NILITUMIKISHWA KUFANYA MAPENZI NA MBWA MUHINDIšš
Episode 11
“Shikamoo mama, jamani mama huku nilipo mimi nateseka mamaš” Nilianza kuongea kwa kilio cha kwikwi huku machozi yakinitoka. “Unateseka na nini acha unafiki wakati Radhia, bosi wako ndio ametoka kunitumia laki tatu kwenye simu juzi, acha umbea najua tabia yako hupendi kufokewa si ajabu hata huko ukifokewa kidogo tu unaona kwamba unaonewa hebu acha kwanza nimpigie huyo baba unayeishi naye hapo nimueleze ili ukileta ujinga akutwange vizuri” alisema mama kisha akakata simu. “Uwiiiii sasa nimekwishaš” Nilijisemea moyoni baada ya mama kukata simu ili ampigie baba Rey ambaye hakuwepo hapo nyumbani, Nilibaki natetemeka tu kwa wogaš„¹kwasababu kila nilipojaribu kumpigia mama ili nimueleweshe vizurišsimu yake ilikuwa inatumika kuonyesha kwamba anaongea na baba Rey.
Nikabaki njia panda nikiwa sijui nifanye nini maana kwa vyovyote vile nilijua mama akimpigia baba Rey na kumueleza kuwa nimempigia simu usiku huo nikamueleza kuwa natesekaš¤ni lazima baba Rey amuulize mama kuwa nimempigia na simu ya nani? Na hapo ni dhahiri kabisa kuwa nitabainika kuwa mimi ndiye nimeificha simu ya mama Reyš nilipowaza hilo, moyo ukinienda mbio kwa wasiwasi huku woga ukitambaa mwilini mwangu mpaka mikono yangu ikajaa jasho kwa kutetemeka.
Mara ghafla mlango wa sebuleni ukagongwa, hapo nikashtuka sana na kuhisi pengine ni baba Rey karudi lakini hakuwa yeye kwani baada ya dakika kashaa nilisikia mlango ulifunguliwa kisha nikamsikia mama Rey akiongea na mlinziš«¤
Episode 12
“Na wewe unataarifa gani usiku wote huu maana mwenzio tangu nipoteze simu yangu kichwa changu hakipo sawaš” mama Rey aliongea. “Usijali mama ongea kwanza na simu kabla haijakata” Mlinzi aliongea kwa kumuharakisha mama Rey. “Ni nani kwanza” aliuliza mama. Rey. “Ni baba Rey” mlinzi alipotaja kuna hilo woga ukanizidiaš³ mkojo ukanitoka, nilijiona sawa na mtu ambaye hayupo mbali na kifo. Sikio langu nililitega kwa makini sana japo nilikuwa chumbani lakini niliweza kumsikia baba Rey akimwambia mama Rey.
“Umeruhusu vipi Radhia ampigie mama yake kwenye simu yake na kumwambia kwamba anateseka” aliuliza baba Rey upande wa pili wa simu “Khaaaš³kumbe huyu mwanaharamu ndiye ana simu yangu, Oooh dear nilipoteza ya tangu jana usiku dear” Mama Rey aliongea na baba Rey kwa madeko. “Sasa ni hivi acha kupoteza muda kama tayari ameshaongea na mama yake hujui ameongea na watu wangapi, be Careful mke wangu huyo mbwa asije akatuharibia kazi, cha kufanya hapo ni Radhia ahamishwe hapo apelekwe msituni, hebu wapigie kina Samiri Fasta waje wamchukue usiku huu kabla mambo hayajaanza kwenda vibaya” Nilimsikia baba Rey aliongea kwenye simuš nikaogopa sana , sikujua ni msitu wawapo napelekwa usiku ule.
Episode 13
Mama Rey akanifuata mule chumbani nilipo akiwa na hasira gunia nzima, bila kusema chochote alipiga ngumi nzito ya pua akiunganisha na kibao kizito cha sikio mpaka nikaliona sikio langu limekuwa nzito. “Haya lete hiyo simu hapa mwanahizaya wewe na kwa taarifa yako sasa utakachoenda kufanyiwa huko msituni hutokaa usahau” alisema mama Rey na kuanza kubonyeza bonyeza simu yake ambayo nilimpatia kisha akaweka sikioni. “Eee Samiri hebu njoo mara moja hapa nyumbani usiku huu” alisema mama Ray kisha akakata simu yake. Baada ya dakika ishirini sasa, nikashaaaš³ wametokea vijana wawili ambao walikuwa wamefunika nyuso zao kwa soksi maalumu kusudi zisionekane, mkononi wakishika bastola. “Unasemaje mazaa” aliongea kijana mmoja kihuni. “Mchukueni huyu mkamfiche msituni akiendelea kukaa hapa nyumbani anahatarisha usalama wetu” alisema mama Ray, kijana mmoja alinitazama usoni na kujiangalia jinsi damu zilivyokuwa zinanitoka puani, huku uso wangu ukiwa umelowa chapa chapa kwa jasho na machoziš akatikisa kichwa chake kama vile anasikitika kisha nikashangaa anavua maski yake aliyoivaa kuuficha uso wake. “Hee Samir mbona unavua tena Maski huyu hapaswi kumuona sura yako kabisaš³” alisema mama Rey kwa mshangao baada ya kumuona Samiri akivua Maski. “Hapana mama mimi nimefanya uhalifu mwingi lakini……..”
JE LAKINI NINI ?
MAMBO NDIO YANAZIDI KUPAMBA MOTO š„š„š„
Episode 14
“Hapana mama mimi nimeshawahi kufanya udhalimu mwingi lakini kwa huyu binti nafsi yangu inagoma na sijui ni kwanini” Samir alimwambia mama Rey ” Eti hujui kwaninišnaona Samir siku hizi umeshiba pesa wewe hebu subiri.” Mama Rey aliongea huku akitembea kwenda nje lakini kabla hajafuka mlango Samiri alimfyatulia risasi tatu za mguuni, mama Rey na unene wake akaanguka chini kwa kishindo gunia nzito la uzani. Aliachia yowe kubwa lililomfanya askari wa getini Maiko aje upesi.
Askari alipofika Safiri alitaka kumfyatulia risasiš³lakini kwa utaalamu wa hali ya juu Askari Maiko alizikwepa zile risasi na kuruka mateke ya dabo dabo, moja kilatua kichwani kwa Samiri na lingine kikatua kifuani kwa mwenzie Samir.
Nilitetemeka kwa woga baada ya kuona Samiri na mwenzie wameangushwa chini na hata walipojaribu kunyanyuka walishindwa zaidi ya kuugulia maumivu makali pale chini, kwani Samiri alipopigwa lile teke la kichwa alibamiza kichwa ukutani huku mwenzie akiangukia kwenye sakafu na kutanguliza mkono ambao ulionekana kuvunjika.
Punde tulisikia ngurumo ya gari nje, baba Rey pamoja na Rey walikuwa wamefika. “Mhuu kuna nini tena askari” Baba Rey alimuuliza Maiko. “Hawa washenzi walikuwa wanataka kutusaliti, na tayari wameshamtwanga mama risasi tatu za mguuni” Alisema Maiko, baba Rey akatupia macho sehemu aliyolala mama Rey. Akatoa bastola kibindoni mwake kwa hasira na kuwaongezea Samiri na mwenzio risasi nyingi za mwilini, kisha akasema.
“Sasa sikia Maiko hawa hawawezi kufanya kitu chochote tena hapo walipo risasi nilizowamiminia ni nyingi, sisi acha tumpeleke mama hospitali wewe kaa hapa umlinde Radhia asitorokeš³” alisema baba Rey kwa Jazba kisha wakashirikiana na Rey pamoja na mabinti zake kumuweka mama Rey kwenye gari na kumpeleka hospitali usiku ule.
Episode 15
Pale nyumbani nilibaki mimi na Askari Maiko yani wawili tu, muda wote alikuwa macho hata hasinzii, hatimaye kukapambazuka nikashinda kutwa nzima bila kula, hata askari Maiko naye hakula alikuwa na kazi ya kunilinda. Njaa ilikuwa inaniuma balaaš ghafla baba Rey na Rey pamoja na vijana watatu waliojazia miili yao kimazoezi wakatokea.,
“Binti mwenyewe ni huyu hakikisheni mnafanya kama nilivyowaambia, na wewe Rey utaongozana na hawa vijana, hakikisha wanamaliza kazi unawapa hela yao” alisema baba Rey, nikashtuka kidogoš³maana sikujua ni kazi gani hiyo wale vijana walipewa lakini Rey akanitazama na kunipa ishara ya kunikonyeza, haraka wale vijana waka…….
JE NINI KITAENDELEA?Ā
KAZI GANI WALE VIJANA WATATU WAPEWA NA BABA REY?
NA KWANINI REY KAMKONYEZA RADHIA ?