MATAKO YAMENIPONZA 17
ONYO: Wakubwa tu wasome hii hadithi
Mama akawaona mashoga zangu alitafuta fimbo akaipata akasogea kimya kimya alitawandia walipoteana walitoka mbio💃💃💃
Ole wenu mje tena hapa nyumbani mm na juma tukaanza kucheka
We amina me natoka naenda sokoni kule kunajambo naenda kulifanya usitoke hapa juma mwambie mdogo wako asitoke
Sawa mama uyu atoki utatukuta hapa hapa
Sawa
Mama akaenda nikabaki mm na juma
Amina mdogo wangu unaenda kuolewa usimsahau mama mm kaka yako Sina hela na unaniona usijisahau ukifika mjini
Lakini mm nataka kwenda na Nyie mjini
Hapana nenda ww sisi tuache epuka tu tamaa usiwe msaliti kwenye ndoa
Sawa kaka
Siku zikawa zinaenda siku ya ndoa ikafika wakaja watu wachache tukafunga ndoa ya Kijijini akaniambia sherehe kubwa itafanyika mjini hapo moyo upo kwa juma na juma ananichukulia Kama mdogo wake nilimuaga mama uku nalia baraka alimpa mama hela za matumizi na cm ndogo
Ila juma ndio alimpa cm kubwa wakawa marafiki sana
Tulidamka asubuhi safari ya mjini ikaanza saa tisa mchana tukafika mjini akanipeleka mbaka kwenye iyo nyumba tutayoishi nyumba ilikuwa ya kawaida Ila kubwa nikamkuta mkaka akasema ni mdogo wake kabisa
Nikaoneshwa mazingira Ila sikuona nguo za baraka ata moja
Kwani ww humu ujawai kukaa
Ndio sijawai kukaa hapa ninakwangu kwa nn umeuliza?
Sijaona nguo Zako
Usijari zinakuja mm natoka nitakuja kwesho shemeji yako kakupikia kula upumzike
😳😳😳Mmh mbona unaniacha peke Yangu?
Tutaongea vzr kesho barak akatoka shem akanibembeleza kula nikagoma nikaenda chumbani
Kesho yake akaja na nguo kidogo ilikuwa asubuhi
Za asubuhi mke wangu?
Nzuri za uko utokako?
Wazima wot
Umelala wapi?
Twende tukaongelee chumbani sio hapa
Tukaingia chumbani haya niambie umelala wapi mwenzangu
Amina najua nitakuumiza kwa nitachokiongea mm ninamke ww ni mke wa pili mke wangu anatatizo la kutokuzaa akaniruhusu niowe mke wa pili mwanzo nilikataa kabisa ushauri wake Ila siku niliyokuona moyo wangu ulikupenda nikamwambia mke wangu akakubari
Ndo nikaanza mipango
ðŸ˜ðŸ˜Yaani
MATAKO YAMENIPONZA 18
Nikaanza mipango ya kukuowa Ila ninamke tunamakampuni tunamashule mke wangu ndo anasimamia ata ww ukiwa karibu nae atakupa ata biashara moja ni mtu mwema Sana
😳😳😳😢😢Nilichoka Sana inabidi nimuulize kwa iyo zam siku ngapi?
Kwako nitakuwa nalala siku mbili kwa mke wangu siku tano tulikubariana ivyo
Aiwezekani zam weka sawa sawa kama ni ivyo nirudishe kwetu
Aina shida Kama unataka kurudi Ila jua nakupenda Sana Sana
Sasa Kama unanipenda kwa nn utaki kuweka zam sawa sawa
Mm na mke wangu tulikubariana ivyo kabra ya mm kuoa Naomba nielewe
Nikawaza mm ni mjinga Sana nikisema nirudi nyumbani nitaenda kufanya nn bora nijipange tu huku huku nikakubari japo kishongo upande
Sawa nimekubari kwa iyo leo unalala hapa hapa?
Hapana mbaka siku tano ziishe maana nimekala kwenu siku nyingi Sana Ila nataka tuinjoy leo
Nilijikuta namchukia yule baraka nilikwazika Sana Ila nikawa sina jinsi
Basi tukaingia chumbano tukasex ata raha sikuona anaparamia tu kweli huyu anataka mtoto tu alivyomaliza akaniachia Kama laki mbili hela za matumizi izi
Nilipokea akaondoka niliwaza yale maisha sikuyapenda ndoa unamashart Kama yupo kwa mke wake usipige cm Mmh aya maisha gani jamani ?
Mara sms ikaingia kwenye simu yangu from baraka(mke wangu anataka kukuona)
Me nikajb sawa lini?
Leo jioni nitakuja kukuchukua
Sawa nikaatulia pale mbili aikai wala moja aikai nawaza nifanye nn maana hii ndoa hapana shemeji alikuja siku moja tu akaondoka
Mda jioni ukafika baraka akaja na gari akanichukua tukaenda nyumba wanayokaa🤦🤦🤦🥰🥰nzuriii bonge la mjengo tumepita getini tukashuka nyumba Nzuri jamani uwiiiiiiii tunaingia sebleni utasema huu ukumbi umepambwa Kuna ndoa🥰🥰daaah maisha haya wengine tunasindikiza tu🤣🤣
Tukakaribishwa na wadada walikuwepo wanne wote wafanyakazi amina kaa
Nilikaa mbaka uwoga nilitulia tuli🥰🥰🤣
Jamani harafu ikaanza kuja Nzuriii nikaic kunamajini mle ndani
Alitokea mdada maji ya kunde kapanda hewani mzuri jamani uwii🤣🤣🤣🤣
MATAKO YAMENIPONZA 19
Jamani alitembea Kama twiga yaani mm na Matako yangu siingii ndani kwa yule mke wa baraka jamani mzuri mmmmh
Nilitulia anavyokuja baraka akaenda kumshika mkono wakaanza kuja niliumia Ila sikujari Sana akakaa akaja muhudumu na juice grasi alilotumia sijawai kuliona tangia nizaliwe
Na mm nikaletewa juice grasi tofauti baraka yuko bize kumshika shika mke wake kanisahau kabisa
Karibu binti
Asante dada shikamooh
Marhaba
Ww ndo amina
Ndio
Sasa sisi shida yetu watoto umekuja kwa ajili ya kuzaaa kwa iyo naomba jitaidi kwa ILo mume wangu anashida yeyote zaidi ya kuzaaa
Daaaah😳😳 niliumia watu wenye hela atali
Sawa dada ok
Amina uyu ndo mke wangu nampenda Sana tena Sana akuna mwanamke ataeingia Kama mke wangu
😳😳😳Nilijisikia vby Sana wakaja mabinti wawili karibu malkia mezani baba karibu mezani dada ambaye ndo mm sasa mfanyakazi ananiita dada karibu mezani
Alinyanyuka yule dada tukaelekea mezani meza imepambwa ndefuu iyo tukakaa vyakula vingi duuuuh mimi sijui kama unatakiwa kuchukua kidogo kidogo nilichukua ubwabwa sahani imejaa na kuku daah wafanyakazi wakaanza kucheka Ila awatoe sauti wafanyakazi wote wamne wametusimamia jamani maisha aya acheni tu 😋😋
Nikala nikavimbiwa vitu vitam atari yule dada anakula kidogo Kama anautumbo akanyanyuka akaondoka amina twende nikupeleke nyumbani nikainuka safari ya kurudi kwangu iyoo
Tumefika kwangu nafungua mlango najua mwenzangu ameshuka kawasha gari kaondoka niliduwaaa mlangoni🙆🙆🙆
Nikaingia ndani nikatulia kwenye sofa sasa niliwaza nikifikilia alivyokuwa anamcare mke wake nikajua tu anipendi anampenda mke wake nikawaza mbaka usingizi ukanichukua nikashtuka asubuhi Sina raha simjui jirani Sina shoga mume kanitenga😢😢😢😢
Dar aya maisha sio pw nikachukua cm nikataka kumpigia mama nikawaza nitampa ofu nikaona nimpigie juma
Juma akapokea
Amina mambo
Pw nambie nimekumic juma
Ata mm nimekumic mdogo wangu nikaanza kumsimulia juma mwanzo mbaka mwisho mmmmh😢😢😢😢😢😢😢😳
MATAKO YANANIPONZA 20
Nilimpigia juma nikamwambia kila kitu
Ww amina uwamuzi wako nn?
Mm nataka kurudi nyumbani siwezi kuishi matala Ila nataka nipate hela ya kujengea nyumba uko na ya kuvungua bushara
Sawa ila nakuonea uruma
Usijari mpenzi nitakuwa sawa
😳😳😳We amina umeniitaje?
Juma mm nakupenda Sana huku niliolewa Basi tu ila upendo upo kwako nakupenda toka moyoni kabisa
Mmh acha utani nakuheshimu Kama mdogo wangu
Najua ivyo Ila jua ninakuja kuishi na ww naomba usiowe utakuja kuniowa mm
Ila ww umeolewa?
Sikai na baraka aliyonifanyia Sina hamu
Sawa kuwa makini
Sawa nakupenda juma
Nakupenda pia amina Ila uwe makini
Siku tano zikaisha ikaja zamu yangu mwanaume anakuja saa nne
Mbona umechelewa kuja?
Nilikuwa nakula mke wangu kama nipo mjini awezi kula peke yake
Yaani auli huku kwangu leo si zam yangu
Hapana amina mke wangu sitaki aumie
Mm ni nani kwako mbona unanivuruga
Ni mwanamke ambaye napenda unizarie mtoto
Daaah🙆🙆🙆😢 aya maisha nitayaweza kweli
Akaingia chumbani nikamfuata akapilitiliza kuona akajimwagia akatoka jitaidi uku chumbani kuwe na harufu nzuri nunua manukato
Sawa tukalala kadamka asubuhi mm nimelala kajimwagia maji kaacha laki nne kaondoka mm kustuka mtu ayopo nachukua cm nimtafute nakuta sms nimeenda kwa mke wangu hiyo hela nunua na manukato Mmh nikakumbuka mke wake anavyonukia mmmh sinunue chochote hela naiweka
Siku ya mbili akaja akanikuta sijanunua akaniuliza nikamwambia nilikuwa naumwa tumbo sijanunua
Usiku Kama saa nne akaniamsha akaanza kunipapasa mara akanipelekea kitole kwenye tigo yangu nikashtuka
Sasa unashtuka nn?
Mbona unapeleka kidole uko?
Kwani kunashida wewe si mke wangu napapasa naingiza kidole tu
Hapana siwezi mm sitaki kabisa
Eeeh sasa unazani mume anapangiwa mume apangiwe muache afanye anachojisikia yeye mbaka achoke
Mm sitaki tafazari sawa nikakunja sura
Sawa yaishe akatoa mkono tukasex kawaida
Asubuhi akaacha tena hela laki mbili akaondoka kabra sijaamka nikakuta sms hiyo hela kanunue chupi nzuri🙆
MATAKO YAMENIPOZA 21
Nikanunue chupi nzuri!!! mmmmh😳😳makubwa chupi sinunui kwanza ngoja nitoka nipate ata wenyeji wawili watatu nikaoga nikanywa chai nikatoka nje kuangalia wa kujipendekeza nae nikaangalia pembeni nikamkuta jirani anafua mdada ivi nikaenda
Habari dada!!
Salama kwema?
Kwema habari za hapa?
Nzuri karibu
Mm nakaa nyumba ile pale nimeona nije kuwatembelea majirani niwajue
Ooh karibu Sana kwani mdada aliekuwa anaishia humo kaisha ondoka au ww ndugu
Mdada gani?
Mke wa baraka binti mdogo dogo tu alikuwa anaishi hapo Kama mwezi ivi sijamuona sasa
Mmh🙆🙆🙆🙆dada mm mwenyewe sielewi kitu nimeletwa hapa na mume wangu baraka sasa sijajua ww unamzungumzia baraka gani
Baraka mwenye nyumba hii yule binti alikuwa rafiki yangu ila sijamuona mwenzi sasa ila mara ya mwisho kumuona alikuja hapa aliniambia anaweza kuondoka maana uyo baraka alivyoona ashiki mimba akaanza kumchukia uyo binti
😳😳😳😳Niliishiwa nguvu nikajikaza nikamuomba Kama atakuwa na mda anipelekee mjini nikanunue vitu
Sawa ngoja nimalize kufua niwambie na wanangu nikimaliza nitakuja kukwambia twende
Sawa
Nikarudi kwangu nikapika na mm nikala nikaoga nikakaa naangalia tv uku nawaza yale maneno aliyoniambia yule mdada inamaana anakuleta usipozaa anakufukuza duuh
Odi odi
Karibu yule dada akaingia ndani akakaa
Nimemaliza kazi tunaweza kwenda
Ndio nimeishajiandaa tukaenda tukafika mjini nikamwambia nataka kutuma bati kwa mama stendi ya magari ya mkoani iko wapi?
Twende ipo upande huu tukaenda nikamuelekeza mpokeaji mizigo nikamwambia mzigo anakoenda akaniambie nikalete izo bati
Tukaenda na yule dada kununua bati tukapelekewa stendi tukabuku nikamwambia nipeleke na sehemu ya kununua nguo tukaenda nikanunua nguo chache za kuzugia na chupi tatu nikamnunulia na yule dada gauni maana katumia mda mwingi Sana tukaanza safari ya kurudi tukaanza kuongea njiani
Yaani bora uwe unanunua vitu unapeleka kwenu maana baraka atabiriki anampenda Sana mke wake🙆🙆🤦🙆😳🙆