JINSI MWANANGU WA MIAKA KUMI, ALIVYOGEUKA KUWA SHOGA
Mkasa Wa Kweli
PART 1
Kila siku nilikua najiuliza nguo zangu za ndani zilikua zinaenda wapi, nilimuuliza mume wangu lakini hakua na jibu, yeye pekee ndiyo alikua anaingia chumbani kwetu, Dada wa kazi ambaye ndiyo mtu mzima pale ndani alikua haingii, hali ile ilichanganya sana. .
Nilianza kuwaza mambo ya kishirikina, nikidhani kua labda kuna mtu ananiloga, nilihisi laba mume wangu ana mchepuko na ndiyo ulikua unataka kunimaliza. Ilibidi kujikita zaidi katika maombi kwani kipindi hicho nilikua na ujuauzito wa mtoto wetu wa pili. .
Nikiwa nimemtafuta kwa takribani miaka saba nilijua labda kuna mtu alikua ananichezea hivyo nilizidi kuwa na wasiwasi. Siku moja nikiwa ninafanya usafi chumbani kwa mtoto wangu mkubwa, Jimmy (sio jina lake halisi) nilikuta kitu kimefungwa na mfuko mkubwa mweusi kimefichwa uvunguni. .
Nikijua ni takataka niliamua kufungua na kuangalia. Sikuamini, lilikua ni lundo kubwa la chupi za kike, kuziangalia nyingi zilikua ni chupi zangu. Nilizidi kuchanganyikiwa, mume wangu bado alikua ofisini, nilimpigia simu arudi nyumbani kwani nilihisi ni uchawi na nilimuwaza moja kwa moja Dada wa kazi. .
Ingawa hakikua chumba chake lakini yeye ndiyo alikua na sababu ya kuchukua nguo zangu za ndani. Mume wangu alirejea akijua kuna tatizo la ujauzito, lakini nilimuelezea kilichotokea, tulimuita binti wa kazi na kumuuliza alikana huku akisema kuwa hata yeye chupi zake hupotea. .
Tulikagua ule mfuko kweli kulikua na nguo nyingine za ndani ambazo hazikua zakwangu. Huku nikiwa simuamini nilimruhusu tu kuendelea na kazi zake huku nikimuambia mume wnagu simtaki tena mule ndani kwani kuna kitu anataka kutufanyia. .
Akili yangu iliniambia kuwa alikua akikusanya zile nguo za ndani ili siku moja atufanyie kitu kibaya. Nilimpigia Mama na kumuambia, aliniambia nimfukuze harakaharaka na kua atanipa mfanyakazi wake anisaidie. Kweli usiku huo nilimuambia afungashe vitu vyake na asubuhi nilimlipa kila kitu na kumpakiza kwenye gari kumrudisha Kijijini kwao…….
PART 2
Maisha yaliendelea, baada ya mfanyakazi wangu kuondoka na kupata mfanyakazi mpya, siku moja mfanyakazi yule mpya alikuja na kuniambia “Dada Jimmy atakua na matatizo. Nimemfumania zaidi ya mara tatu anajaribisha nguo zangu na viatu vyangu.” .
Mmhhh sikumuelewa na sikutaka kumuendekeza nilimfokea na kumuambia aache kunizulia mwanangu hawezi fanya ujinga huo. Alinyamaza kimya, lakini siku moja nikiwa chumbani alikuja harakaharaka na kuniita, alinitoa nje na kuniambia nichungulie dirishani. .
Sio kwamba mtoto wangu wa kiume alikua akijaribu tu nguo za kike lakini pia alikua akijaribu na nguo za ndani za Dada wa kazi na kwakua zilikua kubwa basi alikua akifunga na mkanda huku akijitembeza kama mwanamke. Kidogo nidondoke, lakini yule binti alinishika. .
Sikua hata na nguvu ya kumuuliza Jimmy, kwanini anafanya vile, nilisubiri mume wangu mpaka anarejea nikamuambia kila kitu. Mume wangu hakutaka kuamini, alikasirika na kutaka kwenda kumfunza adabu mtoto, lakini Dada alimzuia akimuambia. . “Baba yule ni mtoto, inawezekana kuna watu wanamfanyia vitu ukienda kwa ukali hatakuambia, acha niongee naye” Ingawa alikua bado binti mdogo lakini aliongea maneno ya busara, mume wangu alitulia na tukamruhusu kwenda kuongea naye. .
Dada wa kazi aliingia kuongea naye lakini mume wangu hakuwa na uvumilivu, aliona kama anachelewa kwani alichanganyikiwa. Aliingia chumbani ambapo walikua bado wanaongea na kuanza kumgombeza kwanini anavaa nguo zakike na ni nani kamfundisha. .
Tulijaribu kumzuia lakini hakujali, alinza kuvuruga kile chumba, sijui alikua anatafuta nini lakini alifumua kila kitu, alirudi kwanye begi lake la shule na kutoa daftari, alifungua na kukutana na nguo ya ndani, ilikua ni ya kike tena saizi ya mtoto.
Baadhi ya nguo za ndani zilikua na mbegu za kiume zimeganda kwa nyuma na nyingine zilikua mbichi kabisa. Mume wangu alichoka na kurejea kukaa, alianza kumuuliza taratibu kuwa kile ninini, niyanani na inafanya nini pale. Kwa uoga huku akitetemeka Jimmy alijibu kua ni yake. .
Wote tulishangaa, lakini kwa uoga aliendelea. “Anapenda nivae nguo za kike anasema mimi nikama mwanamke tu…
Inaendelea………