MWANAUME ALIRUHUSIWA NA MKE WAKE KUCHEPUKA, TAZAMA KILICHOTOKEA
Kwasababu mkewe alikuwa katika kipindi cha kulea na alifanyiwa upasuaji wakati wa kujifungua .
Mkewe siku moja alimuonea huruma mumewe baada kuona majipu na chunusi kumtoka usoni
Mke Akamwambia mumewe, mume wangu mpenzi, najua jinsi gani unaumia na kuvumilia kutokana na Hali yangu jinsi ilivyo..
Nakuomba chukua hii 1k tembea tembea kidogo mtaani upunguze uzito lkn kumbuka kutumia kinga , Nakupenda mme wangu…. mmmwaaa mmmwaaa
Mumewe alimshukuru mkewe , akapokea Ile hela akaondoka zake..
Lakini baada ya lisaa limoja na nusu mme wake akarudi nyumbani .
MAONGEZI YAO YAKAWA KAMA IFUATAVYO:-
MKE: mmm Mara hii umerudi mme wangu?? Kwa Kweli unanipenda
MME: sikwenda mbali mke wangu, niliingia nyumba hiyo ya jirani yetu kwa mama Sonso si Unajua mme wake amesafiri muda mrefu hayupo , Nimeongea naye kidogo kakubali kumbe naye alikuwa na hamu, tukaingia chumbani kwake tukafanya yetu …… , yupo vizuri Sana….kwa kweli nime enjoy Sana
MKE: Kama kwa mama Sonso Natumaini hujampa hata hela yeyote au sio??..
MME: Nimempa 500 akasema ndogo ikabidi nimpe yote 1k amepokea hela yote 1k
MKE: Yaani kumbe mama Sonso chizi Kweli.. ..
MME : Kwanini mke wangu ?
MKE : Mama Sonso ndio wakukuchukulia wewe ela Kweli? Safari nyingine sitamsaidia Hata kidogo…
MUME :kwanini unasema hivyo mke wangu ?
MKE : wakati yeye amejifungua Sonso, Nilimsaidia mumewe kumpa mapenzi bure mpaka mtoto amekuwa ….sasa iweje kwa wewe mme wangu apokee hela zote Hizo ???,, wakati mimi kwa mumewe nilikuwa nampa bure, kwanini kwako achukue hela??
MUME : akafaint
Part 2 is loading………
1 Comment
Napenda simulizi zako