MUME WANGU ALIVYOGEUKA SHOGA
EP 26
Hakimu altokwa na machozi kisha akasema! “ Kwa mujibu wa sheria zetu za nchi, nitaenda kutoa hukumu ya kesi hii kama ifuatavyo…”
“ Pasipo shaka yoyote , ushahidi uliwakilishwa hapa umethibitisha nicolaus na brian wanashiriki ndoa ya jinsia moja! Pia pasiposhaka yeyote ile ushahidi pia umethibiitiisha Nicolaus amehusika kwenye makosa ya kuwabaka watoto wa Brian na kupelekea kifo cha mtoto mmoja..Pia kwa mujibu wa ushahidi uliotolewa hapa, bila shaka yeyote ile, imethibitishwa polisi walipokea rushwa na kuwatengenezea kesi Vivian na mwenzake! Kwenye kesi hii ya rushwa naagiza mamlaka nyingine zinazohusika ziwakamate askari wote waliohusika na kuwafaungulia mashtaka mahakamani. “ ALiongea hakimu.
Alimeza mate kidogo kisha akaendelea.
“ Nikianza na nicolaus! Kwa makosa yote matatu ya msingi uliyeshtakwa nayo umekutwa na hatia, hivyo nakuhukumu……” Kabla hakimu hajaongea aliichotaoka kuongea! Dada mmoja ambaye ni msaidizi wake, haraka sana alisegea mezan kwake juu na kumpa kipande cha karatasi.
Hakimu alikisoma kile kikaratasi kimya kimya! Kisha gafla tu hali yake ikabadilika! ALishikwa na kigugumizi kisichoelezeka. Haraka sana msaidizi wake alimpelekea maji akanywa. Baada ya kunywa maji na kutulia kidogo alituangalia sisi kisha akawaangalia watu wengine.
Sura yake ilijaa huzuni sana.
“ Nahairisha shauri hili kwa dakka 30. Tutakuja hapa saa nane na nusu.” ALiongea na kugonga meza. Watu wote tulisimama! Lakini ajabu sana, tukiwa tumesimama! Nilimshuhudia yule mzungu Nicolausi akitabasamu na kuangaliana na mzungu mwingine aliyekuwa mlangoni.
Hii ilinitisha! Niligeuka kumtazama yule mzungu ambaye alikuwa anawasiliana na Nicolaus sikuwa namfahamu! Lakini kimuonekano alionekana kama ni askari. Nyoa yake na jinsi alivyo livyo ni kama wale askari wa marekani wanaomlinda raisi wao.
EP 27
Hii ilinipa mashaka sana! Pale pale nilimsogea Vivian na kumwambia.
“ Mambo magumu aiseee! Hi kesi bado ni mbichii sanaaaa..” Nilimwambia.
“ Kwanini?” ALiniulza Vivian.
“ Kile kikaratasi alichopewa hakimu kinamaana kubwa sana! Si umeona hakimu baada ya kupewa tu kile kikaratasi hali yake imebadilika. Nina uhakika kuna ujumbe amepewa. Na huo ujumbe bila shaka kapewa na yule mzungu wa pale getini. Kuna jambo linaendelea hapa.”
“ Ni kweli! kwanza hakimu alishapanga kusoma hukumu! Kitendo cha kughari gafla kuisoma kinanipa mashaka! Kuna jambo linaendelea hapa.” Aliongea Vivian. Tukiwa tunaongea hayo, gafla tulichukuliwa na askari magereza na kupelekwa kwenye vyumba vya nyuma ya mahakama kusubir nusu saa ifike ili turud tena mahakamani.
Lakin katika hali isiyokuwa ya kawaida, tukiwa kwenye vile vyumba……………………..
EP 28
Lakin katika hali isiyokuwa ya kawaida, tukiwa kwenye vile vyumba mlango wa chumba tulichokuwa ulisukumwa akaingia Nicolausi akiwa na askari magereza na mkononi akiwa na sigara.
“ Mimi sio mtu mdogo kama mnavyofikiria ! sihukumiwi wala sifungwi hapa!.’ Alituambia kwakiingereza. Kitendo cha kuvuta sigara mbele yetu tena huku askari magereza akimtazama kilimaanisha wote wapo chini yake.
“ MUNGU kwanni unawaruhusu waovu watawale hivi?” Niliuliza moyon. Nilimuomba MUNGU atende miujiza yake ili haki iweze kutendeka.
Kwa dharau sana Nicolaus alinisogelea na kunishika mashaavu.
“ Watoto wako wanamku*** mtamu sana! Sema tu walishindwa kuvumilia ndio mana yule mmoja alikufa! Ila sio mbaya, nitabaki na brian, nikitoka hapa naondoka naye na naenda nae kuishi mbali huko.” ALiongea Nicolaus na kunitemea mate.
“ Milele utabaki jela…..subri na uone..” ALiongea na kuondoka. Hayo yote yakifanyika askari magereza alikuwa akimwangalia. Tena aliimwangalia kwa heshima kama bosi wake.
“ Hela imetumika hapa! Ukute watu wote wameshanunuliwa.” Nilimwambia Vivian.
“ Ila MUNGU wetu ni mkubwa sana! Tumuombe anaweza kutusikia na kutusaidia katika hili.” Nilimwambia Vivian. Tukiwa na pingu zetu pale pale tulishikana mikono na kuomba. Kwa pamoja wote tulisali sala ya baba yetu. Kisha tukasali salamu maria na mwishoe kila mmoja akasali vile alivyoona sahihi.
“ Nani amewaambia muongee..mnatupigia kelele..” Askari magereza alituambia.
“ Kwanza muda umefika..twendeni mahakamani.” ALiongea. Muda ule ule tulichukuliwa na kupelekwa mahakamani. Tukiwa mle ndani, hali ya briani na nicolaus ilikuwa tofauti sana. Sura zao zilijaa tabasamu kana kwamba walijua wataachiwa huru.
Kooooooti! Askari aliita, wote tukasimama na hakimu akaingia. Alikaa chini kisha wote tukakaaa tena.
EP 29
Aliuliza kama watu wote tupo, wanasheria wakamthibitishia tupo.
Kwa dakika kadhaaa aliiangalia karatasi iliyokuwa mezani kwake pasipokuongea lolote Machozi yalimtoka akiwa anaitazama ile karatasi! Mahakama nzima ilijawa na bumbuwazi! Watu waliangaliana na kuulizana kuna nini kinachoendelea.
Hakimu alitoa leso na kujifuta machozi. Kisha akaweka mic vizuri na kututazama . Alituangalia wote kisha akafungua mdomo wake.
“ Uamuzi ninachouchukua ni mkubwa! Najua unaweza kudhuru maisha yangu! Najua unaweza kunileta matatizo mengi! Lakini nimeamua kuiilinda taaluma yangu! Mimi sio hakimu wakuandikiwa hukumu na kupangiwa mambo ya kufanya.” ALiiongea kisha akashika karatasi iliyokuwa mezan kwake na kuichana .
Watu wote tulishangaaaa. ALichukua karatasi nyingine ya hukumu na kuanza kusoma.
“ Nitaendelea pale nilipoishia…kwanza kwa mujibu wa sheria natengua hukumu zote zizowatia hatiani Vivian na mwenzake! Kuanzia sasa mpo huru! Pia kwakuwa ushahidi umethibitisha pasiposhaka watahumiwa wametenda makosa! Nikianza na Nicolaus, kwa kosa la kuua na kushiriki mapenzi ya jinsi moja, nakuhukumu kunyongwa hadi kufa, na kwa upande wa bri…….” Hakimu kabla hajamaliza kuongea, Nicolausi aliipiga kelele na kuruka pale kizimbani, aliwahi silaha ya askari magereza, lakini kabla hajafanya lolote askari wengine waliokuwa wanalinda walimuwahi walimpiga shaba akaanguka chini.
Akiwa chini. Brian alipiga kelele kubwa sana.
“ Mume wanguuuuuuuuu…” ALiiongea brian. Yule mzungu mwingine pale pale altoa bastola yake na kuwalenga askari waliokuwa kzimbani karibu na nicolausi! Kwa sekunde kadhaa walirushiana risasi.
“ Paaaaa.” Naye aliipigwa risasi ya kichwa akaanguka chini. Wakati shughuli zote za kurushiana risaisi zinaendelea, mimi na Vivian kwa hofu tuliinamisha vichwa vyetu chini. Tulikuja kuviinua baaada ya miliio kuacha, lakini ajabu katika watu walipigwa risasi alikuwa na Brian. Katika purukushani ya risasi bahati mbaya moja ilimpata yeye.
Akiwa kaanguka chini, damu zikimtoka mdomoni alinyoosha mkono wake kuniita. Nilisimama pale kizimbani ili niende lakini………………………..
EP 30
Akiwa kaanguka chini, damu zikimtoka mdomoni alinyoosha mkono wake kuniita. Nilisimama pale kizimbani ili niende lakini lakini askari magereza alinizuia nisiende. Tukio hilo likifanyika hakimu aliona. ALimpa ishara askari magereza akaniruhusu niende.
Nilienda pale chini na kumshika mkono brian.
“ Sa…sa….sa….ma…ha………………ni…” ALiongea kwa tabu sana brian halafu akakata roho pale pale.
Askari haraka walitoa maiti zote mle ndani! Hakimu alikazia hukumu kisha akatuita pale mbele.
“ Poleni sana kwa yote yaliyotokea! kila jambo linatokea kwasababu! MUNGU anasababu ya kuruhusu haya yatokeee. Msikate tamaaa. Maisha yenu bado hayajaisha kwasababu ya haya! Endeleeni kupambana na mwisho mtakuwa washindi. “ ALituambia. ALitushika vichwa na kutupa pole kisha akaondoka.
“ Mungu mkubwa.” Nilimwamba Vivian baada ya kuachiwa huru.
…………………..
Siku ya pili taarifa ya kile kilichotokea mahakamani ilisambaa kila sehemu. Watu walimpongeza hakimu kwakukataa kutumiwa na mabeberu! Walimsifu kwa msimamo wa kusimamia sheria.
Pia makundi mbali mbal ya haki za binadamu yaliwataka askari wote walitumika kutubambikia kesi wakamatwe. Takukuru na taasisi nyingine za serikali ziliwakamata wote na kuwafunguliia mashtaka.
Wazazi wa brian walikuja kuniomba radhi! Nikawasamehe.
“ Niliwasamehe toka siku ya kwanza..sina knyongo na nyie.” Niliwaambia. Nikiwa naongea na wazazi wa brian, Vikundi mbali mbali vya akina mama wenzangu vilikuja nyumbani na kunipa pole, pia walitupongeza mim na Vivian kwa ujasiri tuliouonesha.
MWISHO.
1 Comment
Very nice stories