DEREVA WA BABA
SEHEMU YA KUMI NA SITA
Mama yake alikuwa anacheka kwa zile kumbu kumbu 🥰🥰kwake zilikuwa zinampendeza sana☺
Lakini kwa iren ilikuwa kama mkuki 🤥🤥,alitonesha kidonda chake upyaa ☹☹,akaingia ndani kimya kimya huku akiwa ameishika ile picha 🤔🙌🏾
Alifika mpaka kitandani kwake akaketi akawa anaitazama ile picha akatabsam🙌🏾 “yaan Yaksun wewe ni Handsome tangu mtoto 🥰,Umeona Yaksun unanipenda mimi kumbe sio huyo 🙌🏾Yaksun hivi unakumbuka hata😪😪 ,Unatakiwa kukumbuka kuwaa ulikuwa unanipenda sana😔” irene akafuta machozi Roho inamuuma akatamani arudishe siku nyuma wakuwe wote na Yaksun wasome wote 🥺🥺
Akajikuta anamlaumu baba yake kama aliamua kumsomesha Yaksun 🙌🏾 kwanini sasa hakuwapeleka shule moja 🤔wakati anajua kabisa kuwa Yaksun alikuwa anampenda yeyee😪😪 ..
Wakati anafikiria atalipata vipi tena penzi la Yaksun 🤧🤧 ,mlango wake uligongwa ishara ya kuwa kuna mtu anabisha hodi 🤥..
Akafuta machozi yake chap chap akatoka kufungua mlango😣😣 alikuwa dada wa kazi🙌🏾 ,akamwambia unaitwa na mama kuna wageni mama kasema vaa nguo ndefu😔😔 .
Mmh🤔🤔 Irene akawaza mgeni gani huyo hadi napewa tahadhari wakati haijawahi kabisa kutokea mmh 🤔 akachukua nguo ndefu kweli akavaa akatoka ile anafika kwenye Seble lahaullaaah🙄🙄🙄
Kulikuwa na ugeni wa kuheshimiwa ☹☹,macho yake yaligongana na Lawrence 🤥🤥 tena akiwa na baba yake na kaka zake wawili wamekuja lini Tz wakati hata kufika hawakuwahi kufikiria🙄🙄 irene alihisi kutetemeka mwili 😬😬
Mama yake akamwambia kwahiyo utasimama hapo mpaka sa ngap embu njoo ukae 🙄🙄🤔🤔🤔 akapita kuketi miguu inatetemeka hakuwa ameutegemea huo ugeni kabisa hapo kwao .🙌🏾..
Lisaa na madakika yake tayari yalikuwa yamepita😌😌, Yaksun ndio alikuwa anatoka kule alipo kuwa amekwenda kufatilia maswala yake ya kazi🧐🧐 ..
Alichukua simu yake akampigia Mesha alimwambia amfute 🤨🤨, Baada ya mesha kupokea simu walipeana maelezo wapi sehemu ya kukutana😒😒 , Yaksun akanyoosha mpaka hapo 🙌🏾
Mesha alikuwa amekwisha fika muda mrefu sana😐 , baada tu ya kuona gari ya Yaksun inaingia akatoka kwa kasi kuelekea huko huko 😒🤨yaan kitendo cha kumsubiri mpaka afike alipo yeye aliona anachelewa 🙌🏾
Yaksun anafungua mlango wa gari kushuka alikutana na ngumi nzito ya Mdomo kutoka kwa Mesha 😬😬
“Khqa !!! We unafanya n….” kabla hajamaliza mshangao wake alipigwa ngumi ingine🤥🤥 ya maana kwenye shavuu 🙄🙄 Yaksun akashangaa huyu akasogea kwa kasi pembeni ili kuzuia kuwa karibu na Mesha ☹
“Kwaninii ume fuck na Irene🙄??” Lilikuwa swali la Gafla Yaksun kulisikia kutoka kwa kaka wa Irene mesha🙄🙄,Alikuwa hasira za waziii 🤨🙌🏾
Yaksun alibaki kimya kwa sec hajui anatakiwa kujibu ninii,🤥🤥 alipigwa ngumi ingine ya kumshtuaa 🙄🙄
“Kwanini uli fuck na irene ,ukiwa unajua wazi hauna mapenzi naeee Whyyy😧😧🙄???” Mesha aliongea kwa kupaza sauti😳😳 safari hii alishika bara bara kola la shart ya Yaksun huku anamtikisa 😳😳
“Mesha si…si…yaan aah tungeongea kwa utulivu basi😒🙌🏾” ilibidi awe mpole na kushuka mana aliona kabisa Mesha hasira zake wasije kuzua mengine 😔
“Wewe una mwanamke wako sasa kwanini umeamua kuchezea hisia za yule bint🤨🤨??”
“Mesha haikuwa hivyo yaan ni stuation ambayo hata wewe Najua usinge weza kuikwepa ☹☹yaan Hata sijui nikueleze vipi lakini naumia kwa usiku wa jana natamani kufuta☹ natamani ile simu ya ireen nisingeipokea🙌🏾 wala nisinge mfata kule🙌🏾 labda kuna kitu kingebadilika 😔😔naomba radhi🙏🏾”
“Ivo tuu yaan hivyoo tu Yaksun 😳😳 yaan et ooh ningeweza khaa🙄!! Unajua irene anachopitia lakini🤥🤥 “
Mesha alichukua simu yake aka weka video kisha akampatia Yaksun🤨🤨 , Alikuwa ni irene analia kwa uchungu kumbe mesha alimchkua video 😔😔
“Sasa mimi nifanye nini mesha☹☹ ,sijawahi kujisikia hiviii sijawahiii nampenda Yaksun mesha nampenda kwelii ,Moyo wangu nasikia unaungua Mesha sasa mimi nitafanya niniii 😭😭”
Meneno yalikuwa yanasikia kwenye video na msemaji alikuwa ni irene tena kwa kilio kikubwa huku anaushika moyo wake kwa hisia za maumivu 🤧😪😪,
Mwili wa Yaksun ulisisimka vinyweleo vyote vya mwili😔😔 vikasimama vipele vya hisia kalii vikamtoka 🤥🤥, hajawahi hata siku moja kwenye maisha yake kuliliwa na mwanamke🙌🏾 hata siku moja zaidi yeye ndio anawalilia mpaka ameamua tu kuoa yeyote 😢 , Leo katoto kazurii kama kametoroka peponi et kanamlilia tena kwauchungu 😕😕
Hii kitu ilimsisimua sanaaa Yaksun ilimuuuma mnooo kuliko hata kawaida🥺🥺 ,lakini alijiambia moyoni 🤔 “umechelewa Yaksun 😥” alimkabidhi simu yake mesha
Hakumwambia kitu akafungua mlango wa gari kuingia ili atimke zake 😢😢
Mesha akamvuta kwa nyuma akamwambia” kwahiyo dharau babu au🤨”
Yaksun hakuwa na papara alimgeukia Mesha akamwambia 🤔🤔
“Hatuwezi kubadilisha chochote kwa mistake ya jana zaidi ya kusema samahani 🙌🏾sidhani kama naweza kusaidia kingine I’m Soo sorry mesha soo sorry 🙏🏾🙌🏾”
Akafungua mlango akaingia na kuondoa Gari 🤥🤥, Mesha akabaki anarusha miguu na ngumi hewani kwa hasira🥺🥺 hakuna alichoweza kusaidia kwenye hilo 🤨🤨
Lawrence alipoona hapati msaada wowote kwa jambo lake 😒,Hakuwa tayari🙌🏾 kabisaa kulipoteza penzi lake na irene hata kidogooo ujana una mengi makosa yanasameheka 😣😣🧐
Alimuomba baba yake msaada juu ya hilo jambo ndipo wakafikia muafaka kuwa waje kuposa moja kwa moja aoe🤔🤔 kwa kuwa ilikuwa haraka baba yake na kaka zake walidandia ndege (kupanda kwa haraka haraka) kutoka mexco na siku hiyo hiyo hawakuhitaji hata kupumzika wakafika nyumbani kwao irene 🙌🏾
Mesha alikuwa amewaeleza kila kitu na anajuta kwa ule ujinga🤌Irene hakufurahi hata kidogo kuwaona hapo hiyo familia 😧 japo wazazi wake ilikuwa ni furahaaa ujio wa baraka wao wanaita 🤔🤔
Baba yake na Lawrence aliweka kila kutu mezani😒 nia yao mpaka ugomvi wa watoto wao mwisho kuomba radhi😒😒🙌🏾,Lawrence akapiga magoti mbele ya wazazi kumuomba msamaha Irene kwa ule ujinga alioufanya 😔😔
Mama yake na irene akamwambia mwanae embu msamehe mwenzio yaishe 🤥🤥nae ni binadam ilimradi amejirudi na kuomba radhi anzeni maisha mapya🙄🙄
Irene alikuwa kimyaa muda wotee hakuongea tangu afike hapo sebleni😔😔 na kukuta hivyo vioja kila kilichoendelea hapo kilikuwa kinamkera sanaaa anasikia hasiraa🤔🤔
Kwa upole akamwambia 😔”Lawrence naomba tuongee huku nje mimi na wewe😒😒”
Lawrence akainuka kutoka nje anamfata nyuma irene, wakatoka kwa kuongozana mpaka nje karibu na Geti 😧😧
Irene akamtazam Lawrence kwa sec akamuita jina lake 😔, Lawrence akasma Yes nakusikia😒😒, Muda huo na Yaksun alikuwa amefika Gari aliegesha mbali kidogo na hapo akaja kwa mguu 😌,nia yake ilikuwa ni kuaga vyema na kuwashukuru vizuri japo bado atakuwa anakuja sana tu 😒😒🙌🏾
SEHEMU YA KUMI NA SABA
Iren akamwambia “Lawrence ni kweli nilikuwa nakupenda sanaa 😒😒,nilikuwa natamani siku kama hii ifike haraka 🤔🤔 nilitamani sana uje nyumbani kwetu 😔😔
Lawrence nilihisi nakupenda lakini nimegundua sikuwa nimezunguka kwenye dunia😧😧 na kuona vingine mungu alivyovihifadhi😪😪,sikuwahi kujua kuna wanaume hapa duniani🤧🤧 ndo mana nilikuwa mpofu kwenye mapenzi yako🙌🏾🙌🏾 ,nikahisi wewe ndio kila kitu🤥 ,lakini Lawrence kama ulivyozunguka wewe😔😔 ukaonja ladha tofauti na yangu🙄🙄 ndivyo na mimi nimeonja ingine lakini hii ilikuwa kali kuliko zote nilizowahi kujaribu hata yako pia 🤨🤨,Sikupendi tena Lawrence sikuhitsji tena Lawrence sina tena hisia na wewe😒😒🙌🏾 ….”
“Aah we irene wewee mbona ka😧😧….”
“Nampenda mtu mwingine🤨🤨 ” irene alikuwa anaongea huku anatoa machozi 😪😥,Lawrence hajui hata nini aseme roho ilikuwa inamuuma 😥😥
“Ni nani ?? yule jamaa alikuchukua jana🤔🤔😒?? irene najua hizo ni hasira juu yangu ☹☹nipo tayar kuzipokea🙌🏾 ila tusimalize hivi irene mie nakupenda😔😔 lile kosa la jana nakuapia halita jirudia tena tenaaa ☹☹naomba ukubali tufunge ndoa turudi wote mexco tafadhali😭😭? “
Irene alikuwa kimyaa😭 moyoni anajiambia hata kama nikikataa kuolewa na Lawrence nitaenda wapi😭😭 Yaksun anaoa nitakaa hapa naumia tu😪😪 …
Alimtazama Lawrence kwa muda akamwambia “sawa nitaolewa na wewe kwasababu nimekataliwa🤔🤔 kwasababu sina pa kwenda🙌🏾 kwasababu moyo wangu una ganzi ☹☹ila kuhusu mapenzi sikupenda Lawrence hata kidogo🤨🤨 “
Lawrence hakujali maneno ya irene yeye alishika moja tu nimekubali kuolewa na wewe😌😌 hayo mengine alijua ni hasira za yale aliyomfanyia☹🙌🏾 na atakaa sawa huko mbele 🤨🤨, Hakuwa na wazo kabisa kuwa moyo unaweza kuhama kwa sec tu🙌🏾 yaan kosa moja ambalo yeye anaona dogo linaweza kusameheka😪😪 ndio lilibadili mfumo mzima wa maisha ya irene🤥 …
Wakati wanaongea yote Yaksun alikuwa getini akasikia kila kitu☹☹, hakuingia mpaka walipo maliza maongezi yao😒 wakarudi ndani Lawrence alikuwa na furaha mnoo kwa kukubaliwa akaona sasa yameisha 😒😒🙌🏾
Wakaleta majibu kwa familia zao 😌, Baba yake Lawrence akasema mambo yawe haraka wafunge ndoa ndani ya mwezi huu 🤗 hakuna kulalaa😕 , Lawrence alitaman hata kesho aambiwe aondoke na Irene 🤔🤔kitendo cha kumkosa kosa irene kilimfanya azidi kumpenda zaidi ya mara elfu 😒🙌🏾…
Yaksun alikuwa ndani ya gari anaelekea kwake maneno Ya irene yalifanya hata hamu ya kuingia ndani akose☹☹ , alikuwa anaendesha gari huku machozi yanatoka😭 , kama asingefanya haraka kuchumbia angekuwa ameokota bonge wa dodo chini ya mpera 😋 yaan irene embe dodo tam tam kama sukar tam tam😍🥰🥰🥰🥰🥰 Alibaki kufuta tu machozi mpaka anafika nyumbani kwake ☹☹ndo kabisaa kumbu kumbu zote za irene zilikuwa ndani ya chumba chake😔😔 kila kitu kilikuwa kinajirudia kichwan walichofanya jana 😥
Kuna muda alikuwa anatabasam huku anageuza ubavu mwingine😒😒 kujilaza kumbu kumbu zingine zinamfurahisha 😧😧,
“Hakuna njia irene🙌🏾 ,litapita pia soo sorry mamaa😒😒🙌🏾” alijisemea huku anaitazama namba ya irene haikuwa imehifadhiwa kwa jina , ilikuwa namba Tupu 😌😌
“Ni kumbu kumbu nzuri hata hivyo lazima tuzisahau😔😔” …….
Wakati maandilizi ya ndoa ya Yaksun yamepamba moto 🥰🥰🥰🥰, huku ndoa ya Irene na Lawrence nayo ilikuwa wiki moja baada ya ndoa ya Yaksun ..
Wazazi wa irene walikuw mbele kugharamia kila kitu kwenye ndoa ya Yaksun ☺☺🥰kama muendlezo wa kumlea kijana wao 🥰
Irene hakuwa na raha tangu tarehe yake ndoa itangazwe🙄🙄 alikuwa muda wote anajifungia ndani🤧 ,mesha ndio alikuwa karibu nae 😔😔anaamini baada ya ndoa watakwenda kuishi huko mbali na tasahau kuhusu Yaksun 🙌🏾 ,, Irene alisema ukweli kwa mama yake yote yalitokea yeye na Yaksun hata hisia zake za kweli😔😔 kwahiy mama irene alikuwa anaujua ukweli lakini hata yeye hakuwa nala kufanya alimuonea tu huruma Bint yake😕 …
Kila siku zilivyokuwa zinasogea ndio irene alizidi kuwa dhoofu🥺🥺 halii alikuwa anashinda kajifungia analia tu😭😭🙌🏾 picha ya Yaksun na yeye wakiwa wadogo ilikuwa mbele yake masaa yote😪😪 , hii hali ilifanya hata baba yake ahoji shida nini kwa irene ndo mama Urene akasema tu ukweli kinachomsumbua bint yake 🤔🤔😕 ..
Baba yake akamfata kuongea nae “irene ndoa ya Yaksun ni kesho ndoa yako wiki ijayo baada ya hapo utakwenda kuishi mbali naamini utasahau embu jikaze yapite🥺🥺🙏🏾 “
“Kila mtu ananiambia yataisha kila mtu nitaolewa nitaenda mbali alowaambia mie nataka kwenda mbali nanii🤔🤔☹😭?? Baba mie namtaka Yaksun basiii😭😭”
“🙄🙄wewe Irene wewe ,wewee … ” baba irene hata kauli ya kutoa aliikosa aliishia kumuonya akatoka haraka mpaka kwa mke wake akamwambia yaliyotokea🤨🤨 ikabidi mama irene ainuke yeye kwenda kuongea na irene😐😐 , alimsema sanaa athamini alichonacho kwasababu hawezi kuwa na Yaksun 😥😥 tayar yule ni mume wa mtu walimsema mpaka akakubali kuachia moyo kwa Yaksun japo alikubali kuwaridhisha 🙌🏾….
Hayai hayawi yakawa😔😔🙌🏾 ,kesho iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na familia ya mchumba wa Yaksun 😐😐 ndio ilikuwa imefika walikuwa na hamu na mchecheto sio wa kawaida 😜😜, Yaksun yeye harusi yake ilikuwa tayari ilishaingia doa muda mrefu sanaaa, Hakuwa na Rahaa hizooo 😒😒
Hata familia yake ililiona yaan alikuwa mpaka asukumwe sukumwe kufanya kitu 😧😧mara hivi yaan yupo yupo 🙌🏾, lile tabasam la baba harusi hakuwa nalo hata kwa sec moja😌😌 …
Asubuhi ndoa ilikuwa kanisani baada ya ndoa😧 ,party usiku na bw na bi harus waelekee Honeymoon Zanzab kwa udhamini wa balozi baba yake na Irene 🙌🏾
SEHEMU YA KUMI NA NANE
Nyumbani kwa kina irene palikuwa na heka heka za maandalizi yankwenda kanisan kila mtu alikuwa bize kuupara 🥰🥰
Irene akavalia nguo yake ndefuuuu nzurii iliyopambwa haswaa👌👌 mbele ilikuwa na mpasuo mkubwa hadi ikaacha Paja lake kwa nje 👌, Nae alikuwa ni mmoja wa wanao hudhuria harusi siku hiyo 🤨, Lawrence alikuwa yupo Na mesha kivyao huko mana Lawrence hakuondoka Tanzania😒 alibaki mpaka atakapo funga ndoa ndio atimke na mke wake🤨🤨 , Nao walikuwa ni wamoja wa waalikwa siku hiyo 👌
Irene hakuwa anavaa nguo ndefu sanaa nguo zake nyingi ni za kuacha maeneo makubwa wazi ya mwili wake 🙌🏾 hiii siku alipendeza kuliko hata kupendeza kwenyewe🤔🤔 , Mama yake ndio alikuwa mtu wa kwanza kumuona “heee🥰🥰🥰Aah irene umependeza sijawahi kuonaaa”” mama yake akamwagia sifa huku anasogea kumtengeneza tengeneza japo hakuna sehemu ilikuwa inashida☺ ..
Kila mtu akageuza macho kumtazama aloo😋😋😋😋 Lawrence akajikuta anatamani hata kumchapa busu mchumba akee 👌
“Aisee hivi kumbe irene wewe ni mzuri kiasi hikii umekuw zaidi hata ya wale wa kwenye Tv”😘 Mesha alimchapa busu Irene la shavu huku anamwagia sifa zake😆😆😝
Baba yake akasema haya jamani tuondoke mwisho tukute ndoa tayar ilishafungwa ☹☹, japo roho ilikuwa inamuuma irene lakini aliona bora apotezee tu alie gizani 😔😔
Kwenye pochi yake alikuwa kaweka picha ile ya yeye na Yaksun wakiwa wadogo🤧🤧 alipanga akampatie hiyo picha kama zawadi amalizane nae😥 hakutaka tena kutunza chochote kinachohusu Yaksun 😣😣 …
Ndani ya kanisa😒 ,Kulikuwa na ndoa zisizo pungua tano siku hiyo 😬huku ya Yaksun na mchumba wake ikishika nafasi ya 4 kukamilishwa 🤥mpaka sasa ni ndoa mbili zilikuwa tayar zimefungishwa na panderi alikuwa anaendelea kuunganisha miili mingine zaidii 👌
Yaksun macho yake yakavutiwa na bint aliekuwa anaingia kwenye milango ya kanisa baada ya kuwa watu wote wapo kwenye utulivu wa hali ya juu wakisikiliz maneno ya Padri ndio familia ya Balozi ilikuwa inaingia kiasi ilichelewa kidogo 🧐🧐
Mbele alikuwa irene na Lawrence wameshikana mikono vile walikuwa wamependeza haswa 👌irene alipendeza pengine ndie alikuwa mrembo kuliko yeyote mule 🤔🤔,alivutia macho ya watu wote wengine hadi walikuwa wanageuka kumtazama akiwapita☺☺
Moyo wa Yaksun ulikuwa unaenda mbio mbioo baada tu ya kumuona Irene tena yupo na Lawrence 😡😡😡 alisikia hasiraaa wivu nao ukamkabaa alitamani kubadilisha masaa huyu bibi harusi wake ampe Lawrence yeye abaki na Irene mtoto mtoto haswaaa👌👌👌🥰🥰😋😋
Ki jasho kikaanza kumtoka hema yake ikabadilika sasa pumzi zilikuwa za hasira na wivuu 😬, akajikuta anapata hasira hata kuwa hapo kanisani 🤨🤨🙌🏾,
“I wish mimi ndie ningekuw hapo” irene alimwambia mesha kwa sauti ya chini kuzuia wengine kusikia ni kweli kabisa yaan baada tu ya kumuona Yaksun akiwa kapendezea hapo na bibi harusi wake roho ilianza upyaa kumuuma akajikuta vi machozi vinalazimisha kujipenyeza ili kutoka😒😒😪
“Irene embu acha please🙌🏾 “
“Nasikia kuumia sana Mesha sana😣 , nahisi sikutakiwa kuja hapa,🥺🥺naomba mie niende nyumbani tu🙌🏾” aliongea huku anafuta machozi ,
Yaksun macho yake yalikuwa yametulia kwa Irene tangu tu aingie hapo ☹☹,akamuona anafuta machozi yaan kwa jinsi alivyokuwa makini kumtazam hata haikumpa shinda kuw irene analia tena😢😢 , Moyo wake ukamuuma akatamani apate walau hata dakika moja tu ya kuongea na irene dakika moja tu alihisi inatosha kuongea na irene 🥺🥺 ,alianza kupiga hesabu za haraka atampata wapi irene au ataongea nae vipi na huku ndio ndoa ya mwisho inamaliziwa wafate wao kuwa mwili mmoja😕😕 …
Yaksun alikua hatulii yaan gafla ikawa kama mtu aliebanwa haja mwenye wasi wasi muda wowote anawez kuitoa hadharani🤥🤥 , Yaksun alikuwa hatulizi kichwa hata akili yake haikuwa hapo tena🤌
Mkewe mtarajiwa akamwambia vipii mbona hutulii unahitaji kituu?? Yaksun akawa kama ameshtuliwa kwenye mawazo yake😧😧,akamtazama mkewe huyu mtarajiwa yaan gafla tu anamchukiaaa 😡
Kwa sauti ya chini ili asije kuharibu utaratibu wa kanisa akamuita “rose” “ndio”
Yaksun akabaki kimya kwa sec huku wanatazamana akamwambia “hivi unakumbuka mara ngapi nimekufumania na yule Ex wako mpuuzi 😧😧”
Rose alishtuka🙄🙄 akamwambia “lakini Yaksun hayo si tulishayaongea yakaisha na nilishaachana nae jamani ndo unayaleta kanisani siku yetu muhimu hivi🙄🙄??”
“Nijibu nilichokuuliza mara ngap😳??”
“Mara tatu” Rose akajibu ki nyongeee 😔😔 kwanza hata hamu ikamkata mambo ya zamani yanaletwa hapa tena gafla hivi😥
“Mara ya kwanza nilikukuta nae ukaomba msamaha yakaisha ,mara ya pili tena kwenuu chumbani na mama yako analijua hilo inamaana alikubali wewe kufanya mapenzi hapo🙄🙄 …”
“Yaksun jamani Nianze tena kuomba msamaha hapa au nimuite mama akuombe msamaha hayo si ulisamehe jamani😔😔”
Rose akaongea kwa ukali sasa ,lakini Yaksun alikuwa bado anaongea kwa kupoa sijui alikuwa analenga nini🙌🏾,,
“Hata mara ya pili uliomba sana msamaha ukaahidi hautarudiana nae lakini bado niliwakuta hotel tenaa ukiwa nae🙌🏾 ,Sijui kama mmeachana au kwa sababu nimeacha kukufatilia lakini naamini vipi kama utakuwa mkweli ndani ya ndoa Rose😐😐 ,Au unaonaje leo ikawa ni siku ya kufunga ndoa na huyo mpenzi wako🤨🤨”
“Yaksun, kwani umekuwaje gafla😥😥???”
Irene alikuwa anawatazam sana Yaksun na mkewe wanaVyoongea kwa hali fulani aliona jinsi mwanamke alivyopaniki gafla 😧😧
Akamwambia mesha awatazame🙄🙄. Na ndio muda huo Yaksun alikuwa amefunga kuongea na mwanamke wake anageuka kutazama upande wa irene😳😳 , moyo wake ulikuwa umeshindwa kuvumilia na sasa aliamua kufanya maamuzi magumu mno na ya aibu kubwa 🙌🏾
Waligongana macho na mesha akanyoosha mkono ishara ya kumuita mesha akajishika kifuani huku anauliz mimii🤨🤨??” Kwa ishara ya mdomo tu , Yaksun akatingisha kichwa kukubali kuwa ni yeye ndie haswa alimuita🙄🙄
Mesha akainuka taratibu huku anaogopa mana watu wote walimtazama yeye tu🧐🧐 ,akasogea hadi alipo Yaksun 🤥🤥 ,Rose bado anaendelea kushangaa haelewi kinachoendelea☹☹
Mesha alisogea mpaka karibu Yaksun akamtegea sikio 🤔🤔, Yaksun akaomba Ruhusa ya kuzungumza nae kwa wasimamizi akaruhusiwa 🙌🏾
“Mesha tafadhali nifanyie jambo moja kama msaada naomba sana!” Yaksun alitumia kingeleza alijua wazi mchumba wake hatoambulia kitu hapo
Mesha akamuuliza kipi ??
“Nataka kuongea na dada yako kwa dakika moja tu tafadhali🙌🏾 “
“We Yaksun wewe upo serious🤨??”
“Mesha hatuna muda naomba umtoe hapo nje ya kanisa hapo kuna njia kushoto inaenda kwenye nyumba ya ma padri huko sasa hivi hakuna mtu naomba nimkute hapo Tafadhali fanya haraka🥺🥺”
SEHEMU YA KUMI NA TISA
Mesha alimfata irene haraka akamwambia njoo huku tuzungumze mara moja🤌 , wakawaaga wazazi kuwa wanaenda chooni 😧😧, irene alikuwa anamuuliza umezungumza nini na Yaksun🤥🤥 Mesha hakutaka kumwambia hapo🤨🤨🙌🏾 , Lawrence alitaka kuwafata mesha na vile alishamtoa kasoro kitambo 🙌🏾,Akamwambia asubirie hapo hapo wanarudi😔😔 ..
Mesha alimpeleka mpaka alipo elekezwa na Yaksun🤔 ,Akamwambia subiri hapa narudi sasa hivi sawa😕 ,irene haelewi akasema sawa akatulia moyo wake ulikuwa unakwenda mno 😔😔
Yaksun alipo muona Mesha anarudi taratibu akajua tayari kwasababu amerudi peke yake🙌🏾 , tayar alikuwa amekosa utulivu akamwambia mkewe mtarajiwa kama mungu akipenda muda mfupi watakuwa mwili mmoja 🤌
Akamwambia nahitaji kwenda choon hivi wanaruhusiwa🤔🤔?? ,Akasema omba nafikiri wanaruhusu😐 , Yaksun akamsemesha wa viongozi akamwambia shida yake , kidogo ilikuwa ngumu lakini alinga’ng’ania kuwa amebanwa sana na hatochukua hata dakika mbili akaruhusiwa🧐🧐
Irene alikuwa amesimama dakika nzima bila kuona kitu akataka kuondoka wakati anavuta geti dogo😔🙄 linalotenganisha kanisa na nyumba ya mapandri alishangaa kukutana uso kwa uso na Yaksun ndio anaingia hapo 😳😳
Ireena aliita Yaksun kwa mshangao🥺🥺 ,Yaksun hakumjibu akamkumbatia kwa hisia nzito sanaa😪😪,Irene alijikuta anapumua kwa afadhari hakufikiria hata huyu anakwenda kuwa mume wa mtu dakika kadhaa mbele 🥺🙌🏾
Wote pumzi zilikuwa zimebadilika wanahema haraka haraka ☹☹,Yaksun alipiga ma denda ya haraka haraka na mabusu ya shiko kama Elfu hivi 😋😋..
“Yaksun!!” Irene aliita kwa sauti yachini inatoka huku inatetemeka sana 🤥🤥
“Naam!”
“Saa kwanini upo hapa” Yaksun hakumjibu akampa ma busu mengine kama mia ya mdomo 😋😘😘😘
Baada ya Hapo akamshika mikono yake miwili akamuuliza “kweli unanipendaa??” Irene vimachozi.vikaanza kumtoka ni kweli anampenda mnooo Yaksun mnoo kuliko hata neno lenyewe
“Nakupenda Yaksun nakupenda sana😔😔 lakini siwezi kubadili kitu🙌🏾”
“,tunaweza kubadili irene upo tayar tubadili tusitelekeze hisia zetu🥺🥺!”
Mmh irene kwanza aliguna akamuuliza ki vipii
“Tuondoke hapa sasa hivi 😳😳”
“Eeeh🙄🙄🙄” irene alihisi hajaelewa
‘”Yaan irene ni bora usinge kuja leo labda ningejitahidi kujilazimisha kuoa🤨🤨 lakini nimeshindwa kuendelea kuvumilia nakuona na huyo jamaa yako nilikuwa nafanya tu haraka kuoa🙌🏾 ,chaguo langu ni wewe nimegundua Furaha yangu ni wewe 🤔🤔please Tuondoke irene Tuondokee sasa hivi 😔😔”
“Halafu mkeo🤥??”
“Wewe ndio utakuwa mke wangu☹”
“Yaan wewe unataka kukimbia Ndoa🥺🥺”
“Sina njia ingine nitaumiza wengi lakini hii ni kwasababu ya Furaha yangu ya milele hapa duniani😒😒” irene alishusha pumzi kwanza mbona jambo ni kubwa na yeye harusi yake ilikuwa wiki ijayo na kila kitu tayar atoroke na mwanaume mwingine uwii🤔🤔🤔
“Hatuna muda irene please🤔🤔 ” Yaksun aliendelea kumshawishi irene anataman sanaa kuwa na Yaksun lakini mmh kuwakera wazazi wake
“Noo !! Noo !! Yaksun haikutakiwa sie kuwa tusilazimishe Go and Take your wife🥺🙌🏾”
“Unamaanisha☹??” Yaksun alivunjika kabisa moyo yaan akamuoe yule mwanamke mh 😔
Kabla irene hajatoa jibu mesha akawa amefika hapo wote wakamtazama kama kuna jambo anataka kusema🧐🧐
“Oyaa muda wako umefika nenda huko unaitwa ametumwa mpambe wako kukutazama chooni🤔” Yaksun alimtazama Irene ndie atoe tamko
Akamuuliza Tena “unamaanisha😔??” Irene akajibu yes nenda kwamkeo🙄🙄 “
Yaksun akageuka kwa unyonge kuondoka hakuwa tena na alichobakiza alitegemea Irene atampa mkono wakimbie haraka tena kwa furaha mwisho ameishia kukataliwa 😒😒 ,Alitembea kinyoga anatamani hata huko ndani asirudi tu atokomee ☹☹hivyo mana iyo ndoa ilishamtoka akilini mwake 🙌🏾
Wakati anafungua geti ,alishtuka baada ya irene kumkumbatia kwa nyuma🥰🥰 ,irene alikuwa anatamani kila kitu lakini alifikiria zaidi wazazi wake watajisikia vipi yeye akiwa hayupo🥺🥺, baada ya kuona Yaksun anakwenda ndani aliamini huo ndio utakuwa mwisho kabisa🙌🏾 sasa kwanini aidhurumu nafs yake wakati Yaksun huyu hapa😔 na alishakuwa amekata tamaa muda mrefu tu😔😔 mungu kampa vipi awaze kuhusu wengine aolewe na mtu asie na hisia nae kisa wazazi au hisia watu wengine hapana🤔🤔,,
Alimkimbilia Yaksun akamkumbatia kwa nguvu sana nyuma 🥺🥺,Akamuuliza “Tunakwenda wapi😒??” Hili swali liliamsha hisia kali sana za Yaksun alisikia mwili wote umezizima
Akageuka akamshika mkono wake akamwambia twende🤨🤨 ,Twende pembeni kidogo tutarudi mambo yakiwa sawa 😒😒”
Mesha akawauliza “mnataka kufanya nini🤔” Yaksun akamwambia “Nenda kawaambia Yaksun na Irene wameondoka kwahiyo hakuna ndoa na hakuna anaejua tulipo nenda kaseme tumetoroka😔😔🙌🏾” Mesha alibaki kayatoa macho huku anawashuhudia wanaondoka mbio mbio hakujua wanaelekea wapi😳😳 ..
Nje ya geti kubwa la kanisa ,Yaksun alimwambia irene ampe simu yake akampa ,Yaksun akaizima ,irene akawa anacheka “unauhakika na hiki tunachokifanya Yaksun??”
“Asilimia mia ,Nataka kuwa na Malkia wangu mwenyewe siwezi kukuona upo na kile ki zungu nikapumua kwa amani” 🤣🤣🤣🤣Irene alicheka akamwambia hata mimi huyo mkeo alikuwa ananinyima pumzi kila siku sijui kama usiku wa leo ningeamka jamani ningefia usingizini” 😄😄😄 Yaksun akampiga busu mtulizo kwanza nae akaizima simu yake akasimamisha boda wakapanda 👌😘🥰
Alietumwa kwenda kumuangalia Bwan harusi chooni akarudi anasema hayupo gafla tu pakazuka taharuki🤔🤔 ,bwana harusi hayupo muda huo na mesha nae ndio alikuwa anaingia hajui hata aseme nini🙄🙄 ,Mama yake na Yaksun akamfata mbio “hivi Yaksun umemuona wapi🤔?”
“Ah mi…aaah mi sijui” Mesha alikosa kabisa ujasiri wa kile alichokiona au kusikia huko mwenyewe hakuwa anaamini ila moyoni alikiwa anatamani iwe kweli hivii yaan Yaksun na irene wawe pamoja 🙌🏾
Mesha ndio mtu wa mwisho kuongea na Yaksun na kanisa zima liliona🤨🤨 ,watu wote walimzunguka yeye atoe majibu 🙌🏾
“Alikuwa anakwambia nini pale🤨🤨 ” Baba Yake Yaksun aliuliza swali likafanya kila mtu aweke umakini🤔🤔
Mama irene ndo akashtuka ,baada ya mesha kuongea na Yaksun alitoka na irene na akarudi peke yake🙌🏾 baada ya muda Yaksun nae alitoka na wote hawajarudi ,moyo wake ukafanya paaaa😳 akajua moja kwa moja wameenda kufanya ujinga wao huko sasa wamechelewa na ndoa 🤌🙌🏾
SEHEMU YA ISHIRINI
Mama irene moyo ukaanza kumuenda mbio 🥵🥵”mungu wangu hawa watoto aibu gani hii🙌🏾” alimwambia mumewe kwa sauti ya chini halafu akamsanua kuhusu anachokiwaza akilini mwake😬😬
“Aisee aiseee😫😫!!” Ikabidi balozi atumie busara na vile yeye pekee ndio alikuwa mtu mkubwa hapo kwenye hiyo hafla ☹🙌🏾
Mtu mkubwa sio umri hapana🙌🏾, Alikuwa na wadhifa wa juu kuliko yeyote🤨🤨 , akamuomba padri na baadhi ya viongozi na familia tu watoke pembeni kuongea na mesha ili wasije kuwapa faida umati ule wa yesu😌😌 mana wengine hayakuwa yanawahusu ila kwa umbea wakasogea kusikiliza wapate vya kuhadithia mtaani wakirudi 😣😣
Wakamtoa mesha pale akasogezwa madhabahuni kabisa huku wengine wakiombwa wakae kwa utulivu😒😒
“Mesha sema ukweli Yaksun na Irene wapo wapi😳😳??” Baba Yaksun akashtuka akili yake ikakumbuka Yaksun kuna siku alikuwa amekaa nyuma peke yake analia alipo mkuta akavunga kuwa yupo sawa 🤥🤥
Baadae alimuita ndani akambana sana amwambie anasumbuliwa na nini☹ ,Ndipo akamwambia yeye anaona hataki kuoa😌🙌🏾 kwani moyo wake anahisi upo kwa mwanamke mwingine☹☹ ,hii ilikuwa kabla ya siku hii ya ndoa 🙌🏾
Baba Yaksun akakumbuka kwanza alifoka sana🤨🤨 na hakupata nafasi ya kumuuliza hata huyo🥺🥺mwanamke anaempenda ni naniii😧??
Sasa hapa ndo akaunganisha matukio😒 , Mesha alikuwa bado na kigugumizi hajui anatakiwa kusema ninii🤌 ,Et wametoroka lilikuwa neno gumu kutoka😫😫
Lawrence japo walikuwa wanaongea kiswahili hakuwa anaelewa🙌🏾 lakini kwa picha ilivyo baba harusi haonekani na hata irene wake haonekani 😪🤧na Mesha alitoka na irene kweli wakamkatalia yeye kuwafata🙄🙄 nae akaunga matukio hapo hapo😫😫🙌🏾 ,Kichwa kikamuuma maneno ya irene yakajirudia kichwani kuwa yeye anampenda huyo Yaksun na sie Lawrence🤥🤥
Alijikuta anakosa nguvuuu hata ya kuendelea kuwatazama hapo Kwa upole tu akamuuliza mama irene et nini kinaendelea☹☹ ??
Mama irene akamjibu nae kwa utulivu na aibu ya kiutu uzima “baba ngoja tujue zaidi bado sielewi na mesha hajasema chochote😣 “
Lawrence hakujibu kitu alibaki kimya , Mesha kwa sauti ya chiniii akasema “Yaksun amesema hataki hii ndoa 🙌🏾,Anamtaka irene na irene pia amesema hataki ndoa anamtaka Yaksun kwahiyo wametoroka hapa😥😥”
Rose akaitika “eeeh unasema et Yaksun kato….” hakumaliza hata maneno yake kwa aibu na fedheha alizimia kabisaaa 🙌🏾
Ikaanza heka heke tena ya kumkimbiza bibi harusi kwenye matibabu🙌🏾 , familia yote ya mwanamke iliondoka kwa hasira😫😫 ,Lawrence akamuuliza mesha kwani nini kinaendelea😪😪🙄 ,mesha akamwambia irene ameondoka na Yaksun wewe kaendelee na maisha yako ndo ujumbe amenipa nikupe 😔🙌🏾
Mesha alitoa hayo maneno kawaida tu kama anaomba chakula shuhurini😄 lakini kwa Lawrence alitamani hata awe amelala tu na iwe ndoto🤧🤧😪…
Kilaa mtu alikuwa kachanganyikiwa kivyake mtafaruku wa gafla tunulizuka mpaka raia wengine hakukuwa na utulivu tenaa🤥🙌🏾 ,,, Balozi ilibidi aungane na baba Yaksun wawe kitu kimoja kujua wanatuliza vipi haya maswaibu🧐🧐 ,Familia zilikuwa kwenye heka heka ya gafla🤔 , haikujulikana familia ipi iombe msamaha 🧐 Familia ya Yaksun kwa sababu amemtorosha binti wa watu🙌🏾 , au familia ya bint kwasababu amemtoa Yaksun kwenye Ndoa yake 🙄🙄🙄
Ndugu wa Yaksun mashangaz na wajomba walichachamaa kumtupia lawama balozi na familia yake 😒😒, Baba Yaksun ameishi vizuri sana na balozi na yeye alijua tangu mwanzo kuwa Yaksun hataki kuoa ila akatumia nguvu kama babaaa😥😥 , Balozi ndie aliemsomeesha Yaksun mpaka hapa leo yupo sehem nzuri☹☹
Ilibidi atumie busara kuomba uongoz wa kanisa uendelee na ndoa iliyobaki😔😔 wao wataenda kuyamaliza kifamilia😒😒 , Hakukuw na dalili ya kumpata Yaksun 🤔🤔 washiriki w ndoa ya Rose kwa aibu walitangaziwa hiyo ndoa haita kuwepo kwa leo🙌🏾 ,mtatangaziwa tena siku ingine😣😣 ,Watu aaah aaah minong’ono kila pande gafla kukazuka kelele kanisani utulivu ukakosekana kila mtu alitaka kuliongelea hilo swala😧😧 …
Sio namba ya Yaksun wala irene hakuna namba iliyokuwa inapatikana🙌🏾 ,kila mtu alikuwa anapiga kwa wakati wake🤥🤥 na mara nyingi kadri awezavyo lakini mara zote ilikuwa haipatikani🥺🥺 ,, Lawrence ndio alikuwa anaona kama Dunia inamzomea Usaliti wake wa siku moja ndio ulileta haya yote😌😌 ,Tamaa za Lisaa moja au usiku mmoja umesababisha leo Kumkosa Kabisa Irene 🤧😪😪
Yeye hakuondoka na familia ya Balozi kama walivyoelewana waende kuyaongea kifamilia kujua nini muafaka wa hili jambo 😥😥🙌🏾
Lawrence aliamua kwenda hotel akatulize akili yake😫😫 ,mara zote alikuwa akipiga namba ya irene haikuwa inapatikana alipiga na kupiga mpaka alihisi kuchanganyikiwa😢😢😢 ndio akaamua kumpigia baba yake ni zaidi ya rafiki yake🤧 ..
Alimuelezea kila kitu kilichotokea☹☹ , baba yake akamwambia nakutumia ticket ya ndege kesho asubuhi ondoka huko haraka 🤥🤥🙌🏾, Lawrence alikubali mana hakuna alichobakiza tena kama mtu ametoroka na baba harusi wa mtu na yeye akiwa bibi harusi basi bwana 😔😔 alikubali matokeo ila kishingo upande😪😪😪 , Alikuwa ndani ya chumba chake kichwa kinauma🤔🤔🤔 ,kesho akaiona mbali kama mwakani usiku aliona hauingii na hata ukiingia utachukua muda kuisha🙌🏾 ,ndipo akakumbuka mambo yote yalianzia kwa Mynda na hakumfaidi ile siku 😪😪
Akachukua simu yake akatazama ile namba ipo akampigia huku anatoka ndani ya chumba mpaka mapokezi akampa muhudumu kisha akampa maelezo ya kumuita mynda hapo mana mynda na English ni maji na mafuta ,akaona bora amgalagaze mynda kabla ya kutimka mana huyu ndo alileta yote🙄🙄🙄🙌🏾 …
Familia ilikaa chini ndani ya seble ya Balozi baba Irene😒😒 , mambo yaliwekwa wazi kila mtu aliezea kinaga ubaga kile anachofahamu kuhusu Yaksun na irene☹ , kwa wale wasio jua nao wakawekwa wazi wajue🤥 ,, Baada ya mada ya muda mrefu shangazi mkubwa wa Yaksun akamwambia kaka yake “kaka wewe unakosa hii aibu wewe ndio umesababisha😒😒 ,Kama alikwambia ungesema tukaliweka sawa wote hili 🙌🏾,yule mwanamke alishamfumania na ukawa ugomvi mkubwa sana mie mwenyewe sikuwa namuelewa yule dada hata kama asingempata huyu irene mana nayeye tayar anamchumba wake basi tungesubiri apate mwali mwingine🙄🙄🙌🏾 “
Mama irene akasema “hata mimi irene alisema hataki ndoa na mchumba wake huenda tungewasikiliza watoto baba irene🤔🤔”
“Yameshatokea sioni kama tunatakiwa kujilaumu🤔,muhimu tutafute watoto walipo wafungishwe ndoa familia ya huyo Bint italipwa fidia kwa hii aibu 😔😔” baba irene akafunga mjadala wote wakaelewa kuwatafuta watoto walipo kwa hali yeyote
Mesha akaulizwa kama anafahamu walipo akasema hajui chochote🙌🏾…
Wiki mbili zilipita bila taarifa zozote kuhusu Yaksun na irene😐 , Kila mtu alikuwa anapiga simu na kujaribu kutafuta kwa uwezo wake lakini wote waliambulia patupu 🤥🤥
Mama irene ndio alikuwa kama mgonjwa kwa kutokumpata bint yake 😒😒…
Irene na Yaksun wao walikuwa wametulia kwenye Gest house iliyopo mtaani ya bei ndogo kabisaaa , wana wiki mbili tangu waje honeymoon yao😅😅😅 wanashinda kitandani na kulala kitandani sio shida zao🤣🤣
“Nimemiss chumbani kwako bwan Yaksun ,hivi na yule dem wako ulikuwa unalala nae mule ” irene aliongea kwa kudeka deka na ki wivu kama kawaida yake juu ya lifua la mwamba Yaksun 😋🥰
“Demu wangu gani bwana embu achana nae tutaondoka kesho kurudi nyumbani tayar una mimba hakuna atakae tupiga tutaomba radhi naamini watatuelew”
“Waoooh🥰🥰🥰hiyo ndo habar nilikuwa nataka kusikia nimechoka kuishi hapa ,natamani mwanangu akapaone kwa baba yake “👌
“Afu ulivyotaka kuolewa na huyo bwana ako ukiwa na mimba yangu je”
“We mbona ulitaka kumuoa huyu demu wako ukaniacha na mimba”
“,sikujua aisee yaan mwanangu aende kulelewa na kile kjizungu aah wapi 🤣🤣🤣🤣”
“Hata mimi sikujua Yaksun 🥰🥰🥰” Yaksun alikuwa anapapasa muda wote tumbo la Irene ,Ilikuwa ni siku ya nne tangu wametoroka ndio Wakagundua kuwa kwenye tumbo la Irene kuna mtoto ndani yake🤭🤭 ,Baada ya kupima mimba ilikuwa ya wiki mbili ndio alitembea na Yaksun ☺ akapiga hesabu mara ya mwisho kutembea na Lawrence 😌 ilikuwa ni mexco muda mrefu umepita tangu aje Tz hakuwahi ku kwichi zaidi ya Yaksun ile siku 😋😋😋
Ikawa bahati kwao wote kama wasinge chukua maamuzi magumu sijui ingekuwaje kuhusu mtoto wao 😥
“Mi nawasha simu Yaksun nataka kuongea na mama🙌🏾 ” Yaksun akamruhusu irene kuongea na mama yake 😒
Mama irene alikuwa amejilaza kitandani mlio wa simu ukamshtua kutazama ni irene alikurupuka mbio mbio hadi kwa mumewe alikuw sebleni anatazama taarifa ya habari 😒😒 , alishtuka jinsi mkewe alivyokuwa anakuja mbio😧😧 , sidhani kama hata anakumbuka mara ya mwisho kumuona mkewe akitimua mbio ni lini🤭🤭 ..
“Baba irene ni irene,irene huyu anapiga sim😒” alikuwa naongea haraka haraka huku anafikia alipo mumewe 🙌🏾
“Si upokee sasaa🤔” baba irene akafoka aliona kama mkewe anachelewa kupokea mwisho ikate na wasimpate tena🙄🙄 ,akaipokea haraka haraka huku anaweka sauti ili wote wasikie 😒
“Mamaaa!!” Irene aliita kwa furaha mwenyewe alikuwa amemims mama yake 🥺🥺
“,upo wapi bint yangu😥??”
“Mama mimi nina mimba ya Yaksun sitaki kuolewa na Lawrence mamaa mie sitaki nieleweni jamani😢😢😫”
Baba ireen akachukua ile simu haraka🤨
“Irene sikia kila kitu tumeshaongea na tumekiwek sawa ,kuhusu wewe na Yaksun mtafunga ndoa naomba mrudi nyumbani ,Yaksun anatakiwa kuanz kazi tarehe moja hatakiwi kuipoteza hiyo nafasi tafadhali rudini nyumbani🤨🤨”
“Baba una maanisha🤔??” Kabla baba yake hajajibu mama iren akaipokonya ile simu haraka aliona maelezo ya mumewe hayatoshi kumshawishi irene “,we irene hata mkitaka hiyo ndoa iwe kesho naomba mje nyumbani njooni wote tumekubaliana familia ya Yaksun imekulidhia hata sie tumemlidhiaa embu njooni🤌”
Irene akamuahidi mama yake kesho watakwenda nyumbani huku anatishia kama itakuwa kinyume atajiua wamkose Kabisa, Walikemea kabisa hilo lisije kutokea ☹🙌🏾
Baada ya kukata simu irene akatoa picha ilikuwa kwenye pochi muda wote akampatia Yaksun “hii ndo picha yetu ya kwanza kuwa pamoja italemba nyumba yetu ya pili ya harusi na picha ya tatu tukiwa na mtoto wetu 🥰🥰🥰🥰”
Yaksun alishangaa kuiona ile pich alijitambua ni yeye il hajui ile picha kama ipo duniani akamuuliz wewe hii picha umeitoa wapi??🥰🥰🥰 Yaksun akasem mama alinambia nilikuwa nampenda san mtoto wa balozi lakini nilisha sahau et kama ni wewe ujue mmh kumbe mie nilikuwa naenda kuoa mke wa mtu wakati ki mke changu tangu utoto kipo hpaaa🥰🥰🥰🥰 ” akamvuta irene akamkumbatia huku anaitazama ile picha
“Kwahiyo hapa wewe ulikuwa katoto afu mtoto wetu hapa alikuwa wapi??”🤣🤣🤣🤣🥰
“Si alikuwa kwa mungu bwanaa “
“Sio kweli wakati hapa alikuwa kwenye kiuno changu🤣🤣 hivi hapa alikuwa anaona nimekubeba anasema baba si uniweke kwa mama huyu ndo mama yangu bwana “🤣🤣🤣🤣
“Yaksun we mwehuuu😅😅😅”
“,nakupenda na huu huu wehu wangu iren wangu , mke wangu kesho twende nyumbani naamini balozi hawezi kuvunja ahadi yake nataka mpaka tarehe moja ya kuanza kazi tayar wewe ni mke wangu wa halaliii🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
“Nakupenda sanaaa Baba wa mtoto wangu Yaksun 😘😘😘I wishi hata leo ndo iwe siku yetu,Wewe sio Tena Dereva wa baba yangu😅😅😅🤗” irene alikuwa anaongea huku anajiweka sawa kwenye jifua la Yaksun
“MIMI NI DEREVA WA MOYO WAKO KUANZIA SASA”🤗🤗🤗
“Sawa Dereva wangu nipeleke popote nitakuwa hapo pembeni ya siti yako😘😘😘🥰🥰🥰🥰”
MWISHO………..
ASANTE KWA KUCHAGUA KUWA PAMOJA NA MIMIIII 🤗🤗🤗🤗🤗naku looooooove🙈❤