PENZI LA MZUNGU LILIVYONIHARIBIA MAISHA
SEHEMU YA 01
ONYO: Wakubwa tu ndio wasome hii hadithi 🔞
Naitwa Daniel (Danny)
Baada ya kumaliza masomo yangu ya kidato cha sita nilikosa nafasi ya kuendelea na elimu ya juu ya chuo kikuu kwa sababu ya changamoto za kifedha lakini sikukata tamaa na kukaa chini tu kusubiri tena bahati au pesa zinifuate, niliamua kujishughulisha na biashara za hapa na pale ambazo zitaniingizia kipato na kunifanya nipate chochote cha kupeleka kinywani, ikiwa ninakaa kwa wazazi bado, nikitamani kupata mahali pangu yaani chumba changu nipange na kujitegemea.
Leo kama kawaida yangu ya siku zote, asubuhi nilioga na kujiandaa, nilichukua mbao yangu maalumu ya kupakia bidhaa zangu za urembo nikichanganya na ndala (sandals) za kimasai tayari kuingia mtaani kusambaza
“Danny” mama aliniita,
“Naam mama, shikamoo”
“Marahaba, mbona mapema mapema hunywi chai leo?”
“Leo nawahi maana Weekend na kuna mtaa mmoja mpya nataka niwapitishie”
“Oooh sasa kuhusu ishu aliyoisema baba yako vipi?”
“Ipi mama, ile ya kwenda ufundi?”
“Ndiyo sasa hizi biashara zako kila siku unapata shilingi ngapi, lazima uwe na fani fulani itakayokusaidia baadae”
“Mama na baba ninyi mna wasiwasi sana, mimi hii biashara inanisogeza tu kwa muda halafu hela ndogo ndogo sikosi, za vocha na nauli nauli”
“Najua lakini si unajua maisha ni vita?”
“Najua mama, napambana, kuna ndoto yangu ile lazima niitimize”
“Ndoto gani, hayo mamuziki yako unayoimba imba?”
“Ndiyo, lazima niwe mwanamuziki mkubwa sana yaani, niwajengee nyumba kubwa, muwe na gari lenu kabisa”
“Hebu nenda kwenye biashara zako huko achana na mandoto ya mchana ambayo unayaota ukiwa macho umesimama”
“Mama huniamini, freshi tu ila wewe mwenyewe utayashuhudia kwa macho mandoto yangu na utabaki unasema waooooh”
“Haya nipe elfu tano hapo mimi nadaiwa na yule mama aliyenikopesha kitenge chake atapita leo kuchukua marejesho”
“Hii hapa elfu kumi lakini elfu tano yangu unitunzie chumbani mama usiile”
“Ukiikuta sawa na usipoikuta ndio basi”
“Dah mama nilitaka nikalipie vitu fulani hivi niachie elfu tano tu”
“Nilipokuzaa ukaninyea nyea miguuni, tena wewe ndo wa mwisho ulinyonya ziwa langu kwa sifa ukakomba lote ukajua hakuna mtoto mwingine, baba yako angetaka tuongeze mtoto je, mdogo wako angekuja angenyonya nini, mama hadaiwi”
“Basi mama yameisha duh?”
“Haya biashara njema” mama aliondoka taratibu huku akiimba wimbo wa kanisani alioupenda.
“Ningejua hela yangu ningeichenji kabisa dah!?” Nilijikuna kichwa baada ya kuikosa elfu tano yangu na ndiyo ilikuwa kawaida ya mama, akikuazima pesa harudishi na kumdai haiwezekani maana atakuchambua historia yako tangu utotoni halafu utajikuta unajichekesha mwenyewe ila ndo imekwisha hiyo, harudishi hela wala chenji, na ana kauli yake moja ‘ukinidai rudi tumboni nikupigie mahesabu upya’
Nilitoka taratibu nyumbani na biashara yangu bila aibu nikiwa nimeshaizoea, ikiniingizia faida ya takribani elfu kumi na tano mpaka elfu ishirini kwa siku, pesa ambayo si haba.
Nilitembea nikiuza vitu vichache na nikasogea mpaka mtaa mmoja anaoishi msichana ninayempenda sana, mpenzi wangu Glory, nikachukua simu na kumpigia, ikaita bila kupokelewa, nia yangu nimwambie kuwa napita karibu na kwao ili ajue, akiwa amepanga chumba anasoma chuo cha Uhasibu, na kodi ni mimi ninayemlipia kwa upendo tu.
Nilipoona simu haipokelewi mara zote nilizopiga nikaamua kwenda tu mpaka kwenye nyumba hiyo aliyopanga wakati napita dirishani kwake nikasikia sauti ya kiume ikabidi nisimame kwanza kusikiliza nini kinachoendelea
“Sasa Glory vipi kuhusu ile pesa niliyokuomba my Love?” Sauti ya kiume ilimwuliza, nikahisi mwili unakufa ganzi na mapigo ya moyo yakinienda mbio ghafla
“Ile pesa nitakupa baadae, ngoja kwanza kuna mtu nimpigie, kaka yangu anaitwa Daniel” kauli hiyo ya Glory ilininyong’onyesha na kunipa hasira nikakaa kwenye ukuta nikitua mbao yangu ya biashara,
“Yaani mimi ni Kaka yako Glory?” Niliongea kwa hasira….
SEHEMU YA 02
Nilijikuta naishiwa nguvu kwa jinsi nilivyokuwa nampenda Glory na leo ninachokisikia kuhusu mimi kuwa ananiita kaka yake akiwa na mwanaume mwingine chumbani, tena ninapomlipia mimi kodi kwa kujibana hivyo hivyo, nilizidi kuumia zaidi nikishikwa na hasira nikajikuta nainuka taratibu na muda huo huo simu yangu ikaita nikatazama namba ni ya Glory, nilivyoisevu kwa jina zuri la MY ONE AND ONLY, nikashusha pumzi kwanza ya kupunguza hasira na kurudi nyuma hatua chache ili niipokee wasije wakanisikia chumbani nikiongelea karibu na dirisha lao.
“Halow!” Nilipokea huku nikijisikia hasira sana lakini nikijikaza kisabuni nisije nikajulikana kuwa kuna kitu kinanifurukuta kooni
“Danny my love umeamkaje?”
“Nimeamka vyema”
“Kweli, mbona unaongea hivyo jamani?” Aliniuliza kwa kudeka
“Oooh kwani naongeaje?”
“Unaongea kiunyonge sana”
“Hamna mawazo yako tu”
“Oooh baby please kuna vitu vya chuo nataka ninunue nisaidie pesa kidogo”
“Shilingi ngapi?”
“Elfu kumi na tano tu”
“Oooh sawa ngoja nikienda dukani nitakutumia”
“Saa ngapi baby”
“Muda si mrefu”
“Oooh sawa haina shida, love you!”
“Love you too” nilimjibu akakata simu, haraka nikasogea dirishani kwao tena kusikiliza kinachoendelea nikamsikia Glory akiingia chumbani akionekana alienda kuongea na simu nje hasa chooni,
“Vipi umefanikiwa?” Mwanaume huyo ambaye sikumuona wala kumfahamu bado, aliuliza.
“Yeah, hachomoi nimeshampanga”
“Ni kaka yako au naniliu si useme ukweli Glory?”
“Aaah danga langu moja hivi halijielewi elewi tu”
“Oooh kumbe, ndo faida ya madanga hiyo, njoo basi unipe kidogo Glory cha asubuhi”
“Wewe si ulisema unawahi una haraka imekuwaje?”
“Aaah bwana, kidogo tu angalau kimoko njoo bwana”
“Aaah niache bwana George nimechoka jana usiku si nilikupa” aliongea kwa kudeka akionekana alikuwa anavutwa vutwa, moyo ukiniuma kwa sababu jana usiku aliniaga anaenda kulala kwa shangazi yake kuna msiba nilipotaka kumtembelea na kumbe haikuwa kweli, ilikuwa gia ya kunizuia nisije nilipotaka kupita kumsalimia, nilijiona mpumbavu kwa jinsi nilivyojitolea kwa ajili yake bila kujua kuwa kuna wanaume wenzangu wanakuja na kujilia vyao, watakavyo, mpaka kitanda nilijikakamua nikamnunulia na godoro baada ya kupata pesa fulani kwenye dili langu moja nililolifanya na marafiki zangu wa chuoni, nikageuka kuanza kuondoka lakini nikajikuta natamani kwenda ili Glory ajue tu kuwa nimemuona anachokifanya lakini nikahisi nitaumia zaidi, ilibidi nijikaze kisabuni nikageuka hivyo hivyo na kurudi mpaka kwenye nyumba hiyo na sikutaka kugonga mlango nikaufungua tu na kuingia mzima mzima na kuwakuta kitandani wakishikana shikana, Glory akiwa chini na mwanaume huyo akiwa juu ambae sikumfahamu na uzuri mlango haukuwa na kelele ikabidi nijikoholeshe kwa sababu hawakunisikia na ndipo wote wakageuka na kushtuka baada ya kuniona, Glory akamsukuma kijana huyo pembeni
“Danny?”
“Oooh sorry, sikujua kama mna kazi” nilijibu nikageuka na kufungua mlango nikitoka haraka haraka nikiwaacha kwenye bumbuwazi, ni kama niliichochea hasira mara mbili zaidi na ndiyo maana nilitoka haraka nikiwaacha nisije nikasababisha madhara au ugomvi wowote maana ningeendelea kukaa lolote lingeweza kutokea, nilitembea huku nikijifuta machozi yaliyokuwa yananilenga lenga nikiusahau mzigo wangu wa biashara pale pale nje nilipouweka, miguu nikihisi imekuwa mizito kama mapipa ya maji, kumbe nilifika kwenye barabara ya vumbi lakini sikuwa na habari kwa sababu akili haikuwa na ushirikiano na mwili
“Piiiiiiipiiiii!” Honi kali ya gari ilisikika nikageuka kutazama pembeni nikilishuhudia gari likiwa limeshafika miguuni mwangu likanigonga na kiza kikatanda machoni mwangu sikujua kilichoendelea baada ya hapo…..
SEHEMU YA 03
Macho yangu yalifunguka taratibu nikatazama na kukutana na mwanaume mwenye miwani machoni akiwa na koti jeupe sambamba na akina dada wawili waliovalia magauni meupe ambao niligundua ni daktari na wauguzi (manesi)
“Kwani nipo wapi hapa, hospitali au?” Nilijiuliza kimoyo moyo
“Upo sawa?” Daktari aliniuliza
“Nipo sawa, kwani nini kimenitokea?”
“Ulipata ajali, mwiteni yule mama” alimwambia nesi mmoja akatoka kwenda nje kumuita mama huyo ambaye sikujua ni nani, nikajaribu kuinuka lakini nikahisi maumivu ya mwili na mguuni
“Hapana pumzika tu usiinuke utaumia” nesi alinitahadharisha ikabidi niendelee kulala huku kichwa kikiniuma hasa maeneo ya mbele kwenye paji la uso, nikamwona mwanamke wa kizungu akiingia wodini haraka haraka na miwani yake machoni, mtu mzima wa makamo, wa miaka arobaini na tano mpaka arobaini na nane kwa kukadiria,
“Doctor, is he okay?( Dokta yupo sawa)” alimwuliza daktari kwa Kiingereza
“Yeah, she…he is okay now, I think I will permit him to go home” daktari alijibu kwa Kiingereza cha kubabaisha akimaanisha kuwa nipo sawa na ataniruhusu kwenda nyumbani.
“Sikukuzudia kugonga wewe samahani sana kijana” mwanamke huyo wa kizungu aliniambia kwa Kiswahili cha kudonoa donoa
“Usijali, nipo sawa”
“Sawa naomba dokta akitoka hapa huyu kijana niende nae nyumbani nikahakikishe yeye ipo sawa”
“Niwewe tu dada”
“Asanti sana dokta” mzungu huyo alitikisa kichwa huku akimpa mkono daktari huku akitabasamu.
“Unaweza kwenda na mgonjwa wako sasa, akatumie tu dawa za maumivu” daktari aliongea, mwanamama huyo akanisogelea karibu na kukaa pembeni mwa kitanda changu
“Waitwa nani?”
“Daniel”
“Oooh Danny such a nice name (jina zuri)”
“Thank you”
“Twende kwangu ukapumzike kidogo halafu hali yako ikitengamaa utaenda nyumbani kwenyu”
“Asante, nipo sawa tu, nitakwenda nyumbani”
“Muda umeenda sana saa hizi, ungeenda kwangu usiku huu kisha uende asubuhi nyumbani” aliniambia kwa Kiingereza, kwa kuwa siyo lugha iliyonipiga chenga nilimuelewa ingawa matamshi yake yalikuwa ya kuteleza ya kile kiingereza chenyewe ambacho kumuelewa inahitaji utege masikio haswa.
“Eeh saa tano ya usiku saa hizi, ungeenda kwake tu kwa sababu ana usafiri na muda umeenda kweli kweli” daktari alishauri
“Sawa haina shida” niliitikia na kweli nikashuka kitandani kwa kuchechemea nikisaidiwa na mwanamama huyo wa kizungu mpaka nje kwenye gari lake zuri tukaingia na kuondoka kuelekea nyumbani kwake, ulikuwa ni mwendo wa dakika kama ishirini tukafika jengo moja la ghorofa (apartment) yenye kila kitu ndani, tukaingia kwenye nyumba moja ya chini na kushuka kwenye gari akiwa ameniuliza maswali mengi kunihusu na akijitambulisha kwa jina la Meranda, muingereza wa nchini Scottland tuliingia mpaka nyumba hiyo nzuri aliyopanga (apartment) akaandaa pizza ambayo tulinunua njiani tukakaa mezani na kula kisha yeye akatoka nje nami nikabaki sebuleni natazama televisheni kubwa ukutani mithili ya sinema huku nikinywa juisi kwenye glasi na usingizi ulianza kuninyemelea ikiwa tayari saa sita za usiku na kwenye nyumba hiyo nikimwona yule mama mwenyewe, sikumwona mtu mwingine tena ndani, kwa kuwa alikuwa hajanionyesha chumba changu cha kulala, nikashindwa kwenda kulala kimya kimya nikaona niende nikamuage nje nikatoka na kumkuta akioga kwenye bwawa la kuogelea (swimming pool) huku akiwa na glasi ya wine mkononi anashushia.
“Aaamh nilikuwa nakuaga naenda kulala kidogo” nilimwambia kwa Kiingereza akageuka na kunitazama.
“Oooh Daniel njoo uoge nawewe, mbona unaenda kulala mapema”
“Hapana nimechoka tu” nilimjibu akatoka ndani ya maji taratibu akiwa na chupi tu na sidiria huku akiwa amelowana maji, nyama za mwili wake zikitikisika nikatazama pembeni kwa kuzuga
“Twende nikakuonyeshe chumba cha kulala Daniel” aliniambia akinipita akitangulia mbele bila kuokota nguo zake alizozivua na kuzitupa chini, akitembea vile vile na chupi na sidiria tu huku akirusha rusha nywele zake ndefu zenye maji, nilijikuta dudu linadinda ndani ya suruali wakati niliposhuhudia matako ya mama huyo wa kizungu yakitingishika tingishika, ikabidi nigeuke pembeni huku nikichechemea mguu mmoja, tukaingia mpaka ndani ya chumba kimoja kati ya vitatu vya nyumba hiyo, akanionyesha huku akitabasamu bila kuzungumza
“Asante” nilitikisa kichwa kisha akatoka taratibu, nami nikashusha pumzi na kuanza kuvua nguo zangu, dudu likiwa bado limesimama linaning’inia nikiwa nimeshaiangusha suruali chini na boksa ili nivae nguo maalumu za kulalia, nikatazama kwenye kioo na kugundua kuwa mwanamama huyo wa kizungu kumbe alikuwa mlangoni bado hajaondoka moja kwa moja ananichungulia, nikageuka haraka akiwa hajui kama nimemwona tayari nae haraka akauacha mlango na kuondoka, akiwa hajaufunga vizuri….
SEHEMU YA 04
Nilitikisa kichwa tu na kuendelea kumalizia kuvua nguo zangu kisha nikapanda zangu kitandani na kujilaza chali huku nikitazama mazingira safi ya ndani ya chumba hicho chenye kila kitu, mwishowe nikapitiwa na usingizi….
“Grrrrrrrhhhhh!” Sauti ya mlango ukifunguliwa ilinishtua na kunikata usingizi nikafumbua macho na kumwona mwanamke huyo wa kizungu akiwa mlangoni na nguo yake fupi ya kulalia (pajama) iliyoacha mapaja yake wazi, akinitazama
“Danniel”
“Yeah”
“Umelala vizuri?” Aliniuliza (tukiongea Kiingereza)
“Yeah nimelala vizuri kabisa”
“Mguu je?”
“Upo sawa kabisa ila kichwa tu bado kinaniuma kwa mbali”
“Ngoja nikupe paracetamol umeze”
“Hamna, haina haja ni maumivu ya mbali sana si unakumbuka hospitali pale wakati wa kuondoka nilishameza nafikiri maumivu ndo yanapotea kabisa”
“Oooh vizuri, kama unajisikia upweke karibu chumbani kwangu tuzungumze mimi bado sijalala”
“Oooh asante sana”
“Utakuja?”
“Mh hapana nitajipumzisha tu hapa”
“Danniel?”
“Yeah”
“Hutaki kuzungumza na mimi mawili matatu maana sina usingizi kabisa, nina stress nyingi”
“Pole sana”
“Oky nisikusumbue, usiku mwema” aliniambia huku akitabasamu
“Nawe pia” nilimrudishia tabasamu, mwanamama huyo wa kizungu, raia wa nchi ya Scotland alirudisha mlango taratibu, nami nikavuta shuka kujaribu kuutafuta usingizi tena lakini palikuwa pazito sikuweza kupata tena usingizi nikajikuta nagara gara na kugeuka geuka tu, mawazo ya alichonifanyia Glory mpenzi wangu yakinizonga zonga, mwishowe nikaamua kukaa kitako huku nikimkumbatia mdoli mkubwa wa dubu aliyekuwa kitandani, kikionekana ni chumba cha watoto maana kilikuwa na midoli mingi na michoro ukutani, namna nilivyojitoa kwa ajili ya Glory hata kwa kidogo nilichonacho ilizidi kuniumiza kichwa kila nilipokumbuka tukio lile la kumkuta mwanaume mwenzangu kwenye chumba ninacholipa mimi kodi, nilitamani kwenda kumnyang’anya kila kitu nilichomnunulia ikiwemo kitanda na godoro lakini nikajipiga konde kifua kughairi maamuzi hayo na kujikaza kiume, nilipoona usingizi hauji nautafuta kwa shida nikaona bora niitikie wito wa bi Meranda kama alivyoniita mwanamke huyo wa kizungu ambaye alinieleza historia yake kuwa ana watoto wawili na wote wamechukuliwa na mumewe waliyetalakiana ambae ameondoka nao Scottland kwa makubaliano ya kukaa nao mwaka mmoja mmoja kama mahakama ilivyowataka, jambo lililomfanya awe mpweke na aishi mwenyewe tu nyumbani kwake hapo alipopanga, nikatoka kwenye chumba hicho na kuusogelea mlango wa chumba chake, nikagonga mara kadhaa bila kujibiwa nikadhani huenda yupo sebuleni ikabidi niende kumtazama lakini sebuleni nilikuta televisheni kubwa ya ukutani ikizungumza peke yake, hakukuwa na mtu, nikarudi kwenye mlango wa mwanamama huyo nikiwa nimevaa nguo ya kulalia (pajama) na kugonga tena mlango lakini sikujibiwa na wala mlango haukufunguliwa, nikasikia sauti ya muziki kwa mbali ikabidi nitege sikio kusikiliza muziki wa aina gani nikasikia muziki wa taratibu wa kizungu ukiimba, kwa mbali sana ikabidi nifungue mlango taratibu na kuchungulia kumtazama kama yupo chumbani na ndipo nilipotoa macho baada ya kumuona akiwa kitandani kwake hana nguo, ameshika uume wa bandia wa mwanaume, mweusi anajiingiza kwenye uchi wake kitandani huku akijilalamisha kimahaba kana kwamba anasuguliwa na mtu kweli na kwenye televisheni ya chumbani kukiwa na filamu ya ngono (X) ikiwa inamwonyesha mwanaume wa kiafrika na mwanamke wa kizungu wanafanya yao kwenye kochi (sofa) sauti ya muziki ikiwa juu na mlango haupitishi sauti ndo maana hakunisikia,
Kitu kilinipita miguuni nikashtuka na kuruka, kumbe alikuwa paka wake mweupe mwenye manyoya mengi nae akiingia chumbani humo akipita katikati ya miguu yangu na kunigusa kwa manyoya yake, ndipo na mwanamama Meranda akashtuka baada ya kuniona nimesimama mlangoni kwake….
SEHEMU YA 05
“Danniel?!” Haraka haraka mwanamama Meranda alivuta shuka na kujifunika nisimwone akiwa uchi hana nguo nami nikageukia pembeni.
“Oooh samahani niligonga mlango muda mrefu nikahisi labda hakuna mtu ndo maana nikafungua bila ruhusa” nilijikuna kichwa (tukiongea kiingereza) ambacho kidogo hakikunipiga chenga, hasa cha kuzungumza kuliko cha kusikiliza kutoka kwake ingawa nae alikuwa anasikika vizuri tu kwa sababu Kiingereza cha Waingereza wenyewe maneno yake yanatamkika hasa cha wa London na Scottland lakini cha wamarekani ndicho kikiwa mtihani kutokana na matamshi yake yaliyoongezwa ladha na misamiati mingi mipya
“Oooh usijali, muziki ulikuwa juu, sikukusikia kama unagonga, karibu” aliniita huku akihangaika na rimoti kujaribu kuondoa filamu ya ngono ambayo alikuwa akitazama na rimoti ikamgomea
“Asante, basi mimi narudi kulala, kesho”
“Hapana, njoo tu Danniel njoo ukae hapa tuongee tu njoo usijali nilikuwa nina…nina …tazama tu kidogo, si unajua nipo mpweke sana sina mwenzi, njoo usiondoke njoo” alinibembeleza nami ikabidi nisogee mpaka karibu na kitanda chake lakini sikukaa kitandani nikatulia kwenye kochi (sofa) la watu wawili pembeni mwa kitanda chake,
“Aaamh uliiona simu yangu, samahani, ndogo ndogo hivi?”
“Niliiona vizuri kabisa ile pale kwenye meza yaki nilisahau kukupa” alinijibu kwa Kiswahili alipoona napata shida kuzungumza baadhi ya maneno ya Kiingereza akataka kuifuata kuichukua
“Acha tu nitaifuata, asante” nilimzuia na kuifuata simu janja yangu hiyo ndogo ambayo ni ya Glory alikuwa anaitumia, nikambadilishia na kumpa yangu kubwa na nzuri yake nikaichukua mimi, nikakuta meseji nyingi sana na zikiwa ni za Glory, moja ikisomeka;
“….SAMAHANI DANNIEL NILISHINDWA TU KUWA MUWAZI, MIMI NAOMBA TUACHANE TU UENDELEE NA MAISHA YAKO NA MIMI NIENDELEE NA MAISHA YANGU KWA SABABU WEWE SIYO TYPE YANGU NA KUHUSU VITU VYAKO NIVUMILIE SIKU CHACHE TU NAWEKA MAMBO YANGU SAWA NIKIPATA BOOM LA CHUONI NITAKURUDISHIA VYOTE MAANA NITANUNUA VYANGU VIPYA, NIKUTAKIE SIKU NJEMA…” Niliusoma ujumbe huo huku nikishusha pumzi kusikitika tu na nikajibu;
“HAINA HAJA YA KUNIRUDISHIA VITU VYANGU, NILIVITOA KWA UPENDO TU NA SIYO NIRUDISHIWE SIKU MOJA TUKIACHANA, USIJALI ENDELEA NA MAISHA YAKO TU GLORY, MIMI NIPO SALAMA..” niliutuma ujumbe huo nikijua kuwa ameshalala lakini kumbe alikuwa macho na inaonekana alikuwa na simu mkononi, akajibu haraka haraka kwa herufi moja tu;
“K” akimaanisha Okay’ nikatazama meseji zake nyingine nikagundua kuwa hata tukio la mimi kupata ajali halijui kabisa, nikaachana nae huku nikiwa na maumivu moyoni na kutazama simu ambazo mama alinipigia zikiwa nyingi, baada ya kuona sijarudi nyumbani nikamwandikia meseji ya kumjulisha kuwa nipo salama nitarejea asubuhi ili nyumbani wapate amani,
“Upo sawa Daniel?” Mwanamama Meranda aliniuliza huku akizirusha nywele zake za kizungu nyuma akiwa bado amejifunika shuka kujiziba kwa sababu ndani hakuvaa kitu
“Nipo sawa”
“Pole”
“Asante, lakini pole ya nini?”
“Kwa sababu ya Glory, nimesoma kidogo meseji za kwenye simu yako samahani, kumbe nawewe upo mpweke kama mimi, usijali wote tumekutana wapweke hapa, njoo tukae tutafakari maisha mengine, panda kitandani, bora wewe mpweke wa mpenzi wako tu, mimi na watoto wangu waliokuwa wananifariji wote wapo Scottland, nikiwakumbuka najisikia vibaya sana” aliongea (kwa Kiingereza) huku akitabasamu na mara ghafla akishikwa na kwikwi ya kilio na kuanza kujifuta machozi huku akitazama picha za watoto wake wawili alizoziweka ukutani, mkubwa wa kike na mdogo wa kiume wa umri kati ya miaka tisa na sita, ikabidi niinuke na kupanda kitandani nikikaa karibu yake
“Pole mamy, am feel so sorry for you” nilimshika begani nikimbembeleza
“Asante Daniel” inaumiza
“Naelewa” nilimjibu nikimvutia kifuani mwangu taratibu huku nikimfuta machozi, paka wake mweupe akiwa chini anauchapa usingizi huku televisheni ikiwa bado inaonyesha filamu ya ngono (X) ambayo alishindwa kuitoa kutokana na rimoti kugoma ikiwa imeisha betri, tuliendelea kuangalia hivyo hivyo tukiwa kimya, mwanamama Meranda akanitazama usoni huku akiangalia dudu langu ambalo lilikuwa limesimama mpaka limeinua shuka tulilojifunika wote, mwanamama huyo taratibu akaanza kuupitisha mkono ndani ya shuka kwenye mapaja yangu nikashtukia ameshalikamata dudu langu kwa mkono wake akilipapasa papasa ndani ya shuka nami nikageuka tukitazamana uso kwa uso, sikutaka kupoteza wakati nikasogeza midomo yangu kwenye midomo yake tukaanza kunyonyana mate (denda) taratibu huku nami nikiipeleka mikono yangu kifuani mwake na kuanza kumpapasa matiti yake makubwa…..