MATAKO YAMENIPONZA 27
ONYO: Wakubwa tu wasome hii hadithi
Tulisalimiana na juma tukapiga story mama akapika tukala juma akawa anaondoka niksamksinikiza hadi Kwake tukaa nje tukapanga maisha yetu sikumwambia kama nimekuja na hela akaniambia ataniowa Basi nikarudi nyumbani kama wiki mbili zikapita nikaanza kumsaha baraka
Siku moja nilikaa na mama jikoni nikamwambia mama baraka anataka kuja kutoa mali mama akupinga maana alikuwa anampenda Sana juma Ila KWA yale yaliotokea ndo maana akataka niolewe na baraka ILi nitoke kijijini pale
Siku ya mali ikafika akaja kutoa mali sikapelekwa kwakwe maisha ya ndoa ya amani yakaanza alikuwa na mazao yake ambayo alilima wakati nipo mjini akauza tukanunua uwanja kwa majina yetu nilivyomuona kaniandika na mm kwenye uwanja nikamuonesha hela nikamwambia tujenge Basi zipo akanishauri tufungue ofisi faida tutakuwa tunajengea kweli tulifungua ofisi ya vyakula tukaanza biashara vitu tunaagiza mjini maeshara yetu iliimarika Sana tukawa tunaongoza kijijini kwa biashara mama alikuwa anampenda baraka Kama mwanae baraka nae alikuwa anamjari mama kama mama yake mzazi maisha yakaenda
Siku moja nilijisia kizungu zungu nikaanguka wakatafuta gari wakanipeleka hospital nikapata vipimo
Mume wa amina yuko wap?
Mm hapa nesi
Njoo ofisini wakaingia ofisini
Mkeo tumemkuta anamalaria tutamuandikia dawa harafu kingine mkeo ni mjamzito
😳😳Nn mke wangu mjamzito asante mungu
Sasa kuwa nae makini na muwanze kliniki mapema
Sawa nimekuelewa alitoka nje anafuraha
Nn mwanangu
Mama mke wangu mjamzito mwanao anamimba sio mda umapata ujukuu🤸🤸🤸🤸
Kweli!!!!? Inamaana sio mda nitakuwa bibi💃💃💃💃
Walifurahi Sana ata mm nilivyopata habari nilifurahi Sana maana kwa yale matatizo nikaic sitozaa Basi tukarudi nyumbani
Mume wangu alinidekeza Sana alinilea kwa madeko Sana hii mimba upendo uliongezeka
Miezi ikasonga ikafika miezi saba siku moja asubuhi nikakuta cm yangu inaiita kuangalia simu ya mama nikapokea
Shikamoo mama!
Marhaba mwanangu njoo nyumbani kunamatatizo uje na hela kidogo🙆🙆
MATAKO YAMENIPONZA 28
Juma juma
Nambie mke wangu
Mama anamatatizo kanipigia cm juma anavyompenda mama alikurupuka tukaenda kwa mama duuh tukamkuta baraka jamani wapo wanafungua soral nilipatwa asira nae kuniangalia akanikuta ninamimba kumbwa alishangaa
Aaah amina unamimba?
Ndio kwani uliambiwa mm mgumba
Nani kakuowa uyo?
Nimemuowa mm kwani unamdai sh.ngapi mama?
Namdai laki mbili kwani mnaela za kunilipa maskini nyie mnajaribu hadi kuniuliza juma akumjb aliingiza mkono mfukoni akatoa hela akaesabia laki mbili akampa baraka alitoa macho
Ww hela izi umepata wap?
Kwani uliambiwa kiwanda Cha hela unacho peke yako
Juma unazarau eeeh sasa nitona kama amina atazaa
Umesemaje baraka uliyomfanyia mwanangu ajalizika si ndio toka kwangu haraka
Natoka Ila mwanao atojifungua akaingia kwenye gari akaondoka tukabaki tumesimama
Usijari mke wangu maneno ya mkosaji tu
Lakini juma baraka ni mchawi kweli
Usijari uwezi shindwa tukarudi nyumbani mm nikabaki juma akaenda dukani maisha yakaenda miezi ikapita mbaka miezi kumi na moja sijisikii uchungu wowote mume wangu aliangaika Sana alikuwa anasali mda wote mm tumbo Nzito kama nimebeba mawe
Mke wangu nataka nimuombe mchungaji aje kukuombea
Sawa juma muite tuu maana ata sijui kama kunamtoto humu
Kweli jioni alirudi na mchungaji na waumini watano
Nikawakaribisha tukaanza nyimbo za kuabudu tuliomba masaa sita jamani hapo hapo ikapasuka sikuchelewa mtoto alitoka mbele ya mchungaji mtoto nilimzaa mnene mchungaji alishukuru mungu akashauri wanipeleke hospital maana nimezalia nyumbani mtoto wangu wa kiume kafanana na juma atari
Pole mke wangu nashukuru kwa kuniletea pacha wangu Basi nikapelekwa hospital mama asubuhi ndo alipewa taariba ya mm kujifungua daaah mama yangu faraha ilimzidi alisahau hadi ndala alikuja hospital peku
Amini ongera mwanangu mtoto gani?
Nimeleta juma mama
Eeeh ongeleni wangu Basi wakamuhudumia mtoto wakaniangalia na mm mchana tukarudi nyumbani maisha yakaendelea biashara ikaendelea vzr Sana👌👌👌
MATAKO YAMENIPONZA 29
Siku moja juma alienda mjini kujumua vitu kama kawaida yake katika pitapita yake alikutana na chizi Ila aliic kama anamjua akaachana nae akaenda kujumua vitu mara akamuona tena yule chizi Kuna vijana wakaanza kumzungumzia yule chizi
Yaani maisha haya bhana uyu bhana alikuwa alikuwa na hela Sana sijui kakosea mashart gani mbaka kawa chizi
Kwani unamjua?
Ndio si baraka uyu yaani jamaa nyumba yake ilidondoka tu juma alivyosikia jina la baraka akamsogerea chizi akagundua ni yy baraka Ila kachafuka Sana juma akanipigia cm akunisimulia akaniambia anamchukua anakuja nae kujijini kweli watu walimsaidia kumkamata wakamuweka kwenye gari usiku wakafika kijijini akamleta mbaka nyumbani mm nilikuwa namchukia Ila mume wangu aliniambia nisilipe ubaya mume wangu akamfuata mchungaji wakaja wakaanza maombi mchungaji aliomba hadi jasho masaa yanakatika tu mbaka saa tisa tupo macho na maombi akaanguka chini bado tukawa tunaomba akafungua macho juma akamwita baraka
Naam
Mm nani?
Juma
Na huyu je ?
Amina
Nn kilikupata?akaanza stori yake ya maisha
Naitwa baraka familia yangu ilikufa kwa ajari nikawa sina ndugu tena wa damu nikaenda mjini kuanza maisha na maisha yalikuwa magumu sana nilimpata mkaka mmoja ivi nilimuomba msaada akaniambia awezi kunipa msaada wa hela Ila anaweza kuniomesha sehemu ya kupeta hela
Kweli alinipeleka kumbe kwa mganga akaniambia nakupa iki kijiti uyu ndo atakuwa mkeo kila atachokwambia utafanywa kwa kuwa nilikuwa ninashida ya hela nikabeba kiumti nikarudi nacho nyumbani nilivyofika nyumbani nikajifungia geto nikawasha udi nikakiambia kimti nataka hela ya mtaji na kujengea nyumba nilivyofumbua macho nilikutana hela nyingi Sana nilifurahi nikaenda kumshukuru rule kaka nikanunua nyumba nikafungua na biashara kubwa nikarudi kwa mganga maana alinipa mda niende nikaenda nikapewa sherti kubwa na akaniambia nikikataa Basi nitakufa kile kijiti ni mke ambaye nitakuwa nakaa nae maisha yangu yote sasa nikawa najiuliza nitaishoje na kijiti🙆🙆?
MATAKO YAMENIPONZA 30
Tuliishia baraka anasimulia mali ya kichawi ilivyomtesa tuendee
Nilirudi nyumbani uku nawaza like kijiti Cha kichawi nawezaje kuishi nacho kama mke nikaambiwa nitafute wanyakazi wasiopungua wamnne
Nikampigia rafika yangu wa kike nikamwambia wanitafutiea machokolaa wanne kesho aniletee Siku iyo ikapita Siku inayofuata nikaletewa wafanyakazi
Baraka baraka mbona wafanyazi wengi wakati upo mwenyewe?
Nyumba kubwa sitaki kuwachosha
Pw me nasepa yule mdada akaondoka akawaacha wafanyakazi Siku ile ilipofika usiku Nililala nikaona kama mtu ananipapasa niliingia kwenye mapenzi matamu Sana baada ya kumaliza mm nikajua ndoka Ila nikasikia sauti nyororo unaniambia asante baraka nimeinjo nilishtuka kuangalia pembeni mdada mzuri sijawai ona tangia utoto ww nani?nijb kabra sijapiga kelele
Mm ndo kile kijiti ulichochukua kule kwa mganga ndo mm
😳😳😳😳Mm naogopa naenda kulala chumba kingine
Uwezi nikimbia ata ujifungie chumba kingine Cha msingi usikyuke mashart uliyoambiwa KILA nitachokuambia fanya sawa
Sawa malikia
Nenda kafungue pochi ile
Baraka akaenda kufungua pochi alikutana na mihela imejaa pochi nilivyoona zile hela nikasahai yote nikamfuata jini tukalala mbaka asubuhi
Asubuhi nikaita wafanyakazi nikawatambulisha mke wangu Maisha yakaenda siku moja tupo Chumbani usiku akaniita Baraka
Naam
Inatakiwa uwoe tunaitaji dam yako
Dam yangu kivp malkia?
Tunataka kitoto vitototo vichanga Ila viwe dam yako harafu tunataka uletelezi wa sehemu ya haja kubwa mwanamke
Sasa mm uwo utelezi naupataje?
Unavyomuingilia mwanamke kinyumbe na maumbie ukimaliza futia kitambaa icho kitambaa utakuwa unaniletea mm ila Ila ILO jambo awafanyie watu wasiozoea jambo ILO usiinde chukua wanaojiuza maana wanakuwa wametumika na watu wengu😰😰😢😢
Daah tulimuonea uruma Baraka anavyosimulia mume wangu JUMA, waumini,mchungaji walikaa chini mambo ni mazito akaendelea Baraka
Niliwaza nitawapata wapi wanawake wa aina iyo asietumia sana nikapata wazo la kwenda mjini kuwachukua,🙆🙆
MATAKO YAMENIPONZAÂ 31
Basi baraka akaendelea kutusimulia story yake
Nilivyowaza kwenye katikati ya mji nikaona nitawapata waliotumika Sana uyo rafiki yangu ndo akanipa wazo la kwenda kwenye vijiji nijifanye nawaowa harafu naenda kuwatumia kishetwani😢😢😢 na nikimpa mwanamke mimba akijidungua Mtoto nampa mke wangu jini hayo yalikuwa maisha yetu
Pole sana kijana ikawaje mbaka umefika ivi?
Siku moja tulilala malkia wangu akaanza kuungua uku anasema amina ananiua aliungua mbaka akapotea baada ya hapo nikahamka asubuhi nikatoka nje ya nyumba yangu nilikuwa naongea na cm bara nikakuta nyumba yangu inabomoka baada ya hapo kilichoendelea sikujielewa mbaka nafika uku
duuh pole Sana baraka
Asante juma naomba unisamehe amina nisamehe tafazani ni tamaa tu za hela
Sawa mm nimekusamehe
Mchungaji akamshuru mungu wakaondoka na waumini nikabaki mm juma baraka
Mm naomba nauli nirudi kijijini kwetu nikajipange na maisha Ila kabra ya kwenda kwetu naomba nikamuombe kwanza msamaha mama yake amina nilimnyanyasa Sana
Sawa tukalala asubuhi Sana tukampeleka kwa alikuwa anafagia uwanja alivyomuona tu mama kaja na ufagie ILi ampige nao baraka alimuwa mama akamshika akampeleka ndani sijui alimwambia nn baada ya dakika tano mama alitoa uku amepowa akaweka vigoda wakaa
Baraka alipiga magoti akamuomba msamaha mama mama akuwa na tatizo akamsamehe tukarudi nyumbani mume wangu akampa laki na nusu hela ya nauli na kuanzia maisha akarudi kwao
Mm na juma maisha yakaenda tukawa na maduka mawili matajiri wa kijijini tukaongeza mtoto mwengine tukalea kimisingi ya dini mbaka sasa mungu ajatuacha tunaendelea vzr
Walionibakaga walifungwa miaka kumi kila mmoja
              MWISHO
Mali za kishrikina sio nzuri tujitaidi kutafuta mali halari za bira mashart
       Â