TABIA ZA MKE WANGU ZILIVYONIFANYA NITEMBEE NA HOUSEGIRL
SEHEMU YA 26
“Ufunguo amepata wapi…..oooh nilisahau jamani uuuwiii kumbe kila mtu anatembea na wake?” mama mchungaji alizungumza mwenyewe tukiwa kitandani haraka akashuka nami nikashuka tukavaa nguo zetu
“Humu ndani kuna mtu au hamna mtu mbona nimeona maviatu ya mwanaume pale?” mumewe alijiuliza kwa sauti akiwa sebuleni
“Vipi unaogopa?” nilimwuliza mama mchungaji huku nikiwa tayari kwa lolote litakalotokea
“Hapana siogopi ila ila ungejificha”
“Kwanini nijifiche wakati tulikuwa tunalipiza kisasi na sisi tunainjoi?”
“Mume wangu ni mkorofi sana”
“Acha niuone ukorofi wake, mara hii umeshaanza kumtetemekea mtu ambae amekusaliti tena bora wewe, mimi ametembea na mke wangu, acha nitoke tu” nilimjibu nikianza safari ya kutaka kutoka chumbani kwangu akanishika mkono
“Edmund tafadhali usianzishe ugomvi, mtu mwenyewe mdhaifu yule utamuumiza bure”
“Mama mchungaji, ugomvi wangu na yeye umeshaishia pale kitandani kwako, nipigane ili iweje?” nilimwuliza akatikisa kichwa kukubaliana na mimi kisha nikaufuata mlango na kutoka chumbani nikimkuta mumewe amekaa sebuleni kwenye kochi (sofa) na simu anapiga na alikuwa akimpigia mkewe ambae hakujua kama yuko chumbani, akasikia simu ya mkewe ikiita chumbani akageuka na kuniona nikitoka chumbani kwao huku nikiurudisha mlango bila wasiwasi
“Wewe kijana Edmund umeingiaje humu na unatokaje chumbani kwangu na mke wangu, umefuata nini?” alitoa macho akiwa haamini anachokiona huku mama mchungaji akiwa bado yupo chumbani hajatoka nadhani alikuwa anasikiliza mlangoni kinachoendelea huku sebuleni
“Bwana asifiwe baba mchungaji” nilimsalimia huku nikitabasamu
“Shenzi kabisa, unaniambia Bwana asifiwe na huku umetoka chumbani kwangu na mke wangu, umekuja kuiba nini?” aliinuka kwa hasira akiwa haamini anachokiona mbele yake
“Hapana sijaja kuiba chochote kile, tulikuwa na mazungumzo tu ya faragha mimi na mama mchungaji ndo tumemaliza sasa naondoka kurejea nyumbani”
“Pumbavu, mazungumzo ya faragha ndo muzungumze chumbani kwangu, we mwanamke, we mwanamke” alimwita mkewe ambae alitoka chumbani taratibu na kusimama mlangoni
“Abee?”
“Unathubutuje kumuingiza kijana huyu ndani tena chumbani kwetu, mlikuwa mnafanya nini?”
“Hakuna cha ajabu tulichokuwa tunafanya mume wangu, ni maombi tu ya binafsi alinishirikisha ndo nikamwita tuyafanye wawili maana ni ya siri” mama mchungaji alijibu huku akibinua mdomo na kutikisa tikisa mguu wake wa kulia, akiwa amejifunga upande wa khanga na mimi nikiwa nafunga mkanda wa suruali yangu ambao niliuachia kwa makusudi, mchungaji akamkata jicho mkewe na kunirudia mimi, akamwangalia tena mkewe na kunirudia mimi akibaki anatutazama kwa zamu akiunganisha matukio yetu hasa la mimi kuufunga mkanda wa suruali vizuri na kutoka chumbani kwake na mkewe kutoka na upande wa khanga
“Mnafanya uzinzi ndani ya nyumba yangu mimi mtumishi wa ‘bwana’?” aliuliza kwa hasira
“Nani ambae amefanya uzinzi jamani, si nimekwambia tulikuwa na maombi au?”
“Maombi gani hayo ya kufanyia chumbani, kanisani hakuna nafasi, shenzi sana leo nitakupiga mpaka pepo la uzinzi likutoke wewe mwanamke na wewe kijana lazima nikufundishe adabu ujue mimi ni nani” aliongea huku midomo ikimtetemeka kwa hasira na mkono wake wa kulia akaanza kumfuata mkewe ili ampige nami nikamuwahi na kusimama mbele yake katikati yake na mkewe
“Eeh eeeh mwanamke hapigwi baba mchungaji”
“Unaongea kama nani mwenyekiti wa wazinzi wewe, mpumbavu mshenzi wa tabia umekosa nyumba zote mpaka uje kwa mtumishi wa ‘bwana’ utalaaniwa kwa laana mbaya na lazima nihakikishe watu wote wanaujua huu uchafu na wewe mwanamke mzinzi nakurudisha kwenu ukakae na wazinzi wenzako, watenda dhambi wakubwa ninyi msiojua mema na mabaya, pepo wachafu kabisa”
“Yote ya nini hayo baba mchungaji, kwani ni kipi cha tofauti nilichokifanya mimi na mkeo ambacho wewe na mke wangu hamjakifanya?”
“Unaongea kuhusu nini wewe kijana?” aliuliza kwa hasira nikanyoosha mkono kumuomba mama mchungaji simu yake ya mkononi akanipa nikamtaka anipe nami nikatoa ya kwangu, nikafungua uwanja wa video na picha kwenye simu ya mkewe aone alivuokuwa anakula bata na mke wangu Joanitha hotelini na nikamwekea audio ya kwenye simu ambayo niliyarekodi mazungumzo yao wakati simu ya Joanitha ilipojipiga kimakosa, mchungaji akabaki ametoa macho akiwa haamini anachokisikia na kukiona
“Sema sasa vipi pepo mwenzetu na mzinzi mwenzetu, una maoni yoyote?”
“Mmevitoa wapi hivi?”
“Huna haja ya kuviona na naweza nikaviweka hadharani kabisa kanisani kwenye spika siku ya ibada watu wavisikie jumapili kama ukipenda, lakini yote hayo nitayafanya pindi utakapothubutu kumpiga mke wako, kwahiyo chaguo ni lako baba mchungaji, mimi nafikiri tumeshamalizana kistaarabu kabisa, sina ugomvi na wewe tena labda uutafute mwenyewe” nilimwambia nikimpora simu zote mbili, yangu nikaiweka mfukoni na mkewe nikamrudishia simu yake nikampita nikiondoka taratibu akanifuata mbio mbio akiniwahi kunishika mkono
“Sikiliza nikwambie, vifute hivyo vitu nitakupa pesa yoyote unayotaka, mimi watu wananiamini sana huduma yangu, utanichafulia na wazungu wanaodhamini kanisa watasitisha ufadhili wao tutakosa mamilioni”
“Uchaguzi ni wako baba mchungaji” nilimjibu nikitoka kwenye mlango wa sebuleni nikimwacha amejishika mikono kichwani, nikatoka na kuchukua bajaji, safari kuelekea nyumbani, nilipita benki kuchukua kiasi kidogo cha pesa nikipitia na dukani nikamchukulia Debora zawadi ya tupi dazeni nzima (chupi kumi na mbili za rangi tofauti tofauti) kwenye boksi lake, nilipofika nyumbani nikasikia vurugumechi ndani vishindo na kelele haraka nikaingia na kumkuta mke wangu Joanitha na dada wa kazi (housegirl) Debora wakitandikana ngumi, kila mmoja akijihami dhidi ya mwenzake lakini nikimkuta mke wangu amekunjwa safari hii, amezidiwa nguvu
“Hey hey nini tatizo” niliingilia kati na kusimama mbele ya Debora kumkingia kifua
“Muulize huyo msichana mshenzi chumbani kwangu alikuwa anafanya nini” Joanitha aliongea huku akihema kwa hasira…..
SEHEMU YA 27
“Muulize huyu msichana mshenzi nimekwambia, alikuwa anafanya nini chumbani kwetu, siyo unanikodolea macho tu hapa” mke wangu Joanitha alirudia tena kauli yake kwa msisitizo nikamgeukia Debora ambae alikuwa amesimama nyuma yangu amejishika kiuno
“Debora kuna nini?”
“Nilikuwa nimeingia tu chumbani kwako nikawa nafanya usafi kaka Eddy, kosa langu liko wapi sasa” nae alikuwa akihema kwa hasira huku akiikaza khanga aliyojifunga mwilini ambayo ilitaka kumuanguka
“Tangu lini ukaingia chumbani kwangu kufanya usafi tena na hicho kijikhanga chepesi namna hiyo?” Joanitha alikuwa mkali
“Sasa shida nini Joanitha, mbona siyo mara ya kwanza kwa Debora kuingia chumbani kufanya usafi na ni mimi niliyempa maagizo hayo ukianza kummalizia hasira zako namna hiyo unamkosea tu dada wa watu hana shida kabisa”
“Mnateteana eeh?”
“Kwanini nimtetee?”
“Kuna vitu lazima vitakuwa vinaendelea humu ndani kati yako na huyu msichana”
“Vyovyote uwazavyo” nilimjibu huku nikiliweka mezani boksi hilo la zawadi nilizomnunulia Debora, za chupi, ambazo nilizifunga vizuri kama zawadi, Joanitha akalitazama boksi hilo kwa umakini lenye karatasi ya zawadi, nadhani alitamani kuniuliza ni zawadi ya nani lakini asingeweza kwa wakati huo kwa sababu ya mzozo uliokuwa unaendelea kati yetu
“Na kuanzia leo sitaki kukuona hapa nyumbani kwangu wewe Debora umenisikia, beba kila kilicho chako na uondoke”
“Unafanyaje maamuzi bila kuzungumza na mimi kwanza Joanitha?”
“Mimi si ndiye niliyemleta?”
“Umemleta sawa na je aliyekuwa anamlipa ni nani?”
“Mbona Edmund unamkingia sana kifua huyu msichana asiye na mbele wala nyuma?”
“Samahani sana nakuheshimu, tusivunjiane heshima” Debora alimjibu
“Tulia Debora usijibu chochote, hili niachie tu mimi nitamalizana nalo”
“Oooh naona unazidi kumkingia kifua, amekupa nini kwani?”
“Siyo lazima anipe kitu, mimi nasimama tu penye haki, Debora kaendelee na majukumu yako mimi nitamalizana na mke wangu”
“Majukumu kama yapi, nimesema simtaki tena humu ndani nimemkuta huko chumbani kashika picha yako ameikodolea macho haswa, anachotafuta ni nini?”
“Kaka Eddy mimi naomba tu niondoke, cha muhimu wala siwadai chochote, malipo yangu ulishanilipa tayari naomba niende tu, sitaki kuwa chanzo cha ugomvi hapa”
“Debora unataka uende wapi nimekwambia nenda kaendelee na majukumu yako, unanisikiliza mimi au unamsikiliza nani?”
“Sawa kaka” alijibu na kuondoka kuelekea jikoni huku akitazamana na mke wangu Joanitha ambae alisonya na kunikazia macho
“Oooh lazima kuna jambo hapo wala siyo bure, haiwezekani mteteane namna hiyo kwakweli”
“Ulisema unakaa huko wiki mpaka wiki mbili sasa mbona imekuwa siku mbili tena kulikoni?” nilimwuliza huku nikikaa kwenye kochi (sofa) kubwa na kuchukua rimoti nikiwasha televisheni nitazame
“Mambo yanabadilika, ratiba ya mikutano imebadilika”
“Oooh poleni sana”
“Pole ya nini sasa?”
“Si lazima mmekosa hela mke wangu?”
“Kaka Eddy karibu chai tayari” Debora alinitengea kikombe cha chai ya maziwa na mkate wa kutengeneza yeye mwenyewe akiwa amechanganya na vijizabibu huku akipiga magoti, Joanitha akamkata jicho kali
“Asante sana Debora” nilimjibu kwa tabasamu akainuka na kuondoka taratibu kurejea jikoni huku akisindikizwa na macho ya Joanitha ambae aligeuka na kuondoka kwa hasira kuelekea chumbani nami nikatabasamu tu na kuanza kujimiminia chai
Siku iliisha mpaka giza likaingia na hatimae baada ya chakula cha usiku tuliingia chumbani kulala lakini Joanitha muda wote alikuwa bize na simu safari hii akionekana hayuko vizuri, nuru na tabasamu vikiwa vimempotea usoni akionekana ana mawazo mengi na hasira mpaka akaitupa simu pembeni na kulala nami meseji ikaingia kwenye simu yangu nikaitazama ilikuwa ni kutoka kwa Debora aliyekuwa chumbani kwake;
“EDDY MPENZI WANGU UMESHALALA?”
“BADO BABE, VIPI WEWE?”
“NAKUFIKIRIA WEWE TU HAPA NATAMANI UNGEKUWA KARIBU YANGU NIMEKULALIA KIFUANI”
“HUNIZIDI MIMI, NATAMANI NINGEKUWA KATIKATI YA MAPAJA YAKO MUDA HUU NAKULA TAMU YAKO HUKU NIKINYONYA CHUCHU ZAKO KIFUANI”
“EDDY UNANILOWESHA MWENZIO, NJOO BASI”
“SIWEZI KUJA LEO, ILA USIJALI KESHO NAYO SIKU PIA NINA ZAWADI YAKO”
“KESHO NAONA MBALI BWANA TOROKA UJE NIMEKUWAZA SANA MPAKA CHUPI IMELOWA”
“VUMILIA TU BABE MMMWAAAH” Nilimjibu na muda huohuo nikashtukia mkono umegusa mtalimbo🍆wangu uliokuwa umesimama kwenye boksa ndani ya shuka, kutokana na tuliyokuwa tunazungumza na Debora kwa njia ya ujumbe mfupi (SMS) nikageuka na kutazama kumbe Joanitha alikuwa ananitazama wala hajalala
“Unachati na mwanamke gani, naona mpaka unasimamisha” aliniuliza huku akiamka na kukaa kitako….
SEHEMU YA 28
“Nakuuliza Edmund unachati na mwanamke gani saa hizi mpaka linaniliu lako linasimama, mnachati ujinga gani?”
“Kuna shida gani kwani nikichati au nisipochati Joanitha, kwani simu si yangu na mbona sauti nimetoa wala hakuna kelele yoyote?”
“Badala ya kulala unachati na mwanamke eeh, unachepuka sasa siyo, nipe simu nimuone huyo malaya asiyekufanya ulale saa hizi ni nani nipe” alitaka kunipora simu lakini nikaikwepesha na kuificha nyuma mgongoni
“Safari hii usidhani nitakuruhusu ufanye unachokitaka Joanitha”
“Oooh kumbe mimi naenda kwenye huduma kuimba wewe huku nyuma unaendelea na mambo yako siyo, unatumia mwanya huo kufanya uchafu wako”
“Huduma, hudumani, Joanitha hebu lala usitake nianze kuongea ambayo nimeyanyamazia tu muda wote, sipendi kupigizana kelele saa hizi, siyo maisha mazuri sana”
“Mambo gani uliyoyanyamazia, unafikiri mimi nafanya uchafu kama wewe, sinaga mambo ya kizinzi zinzi, asubuhi mpaka jioni nipo kwenye huduma nahangaika kutafuta pesa wewe umekaa muda wote hapa nyumbani hata kazini huendi kazi yako kuleta wanawake tu ndo kilichobaki hicho nadhani” aliongea kwa jazba nikamtazama huku nikitabasamu na kutikisa kichwa kumsikitikia
“Usiku mwema” niliamua kuishia hapo nikavuta shuka na kulala nikigeukia upande mwingine huku meseji za Debora zikiendelea kumiminika kwenye simu yangu baada ya kuona kimya simjibu,
“Unalala nini si nazungumza nawewe?!” Joanitha ambae kama kawaida yake anapenda sana kelele alinitikisa tikisa akiwa hataki kuona napumzika mpaka yeye aonekane mshindi
“Enough Joanitha, enough (imetosha Joanitha, imetosha)” nilishikwa na hasira kali nikamkaripia huku nikiinuka na kukaa kitako
“Unakuwa mkali kwa sababu nakwambia ukweli, kwa sababu nimejua uchafu wako?” alipanda juu kwa jazba
“Mimi nawewe nani ni mchafu, nani aliyeanza, siyo wewe na huyo mchungaji wako mnayefuatana kama ng’ombe na mkia wake?”
“Unapata dhambi kumzungumzia vibaya na kumzushia mtumishi wa Mungu unapata laana”
“Vipi yeye hapati laana kwa haya hapa, sikutaka kuongea lakini umenilazimisha niongee, shika, tazama hizo siyo laana?” nilimpa simu nikiwa nimemfungulia picha zao azione nikaicheza na video yao ya dakika mbili ikiwaonyesha wapo hotelini yeye na mchungaji kwenye bwawa la kuogelea wakiwa kwenye mahaba mazito, akatoa macho, nikamwona akinywea akijifanya kama hazioni vizuri
“Nani ame…amee…” alishikwa na kigugumizi
“Siyo hilo tu, jingine hili hapa” nikamnyang’anya simu na kumuwekea zile sauti (audios) nilizowarekodi wakati simu yake ilipojipiga kwangu kwa bahati mbaya
“Nisikilize Edmund unajua…unajua ilikuwa hivi…”
“Sihitaji kukusikiliza, ndo maana haukunisikia nikiongea chochote, nimekushangaa sana ulivyorudi mapema wakati mlisema mnakaa huko wiki moja mpaka mbili, sijajua hata ni ki nini kilichokuwahisha mapema namna hiyo, usiku mwema” nililala na kugeukia upande wa pili huku nikilivuta shuka mpaka kichwani
“Lakini mume wa…”
“Joa, sihitaji neno jingine” nilimkatisha, akajikoholesha akibaki amekaa kitako huku nami nikiizima simu kabisa……
……..
Kulikucha mapema asubuhi nilifumbua macho na kuamka lakini sikumkuta kitandani, nikajinyoosha na kushuka kitandani taratibu nikajitazama kwenye kioo cha kabati langu na kwenda sebuleni kwa ajili ya kunawa uso wangu, nikakutana na Debora aliyekuwa anafagia akiwa amevaa gauni kubwa na refu kama kawaida kwa sababu mke wangu amerudi
“Habari ya asubuhi Debora”
“Salama, za tangu jana?”
“Njema kabisa, huyu ameenda wapi, kakuaga?”
“Hapana nimemwona akiwa ametoka tu amevaa kabisa”
“Oooh”
“Jana ukanifanyiaje sijapenda”
“Nini ambacho hukupenda?” nilimwuliza nikimvuta mkono na kumshika kiuno”
“Haukujibu meseji zangu, mwenzako usingizi nilikosa kabisa sijalala hata vizuri nakuwaza wewe tu, naona maisha yameshaanza kuwa magumu tangu mkeo arudi”
“Usijali ni ya muda tu, nina zawadi yako ngoja” nilimwambia nikimuacha kwenye korido nikaingia chumbani na kutoka na boksi la zawadi nikampa
“Kuna nini humu?”
“Fungua tu” nilimjibu akafungua na kutabasamu
“Chupi jamani, uuwiii nyingi mbona, zote zangu?”
“Za kwako, sasa nimemletea nani?”
“Asante, nzuri hizo” alinikumbatia
“Kazijaribu”
“Naenda kuzijaribu sasa hivi” alitaka kuondoka nikamshika mkono
“Vipi unazijaribu mwenyewe?” nilimwuliza akacheka na kunivuta mkono tukaingia chumbani kwake taratibu akataka kuvua gauni lake lakini nikamzuia na kumvua kwa mikono yangu kisha nikaanza kumvalisha chupi hizo moja baada ya nyingine, ingawa zililingana kasoro rangi tu zilikuwa ndiyo tofauti lakini zote nilimvalisha ikiwa ni gia tu ya kupata tamu’🍎yake asubuhi asubuhi, nikimvalisha kimtindo na kumvua kiuchokozi akabaki anacheka cheka mwishowe nikaufuata mlango na kuufunga kwa ndani akiwa ameivaa chupi ya mwisho nyekundu
“Akirudi je?”
“Atatukuta” nilimjibu na kumsogelea karibu nikamshika kiuno akiwa na sidiria na chupi tukatazama usoni
“Asante sana kwa zawadi, ni nzuri sana nimezipenda”
“Usijali, vipi namimi naweza kupata zawadi maalumu ya asubuhi?”
“Zawadi gani?”
“Usijifanye hauijui Debora”
“Naogopa asije akarudi aka….”
“Shiiiiiii!” nilimwekea kidole kinywani kumzuia asiendelee kuzungumza kisha nikaanza kumshusha chupi taratibu…..
SEHEMU YA 29
Habari za mke wangu Joanitha kama atarudi au hatorudi hazikuwa kichwani mwangu tena, nilichowaza ni penzi tu la Debora ambae nilimnunulia zawadi ya chupi za kutosha nikimchokoza chokoza ili anipe cha asubuhi kabla ya chai
Ni maisha ambayo sikuwa nimeyazoea hapo awali, sikuwahi kuwa na mwanamke yeyote nje ya ndoa yangu lakini nikajikuta nimeingia tu kwenye mduara huo kutokana na mke wangu aliyeanzisha nikitaka kulipa kisasi lakini nikizama mazima kwa sababu haikuwa tena mara moja,
Debora alisogeza midomo yake kwenye midomo yangu tukaanza kunyonyana mate (denda) tukiwa tumesimama, siku hizi nae akilifanya zoezi hilo kwa ufanisi ambalo hapo awali lilikuwa geni kwake alikuwa akiishia kuachama midomo tu bila kujua wanafanyaje, akajitoa kwenye midomo yangu tukabaki tunatazamana
“Edmund” aliongea kwa sauti ya chini
“Naam Debora”
“Natamani kubeba mimba yako, natamani kuzaa nawewe”
“Mbona bado mapema sana Debora kuwaza hayo?”
“Sasa siku ikitokea ukaniacha unafikiri nitabaki na kumbukumbu gani?”
“Siwezi kukuacha usiwaze hayo” nilimjibu nikiwa bize kumbusu busu nikiishusha midomo yangu mpaka kifuani kwenye matiti yake makubwa nikianza kuyanyonya taratibu yote mawili, nikilishika moja moja na kulibana kama nalikamua maziwa bila kuliumiza na kuanza kuchezesha ncha ya ulimi wangu kwenye chuchu zake
“Unanidanganya wakati una mke wako”
“Debora, shiii hatuna muda, tutazungumza baadae” nilimjibu nikamgeuza anipe mgongo akainama akishikilia kitanda mguu wake mmoja nikaupandisha kitandani kisha nikavua tu suruali chini, tshirt nikibaki nayo juu nikaulengesha mtalimbo🍆 wangu kwenye kisima chake taratibu na kuuzamisha ukiingia kwa tabu kidogo kwa sababu hakikulowana vya kutosha, ukaingia kichwa tu ambacho nilianza kukisugulia pembeni kwenye kuta za kisima’ hicho na kukiingiza kabisa, mtalimbo🍆 ukazama robo nikiendelea kuusukuma huku nikiwa nimemshikilia kiuno
“Mh Eddy jamani oooosh” alilalamika huku akigeuka kunitazama na kubana makalio yake makubwa ambayo yalinipa joto joto wakati nikisukuma rungu🍆 lililozama lote baada ya mwanadada huyo kulowana kabisa na nikiongeza spidi dakika zikisonga, hatimae dakika kumi nzima zikikatika tukiwa tuko kitandani kabisa amelala kifudi fudi na kunibinulia makalio yake makubwa nami nikiwa kwa nyuma kwa juu nimempanda kama vile mbuzi na beberu na sikutaka tufike mbali sana kwa sababu ya Joanitha ambae muda wowote anaweza kurudi kojo la raha’ liliponibana nikachomoa rungu🍆 langu na kuliachia kojo hilo jeupe kama maziwa na zito ambalo lilimmwagikia kwenye makalio yake jingine mpaka mgongoni,
“Oooooshhh” nilishusha pumzi ndefu baada ya kushusha mzigo wa dhambi’ uliokuwa umenielemea asubuhi asubuhi, nikiushushia nje asije akanitegeshea kweli na kushika mimba likawa balaa jingine
“Mbona umemwaga nje jamani?”
“Nimekosea tu bahati mbaya Debora, asante kwa mahaba yako” nilimbusu busu mgongoni na kushuka kitandani nikavaa suruali yangu nikimwacha amelala kifudi fudi huku akihema, nikampiga busu la hewani na kutoka chumbani kwake taratibu na moja kwa moja nikaelekea chumbani kuvaa taulo kisha nikaenda bafuni kuoga kabisa, nilipomaliza wakati nikirejea chumbani kwangu nikasikia mlango wa sebuleni ukigongwa na muda huo huo ukafunguliwa, nikamwona mke wangu Joanitha akiingia huku akiwa kama amevurugwa analia,
“Jamani mimi, ilikuwaje nikatembea na lile li baba jamani jamani?” alipiga mayowe kwa sauti kali huku akijitupa kwenye kochi (sofa) kubwa kwa hasira”
“Kuna nini tena Joanitha?” ilibidi nimfuate kumsikiliza nijue kulikoni
“Jamani nakufa mie, mtoto wangu nitamwachia nani mume wangu mimi?” alipiga mayowe huku Debora nae aliyekuwa chumbani akitoka haraka haraka kuja kujua kulikoni……
SEHEMU YA 30
“Kuna nini tena jamani dada?” Debora nae aliuliza baada ya kutoka chumbani
“Joanitha nini tatizo mbona unalia peke yako, mbona sikuelewi?” nilimwuliza
“Nimelivaa jamani, yule baba kumbe ni muhuni tu, amenipa balaa jamani mie uuuwiii ningejua ningetulia tu nawewe mume wangu, tamaa ya mali na pesa zake na gari aliloniahidi kuninunulia vimeniponza” alilia
“Anazungumzia nini kwani kaka Eddy?” Debora aliniuliza huku akiipandisha pandisha khanga yake vizuri
“Kuna nini kwani kimetokea Joanitha hebu funguka?” nilimwuliza, badala ya kunijibu nikamwona akipiga magoti mbele yangu
“Mume wangu nisamehe jamani nisamehe Edmund wangu nimekosa mimi nimekukosea sana kutoka nje ya ndoa yangu ni kweli nilikuwa natembea na mchungaji Bukuku wala hujasema uwongo na kumbe ni muathirika amenipa UKIMWI jamani nitaishije mimi?”
“Oooooh nani aliyekuambia habari hizo?” nilishtuka huku nikipiga mahesabu kichwani ni lini mara ya mwisho nilishiriki tendo na Joanitha ili nilinganishe na ni lini alipoanza mahusiano ya kimapenzi na mchungaji huyo
“Kuna mtu anayemfahamu amemwambia”
“Umeenda kupima?”
“Siwezi kwenda, napataje nguvu hiyo, huyo aliyeniambia amenipa maelezo yote kumaanisha anamjua mchungaji Bukuku kwa kila kitu”
“Ni mwanamke au mwanaume?”
“Ni mwanamke”
“Unamfahamu?”
“Hapana simfahamu ila yeye anaonekana ananifahamu”
“Mh?” niliguna nikihisi kitu, nikakimbilia chumbani haraka haraka ili kuchukua simu nikimwacha Joanitha anabembelezwa na Debora pale sebuleni na ndipo nilipokuta simu yangu kitandani ikiita, huyo huyo niliyepanga kumpigia ndiye aliyekua akinipigia, hakuwa mwingine ila ni mama mchungaji, nikapokea na kuiweka sikioni
“Edmund ndo ukanichunia tangu jana?”
“Hamna mambo yalikuwa mengi, kwema lakini?”
“Kwema tu, vipi mkeo ana hali gani?”
“Ni wewe uliyemwambia habari hizo?”
“Ndiyo ni mimi na siyo yeye tu, hata huyu bwana hapa nimemdanganya mkeo kuwa ni mwathirika kwa sababu alikuwa anakanusha kuwa hajatembea nae nikamtafutia mashahidi feki nikamuona amevurugwa hapa, na siyo hilo tu kumbe kuna ka binti amekapa mimba ka mwanafunzi yaani hapa kapigiwa simu na makao makuu ya kanisa uchungaji amesimamishwa, tunatakiwa tuhame kwenye nyumba ya kanisa na kurudisha mali zote za kanisa, majanga matupu”
“Poleni sana”
“Asante, ila usiache kuja kunitembelea jana nimeinjoi sana Eddy yaani nilijiona kama kijana mdogo”
“Usijali mama mchungaji”
“Nilikukataza kuniita hiv…” kabla hajamaliza sentensi yake nikamkatia simu na kuizima kabisa kisha nikarudi sebuleni kumwangalia Joanitha nikimkuta bado analia
“Joanitha”
“Nisamehe mume wangu nisamehe sana”
“Ni mama mchungaji ndiye aliyekupigia hakuna chochote, hakuna UKIMWI wala nini usiendelee kulia”
“Mama mchungaji ndiye kanipigia, mke wa Bukuku?” alitoa macho akiwa haamini anachokisikia, akishtuka
“Ndiyo”
“Kwani anajua kama mimi nilikuwa ninatembea na mumewe?”
“Anajua kila kitu na siyo anajua, tunajua kila kitu” nilimjibu akainama akiangua kilio mara mbili zaidi ya kile cha awali
“Nisamehe mume wangu nisamehe” alipiga magoti tena akitambaa chini, Debora akanikazia macho na kuondoka kwenda chumbani kwangu na wakati huo huo mlango uligongwa nikaenda kuufungua, alikuwa jirani amerudi na mtoto wetu Erick ambae alipomwona mama yake analia akamkimbilia na kumkumbatia
“Mama mbona unalia?”
“Nimemkosea sana baba yako, niombee msamaha Erick”
“Joanitha haina haja ya kumuambia mtoto”
“Shemeji msamehe mke wako ndo binadamu tumeumbiwa makosa” jirani aliongea kwa masikitiko nikamshika Joanitha na kumwinua nikimkalisha kwenye kochi (sofa) taratibu
“Acha kulia mbele ya mtoto Joanitha” nikampa leso ajifute machozi…….
……..
Kulikucha mapema asubuhi nikafumbua macho na kumkuta Joanitha hayupo, usiku mzima tulipolala alikuwa akiniomba tu msamaha mpaka akapitiwa na usingizi akiwa haamini kama nimemsamehe ama lah, nikasikia kelele sebuleni kati yake na Debora, nikaamka haraka haraka na kwenda kuwatazama
“Hizi chupi umezitoa wapi?”
“Edmund mume wako ndiye aliyeninunulia, kwani vipi?”
“Yaani mume wangu mimi akununulie wewe chupi?”
“Eeh wewe si ulikuwa unajivinjari huko”
“Unapata wapi jeuri ya kunijibu unavyotaka?”
“Mimi ni mama mwenye nyumba kama wewe sasa”
“Unasemaje wewe?” Joanitha alimfuata akitaka kumpiga
“Hey hey kuna nini tena, mbona asubuhi asubuhi malumbano?”
“Si huyu hapa mkeo yaani kuona tu najaribu chupi zangu mpya chumbani kwangu basi kaanza kunionea gere anauliza nimezitoa wapi, sema mwenyewe hujaninunulia au umeninunulia, muambie ukweli mkeo alipoondoka nani alikuwa anakufariji na kukupa mambo mazuri, mwambie” Debora aliongea huku akibinua midomo nikamwona mke wangu Joanitha akinywea ghafla
“Kwahiyo kumbe Edmund ulikuwa una mahusiano na huyu?”
“Ningefanyaje Joanitha, na Debora ndiye aliyejali habari zangu”
“Ooooh sawa una haki kabisa, nimesahau kama mimi ndo chanzo cha matatizo yote haya, samahanini” aliongea na kwenda chumbani mbio mbio akajifungia na kuanza kulia nikamtazama Debora
“Kwahiyo tunafanyaje Edmund utanichagua mimi au huyo mkeo?”
“Mimi nafikiri mambo yasiwe makubwa Debora, tunaweza kuishia hapa tulipofikia ukaendelea tu na majukumu yako kama kawaida, sihitaji tena migogoro kwenye nyumba yangu, imetosha”
“Basi sawa, nipo jikoni” alinijibu huku akibinua midomo nami nikatikisa kichwa nikisikitika……
Siku zilienda kama wiki hivi, ndani purukushani zikiwa haziishi kila siku jambo jipya, Debora sasa alikuwa juu hashikiki kwa mke wangu Joanitha, akimpa heka heka kwa sababu yangu, kwa sababu sikutaka kuendeleza kile tulichokianza, alinigusa kwenye mboni ya jicho alipoanza kumtesa tesa mwanangu Erick, akimnyima chakula pindi tunapotoka, mimi nikiwa sijakutana tena kimwili na Joanitha tangu aje, nikaona isiwe tabu nikampa pesa nyingi tu na kumruhusu aondoke akafanye biashara au kitu chochote alichotaka, laki tano nzima pamoja na ya kupanga chumba, mwanadada huyo akaondoka kishingo upande huku akiapa kuwa ataendelea kulipigania penzi langu hata huko aendako, ikabidi nibaki na familia yangu, mke wangu Joanitha na mtoto wetu Erick,
Joanitha alibadilika sana akawa mtu wa kutulia nyumbani, anayefanya kazi zake zote kwa wakati, hata simu ilikuwa kama mwiba kwake siyo kama awali, akijitahidi kulirudisha penzi upya alilolipoteza kwangu lakini halikuwa kama la awali, nilimkubali kama mke wangu ila mapenzi yangu kwake yasingeweza tena kufanana na yale ya awali kabla hajanitendea mabaya…….
MWISHOOOOOOOO!!
👉 Asante kwa kuusoma mkasa huu mwanzo mpaka mwisho, naamini umeburudika, ‘umesisimka mwili’😁 na umejifunza pia, Mabaya ya kwenye simulizi usiyaige, mema yachukue yakusaidie.