WIFE MATERIAL 31
Nilimpigia simu naye hakuchelewa kupokea,nikamwambia hiv kwa mfano nikikuambia umefeli kitu Cha Kwanza utafanya Nini?akasema kufeli na kifaulu yote ni matokeo sitakua na Cha kufanya zaidi ya kushukuru tu kiwa nimefanikiwa kumaliza elimu yangu nikiwa mzima na mwenye afya.
Nikamwambia hongera bwana dogo umefaulu una division two jitahidi tuu utoboe,ufike mbali zaidi form five na six hizo zinakuita.jaman alifurahi Sana,akasema ngoja nimwambie mama,akakata simu.
Baadae alinitafuta Tena na kuniambia keshokutwa narudi mama amesema ananitumia nauli nije Kuanza tuition ya maandalizi ya form5.nikamwambia sawa dogo Amna shida.
Siku tatu mbele nikiwa nnalisha mbwa wangu chakula,nilizibwa macho kwa nyuma nikasema we Nani ebu niache,alipotoa mikono alikua ni Eliza surprise teacher!!!nilicheka Kisha nikamwambia Eliza unavituko Sana wewe Yan kunifanyia Mimi surprise wakat nnajua kabisa unakuja,akasema ndio unajua nnakuja Ila sio hapa kwako ulijua nakuja tu mkoani,nikamuuliza umeingia saa ngapi akasema muda sio mrefu Sana ni Kama lisaa limoja nyuma.
Nikamwambia aisee umependeza Sana,kumbe kusoma Napo huwa Kuna wafubaza eeee,akasema Sasa nimependeza na Nini mbona Niko vile vile?nikamwambia umekua na mwili mzuri Yan umenenepa izo nywele ulizosuka na hiyo rangi ndo umezidi kuwaka,tofauti na ulivoondoka hapa mala ya mwisho unanyoa Basi ulikua unaonekana mdogo Sana.
Kiukweli alipendeza alibadilika mno Eliza,nikamwambia Karibu Mimi nipo,akasema sawa Asante mie naenda nilikuja mala moja tu kukusalimu,nikamwambia sawa kwaheri na hongera Sana kwa kufaulu.akaondoka zake.
Siku zilienda akaanza Sasa ile pre form five,Kila siku anaenda tution,Kuna siku alinipigia simu na kuniambia kuwa Kuna kitu kinamshinda aliomba nimuelekeze,nikamwambia sawa leta try nyumbani nitakuelekeza maana comb analotaka kusoma yeye namimi ndo nilisoma Hilo Hilo A_level.
Alikuja mida ya jioni na notebook yake pamoja na kitabu tulipiga kipindi pale lengo langu aelewe haswa,niliamua kujitoa kwaajili yake,nilimfundisha uzuri wake anakichwa chepesi.tukiwa tunaendelea kufundishana niliona mtu uso unabadilika,nikamuuliza vipi mbona unakunja uso hivyo?akasema najihisi kuumwa ni Kama kichwa kinauma Sana,nikamwambia Basi kaa pale upumzike Kwanza,nikamuwekea mto chini akalala kwenye zulia,nilipojaribu kumgusa niligundua kweli anaumwa Sana kwani mwili ulipata joto Sana,nikachukua diclopa Mr nikampatia ameze,alikunywa na maji akapumzika hapo alilala usingizi kabisa nikaenda kukaa karibu yake huku nampima joto.
Niligundua kuwa joto linapungua mwilini kwake,kadri muda unavoenda,iliangalia ule uzuri wake kwanzia kifuani usoni Ile rangi adim Hadi miguu nilijikuta tuu nnamtamani Sana.
Nilipata matamanio ya kimwili,nilishindwa kujizuia nikasema Kwan kuwa nae huyu inaitaji kumtongoza?jibu hapana kwanini,nikwasababu hata yeye ananielewa Sana.
Nikamnyanyua vizuri Hadi chumbani nikamlaza vizuri kitandani,nikamfunika na shuka,nikaenda bafuni kuoga ili kujiweka sawa mwili.niliporudi niligundua kuwa ameshaamka Ila ananiigizia Kama bado kalala,nilipomuangalia usoni amefumba macho Ila hayatulii nais mnajua mtu akiwa hajalala usingizi vile macho yanavoangaikaga.
Nilijifuta maji kwa taulo Safi,Kisha nikapanda kitandani,nikalala kwa nyuma yake Kisha nikamshika sehemu ya kiuno chake,nikamuita kwa sauti ya chini, Eliza,akaitika bila kusita abee,nikamuuliza unanipenda?akasema nakupenda Sana,nikamwambia Asante,nikamwambia geukia huku basi,aligeuka upande wangu na tukavunja Ile amri ya Saba kati ya zile amri kumi za Mungu.
Niliisi hakufurahia tendo,kwani alionesha kuumia Tena japo alijikaza tuu nikamwambia pole Eliza,akasema asante nikamuuliza umeumia Sana?akasema nimeumia Ila nmefurahi zaidi kuliko kuumia,nikamuuliza kwanin?akasema sikutegemea Tena Kama itakuja kuwa hivi.
Nikamwambia ni saa nne Sasa unaweza tu kwenda nyumbani nasijui utamwambia mama yako ulikua wapi!!!akasema hawez kunifanya kitu ni kawaida yangu kuchelewa kurudi huwa naenda kujisomea na wenzangu usiku,ndio maana unaona Hadi saivi ajapiga simu sio swala geni kwake.
Nikwambia sawa twende nikupeleke akasema hapana nitakusababishia matatizo we muite tu boda anipeleke,nikamwambia sawa,nikampigia boss sim akamfata.
Alienda kwao huku nyuma namimi Sasa nikiwa mwepes kidogo maana nimuda sikufanya mapenzi,nikasema Sasa leo angalau nilale vizuri,Wala sikumuwaza Kama mpenzi ilikua imepita iyo.
Sababu nilianza kwa kumtaman na sio kumpenda Ila kilichonishangaza ni Ile kuendelea kujitunza tuu,Yan alijitunza Sana kwan alionekana ni bado kabisa ule usichana aujatoka vizuri nililigundua Hilo wakat namuingilia.
Siku zilienda alisimama Kama mpenzi wangu Sasa ila ni ile tu nikiwa nnamuhitaji kwa show namuita tunafanya yetu anaondoka,na kumfundisha sikuacha,Hadi pale alipopangiwa shule na kutakiwa kwenda kusoma morogoro,aliniambia Fred siwez kwenda morogoro,nikamuuliza kwanini?akasema siwez kukaa mbali na wewe.
Nilimwambia nenda kwa ajili ya faida yako haya mapenzi yapo tuu dogo,akasema sawa,lakini iyo siku alinifata na kuniambia kuwa nimepata shule hapa hapa Ila ni private sio Tena ile ya morogoro ya serikali nimemwambia mama siendi morogoro amenielewa na atalipa ada…
WIFE MATERIAL 32
Basi Eliza alisema amepata shule hapa hapa Wala hatosafiri kwenda mbali,nikamwambia shauri zako ukiendekeza mapenzi hata uko shule utafeli tu,alafu unawapa wazazi wako mzigo Sana,waanze kulipa Ada nyingi wakati umefaulu shule nzuri tu yenye gharama nafuu.
Alinitamkia na kuniambia najua hunipendi Ila,lengo la kubaki hapa ni kukujenga wewe unipende mie nasio h
Kunitamani tuu,wewe Fred unanipa heshima yangu tunapokua kitandani tuu Ila nje ya hapo unaninyali Sana.
Nikamwambia ipo siku utakuja kujua kwanini nafanya haya yote.
Alianza masomo yake anaenda shule anarudi nyumbani,alikua anaemdelea vzr Ila kiukweli sikumuonyesha Kama nampenda,Ila hakuwahi kuniomba pesa hata siku moja,namimi nilishawai kumpa Ela yangu mala moja tu alipokua anasafiri Basi.
Siku zote namtumia bure tuu,niliona wanawake wote ndo wale wale tu.muda mwingine akija akinikuta nimekaa ovyo namnunia bila sababu ya msingi Basi ananibembeleza na kuanza kuniomba msamaha bila kosa lolote.
Muda mwingine akija kwangu Kama simuhitaji namfukuza,kiulweli nilimfanyia Mambo ambayo sio ya kibinadam,nililipiza mabaya yote niliyofanyiwa na Natasha,seche na evo.mzigo wote nikampa yeye nilimtesa kwa kweli.
Ila hakuwai kunidharau Wala kunisema vibaya,aliniganda Kama luba.siku zilienda hatimae aliivuka form five salama na kuingia form six.uzuri wake uliongezeka,alikua mrembo Sana sitaacha kumsifia siku zote za maisha yangu,naweza sema Kati ya wasichana niliowahi kuwa nao Basi Eliza kwa uzuri ndio namba moja.
Nikajikuta Sasa naanza kumpenda Yani ile nilijiona kabisa naingia mazima mazima kwa huyu mtoto,Ila nikasema namuweka mtego wa mwisho Kama ataweza kuuvuka nitaamini kuwa hatobadilika Tena.
Siku iyo alikuja kwangu niliongea na mwalim mwenzangu wakike tulizoeana Sana Mambo mengi nilimshirikisha,nikamwambia Kuna mtu nataka nipime upendo wake,naomba unipigie mida ya saa 11 tuongee Kama wapenzi.yule madam alikubari.
Jioni nikiwa kwangu nilimpigia sim Eliza alitoka shule aje,alikuja alipofika tu nikamtumia madam mesej nipigie,alipiga nikaanza kuongea nae.huku nimeweka loudspeaker na Eliza anasikia Kila kitu.
Akasema vipi sweet mbn unaongea polepole umelala?nikamwambia Amna nimekaa tuu my!akasema nmekumiss jmn lini nije?!nikamwambja kuwa huru mama ukitaka njoo hata kesho,akasema sawa love nisije kutana na vimada vyako huko sitokuelewa.
Nikacheka Kisha nikamwambia mpenzi,shida yako ni Nini na unajulikana Hadi nyumbani wew mama,baba na ndugu wote wanakujua Hawa wengine ni michepuko na Wala sina future nao.
Akasema sawa nakupenda Fred wangu nikamwambia nakupenda pia ma watoto mida Basi.
Nikakata simu nilipoangalia uso wa Lizzy ulikua umejikunja alilia Sana akasema Yani hunipendi Hadi unanioesha sijapenda kabisa hii tabia Ila Fred ipo siku utanikumbuka nakwambia,ni wanaume wengi Sana wananipenda huko njiani Ila sijawai kuwakubali sababu nakupenda wewe,
Natongozwa na watu wenye hadhi kubwa Sana magali ya maana majumba ya maana wanangazi kubwa huko serikalin lakini nimeganda kwako tu hujawai kujali kuhusu hisia zangu unanitumia tuu,unawanawake wengine nasema Asante.
Nikamuuliza kwaio unanitisha?akasema sikutishi Ila nakwambia nikamwambia Basi bwana we fata ustaarabu wako mapenzi hayalazimishwi.wafate hao wenye hadhi kubwa serikalini.
Alinifata na kunikumbatia kwa nguvu huku analia,akasema Fred sikuachi hata iweje,nipo tayari Sasa kuwa mchepuko wako na nitaenda vile unavotaka wewe.
Nikamwambia we nenda tu kwenu kwa Sasa ukapumzike.nilimfukuza nikabaki ndani peke angu aisee Ile kitu iliniuma Sana Yani niliumia nusu chozi litoke Ila nilijikaza tuu.
Nikasema kwa hapa inatosha kupima upendo wa Eliza,huyu binti ananipenda hakuna mwanamke ambae angeweza kuvumilia haya yote…alivofika kwao hakunitafuta namimi nilipanga siku moja ili niweze kumwambia ukweli wote wa maisha yangu yote niliopitia na kwann nilimpima kwa style hiyo.
Nikamwambia kuwa mwisho wa mwez huo nitamuita aje tutoke mahali nitakua na mazungumzo nae alikubali Wala hakukataa.
Kesho yake Sasa nilishangaa mtu kaja Tena kwangu,nilicheka tu akaniuliza unacheka nini Fred?nikamwambia nimefurahi tuu akasema mh?app kimoyo moyo unasema huyu mwanamke ni king’ang’anizi.
Nakwambia Fred we usinipende tu nikikupenda Mimi inatosha nikamwambia sawa tulikaa pale tukafanya yetu,akaondoka kwao zilipita Kama siku tano hiv nilipokuja kupiga hesabu maana mzunguko wake huwa naujua,nikagundua Ile siku tume sex mala ya mwisho ilikua ni danger.
Nilimpigia simu upesi alipokea nikamuambia hiv mzunguko wako unaujua wewe?akasema ndio nikamwambia hebu esabu Kwanza,aliesabu nikamwambia ile siku tumesex ulikua free or danger akasema nilikua hatari siku ya pili.
Nilitetemeka Sana,nikamwambia wewe mbona una hatari ivyo kwann umeamua kufanya ivyo?akasema nimefanya ivyo ili hata ukiniacha basi uwe umeniachia ukumbusho maana mahusiano haya siyaelewi kabisa.
Nikamwambia Eliza naomba uje nyumbani tuongee,akasema tuongee yote Ila usiniambie habari za kutoa mimba hatutoelewana.
Hakuja iyo wiki nzima alikuja tayari zimefika wiki mbili toka tusex mala ya mwisho.nilichukua kipimo na kumpima imo!!!!!!!!!!!!nilitetemeka jasho lilinitoka Hadi kwenye viganja alaf yeye hajali Wala nini.
Nikamwambia Eliza naomba unisamehe Sana,wanawake wenzio ndio wamekuponza,yote niliotendewa hapo nyuma niliona labda mnafanana ndio sababu ya Mimi kukufanyia vile.
Nimehesabu hapa,nimeona Hadi umalize mitihani yako ya mwisho mimba itakua na miezi sita kasoro,naomba ujikaze ili watu wasijue,Cha kushukuru shule unayosoma ni ya kiislam kwaio huwa unavaa hijabu saiv Shona ijab kubwa Zaid ili iwe ngumu kuonekana.
Ilibidi niwe muwazi kwake nilimwambia yote niliyopitia hapo nyuma,kwa mala ya Kwanza alijua kuwa b sio mwanangu,nilimsihi sana asije kuniumiza Kama wenzake,Kisha nikamuahid ndoa kabla ajaanza chuo.
WIFE MATERIAL 33
Kweli huyu future wife aliniweza kubeba na ujauzito wangu aiseeđnilimwambia Eliza mwanzo sikukupenda kabisaaaa,Kati Kati nikaanza kukutamani,Ila kwa Sasa nakupenda saannaa Yan nakupenda mno naomba tu uwe muaminifu kwangu.
Tulifurahi kwa pamoja,nnachoshukuru mimba haikumsumbua kabisa na Wala haikuwahi kuonekana Hadi ilipofika miez mitano,mama ake alikuja kugundua baada ya kuingia chumbani kwa Eliza na kukuta hajavaa shati.
Mama ake akigundua na akamwambia naomba uende ukamuulize uyo aliekupa hiyo mimba anania gani na wewe alafu uje uniambie,.
Eliza alikuja kwangu nilikia shule nimerudi nakuta mtu kalala tu chumbani nikamuuliza wew vipi Leo shule hukwenda?akasema sijaenda Kuna majanga hapa!majanga???imekuaje Tena walimu wamejua?akasema hapana.
Ni Mama amejua na ameniambia nije nikuulize una Nia gani na Mimi nikamwambia mie nipo tayari kwa lolote,kikubwa nataka umalize form six nikuoe.akasema sawa ntamjibu mama maana ameniuliza kwa upole tu Wala hajapanic.
Basi aliondoka na kwenda kwao mie nilipiga simu nyumban na kumwambia mama amtume mshenga aje pamoja na mjomba waje watoe posa nikaeleza Kila kitu.
Kweli alitumwa mshenga alitoa posa mahali nikaenda kujitambulisha kwao mama ake alishangaa kiniona ni Mimi kwani wakat nafundisha tution alikua akija nyumbani kumletea mwanae ada.
Akasema hapa kikubwa asijulikane amalize mtihani salama.kweli alimaliza mitihani yake bila kigundulika na siku za mbeleni alijifungua mtoto wa kiume,woooiii no DNA,mtoto no copy and paste Yani nafanana nae Sana mwanangu,nilijivunia mno.
Nilizidi kumuheshimu Eliza na kumpenda,alichaguliwa chuo kikuu uzuri wake ilikua ni hapa hapa kwaio tukasema itakua rahis kuliko wangekupangia mbali,kablaa ajaanza mwaka wa Kwanza chuo tulifunga ndoa yetu takatifu,kanisani na sherehe ilikua kubwa Sana huku nikiwaacha midomo wazi walimu wenzangu kwakua wote walimjua Eliza Kama mwanafunzi wetu.
Ilipita iyo tuliishi kwa furaha na amani teacher Abel yule rafiki angu mwanzo wa story alishafukuzwa shule,alikamatwa anavuta bangi yeye na wanafunzi wa kiume.
Kuhusu Natasha sijui chochote. B naendelea kumtunza baba ake B ajatoka jela bado,na likizo huwa anakuja kwangu B wangu kwa Sasa amekua kua. baba ake seche nae alifariki mwaka jana.mke wangu yupo mwaka wa tatu chuo anachukua degree ya udaktari Ila hapa katikati amejifungua Tena mtoto wakiume kwaio nna watoto wa kiume wawili.
Mimi na mke wangu tunapendana Sana Eliza amebadilisha maisha yangu,huyu ndie kichwa Cha habari Cha story yangu wife material hajawai nidharau Mimi na Eliza tumepishana maika nane..nampenda sana malaika wangu kutokana na yote niliopitia ameniheshimisha na kunifuta machozi.
Kwa sasa sifundishi Tena nimepanda ngazi kazini,niliingia kazi na degree ila hapa Kati nilijiendeleza kwa Sasa nina masters.
Mwisho!!!!….