TAMU YA MCHAWI
KIPENGELE CHA 13
ONYO: Watoto wasisome hii Hadithi
Tulipoishia
Joel alitoka haraka na kwenda dukani, kulikuwa sio mbali sana lakini kulikuwa kidogo kuna foleni hivyo akasubiri kama dakika tano hivi ndio akapewa huduma
Joel alinunua mirinda nyeusi kisha akanunua mo xtra halafu akarudi navyo getoni, alipofika ndani alimkuta bado mtoto kakaa anawaza mambo yake kibao.
Akamfunulia soda na kumpatia, binti akanywa taratibu, sasa wakati anaendelea kunywa Joel akamuwekea mkono begani, Changa akashtuka
“Mh…” aliguna Changa
ENDELEA
“Changa unajua unanitesaga sana kipindi chote ninakuambiaga nakupenda ila wewe unanizungusha?” alisema Joel lakini Changa akakaa kimya hakumjibu.
Joel kwa utukutu wake akammbusu shavuni, Changa kimya, hapo ameshaanza kuwashwa.
Joel alipoona mtoto yuko kimya, alimnyang’anya ile soda akaweka mezani halafu akamvuta kwa nguvu na kujaribu kumbusu mdomoni ila binti akakwepa. Kwa kunyanyua kichwa juu, ambapo busu la Joel lilienda kutua moja kwa moja kwenye shingo ya binti
Kosa kubwa lilikuwa ni kwamba Changa akishaguswa kwenye shingo ndo habari yake imeisha hiyo, alianza kulegea.
Joel akamtekenya kwa ulimi shingoni, binti akaanza kugumia kwa kusikia muwasho usio wa kawaida.
“Aaaah” alisema kwa hisia huku akijilaza kitandani kwa mgongo “Niache”
“Jamani Changa” alisema Joel huku akimlalia na kuanza kumpapasa kifuani kwenye maziwa.
Binti akafumba macho na kumuacha Joel afanye kile ambacho muda wote alikuwa akimuomba ila akawa anamzungusha.
Joel akampelekea mdomo mtoto wa kike anakwepa bado “Kwanini unanifanyia hivi lakini?’
“Niachie niende” alisema binti huku akimzungushia mikono mgongoni akamkumbatia.
Joel akaelewa kabisa yule mtoto wa kike hana mpango wa kwenda popote ila anamletea maringo tu kwa kuwa ni mtoto wa kike
Joel akampandisha binti kitandani ndio kwanza kafumba macho wala hasumbui. Akanyanyua gauni la binti na kuingia katikati ya mapaja, suruali ikaanza kugusa taiti juu ya nyama laini ambayo inatoa burudani kwa watu wote duniani wenye kujua maana ya mapenzi.
“Aaassh” alisema Changa huku akizidi kumkumbatia kwa nguvu Joel.
Joel akamzungusha na kumuweka juu, nia yake ilikuwa ni kwa ajili ya kufungua zipu ya lile gauni ambayo ilikuwa mgongoni, akijua itakuwa ngumu kuifungua wakati amelala chali.
Akamzungusha mikono mgongoni na kuanza kuifungua ile zipu taratibu binti akakaa kimya, gauni likashushwa nyonyo zikaning’inia kifuani, Joel akazidaka na kuanza kunizonyonya
“Asssh, uwiiii….” Alisema mtoto wa kike huku akimpapasa mgongoni jamaa akizidi kumpa raha,
Joel akamzungusha chini na kuendelea kukaa katikati ya mapaja huku akizidi kunyonya matiti, mtoto wa kike kelele kelele kelele huku anavuliwa chupi.
Akiwa anashangaa alisikia mashine imezama kichwa akasema tu “Aaasssh wewe…” ilikuwa kwa hisia huku akipandisha kiuno juu na kukibana kitumbua chake ili imsugue vizuri.
Wakasuguana kwa muda wa nusu saa wote hoi bin taabani
Baadaye waliporidhika, Joel na Changa walitoka nje, bila hata kuoga, wakakwea pikipiki lakini Joel alisema “Ngoja niende chooni nikajisaidie tuende zetu”
“Sawa haman shida” alisema binti
Joel akaondoka na kwenda chooni, alipofika chooni alikaa muda wa dakika kama tatu hivi bila kutoka, ndipo bi Kamulenga akatokea pale kwani alikuwa anaishi pale pale
“Shikamoo” alisema Changa
“Marahaba” bi Kamulenga alijibu huku akipita zake lakini alipofika mbele alisita na kugeuka akamtazama Changa, Changa mwenyewe akashtuka na kuangalia pembeni kwa aibu.
Alipokuja kuinua macho bado akakuta bi Kamulenga anamtazama, akaogopa na kumuuliza “Vipi bibi mbona unaniangalia sana?”
“Samahani mujukuu wangu, hivi wewe ni mtoto wa nani?”
“Mimi?” aliuliza binti
“Ndio” bi Kamulenga alisema huku akirudi kumtazama “Hii sura yako kama vile nilishawahi kuiona mahali”
“Hapana, mbona mimi sikufahamu?”
“Labda nimekufananisha” alisema bibi
“Labda”
Bibi Kamulenga alipomtazama tu machoni alihisi ile sura sio ngeni, akaonyesha ishara fulani za mkono zilizomfanya Changa ashtuke na kugundua yule bibi pia ni mchawi mwenzake, akajikaza lakini hakuonyesha ishara yoyote ili yule bibi asielewe kwa haraka
“Basi samahani” alisema bi Kamulenga na kuondoka
Changa alifikiria sana, akajua yule lazima sio mtu wa kawaida na huenda wanafanya kazi kwa pamoja bila kujuana.
Sasa Joel alivyotoka akamkuta binti anamshangaaa bi Kamulenga ambaye alikuwa anatembea, akamuuliza
“Ulikuwa unaongea na huyo bibi?”
“Ndio”
“Anhaa achana naye sio mtu mzuri?”
“Kwanini?” aliuliza Changa
“Ni mchawi sana”
“Sawa, kwani anaitwa nani?”
‘Anaitwa bi Kamulenga, kavuruga huu mtaa wote”
“Anaishi wapi?”
“Nyumba yake hiyo hapo” alisema Joel
“Sawa”
KIPENGELE CHA 14
Usiku ulipofika Changa aliamua kususia kwenda kwenye mkutano wa wachawi, lakini alikaa mahali akawa anasikiliza mada zilizokuwa zinaendelea.
Bibi kiongozi ambaye ni Bi Mpwele hakuwepo siku ile, hivyo bado bi Sophie alikuwa akisimamia ile shughuli, ndipo akasikia wakisema hivi
“Ila ule uchawi sio wa kawaida, yaani kiongozi wetu anaenda na fisi, halafu fisi anakuja anamrudisha na kurudi kwa yule mchawi mwingine?” aliuliza bi Mpwele
Vero akauliza “Kwani huyo mchawi anaitwa nani?”
“Anaitwa bi Kamulenga, ni hatari anatisha mitaa yote sijui huu uchawi wake alipata wapi….”
“Sio wa tanga?” aliuliza Vero
“Hapana labda wa Sumbawanga”
Sasa hayo maneno yalimshtua sana Changa akagundua anayezungumziwa ni yule bibi Kamulenga mbaye alikuwa amezungumza naye mchana akiwa anamuuliza alishawahi kumuona wapi. Changa akatamani aende naye akasikilize umbea ili amjue vizuri.
Akaketi kwenye ungo wake, na kufumba macho, akaenda mpaka pale kichakani, alipofika tu wakamuweka kati na kuanza kumuuliza
“Ulikuwa wapi mbona ulichelewa kufika kwenye kikao cha kila siku”
“Nilipitiwa na usingizi”
“Unapitiwa na usingizi unasahau majukumu?” aliuliza Vero
“Hayakuhusu, kwanza naongea na wewe au naongea na huyu” aliuliza kwa hasira Changa, Vero akakaa kimya
“Unapitiwaje na usingizi?” Bi Sophia aliuliza
“Ndio, nimesinzia”
“Adhabu yako sijui itakuwaje ngoja niwasiliane na bi Mpwele” alisema Sophia
Asa wakati bi Sophie alipokuwa anataka kuwasiliana na kiongozi wao ambaye ni bi Mpwele, ilibidi Changa akimbie kweli kweli maana alijua kuna jambo linaenda kumtokea.
Sasa kwa bahati mbaya wakati anakimbia, aligongana na mchawi mwenzake angani, alikuwa si mwingine ni Kamulenga alikuwa anakuja kwenye anga yao, lakini waligonga na wote walidondoka chini kwenye familia fulani nje ya nyumba puuh
Sasa yule baba mwenye nyumba alikuwa hajalala bado, akasogeza pazia haraka na kuchungulia nje, akaona bi Kamulenga akijaribu kuinuka kutoka aridhini, wako uchi, alikuwa hawafahamu kabla.
“Nyie wapumbavu” alisema kwa hasira ndo kwanza bi Kamulenga anainuka kwa uoga na kuangalia ungo uko wapi.
Alipoupata aliukalia haraka kabla yule mtu hajatoka, lakini alipotazama kando yake aligundua kuwa yule aliyegongana naye ni mtoto mdogo kabisa, akaona amsaidie kwa sababu ni mchawi mwenzake. Akampiga na kifaa cha kichawi kilichokuwa na manyoya manyoya, Changa akapotea
Alipopotea bibi Kamulenga naye alipaa na ungo akaenda mpaka eneo moja la siri kuna pango ambalo watu hawalijui na halikuwah kuonekana kwa macho ya kawaida
Akazama ndani ya pango lile, akamkuta binti amelala chali kabisa pangoni, kumbe Changa alipotoweshwa alienda kutokea mule, bi Kamulenga akapiga magoti chini na kumtazama, alishtuka baada ya kugundua ni yule binti ambaye walikuwa wameonana jana yake mchana akitokea kupakuliwa na Joel
Akaanza kuimba na mizimu huku akimgonga gonga na vitunguli vyake, ili aamke, na kweli baada ya dakika tatu, Changa alifungua macho na kutazama, hakuamani kule ndani kulikuwa na giza la kufa mtu
“Mamaa niko wapi?” alisema huku akiketi
“Hahahaaa….usiogope binti” alisema bi Kamulenga
“We nani” alisema huku akijaribu kutazama
“Mimi bi Kamulenga, mchawi wa wachawi” alisema
“Bi Kamulenga???” aliuliza kwa mshangao “Umeniletaje kwako?”
“Hahaha,…tuligongana kwa bahati mbaya angani”
Changa alipojaribu kuvuta kumbukumbu alikumbuka kwamba mara ya mwisho alikuwa anatoroka kwenye kikao ili akwepe adhabu ya kuchelewa pale, akakumbuka kweli kama vile aligongana na mtu
“Sasa hapa ni wapi?”
“Tuko pangoni, nimekuleta…nikuulize ulikuwa unakimbilia wapi?”
“Nilikuwa natoroka adhabu ya bi Mpwele maana nilichelewa kwenye kikao”
Bi Kamulenga kusikia vile akashtuka na kumtazama “Unafanya kazi na Mpwele?”
“Ndio”
“Haahaaahaa…nimefurahi kusikia hivyo…inaonekana mpo kwenye ugomvi mkubwa, na mimi ni adui yake namba moja, juzi nimechukua mbojo wake” alisema
“Jamani….sitaki tena uchawi, nataka niwe huru”
“Kwanini?”
“Wananionea, mchawi mwenzangu kaniibia bwana angu kwa kumroga”
“Wamemroga?”
“Ndio, hataki kabisa kunijua, ninaomba unisaidie niweze kuondoa huo uchawi”
“Bwana wako umeolewa?”
“Hapana, ni mchumba tu”
“Jina lake anaitwa nani?”
“Hamis…sijui la mbele ila wanamuita rasi kwa sababu kafuga rasta”
“Hamis??? Rassiii?” bi Kamulenga alishtuka sana kwa sababu alijua Hamis ni mjukuu wake kabisa……
JE ATAFANYA NINI?
KIPENGELE CHA 15
“Ndio” alisema binti
“Yule anayeuza pombe?”
“Ndio…umemjuaje?”
“Hahahaaaa….sasa sikiliza, kesho mchana njoo pale tulipokutana muda wa saa sita, ninataka nikuonyeshe kitu” alisema bi Kamulenga
“Sawa”
“Haya fumba macho” alisema bi Kamulenga
Changa akafumba macho, yule bibi akamtandika na kile kifaa chake, Changa akapotea akaenda kushtuka yupo nyumbani kwake amelala kitandani.
Bi Kamulenga aliketi chini kisha akaanza kunena kwa lugha, ndipo akaanza kumtafuta mjukuu wake, Hamis Kapweto kwenye ulimwengu wa giza, cha kushangaza aliona jinsi mjukuu yule alivyofunikwa vikali kwa kutumia uchawi
Akajisemea moyoni “Huyu ni nani aliyefanya hivi?” halafu akavuta ungo na kuukalia, akaanza kupaa kuelekea nje ya pango lile, alitembea kwa speed kuelekea mtaa aliokuwa akiishi Kapweto, alipofika nje alikisikia kelele za mahaba zilizoko ndani
Akashuka dirishani akachungulia, na kuona jinsi Vero alivyokuwa amembong’olea Rasi halafu anapiga kelele “Assssh baby tamu, nisuguee,,…..nisuguee nasikia raha”
Alisikitika sana bi Kamulenga, alipotazama aligundua kabisa yule sio kwa mapenzi ila ni kwa sababu ametupiwa jinni kali lililomfanya achanganyikiwe.
Bi Kamulenga akanyoosha mkono wake na kuanza kunena ili amtoe kwenye ule uchawi lakini alishindwa Kapweto akawa anazidi kupewa raha
“Baby nataka unioee” alisema Vero
“nitakuoa mpenzi” rasi alisema
Yaani maneno hayo ndio kabisa yalizidi kumpa hasira bi Kamulenga na kujikuta anakasirika kwa kile alichokuwa anakisikia
Akaondoka zake akijua atadeal naye baadaye.
Kesho yake asubuhi na mapema aliamka bi Kamulenga akaona aende mpaka kwa rasi akamuone live, ili aongee naye vizuri kabisa akiwa kama binadamu wa kawaida
Alipofika alimkuta rasi akiwa ameketi nje ya nyumba yake peke yake anatafuna miraa….yaani mirungi akamuuliza
“Hujambo?”
Rasi akatabasamu “Sijambo bibi Kamulenga, umenitembelea asubuhi sana leo” alisema Kapweto
“Ndio nilikaa nikahisi kuna kitu hakiko sawa”
“Kitu gani bibi?”
“Kuna watu wanakuchezea mchezo, naomba niingie ndani kwako niweze kutega dawa maalum ya kukulinda”
Kwa kuwa Hamis alikuwa anamuamini sana bibi yake, wala hakusita kumruhusu aingie ndani, bibi akazama ndani. Kuna dawa zake alikuwa nazo kwenye sidiria za aina nne, alikuwa amezifunga na vikaratasi, akatoa dawa moja akaanza kuinyunyiza kwenye kona za chumba alichokuwa akilala Kapweto,
Alipomaliza aliachukua nyingine akaanza kuzirushia nguo za Kapweto, halafu ya tatu aliitupa uvunguni na kitandani juu, halafu ya mwisho akaichimbia katati ya mlango kwa ajili ya ulinzi, alipomaliza alitoka akamuambia mjukuu wake
“Ninaomba ugoro”
“Chukua tu bibi”
Bibi akaenda pale kulipokuwa kumening’inizwa ugoro akatoa ugoro paketi moja na kumuambia “Haya ninaondoka”
“Umeshamaliza shughuli yako?” aliuliza Hamis Kapweto aka Rasi
“Ndio”
“Haya bibi”
“Haya”
Bi Kamulenga aliondoka zake akijua kila kitu kimeshakamilika, akarudi alipokuwa akiishi mwenyewe
Kichwani aliwaza “Wanafikiri mimi nina uchawi mdogo hivi wa ujiji? Lazima wajue mimi ni muha niliyetukuka…kesho lazima tuitiwe msiba pale kwa Kapweto pumbaf kabisa” alisema
Saa sita mchana siku ile, Changa alijikuta amesahau kwenda kwa Kamulenga, akaja kukumbuka saa tisa, ila alipoenda kule hakumkuta yule bibi nyumbani.
USIKU SAA SITA
Saa sita kamili bibi Kamulenga alivua nguo zake, akapaa moja kwa moja kuelekea kwa mjukuu wake, alipofika aligundua bado Vero hakufika, akajiegesha mahali asubiri ili kujua kama dawa yake inafanya kazi.
Kwenye saa saba, Vero aliibuka pale kwa Kapweto, na kwa kuwa bi Kamulenga alikuwa na macho ya kichawi aliweza kumuona akiingia ndani kwa Kapweto kupitia kwenye kona ya nyumba.
Akajisemea moyoni “Lolote likukute” halafu akatabasamu na kuanza kutembea taratibu kusogelea dirisha achungulie
Ile amechungulia hivi, hakuamini alichokiona………
JE ALIONA NINI?
KIPENGELE CHA 16
Bi Kamulenga alimkuta rasi akiwa uchi wa mnyama, anagaragazana na Vero kitandani wote wakiwa uchi, Vero anatoa miguno ya mahaba, alikuwa amekolea haswa kwenye penzi la mvuta bangi.
Bi Kamulenga alibaki akishangaa, hakutegemea kwamba ingekuwa vile kwa sababu aliamini kwamba akifika pale atakuta binti ameshashindwa kazi na akili ya kawaida imeshamrudia Hamis
“Imekuwaje tena?” aliwaza bi Kamulenga huku akishangaa ndo kabisa Hamis anazama katikati ya mapaja na kutumbukiza mashine ndani mtoto wa kike anapiga kelele
“Uwiiii……una mb** taamu” alisema Vero kwa hisia aliposikia ikiingia mpaka mwisho.
Kapweto akaanza kuchochea kwa speed ya hatari, bibi Kamulenga badala apate hamu yeye anapata hasira anaanza kufanya fanya ishara za kuondoa ule uchawi lakini wapi, ndani mahaba yanaendelea kama kawaida
Bibi Kamulenga hakuweza kuvumilia, ilibidi aondoke moja kwa moja mpaka kwenye lile pango, hapo ndipo alikuwa akikutana yeye na wanga wenzake.
Alipofika alikuta wameshatawanyika kila mmoja ana majukumu yake binafsi na anajua cha kufanya sio sawa na wale wa bi Mpwele.
Baadaye walirudi, akaanza kuongea nao
“Kuna mtu kamroga yule kijana wangu ili ampende”
“Kijana yupi?” aliuliza bibi mwingine mwanga
“Yule Kapweto”
“Enhee?”
“Ndio, Kapweto kachanganyikiwa, sijui ni uchawi wa aina gani uliotumika maana nimejaribu kuutoa lakini hautoki kabisa mpaka sasa hivi”
“Jamani…huu uchawi wa kunogesha ni wa Tanga na Mombasa, huu uchawi ni hatari unaweza kusababisha mtu afe, mimi mwenyewe nimeutumia kwa mume wangu ndio maana hafurukuti” alisema binti mmoja wa tanga ambaye alikuwa pia ni mchawi kwenye kile kikundi
“Sasa unatolewaje?”
“Ni ngumu kuutoa, yaani labda utumike uchawi huo huo kuondoa au aliyeroga afe ndio mtu ataanza kuwa sawa”
“Unaweza ukanisaidia hiyo ya kutoa?”
“Ndio, masharti yake lazima kwanza alale na mimi” alisema yule binti
“Sawa, tutaangalia” alisema Kamulenga
Hata hivyo kesho yake saa tano asubuhi, Changa, alifika pale kwa bi Kamulenga, alitaka kwenda kuongea naye amsikilize kwani siku mbili nyuma yake alikuwa amemuambia afike nyumbani
“Hodii” alisema Changa
“Karibu” alisema bibi
“Asante” alisema Changa huku akisogea, alipomtazama bibi machoni bibi alishtuka
“Haah kumbe unapajua kwangu?”
“Ndio nimeulizia” alisema
“Sawa, karibu sana mwanangu” alisema bi Kamulenga huku akimpisha binti aingie ndani
Changa aliingia ndani na kuketi kwenye kiti, akatanguliza msamaha “Samahani jana nilishindwa kufika”
“Wala usijali….shusha sauti hapa wapo watu wanapita pita sawa?” alisema kwa sauti hafifu bibi
“Sawa”
“Enhee jana ulienda kwenye kikao cha usiku?”
“Hapana, ila walinijia usiku, wamenitesa sana, nilitamani uje unisaidie”
“Hahaha…kwanini usihamie huku kwangu? Unajua mimi nina uadui mkubwa sana na Bi Mpwele?”
Changa akatikisa kichwa bibi akasema “Lile tatizo lako nimelipatia suluhisho”
Changa alishtuka sana maana alikuwa anampenda sana rasi, akamuuliza bibi “Linawezekanaje?”
“Kuna mawili, kutumia uchawi aliotumia au kumuua kabisa yule aliyemloga”
“Mi nataka afe” alisema Changa kwa wenge
“Ulishawahi kuua?”
“Hapana sijawahi…..”
“Hahahaa….leo nitakufundisha ziwa Tanganyika” alisema bi Kamulenga “Saa sita usiku, tutaenda na yule binti ambaye anaufahamu uchawi wa tanga…hivyo saa sita usiku naomba tuonane pale njia panda ya msikitini sawa?”
“Sawa bibi, nivae mavazi yangu?”
“Hapana njoo kama vile unaenda kwenye kikao, ili wasije wakakuona”
“sawa”
Baadaye, Changa aliondoka, kichwani akaapa, ‘kama wakinifundisha uchawi wa kuua, wallahi nitamuua Vero, namchukia mimi’
INAENDELEA