MUME WANGU ALIVYOGEUKA SHOGA
EP. 06
“Heee Brian huyu ninayemfahamu mimi ndio wa kufanya hayo hapana twendeni huko huo nyumbani kwenu tukamuhoji” Alisema baba Brian kwa hasira na gadhabu. “Baba sasaivi hatuwezi kumkuta nyumbani yupo kazini na isitoshe kurudi kwake ni saa nne za usiku” Niliongea. “Hapana tumfuateni hukohuko kazini kwake hawezi kudhalilisha ukoo kiasi hicho” Aliongea baba Brian. Tukanyanyuka kwenye viti na kuelekea lilipo gari langu. Wazazi wa Brian wakapanda garini pamoja na kaka zake wawili na dada zake wawili.
TAHARUKI.
Baada ya kufika kwenye jengo analofanya kazi mume wangu kama meneja mkuu wa kampuni hiyo. Tukapita mpaka kwa Secretary na kumuomba kuonana na bosi “Bosi yupo na mtu ofisini kwake subirini kidogo huyo mtu atoke” Alisema secretary
“Dada mimi ni mke wake na hawa ni wazazi wake tunaomba tupite tukamuone”Nilimwambia. “Sawa ingieni tu” Alisema yule mwanamke. Nikashusha pumzi nzito na kuufungua mlango wa ofisi ya Brian. Hakika nilihitaji utulivu wa akili kusudi niweze kuelewa kile ambacho nilikuwa nakishuhudia. Mume wangu alikuwa kavua suruali yake na kuiweka pembeni halafu nikamuona kijana mdogo tu aliyesokota nywele zake rasta changa akiwa amemuinamisha kwenye meza. Waliponiona walishtuka. Hata hivyo walikuwa wamechelewa kwani wazazi wa Brian waliweza kushuhudia mume wangu na yule kijana wakiwa uchi.
JE NINI KILIENDELEA.
WAZAZI WA BRIAN WATACHUKUA HATUA GANI?
EP: 07
Mama Brian alishindwa kuvumilia kumuangalia Brian na yule kijana aliyesokota vitunguu kichwani wakiwa uchi wa mnyama kitandani, hasira pamoja na uchungu vilimpata akakimbia na kwenda kulia nyuma ya nyumba kama mtoto😭. Baba Brian pamoja na ndugu zake Brian walijisikia vibaya sana aibu iliwagubika katika nyuso zao walikosa cha kusema zaidi ya kutikisa vichwa vyao.
“Joan hembu njoo” Baba mkwe aliniita pembeni. “Pole sana Joan najua unajisikia vibaya lakini hata sisi wazazi wake tunajisikia vibaya mno kwasababu Brian tumemlea kwenye misingi ya dini hata wewe unalifahamu hilo, kwa hapa hatuwezi kuendelea kuvumilia hii aibu acha tuondoke swala hili tutamkabidhi Mungu” alisema baba Brian huku machozi yakimtoka, ni dhahiri kabisa kuwa aliumizwa sana na kitendo kile. Basi akamfuata mama Brian nyuma ya nyumba na kumshika mkono wakaondoka pamoja na kaka zake Brian.
Nilibaki tu nalia sebuleni kwangu, sikumsemesha Brian kitu chochote, baada yule kijana aliyesokota vinywele vyake kama mvuta bangi aliondoka zake, ndipo Brian akanifuata pale sebuleni akiwa na hasira sana “Naona sasa umeamua kutoa siri za ndani, ulishawahi kusikia nimeenda kwenu nikawaeleza wazazi wako madhaifu yako?” Aliniuliza Brian kwa hasira sana. “Lakini Brian nimevumilia nimechoka kwasababu hichi unachokifanya kipo nje ya maadili yetu waafrika, ukizingatia mimi ni mkeo na ninaona kabisa sipati haki yangu ya ndoa” Nilimwambia huku nikilia kwa kwikwi😭
” Nyamaza mke wangu ila kwa sasa nakuruhusu tu uolewe maana mimi nimeongea na Nicolaus anataka kunioa tena kwa mahari kubwa sana, bilioni 4 za kimarekani ni pesa nyingi sana ukibadilisha ili upate za kitanzania, basi nikiolewa nitakujengea nyumba wewe na wanangu pamoja na mumeo mpya utakayempata Mtakula mpaka umauti wenu” Brian aliongea bila hata aibu
EP: 08
Nilipata fundo la hasira lililonikaba kooni Mwangu nilishindwa kabisa nimjibu nini, niliwaza niondoke nimuache lakini kikwazo kilikuwa kwa wanangu, watoto wangu walimpenda sana baba yao😭na niliwaza nikiondoka na kuwaacha anaweza akawafundisha watoto ujinga, kwa kweli nilikosa cha kufanya nikabaki nalia tu pale sebuleni. Brian akaenda zake kuoga, alipotoka bafuni akaingia chumbani na kuvaa vizuri kisha akatoka zake bila ya kumuaga akaniacha tu nalia.
Ajabu ni kwamba usiku huo Brian hakurudi, nililala peke yangu mpaka kukakucha, nilimpigia simu mara kwa mara lakini simu yake ilikuwa haipatikani hapo nikahisi kichwa kinataka kupasuka kutokana na mawazo niliyokuwa nayo, hata kazini nilishindwa kwenda nikabaki nyumbani peke yangu nawaza. Nilitaka kuwaomba ushauri marafiki zangu kwenye simu lakini niliona aibu kuwaelezea niliona bora iendelee kuwa siri yangu.
TAHARUKI
Majira ya saa tisa jioni mara nikapigiwa simu na namba ngeni. Nilipokea na kusikiliza “Habari mimi ni Mr. Raul meneja wa Twiga Hotel nafikiri naongea na Joan?” Aliniuliza mtu yule, ” Ndio mimi ni Joan” nilijibu kwa haraka. ” Basi samahani dada tunaomba ufike hapa hotelini kwetu haraka iwezekanavyo” alisema mtu yule nikashangaa 😳 sana kwa namna alivyonishurutisha “Kuna nini ?” Nilimuuliza lakini aligoma katakata kuniambia, akaniambia “We njoo kila kitu utakijua baada ya kufika” alisema na kukata simu yake. Haraka nikajiandaa na kuondoka kwani hapo Twiga Hotel hapakuwa mbali na pale nyumbani palikuwa ni mtaa wa tatu kutoka nyumbani ninapoishi. Ajabu nilipofika kwenye ile hoteli sasa😳
EP: 09
Nilipofika Twiga hotel, nilipaki gari langu sehemu ya maegesho ya magari baada ya hapo nikashuka garini huku nikiitafuta namba ya yule meneja wa hoteli ile na kumpigia. Akanielekeza ofisi yake ilipo nami bila hiyana nikaongoza njia moja kwa moja mpaka ofisini kwake, aliponitia tu machoni alikisa kichwa chake ishara ya masikitiko “Habari za kazi kaka” Nilimsalimu “aah salama karibu ukae” alijibu huku akinionyesha sehemu ya kukaa pale ofinj kwake.
“Kwanza pole sana dada yangu” alianza kuongea kwa kunipa pole, kidogo nikashanga 😳 na kujiuliza pole ile inahusu nini? “Pole ya nini kaka” Nilimuuliza huku nikimtazama kwa uso wenye hamasa ya kutaka kujua ” Wewe mumeo ni Brian?” alianza kuongea “Ndio” nikamjibu “Mna watoto?” akaniliuliza tena. “Mh kaka hebu twende kwenye lengo hasa la kuniita hapa?” Niliuliza kwa ukali kidogo kwasababu mimi ni mtu ambaye sipendi maswali mengi.
“Ah basi ni hivi, mumeo alikuja hapa leo mchana akiwa ameambatana na mwanaume mwenzake, walikuwa wamevaa suti vizuri wakakodi chumba na kwa madai kuwa wanamaongezi yao wanataka kuyafanyia faragha kidogo na watu, basi sisi tukawakubalia kwasababu chumba walichukua kwa muda tukajua wana maongezi yao ingawa sio sheria kuwaruhusu wanaume wawili waingie ndani ya chumba kimoja. Basi walipoingia walikaa kama masaa ghafla😳 tukasikia mumeo akipiga kelele “nakufaa nakufa” ilibidi muhudumu wa mapokezi aje haraka kunichukua tukaenda, walikuwa wamejifungia kwa ndani na hata tulipogonga mlango haukufunguliwa zaidi ya kumsikia mumeo akilia sana ndani”
Narudi🚶♂🚶♂🚶♂🚶♂🚶♂🚶♂
MUME WANGU ALIVYOGEUKA SHOGA😭😭
EP: 10
Sisi tukaona isiwe tabu tuvunje mlango ili wasije kutoana uhai, tulipovunja tu mlango ajabu😳 tukashangaa mume wangu amezamishiwa chupa ya Wine waliyonunua kwenye sehemu yake ya haja, ikabidi tumbane yule mwanaume aliyekuja naye kwa kumuhoji maswali, yeye akadai walikubaliana kufanya yule mwanaume amuingilie mumeo kisha mumeo amlipe milioni moja taslimu lakini mwisho walipomaliza mumeo alimlipa laki 4 kitendo ambacho kilimuuzi yule mwanaume akaamua kumkosesha kwa njia hiyo” alisema yule meneja nikatikisa kichwa kwa masikitiko sana huku uso wangu ukiwa na aibu sana, kilichonisikitisha zaidi ni Brian kutoa hela afanye afanye ujalaana wake wakati watoto kila siku mwalimu wao ananipigia simu kwamba hawana pocket money huko shuleni kwao wanaposoma bweni, hakika nilibaki tu nalia.
“Sasa huyo Brian na huyo mwanaume wapo wapi?😭” Niliulizwa huku nalia “Huyo mwanaume aliyekuja naye tumemuachia kwasababu Hotel yetu hairuhusu kuwaweka wanaume wawili kwenye chumba kimoja hivyo kama tungempeleka polisi sheria ingetuhukumu na sisi maana sheria ni msumeno” alisema yule meneja.
“Sasa na huyo Brian yuko wapi ?” Nilimuuliza. “Brian yupo bado ndani ya chumba hana fahamu, tukaona tukupigie uje tuone tunafanyaje maana swala hili halijajulikana na wafanyakazi wengine zaidi yangu na muhudumu wa mapokezi, nyanyuka twende ukamuone tuone nini tunafanya” alisema yule meneja nilinyanyuka na kumfuata huku nikiwa na aibu sana.
Alipofika kwenye mlango wa chumba akafungua ule mlango, ile natupia tu macho ndani JESUS😳!! Nilishangaa kuona…….
JE JOAN ALIONA NINI ?
NA ATAFANYA NINI KUMSAIDIA MUMEWE?