TAMU YA MCHAWI
KIPENGELE CHA 17
ONYO: Watoto wasisome hii Hadithi
Usiku saa sita, Changa alienda mpaka njia panda kama alivyokuwa ameambiwa na bi Kamulenga, hata hivyo alipofika alikuta tayari bibi ameshafika.
Wakasogeleana, bibi alipomgusa tu walitoweka.
Upande wa pili bi Mpwele alikuwa amesharudi kazini, alikuwa na wachawi wenzake kwenye mipango akauliza “Hivi Changa kwanini hajafika?” aliuliza
“Siku hizi kawa na kiburi, hata hivyo nilidhani ananidharau mimi kumbe hata wewe” alisema bi Sophia
“Hanijui huyu, tumemtoa mbali, tumemsaidia tumemfundisha namna ya kujilinda leo analeta dharau” bi Mpwele aliongea kwa hasira na kumgeukia Vero “Embu leta kibonzo”
Vero akachukua kibonzo na kumpatia, hiki kilikuwa kifaa maalum cha kusaidia kumtazama mchawi mwenzao alipo
Bi Mpwele akaanza kunena maneno ya ajabu kwenye kile kibonzo lakini kila alipotaja jina la Changa alishangaa kuona giza nene, akashtuka
“Khee”
“Vipi kuna tatizo?” aliuliza bi Sophia
“Changa haonekani” alisema
“Haonekani kivipi?”
“Sijui, labda wamemuua” alisema na kukiinamia tena kile kibonzo alishangaa kutokuona kabisa mtu, akasema “Ngoja nimfuatilie nyumbani huenda ikawa wamemuua”
Bi Mpwele alichukua kibonzo halafu akaondoka eneo lile, Vero akainamisha kichwa na kuomba kimya kimya “Eee mizimu, mababu zetu saidieni huyu binti awe amekufa, ana uroho na mwanaume wangu” aliwaza na kutabasamu
Bi Mpwele alifika katika chumba cha Changa, cha kushangaza hakumkuta, na hakukuta hata kifaa chochote cha kichawi, akawaza sana, akanyunyiza dawa kule ndani, lakini bado hakuona kitu
Akaanza kuita “Changaaa…..changaaa” lakini Changa hakuitika wala hakusikia kwani wakati huo alikuwa katika ulimwengu mwingine wa giza, na ni ulimwengu wa kiadui ambao bi Mpwele hakuwa na mamlaka ya kumuona kwani alishikiliwa na kirambasi cha bibi mmoja mkorofi sana aitwaye Kamulenga
Wakati huo bi Kamulenga na Changa walikuwa katikati ya ziwa Tanganyika, juu ya maji, giza limetanda, hawaoni kitu zaidi ya samaki waliokuwa wakizunguka ndani ya maji.
“Mbona haji?” aliuliza Changa
“Atakuja tu…itakuwa kuna mahali kaenda kuwanga kwanza, ngoja kwanza nijaribu kumuita” alipiga magoti juu ya maji, hazami ni mithili ya Yesu alivyotembea juu ya maji.
Akaanza kunena lugha za ajabu huku akiliita jina la Mariam Sadala, akasikia kajibia
“Mamaaa” hiyo ilikuwa sauti ya yule mwanamke wa tanga ambaye pia ni mchawi kwenye kundi lile
“Mbona umechelewa?” aliuliza
“Nakuja baada ya robosaa kuna kazi ninamalizia’
“Sawa”
Alipomaliza aliinuka na kumtazama Changa, ndipo Changa akauliza “Amesemaje?”
“Anakuja baada ya robo saa”
“Khe, sasa robosaa ndo tunakuwa tumesimama hapa?” aliuliza
“Ndio, tumsubiri, ninahitaji ukafanye kazi mwenyewe kumkomesha yule msichana”
“Sawa”
Walikaa kimya kwa dakika mbili, ndipo Changa akapata wazo na kumuuliza “kwanini usinifundishe kuuwa wakati tukimsubiri”
“Enhee… hilo nalo la maana” alisema bi Kamulenga kisha akamgeukia na kuanza kumuongelesha.
Baada ya kumfundisha namna ya kuua wenzake, Mariam aliingia pale kutokea juu, alipoingia naye akaanza kuongea
“Nimekuja kukufundisha namna uchawi wa tanga unavyofanya kazi.
Wakiwa wanashangaa shangaa, mara Changa akatoweka na kupotea, wote wakabaki wameduwaa “Ameenda wapi mpuuzi huyu” bi Kamulenga aliuliza kwa hasira
Lakini Changa alienda kutokea katika chumba cha Vero, akamkosa Vero halafu akarudi nje na kukaa juu ya mwembe, alipokaa pale juu ya mwembe akawa anajikumbushia yale maneno aliyokuwa ameambiwa namna ya kumuua mwenzake.
Ghafla anamuona Vero anazama ndani na ungo wake, akasema “Sisubiri namvamia hivyo hivyo”
Binti akashuka na kuingia kimiujiza chumbani mwa Vero, kumbuka Vero ni mwanga pia, na alimuona Changa alipofika pale ndani
“We umekuja kutafuta nini ndani kwangu?”
Changa akasema “Nimekuja kukuua”
JE CHANGA ATAFANIKIWA KUMUUA MWENZAKE?
KIPENGELE CHA 18
“Kuniua?? We mshen….” Kabla hajamaliza kuongea maneno akasikia amekabwa koo bila kuelewa amekabwa vipi maana mkono haukuwa shingoni.
Kama utani akaanza kulegea, anakabwa, binti Changa kanyoosha tu mkono wake lakini hajamgusa sehemu yoyote ya mwili, Vero akashindwa kupumua, anapambana na kitu ambacho hakioni, akadondoka na kuketi kitandani, akajaribu kujitoa.
Huwezi amini siku ile kwa ule uchawi aliokuwa amefundishwa Changa ulimfanya Vero amkumbuke Yesu maana alitambua hauwezi
“Ye…..yee…..s” anajaribu kuzipumbaza nguvu kwa kutumia jina la Yesu lakini ubaya mmoja ni kwamba kulitaja jina la Yesu wakati huna imani naye hawezi kukusaidia.
Changa akakazia pale pale, dakika tatu binti Vero anarusha miguu tu kwa maumivu huku akikata roho
Ilikuwa kama utani lakini ndio maana wadamu wanasema usichanganye mapenzi na kazi, yaani kitendo cha kuendekeza mapenzi na uchawi kilipelekea ugomvi mkubwa hadi kuuana
Changa akapotea na kurudi nyumbani, alipofika nyumbani alimkuta bi Kamulenga anamsubiri pale pale ndani, akamuuliza
“Ulienda wapi?”
“Nilienda kummaliza”
“Umemuua?”
“Ndio nilikuwa na hasira naye, sasa nimeridhika”
“Asante sana”
Cha kushangaza bi Kamulenga naye pale pale akaanza kukohoa, akaanza kulegea, akajaribu kurudi nyumbani, akimuacha Changa akishangaa pale ndani, kumbe zile dawa bi Mpwele alizokuwa amezinyunyiza kule ndani zilikuwa ni hatari, na Mpwele alijua zitamkuta Changa akirudi kutoka huko alikokimbilia, lakini hii haikuwa hivo bali aliyeingia wa kwanza alikuwa ni bi Kamulenga ndio akakutana nacho.
Asubuhi taarifa zinasambaa kila kona, Vero amefarikia usingizini usiku, lakini wapi sio usingizini, alikuwa amekumbwa na uchawi kutoka Sumbawanga, hata hivyo Changa alijisikia amani, na ndipo sasa akili zinamrudia Rasi ambaye alikuwa amekaa nje ya chumba chake anawaza, mbona kama anajisikia mwepesi hivi
Hata hivyo Changa aliamua kuvaa vizuri, na kwenda kusalimia kinafiki kwa kina Vero, ilhali kila kitu alikuwa anajua kwamba yeye ndio amemaliza mchezo
Watu walikuwa wanalia, ndugu jamaa, lakini aliyekuwa anajua binti ni mchawi ni mama yake ambaye alimkuta binti akiwa amekufa uchi huku akiwa amejipaka paka masizi kila kona ya mwili.
Changa aliondoka zake na kuelekea njiani huku akiwa amevaa nguo nzuri, kwa kifupi haka kabinti kalikuwa kanajua sana kuvaa, kalikuwa kanapendeza hatari, hata hivyo kalifanya kila kijana wa hovyo aliyepishana naye njiani, ageuke na kumtazama
Kwa makusudi binti alienda mpaka kwa Noti, kule alikuwa akiishi rasi, Hamis Kapweto, akapita akijua labda Hamis atamshobokea
Alijipitisha akahakikisha Hamis amemuona, halafu akatembea zake taratibu kwa mwendo wa madaha yaani huyu alikuwa anawashwa hatari, na alitamani awe anasuguliwa tu na Kapweto, hadi aliua kwa sababu yake.
Basi alipofika mbele alijua Hamis angemuita lakini wala Hamis hakuwa na time naye, binti akakasirika kweli kweli, akaamua kurudi tena ajipitishe lakini wapi mtu hataki kumsumbua kabisa
Changa alijiuliza jamaa bado uchawi unamsumbua nini, lakini alipofika mbele kidogo akapokea ujumbe kutoka kwa Kapweto
“Umependeza” alipouona tu akasikia moyo umempiga paah,
Akajibu “Asante….”
“Mbona siku hizi hupitagi hapa?”
“Napitaga sema tu wewe hunionagi, nimekumiss sana”
“Nimekumiss pia mrembo, utakuja usiku?”
“Na Vero je?” aliuliza kinafiki
“Achana nalo lipumbavu lenu lile…silitaki hata sijui nilitoka naye wapi….wewe ndio una utamu wako”
Changa kuona ile message alifurahi sana akajua mpango wake umekubali, akatabasamu na kusema kimoyo moyo “Wewe ni wangu mpaka kufa, usiponipenda nitakuroga utachanganyikiwa utaninyonya hadi m….ndu”
KIPENGELE CHA 19
Ilikuwa ni balaa blue, penzi la mvuta bangi limekoleza wanga mpaka wameamua kuanzisha vita baridi.
Usiku Changa alichukua ungo akapaa, mpaka katika lile pango ambalo bibi Kamulenga na wenzake walikuwa wakikutana usiku, alipofika wote walishtuka na kuinuka kujiandaa kupambana maana alikuwa sio mchawi wa eneo lao
Changa aliinua uso akatazama, wachawi wote wanashangaa, nani lakini kwa kuwa Mariam na bi Kamulenga walikuwa wanamfamu walizuia wachawi wenzao kushambulia
Bi Kamulenga akaita “Changa……Umekuja kufanya nini hapa?”
“Ninataka nijiunge huku”
“Hapana, tutaleta vita, wewe nenda kule ulipokuwa”
“Kule tena na nimeshaua?”
“Ndio, nenda kule usijali hawawezi kujua ni wewe”
“Sawa”
Changa aliinama kidogo, akafumba macho na kutafakari maneno yake ya kichawi huyooo akapotea na kutokea kagera, alipofika hivi aliwakuta wenzake wanamsubiri kweli.
Akatua na kukaa sehemu yake
Bi Mpwele akasema “Ni siku ya pili hii hatujakuona kwenye kikao….”halafu akadundisha kibuyu chini, Changa akapotea na kujikuta anatokea kuzimu, huko alikuwa amefungwa kwa adhabu kwa nini hakuhudhiria kwenye kikao wakati alishakula kiapo.
Kule kuzimu kulikuwa na kiongozi mkuu ambaye alikuwa anampa adhabu yule binti, kila mara alitakiwa kukaa kwa njaa, anapewa damu na nyama mbichi za binadamu ili kuweza kumuonyesha kwamba dunia sio ya kwake.
Binti alipigwa, anachomwa na vyuma vyenye moto mkali.
Sasa katika uchunguzi wa kifo cha marehemu Vero, ndipo walipomuona akiuawa kichawi na Changa.
Kuu la mashetani likamuambia, kwa kosa la kumuua mwenzako kisa wivu wa mapenzi, hakika hutotoka hapa kuzimu salama, nakuhakikishia utakufa vibaya” aliongea kwa hasira sana
Bi Mpwele alipojua kisa cha kuuawa kwa Vero ni mapenzi ya mvuta bangi, alishangaa sana akasema
“Kweli Changa umemuua Vero kisa yule muuza pombe?”
Changa akatulia kimya yupo sero la kuzimu huko
“Sawa nitakuonyesha” bi mpwel alisema
Usiku ule ule bi Mpwele aliamua kwenda peke yake kwa muhuni muuza ganja ili akamuue.
Saa tisa giza totoro, muhuni amelala anakoroma tu, ndotoni anaota ndoto za kulewa na kuvuta tu ganja. Bi Mpwele akatua ndani ya chumba cha mwamba, amefura, ameshika silaha zote za mauaji ili kumuandama.
Alipotazama kwenye shuka alilokuwa amejifunika nalo mwamba, aliona kuna kitu kama karoti kimesimama na kufanya shuk kubinuka juu, bibi akashtuka, miaka anayo sitini na mbili, na miaka nane hajawahi kuona chululu imesimama.
Akasikia roho inamuambia afunue lile shuka aone, alipofunua hivi, mwamba alikuwa uchi wa mnyama, mashine imesimama kidedea, akaitazama akashtuka kweli kweli.
Ghafla zile dawa ambazo bi Kamulenga alishawahi kuzisindika kule ndani zilifanya binti bi Mpwele alegee na kudondoka chini, alipondoka chini usingizi mkali ukampitia. Akajikuta anaanza kukoroma.
Kitendo cha kukoroma kikafanya mtaalam Kapweto ashtuke na kutazama, alipotazama bado kuna giza, akashtuka nani anakoroma ilhal I alilala peke yake, ndipo akachukua fursa akawasha taa.
Kutazama hivi, bibi kikongwe yuko pale ndani uchi wa mnyama, kajichora chora masizi mwili, uongo na vitunguli tunguli viko pembeni yake, amelegezwa na ile ishu.
Kapweto alipotazama akaliona tunda lile pale lakini limekunjamana kwa sababu ya uzee………
KIPENGELE CHA 20
Alishika kiuno Kapweto, anamtazama yule mwanamke yuko fofofo, lakini naye anapojitazama mashine imemsimama kisawa sawa, akawaza afanye nini?
“Opppssss” alivuta pumzi akasema “Hivi hawa wachawi wananitaka nni mimi kijana wa watu? Mbona wananifuatilia hivi?” alijiuliza na kusogea kando huku akizidi kuwaza.
Kwa kuwa ni usiku, alichukua msokoto na kiberiti, akatoka nje uchi na kuketi kwenye kiti kisha akauwasha msuba na kuanza kuvuta taratibu.
Alipomaliza alipata hisia za kufa mtu, yaani kwa kuwa alikuwa ashazoea kuwatafuna wanga, basi aliona ngoja akamnyooshe huyo kikongwe aliyekuwa anajipendekeza kwake.
Akaingia ndani na kufunga mlango, anamtazama yule bibi ndio anazidi kujiachia hadi udenda unamtoka kwa utamu wa usingizi.
Mwamba akamtega vizuri kisha akapiga magoti chini na kumpanua mama mapaja.
Akapaka mashine mate, halafu akaipeleka kunako na kuzamisha mpaka. Akaanza kuchochea akachochea chochea.
Bibi wa mtu akashtuka usingizini na kumtazama “Heeeeeeee niko wapi?” aliropoka huku akiinuka lakini mashine ilikuwa ndani
“Sssshh tulia” alisema Kapweto “Utanieleza kilichokuleta huku ndani mpumbavu wewe…kila siku mnaniwangia sasa leo nakupelekea moto kisawasawa”
“Nisamehe mjuk…..” kabla sentensi haijamalizika, miguu ilikuwa begani, jamaa akaendelea kumsugua kwa fujo bibi wa watu saa ngapi asianze kusikia utamu na kufumba macho akaanza migu
“Oh…..ah……huu….” alikuwa akiguna kizee huku mashine ikiwa inakatiza katika uchi wake ikisugua kitu ambacho hajafanyiwa muda mrefu. “Mgongo unauma” alisema baada ya kupelekewa moto vilivyo
“Tulia” alisema Kapweto akili za bangi zinamuendesha
“Nipandishe kitandani uendelee” alisema
“Anhaa”
Kapweto kwa manguvu yake alimnyanyua bila hata mashine kuchomoka, akampandisha kitadani, akaendelea kumdukua kama mtandao yaani.
Bibi kizee saa ngapi kisisikie kitu kikija, yaani alisikia utamu wa hali ya juu, baada ya dakika arubaini alimkumbatia kwa nguvu anasikia anakojoa alipiga kelele “OOhh….mjuk….chochea….nilikuwa na muda sana sijafanya haya mambo” alisema ndio kabisa Kapweto anazidi kunogewa na utamu wa lizee.
Bibi akakojoa, baada tu ya kukojoa kwani anataka tena kuguswa. Mwamba akamuambia “Ukithubutu kujigusa hapa, ninakutoa nje hapo watu waje wakuzodoe mpaka ukome” alisema
Ikabidi bi Mpwele atulie akaendelea kutandikwa pumb* masaa mtatatu anapigwa tu mashine, amechoka yuko nyang’anyang’a ndo mvuta bangi anakuja kukojoa halafu akamlaza kando yake na kuvaa zake akaenda kuhudumia wateja wake nje huko maana kulikuwa kumeshakucha tayari.
Sasa bi Mpwele alibaki akijiuliza anatokaje pale ndani na kumeshakucha? Akachukuwa ungo wake akaketi kisha akafumba macho na kuwaza mambo kadhaa ya kichawi kweli akatoweka, lakini badala atoweke arudi nyumbani alienda kudondoka karibia na kijiwe cha bodaboda, aisee watu walikimbia.
Alipojaribu kupaa akashindwa akaanza kutetemeka, na kadri dakika zilivyokuwa zinasogea watu walikuwa wanamzunguka ……
KIPENGELE CHA 21
“Bi Mpwele!!!!!!” alisema mwanamke mmoja ambaye alikuwa amefika pale kwenye kundi la watu
Bi Mpwele akaangali chini kwa aibu, hana hata nguo ingemsaidia kujisitiri usoni, anatokwa na machozi kwa aibu
“Kumbe hata wewe ni mwanga?? Tulikuheshimu” alisema kijana mmoja ambaye alikuwa anamjua sana bi Mpwele
“Niacheni jamani”
“Hatukuachi mpaka dunia ikujue, yaani na umri huu ulivyozeeka sa hivi ona umekaa uchi mbele yetu sisi wajukuu zako, wakati ulitakiwa muda huu ulitakiwa uwe unaungama dhambi zako ukifa uende peponi”
Bi Mpwele alilia jamani, ndipo kijana mmoja akasema “Leteni petroli tumchome huyoooo” alishangaza sana”
“achomweee” walipiga kelele
Mwanamke mmoja mwenye huruma alisema “Jamani muacheni” akatoa kitenge chake na kuamua kumsitiri bi Mpwele kwa kumfunika na tenge lake.
Watu wenye huruma walimtoa pale wakampeleka sehemu salama kwake.
Bi Mpwele aliumizwa sana na kile kitu, hata baadaye alipofika nyumbani taarifa zilikuwa zimesambaa kote, kila mtu alimuangalia akajua lile limwanga tu, wakawa wanamsema hadi watoto wadogo wakawa wanamchamba kwa kumuimbia bibi mchawi.
Hakuwa mvumilivu wa yale maumivu, akapanga kuondoka kwenye ule mji, ili angalau akatafute sehemu ambayo hakutokuwa na watu wanaomjua.
Hakujua aende wapo, ila kuna muda alipata wazo la kurudi kwao Shinyanga, akakae hadi ule upepo uishe ndio arudi tena kuendeleza mashambulizi.
Bi Mpwele akiwa chumbani alisimama, mgongo ulikuwa unamuuma kichizi, akasema “Mh yule kijana naye anapeleka moto jamani” huku akitabasamu na kuketi tena akaendelea kuwaza “Hivi kumbe bado nina nguvu ya kufanya mapenzi na nikasikia raha….jamani” alisema mwenyewe kwa hisia huku akikumbuka alivyokuwa amekunjwa na mvuta bangi
“Kumbe ndio maana wale wasichana walichanganyikiwa kumbe kuna raha yake” aliendelea kuwaza “Siondoki bila yeye” alisema bibi yule yaani kwa kifupi tayari alishaanza kunogewa na mahaba ya Kapweto, rasi.
Kule kifungoni kuzimu, Changa alikuwa analalamika “Naombeni mniachie mimi nikakae na mume wangu”
“mume gani nani akuoe mchawi wewe” alisema mtu mmoja aliyekuwa amemleta damu mbichi
“Niacheeeniiiii khaaaaa” alipiga kelele alikuwa anampenda sana Hamis Kapweto.
Nyumbani alipokuwa anaishi kwa bi hamsa, walikuwa hawajui Changa yuko wapi, alikuwa akiishi na mtoto wa marehemu bi Hamsa, akawa anasema
“hivi kweli mtu anaweza kulala usiku asubuhi ukosekane? Haka katoto kameshaanza umalaya sasa kameenda wapi?” aliuliza Mshirakandi ambaye alikuwa mtoto wa bibi Hamsa
Mkewe akasema “Lakini simu na kila kitu kipo ndani, hajachukua chochote” alisema
“Daaah…kuishi na watoto wa kike kazi sana, bora angebeba simu tungempigia”
“Ni kweli lakini nasikia hata bibi alikuwa ana tabia za kupotea siku kadhaa na kurudi baadaye” alisema mkewe
“Ni kweli”
***
Saa moja jioni, bi Mpwele alijitanda hijabu nyeusi, akachukua sarafu ya shilingi mia tano aliyokuwa ameinenea maneno ya kichawi kisha akaondoka kuelekea kwa Kapweto, hii yote alifanya ili watu wasimjue maana angejulikana wangeendelea kumsema kisa kafumwa akiwanga.
Bi Mpwele alipofika kwa Kapwero alijifanya anataka ugoro akaletewa akapokea na kutoa pesa, watu wakawa wanashangaa ustadhat anatumia vileo? Ah kweli dunia imeisha.
Akaondoka.
Ilipofika saa tano usiku watu wamebaki wachache aliwafukuza akawaambia anataka alale zake, walipoondoka alianza kulia sana akiwa ndani kwake yeye peke yake,akawa analalamika
“Bi Mpwele mimi nakupenda, naomba uje usiniache peke yangu” alisema mwamba huyo huku machozi yakimtiririka “Njoo nakuhitaji” ghafla akasikia sauti mlangoni
“Niko hapa nifungulie kipenzi changu” alisema bi Mpwele alikuwa ameshafika, dawa yake ilikuwa imeshaanza kufanya kazi
Hamis Kapweto alienda akafungua mlango alipomuona bi Mpwele akiwa amevaa nguo zake vizuri tu, alimkumbatia “Nakupenda nakupenda, kwanini umechelewa hivi kuja?”
“Nimekuwa nasubiri watu waondoke, naomba niingie ndani”
“Karibu mpenzi” alizama ndani
Kiukweli Kapweto alikuwa ameshachanganywa na bi Mpwele, yaani ni uchawi fulu, bi Mpwele hakutaka mtu mwingine amuingilie katika mahusiano yake, alitaka awe wa kwake pekee.
Walikumbatiana kitandani bi Mpwele akamuuliza “Unanipenda kweli?”
“Ndio nakupenda sana”
“Haya kama unanipenda, jiandae, kesho saa kumi na moja alifajiri tunaondoka nataka twende kwetu Shinyanga tukaishi huko kama mume na mke”
“Kweli?”
“Kweli”
Kama risasi mtaalam alishuka na kuanza kuokota kilicho chake, alikuwa hataki tena kubaki kigoma, alikuwa tayari kuacha biashara zake amfuate bi Mpwele anapotaka, alikuwa analitaka penzi tu, sio kwamba alikuwa anampenda ila uchawi ndio ulikuwa unamuongoza
Bi mpwel alichekelea alipomuona Hamis akihangaika kukusanya vitu, akajisemea moyoni “Unipe raha zile halafu nikuache? Haaah haiwezekani”
Saa sita akampa kimoja halafu akamuambia
“Mi naondoka, saa kumi na moja asubuhi nitakuja kukuchukua hapa tukapande gari”
“Sawa”
JE NI KWELI HAMIS NA BI MPWELEE WATAONDOKA KWA PAMOJA?
KIPENGELE CHA 22
Usingizi ulikuwa haumpati Kapweto alikuwa anawaza saa kumi na moja itafika saa ngapi ili aweze kuondoka na mpenzi wake, yaani kwa macho ya kawaida mtu akimuona bi Mpwele ni mzee aliyekongoroka lakini kwa macho ya kuzimu ya kichawi, Kapweto alikuwa anamuona kama malaika.
Saa kumi usiku Hamis alishuka kitandani, kwani usingizi ulikuwa haujampitia hata kidogo akachukua begi lake ashaweka pesa kisha akatoka nje akasema “Kwa heri kigoma sikutaki tena nataka nikaoe sasa”
Nje akamuona malaika wake bi Mpwele akiwa anamsubiria barabarani akamfuata na kwenda kuongozana naye.
“Sasa tunaenda wapi?” aliuliza Hamis Kapweto
“Si shinyanga au?”
“Yaani sasa hivi tunaenda wapi kuchukua usafiri?”
“Stendi ya mabasi…..usijali hata nauli hatutalipa nitawapumbaza”
“Sawa…sasa si ungetumia tu ungo wewe si mchawi?”
“Vitu kama pesa, mabegi nguo, na hivyo ulivyo navyo haviwezi kuwa kwenye ungo ukapaa”
“Hivi kweli ee”
“Ndio” alisema
“Haya”
Walichukua pikipiki, hakuna aliyemjua bi huyo alikuwa amejitanda nikabu ni macho tu yanaonekana. Wakafika stendi wanapanda kwenye gari lolote bila kulipa nauli
Bi Mpwele akamuuliza “Ni gari ipi umeipenda?”
“Hii hapa”
“Haya tupande”
Wakapanda na kukaa hakuna wa kuwauliza kitu wanaonekana kama wameshalipa nauli yaani. “Sasa toa laini kwenye simu yako, sitaki uwasiliane na mtu wa kigoma nataka tukaanze maisha mapya”
“Sawa”
Jamaa katoa laini kwenye simu na safari ikaanza, raha burudani, zile pesa za kuuza bangi na pombe sasa ziligeuka za kula kwenye safari wakaenda kwenye kijiji kimoja huko Shinyanga kiitwacho Solwa.
Maisha ya kule ni magumu kuliko ya kigoma, ila bi Mpwele alikuwa na mashamba aliyowauaga ndugu zake ili arithi yeye kipindi cha zamani, kuna kanyuma kalikochakaa ka udongo ndopo waliposhukia.
Asubuhi na mapema wakaamka na kuanza kutengeneza matope ya kukitengeneza kile kinyumba, wanakijiji wanashangaa kijana mdogo kabisa tena mwenye nguvu, anapendana na kibibi kizee na wana mahaba ya dhati
Wanapiga matope kwenye nyumba halafu mara waokote na kurushiana matope kimahaba, watu midomo wazi.
*
Kule kigoma wateja wa Kapweto hawakujua Kapweto kaishia wapi, ndugu wa Mpwele hawakujua bibi yao kaishia wapi, tafuta mtu hapatikani kabisa, halafu walikuwa wote wadogo, hawakujua kama ana mashamba huko Solwa shinyanga.
Wachawi waliokuwa wakifanya kazi na bi Mpwele walikosa kiongozi wakavurugana na kushindwa kujiendeleza kundi likavunjika, kila mmoja akawa anafanya kivyake.
Sasa bi Kamulenga alishtuliwa na ishu ya mjukuu wake kutoweka,hivyo akaanza kumtafuta kiuchawi. Na hivyo hivyo bi Mpwele hakuwa fala, alijua fika bi Kamulenga atampata mjukuu wake kwa kutumia jina la Hamis Ramadhani Kapweto, kwani wachawi huroga kwa kutumia majina halisi ya mtu.
Bi Mpwele akamchukua akampeleka kwa mzee mmoja ambaye alimkaanga Hamis kisawa sawa, kwani alimuapisha mtaalam kwa kumpa jina lingine tofauti na kile kiapo cha jina la Hamis akakifuta.
Alimpa jina la Amini, sasa kila bibi Kamulenga akitafuta Hamis, uchawi unamuambia huyu mtu hayupo duniani akajua tayari alishakufa.
Bi Mpwele kwa raha zake akaendelea kula ujana na mtoto mbichiii huku ndugu wanahangaika.
***
BAADA YA MIEZI MITATU
Habari za bi Mpwele na Hamis Kapweto zilikuwa zimepotea hakuna mtu aliyedhania wanaweza kuwa pamoja kwa sababu hata hawakuendana, hakuna aliyejua wapo wapi, wakawapotezea
Bi Kamulenga alikirithi kibanda cha mjukuu wake akawa anauza kila zaga.
Sasa kuzimu siku za adhabu ya Changa ziliisha, aliachiwa huru na kurejeshwa duniani kando ya mtaa wa Darajani, akajikuta pale, akili ilikuwa haijamkaa sawa hata kidogo, akawa kama amepoteza fahamu hivi.
Watu waliomjua walikuja kumchukua na kumpeleka nyumban kwao, alipokaa nusu saa anaamshwa anaulizwa maswali machache akazinduka na kujielewa yuko duniani
“Ulikuwa wapi Changa?”
“Walinipeleka kuzimu” alisema
“Kuzimu?”
“Ndio…”
Baadaye akili ilipomrudia alitoka kama risasi na kwenda kumtafuta mpenzi wake ambaye alikuwa anaitwa Hamis Kapweto alipofika pale alimkuta Kamulenga, anamjua vizuri akamuuliza
“Bi Kamulenga, mume wangu yuko wapi?”
Bi Kamulenga akamuambia “Hamis alishakufa siku nyingi”
“Kilichomuua?”
“Hatujui, lakini nimeangalia kwenye rada nikagundua ameshakufa”
Changa alilia sana, hakuamini kile alichokisikia, alikuwa anampenda sana. Akawa hataki kukaa nyumbani, ikabidi wamchukue wampeleke kwenye maombi huko Mbeya. Alipofika mbeya akaombewa akapona, alifadhiliwa na mtumishi huyo na kuanza kuishi kwake akiwa anamlipa kama mfanyakazi wa ndani.
Maisha ya bi Mpwele yaliendelea na Hamis Kapweto wake ambaye watu wageni walikuwa wanamuita Amini
TUMUOMBEE HUENDA SIKU MOJA UCHAWI UKAMTOKA NA AKARUDI KWENYE HALI YAKE YA KAWAIDA AKAENDELEA KUPAMBANA NA MAISHA YAKE.
MWISHO WA HADITHI