MUOKOTA MAKOPO ALIVYONIFIKISHA KILELENI NA KUNIFANYA NIMDHARAU MUME WANGU
PART 06
ONYO: Hawaruhusiwi wenye Miaka chini ya 18 kusoma hii Hadithi
Nikiwa nimeenda nyuma ya nyumba lilipo pipa la taka ili nkatupe manguo machafu ya yule kichaaš³mara nikamsikia mume wangu akigombea sana getini . “Mh kulikoni? Au Riziki amekutana na mume wangu getini nini?” Nilijiuliza huku niikipiga hatua kwenda kuchungulia. Weeee nilipochungulia tu getini nikimuona mume wangu akiwa amemshika tai Riziki.
“Jamani mume wangu hebu muache kijana wawatu ana matatizo huyo” nilimwambia mume wanguš “Matatizo gani mpaka avae nguo zangu eeeā¹” alifoka mume wangu. “Nilimkuta hapa getini Kalala huku akiwa ameshika tumbo lake kuashiria kuwa ana njaa nilipomuuliza akadai kuwa hajala siku tatu na hapa Dar alikuja kutafuta kazi lakini amekosa ikabidi kwa huruma zangu kama mwanadamu nimpe chakula lakini pia maji aoge na kwa vile una manguo mengi ambayo hata huyatumii ikabidi nimpe hizi avae jamani mume wangu tuwe na huruma kwa watu kama hawa sadaka sio lazima ukatoe kanisani au msikitini.” Nilimwambia mume wangu kidogo akashusha hasira.
“Kijana kazi ya kutunza bustani utaweza” mume wangu alimuuliza Riziki . “Ndio baba nitaweza” alijibu Riziki huku machozi yakimlengalengaš„¹. “Sawa chumba chako kitakuwa kile pale cha nje, rudi ukalale nitakupa elfu 50 kwa mwenzi lakini nikiona juhudi zako mbeleni nitakuongezea mshahara” mume wangu alimwambia Riziki. Basi bwana Riziki muokota makopo akapata ajira nyumbani na kwa sehemu ya familia, mume wangu alimpenda na kumpa nguo nyingi, viatu na hata wakati mwingine alikuwa akimpa pesa na kumwambia. “Najua wewe ni kijana siwezi kulifungia humu ndani kama kuku hebu shika hii ukazurure utaona kasichana kanakokufaa huko mtaani” kiukweli mume wangu alimpenda Riziki vibaya mno.
Siku moja usikuš„°mume wangu alinishikashika kisha akapanda juu ya mwili wangu akafanya kimoja na kushuka kisha akajifunika shuka na kugeukia upande wa pili, nilikasika sana kwakuwa aliniacha hoi taabani, mbaya zaidi hakuchukua hata dakika ngapi akaanza kukoroma, taratibu nikaamka nikaifungua mlango wa chumbani na wa sebuleni nikatoka nje kwenda kumgongea riziki nikiwa nimevaa night dress langu. Riziki alifungua lakini kwa woga sana. “Jamani mama usije ukaniletea matatizo mimi kwanini tusifanye kesho” Riziki aliongea huku akitetemeka, nilimshawishi kwa kumtoa hofu, tukaingia chumbani, tukafunga mlango na kupanda kitandani. Kwa kuwa hamu yangu ilikuwa juu nikalishika Dyudu lake na kuanza kulinyonya, nilifanya hivyo kwa takribani nusu saa. Mara ghaflaš³ mlango ukagongwa” Riziki samahani hebu fungua mlango maana mama yako simuoni, fungua tukamtafute naona sasahivi ameanza tabia za ajabu” alisema mume wangu akiwa mlangoni. Tuliishiaš³kutoleana macho ya mshangao mimi na riziki huku tuki………
PART 07 & 08
Niliposikia tu sauti ya mume wangu ikimuamuru Riziki afungue mlangoš³ macho ya mshangao yalinitoka huku nikitetemeka mithili ya mpapai uliopigwa na kimbunga, haraka nikazama uvunguni naye Riziki akafungua mlango na kutoka nje. “šMama yako simuoni ndani na sijui usiku huu kaenda wapi hebu twende tukajatibu kumtafuta tafuta.” Nilimsikia mume wangu akimwambia Riziki, walipotoka tu getini nami nilitoka mume uvunguni mwa kitandani cha Rizikiš haraka nikarudi kitandani kwangu kulala. Ilipita kama nusu saa hivi mume wangu akarudi.
“Wewe ulikuwa wapi?” Aliuliza mume wangu. “Bwana eee kwanza mimi siiitwi wewešinamaana hata chooni nikitaka kwenda chooni nikutaarifu sipo jela mimi na sitaki kuchungwa” nilimjibu mume wangu kwa dharau. “Mbona nimengalia kwenye choo cha ndani haupo” mume wangu alizidisha maswali. “šhivi wewe huoni hivi vyoo vya ndani tukivitumia vinatoa harufu mimi nilikuwa nyuma ya nyumba lilipo choo cha nje” nilimjibu kwakuwa nijua tu kwamba hakwenda huko kuangalia.
“Sawa tu lakini tambua panya mjanja siku zote ndio hunasa mtegoni, kwa majibu yako hayo ya dharau ipo siku nitakunasa tu hapo utajua kwanini kuku hakojoi” alisema mume wangu. “Nisikilize wewe mwanaume kwanza sipendi vitisho unaweza kuniacha tu niende kwetu mwanaume mwenyewe yupi bwanaš” Nilishtukia nimeropoka maneno hayo. “Eti ee sasa hivi naona kuna mtu anakupa kiburi sina uhakika lakini siku zote hakuna siri chini ya jua” alisema mume wangu. “Hebu niache nilale bwana kwanza kwetu sijaua kuna vitanda kama hapa pia hivyo sitaki kelele” nilimjibu mume wangu kwa dharau mpaka akawa mpole kama maji ya mtungi.
Asubuhi alidamka na kujiandaa kwenda kazini, alikuwa na hasira sana na wala akaniaga “mke wangu naenda kazini ila leo j mos nitachelewa kurudi” alisema mume wangu. “Sawa” nilijibu kwa mkato kiukweli tayari nilishapoteza hisia naye. Alipoondoka tu nikamfuata Riziki.
“Unasikia Riziki leo nataka nikutoe out asubuhi hii, yani kama ni breackfast tutaipatia huko huko hotelini na kama ni cha mchana tutaipatia hukohuko, mume wangu atachelewa kurudi hivyo sitapika” Nilimwambia Riziki japo alisita sita kwa Sekeseke aliloponea chupuchupu jana yake lakini nikamshawishi mpaka akakubali, alijiandaa tukatoka out na kwenda kwenye hoteli moja inayoitwa Jerusalem pack hapo tuliingia chumbani na kuagiza kila kitu tukiwa chumbani.
NYUMA YA PAZIA.
Kumbe wakati tunaingia Jerusalem Hotel kuna rafiki yake mume wangu ambaye naye ni mwanajeshi alituona lakini sisi hatukumuona, basi huyo akampigia simu mume wangu. “Criss nimemuona mkeo akiingia hotelini na kijana mmoja mrefu hivi ila sijajamjia ni nani?” š³” Unasema kweli?” “Ndio wapo hapa Jerusalem Hotel” “sawa acha nijeā¹”
Tukiwa uchi wa mnyama ndani ya chumba ni.69 mimi na Riziki, tunanyweshana Wine na kulishana pizza mara ghafla tukashtukiaš³…….
JE NINI KILIENDELEA?
NI IPI HATIMA YA RIZIKI NA MKE WA MJESHI?
PART 09
Tukiwa tupo uchi kama tulivyozaliwa mimi na Riziki ndani ya chumba na 69 katika hoteli ya Jerusalem hoteli, tulikuwa na furaha sanaš„°huku tukinyweshana wine pamoja na kulishana Pizza, tulipigana mabusu š kila mara kutokana na furaha ya penzi letu hilo la siri. Basi tukiwa hatujui hilo wala lile mara ghafla mlango ukagongwa kwa nguvu sanaš³kama kwamba ni ugomvi, hali hiyo ilitushtua sana na kunifanya mapigo ya moyo wangu yaniende mbio. “Mh wahudumu wa hii hoteli hawana ustaarabu kabisa yani mtu anagonga mlango kama vile chumba tumepewa bureš” Niliongea huku nikienda mlangoni kufungua mlango kwani nilijua atakuwa ni muhudumu lakini kumbeš³ hakuwa muhudumu.
**************
Ile nafungua tu mlangoš³moyo wangu ulinipasuka “paaaaa mithili ya ukuni mkavu baada ya kukutana uso kwa uso na mume wangu” kabla sijasema kitu ngumi nzito iliyojaa kilo ilitiwa usoni mwangu nilianguka chini huku giza zito likitanda machoni kwangu na palepale nikapoteza fahamu. Nilipozinduka nikashukia nipo nyumbani kwangu š³ Riziki alikuwa mbele yangu amevimba uso kiasi kwamba macho yake yalikuwa hayaonekani, mume wangu alikuwa amesimama mbele yangu huku akiwa ameshika bastola, uso wake ulikuwa umetota machoni na ile bastola alikuwa amemuelekezea Riziki kichwani.
“Huyu ndiye anayekupa kiburi eti, huyu ndiye anayekufanya unisaliti?” Alimuuliza mume wangu huku akiwa na hasira sanaā¹kabla sijamjibu nikashtukiaš³ ame…..
JE NINI KIMETOKEA?
PART 10
“Huyu ndiye anayekupa kiburi mpaka unanisaliti eti?”
Aliliuliza mume wangu huku akiwa amemnyooshea Riziki bastola.
Kabla sijamjibu kitu ningali matetemeka midomo kwa woga ghaflaš³nikashtukia mume wangu amemfyatulia risasi ya kichwa Riziki, damu iliruka, kwa macho yangu nilishuhudia ubongo wa binadamu, nililia kwa uchungu sanaš
“Nyamaza š¤«malay mkubwa wewe tena ukiniudhi zaidi na wewe nakumwaga ubongoā¹” aliongea mume wangu huku hasira zikiwa zimemkaba nilikaa kimyaš¤bila kusema neno lolote.
Mume wangu aliondoka na kuniacha pale sebuleni kisha akaenda chumbani, alikaa huko kwa muda kidogo na kuniacha pale sebuleni nikilia kwa uchungu baada ya kumsababishia Riziki majangaš, muda ulivyozidi kusonga nikaamua kwenda chumbani ile nafungua tu mlango hamadi š³nikashangaa kumkuta mume wangu akiwa amejinyonga. Hapo maumivu yakazidia kwani licha ya mume wangu kutoniridhisha kitandani lakini yeye ndiye aliyekuwa MSAADA mkubwa sana kwangu kwani alinitoa katika familia duni sana.
Niliwaza cha kufanya nikakosa jibu, punde nikashuhudia gari la polisi lilifika nyumbani kwangu kumbe kabla mume wangu hajajinyonga aliwapigia polisi na kuwaeleza tukio nzima, ajabu polisi walinipa kesi ya mauwaji ya mume wangu pamoja na mtunza bustani ambaye ni Riziki, basi maiti ya mume wangu ilichukuliwa na ndugu zake huku maiti ya Riziki ikizikwa kwenye makaburi ya manispaa kwani hakuna aliyekuwa anajua kwao
Nilipelekwa locap ambapo nilikaa siku mbili na siku iliyofuata nilifikishwa mahakamani kujibu mashtaka, nilijaribu kujitetea kwa kila hali lakini bado nilishindwa kesi na kuhukumiwa jela miaka 30š
Mpaka napokuandikia mkasa huu natumikia kifungo changu cha miaka 30 gerezani nami nimeguswa kuandika ili kuwaonya wanawake wenzangu kuwa wavumilivu kwa waume zenu hata kama hawaridhishwi, siku hizi kuna tiba asilia mshauri mwenza wako na pia kuwa muwazi kwake. NAJUTIA KUMSABABISHIA RIZIKI KIFO MUNGU ANISAMEHE R.I. P RIZIKI
Mwishoš¤