BIKRA YA HOUSEGIRL ILIVYONITOA JASHO
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
SEHEMU YA 21
Mama aliikagua ile simu, hakukuta message wala simu imepigwa na Ray, kwani baada ya kuona dalili za mama kujua kilichoendelea, basi alifuta kila aina ya ushahidi ikiwa ni call history pamoja na jumbe zote walizochat.
Mama alimuangalia machoni weee, binti akaona aibu, lakini alimrudishia simu yake bila kusema lolote binti akapita ndani
****
BAADA YA WIKI MOJA
Ilikuwa ni usiku mida ya saa nne, Nasma alikuwa amejilaza kitandani mwake, na Ray alikuwa ameketi sebuleni anaagalia TV na wazazi wake huku akiwa anatikisa miguu na simu iko mkononi. Alikuwa anajisikia kiajabu ajabu sana
Mara ujumbe kwa simu yake akaufungua ni wa Nasma “BABY” aliusoma kisha akatabasamu
“Nambie” alimjibu
“Nimelala nakuwaza wewe tu, njoo tulale” alisema Nasma
“Mmmmh utanipa nini?” alimuuliza
“chochote unachokitaka” alisema binti
“Daaah, nakuja kwa kweli” alisema huku hisia zikimjaa, na kuinuka akawatazama wazazi wake “usiku mwema wazee wangu” alisema
“Na wewe pia” alisema baba
Ray aliondoka akaenda hadi chumbani kwake, ambapo alijilaza chali akiwa anachat na Nasma “Unajua nini Mke wangu” alimtumia SMS
“Nambie mume wangu” binti alireply
“Wiki imeshapita najua sa hivi lazima umepona, mimi nimemiss nataka tena” alimuambia
“Jamani, si tunasubiri mpaka tupate tena nafasi?” alimuuliza
“Ndo ujipange sasa au wewe haujamiss?” alimuuliza
“Nimemiss ila sasa yale maumivu naona kama yatarudia tena”
“Hamna, ngoja, wazee wakilala uje nikuonyeshe kama utasikia maumivu tena” alisema mtaalam
“Mmmh, bana tutakamatwa eti” alisema binti
“Usiogope tukikamatwa, si tunaenda zetu Dar au?” alimuuliza
“Mmmmh, Ray nakupenda” kabinti kalichanganyikiwa kwa kusikia kataenda Dar, kwa kweli alikuwa hajawahi kufika kabla
“Nakupenda pia
Baada kuchat naye, alipigiwa simu na mshikaji wake, mmoja ambaye walikuwa wakipiga kazi huko Dar, waliongea zaidi ya dakika arobaini,halafu Ray akawa amechoka, ndipo alipomuaga na kulala kitandani usingizi ukampitia.
Baadaye saa tano na nusu wazazi wake wote walikuwa chumbani, kumbe muda wote Nasma yeye alikuwa hajalala, maana tayari kipenzi chake, Ray kimeshamuahidi kwamba kitampa utamu, alipohisi sasa wazee wamelala kabisa usingizini, alivua nguo zake zote na kungunga kanga halafu akaanza kumtumia jumbe jamaa kwa mfululizo
“Wewe…….si wameshalala………….Baby……Kaka…….umesinzia…………..mbona kimya……………Nije au unakuja……………..Ray jamani…………..Nakusubiri………….Mume wangu”
Alituma SMS hizo kwa fujo lakini haikujibiwa hata moja, hapo ndipo alipopata wazo kukopa salio ili ampigie maana alijua kwamba akipiga simu lazima itamshawishi jamaa kuamka haraka kuliko SMS.
Alikopa na kumpigia jamaa kama mara tatu, yaani anasikia simu inaita chumbani kwa mtaalam lakin haipokelewi, akachukia na kukata tamaa akaweka simu yake pembeni na kujilaza kidogo, usingizi ulivyokuwa unasumbua kumchukua binti alijikuta anahangaika tu kitandani, mara akasikia kaujumbe kwenye simu, alishtuka vibaya sana. Aliinuka kama mshale kwa ajili ya kuifungua, alipoishika hivi alisikia moyo umempiga paah maana ilikuwa ni SMS kutoka kwa Ray
“NILISINZIA SORRY, VIPI NJOO BASI AU NIJE” alimuuliza
“NGOJA NIJE MUME WANGU” alijibu binti kwa haraka halafu akashuka kitandani.
“POA” Ray alishuka naye kitandani, akazungusha ufunguo taratiiiibu kwa ajili ya binti akija aweze kufungua kirahisi, halafu jamaa alirudi kitandan ina kujilaza huku hamu ya ngono ikiwa inamsumbua kichwani mwake.
Naa alivyokuwa na hamu ya kwenda kujaribisha mara ya pili, aliiacha simu yake, naye akazungusha kitasa mdogo mdogo akafungua mlango na kutoka nje, kisha akaufunga mlango mdogo mdogo kwa nje, halafu akatembea kwa kunyata kwenda mpaka katika mlango wa chumba cha Ray, alipofika tu hivi, aliugusa akashangaa unasogea, akausukuma na kuingia ndani.
Taa ilikuwa imezimwa, raya alishuka na kumvuta mtoto akamkumbatia na kumpa mate kwa muda mfupi, baadaye alifunga mlango kwa ndani halafu akaifungua ile kanga, binti alibaki na shanga tu kiunoni mwake. Ray alizipapasa na kumnong’oneza mtoto wa kike
“Shanga nzuri sana, halafu wewe ni mzuri pia Naa” alimpa sifa, binti akamkumbatia kwa hisa
Ray alichukua na kumlaza kitandani taratibu halafu akaanza kumuandaa binti. Alimnyonya na kumlamba kila mahali mpaka Nasma akabaki hoi, hali iliyopelekea Ray kuishusha boxer yake na kuweza kuingia Katikati ya mapaja yake, halafu akaipaka mate kama ilivyo ada
Alipoilengesha hivi binti kwa mbali alisikia maumivu maana ndo mara ya pili tu “Assh naumia ingiza taratibu” alisema mtoto wa kike huku akiwa anampapasa kijana Ray mgongoni
“Inauma sana?” Ray alimuuliza kwa kunong’oneza
“Kidogo…..aaaaaassssh” alisema kwa hisia baada ya kusikia imeingia yote “Huuh….taratiiibu” alisema mtoto wa kike huku akimvuta jamaa na kumpa mate.
Ray alianza kukata kiuno chake taratibu ikawa imeingia mpaka mwisho mtoto wa kike hakuwahi kusikia raha kama, ile yaani alisuguliwa kwa nidhamu halafu hakuwahi kusikiai imeingia mpaka mwisho alijikuta amechanganyikiwa, alimkumbatia raya na kumuachia ulimia “Aaaas baby” alianza kuongea kwa sauti ikabidi Ray amshike mdomoni
“Please acha kelele watatusikia” alisema Ray
“Haya…..” mtoto alisema huku akiukunja mgongo kwa nguvu, Ray alisugua akasugua akasugua, mtoto alipofika alikuwa hataki tena lakini Ray alifosi hivyo mpaka naye akafika
Sasa kosa lilitokea baada ya kufika, usingizi ulimpitia mtoto wa kike, na jamaa naye usingizi ukampitia tena. Wote wakawa wamelala kabisa usingizini.
*****
Ilipofika saa tisa usiku, Ray alikuwa wa kwanza kushtuka usingizini, alishtuka baada ya kukuta bado binti yuko pale amesinzia alichukua simu yake haraka na kutazama majira asijekuta imefika asubuhi, alipotazama majira alikuta ni saa tisa na robo. Ilibidi ammulikie binti yuko uchi wa mnyama halafu anavutia kichizi.
Alimtazama na kuanza kumuamsha kwa sauti ndogo huku akimtikisa mwilini “Weee…..amka……Naaa…..embu amka wewe” alisema kwa fujo mpaka binti aliposhtuka na kushangaa kumbe yuko pale chumbani
“Saa ngapi??” aliuliza huku akitoa macho
“Saa tisa na kitu” alisema Ray
“Ok bye” alisema binti na kushuka kitandani akawa ameokota khanga yake na kuweza kujifunga kiunoni halafu akamtazama Ray na kumpungia kumuaga
Sasa binti alipofunga khanga tu hivi ndo alizidi kuvutia mara dufu yaani ilimchanganya Ray ana kujikuta anamuita arudi kwanza. Binti alirudi na kuketi akamuegemea “Naaa…nimejikuta nakupenda sijui kwa nini” alisema huku uume ukiwa umeshasimama tayari
“Mmmh nakupenda pia Ray” alisema binti huku akitabasamu na kutaka kuinuka lakini Ray akamvuta kwa nguvu na kuanza kumpapasa maungo yake. Binti alinogewa na kujikuta amedondoka chali kitandani, ndipo Ray aliposogeza khanga pembeni.. na kuingia ndani ya paja. Aliilengesha na round hiii iliingia kirahisi kidogo
“Ssssh aaah” binti alitoa sauti ya mahaba kwa utamu baada ya kusikia imepenya yote. Ilikuwa sauti kubwa iliyofanya mama chumba cha nne asikie, akashtuka na kuinuka kitandani
“Tulia usipige kelele sasa” alisema Ray kwa sauti ndogo
“Ni tamu aaaash” alijisahau mtoto wa kike, ikabidi Ray ampe denda ili kuzuia sauti kutoka, halafu akaendelea kuchochea
‘haya majinga usikute yanafanya ngono’ mama aliwaza na kushuka kitandani akasikilizia kwa makini
Aliendelea kuhisi kitu kama hicho, ndipo alipofungua mlango taratibu na kutoka akinyata, akaanza kutembea kuelekea katika chumba cha binti,
Alipofika mule, hakugonga, alishika kitasa na kufungua akachungulia ndani, kuangalia hivi, kama vile kitandani kuko empty, ikabidi awashe taa kwa swichi ukutani, macho yalimtoka maana Naa hakuwepo kitandani,,,, aliangaza chumba chote binti hayupo………..
SEHEMU YA 22
Alichokifanya mama alitoka na kwenda moja kwa moja hadi chumbani mwa Ray mlangoni akasikilizia sauti ndani, hasira zilimjaa maana alsikia wakibembelezana kwa hisia kali huku wakigumia kwa utamu na kuahidiana mambo kibao
“Assh, Nasma” alisema Ray chumbani
“Mmh” binti aliitika huku akiwa amefumba macho na kujilamba midomo
“Nakupenda nataka nikuoe”alisema Ray huku akizidi kunogewa zaidi
“Nakupenda piaaa…..mume wangu” alisema binti kwa hisia kali maneno yaliyomfanya mama achukie kabisa
Mama alitamani agonge mlango lakini aliona bora aache tu, na akambane binti mwenyewe baadaye. Alirudi hadi chumbani akaichukua simu ya Nasma akaanza kufungua message akakuta message kibao ambazo walikuwa wamechat Ray na mtoto wake, hasira zilimpanda akaenda kuketi kitandani kwa binti kumsubiri akiwa na hasira kali.
Baadaye binti alipomaliza haja yake, aliagana na mtaalam, na kwenda moja kwa moja hadi chumbani kwake, ile amefungua mlango na kuingia ndani hivi, akaona kama mtu ameketi ndani kwenye giza maana mama alizima taa.
Aliogopa na kuwasha taa, kutazama hivi mama amesimama pale akiwa amekunja sura kwa sababu hasira ilikuwa imemfika hapa kooni
“Bibi” Nasma alimuita
“Umetoka wapi Malaya mmoja wewe” alimuuliza kwa hasira huku akisimama na kumsogelea
“Ah…mh nimetoka chooni mama” alisema binti
“PAAAH” kilisikika kibao cha maana kimetuwa kwenye shavu la mtoto wa kike binti akapiga kelele za maumivu mpaka Ray akasikia kule chumbani, aliogopa na kushtuka sana akasogea na kusikilizia kile kilichokuwa kinaendelea
“Bibi mbona unanipiga” alisema binti
“Nilikupa onyo gani kuhusiana na mwanangu?” alimuuliza “eeeh, halafu unajikuta umefanikiwa sana ee” alisema
“Hamna mama nimetoka chooni” alisema mtoto wa kike kudanganya
“chooni” mama alisema na kufungua SMS kwenye simu ile “Chooni ndo mchati na mwanangu? Kwanza usiongee kwa nguvu sitaki mtu yoyote asikie hili suala.” Alisema mama na kumvuta binti akamkalisha kitandani.
“Kuanzia leo, sikutaki kwangu….chukua nguo zako. Ondoka rudi kwenu, nilikuambia, mimi mwanangu nimemsomesha kwa shida halafu uje umlaghai eti nataka tuoane….uoane na mtu mwente shahada mpumbavu mmoja wewe…..panga vitu vyako, ndo natoka hivyo nikirudi nisikukute” alisema mama na kutoka nje akarudi chumbani na kumuamsha mumewe
“vipi tena mama?” aliuliza kiusingizi
“Wapumbavu kumbe wanatembea pamoja, sasa binti nimemuamuru aondoke atajua mwenyewe atakapoenda”
“Wanafanya mapenzi?” aliuliza baba
“Ndio, yani ni ukahaba mtupu…..nimemfukuza nimemuambia asimzoee mwanangu”
“Mungu wangu” mzee alishangaa “Lakini maama….”
“Sitaki huruma,,,,nimeshamaliza” alisema mama na kuinuka akaenda kuchukua kipimajoto chake cha begi halafu akatoa noti mbili za elfu kumi akatoka nazo na kumkabidhi binti ambaye alikuwa anajiandaa pale chumbani kwa ajili ya kuondoka.
Masikini alijiandaa hata kuoga hakuruhusiwa, alitolewa nje akikokotwa, na kupelekwa nje ya geti bila kujali kwamba ataelekea wapi.
Binti alianza kulia huku akijilaumu, hakujua jukumu lake, lakini hakujali sana kwani alikuwa amepamiss nyumbani pia. Mama alirudi ndani na kukaa sebuleni akaanza kuweka vikao kwenye simu kuwapigia watoto zake kilichotokea na kumfukuza binti, halafu alipomaliza kuwaaambia kila kitu, alirudi chumbani kulala maana ilikuwa ni saa kumi na moja
***
Upande wa Nasma ni kwamba alikuwa hana tatizo la nauli alikuwa kwenye hiace (haisi) anaelekea Moshi mjini, ndipo alipopata wazo la kumuandikia ujumbe Ray
“SAMAHANI, NIMEKULETEA MATATIZO KWANI NAJUA UTAPITIA WAKATI MGUMU HAPO NYUMBANI, KWAHERI” alituma binti na kujilaza katika siti ya gari hilo huku safari ikiendelea
**
Upande wa nyumbani, ikiwa ni saa moja mama alikuwa ameshaandaa chai, sasa alitaka kumuamsha Ray ili aweze kumzodoa kwa kitendo alichokuwa amekifanya. Aliita “Ray, Ray ……..Raymond” aliita kwa hasira akiwa mlangoni mwa Ray.
Hata hivyo hakuna mtu yeyote aliyeweza kuitika mule ndani, mpaka mama akashangaa…. Ikabidi agonge mlango, sasa katika kugonga bado mtu hakuitika, ikabidi ajaribu kufungua na mlango ulifunguka. Kutazama ndani hivi, kulikuwa empty hamna mtu na nguo hakuna hata kitu kimoja
Alitoka nje na kuangalia angalia kushoto kulia, hakuona, akaenda bafuni hakuna mtu hapo ndipo aliposhangaa.
“Baba……mwanao hayupo” alisema mama
“Hayupo?” aliuliza mzee
“Ndiyo hayupo popote”
“Acha utani mke wangu embu” mzee aliongea kwa mshtuko huku akisimama na kuelekea katika chumba cha Ray kweli kutazama hivi ni kweupe.
Mzee alianza kupata mawazo kwamba Ray labda ameamua kutoroka na Nasma, baba alichukua simu na kujaribu kumpigia mwanaye, alishangaa namba ya Ray aliyokuwa nayo ilikuwa haipatikani, ndipo akavuta pumzi na kujitia moyo
“Ni mtu mzima bwana, atajua mwenyewe” alisema na kurudi sebuleni akamuona mkewe kasimama anawaza “Ila mama una maamuzi ya haraka sana” alisema mzee kumuambia mkewe
Mama alitulia kimya hakutaka kujibu chochote
*
Hata hivyo maeneo ya Moshi mjini, Nasma alikuwa amesimama pembezoni mwa kituo cha mabasi, haelewi elewi hata magari y kupanda ni yapi, hapo ndipo alipoweza kusogea mpaka barabarani na kusimama sauti za shange pembeni kidogo kulikuwa na watu wamekusanyika, huku kukiwa na muziki mnene mnene.
“karibu hapa ujipatie zawadi, kwa kucheza na namba ya bahati, ukiweka elfu 5 unapata elfu 20 mpaka laki moja, karibu ujaribu bahati yako”
“Mh” Nasma aliguna kwa sababu sauti aliyoisikia ilimshawishi, aliona pesa za bure zinamfuata, alishangaa kwani pesa kupatikana kwa njia rahisi vile ni ngumu sana. Alisogea na kwenda kutazama
Aliona watu wametandika zulia chini, halafu kuna watu wanacheza muziki pembeni kulikuwa na mfuko mkubwa wa kitambaa cha shuka, ndani kulikuwa na karatasi nyingi zilizokuwa zimeandikwa kiasi tofauti tofauti cha pesa ikiwa ni kama vile 20,000……30,000,……50,000 mpaka laki. Lakini pia kulikuwa na karatasi zimeandikwa 0 ina maana ukizipata hizo umekosa kabisa
Ghafla alitokea bibi mmoja aliyekuwa amechoka choka akaingia katika mchezo ule
“Karibu bibi” alisema kijana mmoja mwenye rasta ambaye alishika maiki akiwa kama MC kwenye kikundi cha watu wale
“Naweza kuchesa mcheso huu?” aliongea sauti yenye kuonyesha uzee
“Ndio, karibu sana, hapa bibi unaweza kuweka shilingi 5000 yako halafu unaweza kushinda hadi shiilingi laki moja karibu sana, lakini hapa kuna kupata na kukosa hivyo basi unaweza ukakosa pia, karibu ujaribu bahati yako”
“Asante mjukuu wangu” alisema bibi yule kisha akapiga magoti na kumuomba Mungu, kwa nguvu “Mungu wangu naomba unisaide niweze kufanikiwa katika hili maana hela hii nimeipata kwa taabu sana” alisema bibi na kumkabidhi mwanadada mmoja elfu tano ambaye naye alikuwa mmoja kati ya wale watu wa bahati nasibu.
Muda wote Naa alikuwa anashuhudia kinachoendelea pale…. Dada yule aliyepokea pesa, aliubeba mfuko wenye vikaratasi halafu akaanza kuutikisa kisha akaufungua kidogo na kumruhusu bibi atumbukize mkono ndani ya kile kimfuko halafu akatikisa tena mkono ukiwa ndani halafu akauchomoa huku akiwa ameshika kikataratasi kimoja. Alipokitazama hivi aligundua amejishindia shilingi 40,000
Bibi aliruka ruka kwa furaha huku akilisifu jina la Mungu kwani hakuamini, alimkabidhi yule dada ile karatasi
“Hongeraaa, bibi, umeshinda shilingi 40,000 hongera sana” alisema dada huyo na kuwatazama watu, watu walishangaa kabisa, halafu walichosubiri ni kuona kama bibi yule atapewa pesa yake, hata hivyo hawakusita walifungua kabegi na kumuhesabia noti zake
“Asante sana mjukuu wangu” bibi alisema huku machozi yakimtoka bibi
“bibi usilie unaweza ukaendelea tena kujaribu bahati yako” alisema kaka MC hapo bibi akafikiria na kutoa 5000 akaweka tena na kutumbukiza mkono katika mfuko, hapo ndipo iliposhangaza, alitoka na karatasi yenye shilingi 90,000 hakuamini, watu wote walishangilia.
Bibi round hii alipokabidhiwa ile pesa alishukuru na kuondoka, hakutaka kuendelea tena.
Katikati ya watu wale, alijitokeza kijana mmoja bishoo sana, naye alifanya vile vile, alitoka shilingi 5000, akaliwa ya kwanza….machozi yalikuwa hapa usoni
“Unaweza kuendelea kijana cheza zaidi na zaidi uweze kurudisha pesa zako” alisema MC
Kijana yule alitoa tena shilingi 5000 nyingine na kucheza tena, lakini alipata karatasi yenye 0, yaani alikuwa ameshaliwa tena, aliogopa
“Daah” alisema huku akitoa tabasamu la kulazimisha
“Kama bado unahitaji kurudisha pesa zako kijana unaweza kuendelea”
“Daaah najaribu mara ya mwisho” aliongea kijana yule na kutoa noti ya elfu kumi akarudishiwa 5000, alipojaribu hivi, akashindwa tena, elfu kumi na tano ikaenda
Alitazama Katikati ya watu kulikuwa na mpenzi wake, “John” alimuita
“Fetty, niendelee au?” alimuuliza mpenzi wake
“Ndio, cheza mara ya mwisho tuondoke” alisema mwanamke huyo
“Mmmh sawa” Kijana yule alitoa shilingi 5000 aliyorudishiwa kama chenji akaitoa na kuiombea dua halafu akawakabidhi na kuchangua kikaratasi. John hakuamini kwani aliokota karatasi ya shilingi laki moja.
“Yeeees” aliruka juu kisha akashuka chini na kupiga magoti chini huku akishangilia.
“Hongeraa” alisema MC na dada yule aliokota shilingi laki moja na kumkabidhi
“Je utaendelea tena?” aliuliza MC
“Hapana broo nashukuru kwa hili”
Fetty alimsogelea na kumkumbatia John kwa furaha huku akimbusu “Jamani Hongera sana kwa ushindi tuondoke” alisema binti huyo
Basi waliondoka pale, wakiwa wote wana furaha kabisa maana walikuwa wameshajitengenezea shilingi 80K asubuhi asubuhi.
Hata hivyo hii ishu ilimpa ushawishi mkubwa sana, Nasma kucheza mchezo ule, alipokuwa na vipesa vidogo tu alitaka aweze kuingia katika droo ile atoe pesa ili apate nyingi zaidi
“Liwalo na liwe, nacheza mara moja tu” Nasma aliwaza na kuingia kati huku akitetemeka na kutoa elfu tano
“Woow, karibu mrembo, unaweza kujaribu bahati yako” alisema MC na dada alitisa kimfuko Nancy akatumbukiza mkono huku akitetemeka kwani ni bahati nasibu sanaa…..
SEHEMU YA 23
Nasma aliogopa sana, moyo wake upande mmoja ulisema, no usijaribu na upande mwingine ukasema jaribu bwana, hivyo akaufuata ule uliosema Jaribu bwana.
Alichomoka na karatasi iliyoandikwa 0 nafsi na moyo vilipiga paaaah, hakuamini,sasa tatizo ana moyo mwepesi sana, hivyo alishangaa anaanza kulia machozi huku akiondoka mule ndani
“Dada dada usilie njoo ujaribu tena unaweza ukafanikiwa” alisema mc
Binti alishawishika kirahisi, akarudi na kuweza kuendelea, alicheza akaliwa tena, akaongeza nyingine akaliwa, akongeza mata tatu, akaliwa zote, ilikuwa ni elfu thelathini. Alijribu kuleta shida, lakini alizuiwa maana yalikuwa ni makubaliano, alindwa kuelewa afanye nini ili kupata nauli ya kwenda kwao.
Alisogea pembeni mwa stendi akasimama huku akizidi kulia kwa kwikwi. Akiwa analia pale kwa kwikwi alisikia sauti inamuita
“We mrembo” ilikuwa sauti ya kiume, hivyo akainua uso kutzama, alikutana na uso wa kijana mmoja mweupe mweupe, huku akitoa tabasamu na meno yenye rangu na kuungua yalionekana
“Shikamoo” alisalimia
“Marahaba vipi mbona unalia?” aliuliza
“Hamna kaka yangu, nimetapeliwa hela yote ya nauli niliyokuwa nimepanga kwenda nayo Singida” alisema binti
“Pole sana” alisema huku akiwa anatabasamu na kuonyesha huruma machoni
“Asante”
“Sasa unafanyaje?” aliuliza kijana yule
“mi sijui wala sina cha kufanya, roho inaniuma, nimefukuzwa kazi huko Mwanga” alisema
“Mh, sawa, mimi naitwa Jerry wewe unaitwa nani?” aliuliza
“naitwa Nasma”
“Ok twende ukanywe chai kama hautojali, ili tuangalie utaratibu wa kuweza kupata nauli yako, kwani unataka kuondoka leo au kesho?” alimuuliza
“leo tu, maana sina pa kulala” alisemama
“Pa kulala sio tatizo hata ukiamua kulala mwezi nina sehemu ya kukupeleka nzuri tu, utakula na kunywa”
“Hapana, wewe kaka mbona kama tapeli” aliuliza binti huku akimtazama kijana huyo kwa makini usoni
“Mh…hahaa…nimekufuata ghafla, samahani usijali, mimi sio tapeli,tunaweza kwenda wala usiogope” alisema
Binti alijifikiria kwa muda wa nusu dakika halafu akaanza kutembea naye kuelekea katika hoteli moja iliyokuwa inaitwa Kahawa House. Walienda wakaketi pale na muhudumu alikuja
“Hello karibuni”
“Naomba chapati, na supu” alisema Jerry
“sawa, na wewe dada?” aliuliza yule mhudumu
“naomba hivyo hivyo pia” alisema kwa huruma, huku akitoa simu yake begi akaitazama kuna message mbili, na zote zilikuwa za Ray. Alishtuka kidogo na kuzitazama huku muhudumu akiondoka na kwenda zake
“NASMA UMEONDOKA KWELI?” na nyingine “SAMAHANI, KAMA UPO BADO MWANGA NAOMBA UNIAMBIE NIKUCHUKUE TUONDOKE WOTE DAR MAANA HAPA MIMI MWENYEWE NIMESHAONDOKA NYUMBANI”
“Heee ameondoka nyumbani?” alijikuta anaongea peke yake, na Jerry alimtazama akatabasamu kidogo “Samahani kuna SMS inanichanganya huku” alisema huku akiwa anataka kujibu ile message
“NIKO MOSHI MJINI NIMEIBIWA PESA ZOTE SINA HATA NAULI” alisema binti kisha akakaa mkao wa kula baada ya kumuona Muhudumu anakuja.
Ile muhudumu ameweka vitu mezani tu hivi, simu ya binti iliita, na aliipokea maana alikuwa anapiga Ray
“We Nasma” Ray aliita
“nambie”
“Umeibiwa kweli?” aliuliza
“Ndio nimeibiwa, bado niko Moshi sijui nielekee wapi” alisema binti
“Niko kwenye gari naelekea Dar please nakutumia nauli sasa hivi mimi uje Dar ntakupokea sawa?” aliuliza mara simu ikakatika.
Binti alibaki ameduwaa, hajui afanye nini, alijikakamua, akatuma message lakini haikupokelewa maana ilikuwa simu ya Ray haiptikani, alibaki upweke
“Usiwe upweke hivyo, kama ni sehemu ya kulala ipo, sawa?” jerry alizungumza
“daah nina mawazo, naomba unisaidie nauli niondoke leo leo naomba tafadhali kaka yangu” alisema kwa huruma mtoto wa kike.
“Sawa, samahani,” alisema Jerry huku akitoa simu mfukoni ilikuwa inaita halafu akapokea “Eee…..hapana sina,….ok ngoja nitafute oookay” alisema mtaalamu na kukata simu yake
“Samahani Nasma, unatumia Mtandao gani?” aliuliza Jerry
“Airtel”
“Oh asante sana,…. Unaweza nisaidia kuna mtu anataka anipigie sasa ana dakika za airtel kwa airtel na kuna mchongo anataka tuongee” alisema kijana huyo
“Oh okay hamna shida” alisema na kumkabidhi simu yake kijana huyo halafu akafanya kama amemtumia mtu message
“emb ntajie namba yako ili nimtumie apige humo”
“068*333422” alitaja binti
Kweli baada ya sekunde chache simu ya binti iliita na alikuwa anapiga mtu, mwingine kwa namba mpya
“Oiii…….ndio boss………………hahahaaa….nimechukua ya mtu hapa chap…..ok……………sawa lakini si ungenishtua man?……………..Ahaaaa kwa hiyo mchongo unaendelea…..embu nieleze vizuri” aliongea jerry huku akiinuka na kuanza kutembea tembea kwani mchongo ulikuwa unatakiwa waongee kwa siri
Alitoka akiongea na simu mpaka nje ya hoteli, akamuacha binti peke yake akiwa anakula chapati na supu, binti alisubiri hadi akachoka lakini hakumuona mtu. Ndipo alipopata wasiwasi na kuinuka kisha akatoka nje kutazama lakini pia hakumuona mtu….
SEHEMU YA 24
Sauti ilisikika nyuma ya binti, akageuka kwa uoga, kutazama hivi ni muhudumu wa hoteli
“Mnataka kutoroka na pesa ya supu na chapati au?” aliuliza muhudumu kwa hasira
“Dada” alisema Nasma
“Nani dada yako? Naomba hela mliotumia hapa
“Mh mimi niliitwa na yule kaka mimi sijui ameenda wapi ndo kaninunulia” alisema
“Hahaa….mimi sifahamu hilo, nachojua mmekula wote, wewe uliyebaki lipia”
“No dada naomba unisaidie kwani sina pesa yoyote dada yangu”
“Lipa bwana nikawahudumie wateja wengine” alisema mwanamke huyo na kumpokonya begi binti
“Ok…….sawa nalipa niliyotumia mimi” alisema
“Je mwenzako si mmekuja naye?” aliuliza
“Hapana sio…..mimi sijaja naye”
“Ok lipia hela yako”
“Ipo kwenye begi humo” alisema binti
Bila uoga wala huruma, yule muhudumu alifungua begi na kutoa 10000 moja ambayo ndo pekee ilikuwa imesalia mkononi mwa, binti
“Ni shilingi ngapi unakata?” aliuliza
“Imeisha hela yako”
‘Imeisha??? Imeishaje?? Aliuliza kwa kushangaa lakini alipokea begi lake, muhudumu huyo akaingia ndani
Nasma alibaki amechanganyikiwa “Mh kumbe moshi kuko hivi jamani, leo nimeamka na kisirani gani?” alijiuliza huku machozi yakimtoka, hakuwa na tumaini hata chembe, alianza kutembea “Jamani wewe kaka si urudi tu unipe simu yangu…” alisema huku akijifuta machozi, hata chembe ya huruma siku hiyo haikuwa upande wake
Alifikia mahali akaanza kujicheka, hii ni baada ya kukumbuka amemnunulia supu mtu ambaye hata hamfahamu, tena bila kutarajia, hakika mji ulianza kumfundisha mdogo mdogo. Alianza kumuomba Mungu huku akitoka na machozi na kutembea kwa miguu mdogo mdogo
Alifika mpaka kwenye round about ya Saa, iliyo karibu na CRDB moshi mjini, pamoja na ofisi za Posti mjini hapo. Aliona kijana yule aliyeweza kushinda shilingi laki moja pale kwenye ile bahati na sibu akiwa amefuatana na mpenzi wake, aliwatazama kwa huruma, halafu walisimama karibu yake yeye akatazama pembeni kidogo huku akijutia nafsi yake
“Unajua Fetty?” alisema kijana yule
“Nini baby?” aliuliza mtaalam
“Nikifikaga hapa kwenye roundabout…..huwa nakumbuka mbali jamani” alisema
“Wapi huko?” aliuliza Fetty
“Kipindi naishi kwa anko Ba Shabani,kuna msichana ambaye niliingia naye kwenye mahusiano aliitwa Martha, nakumbuka nilishuhudia akifa hapa hapa hapa kwa ajali ya pikipiki iliyogongwa na gari kubwa la mizigo”
“Mmmmh kumbe ndo maana” alisema Fetty
“Ndo maana nini?”
“Uliniambia nijiite Martha kumbe unamuenzi ex wako”
“Hahaahaaa….acha mambo yako bana….ila samahani, nakupenda kuliko yeye japo kuna kipindi tuliteseka sana” alisema John
“Nashukuru Mungu ndo ina amani naomba usibadilike mpenzi” alisema binti
“Usijali……”
“Hivi John wale watu wamekulipa shilingi ngapi?” aliuliza
“Watu gani?”
“wale wa bahati nasibu”
“Shilingi elfu kumi tu”
“Hahaha….yaani watu waliokuwa pale kwenye bahati nasibu walijua kwamba wewe unashindana kumbe umewekwa geresha tu kuwafanya wamaliziwe pesa, zao hahaha jamani”
Nasma alishtuka baada ya kusikia maneno hayo maana alikumbuka yeye ni mmoja ya watu walioliwa pesa zao pale kwenye bahati nasibu, ndipo akagundua kumbe ule ulikuwa ni mchezo wa kitapeli tu….hapo roho ilizidi kumuuma zaidi, na kusikia hasira zikimkaba koo….aliona aondoke pale tu maana asiweza kuzidi kuumizwa kiasi kile.
Alishuka taratibu na barabara, akatembea mpaka stendi kuu ya mji ule, ndipo alipoweza kukaa pale huku akishindwa kuelewa afanye nini. Aliketi mpaka saa saba mchana hana cha kufanya lakini alipata wazo
“Hapa acha niuze nguo zangu na begi halaf nirudi mwanga nikamuombe mama Ray msamaha” alifikiria na kuinuka akaanza kutembea tembea. Alipata ujasiri akawa anaulizia begi alimuona kijana mmoja
“Samahani kaka nimeweza kuibiwa pesa zote sasa nauza begi hii nipate nauli ya kwenda upareni kama utanunua” alisema
“Mh…..nauli shilingi ngapi?” aliuliza kijana yule
“Shilingi 3000 pamoja na pikipiki, ila begi na kila kitu kilichopo nipe elfu kumi” alisema kitu cha kushangaza
“Kwani kuna nini ndani?” aliuliza
“Nguo, zote mpya za size yangu”
“Ok embu” alisema kijana yule na kulifungua akatazama ndani kama atakuta vyote.
Kweli vilikuwepo, na alilifunga ili aweze kumkabidhi pesa, lakini ghafla binti aliguswa kwenye bega, ikabidi ageuze macho.
Kugeuza macho hivi, hakuamini alichokuwa amekiona Ray huyu hapa…… “Ray!!!!!” aliita kwa mshangao
“Ndio mimi hapa…..chukua begi tuondoke zetu” alisema
“Wewe ni malaika au?” aliuliza binti kwa furaha
Ray akatabasamu…………
SEHEMU YA 25
Baada ya nusu saa Ray na Nasma walikuwa kwenye basi la ARUSHA TO TANGA, Nasma alikuwa ameketi pembeni mwa jamaa ambapo jamaa alikuwa ameichomeka simu chaji kwenye basi hilo, akiwa ameishikilia huku akipiga hesabu kwenye kikokotoo cha simu
Alimaliza akamtazama binti kisha akatabasamu halafu binti naye akatabasamu “HUOGOPI?” binti aliuliza
“Niogope nini?” aliuliza
“Mama yako”
“Mh mimi mtu mzima, kiukweli nahisi nakupenda sana hadi nimeshuka kwenye gari daaah nikakufuata wewe” alisema mtaalamu
“Jamani”
“Usiseme jamani…..sikiliza hapa napiga hesabu ninatakiwa nikatumie laki tano na wewe leo eti, yaani pale nyumbani si walikuwa wanatuzuia?” alisema jamaa, binti akatikisa kichwa kwa hisia halafu jamaa akapunguza sauti “Leo tutalala tanga, nakukwanyua mpaka asubuhi” alisema Ray, hapo ndipo Nasma alipocheka kwa furaha huku akifurahia kauli ile ya kukwanyuliwa.
Saa ngapi Ray asiiname kidogo kwenye siti halafu akanong’oneza “inama nikuambie” alisema
Binti aliinamisha kichwa, hata hajafika vizuri hivi, ndimi zishadakana wakanyonyana kama dakika mbili mule mule kwenye gari, yaani hapo ndo mapenzi yalianza kukolea sasaa.
Ray alibaki akijisifu kichwani ‘Yaani Nasma alivyo mzuri, najua Rose akimuona lazima ata-blow mapigo naenda kumtunza wiki mbili tu atawaka kishenzi’ aliwaza
“Hivi Nasma wewe unajua kufanya kitu gani huku duniani?” alimuuliza
“Kama nini?”
“yaani kama ushonaji…ususi…..au hata biashara yoyote” aliuliza Ray
“Mimi sijawahi kufanya biashara yoyote….ila napenda kusuka na sijawahi kujifunza kabisa”
“Mmmmh tuende Dar au kesho utaenda Singida nikupe nauli?” aliuliza Ray huku akimtazama binti
“Mh…..sijui” binti alibaki njia panda japo alitamani kupajua Dar “Lakini kwani Dar nikafanye nini?” aliuliza
“tukaishi wote” alisema
“Weee…” alishtuka kama vile hataki kumbe anatamani sana “Kama nani et?” aliuliza
“Kama mke”
“Hahhaaa….bana mimi sijui….amua mwenyewe…ila nikiwa mke wako ntateseka maana mama yako hanipendi” alisema
“Usijali, atakuelewa tu…..twende ukajifunze mambo ya saluni”
“Sasa si bor tuende Dar moja kwa moja, tukishuka tanga tuchukue basi lingine ili usitumie pesa nyingi”
“No siwezi Nasma, lazima niingize kabla sijafika Dar, nimemiss japo tumefanya leo usiku, hafu kumbuka wewe ya kwako kadogo kanashika sana hii nani” alisema kwa hisia
Nasma alimpiga kakofi “Tulia bwana, mambo gani hayo unaongea hapa huoni watu?” alisema kwa hasira kidogo maana hayo mambo mwenyewe mgeni
Safari iliendelea kwenda tanga, na ikiwa saa kumi na mbili, walikuwa tanga mjini “Unajua nini?” aliuliza Ray
“Sijui”
“Sijawahi fika tanga mjini…..leo nimeamua na mimi nifike, sasa tufanye kitu kimoja cha maana” alisema na kumshika mkono wakaanza kutembea
“Kitu gani”
“We twende”
Walitembea wakavuka barabara na kwenda katika duka la simu lililokuwa limeandikwa JM MEMORIAL,wakaingia ndani.
“Oi niaje boss” walimsalimia muuzaji
“Poa, kaka karibu” alisema kijana huyo aliyekuwa anauza
“Napata simu gani laki na nusu hapa?” aliuliza
“Smartphone au?” aliuliza kijana huyo
“Nope, nataka ya batani” alisema Ray
“Hahaa” kijana yule alitabasamu “Sasa broo kuna kitochi cha shilingi laki na nusu kweli?” aliuliza
“Sasa mbona unauliza ni smartphone? Embu nipatie bwana simu nimnunulie mke wangu” alisema huku akimtazama Naa, halafu wote wakatabasamu, cheo cha kuitwa mke sio mchezo
“Mh…..ok….kuna hii hapa” alisema kijana hyo akinyoosha mkono kugusa simu iliyokuwa kwenye kabati kubwa la vioo
“Nataka Infinix au Oppo, au Samsung” alisema
“Kwa bei hiyo broo hamna hizo simu, hizo zinaanzia laki tatu” alisema kijana huyo
“Ok nipe Samsung ya bei rahisi”
“Ipo hii hapa, laki tatu”
“Nope nakupa laki mbili na nusu kama vipi”
“Hamna broo hailipi”
“mmh, sasa itakuwaje, nafikiri ndo simu nzuri, haya infinix je?” aliuliza
“Ipo ya laki mbili na nusu”
“Ok embu”
Kijana alitoa simu na kumkabidhi mtaalam akaitazama halafu akamuonyeshea Nasma “Hii inakufa??” alimuuliza
“yoyote tu mimi”
“hamna mimi sijaipenda naomba yenye finger print”
“za finger print……laki 3 na 20”
“Jesus” alishtuka kwanza
“noope nipe ya laki mbili na nusu bwana”
“Labda tecno tena zilizopitwa na wakati”
“Dooooh……hamna kampuni nyingine? Eeh haya nitafute basi nzuri bwana”
“Kijana yule aliparangana, mpaka akachomoa infinix… yenye finger print “broo, kwa hii simu nakupa kwa laki mbili na themaninii mwisho kabisa haiupungui nakuambia unataka nikose kazi nini?” aliuliza
“Hahaaa….ok niwekee basi niondoke” alisema Ray na kumshika na mkono huku akimkonyeza halafu akatoa wallet yenye shilingi nyekundu kutosha, akaanza kuhesabu huku akiuliza maswali “Samahani hapa kuna lodge gani kali boss?” aliuliza
“kuna Kabil Rah Lodge elfu thelathini usiku mmoja” alisema
“Iko wapi hiyo?” aliuliza
“Iko hapa nyuma tu hivi, ukizunguka utaonda bango kubwa linawasha taa imeandikwa KABIL RAH LODGE”
“Ok….shika pesa yako” alisema Ray na kumkabidhi
Kijana hiyo alihesabu akaridhia kisha akaandika risiti akampa na simu yake kwenye box kisha wakatoka nje na kuelekea babarani.
Hawakwenda mbali, walimtembelea wakala wa kusajili laini, kisha wakasajili laini mpya ya binti kwa kutumia kitambulisho cha Ray halafu wakaelekea lodge kwa ajili ya kuweka mizigo na kuoga maana hawakuoga tangu asubuhi.
Walifika ndani ya lodge wakaweka mizigo halafu simu mpya ikawekwa chaji
“Asante kwa simu” alisema binti
“Nikumbatie basi” alisema Ray, na Nasma akafanya hivyo
Walianza kupigana rom…..ance, huku wakipapasana, halafu nguo zinavuliwa zote, kisha Ray akambeba uchi uchi mpaka bafuni wakaanza kuoga……
SEHEMU YA 26
Sabuni iliteleza katika mwili mzima wa Nasma, muda wote alikuwa anaogopa kwa sababu ya aibu
“Sssssh jamani kaka” alisema mtoto wa kike akificha uso wake kwa aibu, muda wote alikuwa anaogopa sana kwani alikuwa mchezo huo hajauzoea kivile
Ray alimwagia maji mwilini binti halafu alianza kumnyonya maziwa, ndo kabisa binti macho yaligeuka kama vile anataka kufa, alianza kujisikia tofauti na alivyozoea, alijihisi kuna kitu anataka ila sasa kinachelewa “Aaaash baby” alisema kwa hisia mtoto wa kike
Ray aliacha kumnyonya maziwa akaanza kupapasa kiuno na kumtazama usoni binti ambaye alikuwa amefumba macho na mkono akiuegemeza ukutani ili asidondoke
“Mbona shanga hujajifungia” aliuliza mwamba huku akipeleka mkono Katikati ya mapaja ya mtoto wa kike halafu akaanza kupapapasa
Nasma aliinua uso ili amjibu kwa nini hajavaa shanga, lakini hakuweza kuongea badala yake alipiga kelele za mahaba “Aaaaasss baby ssssh ooh” alisema kwa hisia maana dole la kati la Ray lilikuwa likipenya taratibu kitumbuani mwa mtoto wa kike, mpaka likaingia lote
“mke wangu”alisema Ray na kuuma mdomo
“Asssh mu,…me wangu” alisema huku akiunyanyua mkono mmoja na kujaribu kuzuia kidole cha mtaalam kisizidi kumfanyia maajabu ya kumtekenya, hapo ndipo alipozidi kusikia utamu maana Ray alijua sana kutumia dole alimtekenya.
Mwili wote wa binti ulisisimka halafu akaanza kupiga kelele huku akilegea zaidi “Aaaash aaaash oh……baby…..sssssssh aaah” aliongea kimahaba kisha akatetemeka kama mtu aliyepigwa shoti mwili mzima hapo ndipo kidole cha Ray kililowa chote maana binti alikuwa ameshafika mahali pake
Alikaa kama sekunde 10 binti akiwa anahema halafu aliutoa mkono wa Ray kwa nguvu “inatosha jamani” alisema huku akimtazama kwa macho ya kurembu rembua Ray akatabasamu na kuinuka halafu akamkumbatia.
Alifungulia maji yakawa yanatiririka katika miili yao, ambapo walioga mpaka wakaridhika na kutoka nje ya bafu wakaenda chumbani.
Walijifuta na kuketi kitandani. “Ray” aliita binti Ray akageuza macho na kumtazama “nina njaa”
“Usijali unakula sasa hivi subiri” aliongea na kuinuka halafu akavaa suruali na fulana yake, na kutoka nje. Alikaa kama dakika tatu, akarudi na kuketi pembeni mwa binti akamshika
“Usinishike” alimwambia maana mwili ulikuwa hauna mzuka wa kuguswa alihisi ni usumbufu tu
“Mmmmh, ina maana hatufanyi?” aliuliza
“subiri kwanza” alisema binti
Kwa sababu Ray alikuwa ni mtu mzima alielewa kwamba binti hamu hana, aliwaza akaona asubiri wale kwanza halafu ndo waendelee na shughuli.
Aliitazama ile simu mpya iliyokuwa chaji na kuitazama ilikuwa ilikuwa imeshajaa, maana alipoinunua ilikuwa na chaji asilimia kama 80 hivi. Aliitoa chaji akatia laini na kuiwasha akaanza kuipangilia na kumpa demu
“Itabidi unifundishe kwanza maana sijawahi kutumia” alisema binti mara mlango ukagongwa
“Utajifunza haina ugumu wowote” alisema Ray na kuinuka akaenda mlangoni na kufungua alikuwa muhudumu kaleta chakula na vinywaji
“Asantee” alisema Ray na kupokea akarudi ndani na kufunga mlango
Aliweka chakula kwenye stuli kisha akaivuta na kuweka karibu “Tule” alimuambia binti, ndipo binti akapata mshawasha fulani hivi “Nilishe” alisema
“mmmmh, ni jukumu langu, but kwa kweli nakulisha na mdomo” alisema
“sawa tyu” alisema binti
Ray alikamata kinyango cha nyama na kuweza kukitia mdomoni halafu akamsogezea binti, Nasma alikipokea na kurembua macho halafu akaanza kutafuna taratiiibu
Ray yeye alichota cha kwake akaanza kula mwenyewe hivi, kama vijiko viwili vya pilao halafu akamtazama usoni mtoto wa kike na kumfuta futa mdomoni “Nasma wewe ni mzuri sana, yaani najisifu sana kuishi na wewe kipenzi” alisema jamaa na kuchota chakula akamtia binti mdomoni.
Wakiendelea kutafuna Ray alufunua soda na kuanza kunywa huku akimkonyeza binti wote wakacheka
“Hivi?” alimuuliza
“M..h” alisema Ray
“kumbe ndo hivi mapenzi yanakuwaga matamu?” aliuliza
“Mkipendana wawili lazima mapenzi yawe matamu, ila kama mmoja akizingua tu, utamu wote huisha”
“Mmmh, naogopa ila nasikia raha kuwa na mwanaume wangu…..Ray” alimuita kwa sauti nzuri
“Mnnh” alimuitika kwa mguno
“naomba usiniache, mimi nataka uwe mwanaume wangu wa kwanza na wa mwisho, sawa?” aliuliza
“Siwezi nikakusaliti, japo unaninyima naniliu”
“Nakupa, ngoja nishibe kwanza , ila usiingize yote basi”
“Mmmmh…. Haya kunywa soda”
“Sante” alisema binti na kufunua soda akanywa
Baada ya kumaliza kula, Ray alichukua begi akatoa mswaki na dawa, akaanza kuswaki, huku akielekea bafuni, Nasma alijilaza kitandani na simu yake
“Hivi Nasma umekuja na mswaki?” aliuliza akiwa bafuni
“Hamna nimesahau”
“Mh inabidi utumie huu wa kwangu kwani unaogopa?”
“Hamna shida” alisema binti
Wote waliswaki vizuri na kuruka kitandani na kuanza kumfundisha simu, katika kufundishana simu, mitekenyo kwenye kwenye kwapa ikaendelea
“Ahahahahaha…..Bhanaa.aaaa acha” binti alisema kwa hisia, huku akijipanua na kubaki uchi maana taulo lilifunguka.
Ray alimpanda kifuani,na kushusha suruali yake, dakika mbili nyingi, chumba chote ni kelele tu
“Aaaash…..baby santeee ssssh tamu oooooh aaaah” alisema mtoto wa kike kwa hisia, lakini akiwa anasuguliwa vizuri sana kwenye naniliu.
Ilibidi Ray amdake ulimi ili kelele zipungue japo zinaleta raha……alizidi kumsugua huku akimpapasa sehemu tofauti za mwili…………..
SEHEMU YA 27
ASUBUHI TANGA MJINI
Ikiwa ni saa 12 asubuhi, tanga mjini, Ray alikuwa ameshapanda ndani ya basi, walisubiria mwendo tu waweze kuelekea jijini Dar.
Pembeni yake aliketi mtoto mzuri mweupe, aliyefahamika kwa jina la Nasma, alikuwa amejitoa sadaka ya kwenda kuishi naye japo alikuwa hajiamini kivile.
Kwenye gari kila, mmoja alikuwa akichezea simu yake, alimuwekea binti bando la kutosha na muda huo alikuwa YouTube anaangalia America’s Got Talent.
“Vipi chaji?”
“Ina asilimia sabini” Naa alijibu
“Mh iko vizuri aisee” alisema mtoto wa kike na safari iliendelea.
Ikiwa ni saa saba mchana, walifika katika stand kuu ya mikoani jijini Dar, iliyoko Ubungo. Ambapo walishuka na kuanza kutembea huku mvua ikinyesha kali sana, walitembea mpaka kwenye stand ya magari yaliyokuwa yanaelekea katika eneo la Makumbusho alilokuwa akiishi mtaalam. Walipanda kwenye daladala na kuketi
“Unaonaje Dar?” aliuliza
“Pazuri” alisema binti na kutazama watu.
“Ok twende nyumbani sasa”
**
Baada ya dakika 40 walikuwa wameshafika katika nyumba aliyokuwa amepanga mtaalam. Waliingia ndani ya geti
“Ohhhh Mungu wangu!!!!” Ray alishtuka
“Vipi tena?” aliuliza
“Sina ufunguo halafu mtu mwenyewe Dah sijui atakuwa wapi” alisema huku akitoa simu mfukoni na kumpigia Karim
“Kaka” alisema Ray
“Bwege kweli, ndo unanitafuta leo” alisema Karimu
“Daaah ukiona hivi, niko na shida mzee”
“Shida ya hela, mimi sina hela”
“Hahhaaa…..sio hela vipi uko wapi?”
“Niko getini kwako hapa”
“Utani”
“Kweli mzee embu subiri nakucheki” alisema Karimu na kukata simu.
Ray alibaki ameduwaa, mara geti lilifunguliwa, akaingia Karimu akiwa na mtoto mkali, alitaka akamtindue kwenye geto la Ray.
“Huh Ray” aliongea kwa mshtuko baada ya kumuona Ray
“Hahahahaaaaaa……….mzee” Ray alicheka sana maana alijua ashamuharibia mtu tayari
“Mambo gani tena? Umekuja bila taarifa” alisema Karimu huku akicheka, na kumsogelea Ray akampa tano
“Mission impossible” alisema Ray
“Na kweli maana nakuona upo na mtoto…..” alisema Karimu na kumgeukia Naa “Mambo” alimsalimia
“Safi”
“Yaapi, mama mwenye nyumba….nimekuja naye”
“Serious?”
“Yeah mzee, embu nipe key nipumzike, hayo ya kwenu mtajua wenyewe”
“Hahhaa” Karimu alicheka na kutoa ufunguo halafu akageuka na kumtazama mpenzi wake
“Chupi ya kuazima?” alimuuliza demu wake
“Haisitiri makalio”
“Haya tuondoke sasa…..kwa heri nina haraka kidogo” Karimu aliongea na kusepa
“Ntakushtuaaa”
Ray alifungua nyumba na kuingia na mtoto ndani. Kweli walifurahia, maana ndo ulikuwa mwisho wa safari pale.
**
Upande wa nje, kuna jirani alikuwa amemuona Ray akiwa anaingia na demu mwingine, alitoka nje ya geti na kumpigia Rose simu
“Hallooo shogaa” alisema huyo binti
“Nambiee Phina” alijibu Rose
“Naona tumeletewa mtoto mweupeee” alisema Phina
“kivipi?” aliuliza
“Ray kaja na katoto kazuri, tena kabichiii mh”
“Utani shoga angu”
“Kweli vile tena amemtoa kwao kabisa
“Hamna shida, mimi mwenyewe nishamsahau kitambo sana, sina time naye nina mwanaume mwingine sa hivi mwenye pesa zake” alisema Rose
“Poa mwaya”
“Ok” Rose alikata simu.
Ray na Nasma walianza kuishi kwa furaha katika chumba hicho huku wakiwa kama mume na mke kabisa japo hawakuwa na ndoa halali walipendana na kila mmoja aliridhia na mwenzake.
Ray alikuwa alimtafutia Nasma sehemu ya kujifunza kusuka nywele ndani ya wiki hiyo hiyo, na binti alianza mafunzo kwa ajili ya maisha yao ya baadaye, waliendelea vyema bila kusumbuliwa
NAAAAAAAAAAAAAAAM
Huu ndio mwisho wa SEASON ONE ya SIMULIZI YETU NZURI

