MUME WANGU ALIVYOGEUKA SHOGA
EP 11
Niliongozana na meneja wa Twiga hotel mpaka kwenye chumba alipo Brian, kitendo tu cha meneja kufungua mlango wa chumba alicho Brian nilishtukaš³kuona Brian akiwa ameingiziwa chupa ya Wine kwenye makali* yake huku akiwa hana hata fahamu. “Dada mumeo ndio huyo, sisi tumekuita ili ushuhudie mwenyewe na uone namna ya kumsaidia mwenza wako” alisema meneja niliuma meno kwa hasira nikatoka na kuondoka.
Sikutaka kufanya chochote kuhusu Brian tena vitendo vyake na maudhi anayonipa tayari nilishachoka, nilipanda kwenye gari langu na kuondoka huku moyoni Nikijisemea kuwa liwalo na liwe iwapo meneja wa ile hotel ataamua kumsaidia au kumuacha afe atajua mwenyewe. Huo ulikuwa ni uamuzi wangu wa mwisho. Nilipofika tu nyumbani mara nikakutana na watoto wangu getini Kelvin na Magreth. “Haya na nyie?”. Niliwauliza “Mama sisi tumesimamishwa masomo” aliniambia Kelvin mwanangu huku akinipa bahasha ya kaki, nikaifungua ile bahasha na kukuta kweli wanangu wamesimamishwa masomo kwa kukosa ada pamoja na mahitaji mengine ya shule, hasira zilizidi kunipanda yani mwanaume anaacha kufanya mambo muhimu kama kuwalipia watoto ada anadiriki kumpa mtu pesa amuingilie kinyume cha maumbile hakika inauma sana. Niliwakumbatia wanangu huku nikiwa nalia baadae tuliingia ndani .
Niliwapikia kwasababu walikua na njaa na usiku ulipoingia niliwapeleka kwenye chumba chao kulala, mimi nilibaki sebuleni huku nikiwa nawaza sana. Niliamua kumpigia meneja wa hoteli ya Twiga Hotel na kumuuliza maendeleo ya Brian. Meneja akaniambia Brian kazinduka na alipozinduka tu wakampigia Mzungu Nicolaus simu na kumueleza hali halisi, Mzungu akawapa masaa kadhaa apande ndege na tayari alishafika na kumpeleka Brian hospitali.
Nilipopata taarifa hiyo kidogo nikamshukuru Mungu na hapo nikapata japo ahueni ya moyo nikaenda chumbani kwangu kulala, siku ikaisha siku ya pili nayo ikakata hatimaye ikawa ni Jumatatu asubuhi nikiwa kitandani kwangu bado nimelala mara nikasikia ngurumo ya gari nje, haraka nikatoka nje na kuchungulia, ndipo nikamuona Brian akishuka kwenye gari huku akitembea anachechema naye Nicolaus akashuka garini, pia nyuma yao kulikuwa na gari jingine ndipo nikawaona wazazi wa Brian pamoja na ndugu zake wakishuka garini. “Mh hebu nitulize mshono Joan mie Nisikilize nini kinataka kuendelea” Nilijisemea moyoni huku nikiwakaribisha sebuleni. Walipoingia tu sebuleni wakaniita mimi pamoja na wanangu, wote tukakaa pale sebuleni kama kwamba kulikuwa na kikao kisicho rasmi, baada ya wote kukaa pale sebuleni ajabu sasaš³….
Je nini kiliendelea?
EP 12
Tulikaa sebuleni kikao wakiwemo wazazi wa Brian, watoto wangu lakini pia Mzungu Nicolaus pamoja na Brian mwenyewe. “Joan?” Alianza kuniita baba mkwe. “Abee baba ” Nilimuitikia huku nikimtazama machoni. ” Kwa sasa Brian sio mumeo, Brian ni mke wa mtu na tayari ameshatolewa kushika uchumba milioni mia tisa zimewekwa benki na risiti hii hapa” alisema baba mkwe nikauma meno kwa hasira kwani nilitegemea kwamba kikao kile kilikuwa cha kumuonya Brian lakini haikuwa hivyo.
Basi bwana, nikaona isiwe kesi maana hatua waliyofikia ni dhahiri kabisa kwamba sina tena mume. “Ni sawa na mpo sahihi kabisa lakini naombeni niondoke na wangu”Niliwaambia. “Hapana watoto ni wa Brian hatuwezi kupoteza damu zetu laiti kama Brian angekuwa amekuwa bila mahari hapo sawa watoto ungeenda nao” alisema baba Brian, nilibaki nalia.
“Hebu usitulilie sisi, hapa unachotakiwa kufanya ni kuchukua begi lako la nguo uondoke” alifoka mama Brian, ninashangaa sana š³kwa hata yeye kama mama aliyezaa kwa uchungu anaunga mkono hoja ya mwanae kuolewašnilisikitika sana. “Ah mama huyu dawa yake ni moja maana hata tukisema aondondoke ataenda kunitangaza huko mtaani kitendo ambacho kitaleta madhara baadaye katika ndoa yangu na mume wangu Nicolaus” alisema Brian.
“Dawa gani hiyo” Baba Brian aliuliza, Brian na mzungu wakatizana na kukonyezana palepale. Mzungu akatoa bastola na kunifanya nilie sana lakini hata hivyo sauti yangu haikuweza kutoka nje kutokana na madirisha ya vioo kufungwa, wanangu nao wakilia sana Nicolaus na Brian wakanishika kwa nguvu na kunifunga mdomo, mikono pamoja na miguu wakanivuruta na kwenda kunifungia kwenye chumba kimoja wapo cha nyumba yangu.
EP 13
Zilipita dakika kadhaa nikasikia ngurumo ya gari nje kisha kukapoa kabisa kama vile hakuna tena watu, waliondoka na sikujua walipoelekea, ajabu sasa nikiwa ndani ya kile chumba nilichofungiwa ghafla kukatana giza nene, na baada ya pale nikasikia vicheko vingi gizani, nilibaki natetemeka mwili mzima kama vile nimemwagiwa maji ya barafu.
“Aaah mimi kazi nimemaliza Joan hataweza kutoa sauti na atakaa hapo hapo kwenye nyumba yenu akiwa na akili zake timamu, atawapikia chakula mtakuwa mnakula na mambo yenu mtafanya kama kawaida” Nilisikia sauti ya kizee ikiongea kutoka gizani. Niliogopa sana, mara lile giza likaisha, masaa kadha yakapita, mume wangu pamoja na wanangu na Nicolaus wakarudi, wakanifungua kitambaa walichojiunga mdomo pia wakanifungua kamba za mikono na miguu, ajabu nilipotaka kutoa sauti yangu ilikuwa haitoki, ama kweli uchawi upo. Basi nikatoka mpaka sebuleni, nikawa nimekaa tu huku nalia, watoto walinishangaa mara Nicolaus pamoja na Brian wakaanza kunyonyana denda mbele ya watoto wangu wadogo ambao walibaki tu wakishangaa.
Walipoachiana Brian akaenda jikoni kupika na kuniacha pale sebuleni mimi na wanangu pamoja na Nicolaus, yani walinipumbaza akili nikawa ni mtu wa kushangaa tu na wazo la kuondoka likapotea kabisa kichwani mwangu, ajabu Nicoluals akaš³….
EP 14
Mume wangu alitoka na kwenda jikoni kupika pale sebuleni akaniacha mimi na wanangu pamoja na mzungu Nicolaus, ajabu mzungu akamtwaa mwanangu wa kiume na kumpakata,š³ macho yalinitoka baada ya kumuona akimvulisha nguo, nilibaki tu nimeduwaa kwa kushanga kutokana na pumbazo walilonipumbaza. Kwa bahati nzuri mlangoni nikasikia hodi,, hiyo ilikuwa ni sauti ya Vivian rafiki yangu tunayofanya naye kazi sehemu moja.
Haraka mume wangu akatoka jikoni maana jiko lilikuwa la ndani kwa ndani, akaenda mpaka mlangoni, “Karibu Vivian?” Mume wangu alimkaribisha Vivian. “Ahsante Joan nimemkuta” Vivian alimuuliza Brian. “Joan hayupo ametoka kidogo” Brian alidanganya. Wakati huo mzungu Nicolaus alimuachia mwanangu na kumuweka pembeni baada ya kusikia Vivian akibisha hodi.
Mungu si athumani nilipata msukumo na kunyanyuka pale kwenye kiti na kutoka nje. “Hee Joan si huyu hapa, jamani shemeji mbona sikuizi umekuwa muongo hivyo” Vivian alimuuliza Brian. Wala Brian hakujibu kitu uso wake ukagubikwa na aibu.
EP 15
“Joan za uzima Shosti yangu” Vivian aliniukiza. Sikuweza kumjibu kitu kwani sauti yangu ilikuwa haitoki. “We Joan umepatwa na nini mbona hunijibu” Vivian aliniuliza kwa sauti kali, machozi yakaanza kunitoka. “Heee hapa sio bure kuna kitu” Vivian alishika simu yake na kutaka kupiga lakini kabla hajatimiza azma yake hiyo Brian alimpokonya ile simu na kutaka kumkabili kwa nguvu, kama bahati Vivian alimponyoka Brian na kukimbia huku Brian akimkimbiza.
Baada ya dakika 20 Brian alirudi mwenyewe akiwa anacheka sana mithili ya Bata waliotoka kupigana, jasho lilikuwa linatoka balaa akaingia ndani haraka, na kumwambia Nicolaus “Tuondoke mume wangu pamoja na watoto hapa tayari mambo yameharibika yule binti kaenda kuita watu” Brian alimwambia Nicolaus huku wakijiandaa kwa haraka sana, wakatoka na watoto na kuingia garini lakini kabla hawajatoa gari getini, mara ghafla nikashangaa kumuona Vivian pamoja na polisi wanne wakiwa wameongozana, kidogo nikashusha pumzi kwani polisi wale waliwazuia Brian na Nicolaus wasitoe gari nje kisha wakaamriwa washuke garini haraka, polisi waka…..
JE NINI KILIENDELEA?
POLISI WATAWEZA KUGUNDUA KUWA BRIAN NI SHOGA ILE HALI JOAN HAWEZI KUONGEA?