KAMA INAUMA CHOMOA
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
SEHEMU YA ISHIRINI NA SITA
ILIPOISHIA: na kujipatia ujauzito akiwa darasa la sita, pia mwanamke huyu, ambae kwa upande wa umbo na uzuri wa sura, akuwa vizuri sana, japo alikuwa analizisha kwa kiasi flani, alie tokea kwenye familia, duni kuliko duni yenyewe, yani ni hivi, pale kijijini, wakazi wengi ni masikini, yani wenye kipato cha chini, lakini ukweli ni kwamba, umasikini wao ulikuwa unazidiana, wapo waliokuwa na afadhari na wapo waliokuwa masikini kabisa, na familia ya kina Ratifa au mama Tuma (kifupi cha fatuma, jina la binti yake) ilikuwa ni familia yenye maisha ya chini sana. …endelea..
Hali ambayo ilipelekea mschana huyu, kuanza kujilahisi kwa wanaume na kujipatia chochote ambacho kinge saidia pale nyumbani kwao, na aliposikia kuwa Damian amerudi pale kijijini, na anaonekana mwenye kijiuwezo kidogo, baada ya kubeba zawadi nyingi kwa wazazi wake na ndugu zake, ndipo alipoanza kusogea karibu sana kwa mama yake Damian, akishinda pale nyumbani na kusaidia kazi mbali mbali.
Japo ilimshangaza mama Damian, lakini akuweza kumzuwia wala kumfukuza, zaidi alimwacha Ratifah afanye kile alicho kiona kinafaa, japo alisha ona dalili ya kile ambacho Ratifa anakivizia pale kwa mzee Lambart, nacho siyo kingine, ila ni Damiana mwenyewe, ambae kila alipokuwa anakutana na Ratifah, na kukutanisha macho yao au kusemeshana, Ratifa alionekana kuwa mwenye aiba ya heshima na aibu kubwa nyingi usoni mwake.
Hakika Damiana alikuja kuingia mtegoni, baada ya Ratifa kuanza kumfulia nguo, na kumfanyia usafi chumbani kwe, na hatimae wakafanya uzinduzi wa penzi lao, ambalo liliishia kwa kutangaza uchumba, na barua iliyoambatana na elfu ishilini, ikaenda kwa mzee Mohamed, ambae alikubariana naokwa mahari lakini mbili, kwao ilikuwa ni kubwa sana.
Naam ilitolewa laki moja na nusu, kisha Damian na Ratifa wakaondoka zao, kuelekea dar es salaam, huku kila mmoja pale kijijini, akiwa ajaamini kilicho tokea, yani pamoja na mangwengwe ya Ratifah, lakini ameolewa.********
Licha ya uchamfu na mapepe ya Ratifa, lakini akuwai kukaa mjini, achana na dar, ata songea mjini pia akuwai kuishi, hivyo mambo mengi hapa mjini yalikuwa ni mageni kwake, Ratifa alionyesha nidhamu kwa kila mtu, awe mkubwa au mdogo, akuacha kusalimia na kuongea nao kwa heshima na adabu, japo akuwa mzuri sana lakini aliwafurahisha watu wengi, ambao walimsifia Damian, kwa kuchagua mke mwenye nidhamu na tabia njema.
Wawili awa walishi vizuri, huku wakila na kuvaa vizuri, asa kwa upande wa Ratif ambae mume wake, yani Damian, alijitaidi kumpendezesha ili awe kama wanawake wengine, huku akimnunulia simu, kwaajili ya kuwasiliana pale alipokuwa gengeni, kuna wakati walilazimika kujinyima kidogo, iliwaweze kutuma fedha kule Mpitimbi, yani kwa kifupi maisha yao yalikuwa mazuri, na yakulizisha, kiasi cha majirani zake kuanza kuona wivu, na kuna wakati, wakaanza kurusha vijembe, “bado anakamba mguuni huyo” moja kati ya vijembe vilivyokuwa vinasikika, sambamba na vicheko vya kipashikuna, “wataachana tu” mke wa bwana mdee ndie aliekuwa anaongoza vijembe hivyo kidogo vidogo.
Lakini basi mambo yalikuja kuaribika miezi sita baadae, asa baada ya Ratifah, kuingia katika urafiki na mke wa Mdee, ilianza kwa mabadiriko ya taratibu ya mwonekano wa nje wa Ratifah, ambae alianza kupenda kwa vipozi, ambavyo alisema anapewa na mke wa bwana Mdee, aikumshangaza sana Damian ambae aliamini kuwa Ratifah anapewa vitu hivyo na mke wa jirani yake, kutokana na urafiki mkubwa walionao.
Kitu ambacho kilianza kuwashtua wengi, ni tabia ya mpya ya meneja wa Bwana Mdee alie julikana kwa jina la Johakim, ambae mwanzo alikuwa anakuja na kumwacha Mdee nyakati za jioni, tena siku moja moja, akiishia nje, lakini sasa siyo tu kuja kila siku, ila alikuwa anakuja nyakati za mchana, na kuingia ndani, huku Ratifah, mke wa Damian, nae akiingia na kukukaa nae humo kwa masaa kadhaa, huku mke wa Mdee, akitoka na kuwaacha peke yao,
Lakini mambo yalizidi zaidi, na kuongezeka, pale ambapo Ratifa alianza kubadiri mavazi, mwanzo akuweza kuvaa suruali, za kubana, lakini sasa alivaa adi kaptula, na ile vi taiti, mwanzo alikuwa analuksa kila anapotoka pale nyumbani, sasa alikuwa ana subiri Damian akitoka tu na yeye anatoka, na kurudi mapema kabla Damian ajarudi.
Naam kadiri siku zilivyokuwa zinasonga ndivyo mambo yalivyo zidi kubadirika, ukiachilia kutoka wakati Damian akiwa barabarani, pia Ratifah, alianza kubadirika tabia mbele ya mume wake, mwanzo alikuwa anampelekea maji bafuni, sasa alikuwa anamwachia mlangoni, pia alikuwa mwepesi kumkasirikia, pale linapotokea jambo dogo la kuelekezana, yani kosa dogo la kumaliza muda huo huo, basi linge mgharimu Damian, kukosa unyumba kwa ata kwa week mbili, “hivi Ratifah, ni inshu ile ile au kuna nyingine” ilifikia wakati Damian akauliza, “sasa je, kwani lazima nikupe” ilo ndilo linge kuwa jibu la Ratifah, ambae sasa kuna wakati, alianza kuchelewa kurudi nyumbani, na akirudi alikuwa ananukia pombe, kama siyo kuwa amelewa kabisa. . …
SEHEMU YA ISHIRINI NA SABA
Hakika ilimpa wakati mgumu sana, Damian, ambae yeye binafsi, aliamua kupuuzia pombe kutokana na kipato kuwa kidogo, “sasa wewe ela ya kununulia pombe unaitoa wapi?” aliuliza Damian, siku moja mke wake aliporudi akiwa amelewa, “bwanee, we jari mambo yako, cha msingi pombe uja nunua wewe” jibu lile lilimgharimu Ratifah, ambae alishtukia akizabwa kofi zito la shavuni, ikifwatiwa na na makofi matatu mfululizo, ambayo yalisababisha kilio kikali toka kwa Ratifah, “mama nakufaaa” alipiga keleleRatifa huku anakimbilia nje, ambako alidakwa na mke wa Mdee, ambae alimwingiza ndani.
Damian ambae alikuwa anajuwa fika kuwa, chanzo cha mke wake kufanya yale yote ni mke wa Mdee, akaenda mpaka pale na kugonga mlango, ambao ulikuwa umesha fungwa kwa ndani, lakini licha ya kugonga kwa muda mrefu, mlango aukufunguliwa, “Mdee nakuomba kidogo” alisema Damian baada ya kuona akuna dalili ya kufunguliwa kwa mlango.
Bahati nzuri Mdee akaitikia wito, lakini alitoka na mke wake, yani mke wa Mdee, “Mdee naomba umwambie shemeji, aache kutoka mke wangu, kama anaenda kwenye matembezi yake basi aende mwenyewe” alisema Damian, kwa sauti iliyo jaa hasira, hapo mke wa Mdee ndie alie jibu, “weeee ishia hapo hapo, kwani yeye ni mtoto dogo, au ninamfunga kamba, anayo yafanya anayafanya kwa iyari yake, wala simlazimishi” alisema mke wa Mdee, kwa sauti ya kupayuka yenye mauzi, wakati huo Damian alikuwa anamsikia mke wake anaongea toka ndani, “amenipiga, mimi siwezi tena kuishi nae….. ndiyo amenipiga sana, mpaka sasa nasikia kuuma…. sawa hapo utakuwa umemkomesha…” niwazi alikuwa anaongea na simu, kwa kumshtakia Damian, ambae akujuwa anashitakiwa kwa nani.
Ukweli ilitia hasira sana, alitamani avunje mlango na kuingia ndani, “shemeji nimesha kuambia, sitaki mazoewea na mke wang” alisema Damian kisha akaondoka zake na kuingia chumbani kwake, huku anajiuliza kitu ambacho atakuwa amekomeshwa, kitu ambacho alikuja kukijuwa, nusu saa baadae, wakati ambao, alisikia ngurumo ya gari mbili nje ya nyumba ile, ikifwatiwa na hodi, kwenye mlango wa chumba chake.
Damiana akiwa na bukta tu! akaenda kufungua mlango, ambapo alikutana na watu kadhaa walio mwogopesha, ukiachilia Ratifa alie kuwa amesimama na kijana mmoja mwenye mwili mpana na tumbo kubwa, alie valia nadhifu, ambae anamfahamu kuwa ni boss wa Mdee, pamoja na Mdee mwenyewe na mke wake, pia kulikuwa na polisi watatu, huku magari mawili yakionekana pale nnje ya gari la polisi, na gari la boss wake Mdee yani Toyota vitz, “ndiyo huyu hapa” alisema Ratifah huku anajiliza liza.
Mpaka hapo tayari Damian alikuwa amesha pata picha kamili, juu ya kilichokuwa kinaenda kumtokea, “Ratifah, umeamua kunifanyia hiv…” hooooo1 kabla Damian ajamaliza kuongea alicho kuwa anataka kumweleza mke wake huyu, alie mtoa mbali zaidi ya kilomita elfu moja, akashtuka akifyetuliwa miguu yake yote miwili, kwa miguu ya askari alie valia buti za kijeshi, na kujibwaga chini, kwenye ngazi za mlango wa chuma chake, huku akipiga mgongo chini, kiasi cha pumzi kukata kwa sengunde kadhaa na kumfanya asindwe kutoa ukulele wa aina yote, wakati huo baadi ya majirani wakitoka nje, kushuhudia kilichokuwa kina mtokea mwenzao, “inuka twende mpuuzi wewe, unapiga piga wanawake mpaka zama hizi, mambo hayo yalisha pitwa na wakati” alisema mmoja waaskari, huku anamzibua Damian teke la mbavu.
Kwakuona endapo ata jaribu kujieleza maali akiwa pale chini, anaweza kupelekwa hospital, baada ya kituo cha polisi, Damian akajiinua kwa tabu, huku akiongezewa nguvu na kofi zito la mgongoni, na kuzingatia akuwa amevaa shati, lika sika vyema kabisa likichana hanga, “pah!!!!!” “naenda afande” alilalamika Damian, ambae sasa moyoni mwake alijilahumu kwa kumchukuwa Ratifa toka kijijini.
Siku ile Damian alilala kituo cha polisi cha mbezi kwa yusuph, kipindi kile akija vunjwa, alikaa hapo kituo akiwa na bukta tu, baridi kali kwenye sementi ya chumba hiki kidogo chenye harufu kali, alikaa usiku kucha akijikunyata, kama kinda la ndege la siku moja, mawazo ya kile kilicho mtokea yalitafuna moyo wake, na kumsababishia maumivu makali, asa alipovuta picha ya yule jamaa mfupi mwenye kitambi kikubwa, alie kuwa amesimama na Ratifah wakati ule wa kukamatwa kwake, sasa alipata uhakika jinsi mchezo ulivyo chezeka.
Kwamba Mdee na mke wake wanamkuadia mke wake Ratifa, kwa yule boss wao, ambae ametumia fedha zake kuita polisi wamkamate, ilimuumiza sana Damian, ambae alianza kuwakumbuka wanawake wengi wa wapale kijijini Mpitimbi, ingetosha kabisa kutumia muda wake kutafuta mschana mzuri mwenye kujiheshimu, na kuja nae huku Dar, kuliko alivyo danganyika kwa huyu mwanamke mshenzi alie kosa vyote, sura aibu na tabia. . …
SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE
Ilikuwa ni siku ngumu sana kwa Damian, ambae alikuja kuachiwa siku ya pili, mida ya saa tatu usiku, njaa ikiwa inamsokota vilivyo, nikama alikuwa amekaa kule kituoni, kwa masaa ishilini na nne, aliachiwa pasipo kuambiwa chochote wala kuulizwa chochote, bahati yake ilikuwa ni usiku, maana ingekuwa mchana, sijuwi ingekuwaje, maana alikuwa na bukta peke yake.
Damian alitembea kwaharaka kuelekea nyumbani kwake, njaa kari na kiu ya maji vikimsokota, huku njia akishukuru mungu kuweka usiku na mchana, vinginevyo sijuwi ingekuwaje, kutembea na kijibukta kile, tena mchana wa jua kari, toka kwa yusuph mpaka makondeko, ingeuwa guzo kwakweli, kichwani mwake sasa alikuwa anawaza jinsi atakapo pakuta nyumbani kwake, ambako aliacha mlango wazi, wakati ananyakuliwa na polisi jana usiku, maana alijuwa fika kuwa asinge mkuta Ratifa pale nyumbani, baada ya kumfanyia haya aliyo mfanyia.
Kumbe mawazo yake yalikuwa ni tofauti kabisa, maana alipofika nyumbani, ambako alikuta taa ya ndani ya chumba chake ina waka, akushangaa sana, maana jana wakati anatoka, aliacha taa inawaka, akasukuma mla ngo ambao ulikuwa wazi na kuingia ndani, ambako kwanza kabisa alikutana na harufu nzuri ya chakula, alipotazama mezani akaona pameandaliwa chakula kizuri na mapocho pocho, hivyo akajuwa kuwa Ratifa alikuwepo mle ndani, na alipotazama kitandani, akamwona Ratifa akiwa amelala kifudi fudi, huku amevalia chupi pake yake, anamtazama kwa jicho flani, ambalo ungeshindwa kulitabiri kama nila uoga au la aibu, “pole mume wangu, pole sana kipenzi changu, yani nime juta kwa nilicho kifanya” alisema Ratifa huku anainuka toka kitandani na kwenda kukumkumbatia Damian, ambae alikuwaamesimama kati kati ya chumba tumbo wazi, na chini anabukta tu.
Ukweli Damian akujibu kitu, kitoka na asira alizokuwa nazo, “jamani mume wangu punguza hasira, sikuwa mimi ni pombe tu ndio zilinituma nifanye vile” alijitetea Ratifah, huku anamwachia Damian, na kujifunga kanga, alafu akaifwata ndoo ya maji ya kuoga, “aya twende bafuni, ukaoge, ili ule upate nguvu, alafu tuongee, ata kama unataka kunipga leo unipige mpaka uchoke” alisema Ratifa kwa sauti iliyojaa unyenyekevu, na mahaba mazito, huku anatangulia kuelekea bafuni, mkono mwingine ameshika kopo la sabuni.
Sijuwi kwa wewe msomaji, ila ukweli kwa Damian anakuwa mpole, na kuvaa kandambili, kisha akamfwata mke wake nyuma ama mwanakondoo wa sadaka, safari ya kueleke bafuni, huku hasira zikizidi kushuka, pengine hasira zinge ongezeka akiwa bafuni anaoga, baada ya kubakia peke yake, lakini aikuwa hivyo ata kidogo, maana Ratifa akumpa nafasi yDamian ya kuwa peke yake.
Hakika ilipendeza macho kwa watu, ata wale waliokuwa wametulia wanasubiria kitakacho mtokea Ratifa, baada ya kila kitu alicho kifanya jana, walishangaa na kuoga mbinu hii mpya ya Ratifa, japo awakupata bahati ya kuingia bafuni, lakini watakuwa walihisi kile tunacho kijuwa mimi na wewe.
Mala walipoingia bafuni, Ratifa alimvua Damian ile bukta na kukuitundika kwenye msumari, kisha akavua nguoa zake pia, na kuanza kumwogesha penzi wake akimfanyia usafi kila sehemu, iliyostaili kufanyiwa usafi, na kitu cha kushangaza ni kwamba, Ratifa au mama Tuma, alisafisha dudu kwa muda mrefu sana, akiishika kama anaosha mtwangio wa viungo vya pilau, kiasi cha kuifanya dudu ile licha ya kupitia kwenye misuko suko mingi, kuanza kusimama. . . …
SEHEMU YA ISHIRINI NA TISA
Dakika chache baadae walirudi chumbani, ambako Ratifa alimfuta maji mpenzi wake na kumpaka mafuta, kwa mahaba makubwa, huku mala kwa mala akimwambia, “pole mume wangu, sito rudia tena kufanya hivi” hakika Damain, aliliwazika na kufarijika sana, akimini kuwa mpenzi wake amegundua makosa yake, na amaeamua kujilekebisha.
Usiku ulikuwa mtamu sana kwa Damian, ilikuwa ni baada ya kupata chakula kitamu ambacho kiliandaliwa kwaajili yake, chakula ambacho kilionekana kuwa chagharama kubwa, japo Damian akuweza kuuliza fedha ya kuandalia chakula hiki imetokea wapi, yeye alikula na alipo maliza bwana Damian, alipewa vitu alivyokuwa amevimiss kwa muda mrefu, japo akujiuliza Ratifa amejifunzia wapi, maana akuwai kufanyia hapo mwanzo, ikiwa ni kunyonya dudu, pamoja na mitindo mbali mbali ya kunyanduana, na alijitaidi kufanya kila anachoweza bwana Damian, ili kuhakikisha anamaliza kiu ya mke wake, akihisi kuwa siku zote amekuwa akimpapasa, pasipo kumlidhisha, ndio maana anatoka nje ya ndoa yao bubu.
Saa saba za usiku ndio muda ambao wawili awa walimaliza kunyanduana na kuamua kupumzika, huku kichwani mwake Damian, akimini kuwa amani imesha rejea katika maisha yao, lakini asicho kijuwa Damian nikwamba, yale yote yalifanyika ikiwa ni maelekezo ya bwana Johakim.
Ilikuwa hivi, usiku wa jana baada ya Damian kukamatwa, na kuondoka na polisi, huku nyuma, Johakim yani boss wa Mdee alimchukuwa Ratifa na kuondoka nae, na wakaelekea kwenye moja ya nyumba za wageni zilizopo maeneo ya karibu na pale, ambapo waliendelea kunywa pombe huku wakiongea mambo mengi sana, “sasa mpenzi, nazani wewe mwenyewe umesha jionea, siwezi tena kurudi kwa yule mshamba” alisema Ratifah, kwa sauti yenye kujidekeza, wakati wakiendelea kunywa pombe, “lakini Ratifah, nimekuambiwa kuwa mama yangu anamambo mengi sana, lazima tupate muda wa kuweka mambo sawa, ili nikakutambulishe kwao” alisema Johakim, kwa sauti ya kutahadharisha, “basi mpenzi ukanipangie chumba, mimi siwezi kurudi kwa Damian” alisema Ratifa kwa kulalamika, “nitafanya hivyo Ratifah, lakini nipe muda kidogo, siunajuwa nimetoka kununua mzigo mpya hivi karibuni” alisema Johakim, kwa sauti ya kujiamini, iliyojaa ufahari.
Kuna kitu ambacho inabidi ukifahamu juu ya Johakim, Wakati Ratifa anajuwa kuwa, Johakim ni mtu alie zaliwa na kulelewa na mama pekee, na mpaka leo bado anaishi na mama yake huyo, ambae ni tajiri sana, alie mfungulia Johakim duka kubwa la DS, yani duka analo fanyia kazi Mdee, na akiwa ajuwi lolote, Ratifa aliaidiwa kuolewa na kijana huyu, ambae mpaka leo anaishi kwenye jumba la kifahari la mama yake, hakika aifa alijiona kuwa ameyapatia maisha, na kuhisi kuwa bahati yake ilikuwepo toka zamani, na ilikuwa inamsubiri hapa hapa Dar es salaam, na sasa amesha kutana nayo.
Kumbe basi ukweli ni kwamba, tofaui na vile ambavyo Ratifa alikuwa ame ambaiwa, Johakim mwenye mwonekano wa kiboss na kitajiri, yeye ni mwajiliwa katika DS BEAUTY POINT, kama msimamizi wa moja kati ya maduka ya kampuni hiyo, huku akipangiwa nyumba na kuachiwa gari la kutembelea aina ya Toyota Vitz, kama wasimamizi wengingie walivyo patiwa magari ya aina hiyo.
“Sasa mimi nitaenda kukaa wapi, we mwenyewe umeona jinsi ilivyokuwa” alisema Ratifah, ambae alijuwa fika kuwa kwakile alichokifanya kwa Damian hakika asingeluhusiwa kukaa ale tena, “wewe kesho asubuhi nenda nyumbani, nitakupa ela mwandalie chakula kizuri, polisi wata mwachia usiku, akirudi nyumbani ata kuwa nanjaa kali sana, yani jifanye kama unampenda sana, ili atulie, alafu akisha tulia nenda nae hivyo hivyo, mpaka nitakapo kupangishia chumba” alisema Johakim, ambae kiukweli hakuwa na uwezo wa kumpangia chumba Ratifa na kumwekea vitu vya ndani, maana mshahara wake ulikuwa ni wakumtosha yeye tu na familia yake, na hivi vifedha vidogo vidogo alikuwa anavipata kwa njia ya kuzidisha bei kwenye nguo au bidhaa za dukani.
Hivyo ndivyo ilivyokuwa, na siku ya pili Ratifa alitudi nyumbani na kufanya kama alivyo elekezwa na hawara yake, huku Damian akijuwa kuwa mke wake amesha jirekebisha. . …
SEHEMU YA THERASINI
Naam mapenzi yalikuwa kama yameanza upya, waliishi kwa amani huku wakipeana mapenzi moto moto, japo aikuwa kama kipindi kile Rarifah alipokuwa ameletwa toka kijijini, sasa alikuwa analuhusiwa kutoka, kwenda kutembea bila mashariti yoyote, huku akitumia nafasi hiyo kkukutana na Johakim, na kufanya mambo yao, huku wanaendelea kupeana mipango ya kuishi pamoja, kitu ambacho Ratifah alikuwa anakiamini kwa asilimia zote, akujuwa kuwa Johakim alikuwa anamdanganya.
Mambo yalianza kwenda kombo, baada ya mwezi mmoja, taratibu mapenzi yalipungua, huku Damian akinywimwa unyumba, kwa kupewa sababu ndogo ndogo, zisizo na msingi, mpaka anakuja kushtuka tayari miezi mitatu ilikuwa imepita, pasipo kisu kuingia kwenye mfuko wake, hamu ilikuwa imeshika Damian, ambae akuisha kumbembeleza mke wake ampe kitumbua, ungesema anamtongoza upya, lakini akukuwa na mafanikio.
Hali ilizidi kuwa mbaya, Ratifah akirudia tena ulevi, na safari hii akiwa mlevi kweli kweli, na penzi lake kwa Johakim, likianza kuwa wazi kabisa, kuna wakati alikuja kuchukuliwa pale nyumbani, au kurudishwa na Johakim mwenyewe, uvumilivu ulimshinda Damian ambae aliamua kulipeleka swala hili kijijini kwa wazazi wake, ambao walimweleza mshenga wao, na kwenda kwa wazazi wa Ratifa, ambae waliwasilina na binti yao kwa kutumia simu ya mzee Lambart,
Wazazi wa Ratifa walimsihi sana binti yao kuto fanya yale anayo yafanya, huku wakimkumbusha faidia ya yeye kuishi na Damian, kwamba amewasaidia angalau sasa wanauhakika wa milo mitatu kwa siku, lakini aikusaidia lolote, maana tayari Ratifa alikuwa na uhakika wa kuolewa na Johakim, ata siku moja, bwana Damian aliporudi nyumbani, alimkuta mke wake akiwa amelewa kweli kweli, na kulala na viatu, Damiana alichukizwa sana, alishindwa kufa lolote, akifia kupelekwa polisi, akajarinu kumwamsha ili avue viatu na kulala vizuri, lakini Ratifa akuonyesha dalili ya kuamka, ndio kwanza alizidi kukoroma.
Hapo Damian akaamua kumsaidia mke wake huyo, alie kosa uaminifu, hivyo akamvua viatu pamoja na nguo, na wakati anamlaza vizuri ndipo alipo pata wazo, nae aka mlaza kiubavu ubavu, na kumtelemsha chupi kidogo, kisha akapanda kitandani na kujilaza nyuma ya mke wake, kisha aka aipeleka dudu yake kitumbuani kwa mke wake, na kuanza kujipimia utamu, alifanya hivyo maka alipomaliza hajazake, aka lala huku akiwa mwepesiiiii.
Naam hiyo ikawa tabia mpya ya Damian, ambae sasa alikuwa anaombea kila siku amkute mke wake amelewa kama vile, ili ajipimie utamu, japo kuna wakati mke wake huyo alikuwa anaonekana kuonyesha ushirikiano, lakini katika hali ya kuto kujitambua.******
Lakini sasa hii yaleo ilikuwa imezidi sasa, maana aligunfua kuwa mke wake ameingiliwa kinyume cha maumbile yake, na ni lazima alifanyiwa hivyo kwa iyari yake mwenyewe, maana alifika akiwa anatembea mwenyewe hapa nyumbani, “potelea pote, lazima nimrudishe nyumbani kwao” alisema Damian huku anainuka na kuanza kukusanya nguo za mke wake, na kuzitia kwenye shangazi kaja, ambayo ilikuwa na baadhi ya nguo za mke wake, alipomaliza akajilaza pembeni, na kuanza kusaka usingizi.
Kama alifanikiwa kupata usingizi, basi ni masaa mawili au matatu, maana mpaka saa tisa alikuwa macho, ila saa kumi na mbili alikuwa amesha aamka, akamwamsha mke wake, ambae bado alikuwa amepotea kwenye usingizi mzito, “Ratifah!!! we Ratifah, ebu amka bwana uwai magari” alisema Damian kwa sauti iliyojaa hasira.. . . …
INAENDELEA………..