NJOO MAMA AYUPO 21
KAMA UJAFIKA MIAKA 18 USISOME
👉 Dokta anasema,
Dider ni mjamzito kweli.
” Mama alipiga yowe,
Uuuwii,
Dah yani…👇
Mama anasema uku anapiga ukuta kwa asira,
” Dider dider dider mwanangu wewe siamini Macho yangu ni wewe dider Jamani…
” Mama alishindwa kuongea alikaa chini anaria mpaka mimi mwenyewe nikaanza kuria kuona nimekosea Leo namliza mama yangu mbele za watu,
Mama mkubwa akamwambia mama,
” Mdogo wangu usilie na wala usiumize kichwa dider ni mwanamke na mimba si kitu cha ajabu kwa mwanamke mdogo wangu usirie nyamaza twende nyumbani tukaonge na dider vizuri tujue tunafanyaje?
” Mama akanyamaza ila kwikwi za kilio bado anazo tunapanda bajaji tunarudi nyumbani mimi nimejiinamia naona aibu kumwangaria mama na mama mkubwa tunarudi nyumbani.
” Sasa upande wa baba yeye akaenda kwa Aisha mke wa Mjeshi kwenda kutuliza hamu zake,
Na Aisha anapenda huo mchezo kuliko kura akaona afadhari ampe utamu baba,
Kumbe majirani si watu wazuri washamtonya Mjeshi kuwa mkewe anaingiza wanaume ndani,
Sasa Aisha anajua mumewe kasafiri kumbe yupo nyumba ya jirani,
Na amemuona baba anaingia pale,
Sasa baba anafanya maandalizi ya kutafuna tunda,
Na kaka bariking na yeye amemisi penzi la Aisha akaenda bila taharifa,
Anafika anagonga geti Aisha anavurugwa akili anajua mumewe karudi,
Anamwingiza baba chini ya uvungu wa kitanda,
Baba mpini umenywea anawaza itakuwaje hapa,
Aisha anafungua mlango kaka bariking akaingia moja kwa moja na ugumu wake anamfosi Aisha amle mate,
Sasa Mjeshi ndio anagonga kweli mwenye mke,
Kaka bariking akuambiwa akimbilie wapi yeye mwenyewe akakimbilia uvunguni kama siku ya kwanza alipoingia uvunguni sasa uvunguni kuna kiza ajamjua baba ila akashangaa kuna mtu chini,
” Mjeshi alivyoingia akutaka makuu yani akachukua sumu ya kuua wadudu wanaoruka na kutambaa yani rungu ile sumu ya kupuliza,
” Aisha anasema,
Mume wangu iyo sumu ya nini tena saizi utapuliza usiku twende ukaoge mume wangu Jamani umetoka jasho lingi kweli.
” Mjeshi kashajua uyu anataka nikaoge awatoe mabwana zake yani Mjeshi ajui baba na mtoto wale ambao wameingia mule,
Majirani wanatumiana sms tu tayari uku kimenuka wanaume wawili wapo ndani na Mjeshi kawaona,
Basi wambea wanakusanyika heneo la tukio wapo na simu zao hao wazee wa connection,
Aisha swala lake la kumshawishi Mjeshi kwenda kuoga likashindikana,
Mjeshi akapuliza sumu ya kuua mbu na wadudu watambaao tena alianzia Kule kule uvunguni,
” Baba na kaka bariking wakaanza kukohoa kwa nguvu,
” Aisha anatetemeka mkojo unamtoka.
” Mjeshi akawaambia walio uvunguni tokeni wenyewe si wajuzi wa kutembea na wake za watu Leo mmeingia chaka sio.
” Sasa akaanza kutoka kaka bariking akashikwa na mjeshi vizuri kaka bariking anashangaa anatoka baba,
Na baba anashangaa anamuona kaka bariking wote wameshikwa ugoni kwa mwanamke mmoja.
” Jamani Mjeshi alitoa cha moto akasema vueni nguo wenyewe kabla sijawamwaga ubongo mimi.
” Jamani baba na kaka bariking mbele ya cha moto wenyewe wanavua nguo na Mjeshi anatetemeka kwa asira,
Baba na kaka bariking awajui Mjeshi kasema wavue nguo anataka awafanye nini,
” Mjeshi akamwambia Aisha,
Wewe vua nguo toa shanga zako wavishe hawa mabwana zako kiunoni.
” Kaka bariking mawazo yake yakaenda mbari uyu anataka kutufanya sisi wanawake,
Aisha anachelewa kuvua nguo alipewa Kofi moja mwenyewe kavua fasta na akachukua shanga akawavyesha.
” Sasa Mjeshi akasema,
Nasema ivi wewe na wewe inama…..
dah yani..
NJOO MAMA AYUPO 22
Akakohoa kidogo akarudia akasema,
Nasema ivi wewe na wewe inamaana amumjui uyu ni mke wa mtu au mnajifanya nyinyi vidume sana?.
” Baba akasema,
Naomba utusamehe.
” Yani Mjeshi akamuweka baba kibao cha mdomo na akawatoa nje wakiwa na shanga kiunoni,
Jamani watu kama wote wakaja kupiga picha sasa,
Mjeshi ana asira kama zote anataka kuwadharirisha,
Sasa deleva wa bajaji aliyetubeba sisi kuturudisha nyumbani kutokea hospital na yeye mswahiri kweli si alipoona watu wengi akapeleka bajaji pale sasa mama na mama mkubwa wanaangaria mbele ndio wanaona sasa baba na kaka bariking wamevarishwa shanga.
” Mama akasema,
Dider usiangarie kinachojiri hapa.
” Sasa wanaume wanaona aibu kumwambia Mjeshi unavyofanya Sivyo wanaogopa,
Lakini alikuja jogoo poll na mkatili ndio waliweza kumwambia Mjeshi unakosea,
Mkatili akamuomba Mjeshi,
” Kaka kaka wavarishe nguo japo wamekukwaza ila ukumu hii si ya kibinadamu nakuomba kaka.
” Mjeshi alipoona mkatili anapiga magoti kwa kumuomba na JOGOO POLL anapiga magoti kumuomba Mjeshi wavae nguo kwanza.
” Baba anaona JOGOO POLL aliyekuwa ampendi anamuombea msamaha na ndio alikumbuka masomo yake yote kama angeyafata yasingemkuta aya,
” Mjeshi akasema,
” JOGOO POLL wewe nakuheshimu sana japo ujui tu kuwa unapokuwa UNATOA masomo yako kuna watu unawasaidia mmoja wapo ni mimi unasisitiza sana uhaminifu kwenye ndoa unasisitiza sana watu wasiwe wasaliti naomba uniambie nifanyaje hapa mimi uyu mke wangu nimfanyaje hawa niwafanyaje mimi.
” JOGOO POLL akasimama na baba na kaka bariking wamevaa suruali haraka haraka awajavua shanga zile,
Na watu wakapasua jipu baba na mtoto wanatembea na mwanamke mmoja.
” JOGOO akasema,
Ndugu yangu naomba uwasamehe sana kupitia tukio hili nadhani kuna watu watajifunza watajifunza kulea mtoto wa kiume na kumuacha afanye upumbavu wa kutembea na wanawake ovyo ukiwa na wewe unatembea na wanawake ovyo kuna siku mutatembea na mwanamke mmoja,
Kama ivi ilivyokuwa ni mfano hai sana kwa wote wenye tabia kama izi,
Mimi kuusu mkeo naomba umsamehe sana na sina la kuongeza neno hapo.
” Mjeshi akasema,
JOGOO POLL nadhani unashindwa kusema muache mkeo kwa sababu tu hii ni ndoa ila kwa usalama wa maisha yangu naona niachane na mke wangu adhalani siwezi kukaa na mke sio mwaminifu inawezekana nikaja PATA asira na kummaliza.
” Sasa Aisha anapewa taraka adhalani yani kila mmoja anaona,
Mjeshi akawaambia wakina baba,
” Ondokeni na shanga zenu kiunoni itakuwa kumbukumbu yenu izo shanga.
” Jamani baba na kaka bariking walipotoka pale baba akamtumia sms mama,
Baba akumuona mama kwenye tukio lile,
Akamwambia kwa sms,
” Mke wangu mimi sikuwa baba Bora kwa mwanangu bariking naomba urudi na dider ukakae nae pale nyumbani mimi na jiji hili Basi sitoonekana tena kwenye hili jiji dunia imenifunza.
” Mama anamuonyesha sms mama mkubwa na mama mkubwa akasema,
” Twende kwako awa watajua wenyewe.
” Basi sasa tukarudi nyumbani kwa baba mimi nipo kimya siwezi kuuliza mbona tunakuja uku nina majanga yangu tayari kichwani yananizonga.
” Sasa upande wa mama mdogo anaona tukio zima kupitia simu wazee wa connection washafanya yao anashangaa anampigia simu baba aipatikani,
Mama mdogo akachanganyikiwa ataishi vipi sasa na ajui kwa tukio hili baba atachukua uhamuzi gani,
Wakati anawaza akadondoka kwa presha raia wema wakamuokota wakampeleka hospital,
Sasa alipoamka dokta anamwambia,
” Dada usiwe na mawazo sana ukiwa kwenye Hari hii unaweza dondokea tumbo ukapoteza maisha.
” Mama mdogo akawa na wasiwasi na maneno ya dokta akamuuliza kwanini unasema ivyo.
” Dokta akasema,
Wewe ni mjamzito utakiwi uwe na mawazo.
” Jamani mama mdogo akaona pigo juu ya pigo kumbe anayo mimba akasema,
Huu ni mtihani akajikaza asionyeshe dalili yote ya mstuko anawaza atoke hospital aende kuuza vitu vya ndani apate pesa ya kutoa mimba.
” Sasa kumbe wakati anapata taharifa kupitia simu yake alikuwa anapika kwa kutumia gass na alipodondoka watu wamemuwahi yeye uku nyuma jiko likalipua nyumba ya watu,
Sasa mama mdogo amepewa Ruxsa hospital anafika pale anakuta nyumba imeteketea na moto yani mpaka vyombo vya robyson vimeungua na ndugu zake robyson wamemtumia nauli arudi kwao,
Mama mdogo akachanganyikiwa mara mbili ataenda wapi na mimba yake,
Dah yani…
NJOO MAMA AYUPO 23
Mama mdogo akawa anaongea peke yake anaisi anaongea moyoni kumbe yanamtoka maneno anasikika,
Anasema,
” Kwanini nimemtukana dada mimi kwanini nimetembea na shemeji yangu mimi Jamani kwanini nimekosea mimi.
” Sasa mama mmoja akawa anamwambi,
Usiwaze sana mpaka unaongea peke yako utakuwa kichaa bure.
” Mama mdogo ndio anastuka kumbe anatoa sauti alijua anaongea moyoni sasa jogoo poll alipita eneo la tukio yule mama aliyekuwa anampa maneno mama mdogo ya kumwambia asiwaze akamwita jogoo poll na akamwambia kuusu mama mdogo pale anavyoongea peke yake na alionaga ugomvi wa mama mdogo na mama mkubwa,
JOGOO akawa anamsema mama mdogo ila anatumia somo kwa wote ila linamrenga mama mdogo alisema ivi..👇
Ukikosea kuchagua,, umeua hatima yako na maisha yako.
Watu wengi Leo wanalia hasa wazee kwasababu walikosea kuchagua kipindi wapo vijana.
Hatima yako kwa kiasi kikubwa inatokana na machaguo yako na maamuzi yako. Chochote kile unachokipata Leo ni matokeo ya kile ulichofanya au ulichoshindwa kufanya siku baada ya Siku na mwaka baada ya mwaka.
Maamuzi mabaya yameua hatima za watu wengi.
Tar. 27 mwezi wa saba mwaka 1994, Kevin Carter aliamua kujiua kwa sumu ya carbon monoxide kutokana na msongo Wa mawazo uliosababishwa na kuacha mtoto Ken auwawe na tai,, kipindi alipoenda kupiga picha na kuchukua habari juu ya janga la njaa liliotokea Sudan.
KEVIN CARTER akajiua,,, kwake aliona kaamua vizuri ila chaguo sahihi ilikuwa kumuombea Ken na kufanya mambo yampendezayo Mungu……
Yuda baada ya kumsaliti Yesu akaamua kujiua,,, akaua hatima yake.
Kumbukumbu la Torati 30:19
[19]Nazishuhudiza mbingu na nchi juu yenu hivi leo, kuwa nimekuwekea mbele yako uzima na mauti, baraka na laana; basi chagua uzima, ili uwe hai, wewe na uzao wako;
MAAMUZI yako leo yanaathiri maisha yako na ndugu zako.
UKIKOSEA KUOA au KUOLEWA umejimaliza na kuimaliza familia yako.
Ukiamua kuvuta sigara uwe na uhakika umeua mapafu yako na watoto wako watazaliwa wakiwa na udhaifu dhidi ya moshi.
Kanuni ya utavuna ulichopanda(Law of sowing and reaping) inatuelekeza na kusema
Chochote utakacho kichagua na kukipanda ndicho utakachokivuna”.
Kama ni kijana nikuombe kuanzia Leo jitahd upande kumjua Mungu ili akupe nguvu na hekima za kufanikiwa kwa kila jambo ulifanyaro. Na lolote ufanyalo angalia hiko kitu kinampendeza Mungu au Hakimpendezi.
Kutembea na shemeji yako au mke wa kaka yako au mdogo wako akimpendezi Mungu na kumtusi ndugu yako akimpendezi Mungu ata Kwenye maandiko amesema ukimchukia ndugu yako ambaye unamuona uwezi…?
” Wote walimalizia kwa kusema,
Uwezi kumpenda Mungu ambaye umuoni.
” Jamani jogoo POLL aliondoka zake sasa mama mdogo anaona wapi alikosea anajuta amejiinamia tu chini ajui afanyaje?.
” Upande wa naomy,
Baba yake kaja akamwambia,
” Naomy kabla sijakupiga niambie mimba hii ya nani ukificha unaona mkanda huu utaishia mwilini kwako nipo tayari kukuua niende jera mimi.
” Naomy akimwangaria baba yake sura kaikunja akaona kwanini afiche akasema,
” Mimba ya bariking.
” Mama yake akastuka kwa kusema,
Bariking uyu uyu kaka yake dider?
” Naomy akasema,
Ndio mama.
” Baba yake naomy ajui mjini kuna habari gani juu ya kaka bariking na baba akamshika naomy akamwambia ongoza mbele twende uko uko kwao.
” Sasa wanakuja nyumbani wakati mimi uku nishawekwa kikao niseme mimba ni ya nani?
” Jamani sikusita kusema nilisema ukweli,
Mimba ya robyson.
” Mama akasema ilikuwaje mwanangu wewe ukatembea na robyson?.
” Jamani nilisema ukweli juu ya mimi kushawishika kutembea na robyson ni kauli za mama mdogo na rafiki yake mama mdogo aliposema mpini mtamu alikuwa anamwita mwanaume ndani.
” Mama alipiga makofi chini anasema,
Mdogo wangu mdogo wangu umeni….
” Ajamalizia naomy na wazazi wake wanafika nyumbani baba yake kakunja sura yani mpaka nzi awezi pita mbele yake,
Yani akuanza ata na salamu akasema,
” Bariking yupo wapi nauliza?.
” Mama na mama mkubwa wametoa macho awajui kuna nini mimi mwenyewe nashangaa,
Naona mama naomy anasema,
” Shoga yangu mwanao wa kumpa mimba mwanangu mimi.
” Mama anastuka,
Mwanangu iyo vipi?.
” Mama naomy akasema ukweli wote kuwa naomy kamtaja bariking.
” Mama akasema,
Naomy kweli bariking ndio amekupa mimba?.
” Naomy akasema,
Ndio nina mimba ya bariking.
” Mama limemshuka akabaki kaachia mdomo ajui aseme nini sasa,
Dah yani…
NJOO MAMA AYUPO 24
” Mama mkubwa ikabidi afunguke makubwa juu ya baba na bariking na aibu waliyopata na wamekimbia mji,
Baba wa naomy akakaa kwanza kwenye kochi akawasha simu yake akaona ndio habari ya mjini kwenye magroup mbari mbari ya WhatsApp na Instagram,
Akasema,
” Jamani tusiumize kichwa nadhani mama dider wewe ujui chochote juu ya hili na uyu bariking ameshakimbia mji ujui ata alipo,
Kwaiyo mimi kama baba naomy nasema,
Acha niende nikalee mimba ya mwanangu siwezi kusema neno hapa kama aliyempa mimba dunia imemfunza.
” Sasa mama mkubwa anataka kusema neno mara jogoo poll anaingia,
Sasa mama alifunguka yote niliosema mimi na mimi nina mimba,
Sasa mama naomy anashangaa na yeye sifa zote alizokuwa mama ananipa kumbe nina mimba ila story ya mama ikamfungua mama naomy kujua mama alikuwa ajui kitu nyuma ya pazia,
Jogoo POLL akasema,
” Kwanza dider pole uyo robyson amerudi kwao arusha kwa kuchangiwa nauri na ndugu zake,
Pili istoriya yako ya kupata mimba hapa inaonyesha wewe ulipenda kwa kusikia icho ulichokisikia,
Sio wewe wa Kwanza kwenye dunia hii kuna wengi wanaweza kumpenda mtu kwa kusikia sifa zake yule mtu na wengine wakapenda kutokana na tabia za yule mtu,
Sasa hapa wa kumraumu namba moja ni mama yako mdogo kuongea habari ambayo ajapima madhara yake,
Ndio maana ukiwa kama mzazi au mkubwa acha kuongea maneno ya kijinga kwa mtoto utoto si umli ata yule ajawai kufanya icho kitendo ni mtoto sasa unaposema neno utamu unamshawishi akaonje huo utamu unaposema,
Alikuwa nilikuwa namwita mwanaume ndani penzi la wizi tamu kweli kweli,
Unakuwa unamfundisha na njia uyo mtoto,
Hapa cha kujifunza kuwa makini na lugha unayoongea mbele ya watoto,
Kwa upande wa naomy ni tamaa tu ndio imemfikisha hapo,
Sina la kusema zaidi ya kutambua hili watoto wengi wanakosa malezi ya baba na mama vyanzo vinakuwa kama ivi ona sasa robyson ajui kama ameacha mimba mjini hapa,
Ona bariking alipo aijulikani anawaza nini ila tumuombe Mungu asiwaze mabaya kupitia yeye na baba yake kuna watu watajifunza kitu.
” Sasa kabla jogoo poll ajamaliza mama mdogo anaingia uku anatambaa kwa magoti anaomba msamaha kwa mama mkubwa na kwa mama anajuta juu ya makosa yake analia machozi ya majuto,
Mama alitaka asimsamehe kabisa,
Ila mama mkubwa akamwambia mama,
” Mdogo wangu uyu ni mdogo wetu ata tufanyaje waswahiri wanasema tikiti bovu lipo shambani kwako,
Msamehe mimi nimemsamehe na yeye ni funzo kwenye jamii uyu awe na heshima kwa waliomzidi.
” Kweli mama alimsamehe mama mdogo.
” Sasa baba naomy akasema,
” JOGOO POLL wewe mimi nimekupenda sana unatoa masomo sana kwenye jamii ila nakushauri uoe sasa.
” JOGOO POLL akasema,
Sawa mimi nitaoa tena namuoa dider.
” Mama akacheka kimoyoni anampenda jogoo poll.
” Ila mimi nimejifunza kusikia na kufanya kuna matatizo japo nastiriwa naisi ila sikuwa na tabia mzuri kwakweli tabia mbaya inawaumiza wazazi wetu,
Kama ulikuwa pamoja na mimi kwenye simulizi ya maisha yangu mimi dider niliofanya si mazuri na inawezekana wewe unafanya niliyofanya naomba uache unamuumiza mzazi wako,
Inawezekana ufanyi basi uwe balozi wa kuwakataza wanaofanya hili tuwe na kizazi kisichoumiza wazazi,
Kama wewe una tabia kama za baba acha ona aibu ya iliyomkuta baba ametengana na family yake kisa tabia yake,
Kama una tabia kama ya kaka bariking acha,
Sina mengi mimi dider japo naolewa ila nina doa kwenye istoriya ya maisha yangu,
Kama una tabia kama ya mama mdogo kutembea na shemeji zako acha,
Mama mdogo anaishi kwa aibu kubwa japo amesamehewa,
Kama unayo tabia kama ya Aisha acha ukiolewa tulia na ndoa yako ona Aisha amevuna alichopanda,
Kama una tabia kama ya safi shamsi ya kusachi waume za watu kwa kigezo anamfuria nguo acha,
Mimi na naomy tunajuta sana nikikumbuka kauli yangu,
NJOO MAMA AYUPO,
Ndio imenifikisha hapa,
Naumia na kujuta sina mengi zaidi ya kusema Ahsante kwakuwa pamoja kwenye simulizi yangu.
MWISHO