KAMA INAUMA CHOMOA
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
SEHEMU YA AROBAINI NA MOJA
ILIPOISHIA: Naam upande wa wakina Kapate nako, bado walikuwa na sinto fahamu, kwa maana ya kwamba, siku ya tatu leo walikuwa bado awajamwona Damian, na wala simu yake ilikuwa aipatikani, hakika iliwachanganya kidogo, akukuwa na polisi wala mtu yoyote ambae alikuwa anamfwatilia Damian pale kituoni, ilionyesha wazi kuwa tayari Damian alikuwa ameshatiwa mbaloni, “jamani sasa hivi ni saa sita, bado ajarudi, sasa tunafanyaje?” aliuliza mama mmoja ambae uuza chakula pale kijiweni, hapa cha msingi twendeni polisi, wasije kumuuwa Damian” alisema Kapate, na wote wakaunga mkono, “nikweli jamani, twende kituoni, tusije kumpoteza kijana wetu” alisema boda boda, yule alie mpeleka Damian dukani. …endelea..
Hapo wote wakakubariana na wote wakaanza kufunga biashara zao, pasipo kujari kama ajauza au la, kilikuwa ni kitendo cha umoja na upendo mkubwa, kwa wanakijiwe hawa, japo walikuwepo watu wachache ambao, awakuwa pamoja nao, wao waliendelea na biashara zao kama kawaida.*******
Naam Johakim alitoka pale ofisini, akiwa amemuaga Mdee, na kuingia ndani ya gari lake, kisha akaondoka zake, huku akipishana kwa dakika kumi na boss wake, ambae leo niwazi alikuja nadereva maana gari lilisimama pale nje ya duka kisha akashuka huku akionyesha mwenyefuraha kubwa, tena alishukia upande wa kushoto, yani kule wanakokaa abiria, “sya usichelewe nina hapa mimi sikai sana” alisema boss lady, kisha anza kutembea kueleka kwenye mmoja kati ya milango miwili mikubwa ya jengo lile la duka, huku gari lake likiondoka na kuelekea upande wa kibamba.
Boss lady akaingia dukani, huku uso wake ukiwa mwingi wa tabasamu, na leo alisalimia kila mmoja aliepishana nae, huku akielekea kwenye ofisi ya meneja wa duka lile, ambako akukuta mtu.
Wakati huo Ndee alikuwa anamtazama boss kwa macho ya furaha, na alipomwona amepotelea upande wa ofisini, na yeye akachomoka mbio kumfwata boss lady, ambae alimkuta akiwa anatoa simu yake ili apige kwa Johakim, “vipi boss ulikuwa inamwitaji meneja?” aliuliza Mdee huku anajichekesha chekesha, “ameenda wapi huyu Johakim?” aliuliza boss Lady, akionekana kuto kupendezwa na utokaji wa Johakim, “haaaa!!!! mmmmh! alisema anatoka mala moja, lakiniiiii …. sijuwi ameenda wapi?” alijibu Mdee huku akijifanya kubabaika, ili ionekane kama vile kuna uongo unafichwa, “aya mpigie simu mwambie aje haraka sana, sina muda wa kupoteza hapa nataka nirudi nyumbani” alisema boss lady, na hapo Mdee akatoa simu yake na kutoka nje kabisa ya jengo lile, kipitia mlango wa nyuma.*******
Tuachane na boss lady, sisi tumfwatilie bwana Johakim, ambae alitumia dakika ishili na tano, kufika pale nyumba ambako wanaishi wakina Mdee, na moja kwa moja akaingia kwenye chumba cha Damian, ambacho kwa sasa nichumba cha Ratifah, “karibu mpenzi, yani nilikuwa nakuwaza sasa hivi” alisema Ratifah, ambae alikuwa amejilaza kitandani, huku ameondoa baadhi ya bandaje usoni mwake, na kufanya makovu na mishono ya majeraha yaonekane kwa uwazi zaidi, “he1 ndiyo alikuumiza hivyo?” aliuliza Johakim kwa mshtuko na mshangao mkubwa, maana kwa hakika, ungemwona Ratifa muda huo, usinge mtambua kuwa ni yule mke wa Damian, ambae siku zote yeye Johakim alikuwa anajilia vitu vyake.
“ipi nime umia sana hen?” aliuliza Ratifah, ambae kiukweli alikuwa anaamini kuwa Johakim, anampenda sana, akujuwa kuwa mwenzie alikuwa anawaza tofauti moyoni mwake, “mh! yani amepondeka kama mwizi, huyu jamaa ni mkatili sana, ana stahili adhabu kali sana” aliwaza Johakim na wakati huo akasikia simu yake inaita, akaitoa haraka mfukoni na kutazama jina la mpigaji, ambae alikuwa ni Mdee, akajuwa lazima kuna jambo limetokea huko dukani, akaipokea haraka na kuweka sikioni, “niambie Mdee kuna lolote?” aliuliza Mdee kwa sauti iliyojaa wasi wasi, kiasi cha kumshangaza ata Ratifah, ambae sikuzote anajuwa kuwa Johakim ndie mmiliki wa duka, na akuna mtu mwingine wakumsumbua katika biashara yake zaidi ya mama yake, “kaka boss yupo hapa amefura kwa hasira yani fanya faster uje” alisema Mdee na kukata simu.
Naam hapo nikama Johakim nikama jibwa koko lililoshtuliwa kichakani, maana alikulupuka na kukimbilia nje, ambako aliingia ndani ya gari lake na kuwasha, kisha akaondoa gari kwa speed ya ajabu, kuelekea upande wa barabarani, ulikuwa ni mwendo wa ajabu sana, kiasi kwamba ile sehemua mbayo siku zote alikuwa anatumia dakika kumi, leo alitumia dakika tatu, kisha akaingia barabara kuu, bila taadhari yoyote, nusu alivae gari la boss wake ambalo lilikuwa lina onyesha taa ya kuigia upande wa kulia wa barabara, ya usawa wa kijie cha wakina Damian.
Ilimshangaza sana Johakim, na kujiuliza boss wake ana fwata nini huku, lakini akajipa moyo kuwa ninafasi ya kurekebsha makosa yake kwa kuwai ofisini, na ata boss wake akirudi atamkuta yupo pale muda mrefu.
Lakini aikuwa hivyo, maana alipofika pale dukani, alimkuta boss wake amejaa tele, tofauti nikwamba akuwa amekasilika kama Mdee alivyo sema, hapo ilimshangaza sana Johakim.*******
Yaap! wakati wakina Kapate wana funga biashara zao, mala wakaliona gari moja zuri la kifahari, likisimama pembeni ya banda la Kapate, lilikuwa karibu na banda la Damian, ambalo toka jana lilikuwa lime fungwa, “hakuna biashara boss tuna dharula” alisema Kapate, ambae alikuwa anamaliza kufunga banda lake, pasipo kulitazama lile gari, “hoyaa! unadharula gani weweee” kapate alisikia sauti toka kwenye gari, sauti ambayo siyo tu ilimshtua Kapate peke yake, ila iliwashtua wote na kuwafanya watgeuka kulitazaa lile gari, ambalo sasa lilikuwa lina shushwa kioo cha dereva. …
SEHEMU YA AROBAINI NA MBILI
Hapo walicho kiona kiliwfanya washindwe kutaamini macho yao, baada ya kushangilia na kupiga kelele za shangwe kamailivyo wapasa, wao wakatoa acho kwa mshangao wakimtazama dereva wa gari ilo, “Damian, mbona ujatuambia kama umepata kazi ya udereva?” aliuliza ama ntilie, kwa shangao, huku wakitazama Damian, ambae kiukweli alikuwa amependeza kwa mazi, uso unang’aa kwa mwonekano mzuri wakupendeza, “sijapata kazi ila nistory ndefu sana, lakin nita wasimulia wakati mwingine, kwasasa nilikuja kuwapa taarifa kwamba nipo fresh msiwe na wasi wasi” alisema Damian, ambae akukaa sana, waliongea mawili matatu, alafu akaondoka zake akiwaacha wakina Kapate wakiwa na maswali mengi sana, na siyo wao peke yao, ila aya wewe msomaji wangu, labda turudi siku tatu nyuma, siku ile jioni wakati Damian alipoelekea nyumbani kwa boss wa Johakim.******
Ilikuwa hivi, Damian baada ya kuchukuwa pikipiki, ambayo ilimpeleka mja kwa moja mpaka nje ya geti kubwa, lililoshikiliwa na kuta nene na ndefu zenye viambatanishi vingi vya ulinzi, kuanzia kamera, waya wa umeme, na zile za miba, pia misumari ya nondo, iliyo chongoka kweli kweli, kiasi cha kunguru kushindwa kutua juu yake, “ndiyo hapa kwa boss wa DS” alisema dereva wa boda boda, hukuwa wakitazama lile geti la ukuta ule mkubwa.
Baada ya kumaliza kufanya malipo kwa dereva wa pikipiki, aliyo ikodi kumleta pale kwa boss wa Johakim, na boda boda aliondoka zake, huku akimwacha Damian, akisogelea lile geti kubwa lililotengenezwa kwa mtindo wa kisasa, huku akichwani mwake akijiuliza ataanzaje kugonga hodi, na vipi akikataliwa kuingia ndani, na ata akiluhusiwa na kuonana na yule boss, je huyo boss ata msaidia, na itakuwaje kama asipo msaidia, maana anaweza kumlinda mfanya kazi wake, asiingie matatizoni, inamaana yeye ataendelea kuishi kwa kujificha, na ataipataje fedha yake ambayo hipo kule kwenye chumba alicho panga, chumba ambacho kimefungwa na hawara wa Ratifah.
Mawazo hayo yalisababisha wasi wasi na hofu kubwa, ambayo ilipelekea asimame nje ya geti lile ambalo liliashiria kuwa ndani yake kuna jumba kubwa la kifahari, akiwa amesha ingiwa na hofu kubwa sana, ya kukata tamaa, hapo Damian alitumia dakika kama kumi hivi, akijiuliza agonge geti au aache, “atawezaje kunisaidia mimi, na kumwacha mfanya kazi wake?” alijiuliza Damiana huku anageuka alikotoka na kuanza kutembea kurudi alikotoka.
Lakini ile anapiga hatua ya tatu, mala akashtuka mlango mdogo wa lile geti, ukifunguliwa, alipogeuka na kutazama lile geti, ni kweli akaliona geti dogo linafunguliwa, lakini akulijari, aka endelea kutembea kuondoka eneo lile, “kijana ebu njoo hapa” ilikuwa ni sauti ya kikakamavu toka nyuma yake, nae akageuka kwa haraka, akamwona kijana mmoja mmoja mwenye mwili uliojazia kweli kweli, aiwa amevalia sare za kampuni moja ya ulinzi, inayo aminika hapa jijini.
Akiwa mwenye hofu kidogo, Damian akarudi pale alipokuwa yule jamaa, “habari braza” alisalimia Damian kwa sauti iliyojaa wasi wasi, “kwanini umesimama hapa kwa muda mrefu, alafu unaona ninakuja kufungua mlango ndio unajifanya kuondoka?” aliuliza yule jamaa, ambae ni wazi kuwa yeye ndie mlinzi wa hapa kwa boss lady, “nilikuwa naitaji kumwona boss wa DS” alisema Damian kwa sauti ya ile ile yenye hofu, na ukizingatia hofu yake ya kwanza ilikuwa ni kukataiwa kuingia ndani ya nyumba ile ya boss lady.
Hapo yule mlinzi akamtazama Damian kuanzia juu mpaka chini, ukweli kimwonekano Damian alikuwa ni kama vijana wengine wa mjni, japo auwa nadhifu sana, ila alikuwa amevaa mavazi mazuri kiasi, “kwahiyo umeghairi, mona sasa unaondoka?” aliuliza yule mlinzi, huku anamkazia macho usoni Damian, ambae alijikuta anatabsamu kidogo, huku anatazama chini, “nimeogopa tu, nasikia boss mwenyewe ni mkali sana” alisema Damian, huku anacheka cheka, “kwahiyo ukuwa na ahadi nae, unawezaje kuja hapa bila ahadi?” aliuliza yule mlinzi akionekana kuanza kubadirika sura na kujawa na hasira.
Hapo kwa haraka sana Damian, akakumbuka kuwa alikuwa yule dereva wa boda boda aliambiwa boss amesema aje mida hii, ndiyo aliniambia nije kuonana nae” alisema Damian, na hapo yule mlinzi akamwambia Damian asubiri kidogo, kisha yeye akaingia ndani, ambako alichukuwa kama dakika kumi nyingine, kisha akatoka, “wewe ndie ulie mtuma mfanyakazi wa dukani, kuwa unataka kumwona boss hapa nyumbani?” aliuliza yule mlinzi, na hapo Damian aligundua kuwa boss lady, lichaa ya kuwa tajiri, lakini boss huyo wakikeambae akuwai kumwona hapo kabla, akuwa mtu wa majivuno, wala dharau, “ndiyo… ndiyo mimi aliniamia nije hapa nyumbani” alijibu Damian, huku moyoni mwake, akijiwa na matumaini ya kukuingia ndani, “aya nifwate” alisema yulemlinzi kisha akaingia ndani.
Hapo Damian akamfwata ndani yule mlinzi, huku anawaza shaka lake la pili, je ata saidiwa, lakini akapigamoyo konde na kuendelea kumfwata yule mlinzi, na sasa waliibukia ndani ya eneo lile kubwa lililojaa fahari kubwa mbele yajengo kubwa la kifahari, na lakisasa, huku gari kadhaa za kifahari zikiwa upande wa kushoto wa eneo lile lenye vijitofari vidogo vodogo vya sementi, na bustani nzuri ya nyasi fupi, yani koka na maua ya mazuri ya kila aina, yaliyopandwa kwa utaratibu na mpangilio mzuri.
Ukiachilia madhari ile nzuri ya kuvutia, pia kulikuwa na magari mdogo ya mtoto, yanayo tumia chaji ya umeme, magari ambayo yange tumiwa na mtoto wa umri kati ya miaka miwili mpaka tisa, ambapo, angeweza kupanda na kuendesha mwenyewe, “aya nenda kagonge mlango uleee” alisema yule mlinzi akionyesha mlango mkubwa, wa nyumba ile kubwa ya kifahari, “asante sana” alisema Damian, kisha kwa mwendo wa taratibu akatembea kuufwata ule mlango, ambapo ile anaufikia tu, mlango ukafunguliwa akatokea mschana mmoja mtu mzima, ambae alivalia nguo maalumu zakazi, niwazi alikuwa mfanyakazi wa ndani wa nyumba ile, “karibu ndani kaka” alikaribisha yulemwanamke, huku anapisha pale mlangoni, kumpa nafasi Damian ya kuingia ndani. …
SEHEMU YA AROBAINI NA TATU
Damiana alivua viatu vyake, na kuingia ndani ya jumba lile ambalo ufahari wake wa ndani, ulibeba gharama kubwa sana, maana vitu vilivyomo mle ndani ya sebule pana ya jumba lile, safi na yakuvutia, kiasi kwamba kijana wetu Damian alikosa ujasiri wa kukalia makochi yale ya kufahari, na kubakia amesimama kwa sekunde kadhaa, akizania kuwa yule mwanamke ange mwinyesha sehemu ya kukaa na siyo kwenye yale makochi, lakini baadayake akamwona yule mwanamke anaenda kwenye ukumbi mdogo wa chakula, siyo wa maana ya udogo unao ufikilia, ni mdogo kulinganisha na sebule, yenye meza kubwa ya duara iliyo tengenezwa kwa kioo,kwa aslimia sabini na tano, kwamaa ya miguu ndio ilikuwa ya chuma.
Damian akiwa amesimama anashangaa jinsi mle ndani mnavyopendeza, kwa mapambo ya vitu mfano wa jumba la mfalme Elvis wa #mbogo_land, hakika ilipendeza, “mh! watu wanaishi” alijisemea Damian ambae alikubari ukweli kuwa ata boss wake wa zamani, alie mtoa songea akuwai kuishi katika nyumba iliyojaa ufahari kama ile.
Wakati Damian akiwa anawaza hayo akamtazama yule mwanamke kule kwenye meza ya chakula, akamwona yule mwanamke akiwa anapanga sahani mezani, niwazi alikuwa anaandaa chakula, ndipo Damian alipotoa simu yake mfukoni, kwa lengo la kutazama muda, lakini alipo ibofya akagundua kuwa simu yake imezima, akajaribu kuiwasha, nayo ikakataa kabisa, ikionyesha kuwa ilikuwa imezima chaji, “dada chakula tayari?” ilisikika sauti ya mtoto mdogo wa kiume, ikitokea upande wa kulia wa sebule ile.
Hapo Damian akairudisha simu yake mfukoni, na wakati huo akiwa inua usowake, kutazama upande wa kulia wa sebule ile, ambako kulikuwa na kolido iliyopotelea ndani, ikimaandisha kuwa ndio upande wa vyumbani na sehemu nyingine muhimu za jumba lile, ambako aliweza kumwona mtoto wa kiume wa kati ya miaka mitano mpaka saba, akiibuka toka kolidoni, huku amealia nguo za kulalia kwa maana ya pajama lililo mkaavyema mtoto huyu, mwenye mwonekano mzuri, ulio mtambulisha kuwa ni mtoto toa kwenye familia bora ya kifahari, na mwenye kujazwa upendo mwingi toka kwa wazazi wake, “chakula tayari Alvin, msubiri mama mle pamoja” alisema yule mfanyakazi kwa sauti ya upendo iliyojaa ucheshi kwa mtoto wa boss wake, lakini sauti nyingine ikadakia, “mimi naongea kwanza na mgeni, mwache yeye aanze kula akalale, kesho shule” ilikuwa ni sauti tamu ya kike, toka uoande ule ule wa kulia kwenye kolido, sauti ambayo ilimshtua sana, maana aliifananisha na sauti ambayo aliwai kuisikia miaka mingi iliyopita.
Hapo Damian akapeleka tena macho upande ule ule wa kulia, alikotokea yule mtoto wa kiume, ambako sasa aliweza kumwona mwanamke mmoja mrembo zaidi ya urembo wenyewe, yani mzuri wa sura na mwili, ambae licha ya kuvalia gauni pana na refu, lakini bado ungeweza kuona umbo lake zuri la kupendeza, huku uso wake ambao licha ya kukosa tabasamu, lakini bado ulionekana kuwa mzuri na wakupendeza, japo akuwa amejiweka kipodose chochote, “dada mbona mgeni amesimama, imanaa ujamkaribisha kabisa?” alisema yule mwanamke ambae alikuwa anatembea kwa mwendo flani wa kupendeza, ungejuwa yupo kwenye jukwaa la walimbwende, huku Damian akiwa ametoa macho kwa mshangao wa ajabu, pasipo kuamini anacho kiona mbele ya macho yake, siyo uzuri wa mwanamke yule mwenye mtoto mmoja, wala mwili wake wa kuvutia.
“Karibu sana kaka….” alisema yule mwanamke huku anainua usowake kumtazama Damian na hapo hapo akasita ghafla, na kumtazama Damian kwa mshangao mkuu, “Damian” ilikuwa ni sauti ya chini mfano wa sauti ya kunong’ona iliyojaa mshangao, toka kwa yule mwanamke, mrembo wa warembo, huku wawili awa wakiwa wanatazamana kwa mshangao, huku Damian akijiuliza kwamba hiki anacho kiona ni kweli au siyo kweli, na kwamba huyu mbele yake, ni Shwifat anae mfahamu au mwingine, maana licha ya kwamba mwanamke huyu anaonyesha kuwa na familia yake kwa sasa, lakini ni msaada tosha kabisa katika kutatua matatizo yake na Johakim.
Wakati anawaza hayo, huku wana tazamana kama picha kwamaana ya kuto kutikisika, mala Damaian akamwona Shwifat anachomoka mbio na kufwata pale alipokuwepo, kisha akamkumbatia kwanguvu, “jamani Damian, umefikalini dar, umepajuwaje hapa kwangu, umejuwalini kama naishi hapa Damian, mbona hukujitokeza muda mrefu” aliuliza Shwifat, kwa sauti iliyojaa furaha isiyo na kifani chake, huku machozi yaa mlenga machoni mwake, huku akiwa bado amekumbatiana na Damian, ambae alihisi kama vile anamchafua mwana dada huyu mrembo wa kuvutia, ambae sasa alizidi kuwa mrembo mala dufu, tofauti na wakati ule akiwa shuleni kule Nandungutu. . …
SEHEMU YA AROBAINI NA NNE
Dada wakazi na mtoto Alvin walikuwa wametoa macho kwa mshangao mkuu, wakiwatazama wawili awa, ambao bado walikuwa wamekumbatiana, “siamini kama nime kuona tena Shwifat” alisema Damian kwa sauti ya chini vile vile, lakini ambayo ilionyesha wazi kuwa, alichokisema kinatoka moyoni mwake, “nipo mbele yako Damian, nashukuru umekuja kwangu, tafadhari usiniambie kuwa umeowa, mwenzio nilikwa na kungoja siku zote hizi” alisema Shwifat,na kumshangaza Damian, “amenisubiri vipi wakati tayari amesa olewa na anamtoto” aliwaza Damian, akia bado amekumbatiana na Shwifat.
Walidumu kwa dakika kadhaa, kabla Shwifat ajamwachia Damian na kumshika mkono, “dada hakikisha Alivin anakula na kulala mapema, alisema Shwifat, huku anamwongoza Damian kuelekea upande wa vyumbani, “sawa Dada” alisema dada wakazi, sidhani kama jibu ilo Shwifat alilisikia vizuri, maana tayari alikuwa anatembea kwa haraka kwenye kolido, kuelekea upande huo wa vyumbani, ambako kulikuwa na vyumba kadhaa, na wao moja kwa moja wakaelekea kwenye chumba kimoja, kilicho jitenga na vyumba vingine, na walipoingia ndani ya chumba hicho, kikubwa na kizuri, ambacho kilipambwa na vitu ving vizuri vya thamani, pamoja na kitanda kikubwa kilicho pambwa vizuri sana.
Ukweli Damian alinyimwa nafasi ya kushangaa mle ndani ya chumbani, maana mala tu baada ya kuingia mle ndani ya chumba, haraka sana, Shwifat akamkumbatia tena Damian, “Damian usiniambie kuwa unmake, nimekusubiri muda mrefu sana mpenzi wangu, siwezi tena kusubiri” alisema Shwifat kwa sauti ya chini, yenye haraka, huku anasogeza mdomo wake kwenye mdomo wa Damian, na kuanza kupeana ulimi, kamavile watu wenye kiu kari ya miaka kadhaa.
Walibadirishana mate kwa dakakika kadhaa, huku wanapapasana sehemu mbali ambali za miili yao, na kupembuana nguo moja baada ya nyingine, “Damian nakupenda sana, nimefurahi sana kukuona tena, nilikuwa naisubiri kwa hamu siku ya leo” alisema Shwifat ambae alionekana kuwa na kiu kari ya dudu, huku anamaliza kumvua shati Damian, na yeye akiwa amesha ondoa gauni, na kubakia na chupi peke yake.
Pasipo kujari kama walikuwa katika mausiano mengine au la, wawili awa waliufanya usiku huu, kuwa usiku mtamu sana kwao, hakika walipeana dudu katika namna ya kupendeza na kusisimua, huku Damian akionekana kuwa mtundu zaidi katika swala ili la kupeana dudu, kilicho msisimua zaidi ni ile kuzama atikati ya mapaja, na kukomba asali kwa kutumia ulimi wake, alichezea kunde kwa ufundi wote alio fundishwa na mama Shukuru, kitu ambacho kilimsisimua sana, Shwifat, ambae alizidi kutanua miguu, kumpa nafasi Damian azidi kumung’unya kunde yake, “Dami mpenzi, unanifanya nisikie utamu” alisema Shwifat, huku akishika kichwa cha Damian huku anakikandamizia kwenye kitumbua chake, huku anazungusha kiuno chake kwa nguvu, ikibakia kidogo Damian apoteze pumzi.
Hiyo ilikuwa ni mwanzo tu, balaha lilikuwa wakati ambao, walianza kupeana dudu, japo Shwifat alianza na ule mkao wa kukuna nazi, ambao anaupende sana, pamoja na kifo cha mende, baadae Damian alianza kumpa ile mikao ya kupendeza na kuburudisha, aliyo fundishwa na mama Shukuru, na kuzidi kumkosa Shwifat, ambae sasa alikuwa anatoa kelele za kuugulia utamu wazi wazi, “asante mpenzi asante umekuja kuniletea utamu wangu, nilimiss unavyonifanyia” ilimladi tu! Shwifat alikuwa anasema kile kilichokuwa kinamjia mdomoni mwake, kuna vingine ungesema ni utani, “Damian sijari kama umeoa hapa utoki tena, umesha fika, sasa wezi kutoka tena hapa nyumbani kwako” lakini alikuwa anamaanisha anacho kisema.
Ukweli usiku ule ni kwamba, wawili awa walikesha wakinyanduana, walikuja kupata usingizi, mida ambayo dada wakazi alipokuwa anamwandaa Alvin kutoka nje tayari kupanda bus la shule, yani saa kumi na moja na nusu, “Damian usifikilie tena kuondoka hapa, tulale kwanza tunamengi ya kuongea tukiamka” alisema Shwifat, huku anajilaza kifuani kwa mpenzi wake huyu wa miaka mingi sana, “nipo hapa Shwifat nipo kwaajili yako” alisema Damian, ambae moyoni mwake akiwa anajiuliza kwamba saa ndio ameungana na mwanamke au la, na vipi kuhusu baba wa mtoto wake.
Naona tutumie wakati huu wakiwa wamelala, kupata hadithi ya Shwifat, toka alipomaliza shule na kutengena na Damian, miaka sita iliyopita.*******
Ilikuwa hivi, mala baada ya kumaliza shule, na kurudi nyumbani kwao Dar es salaam, huku akisubiri matokeo ya mtihani wake wa kidato cha nne, miezi miwili baadae, yani mwezi wa kwanza, ndipo mama yake alipogundua kuwa binti yake anadalili za mwanzo za ujauzito, ni mala baada ya kuona binti yake akichagua vyakula, na anapolazimisha cha kula flani, basi angetapika, pia tabia ya kula ndimu na kupenda kulala kila wakati asa nyakati za mchana, huku kizidi kungaa kwa rangi yake nyeupe, na kunenepa bila mpangilio. . …
SEHEMU YA AROBAINI NA TANO
Ndipo alipoamua kwenda kumpima ujauzito, bila Shwifat kujuwa, na kubaini kuwa alikuwa mjamzito, jambo ambalo liliwashangaza na kuwakasirisha wazazi wake, ambao walitarajia binti yao asome na kuolewa kwa heshima, ata maufauru wake wa daraja la pili wa alama za juu kabisa, aukuwa na furaha kwao, na alipoulizwa juu ya mwanaume aliempatia ujauzito, alimtaja Damian, kuwa ndie mwanaume pekee alie tembea nae.
Busara zilitumika kwa wazazi awa kumsubiri Shwifat ajifungue salama kisha wakampelekea katika shule binafsi, na kujiunga na kidato cha tano, Shwifat alijifungua mtoto wakiume akaitwa Alivin, na yeye kujiunga na shule ya kutwa, ambayo ilimsaidia kusoma huku anamtazama mwanae.
Mwaka mmoja baadae akamaliza kidato cha sita akifauri vizuri na kujiunga na chuo cha biashara, hapa hapa jijini Dar es salaam, wakati huo wazazi wake wakiwa wamesha kabidhi nyumba, hii kubwa anayo ishi, na kumfungulia maduka mawili makubwa ya biashara, ambayo aliyaita DS Beauty Point, ikiwa na maana ya Damian na Shwifat, na mala baada ya kumaliza chuo, aliweza kufanya biashara kwa juhudi na ufanisi, na kuingiza fedha ndefu sana, iliyo msaidia kufungua maduka mengine manne, likiwepo ili la mbezi.
Muda wote huo toka kipindi akia mjamzito, alikuwa anatamani sana kumwona tena mpenzi wake Damian, ukiachilia kumweleza juu ya mtoto walie mpata, pia Shwifat alimpenda sana Damian na kumwitaji waje walee mtoto kwa pamoja, Shwifat akuitaji mwanaume yoyote, mawazo yake yalikuwa kwa Damian, ambae kiukweli hizo sababu nyingine zilikuwa ni kisingizio tu, ukweli ni kwamba alimisi mhogo wa mwanaume huyu, ambae ulimfanya aione raha ya kunyanduana.
Kubwa kuliko, ni kwamba, baad aya kukaa miaka sita bila kumwona mpenzi wake, safari hii alipanga kutenga fedha na muda wa mwezi mmoja, akamsake Damian, pasipo kujali kama atakuwa ameoa au la, ilikuwa lazima mfwate, pasipo kujari umbari au ugumu wowote, kilicho mpa imani nikwamba siku ya mwisho kuonana pale Namtumbo, waliambizana kuwa wakuwa wameachana, na kwamba siku yoyote wangekutana na kuendeleza penzi lao.
Hatimae leo wamekutana tena, japo Shwifat akujuwa Damian amefikaje pale kwake, na kwamba aliamini kuwa Damian alimfwata kwakuwa ni mpenzi wake wazamani, lakini siku hii ya pili alisahau kabisa kuhusu kwenda kukagua mahesabu ya pale dukani Mbezi, na kuamua kushinda ndani akipeana dudu na Damian, kazi yao ilikuwa ni kula na kurudi chumbani, kuoata wine na kuendelea kunyanduana, wanapochoka wanatulia kidogo, kisha wanaendelea, ilikuwa ni popote, yani kitandani, sakafuni juu ya kapeti bafuni na sehemu yoyote ile, mladi wangeweza kunyandua tu!, kiasi maji ya uzazi yakaanza kukauka kwenye viungo vyao vya uzazi, hiyo iliwafanya wabadiri mchezo, na kuanza kufukuzana, mle mchumbani na baadae kutoka nje ya nyumba ile nakucheza kwenye bustani, upande wa nyuma wa nyumba ile kubwa ya kifahari.
Damian, akiwa amesahau kuhusu wakina Kapate, mchana ndipo alipo shangazwa, ni baada ya kutambulishwa kwa Alvin kuwa ni mwanae wa kwanza, bahati nzuri kwake, ni kwamba, Alvin alikuwa anasikiliza kile mama yake alicho kisema, Alvin alie kuwa anatamani kumwona baba yake alifurahi sana, kumwona Damian, maana ata shuleni alikuwa anaitwa Alivin Damian Lambart.
Walitoka mida ya saa moja jioni, gari akiendesha Damian, ambae tayari alikuwa nalessen, aliyo ipata kule alikokuwa anafanya kazi mwanzo, walizunguka kwenye maduka mbali mbali ya nguo za kiume, tofauti na lile duka la Shwifat, ambalo lilikuwa lina husu maswala ya kinamama tu!.
Furaha ilitawara ndani yagari, waliongea na kujiachia kwa raha zao, huku wakiwa na Alvin, ata wakati flani, mama yake Shwifat akapiga simu kwa Shwifat, ambae akumficha furaha yake, akamweleza kuwa amekutana na baba Alvin, mama yake alifurahi sana, na kuagiza kuwa Damian apelekewe nyumbani kwa wazazi wa Shwifat siku ya jumamosi, ilo ilikubaiwa mala moja na Damian, ambae kukweli alikuwa amefanana na mtoto wake.
Naam siku iliyofuata, ambayo ni siku ya tatu, toka wawili awa wakutane, ndipo Damian alipo wakumbuka wakina Kapate, “mama Alvin, naitaji kukutana na rafiki zangu, maana toka juzi awajuwi nipo wapi?” alisema Damian, na hapo ndipo Shwifat akashauri kuwa watoke wote, ili na yeye akakague mahesabu pale dukani kwake, na hapo Damian ambae alipanga kuto kufwatilia tena maswala la Ratifah na Johakim, akaondoka na mpenzi wake, wakaelekea mbezi, na kumwacha mke wake kisha yeye akaenda kuwaona wakina Kapate.*******
Naam Mdee akiwa upande wa duka anasikilizia kuona kile ambacho kinaweza kumtokea boss wake yani Johakim, kutokana na matumizi mabaya ya fedha mala akamwona boss wake anatoka upande wa ofisi, ameongozana na Johakim, huku akiwa ni mwenye furaha kubwa, “sawa wewe panga vizuri mahesabu yako nitakuja kukagua sawa” alisema Shwifat, kwa sauti iliyo changamka sambamba na tabasamu la nguvu, “sawa madam, ukija tena utakuta kila kitu kipo sawa” alisema Johakim, na boss wake akatoka nje, na yeye akamfwata Mdee “vipi kaka naona umesha mpanga” alisema Mdee kwa shahuku, “tayari unazani anaweza kunizidi hakili” alisema Johakim kwa majigambo, na kujidai, “Mdee akacheka kama bwege, “nakukubari sana kaka” alisema Mdee kwa sauti iliyoficha unafiki,
Walipiga story mbili tatu, kabla Mdee ajachomekea neno, “vipi lakini Ratifa anaendelea, maana sijaonana nae leo, siunajuwa mda ninayo ondoka home?” aliuliza Mdee kwa sauti ya mtego, maana taarifa zote uwa anapewa na mke wake, hapo kidogo Johakim akaonekana kunyongea, “anaendelea vizuri, ila kaka yule demu dah! mepondeka vibaya sana, utazani kibaka alie kutana na wanachi wenye hasira kali” alisema Johakim, akionyesha kuto lizishwa na mwonekano mpya wa Ratifah.*****
Naam zilipita siku tatu, huku Damiana akiishi kwa kujiicha asionekanane mbele ya polisi, huku akishindwa kujieleza kwa Shwifat, juu ya kile kilicho tokea kati yake na Ratifah, maana ingemlazimu, kueleza kuwa alikuwa amesha chumbia mwanamke mwingine, hakika akutaka kumkosa mwanamke huyu, ambae ukiachilia uzuri na utajiri wake, Damian alikuwa anampenda Shwifat toka moyoni, ata siku ya jumamosi ilipofika walienda nyumbani kwa kina Shwifat, yani kule kwa wazazi wake, ambao kiukweli walimpokea vizuri na kuongea nao kama wazazi wengine wanavyoongea na wakwe zao, huku wakimsisitiza kuishi vizuri na binti yao. . …
INAENDELEA………