NAJUTA KUMUOA CHANGUDOA
Mkasa Wa Kweli
SEHEMU YA KWANZA
Kiukweli sitaisahau hii siku siku ambayo ilianzisha safari yangu ya mapenzi au safari yangu ya kingoni.Naweza kusema sitaisahau kwasababu kutokana na ujinga wangu nimejikuta nimefika hapa nilipo ni siku ya tarehe 20 mwezi wa sita mwaka 2000 ni siku ya birthday yangu ya kutimiza miaka 20 ila huwezi hamini Hadi muda huu nilikuwa simjui msichana hii ilisababishwa na domo langu kuwa zenge na aibu chache nilizozopata pindi nikijaribu kuwaaproach hao mabinti.Siku hiyo niliamua wazi kuwa Leo kivyovyote itakavyokuwa lazima niuonje utamu wa ngono maana nilikuwa nasikia tu ngono ni tamu lakini sijawahi onja huo utamu.Basi siku hiyo nilitoka asubuhi na mapema kwenda kuuonja utamu wa ngono. Kiukweli sikuwa na demu Ila nilikuwa najua ni wapi itaniwia urahisi Mimi kuuonja utamu wa ngono.Si mahali pengine Bali ni Kwa madada wanaojiuza location zao nilizifahamu ni sudani na Sokota ingawa kipindi cha nyuma sikuwahi kuzitembelea Kwa woga wa utoto Ila siku hiyo niliamua niweke uoga kando ilipaswa niwatembelee tu ili wanionjeshe utamu ambao sikuwahi kuujaribu kabla ya hapo
SEHEMU YA PILI
Basi niliikamata Ile chochoro ya Sudan kuelekea Temeke hospital huku nikiwa na hofu kwamba inawezekana kuna mtu ananiona ooh good things kumbe watu wengi hukamata hii chochoro kama shortcut kuelekea Temeke hospital Basi hiyo ikanipa ujasiri wa kukatiza Ile chochoro ,Sasa tayari nikawa kwenye chochoro hapa watu wanatembea Kwa Kasi Hasa wanaume wanaonekana wako faster Sana ili wasije kuonekana wanaingia Kwa machangudoa ambao wanavibanda vyao nje pasi nami nikawa fasta mara nikamuona jamaa kazama fasta kwenye kibada duh hii spidi ni ya ajabu dah aise nikajikuta nimepitiliza kile kichochoro dah Ikabidi nijilaumu nikawaza nirudi tena Ila niliona noma kuwa watu wanaweza wakahisi naenda kununua Ikabidi nivuke barabara nikaikamata Temeke hospital nikaingia sokoni huyo nautafuta msikiti wa Tungi kuelekea kwenye chocho zenyewe.Hii chocho ni ndefu kidogo tofauti na Ile ya Sudan alafu hapa hawapiti watu wengi Sana ila Shida nikuingia kwenye hii Choo nikasoma pale nikakuta kuna maandishi ya kihaya “Liende li K*” Sijui kihaya Ila nilijitafsiria mwenyewe kuwa “njoo upate K”nikasema yes hapa nikupiga chocho fasta.Basi nikaenda fasta nikapiga chocho
SEHEMU YA TATU
Nikaingia fasta kwenye ule uchochoro nikaona hapa nisije nikabugi kama Kule Sudan ilibidi niingie chumba cha Kwanza tu Bila kumuangalia ni Nani nimeingia kwake duh aise nimebugi niliingia kwenye chumba cha lijimama moja jeusi Nene fupi baya Yahaani Palepale nikalipa nickname (JENEFUBA (JEUSI NENE FUPI BAYA)Ila nikaona isiwe kesi lengo si kupata mwanamke mzuri Bali lengo langu ni kuonja utamu wa ngono “Sh ngapi” Niliuliza “Elfu mbili”Nilijibiwa fasta nami nikatoa pesa nikamkabidhi.Likachukua kondom Hapo Mimi nikajiongeza nikavua suruali ambapo pipe yangu ilikuwa ishadinda akanivalisha kondom Kisha yeye akalala kitandani huku kapanua miguu uzuri nikuwa yeye alivaa gauni hivyo ilikuwa rahisi tu kupandisha gauni na kukiacha kitumbua wazi.Basi nikasogea karibu yake Kisha nikailengesha pipe yangu kwenye kitumbua chake alafu nikajisemea “Dah Leo ndo naonja utamu na maraha Tele” Nikaingiza pipe yangu kwenye kitumbua chake na kuanza kupump.Dah kumbe hamna lolote aise nilikuwa najiona naingiza na kutoa tu sipati raha ya aina yeyote Ile.Ilipita takriban dakika tano hivi Mimi nikiwa juu ya kinena nikiwa bado naendelea kujiuliza huo utamu wanaouzungumzia ni utamu upi maana sioni kitu hapa na pump tu alafu majasho yananitoka Hasa ukizingatia chumba chenyewe ni joto tupu.Lile jimama likaanza kubwabwaja “Kojoa bwana” Eehee akili ikaklick kumbe inapaswa nikojoe nikaendelea kupump Kwa fastafasta ili walau nikojoe “Wee Vipi mbona ukojoi Ebu toka Hapo”Jimama liliongea Kwa ukali baada ya dakika kumi kupita Bila kukojoa aise nililiogopa Ikabidi nichomoe mwenyewe Bila kukojoa akanivua kondom Kisha kuniambia “Pesa yako imeisha ukitaka kuendelea ongeza nyingine”Mimi nikajionea ni upuuzi tu yahaani niongeze pesa Wakati sijasikia raha ya aina yeyote pia nikaijutia Ile pesa yangu 2000 imeenda tu Bila faida yeyote Ikabidi nivae nguo zangu na kusepa
SEHEMU YA NNE
Siku hiyo nilizurura sana barabarani nikiwa najiuliza huo utamu wa ngono ukoje mpaka inafikia watu kuhonga Hadi magari wakati mimi Ile elfu mbili yangu inaniuma kama kidonda,Nilijikuta napoteza muda barabarani Hadi saa tisa ikabidi nirudi nyumbani Kula, unajua kipindi hiko bado nilikuwa nakula msosi wa kufunua mapoti Kwa mama Mimi ndiye mtoto wa pekee Kwa mama na Baba yangu huwa sijuagi hata anaitwa nani hivyo shule yenyewe natumia jina la babu mzaa mama yahaani mamayangu Anaitwa Marry John Mwakipesile nami naitwa Patric John Mwakipesile sina Shida na Baba Kwanza bi mkubwa wangu anamjengo mkubwa tu hapa Temeke kwenye nyumba kubwa tunaishi watatu tu Mimi bimkubwa na mfanyakazi .Uani kaangusha vyumba vya kutosha na sebule tunawapangaji kama watano hivi.Hivyo nimtafute Baba wa nini akafie mbele Kwanza nikirudi uhakika wa kufunua mapoti upo na tayari nimeliza six naingia chuo Basi nikamkuta mfanyakazi anaangalia TV sikutaka kumsumbua nikamsalimia Tu “Dada za saizi””Poa”Nikapitiliza moja Kwa moja jikoni nikafunua mapoti na kujipakulia chakula mwenyewe Kisha nikaenda zangu sebuleni kuungana naye kuangalia TV.Ila bado Yale mawazo nilikuwa nayo nikaona nimshirikishe huyu mdada japo hatujazoeana sana maana ana kama miezi miwili hivi ametoka huko unyaturuni Singida “Ujue mi najiuliza wale machangudoa wanasikiaga raha kweli” Nilijikuta nauliza swali lisilo na mpangilio nikama vile nimeropoka Jambo ili tuendelee kupiga story “Eehee kwanini wasisikie raha lile dude likikugusa lazima usisimke” Eehee kumbe huyu mdada Yuko poa sana sikutegemea kama story zinaweza kupanda kirahisi “Sasa Mimi si nasikia mwanamke lazima aandaliwe ndo asikie raha sasa wale raha wanaipataje Wakati hawaandaliwi””Ni hivi akienda na mteja wa Kwanza na wapili au mpaka watatu hawa wanavyomchokonoa wanakuwa kama wanamuandaa akija mteja wa nne basi anakojoa kabisa”Huyu Dada alijibu kama ni mtu mwenye uzoefu kidogo wa mambo hayo.”Umejuaje kwani wewe ushawahi kutembea na wanaume wa nne Kwa Wakati mmoja”Akacheka “Nimejua Tu” “Sasa Umejuaje””Kabla ya kuja hapa nilishawahi kuja mjini Kwa dada yangu Ila sikufanikiwa kumuona na sikuwa na nauli ya kurudia hivyo Ikabidi nipite kila sehemu kuomba kazi,Ndipo nikakutana na mkaka mmoja ubungo alikuwa dukani ananunua bidhaa akanisikia Naomba kazi kwenye Duka Ila nikakosa Yule mkaka akanigeukia akaniambia dada kazi umepata Ila akaniuliza unaweza kazi yeyote nikamjibu ndio”Mdokezo wa bint kuhusu story yake ukanipa shauku kuendelea kumsikiliza zaidi “Eehee “
SEHEMU YA TANO
“Yule mkaka alinichukua mpaka kwake buguruni.Alikuwa anaishi kwenye jumba moja bayabaya ambapo inavyoonekana ni nyumba ya urithi kutoka Kwa wazazi wake Ila imepauliwa chumba kimoja tu.Ni nyumba kama ya vyumba sita ila vyumba vingine havina bati.”Karibu mrembo umefika” yule kaka akanikaribisha alafu akatoa funguo kwenye jiwe moja pembeni akafungua chumba,Aise chumba kiko ovyo kuna mifuko ya rambo kama kumi hivi inanguo lakini za kike Mimi nikashangaa nikahisi huyu Kaka labda anauza nguo za mitumba za wadada ila kilichonishangaza zaidi ni kuwa ghetto lake hakuna kitanda Bali kuna magodoro mawili ambayo yameenea ghetto zima kuna mikeka imekunjwa pia kunamagodoro mengine yamekunjwa Aise nilishangaaa yule Kaka akaniambia “Mrembo acha nikakuchukulie chakula maana unaonekana unanjaa si ya nchi hii Kwanza unakunywa soda gani”Mi nikawaza huyu mkaka mbona masikini sana alafu anataka aniagizishie chakula na soda juu kwasababu nilikuwa na njaa sana nikamwambia “Wee niletee tu chakula nile soda hapana Kwa kweli”Akacheka akasema “Basi bia”Mi nikamjibu “Situmiagi nitakunywa maji ya kunywa tu nikawa naangalia pale kama kuna hata ndoo ya maji ya kunywa ninywe lakini nikakosa Yule mkaka akasema Basi “Nitakuletea maji ya moto au ya baridi”Dah nikajuta kumwambia maji Bora hata angeleta soda maana gharama yake ni nafuu Basi Ikabidi niseme tu “Ya baridi”Yule mkaka akatoka kuelekea kununua chakula Wakati huo Mimi naangalia mazingira ya pale Yahaani sijui hata kazi gani huyu mkaka amenileta nifanye nikawaza hapa hata akiniambia niwe mke wake Sawa maana sina pa kwenda,Niliendelea kuangalia lile ghetto lilivyo nikaona kuna mfuko unavipodozi vya kike pia kunabaadhi ya vipodozi vimezagaa zagaa vya kike nikawaza “Huyu Kaka anauza na vipodozi,Ila akili ikaklick mbona Sasa vipodozi vyenyewe vimetumikatumika naangalia pembeni kuna chupi bikini za kike zimetundikwa nikawa sina jibu Yule Kaka anafanya inshu gani mara ghafla nikaona mlango umefunguliwa akaingia mwanamke hapo nikapata hofu kubwa Sana nikahisi yule Kaka huwenda huyu ni mkewe na sasa nimefumaniwa Yahaani nilitamani Ardhi ipasuke nidumbukie chini”Dada akakatisha story kidogo hali iliyonipa shauku zaidi kumuuliza “Eehee endelea ikawaje alipoingia Yule mwanamke”
INAENDELEA…………….