BIKRA YA HOUSEGIRL ILIVYONITOA JASHO
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
SEHEMU YA 13
Baada ya dakika kumi ni kwamba binti bado alikuwa na mawazo tele, aliinuka kitandani akafunga kanga kiunoni na juu akavaa blauzi yake ya kila siku, akatoka nje ya chumba chake, ile anatoka hivi, alimuona Ray naye anatoka bafuni, waliangaliana usoni, binti akaona aibu akaangalia chini na kutoka akaenda jikoni kuangalia hali ya chakula. Kilikuwa bado.
Hata hivyo binti baada ya kuona chakula bado hakijawa tayari, alirudi chumbani na kuketi kitandani. Akiwa ameketi pale alitazama kwenye stuli kulikuwa na simu ndogo ya itel ambayo ni ya batani halafu akaichukua.
Aliitoka kava, ndani ya kava kulikuwa na vocha ya Airtel, akaichukua na kuanza kuiweka kwenye simu, baada ya kuiweka alijiunga, kifurushi cha message cha mwezi, halafu akasearch namba ya Ray na kuitazama kwa muda huku akiogopa “aaah liwalo na liwe” aliongea peke yake kisha akagusa chaguzi na kwenda kwenye kuandika message ili amtumie Ray
Alipofika pale aliandika “Mh jamani kaka samahani, mimi sikujua upo bafuni” aliituma ile message kwa Ray halafu akaongeza nyingine “Hii ni namba yangu mimi Naa” alituma.
Ray aliichukua simu na kusoma jumbe zile mbili akatikisa kichwa na kumjibu “Mh, wala usijali” alituma halafu akawaza ‘huh kumbe kana namba yangu kweli’ aliitupa pembeni simu, akaanza kuchana nywele zake huku akijiangalia kwenye kioo.
Akiwa anachana iliingia SMS tena, sasa jamaa alikuwa anafurahi kusikia message, hivyo akachukua na kuitazama akakuta ni ya Naa tena, akaisoma “Asante kaka, ngoja na mimi nikaoge” alituma binti huyo
Ray hakutaka kuijibu ile message, hivyo akaiweka simu pembeni na kuendelea kuchana nywele zake mpaka akamaliza
****
Baadaye wakiwa sebuleni, binti aliingia akiwa amevaa mavazi yaleyale ya jana, japo yalikuwa yamempendeza, lakini sasa ndo kila siku jamani? Ray alimtazama, kisha akamgeukia baba yake
“Vipi Ray” baba aliuliza
“Hamna mzee wangu… ila kuna kitu nimefikiria hapa” alisema lakini akasita huku akisubiri Nasma aondoke aende nje, ili aongee maana kilimuhusu yeye.
Nasma aliweka chakula akatoka ili afuate vyombo, na mboga za majani “Hivi baba” alimuita mzee wake na mzee alimgeukia kusikiliza “Kwanini huyu binti tangu nije….samahani,….leo ni siku ya nne nimekuja, lakini naona Naa anavaa nguo mbili tu, sasa jaman si mumnunulie nguo zingine abadilishe? Eehn sasa kwa nguo hizi mtu atakuwa msafi kweli?” aliuliza mara binti akaingia
“Kelele…..kelele…..kama unataka kumnunulia nguo mnunulie wewe….” Mama alifoka wakati mzee ndo kaulizwa… ilibidi Naa atoke nje kwa uoga. Akaenda kusikiliza dirishani “Samahani, sisi mshahara tunamlipa lakini anatuma nyumbani kwao kuilea familia sasa tumsaidieje?” aliuliza mama
“Ok mama, sikiliza, unatakiwa upate Baraka za Mungu, hizi kwaya ambazo mnaimba na kanisani mama wewe ni mzee wa kanisa lakini sasa hizi ni Baraka chache mnazozipoteza wenyewe okey?” alisema kwa busara lakini mzee akatabasamu
“Usiwe umempenda huyu mtoto nakuambia wewe nitacheka” aliongea mzee…. Ndipo Naa akasikilizia jibu litakalotoka kwa Ray
“Sikilizeni wazee wangu, mpendeni kama mtoto wenu” aliongea na kutoa wallet mfukoni “Naa” aliita kwa nguvu
Binti aliposikia ameitwa aliondoka pale dirishani haraka na kwenda jikoni akaitika “Abee” aliitika
“Njoo” alisema akitoa pesa kwenye pochi kisha akasubiri mpaka Naa alipofika na vyombo akaviweka mezani
“umeniita” binti alisema
“Ndio, shika hii elfu kumi….kuna chupa za soda humu ndani?” aliuliza
“Ndio zipo”
“Ok kalete soda, 12, kila mtu tatu tatu uziweke kwenye friji, mimi niletee kokakola sijui nyie wengine” alisema na kuweka pochi mfukoni
“mimi niletee Sprite, na babu mletee Pepsi” alisema
“Sawa” binti aliondoka pale na kwenda kuchukua chupa akazitia kwenye kikapu, halafu akaondoka kwenda dukani kuleta vituzi.
*
Aliporudi aliweka chache kwenye friji akawasha maana lilikuwa halitumikagi muda mrefu kisha akataka atoke nje na soda mkononi
“We Naa” Ray aliita na Nasma aligeuka “Unaenda wapi?” aliuliza lakini binti hakujibu “Njoo ukae hapa tunakula familia nzima leo, sawa?” aliuliza
“Hamna…mim nina….”
“Aaaagh sitaki maelezo njoo uje kula hapa, unaenda kula huko kwani wewe umekosea nini? Au unatuogopa…..kama utaenda kulia huko basi ukimaliza ukusanye na nguo zako zote kesho safari ya kwenda kwenu ….sawa?” alisema na kufunua chakula akaanza kupakua
Ilibidi binti aende mezani na kuketi na watu wengine, mwanzo uoga ulikuwa ukimjaa, wazee walikuwa wanachukia sana kula na housegirl…. “haya pakua chakula” alisema Ray na kumpa upawa binti akapokea huku wakitazamana usoni
Macho yao yalipogongana, yalianza kuleta hisia za tofauti kabisa kati yao na wote waliweza kuanza kujihisi tofauti lakini binti alikuwa anaogopa, alipakuwa chakula na kuanza kula kwa aibu aibu
“Sasa hii ndo familia, hata Mungu akashuka hapa, wote tunaenda mbinguni sio tumuache mmoja duniani tuende wenyewe” alisema Ray akitabasamu kidogo na kumgeukia binti “Unajisikia vibaya?” alimuuliza binti akatikisa kichwa kumaanisha hapana hajisikii vibaya.
“Mnajua kilichonishangaza ni nini wazee wangu?” alisema na wazee wote wakamgeukia na kusubiri kilichomshangaza Ray “Mimi na Nasma wote tumezaliwa tarehe moja, mwezi mmoja lakin miaka tofauti mnalijua hilo?” aliuliza na kuchukua soda akapiga pafu.
Nasma alishtuka na kumtazama kijana huyo huku akiwa amejaza chakula mdomoni, hakuweza hata kutafuna “Vipi mbona unanishagaa ulikuwa hujui?” aliuliza lakini Nasma hakujibu alitafuna na kumeza halafu akamtazama
“We umezaliwa tarehe ngapi? Binti aliuliza
“Tarehe 29 mwezi wa 3 mwanaka 1996”
“Mh kumbe” binti alianza kupata confidence fulani hivi baada ya story kuwa nyingi
“Mzee wangu bado siku mbili ifike siku ya birthday yangu, ni miaka kama 4 sijawahi kulia birthday nyumbani na mimi nipewe zawadi nyumba hii” alisema kijana Ray
“Bado siku mbili?” aliuliza mzee huku akiwa amemgeukia mumewe
“Ndio” Ray alisema
“Sasa itakuwaje mama Johnson” aliuliza mzee huyo
“tutajua cha kufanya” mama aliongea kwa mkato.
Baada ya dakika 20 kila mmoja alikuwa ameshakula chakula chake vizuri. Naa aliweza kutoa vyombo mezani akavipeleka sehemu ya kuviosha vizuri, chakula kilichobaki alikihifadhi. Muda wote alikuwa akitabasamu kwa furaha, yaani alikuwa ameshampenda kijana Ray kabisa, hakuwa na wasiwasi alitaka afanye mambo ili afurahie penzi.
Hata hivyo aliacha vyombo nje na kwenda hadi chumbani akajilaza huku akitafakari “Mh mbona jamani huyu mkaka ananijali….ooh ngoja nimtumie message’ aliwaza huku akiishika simu na kuvuta pumzi ndefu,
Baada ya kuchukua simu alimuandikia message “Kaka” alituma kwa mkato halafu akatulia kusubiri majibu.
Vivyo hivyo Ray alikuwa ameketi kitandani akiwa anataka kumpigia Karimu amuulize suala zima lililokuwa limejiri lakini aliona message kutoka kwa Nasma ikabidi ajibu “Nambie” aliituma
Binti hakuamini amejibiwa, moyo ulimpipa paaah akasoma na kujaribu kuandika message huku akitetemeka mwilini kwa upendo “Ahsante, sana kaka umenifanya nijisikie amani hapa ndani nami najiona mtu, asante kaka wewe ndo unanipa furaha hapa ndani….jamani nashukuru sana sitamani uondoke tena” alituma SMS hiyo, halafu akaweka simu pembeni na kufumba macho
Kichwani aliona picha ikimuonyesha Ray tu, yaani hakuamini kama ameshampenda mkaka wa watu kama yule “Mmh mimi ninampenda huyu kaka….hamna simpendi, alisema huku akijaribu kujizuia lakini hisia ni mbaya sana, hazizuiliki.
Ghafla mlango wake uligongwa, ngo ngo ngo akashtuka “Nani?” aliuliza
“Mama” ilisikiasauti ya mama Ray nje mlangoni, ilibidi binti atoke kitandani chapu na kwenda mlangoni akashika kitasa na kuchungulia nje.
Alimuona mama akiwa amenuna pale nje, uso kaukuja kaka chapati, huku vimistari juu ya paji la uso wa mama vikijichora na kuleta alama kama ya wi-fi
“Bibi” binti aliita kwa wasiwasi
“Ssssh…usiniite bibi mimi sio bibi yako…sikiliza” aliongea kwa hasira kidogo huku sauti ikiwa ni ndogo inayoelekea kunong’oneza
Binti aliogopa maana mama boss wake alikuwa mnoko sana kwake hivyo binti alitulia kimya kusikiliza “Kuna mambo ambayo siyaelewi elewi kati yako wewe na mtoto wangu Ray…..nikisikia unatoka naye nakuapia nakuuwa, mjinga mmoja wewe” alisema mama kwa hasira halafu akasonya mfyuuuu na kuondoka zake akiwa na hasira.
Naa alisikitika sana, alirudi ndani na kuketi kitandani akaishika simu yake na kuanza kusoma ujumbe aliokuwa amejibiwa na Ray “USIJALI NASMA, HATA NIKIONDOKA HAWATAKUTESA” alisema Ray kwenye message lakini tayari nguvu zilikuwa zimeshamuishia Naa maana amepigwa onyo la maana……….
SEHEMU YA 14
SIKU YA BIRTHDAY ILIPOFIKA
Ilikuwa asubuhi na mapema siku ya jumamos kikao cha ndugu wa baba, yaani baba wadogo na wakubwa, walikuwa nje nyumba nyuma ya jiko kidogo, waliwasha moto na walikuwa wakimchinja mbuzi kwa ajili ya kuweza kumtunuku kijana Ray kwa sababu ni siku yake ya kuzaliwa
Katika kipindi hicho chote kule bado masuala ya Keki kwenye birthday au sherehe zozote lilikuwa ni jambo gumu kidogo, walikuwa wakitumia sana sana nyama ya mbuzi kwa kuichoma ikakauka
“ngo ngo ngo” mlango wa Ray uligongwa saa moja kamili asubuhi, akafungua macho na kutazama “Ngo ngo ngo” uligongwa tena
“Nani??” aliuliza kiuchovu kisha akapiga mihayo huku akishuka kitandani na kufuta uso kidogo
“Mimi baba Eli” sauti ilisikika mlangoni
Ray aliinuka na kwenda mlangoni akafungua, alikuwa ni baba yake Elinami “Shikamoo mzee” alisalimia
“Marahabaa,vipi unalala sana bwana” alisema mzee huyo
“Daaah, tukija huku tunapumzika” alisema na kupiga miayo tena halafu akatoka nje mlangoni
“Samahani lakini, kwa kukukatia usingizi, baba yako ameniambia nikuulize kwamba leo kwenye siku ya kuzaliwa tukutengenezee supu ya mbuzi au unataka tuchome kama keki”
“Chemsheni bwana, ninywe supu mimi” alisema Ray
“Ok sawa, njoo nje huku” alisema mzee
Ray na Ba Elinami walitoka wakafika nje, ambapo binti Nasma alikuwa anaosha vyombo Ray alimtazama “Vipi umeamkaje” aliuliza
“Safi shikamoo”
“marahaba” aliitika Ray na kusita akamtazama binti usoni “Sikia Nasma, unajua kutengeneza chapati za kusukuma?” alimuuliza binti
“Ndio najua kaka…” aliongea binti lakini suati ilisikika jikoni na ilikuwa ya mama
“Muache aoshe vyombo na usafi mwingine chapati nitatengeneza mimi” alisema mama kwa jeuri maana hakutaka ukaribu wa watu hao wawili, alizuia kwa njia yoyote ile
“Ok sawa,” alisema Ray, “ngoja niongee na wazee hapa nikirudi hivi nitakupatia pesa ulete unga tule chapati kama zote.”
Alienda mpaka nyuma ya jiko ambapo alikuta baba mkubwa na baba mdogo wake wakiwa wanacheka huku wakiongea kipare
“Shikamoo wazee wangu” alisema kija huyo kwa sauti ya kidaresalama
Wawili waliitika lakini wengine waligoma jamaa akashangaa na kutabasamu
“Mbona unatabasamu, hujui kwamba kuna kesi hapa?” baba yake aliuliza
“Kesi gani?” aliuliza huku akichukua mkono na kumsalimia Ba mkubwa
“Yaaani wewe umekaa hapa siku zote hapa, hata salamu kwa baba wakubwa zako hutaki kuja? Yaani watoto mnakuwa na dharau sana, sasa sikiliza tunataka maji ili tukusamehe, sio pesa kidogo tu hutaki kutusalimia” alisema
“Oh samahanini kidogo, mimi ninakumbuka mligombana na baba mlikuwa hamjagi huku kabisa, sasa nashangaa leo mpo hapa mh siamini” alisema kwa furaha
“Hahaa…sikiliza Raymond kesi za wazazi wako sio za kuingilia sisi tuligombana na ndugu yetu na sio mtoto wake umesikia?”
“Nawaelewa”
“Haya kabla ya yote pombe kwanza” alisema mzee mmoja
“Hahhaaaa….mtakunywa” alijibu na kutembea mdogo mdogo kuondoka pale ili akatafute pesa, alipofika ndani alifungua begi akatoa shilingi 50 elfu, halafu akatabasamu “hizi pesa nikikaa huku zinaisha zote pumbavu mimi” alisema na kuongeza elfu 20 halafu akatoka nje na kumpa elfu 20 mama “Kachukueni unga basi wa chapati” alisema na kurudi kwa wazee walikuwa wanne pamoja na baba wa tano
Ray aliwatolea zile noti 5 na kumpa kila mmoja isipokuwa baba yake, halafu akamtazama na kucheka kwa nguvu “Hahahaaa….baba…na wewe unataka?” alisema kwa furaha huku akiinama na ngumi kakinga nayo mdomo
Mzee alitabasamu na kutikisa kichwa, halafu jaamaa akainuka na kumpatia ile noti iliyobaki “Sitaki laana mzee wangu” aliongea kijana kisha akaondoka huku akitabasamu.
****
Ikiwa ni saa 5 asubuhi, mambo yalikuwa ni biyee, supu kama debe mbili, nyama kama mia mbili na chapati za kutosha, halafu walipiga picha ya kusheherekea.
Baada ya kupiga picha waliketi ili waanze kufinya mpunga, mama akasali na kumaliza akamtazama Ray, wote wakaanza kunywa “Naa yuko wapi?” aliuliza
“Yuko nje” alisema mama
“Yuko nje? Lakini kumbuka hii nayo ni birthday yake” alisema Ray akitaka kutoka akamuite lakini mama alimzuia
“Ray, subiri, huyu mbuzi amechinjwa kwa ajili yako na sio kwa ajili ya Nasma, sawa? Halafu pili ni muislam yule hawezi kula nyama ambayo imechinjwa na mkristo” aliongea mama Ray akasita na kuketi kwenye sofa
Alijua kuna vita, akachukua simu yake na kuandika message kwa Naa “Ina maana huwezi kula nyama iliyochinjwa na mkristo?” aliuliza
“Naweza kaka, maana nimeshuhudia,lakini kiukweli sitakula hiyo kwa sababu sio haki yangu, nimenyimwa kaka” alijibu binti hilo suala lilimuuma Ray lakini alitulia kidogo akamjibu
“Kwanini unateseka hivi?” alimuuliza
“Hamna kaka nitaondoka maana mwezi wangu umeisha juzi nilitakiwa nipewe mshahara niondoke maana nimechoka huku kweli nimepamiss nyumbani” alisema binti huyo, maneno yaliomuuma kabisa Ray akaona sio vyema.
Ray hakuwa na la kufanya, alifinya vituz na Nasma alikuwa anakula chapati na chai nje ya jiko kidogo huku akichat kwenye simu.
Baada ya saa moja wote walimaliza kula.
****
Hata hivyo baada ya muda, Ray alioga vizuri, akatoka bila kuaga pale nyumbani, alienda mpaka mjini mwanga kuzurura zake kwa ajili ya kufurahia siku ya kuzaliwa.
Nyumbani alimuacha mama, baba na Naa hata hivyo Naa aliitwa na mzee akiwa amejilaza kitandani akitafakari.
“Abee babu” aliitika mtoto wa kike
“Njoo” alisema mzee
“Sawa babu” alisema binti na kushuka kitandani akaenda hadi sebuleni, akakuta mzee ameshikilia noti za shilingi elfu kumi kumi zikiwa kama nne hivi alimtazama
“Tunajua kwamba, mwezi wako wa kazi umeisha tarehe 27, kama ulivyokuja, sasa sikiliza, mimi na mama tumekaa tukafikiria, tulisikia juzi Raymond akiwa analalamika sana kwamba wewe huna nguo, sasa tukaona mwezi huu mshahara tusiutume nyumbani, ila tukukabidhi ukanunue nguo zako sawa?” alimuambia
“Sawa baba yangu” binti aliongea kwa nidhamu
Mzee alinyanyua mkono na kumkabidhi ile pesa binti akabonyea akashukuru na kuondoka kwa furaha.
Alipofika chumbani mtoto wa kike aliketi kitandani akawa anatafakari
‘asante Mungu wameweza kunipatia hii pesa, kesho natoroka naenda kwetu, sitaki tena kazi za ndani kwa watu, kweli ninaondoka nakuambia…’ alijiongelesha moyoni huku akionyesha kuchoka maisha ya pale, alikuwa ana nguo mbili tu, na pia viatu jozi moja aliyonunuliwa na Ray.
Alikuwa hana hata begi lakini alijua nguo atakayovaa ndo ile moja nzuri haina haja ya kuweka kwenye begi ila tu awe na kamfuko kakuweka viurembo vyake na nguo za ndani alizokuwa nazo mbili.
*
Usiku saa mbili, walikuwa mezani, kwa kawaida binti alikuwa amesharudi jikoni hakuruhusiwa kula kula chakula na wanafamilia wengine kule ndani. Ray bado alikuwa hajarudi, mzee alipiga simu ikawa haipokelewi
Ilipofika saa tatu na nusu walienda kulala chumbani kila mtu kwake, na binti alikuwa akiishi chumba ambacho kilikuwa karibu sana na mlango wa nje, usingizi haukumchukua maana aliitafakari safari ya kesho yake kwenda mkoani, alikuwa anatamani kukuche maana alishapenda halafu anakatazwa kutoka kimapenzi na Ray kisa mtoto wa boss. Hapo ndo alikasirika kabisa
Ilipofika saa tano usiku alisikia mchakacho kutoka nje, akajua Ray ndo anarudi, yeye akatulia kimya, mara akasikika mlango ngo ngo ngo, akatulia asikie kama kuna mtu atafungua, lakini hakuna mtu,.
Ray alisogea mpaka dirishani akaita kwa sauti ndogo “Wee Naa” alisema Naa aliitika hivyo hivyo kwa sauti ndogo
“Abee”
“Nifungulie” alisema jamaa.
Na alishuka kitandani akafunga khanga yake taratibu halafu akafungua mlango na kutoka akinyata ili wazazi wasisikie, alifungua mlango wa nje akamkuta jamaa amerudi, ameshikilia mfuko mkubwa, akamkabidhi
“Wa nini huuu?” aliuliza mtoto wa kike kwa sauti ndogo
“Sssh…..happy birthday to you, nenda ndani hiyo ni zawadi yako” Ray aliongea kwa sauti ya kunong’oneza na kuingia ndani akafunga mlango na kwenda chumbani kwake, binti naye akaingia chumbani
Unaambia hakuweza kuvumilia aliwasha taa halafu, mtoto wa kike alifungua ule mfuko na kuchungulia ndani yaani hakuamini, maana alikutana na zawadi kem kem
Kulikuwa Na gauni jekundu, blauzi mbili, viatu jozi mbili, suruali nzuri na pia mtandio na kitenge, halafu kulikuwa pia na kadi ya kumtakia heri ya siku ya kuzaliwa na pembeni palieweka kiboksi chenye urembo urembo halafu pia kulikuwa na kizawad kingine kilikuwa kimeweza kufungwa vizuri kwa gift pepa.. alikatoa mfukoni na kukingua
Macho yalimtoka maana alikuwa hajui, alikutana na na shanga za rangi nne, Kijani, nyekundu, njano, na nyeupe nyeupe hivi….”Heeeh hizi si shanga hizi?” alijiuliza maana hakuwahi kuvaa kabla,
Halafu ziliwekwa juu ya nguo fulani mbili, akazichukua nguo zile na kuziangalia zilikuwa ni Chupi ya pinki pamo na sidiria ya pink hivyo hivyo, alijikuta amechanganyikiwa na kuchukua simu akamuandikia message
“KA RAY KWANINI UNANIPA VYOTE HIVI? JAMANI ASANTE SANA….SIJAWAHI SHEHEREKEA SIKU YANGU YA KUZALIWA JAMANI NI LEO NA WEWE NDO WA KWANZA KUNITAKIA TANGU NIZALIWE…ASANTE SANA” alituma mtoto wa kike lakini Ray hakujibu
JE NAA ATAWEZA KUONDOKA TENA KURUDI KWAO, KWA JINSI RAY ANAVYOMJALI????
SEHEMU YA 15
JUMAPILI KAMA JUMAPILI
Asubuhi saa kumi na mbili kasoro alishtuka usingizini mtoto, Nasma, safari ya kwenda Singida ilikuwa imeshaahirishwa kabisa kutokana na kwamba binti hakutaka kuondoka wakati bado Ray yupo, alijitia moyo
“Ray akiondoka hivi, na mimi ninaondoka” aliwaza binti.
Alishuka kitandani, yaani cha kwanza kushuka ni lile limfuko la zawadi, aliliotoa na kuzimimina zote kitandani, kisha akaangalia zile shanga akatabasamu, “Sasa mimi hizi naweza kuvaa jamani, kwanini aninunulie hizi, mmmh” alisema kwa furaha huku akizitazama, halafu akaziweka kitandani na kuweza kuchukua gauni.
Alijifungua khanga yake halafu akavaa gauni lile, halafu akakuta ni fupi “Mh mbona hili fupi sasa” alifikiria na kujiangalia halafu akavua ile nguo huku akitabasamu, kisha akachukua kisuruali.
Alivaa kile kisuruali, kiukweli kilimkaa kama vile alikuwa amechukuliwa vipimo na mtaalam, halafu sasa alipovaa ile blauzi na viatu hakika alikuwa kama video vixen fulani hivi yule Nana…mmh “jamani” alisema huku akibasamu akavua nguo zote na kurudisha mule. Kwenye fuko, kisha akaandika message kwa Ray
“Kaka umeamkaje” alitum
Chumbani, Ray aliamshwa na mlio wa simu ilikuwa inaita, alikuwa ni Rose alikuwa akimpigia, alipokea simu
“Mambo” alipokea Ray
“Safi mzima wewe?” Rose aliuliza
“Mzima, nambie”
“Nimekumiss Ray, ina maana Dar unakuja lini?” aliuliza mtoto wa kike
“Nitakuja wiki ijayo, maana kuna vitu vyangu mimi sijaweka poa huko lazima niwahi”
“Samahani, mbona jana nimekuwishi birthday hata hujajibu?” aliuliza
“Nilikuwa bize sana”
“Haya bana, unaonekana umeshanichukia sana, unamtuma Karimu aje kuchukua ufunguo sasa ndo nini wakati nyumba uliniachia mimi?” aliuliza Rose
“Samahani, kama unahisi hivyo basi sawa, ila nataka umpe ufunguo Karimu maana wewe umeshahamia mbali”
“Simpi Ray, utakuja kuuchukua mwenyewe ukija”
“Sawa, tutaona” alijibu Ray na kukata simu kwa hasira halafu akaanza kutukana
Yaani mjinga huyu ananikatia usingizi wangu, naota niko mbinguni halafu Malaya ananikatia aliongea kwa sauti kubwa kidogo lakini nje haikusikika.
Alishuka kitandani na kumpigia Karimu simu maana alikuwa ameshapata wazo fulani.
“Boy vipi?” aliuliza Karimu baada tu ya kupokea simu
“Safi aisee, una laki moja hapo?” alimuuliza kwa haraka haraka
“Yanini tena boss?” aliuliza Karimu
“Yule manzi mimi simtaki, sikiliza mimi ninampiga baba mwenye nyumba sasa hivi halafu nimuambie kwamba ile kofuli pale ni ya kubadilisha mzee maana naona kama vile tunachoshana tu, na Rose, sasa wewe kanunue kitasa kipya mim namalizana na father house sasa hivi” alisema kijana Ray”
“Poa mfalme mwa majaribu”
Walicheka wote halafu Ray alikata simu na kuisoma message ya Naa, akaipuuzia na kumpigia simu baba mwenye nyumba
“Hallo kijanaa” alikuwa mzee sana, baba yule
“shikamoo mzee Kimaro, umenijua?”
“Marahaba nimekujua” alisema mzee huyo
“Niko Upareni kidogo mzee wangu….sasa nimepoteza ufunguo wa pale ndani nina hofu sana”
“Oho, koh koh koh” mzee alikohoa kidogo “ndio….sasa unataka kuineleza nini wakati mimi nilijua unaniongezea kitu kidogo bwana” alisema mzee kwa utani
“Hahahaa….subiri bwana mambo sio mazuri si unajua korona….halafu pia nimesikia unakohoa hapo mmmmh nina wasiwasi kesho kutwa utaletwa moshi wewe” alisema Ray
“kwenda sako…..”
“achana na hayo mzee wangu mimi ninamtuma kijana pale aje kubadili kitasa, sawa?” alisema
“sawa…..uuuh koh koh koh” alikohoa tena na kuweka simu mfukoni yaani hana time kabisa.
Ray alikata simu na kucheka kidogo halafu akamuandikia message Karimu “Nimeshamaliza wewe nenda tu”
Alipomaliza kutuma message hiyo aliinuka kitandani na kutembea mpaka mlangoni kisha akafungua mlango na kuchungulia nje
Alimuona mama anapita huku akiimba imba nyimbo za kwaya, akaamua kurudi ndani na kuchukua mswaki kisha akatoka na taulo, huyooo bafuni kama kawaida yake. Aliswaki na kuoga halafu akarudi ndani na kuvaa nguo, kisha akatoka na nguo zake kama kumi hivi za kufua akazitupa chini pale nje na kumsalimia Naa ambaye alikuwa anafagia halafu Ray aliingia ndani na kwenda kukaa sebuleni
“Mzee shikamoo” alisema baada ya kumkuta mzee anakula habari kwenye TV
“Marahaba….umeamkaje”
“salama” alisema kijana huku akiangalia ile habari
“Raymond” aliita baba
“Naam”
“Kanisani vipi?” alisema huku akitamzama sana usoni
“aaah, siendi mimi”
“Mkishika pesa kidogo mnamsahau Mungu…..twende kanisani bwana”
“Mzee wangu mimi sina pesa eti, halafu msidhani mtu akishaajiriwa basi ana pesa….hapana ni pesa kidogo tu nakuambia” alisema Ray
“Sawa, bwana….. Wee Nasmaaa” mzee aliita kwa nguvu
“Abee” sauti ilisikika nje
“Chai hiyo vipi, bwana tutachelewa ibadani ujue” alisema mzee
“Naleta babu” alisema binti
****
Saa tatu kamili asubuhi Baba na Mama walikuwa wamejiandaa vyema walikuwa wanaenda kanisani kwa ajili ya ibada ya jumapili. Ray na Nasma walikuwa wanabaki nyumbani peke yao.
Mama alikuwa na wasiwasi, alimfuata Ray “Mwanangu kwanini usiende kanisani lakini” alimshawishi lakini Ray akawa anacheka tu kuonyesha kwamba hana mpango huo kabisa
Mama alipoona amegonga mwamba akainuka na kwenda kwa binti kule jikoni, akamkuta anaosha vyombo “Nasma” alimuita na Nasma aliinua uso akamtazama usoni mwanamama huyo “Kikitendeka kitu chochote kati yako na Raymond nikajua lazima uondoke hapa” alisema kwa hasira binti akainuka na kumtazama
“Kitu gani mama?” aliuliza binti
“utajua mwenyewe, mimi ninaenda ibadani” alisema mama kwa hasira na kuingia ndani akatokea mlango wa mbele.
Walipoondoka kwenda kanisani, Ray alikaa pale kwenye sofa, akasikia ujumbe umeingia kwenye simu yake, akaichukua na kutazama akakuta ni namba ya Elinami “Please twende kanisani wewe mwanaume japo umenisusa” alisema Elinami
“Sawa nakuja” alijibu Ray kwa kudanganya halafu akainuka na kutoka nje akafue nguo zake, alipofika tu nje hivi alimkuta binti akiwa anamsaidia kufua nguo
“Nasma umeamua kunisaidia?” alimuuliza
“Ndio kaka, baba na mama wameshaondoka?” aliuliza
“Ndio” alisema jamaa
Naa aliinuka na kuchukua nguo zote akatia kwenye povu ndani ya beseni halafu akaziloweka na kuingia ndani akazama kabisa chumbani mwake.
Ray alirudi ndani na kuketi katika sofa akawa anacheza na simu yake.
Japo Nasma alikuwa ameshapewa onyo, lakiini kamwe hakuweza kuvumilia, alijikuta ameenda bafuni akaoga vizuri halafu akatoka na khanga moja na kuketi sofani pembeni mwa Ray.
“Kaka…..nashukuru sana kwa zawadi ya birthday” alisema mtoto wa kike………..
SEHEMU YA 16
“Mmmmh kidogo tu ile mbona jamani?” aliongea chalii wa watu
“sio kidogo, maana nimeshangaa, kaka hivi zile ulizoniletea ni shanga enh” aliuliza
“Ndio, kwani ulikuwa hujawah kuziona?” aliuliza
“Hapana, sijawahi kuziona ila, nasikiaga tu, jamani, ila kaka?” aliuliza binti
“Ehee”
“Mi sijui kuzivaaa”
“Mmmh, haya unavaa kama mkufu then unazishusha mpaka kiunoni, zikizidi unapunguza shanga sawa?” aliuliza
“Okk….sawa…asante…ngoja nikajaribu” alisema binti kimitego mitego na kuinuka akawa anatembea kwa kujitikisa tikisa huku akitamani jamaa amuite lakini hakuitwa. Akaona atapoteza bahati, wakati anampenda na ile ndo chance pekee aliyopata kwa bahati. Alirudi na kuketi kwenye sofa “Kaka” alimuita
“Mmh” jamaa aliitika
“kwanini unanifanyia yote haya lakini, unajua mimi sijawahi kuona mtu ananijali kama, wewe? Ukiondoka mimi nitajisikia vibaya jamani kaka yangu eenh” alisema binti huku akitaka kutokwa machozi
“Nasma” alimuita kwa mshtuko “Usilie” alisema jamaa na kuinuka kidogo
“Silii kwa sababu naumia, ila kaka, mimi kiukweli mimi aaah” alishindwa kuongea
“Nini sasa Nasma..” jamaa aliuliza
Sio kwamba Ray hakuwa na hisia na binti, zilikuwa zimeshaanza kuota na zilikuwa kali sana, lakini aliogopa, yeye kama yeye kutoka na housegirl hapana, aliogopa na kuwaza sana. Aliinuka na kutaka kuondoka. Lakini binti alimshika mkono “Unaenda wapi?” alimuuliza kwa hisia na kuinuka naye, saa ngapi binti asimkumbatie kwa nguvu sawa, huku mwili ukitoa kaubarid maana alitoka bafuni muda sio mrefu “Kaka, nilipanga leo nitoroke niende kwetu lakini kaka uliponiletea zile zawadi za birthday nimeshindwa kuondoka maana natamani nikuone kila muda”
“Pole sana Nasma, najua unapitia mengi sana magumu lakini Nasma, nenda basi kaendelee kufua, ukishafua tu nitakupati shilingi elfu kumi sawa?” alimuuliza
“Sitaki pesa kaka mimi nitakusaidia bure” alisema huku akimuachia maana si walikuwa wamekumbatana.
Ray alimtazama mtoto wa kike machoni, macho yalikuwa yanarembuka kimahaba hasa, na mtoto alikuwa anataka kabisa mjeledi “Nasma wewe ni mzuri ndo maana nimekuletea mavazi yale ili ukivaa tu uone jinsi ulivyo mzuri” alisema Ray
“Asante kaka” alisema binti na kuutupa mkono kifuani mwa Ray akatulia kimya “Kaka unakumbuka siku ya kwanza umenifuata jikoni unataka nije nilie chakula huku?’
“Eeh nakumbuka”
“Uliniponishika najua ilikuwa bahati mbaya lakini nilisisimka kaka yaani sijawahi shikwa na mwanume hivyo tena katika maisha yangu” alisema binti huku akipapasa fua la mtaalamu
“Mmmh” msela aliguna
“Halafu kaka….unajua siku ile nimeingia bafuni ukawa unaoga, niliondoka kwa mawazo, sijawahi kumuona mwanaume akiwa uchi kabisa jamani” alisema Nasma kila sentensi inazidi kumshawishi Ray kuzini katika siku ya sabato
“Mmmh….daaah” alisema Ray na kumvuta binti kwa nguvu akaanguka kifuani mwake, huku akimtazama usoni na hisia zishakuwa kalia mno. “Nasma” alimuita kimahaba, na kumpelekea mdomo saa ngapi wasianze kuny…ony….ana mate na mtoto wa kike
Halafu ilivyokuwa mbay ni kwamba Ray alimny…ony….a u..li…mi huku akimpapasa maungo mpaka khanga ikafunguka na kudongoka chini, binti akabaki uchi ya mnyama halafu hata hamzuiii kwa maana nyingine alikuwa naye anataka dozi
“ASSSssh” alisema biti huku akiung’ang’ania u..li…mi wakany…ony….ana mate mpaka wakachoka, huku mikono ya Ray mara kwa mara ikitangulia kwenye kaa…li…ooo la binti na kupapasa pia maziwa madogo ya mviringo
Ray alimuachia Nasma, na kurudi nyuma kidogo, ile amerudi hivi, Nasma alidongoka mzima mzima, na kuketi sakafuni bila kutarajia
“Wewe!!!” Ray aliongea kwa mshtuko maana hakuwah kuona mwanamke analegea vile, hata hivyo, alimrukia na kumnyanyua lakini Nasma hakutaka kunyanyuka bure,. Alimkumbatia Ray na kunyanyuka wakiwa wanany…ony….ana ndi…mii
Ray zilimpanda, mwanamke akilegea huwa analeta hisia kali, hali hii ilimfanya Ray amlaze kwenye sofa na kuanza kumpelekea mkono kule kunako akaanza kumpapasa taratibu akitaka kuingiza kidole hivi binti akamzuia
“Hapana, kaka, usifanye hivyo utaniumiza” alisema binti huku akiutoa mkono wa Ray
“Sikuumizi bana nakupa raha” alisema Ray
“No…mimi sijawahi kufanya” aliinuka Ray na kumtazama kisha akachukua khanga na kumrushia mtoto wa kike, ajifunike.
Binti alijifunga nayo halafu akasogea pembeni kidogo “Nasma ina maana wewe hujawahi kufanya?” alimuuliza
“Ndio sijawahi” binti alijibu huku akiinuka kwenye sofa.
“Ok kalete zile shanga nikuonyeshe namna ya kuzivaa” alisema Ray.
Binti aliondoka pale sebuleni kwa ajili ya kwenda kuzileta zile shanga alizokuwa amepewa kama zawadi ya birthday halafu Ray naye alikuwa ameshapandwa na mzuka wa kutosha. Tena alipokumbuka kwamba hawahi kukutana na bikira kabla, alijikuta anaenda chumbani kwake, akavua suruali na fulana halafu akabaki na boxer kisha akasimama mlangoni akimsubiri binti apite. Maana lazima angepita pale kuelekea sebuleni.
Kweli binti alitoka chumbani amebeba shanga na chupi na sidiria mkononi halafu anapita. Ghafla mlango wa Ray ulifunguliwa, na Ray alimvuta ndani., halafu akafunga mlango na kumkumbatia mtoto wa kike huku akiifungua ile khanga na kumdondosha kitandani akiwa uchi shanga zikadondoka kule pembeni na chupi na sidiria
Alizidi kumny…ony….a mate mtoto wa kike akawa amelegea anamkumbatia Ray tu, kichwani hakuamini kwamba yeye ndo anafanyiwa yale yote.
Ray, alimpanua mapajana na kumtazama, halafu mkono mmoja aliushikia boxer na kuichomoa nanilii yake ikiwa imetuna vibaya sana.
Alimzama binti mapajani na kuanza kupapasa kwa hisia, huku akipaka uume mate “sssh, kaka please mimi nitaumia” alisema mtoto wa kike
“Ah…ah hautaumia ntafanya taratibu sawa?” alimuuliza mtoto wa kike
“mmh kaka” alisema binti huku akijiachia kidogo na kumtazama kobra wa jamaa, aliyekuwa wa wastani. Ray aliweka kichwa na kujaribu kukisukumia lakini binti alipiga kelele
“Kaka…..hapana ninaumia aa” alisema akiwa anamsukuma lakini Ray alimlalia akawa anampapasa taratiiibu huku akitikisa kiuno chake na kukichezesha, maana yake alikuwa anamtekenya binti lakini binti bila kuingiza hivyo binti hakuumia sana
“Asssssh….oh baby” alisema kwa hisia jamaa maana alifurahia lile gemu japo hakuingiza.
“Kaka….hapo hapo usiingize zaidi bhasi” kanasma kalisema kakiwa kanamkumbatia bila kujua kitakachofuata
Wakiwa wanazidi kupeana viutram utram walisikia michakacho, wote wakashtuka kidogo halafu sauti ikasikika nje “NASMA”…….wote waliachiana na Nasma alishuka kitandani akiogopa tayari………
INAENDELEA………..