MATAKO YAMENIPOZA 22
ONYO: Wakubwa tu wasome hii hadithi
Sawa dada nashukuru kwa ushauri wako
Aina shida Basi tukafika nyumbani kila mtu akaenda kwake
Nikaingia ndani Nikampigia cm mama nikamwambia kunabati nimetuma naomba uniwekee nataka kujenga
Eeeh mnataka kuamia na mumeo uku?
Hapana na ata akikupigia cm usimwambie chochote nataka nijenge nyumba yangu
Sawa Ila kwani mmegombana au?
Hapana mama
Sawa nitamwambia juma afatirie mm siwezi najisikia vby
Unaumwa mama au nikutumie hela uwende hospital?
Hapana ninahela mwanangu
Sawa mwambie juma Basi nikakata cm
Nikampigia juma nikamuelekeza akakubari tukaanza kupiga story za kawaida Ila nilimmiss Sana Basi nikata cm nikakuta sms kutoka kwa baraka nimekupigia unaongea mda wote leo ni zamu ya bi mkubwa kwa iyo sitokuja siku tano
Nikamjb sawa Maana na mm nikawa ata simmiss ata kidogo yaani
Nikaadaa chakula nikaa naangalia tv nikacht na juma nilivyochoka nikaenda kulala
Siku tano zilipita zamu yangu ikafika wakati nabridi akaja kulala kwangu nikamwamkia nipo siku zangu akaniambia aina shida si tukalala saa sita nakuta mtu ananipapasa mata…nikastuka baraka vp?
Ninahamu naitaji penzi
Mm si nimekwambia naumwa?
Sawa si unipe nyuma
🙆🙆🙆😢Baraka ivi ni ww kweli au nimebadirishiwa sio ww uliekuwa unanitetea kijijini?
Mm nilipinga unyanyasaji wa kubakwa mm ni mumeo nitatumia taratibu sitokuumiza
Daaah siwezi kukuruhusu kafanya ivyo
Sawa Basi naenda kwa mke wangu akaamka akavaa nguo akatoa laki akanirushia kitandani akaondoka
Nikaamka nikaenda kufunga mlango nikarudi kulala ulipitia usingizi nikastuka asubuhi nikafanya mambo yangu bira kumtafuta akinipia cm sipokee nioni akaja akawa kabeba zawadi akaniomba msamaha nilimsamehe Maana aliahidi kutokuniomba tena ILO suala alikuja na wine akawa anakunywa akaniambia nionje nilionja kidogo Sana akanituma nikamchukulie kitu chumbani nikaenda nilivyorudi akaniambia ninye tena nikanywa tulikuwa na furaha mara gafra macho mazito ayataki kuona kabisa naona kabisa ananibeba ananipeleka chumbani
MATAKO YAMENIPONZA 23
alinibeba taratibu akanipeleka Chumbani akanivua ngua nguo zote akanigeuza nikalala kifudi fudi akaniwekea mto katikati nikawa nimebinuka akachukua mafuta sijui mafuta gani yale Ila yapo Kama ya nazi akanipaka kwenye makalia kila anachofanya namuona kwa mbali Ila nguvu ata ya kuongea au kunyanyua mkono Sina alivyonipaka akajaribu kuweka kitole kikapita akaanza kuvua nguo alivyomaliza akapaka na yy naniu yake mafuta akaja akaweka daaaj😭😭😭😭😭😭😭😭Jamani acha tu alifanya mbaka akachoka anamaliza anaanza tena mbaka mishondo mitatu akaniacha nililia sio kwa sauti maana Sina nguvu nilipitiwa usinginzi Kuja kushtuka asubuhi nikakumbuka mambo niliyofanyiwa jana nikaic ndoo Kuja kujikagua daaaaah😭😭😭😭😭😭Nikaanza kulia nachukua cm nimpigie mama nikamkuta cm imewekwa juu ya hela laki tano nikamkuta sms kwenye cm kutaka kwa Baraka,,,,samahani Jana nilizidiwa
Nikafyonya nikawaza nikimwambia mama nitamuuwa kwa mawazo wakati nawaza hayo mlongo wa Chumbani ukafunguliwa kaingia Baraka anatabasam
vp mke umeamkaje? Kama unajisikia vby nikupeleke hospital Ila naomba nisamehe
Baraka siwezi kukusamehe nakupeleka police
Nipeleke Yaani siwezi kaa ata nusu saa mke wangu atanitoa Ivi unajua kazi ya mke wangu ww ?
Kwanza nilivyokupeleka kwa mke wangu siku ya kwanza akukupenda akasema nikurudishe kwenu Ila kutokana na hela niliyokupa tangia upo Kijijini ndo maana nikaona leo nifidie tu
Kama autaki nikupeleke police nipe talaka yangu
taraka tu ngoja nikuandikie maana ndicho kilichonirudisha alichukua peni akaandika fasta akanipa niliumia🙆🙆🙆
Na kwa kukuonea huruma chukua na hii hela ya kuanza maisha maana kwenu ziki Sana
Nilipokea sikuzila hela Jamani jumla nikawa na milioni na laki tano akaniambia naomba uwondoke leo jioni nikija nisikukute harafu akaondoka
Nikabakia nikakusanya nguo zangu nikajiandaa kwa ajiri ya safari ya kurudi kwetu
Nimeitwa ndo maana fupi mnisamehe
MATAKO YAMEPONZA 24
Niliwaza nikasema niliwaza nilimfuata yule dada jirani nikamuuliza kuhusu usafiri akaniambia magari ya mkoani yanatokaka asubuhi kwa iyo nimechelewa
Kwanza mama anaumwa?
Hapana nataka kurudi nyumbani tu siwezi aya maisha
Kwani kunatatizo?au kakuingilia kinyume na mahumbile?
😳😳Umejuaje?
Namjua baraka kuliko ww unavyomjua wamekuja hapo wanawake wakila aina mmoja alimzalia watoto wawili mtoto wa kwanza alivyofika umri wa mwaka akampa mimba tena mtoto akaenda kwa bimkubwa uyo dada wakati anamimba aliletewa taarifa Kama mtoto kafa gafra na alivyozaa wa pili uyoo dada atujui alienda wap Ila mtoto alibaki kwa bi mkubwa Ila za chinichini inaonekana alihuwawa
Sasa watoto wanawapelekaga wapi sijui Ila pale nyumbani awapo na mwenye mali ni mwanamke sio mwanaume
Nakushauri nenda kwenu ata kama ni maskini bora ukarime mwenzio alikuwa analalamika anaingiliwa kinyume na maumbile kila siku harafu mbegu anaondoka nazo zinaenda kwa
MATAKO YAMENIPONZA 25
Mbegu anachukua zinaenda kwa mke wake Naic wale wanamali za kushirikina
Mmmh nilichoka nikamuaga nikarudi ndani jioni ikafika nikapika nikaala nikawa nasubiria mda wa kulala kesho asubuhi nianze safari ya kurudi kwetu
Ngo ngo
Nani wewe?
Fungua mlango unafunga mlango nyumba nyumba yako?
Nikajua baraka nikaenda kumfungulia kaja na bint wa miaka kama 18 ivi yupo na begi
Ivi ww uoni wageni uwezi kumpokea?kwani si nilikwambia uondoke unasubiri nn?
Nimekosa gari mbaka asubuhi
Aya peleka mabegi chumbani hii nyumba ya oriva kuanzia sasa wewe imekushinda ondoka
Sawa nitaondoka asubuhi
Yule binti alikuwa mstarabu akanisalimia vzr
Shikamoo dada!!
Marhaba karibu mdogo wangu
Asante mara sms ikaingia kwa baraka alivyosona tu wewe amina mm naondoka ole wako umsumbue uyu binti nitakutafuta popote uwendako
Uwe na amani tu simsumbui
Baraka akaondoka tukabaki na uyu binti
Ivi unaitwa nani mdogo wangu?
Naitwa oliva
Umekutana nae wapi baraka?
Kijijini kwetu alikuja na wale waweka soral
Kakwambiaje uko peke yako au kakwambia anamke?
Kaniambia mke wake amina Ila kamuuzi wameachana karudi kwako nashaa nimekukuta mm sitaki matala bora anirudishe kwetu
Pole mm mwenyewe nilidanganywa kama ww uyu anamke wake tena anamuogopa mke wake balaa nakuonea uruma natamani nikwambie mengi Ila siwezi cjui kakudanganya nn ila jua sio mwanaume anamambo ya ajabu Sana mm sijamliza ata mwezi naondoka kwa iyo kama unanipenda ondoka Ila kama ujipendi baki
Dada aminam naondoka saizi hapa
Hapana subiri niondoke mm ukiondoka ukiniacha mm hapa ataniuwa atajua nimekwambia mambo yake tukalale asubuhi usimwambie chochote jioni toroka nenda kwenu najua akija asubuhi lazima akuachie hela Nzuri tu ndo uitumie usafiri
Sawa asante dada tukaenda kulala asubuhi tukaamka
Nikajiandaa nikawa nataka kuondoka mara akaja baraka oriva mke wangu
Abe akatoka oliva wakakumbatiana
Vipi amina ajakusumbua usiku?
Hapana ajanisumbua ni mtu mzuri
Vzr ngoja nimpe zawadi akanipa……🙆🙆🙆🙆
MATAKO YANANIPONZA 26
Ngoja nimpe zawadi alinipa laki moja jamani nilipokea sikuzila hata kidogo niliingia chumbani nikachana kanga nikafunga hela zangu vzr kile kinguo nikajifunga kiunoni nikajifunga vzr alinifundisha bibi nikatoka nikachukua begi nikatoka nikaenda kwa jirani nikaomba ampigie bodaboda akampigia boda bira akaja akanibeba akanipeleka stendi nikapata Basi nikakwea safari ya nyumbani ikaanza
Jamani sikuamini nilifurahi Sana nikikumbuka matatizo niliyopitia sihamini kama narudi nyumbani yaan daah
Nikafika saa kumi jioni nikafika stendi ya kwetu sikuamini nilishuka kwenye basi kila mtu alikuwa ananiangalia nilivaa gauni nzuri nikaifuata bodaboda nikamwambia anipeleke nyumbani nikakwea tukaondoka mama na juma sikuwaambia kama narudi leo
Nilifika nyumbani nilimkuta mama anapika alivyoniona alinirukia nilivyomuona mama nilimkumbatia Nikaanza kulia nililia mama anashangaa tu
Dada naomba hela yangu niende
Sh.ngapi mwanangu?
Buku tu mama
Mama akaenda ndani kumchukulia hela boda akaondoka tukabaki na mama
Mwanangu yamekukuta nn mbona unalia?
Mama baraka Sio mtu kabisa Sio yule uliekuwa nae kujijini mama baraka kanifanyia kitu kibaya😭😭😭
Kakufanya nn?
Baraka anamke baraka alinifanya nyuma mm😭😭
Nini baraka huyu huyu au ulikosea mwanangu we mkolofi
Hapana mama Nikaanza kumsimulia mama alilia Jamani alilia mbaka alimkumbuka mume wake
Mama nyamaza nimerudi salama usilie Sana
Tukanyamaza pale tukaanza kusalimiana pale basi akaingia jikoni kuendelea kipika nikachukua cm Nikaanza kumpigia juma
Hallo
Eeh nambie amina kwena !
Ninamatatizo naomba umpelekee cm mama sasa maana simu yake aipatikani
Juma kwa haraka yake bira ata kupiga cm kwa mama akakurupuka mbaka nyumbani
Mama hodi
Karibu mwanangu
Asante shikamoo amina kanipigia cm kasema anatamatatizo nikuletee cm anamaliza kuongea mm nikatokea Jamani juma alitoa macho😳😳
Amina kwa nn umenifanyia Ivi lakini Ivi unajua nimekimbia kiasi gani juma alikasirika nikambembeleza akanisamehe