ya kutegemea Kodi ndipo likatokea tukio ambalo sasa inabidi tuchekeche akili zetu zikae vizuri.Nyumba moja ya mama Kati ya zile mbili ilikuwa imekaa barabarani nasasa zoezi la upanuzi wa barabara linaanza ,Kichwa kiliniuma kwani ndo nyumba ambayo tunapata kodi nyingi zaidi kuliko hii tunayoishi nilifatilia mpaka ardhi tukaambiwa hapa wenye nyumba walishachukua pesa yao siku nyingi tu imebaki Serikali tu ifanye utanuzi wake wa barabara.Ilibidi niende Ardhi kufatilia zaidi kama kweli mama alilipwa ndipo nikagundua kua mama alishalipwa miaka minne iliyopita aise nilichanganyikiwa kwani Kodi sasa tutakayokuwa tunaitegemea ni haya mabanda ya uhani tuliyopangisha nayo haifiki laki nne kwa mwezi na wakati mwingine wapangaji huama anaweza akatafutwa mpangaji mwingine ikapita hata miezi mitatu bila mpangaji.Ilibidi nikae mimi na mke wangu Frida tushauriane tufanye biashara gani.Hapo tulikuwa na kama milioni 4 maana si kwamba pesa yote ya Kodi tulikuwa tunatumia nyingine tulikuwa tunaweka benk
SEHEMU YA 29
Baada ya kuchekecha akili zetu ndipo tukapata mawazo mawili moja kufungua duka la chakula moja kufungua kagrocery mimi nilikuwa kwenye point ya kufungua duka la chakula wakati yeye alikuwa katika point ya kufungua grocery aise hapa tulibishana sana na ndo ikawa ubishani wetu wa Kwanza mimi na Frida toka tuanze mapenzi ilifikia hatua mpaka Frida alisusa kuendelea na mabishano na kuingia chumbani kwani tulikuwa tumekaa sebuleni.Mimi nilimshangaa sana kwani hoja yangu niliiona inanguvu kuliko yake ,kwani tukifungua duka la chakula pia tutauza vinywaji soda na bia pia hivyo hakuna shida pesa itapatikana.Wakati yeye aling’ang’ania tutafute frem kubwa tuikarabati vizuri wateja wapate private ya kutosha alafu tuweke vinywaji mi nikaona hoja yake ni ya kipuuzi kwani tukikosea tu kidogo bia zisipouzika tunaweza kufa na njaa.Basi alivyoondoka kuingia chumbani nilibaki mwenyewe nikachukua peni na karatasi kuandika baadhi ya gharama muhimu za kununua ili kufungua duka.Baada ya kumaliza niliingia chumbani kumfata Frida ila naye akatoka sebuleni yahaani hataki kuongea na mimi.Hivyo hivyo usiku napo hakutaka nimguse yahaani Frida amechukia kwelikweli mi nikawa najiuliza sababu nikufungua duka peke yake au kunasababu nyingine.Ila mimi niliamua kuupuuza mgomo wake baridi nikaamua nianze kuzunguka kutafuta sehemu nzuri kwaajili ya duka,Yahaani ilikuwa ni ngumu sana kupata eneo zuri maana dar es salaam kila eneo kuna duka,Ila nikafanikiwa kupata sehemu na kuweka duka.Ilikuwa ni sehemu nzuri tu yenye biashara lakini mambo yaliharibika baada ya majirani nao kuona napata sana hela hivyo nao wakafungua maduka palepale ,Eneo moja likawa na maduka matatu kipato changu kikashuka sana nilitamani nihame ila nilikuwa nishalipa Kodi ya miezi sita hivyo ni hasara pia kuhama ikabidi nikomae palepale kipindi chote hicho Frida alikuwa akiiponda biashara ya duka na akagoma kuja dukani kuuza walau siku moja moja nitapopata dharura mimi nilichukulia poa kwani mimi ndo mwanaume natakiwa nimtafutie sio yeye anitafutie.Licha ya hayo yote penzi letu lilikuwa mubashara.Ila mambo yalipoharibika dukani nikamueleza ili anipe ushauri alikataa katakata hakiwa hataki kabisa nimuhusishe na mambo ya duka.Basi mwanaume nilipambana Kwa Ile miezi sita lakini wapi Duka langu lilipungua sana na wateja wakaanza kunikimbia kunakipindi nilikuwa nikienda dukani nauza sh elfu kumi hiyohiyo ikawa inatumika kwaajili ya kula nyumbani.Ilivyoisha Ile miezi sita Ikabidi nilifunge duka nikauza baadhi ya vitu nikabaki na Friji na milioni moja nikarudi tena Kwa Frida tujadili tena kuhusu biashara Ile milioni moja tuliobaki nayo tufanye biashara gani.Frida kama kawaida akasema grocery nikataka kumbishia kwasababu hiyo milioni moja ukilipa pango tu la nyumba utabaki na pesa ndogo mno ambayo ni ngumu sana kupamba frem kama anavyotaka yeye na kuanzisha biashara ila akanikata ngebe akaniambia “Ubishi wako ndo umetufanya mpaka saa hivi tuna milioni moja”.”Sasa wewe unavyoona itawezekana kweli kuanzisha grocery nzuri ya kupendeza kwa milioni moja”” Inawezekana kabisa we cha msingi hiyo pesa nipe mimi alafu nikuonyeshe maajabu”
SEHEMU YA 30
Nilimkabidhi zile pesa Frida nione miujiza yake ambayo ataifanya. Kesho yake Frida alienda maeneo ya mbagala na kulipia frem mbili ambazo ziko pacha kila moja kodi elfu 40 jumla kodi elfu 80 kodi ni miezi sita laki nne themanini pamoja na pesa ya udalali laki tano na sitini pesa iliyobaki laki tatu na ishirini hapo bado anataka kuvunja fremu iwe moja kununua viti,na kuremba frem yahaani Frida alivyorudi na mikataba tu na kunieleza mahitaji yanayohitajika kabla ya kuanza biashara mimi nilishika kichwa na kusema “Mama yangu “Kisha nikaondoka sebuleni nikaingia ndani huku nikimwambia na mimi “Sitaki unishirikishe kwenye biashara yako ya baa”Nilimuacha Frida sebuleni akipiga mahesabu mi nikamuona ni mpuuzi mmoja asiyekuwa na akili.Alivyorudi kulala kuna wakati niliwasha taa na kumuangalia jinsi alivyo huku nikijisemea “Huyu mtu ni bogaz Sana”.Basi tulilala kesho yake asubuhi mimi nilitoka kwenda kutafuta kazi kwani niliamini kumtegemea Frida ni upumbavu.Nilizunguka sana bila mafanikio nikarudi nyumbani Frida akaniletea kidaftari chake kuwa sasa kashavunja zile frem na kupaka rangi kidogo ila malengo yake hayajatimia kwani anahitaji pang’ae pale kisha akaniambia ameagiza msichana kijijini aje amsaidie kuuza mi nikamuuliza swali moja jepesi “Umebaki na sh ngapi””Elfu sitini””Hivi Frida unaakili kweli wewe?”Hilo swali lilizua ugomvi mkubwa ili kuuzima huo ugomvi nikamwambia Frida “Ndo maana nilikwambia usinishirikishe kwenye baa yako”Kisha nikaondoka sebuleni kwenda zangu kulala.Baada ya siku mbili,Frida alileta mdada wa kazi nyumbani ambaye atamsaidia kuuza bar ila mimi nilivyomuona hakuwa kabisa ametoka kijijini ila alijifanya anaigiza ushambaushamba mbele yangu na tabia ya upole mbele yangu ila wakiwa wawili walikuwa wanaongea vizuri tu.Mimi muda huo nilikuwa naendelea kutafuta kazi nikabahatika kupata kazi kwenye kiwanda Fulani hivi cha kutengeneza plastic ambapo Kwa siku unalipwa shilingi elfu saba mi nikaona Bora nikomae hapa kwa muda maana ukimsikiliza sana Frida ipo siku tutalala njaa.Basi baa ya Frida ilifunguliwa naye na Yule mdada wakaanza kwenda kazini ambapo ni baa Mimi binafsi nilishangaa maana nilijua ile elfu Sitini aliyobaki nayo isingeweza kununua hata bia kreti mchanganyiko mchanganyiko hivyo nikatamani niione hiyo bar ya Frida maana niliamini nitakutana na kichekesho cha mwaka ila sikumwambia Frida kama ninampango wa kuiona bar yake siku nikamfatilia nyuma Kwa nyuma mpaka baa yake sikuamini nilichokikuta baa ni nzuri hatari fremu imepambwa ikapambika ,baa inavutia nikasema kwenye upande wa fremu kajitahidi ila vinywaji na uhakika asilimia mia hana huyu.Nikaacha kumfatilia Kwa muda kidogo nikiwa niko bize na kazi yangu siku moja Nikaitembelea ile baa kisiri siri ili kuona wanazo bia za kutosha aise sikuamini nilichokikuta
Nilisali sana kusudi tu yule mtu niliyempiga aweze kupona lakini haikuwa hivyo.Bahati haikuwa upande wangu yule mtu alifariki na ndo maana mpaka Leo nipo jela.Ā Kijana Juma naomba uniandikie stori hii ili watu wengi wajifunze kutokana na mkasa wangu ulionikuta maishani ili na wao yasiwakute.Ā Pia yapo mengi ambayo yamenisibu nikiwa jela ningependa nisikuhadithie tafadhari andika hicho kichache nilichokusimulia.Ā Ā Ā Ā
MWISHO