MUME WANGU ALIVYOGEUKA SHOGA
Mkasa wa kweli
EP. 01
Ilikuwa ni siku ya jumatano nimekaa nyumbani kwangu kwa furaha kubwa sana ya kumpokea mume wangu Brian, aliyekuwa akirudi nyumbani baada ya kuhitimu shahada yake ya kwanza ya biashara nchini marekani.
Honi ya gari iliyosikika getini ndiyo iliyonifanya nitoke ndani haraka na kwenda kuangalia nje . Gafla nikamuona mume wangu akijitokeza ndani ya taxi ndogo ya kubeba abiria huku akiwa ameambatana na mwanaume wa kizungu. Ni vigumu kuelezea furaha niliyoipata baada ya kumuona mume wangu, nilimkimbilia na kumkumbatia kwa furaha, baada ya kumwachia nikamkumbatia na yule mwanaume wa kizungu kisha nikawakaribisha ndani. “Ema hakikisha hiyo mizigo yote inaingia ndani” Nilimwambia mlinzi huku nikiongozana na mume wangu pamoja na mgeni kuelekea ndani.
“Mke wangu huyu anaitwa Nicolus ni rafiki yangu ambaye nimehitimu naye chuo kimoja Marekani lakini yeye ni mzaliwa wa Canada” Mume wangu alisema. “Ooh welcome sir” Nilimuambia yule Mzungu. “hahahaaa thanks madam” Alijibu Nicolus kwa kucheka, kiufupi alionekana ni mcheshi sana. Niliwaandalia chakula cha mchana wakala na baada ya hapo tulitoka ndani na kwenda kukaa eneo la garden ambayo ilikuwa hapo hapo nyumbani kwangu.
Nilimwangalia vizuri mume wangu kuanzia juu mpaka chini. Hakika alikuwa amebadilika mno tofauti na kipindi anaondoka Tanzania kwenda marekani. Tulikaa eneo lile la garden tukihadithiana mambo mbalimbali kwa lugha ya kingereza kusudi Nicolus asijisikie vibaya. Wakati huo nilikuwa nikimkagua mume wangu kwa macho kuanzia juu mpaka chini. Alikuwa ametoboa masikio na kuyavalisha vipuli. Nilipoyatupia macho yangu miguuni kwake gafla nilishtuka baada ya kuona amevaa kikuku kwenye mguu wake wa kulia. Nilishangaa sana kwani niliwahi kusikia watu wanaovaa vicheni mguuni kama ni wakiume basi atakuwa ni shoga ambaye wanaume wenzake huwa wanamuingilia kinyume cha maumbile na kama ni mwanamke basi huyo ni wazi kabisa kuwa anagawa kotekote.
Uvumilivu ukanishinda nikaamua kumuuliza kwa lugha ya kiswahili “Brian mume wangu kulikoni umetoboa masikio halafu mguuni umevaa kicheni” Nipouliza swali hilo mume wangu alicheka sana na kusema “Unajua mke wangu sisi watanzania ni washamba sana, tumejiwekea desturi kuwa mtu anayestahili kutoboa masikio au kuvaa kicheni mguuni ni mwanamke tu, lakini wenzetu walioendelea kama marekani na nchi nyingine hili kwao wanaona kama ni urembo” Alisema Brian kwa kujitetea.
“Mh lakini mume wangu huoni kama unaacha utamaduni wako na kuanza kutukuza tamaduni za wengine, hivi chukulia mfano baba yako au mama yako akuone jinsi ulivyo atakufikiriaje isitoshe wazazi wako ni wachungaji na wewe umelelewa katika misingi ya Mungu? ” Nilimuuliza.
“Nisikilize Joani, kwa watu washamba kama watanzania basi watanichukulia wanavyojua wenyewe ila katika hii dunia usiishi kwa kuhofia watu au jamii fulani itanichukuliaje ishi maisha yako” Alisema mume wangu nikaachana na habari hizo kwani tayari alishaanza kukasirika. Tuliendelea na stori nyingine huku tukizungumzia hasa uchumi wa Marekani na Tanzania. Mume wangu Briani alionekana kuisifia sana marekani kwa kila kitu huku Nicolus akimpongeza kwa kauli zake.
Ilikuwa ni usiku wa saa tatu, nilimuonyesa Nicolus chumba chake cha kulala kisha nikaingia na mume wangu Brian chumbani kulala. Siku hiyo niliingia chumbani mapema sana tofauti na siku nyingine kwani nilikuwa nimemiss sana mume wangu.
TAHARUKI..
Nilitumia muda mwingi kitandani kumpandisha mume wangu hisia, ajabu ni kwamba uume wake ulikataa kabisa kusisimama. “Brian una matatizo gani ” Nilimuuliza kwa mshangao kidogo. “Joani nimechoka sana na safari, usijali kesho tutafanya kwani si nipo tu mke wangu” Alisema Brian. Nikaona nimuache alale nami nikapitiwa na usingizi.
Majira ya saa nane usiku nilishtuka usingizini baada ya kusikia miguno kama ile ya watu wanaofanya mapenzi. Nilishtuka na kuangalia sehemu alipokuwa amelala mume wangu lakini hakuwepo. “Mh hii miguno inatokea chumba gani” Niliamka kitandani na kuanza kuifuatilia taratibu ile miguno ya mahaba ilipokuwa ikitokea.
EP. 02
Nikaufungua mlango wa chumbani kwangu tararibu na kuanza kutembea kwa mwendo wa kinyonga kuelekea kule ambako miguno ya watu kama wale wanaofanya mapenzi ilipokuwa inatokea. Nilipofika karibu na chumba cha Mzungu nikashtuka baada ya kusikia sauti ya mume wangu akilia. Nikashika kitasa na kukizungusha ili mlango ufunguke. Haukufunguka kwani walikuwa wamejifungia kwa ndani.
Nikagonga mlango mara moja. Wakastuka na kukaa kimya kwa dakika kama mbili hivi ndipo mlango ukafunguliwa. Akatoka mume wangu akiwa amevaa boxer. “Brian mbona sikueliwi umeniacha kitandani peke yangu halafu umekuja huku kuna nini” Niliuliza kwa msisitizo. “Twende tukaongelee chumbani mke wangu au unataka kuonyesha picha gani mbele ya mgeni” Alisema mume wangu. Nikanyamaza hadi tukaingia chumbani.
“Niambie sasa mume wangu maana tokea urudi kutoka Marekani sikuelewi elewi” Nilimwambia. “Nisikilize mke wangu unajua katika hii dunia kila binadamu ana matatizo yake. Huyu Mzungu niliyekuja naye anasumbuliwa na jini mahaba hasa usiku muda wa kulala anapiga kelele kabisa kama yupo kwenye yale mambo yetu hivyo nilienda kunyamazisha baada ya miguno yake kuniamsha kutoka usingizini” Alisema mume wangu kwa kujitetea. “Sasa mbona nilikusikia wewe ndio ulikuwa unalia”. Nilimuuliza. ” Utakuwa umesikia vibaya mke wangu sio mimi” Alisema mume wangu nikanyamaza lakni rohoni mwangu nilishaanza kuhisi jambo la tofauti kati ya mume wangu na rafiki yake Mzungu ila sikuwa na uhakika.
Asubuhi kulikucha, nikiwa bado nipo kitandani nikaanza kumtomasa tomasa mume wangu ili aniamshe japo na kile cha asubuhi Laaaaaa haulaaaa! sio siri niliteseka sana kwani mbali na kutumia juhudi zote za kumsisimua lakini mume hakupandisha hisia zozote ndio kwanza mashine yake ilikuwa imesinyaa na kuwa ya baridi kabisa. Nilijikuta nalia kwa nguvu tena kilio cha kwikwi hadi mume wangu akastuka “Joani kinachokuliza ni kitu gani” Aliniuliza mume wangu. “Hivi Brian mume wangu unajiona kuwa upo sawa?” Nilimuuliza huku machozi yakinibubujika. “Nipo sawa ndio kwani tatizo lipo wapi?” Aliniuliza. “Jana umesema umechoka na safari huwezi kunipa haki yangu ya ndoa, nikakuacha ulale. Asubuhi hii mwenzako nataka lakini haunipi kabisa ushirikiano.
” Joani sikiliza unajua kuna wakati unakuwa na mwenza wako lakini hajisikii kabisa kufanya tendo hiyo haimaanishi kuwa hakupendi laaa hasha ila tu hajisikii. Sasa ngoja!” Alisema Brian na kuamka kitandani kisha akaliendea begi lake dogo alilotoka nalo marekani. Akaingiza mkono wake kwenye begi.
TAHARUKI
Gafla nikashangaa mume wangu akitoa kitu kama uume kisha akaniangalia na kusema. “Hii ni zawadi yako niliyokuletea kutoka marekani, kule marekani ikiwa mwenzako hajisikii kufanya tendo basi wewe kama mwanamke unatumia hii kujiridhisha.
” Brian are you mad. Hakika naona sasa Brian umechanganyikiwa, kweli kabisa ni wewe wa kuniletea vitu hivi sawa” Nilisema na kuamka kitandani kwenda kuendelea na majukumu mengine huku kichwa changu nikikiona kizito sana. Sio siri nililemewa na mawazo kwani mume wangu nilikuwa simulewi kabisa.
Nilipika chai nikawaandalia yeye pamoja na rafiki yake. Baada ya kunywa chai mume wangu pamoja na mzungu walitoka kwenda kutembea kwa kutumia usafiri wa nyumbani. Kutwa nzima nilishinda mwenyewe mpaka kufikia saa nne za usiku ndipo wakarudi. “Mbona mume wangu umechelewa hivyo” Nilimuuliza. “Ahh nikuwa namtembeza Nicolus kwa marafiki zangu pamoja na kumtambulisha ” Alisema mume wangu. “Sawa ngoja niamke nikawatengee chakula” Nilimwambia. “Acha tu mke wangu tumeshakula usijali” Alisema mume wangu kisha akapanda kitandani na kulala na nguo.
MSHANGAO TENA.
Usiku huo sikutaka kabisa kulala bila kupata penzi la mume wangu. Nilianza kumpapasa huku nikimvua nguo moja baada ya nyingine akiwa usingizini. Nipomvua suruali gafla nikashtuka kuona mume wangu akiwa amevaa shanga kiunoni “Ahhh hata kama sisi watanzania ni washamba lakini sio ujanja mwanaume kuvaa shanga huu saaa ni ushoga” Nilijisemea huku nikiendelea kumvua boxer yake “Whatttttttt” 😳Nilishtuka baada ya kuona makalio yake yana 😳……….
EP. 03
Nilipomvua Boxer Brian hamadi nilishtuka kuona makalio yake yamechafuka kwa mbegu za kiume, nilishika mdogo kwa mshangao baada ya kupata uhakika kuwa mume wangu Brian ni shoga, niliwaza nifanyeje lakini nilikosa jibu, niliona aibu kuwaeleza wazazi wake mambo kama hayo, basi nikalala huku kichwa changu likiwa cha moto kutokana na mawazo, kulipokucha kwa bahati nzuri yule mzungu akaaga Nicolaus akaaga anarudi Marekani kuangalia biashara zake, hapo nikamshukuru sana Mungu maana nilijua kwamba yule mzungu akiondoka Brian atabadilika na nitajaribu kushawishi taratibu atumie dawa arudi kwenye hali yake kwasababu bado nampenda na isitoshe ni mume wangu wa ndoa ambaye nimezaa naye watoto wawili. Basi mzungu alipoondoka zikapita siku tatu
Hatimaye ikawa ni siku ya jumatano, nikiwa nimetoka kazini kwa miguu. Nilipofika getini sikumuona mlinzi na hata nilipochungulia kwenye kibanda chake hakuwepo. Nilishangaa sana kwasababu Masai hakuwa na tabia ya kuondoka kwenye lindo lake hata siku moja. Nikaamua kwenda ndani, nilipofungua mlango wa sebuleni kulikuwa kimya, nikapita kwenda chumbani. Nikafungua mlango wa chumbani mara gafla nikajikuta nimeduwaa huku nikistaajabia kwa kile nilichokiona!
SONGA NAYO SASA…
Hakika nilihitaji ujasiri wa hali ya juu kuangalia ufuska uliokuwa ukifanywa na Masai pamoja na mume wangu Brian. Waliponiona walikurupuka na kuachiana. Nilimwangalia Brian kwa hasira hakika nilitamani hata kumchoma kisu. Nikamfukuza mlinzi chumbani kwangu, akatoka mbio na kwenda kuvalia nguo zake sebuleni. “Brian hivi mbona unanifedhehesha kiasi hicho, ni aibu gani hii lakini.” Niliongea kwa ukali na gadhabu ya hali ya juu.
Brian hakunijibu chochote, alikaa kimya huku akiwa ameinamisha kichwa chake chini kwa aibu. Nilipoona hanijibu nikatoka nje na kwenda getini kwa mlinzi. “Masai ni ujinga gani ule uliokuwa ukiufanya na mume wangu”. Nilimuuliza masai kwa sauti kali iliyojaa hasira za kufa mtu. ” Mama naomba unisikilize kwanza”Alisema masai huku akitetemeka baada ya kuona nimeokota fimbo. “Haya sema haraka” Nilifoka.
“Mimi nilikuwa nipo hapa kwenye lindo langu, mara nikasikia sauti ya baba akiniita ndani. Nikaamua kutoka na kwenda kumsikiliza. Nilipofika sebuleni akaniambia__Masai kuna kazi moja nataka uifanye endapo utaimudu nitakuongeza mshahara lakini ukienda kinyume na matakwa yangu nitakufukuza kazi mara moja” Alisema baba. Nikamuuliza “Ni kazi gani hiyo bosi” Hakunijibu chochote nikashtukia akinishika uume wangu kisha akasogeza mdomo wake karibu na sikio langu na kuanza kuninong’oneza “Masai nataka unifanye umesikia? hiyo ndio kazi niliyokuitia” Alisema baba nikajikuta nachanganyikiwa huku mapigo ya moyo wangu yakinienda mbio kwa woga kwasababu sikutazamia kabisa kama baba angeweza kuniambia kitu kama hicho!. Nilimkatalia lakini alizidi kunitishia kuwa atanifukuza kazi. Ikabidi tu nikubali na kumfanyia kile anachokitaka” Alisema masai.
EP. 04
ILIPOISHIA ……..
Nilimkatalia lakini alizidi kunitishia kuwa atanifukuza kazi. Ikabidi tu nikubali na kumfanyia kile anachokitaka” Alisema masai.
ENDELEAAAA…….
Nilijikuta nimeduwaa kwa maneno yake, Nikakosa hata cha kumwambia. Nikaamua kujiondokea zangu na kwenda ndani huku nikilia kama mtoto mdogo. Kwa aibu mume wangu aliondoka zake kwenda kutembea. Nikiwa nimebaki peke yangu kichwa kilitaka kupasuka kwa mawazo. Nilijiuliza “Hivi ujinga huu nitauvumilia mpaka lini, kwanini nisiende kuwataarifu wazazi wake ujinga wa mtoto wao. Ila nitaanzaje kuwaambia na waniamini” Nilijiuliza. Hata hivyo nilijipa ujasiri na kusema kwamba ni lazima nikawaambie, wasiponiamini shauri yao.
Nilishinda siku nzima nikiwa na mawazo. Sio siri nilimpenda sana Brian na suala la kumuacha lilikuwa gumu sana kwangu lakini ajabu ni kwamba usiku aliporudi aliamua kunikomesha kabisa.
TAHARUKI.
Mishale ya saa nne usiku Brian akiwa ameongozana na kijana aliyejengeka mwili wake kimazoezi. Alikuwa amejazia misuli kisawasawa na mahoni mwake alivalia miwani ya rangi nyeusi. “Joani huyu ni mgeni wangu. Naomba uniletee ile laptop kule chumbani kwangu halafu uipeleke kwenye chumba cha wageni nitalala naye huko maana kuna kazi ya muhimu nataka kumuonyesha” Nilitii maagizo yake huku nikiwa na langu moja kichwani. Kunipambazuka tu niende nikawaeleze wazazi wake. Baada ya kufanya kama nilivyoelekezwa. Mume wangu na yule kijana waliingia kwenye chumba cha wageni na kufunga mlango kwa ndani. Sikutaka kumfuatilia tena mambo yake niliingia chumbani kwangu kulala. Nikiwa katikati ya usingizi mara gafla nikashtuka baada ya kusikia mume wangu akipiga yowe “Ananiuwaaaa ananiuwaaaa, niacheee niachee” Alipiga kelele mume wangu kwa sauti iliyotawaliwa na machozi. Nikatoka chumbani kwangu taratibu na kwenda kusimama kwenye mlango wa kile chumba cha wageni. Mara gafla nikamsikia yule kijana akimwambia Brian. “Sikuachii leo mpaka urudishe pesa zangu ulizokunywa bia.” Hakika nilizidi kuduwaa.
JE JOANI ATACHUKUA UAMUZI GANI?
EP. 05
“Ananiuwaaaa ananiuwaaaa, niacheee niachee” Alipiga kelele mume wangu kwa sauti iliyotawaliwa na machozi. Nikatoka chumbani kwangu taratibu na kwenda kusimama kwenye mlango wa kile chumba cha wageni. Mara gafla nikamsikia yule kijana akimwambia Brian. “Sikuachii leo mpaka urudishe pesa zangu ulizokunywa bia.” Hakika nilizidi kuduwaa.
TIRIRIKA NAYO SASA.
Baada ya dakika kadhaa kupita, mlango ulifunguliwa, akatoka yule jamaa aliyejazia kifua na misuli. Nikashangaa kumuona akimalizia kufunga mkanda wake wa suruali kisha akanipita bila kuniambia chochote. Akatoka nje na kwenda zake. “Mhh inamaana huyu jamaa alikuwa anafanya mapenzi na mume wangu ah kwa kweli huyu mwanaume si bure ana pepo” Nilijisemea na kuingia ndani ya kile chumba cha wageni. “Haa!” Nilisema kwa mshangao baada ya kumkuta mume wangu akiwa uchi wa mnyama. Nilipotupia jicho langu pembeni, nikashika mdomo kwa mshangao baada ya kuona bikini ya rangi nyekundu.
“Brian hivi umefikia hatua ya kuvaa nguo za ndani za kike ahhh we mwanaume kwa kweli unahitaji maombi” Nilisema na kuondoka zangu kwa hasira nikarudi chumbani kwangu kulala. Nilijaribu kuutafuta usingizi lakini sikuupata, mawazo yalinizidia sana kwani kijana aliyekuwa akimuingilia mume wangu kinyume cha maumbile ni kijana wa hapohapo mtaani isitoshe ni mvuta bangi na mara nyingi huwa ni mtu wa kijiweni. Niliwaza je bangi zake zikimtuma kuwasimulia wenzake ujinga alioufanya na mume wangu watu watanichukuliaje. Hakika niliwaza sana lakini yote tisa nilipanga kukikucha tu niende kwa wazazi wake nikawaeleze.
Asubuhi kulikucha nikamwandalia Brian chai. Akanywa na kuondoka kwenda kazini. Alipoondoka tu nilijiandaa kisha nikachukua gari dogo alilonizawadia mume wangu siku ile ya ndoa yetu. Nikapiga honi mlinzi akafungua geti, nikatoka na kuelekea kijijini kwao mume wangu nje kidogo ya jiji la Dar es salam. Mpaka kufikia saa sita za mchana nilikuwa nishafika kwao Brian. Nilipokelewa kwa shangwe la kufa mtu kwani wazazi wa Brian walikuwa wakinipenda sana kiasi kwamba niliwaza namna ya kuanza kuwasimulia tabia za mtoto wao.
Baada ya kukaribishwa na kupumzika kwa muda kidogo. Nilianza kuwaeleza wazazi pamoja na ndugu wa Brian tabia ya mtoto wao. “Baba na mama jambo lililonileta kwenu ni kuwaeleza kuwa Brian amerudi kutoka marekani” Niliposema kauli hiyo familia nzima ilianza kushangilia kwa furaha na kuniuliza “Amerudi lini”. “Ana kaka wiki moja hivi toka afike ila kiujumla Brian amebadilika sana. Sio Brian yule wa zamani” Niliongea kisha nikakaa kimya kidogo. “Kwani amekuwaje” Aliniuliza mama Brian. “Siku hizi Brian anavaa hereni, shanga, vikuku na nilipomuuliza siku aliyofika akadai kuwa ni urembo tu lakini hamuwezi kuamini Brian alikuja na mwanaume wa kizungu kutoka marekani wakawa wanafanya mapenzi ya jinsia moja. Nilipokugua yule mzungu aliogopa na kuondoka. Nikamshukuru Mungu na kusema labda Brian atabadilika lakini baadaye nikaja kumfumania na mlinzi wa getini akaona haitoshi ameanza kuleta wanaume ndani. ” Niliongea huku nikibubujikwa na machozi.😭😭😭😭😭