NILITUMIKISHA KUFANYA MAPENZI NA MBWA WA BOSI WANGU😭
Episode 41
Tulipofika nyumbani sasa, hamadi 😳nilishangaa pale ambapo nyumba yetu ya udongo ilikuwepo kimejengwa mjengo wa kisasa, kijiji kizima hakuna mjengo kama huo. Ilibidi nisimame kwanza huku nikiutazama ule mjengo. “Mbona kama umeganda kwa kushangaa” aliniuliza da Regina. “Mh yani imebidi nisimame kwanza nijiulize hapa ni kwetu au kuna mtu amepanunua!” Nilimwambia dada Mage. “Kwani ulipaachaje”
Kabla sijamjibu mara nikashangaa kumuona mama akitokea ndani. “Maweeee😳 tena bora umejileta mwenyewe” alisema mama kidogo nikapata mshangao na wasiwasi lakini nilipiga moyo konde tukaingia ndani. “Radhia Radhia Radhia tena nakuita mara tatu, harufu ya jela inakungoja, hivi kweli Radhia wewe ndio wa kuua kweli kabisa? Huyo mama uliyemuua kakufanyanye?” Alijiuliza mama.
“Mama yani we acha tu😭na wala hata sijaua bali yule mama aliteleza na kudondoka” Nilimwmbia mama . “Muongo mkubwa wewe, sasa mbona umetoroka kama kweli hujaua, hivi huoni toka umeenda kufanya kazi naishi vizuri, nyumba nzuri nakula vizuri leo hii umeyakanyaga” aliongea mama kwa jazba sana.
Episode 42
“Mama mimi sijaua na kilichonifanya nitoroke huko ni mateso ambayo nimepitika kwa kipindi chote nilichokuwa huko, mama huko nilikuwa sifanyi kazi za ndani bali nafanyishwa mapenzi na mbwa😭 halafu nachukuliwa video zinaenda kuuzwa nje ya nchi na ndio maana toka niende
huko sijawahi kuruhusiwa kuongea na wewe kwenye simu mama yangu😭” Niliongea huku nikilia. “Muogope Mungu we mtoto acha uongo na mambo ya kutunga tunga ovyo, yule baba alivyo mstarabu vile anaweza kweli kufanya hivyo hakuna binadamu anaweza kumfanyia binadamu mwenzake hivyo huo ni uongo” alisema mama huku akikataa kata kata kuniamini😭
Episode 43
“Basi sawa mama acha mimi niondoke kama huniamini” Nilimwambia mama. “Uondoke uende wapi muuwaji wewe unataka mimi ndio nikamatwe hebu kwanza” Alisema mama kisha akanyanyuka na kwenda kufunga mlango, halafu akampigia simu baba Rey. ” Hallo baba yangu ndio wamefika sasa hivi Yani bora tu huyu mtoto akafungwa umenisaidia Mengi baba” aliongea mama kwenye simu. “Usijali mama tutaendelea kusaidiana acha nifanye utaratibu wa kuja” alisema baba Rey kisha wakaagana na mama.
Hasira zilinikaba kwa kuona mama anamwamini mtu baki kuliko mimi mwanae, nikakumbuka mateso yote niliyopitia, ah kama ni laana acha inipate, kwa mara ya kwanza nikajikuta niki…
Episode 44
Hasira zilinikaba baada ya kuona mama anamwamini mtu baki, kuliko mimi mwanae wa kumzaa, “ahh kama ni laana acha inipate” nilijisemea mwenyewe baada ya kukumbuka magumu😭 niliyopitia. Kwa mara ya kwanza nilijikuta nikimshika mama yangu tai. “Radhia unataka kunipiga haya nipige maana naona wewe ndio umenizaa sasa” aliongea mama huku nikiwa bado nimemshika tai, nilijikuta nikilia kwa kwikwi 😭 na kumuachia mama bila hata kumpiga.
“Mama tafadhali sana tusifike mbali nakuheshimu sana mama yangu sitaki radhi zako niache niende😭” Nilimwambia mama huku nikilia kidogo naye nikamuona machozi yakianza kumtoka. “Radhia nakufahamu vizuri mwanangu mpaka umefikia hatua ya kukasirika kiasi hiki cha kutamani kunipiga lakini umeshindwa ni dhahiri kabisa kuwa kuna jambo limekuumiza moyo, je ni kweli hayo unayoyasema mwanangu” alimuuliza mama sasa kwa kunibembeleza.
Episode 45
“Mama siwezi kumsingizia vitu mtu hebu ngoja” Nilimwambia mama huku nikijaribu kutoa paswedi simu ya mama Rey, nakumbuka mama Rey alikuwa anachora Z kwenye simu yake paswedi zinatoka, nilipojaribu tu Mungu si athumani ile paswedi ikafunguka nikaenda kwenye video na kukutana na video zangu nyingi tu niikilishwa madawa ya kulevya pamoja na kufanyishwa mapenzi na mbwa, nilipomuonyesha mama video moja tu alipiga yowe😭 huku akilia kwa kugaragara chini kama mtoto aliyeng’atwa na ng’e.
“Nisamehe Radhia mwanangu, na wala huna haja ya kukimbia popote ah yani binadamu wa siku hizi mtu unampa mtoro wako kwa uaminifu amsaidie kazi ndio wa kumfanyia mtoto hivi kweli😭 acha tumsubiri huyo baba aje” alisema mama huku akilia sana, alitoka na kwenda kumuita mwenyekiti kwasababu nyumba yetu haikuwa na baba, mwenyekiti alifika tukamsimulia kila kitu, hata nusu saa haikupita mara tukasikia ngurumo ya gari nje, alikuwa ni…..
JE ITAKUWAJE SASA?