MUME WANGU ALIVYONIACHA NA KUMUOA MDOGO WANGU
PART: 01
Kwa Majina Naitwa, Groly, naomba twende wote mwanzo hadi mwisho wa kisa hiki.
Mwaka mmoja baada ya kufunga ndoa takatifu na mme wangu Daudi, mambo yalianza kubadilika hasa kwa upendo alikuwa nao mwanzo mme wangu.
Alipunguza kunipigia simu, maneno matamu niliyokuwa nimeyazoea yalipungua hali iliyonipa wasiwasi mkubwa lakini kiukweli Mme wangu Daudi nilimkabidhi moyo wangu wote hivyo sikumfikilia vibaya kihivyo.
Siku moja tukiwa tumelala kitandani, aliniambia,
“Mke wangu, sitaki nikuone mtandaoni. Wewe ni mke tayari na unatakiwa kuishi kama mke!”
Kwakuwa nilikuwa namheshimu na kumpenda sana mme wangu sikutaka kubishana naye japo iliniuma kwani nilikuwa nimezoea kuingia mtandaoni.
Nilimpatia simu yangu usiku huo, kisha akafuta mafaili yote ya mitandao ya kijamii . Nilijiuliza maswali mengi kichwani mwangu,
“Kwanini kaamua kunifanyia hivi?, mbona sijawahi kumcheat wala kutumia vibaya mitandao” sikupata jibu la moja kwa moja.
Nilikumbuka maneno kutoka kwa PAULO “mwanamke mheshimu mme wako, na mme mpende mke wako” hapohapo nilikumbuka pia maneno ya mke wa Abraham ambaye alikuwa anamtukuza mme wake mpaka akawa anamuita “,BWANA”.
Maneno hayo, yalinipa moyo huku nikizidi kuongeza upendo mkubwa kwa mme wangu. Nilianza kuamka saa 11 kila siku namuandalia chai, namchemshia maji ya kuoga huku nikijitahidi kumpatia haki yake ya ndoa kwa mda.
Licha ya kumfanyia hayo yote, sikuona mwitikio mkubwa wa upendo kutoka kwa mme wangu.
Nilipitia kipindi kigumu kidogo mpaka nikaanza kuhudhuria semina mbalimbali za ndoa bila mme wangu kujua ili kikubwa niweze kumfurahisha mme wangu kipenzi cha moyo wangu ambaye nilimpenda kuliko mtu yeyote katika maisha yangu.
Katika semina hizo, nilipata mbinu mbalimbali ambazo nilianza kuzitumia ikiwemo kuvaa nguo laini sana au kanga tu pindi ukiwa nyumbani, kila alipotoka kazini, nilimkumbatia na kumpa busu kila siku lakini bado sikupata mrejesho nilioutarajia.
Siku moja wakati ameenda kuoga bafuni, nilichukua simu yake kisha nikaanza kukagua meseji ndipo nilipokutana na muamala wa sh laki moja kwenda kwa mdogo wangu Delila.
Sikupendezwa na hali hiyo japo sikuwa na mawazo yoyote ya kimahusiano na wala sikuwaza kama inaweza tokea.
Baada ya kutoka kuoga, nilimwambia mme wangu,
“Samahani kipenzi changu, nimeona muamala kwenda kwa mdogo wangu Delilla mbona hukuniambia”? Nilimuuliza huku nikiwa nimeshika kifuani mwake.
“Ohoo!, alikuwa na shida kubwa aliomba nimsaidie au nimefanya vibaya?” Aliniuliza.
“Hapana siyo vibaya lakini alitakiwa kuniambia mimi dada yake ili nikwambie wewe “
“Alikuwa na shida ya gafla na baada ya kuniomba nikaona nimsaidie kama shemeji yangu..”
“,Sawa mda huu nitampigia sitaki mazoea ya kuombaomba .Kama anashida basi apitie kwangu hiyo siyo heshima”
“Haya haina shida” alitamka.
Mme wangu ni mtu ambaye alikuwa na roho ya namna yake hasa kwa upendo mkubwa aliokuwa nao kwa wazazi wangu na ndugu zangu hali iliyopelekea kujenga heshima kubwa sana nyumbani.
Ilifikia hatua mpaka mzee wangu akawa ananipongeza kwa kuolewa na mme mwenye upendo na heshima.
Nami nilijisikia vizuri kwa hilo kwani kila nilichomuomba alikuwa ananipatia tena kwa mda sahihi.
Mnamo mwezi wa 11, Delila alifanya sherehe yake ya kuhitimu shahada yake ambayo ilifanyika mlimani city. Tuliongozana na mme wangu ambaye alikuwa amemuandalia zawadi za kutosha.
Sherehe ilifana kwelikweli japo kuna kitu sikukipenda hasa walivyokumbatiana . Niliona mpaka aibu kwani ilikuwa ni zero distance.
Baada ya sherehe, tulielekea nyumbani Kigamboni ambapo tulikuwa tumeanda tafrija fupi.
Tulifurahia kwelikweli.
Usiku huohuo tukiwa tumelala nilimuona mme wangu akiwa anajipiga picha kifua chake afu anatumsa wasap huku naye akitumiwa picha.
Niliendelea kujifanya nimesinzia ili nione vizuri nini kinaendelea.
“Nani anamtumia picha?” Nilijiuliza huku nikijihisi vibaya sana .
Waliendelea kuchati ndipo nilipokoswa uvumilivu na kuamua kufunguka, nilisogeza shuka kwa chini kidogo ndipo aliposhtuka,
“Hee!, kumbe hujalala..!”
“Nimekosa usingizi naomba simu yako niangalie kitu kimoja afu nakurudishia..”
“Simu inakaribia kuzima ngoja badaye kidogo…”
“Naangalia mara moja tu wala situmii mda mwingi….”
Baada ya kumwambia hivo, nilimuona kama anafuta video ya mwanamke ambaye alikuwa amejirekodi akiwa uchi.
Nilifadhaika sana na kumuuliza,
” unafuta nini,?
“Aah!.aahh…nilikuwa naangalia style moja nzuri ya kizungu ili nije nikufurahishe” alianza kumumunya maneno kisha akataka kunishika….
“Ohoo ebu nipe na mimi nione….” nilimwambia ndipo…..
PART: 02
ILIPOISHIA
Baada ya kumwambia hivo, nilimuona kama anafuta video ya mwanamke ambaye alikuwa amejirekodi akiwa uchi.
Nilifadhaika sana na kumuuliza,
” unafuta nini,?
“Aah!.aahh…nilikuwa naangalia style moja nzuri ya kizungu ili nije nikufurahishe” alianza kumumunya maneno kisha akataka kunishika….
“Ohoo ebu nipe na mimi nione….” nilimwambia ndipo…..
SONGA NAYO…
Baada ya kumwambia hivo, alikohoa kidogo kama mtu aliyepaliwa kisha akaniambia,
“Ebu tulale kesho natakiwa kuwahi kazini” alitamka huku akivuta shuka.
“Dakika moja tu!, naangalia halafu nakupatia simu yako. Kwani shida iko wapi?” Nilimuuliza.
“Uwe mwelewa mke wangu!, mbona unapenda kuwa msumbufu?, unataka uangalie nini usiku huu!,” aliongea kwa ukali kidogo huku akionesha uso wa makasiriko.
Katika maisha yangu ya ndoa, sikupenda kujibizana na mme wangu Daudi wala kumuonesha sura ya hasira wala huzuni. Nilinyamaza kisha nami nikavuta shuka.
“Nisamehe kama nimekukwaza mme wangu” nilimwambia kwa sauti ya upole.
“Usijali mke wangu wala sijachukia niko kawaida.” Alinijibu kisha tukalala.
Usiku huo, nililala na mawazo huku nikitaka kujua nani alikuwa anamtumia picha usiku huo.
Nilipiga moyo konde , nikaruhusu maisha yaendelee maana nilijua mwanaume kuwa na michepuko halikwepeki kikubwa anipende tu na kunipa mahitaji yake.
Keho yake mnamo mida ya saa nne za usiku, nilimkuta kwa nje akiwa anaongea na mdogo wangu Delila.
Waliponiona, walishtuka kidogo ndipo Delila alipotoka sehemu hiyo na kuingia ndani.
Nilimfata usiku huohuo kisha nikamwambia,
“Ulikuwa unaongea nini na shemeji yako?!, hii tabia siipendi kuwa na mipaka na heshima”
“Jamani kwahiyo siruhusiwi hata kuongea naye au unanitafutia sababu za kunifukuza kwako?, . Kama unataka kunifukuza niambie nirudi nyumbani” Delila alinijibu kwa ukali mpaka nikapandwa na hasira.
“Unasema!?” Nilimuuliza kwa mshangao huku nikiwa nimemunyooshea kidole.
“Kama unataka kunifukuza niambie siyo kunitafutia sababu” alinijibu kwa mara nyingine.
“Unajua nitakuzaba vibao mda huu!, ” nilimwambia.
“Vibao umpige nani! Utampiga mwanao ila siyo mimi…” alinijibu.
“Sawa!, tutaona kiburi chako kitakufikisha wapi!? , kesho funga mizigo yako uondoke!, huwezi kunifokea nyumbani kwangu”
“Umechelewa kuniambia, hata mda huu niambie nitoke” alinijibu.
Baada ya kunijibu hivyo, nilipandwa na hasira kali ndipo nilipomsogelea ili nimuwashe hata makofi.
Wakati namsogelea, mme wangu ambaye alikuwa kwa nje, aliingia ndani ndipo nilipokaa kimya ili asijue nini kinaendelea.
Mda huohuo, Delila alianza kumwaga machozi mbele ya mme wangu mpaka nikajihisi aibu kwani sikutaka ajue chochote.
“,Shemu unalia nini” mme wangu alimuuliza Delila.
Hakumjibu chochote. Aliendelea kulia huku akionekana mwenye hasira kweli.
“Umemfanyaje huyu?” Aliniuliza.
“Muulize ni mtu mzima akwambie!,” nilimjibu huku nami nikiwa na hasira.
“Shemu, shemu…” alimuita.
“Ab…eeh..” Delila aliitika huku akiwa anamwaga machozi.
“Shida nini?” alimuuliza
“Dada ananisimanga na kunifukuza nitoke kwake mda huu!?
Baada ya maneno hayo ya Delila, nilitamani kupasuka kifua kwa jinsi nilivyojisikia lakini niliamua kukaa kimya.
“Shida nini mke wangu mpaka unaamua kumfukuza mdogo wako. Ukweni watanielewaje kwa hiki unachotaka kukifanya? Kumbuka huyu ni mtu mzima , amesoma kaja kwa dada yake. Haileti picha nzuri kusikia amefukuzwa ..”
“Aliyemfukuza ni nani?, kumuuliza kitu kidogo ananijibu kwa dharau..”
Nillmjibu mme wangu.
“Sijapenda kabisa. Kesho na kesho kutwa , utakosa hata mtu wakukutembelea kama unakuwa na tabia za kuwagombeza ndugu zako. Sasa usiku huu ulitaka aende wapi?” Aliniuliza nami.sikumjibu chochote.
Katika kitu sikuwa na shaka nacho, ni upendo wa mme wangu kwa familia yangu. Alijitoa kwa hali na mali kadri msaada ulivyohitajika.
“Shemu nenda ukalale…, jisikie nyumbani..” alimwambia
Delila alinyanyuka kisha akaelekea kulala nasi tukaenda kulala. Tukiwa kitandani, mme wangu aliniuliza,
“Kwanini hupendi ndugu zako?”
“Jamani si imeisha!, mbona unataka kuongelea jambo moja mda wote!, : nilimjibu
“Sawa ila isijirudie tena ” alitamka
Sikumjibu nilikaa kimya kisha nikalala zangu. Kama kawaida yangu, niliamka saa 11 nikamtayarishia mme wangu kifungua kinywa pamoja na maji ya kuoga.
Nilimuaga na kumtakia kazi njema.
” Nakutakia kazi njema mme wangu. Mwenyezi Mungu akutangulie katika kazi za mikono yako na akuongezee pale ulipopingukiwa”
“Sawa lakini yaliyotokea jana yasijirudie”
“Mmhh..mpaka mda huu bado unawaza ya jana tu mme wangu!, niliongea kwa kugunaguna.
” Mimi naondoka…”
” Sawa Mungu akutangulie”
Aliondoka nami nikaanza kufanya usafi. Baada ya mda mfupi, Delila aliamka na kunipita akiwa amenuna huku akisonya. Kitendo hicho sikukipenda kabisa na kilizidi kunichefua.
“Hivi nani kakuroga wewe!” nilimwambia.
” Endelea na maneno yako nije nikunyooshe na tumbo lako hilo”? Aliongea
” Hee!, unasema!, rudia unasema!, njoo kama unajiamini …” nilitamka kisha nikajifunga kanga yangu vizuri.
Nilidhani anatania, ndipo aliposimama kisha akanimwagia maji aliyokuwa anakwenda kuswakia. Nilishtuka sana ndipo nili…
PART: 03
ILIPOISHIA,
Aliondoka nami nikaanza kufanya usafi. Baada ya mda mfupi, Delila aliamka na kunipita akiwa amenuna huku akisonya. Kitendo hicho sikukipenda kabisa na kilizidi kunichefua.
“Hivi nani kakuroga wewe!” nilimwambia.
” Endelea na maneno yako nije nikunyooshe na tumbo lako hilo”? Aliongea
” Hee!, unasema!, rudia unasema!, njoo kama unajiamini …” nilitamka kisha nikajifunga kanga yangu vizuri.
Nilidhani anatania, ndipo aliposimama kisha akanimwagia maji aliyokuwa anakwenda kuswakia. Nilishtuka sana ndipo nili…
SONGA NAYO….
Kitendo cha kunimwagia maji, kilinishtua sana mpaka nikabaki nimrmesimama kwa mshangao huku nikijiuliza,
“Anatoa wapi kiburi cha kunimwagia maji tena nyumbani kwangu?”, . Kwa hasira kali niliokota kipande cha mti kisha nikamfata ndipo aliponirukia na kunisukuma.
Nilidondoka kama gunia la mkaa kwani nilikuwa na ujauzito wa miezi 6 ndipo nilipoamka huku nikiwa nahema kwelikweli.
“Haya njoo nipige kama unaweza!, nipige!” Aliongea huku akiwa anarusharusha mikono juu.
Nilikimbilia chumbani mwangu kisha nikafunga mlango na kuanza kulia kwa kuguguma huku nikiwa napanga kumfanyia kitu kibaya.
Nilishika simu yangu ili nimpigie mme wangg nimpe taarifa lakini kabla ya kumpigia, aliniligia nami nikapokea,
“Helloo…”nilipokea simu
“Umefanya kitu gani nyumbani mda huu!, mbona unapenda kuniingiza kwenye aibu za hapa na pale! Nimekwambia sitaki nisikie ugomvi wowote!. Hutaki kunisikia!, nakuja mda huu” aliongea kwa sauti ya juu huku akiwa anakata maneno mithili ya mtu mwenye kigugumizi.
Bila kupepesa mdomo, nilijua moja kwa moja mdogo wangu ashampa taarifa za uongo juu yangu. Nilikaa kimya kwa sekunde kadhaa huku nikiwa namwaga machozi kisha nikamjibu.
“Aliyekupa taarifa ni nani?” Nilimuuliza huku kamasi za hasira zikitoka.
“Sitaki maswali! Unafanya mambo ya ajabu!, unataka unigombanishe na ndugu zako pamoja na wazazi wako h’ee!.Sasa kabla hatujafika huko nita..” alikatisha maneno.
“Hivi unajua alichonifanyia!, nimeamka asubuhi bila hata kumsemesha chochote lakini kanimwagia maji. Haijaishia hapo, kanisukuma kidogo nivunje mgongo.. hivi mme wangu kwanini unapenda kumsikiliza ?” Niliongea kwa hasira.
“Sihitaji maelezo ..nakuja nyumbani mda huu…” alikata simu.
Baada ya kukata simu , niliwaza nini nifanye kwa mda huo , ndipo nilipojiwa na wazo la kuwapigia wazazi wangu na ndugu zangu ili niwambie mambo yalivyo.
Kabla sijawapigia simu, roho yangu ilisita kidogo ndipo nilipoweka simu chini ili walau hasira ziishe kwanza.
Nilijilaza kitandani ndipo niliposikia mlango wa chumba unagongwa, nilifungua mlango na kukutana na sura ya mme wangu akiwa amekunja uso.
Kabla sijaongea chochote, aliniangalia kwa jicho kali sana mpaka nikaogopa .
“Unafurahia kuniharibia kazi kwa ujinga wako!, unataka niongee mara ngapi humu ndani!. Sasa leo naomba nikupe nauli uende nyumbani. Nitakufata siku nikayotaka” alitamka huku akiwa ameninyooshea kidole.
Kauli hiyo ilinichanganya kabisa na kunikumbusha maneno ya baba “mwanangu!, umepata mme bora, mwenye hofu ya Mungu, mwenye upendo. Naomba ukaishi kwa heshima kama mke bora.Sitokuwa tayari kukuona umerejea nyumbani eti umefukuzwa na mme wako!. Ukifanya makosa yako usilete miguu yako kwangu”
Kumbukizi ya maneno hayo, ilinifanya niishiwe nguvu ndipo nilipoamua kujishusha na kumpigia magoti mme wangu kisha nikamwambia,
“Naomba unisamehe mme wangu, nakupenda sana . Naumia sana lakini kwani..” nilishindwa kumalizia nilichokuwa nakiongea kwa uchungu mzito.
“Nimeshasema leo hii nenda nyumbani. Nakwenda kuwambia wazazi wako mda huu.Siwezi kuacha kazi zangu kwa ujinga wako!” Alitamka tena.
“Mme wangu, nimekosea, naumia sana kuacha kazi na kurejea nyumbani lakini ishatokea. Naomba msamaha wako…” nilinyanyuka kisha nikamkumbatia kifuani mwake huku nikiwa nalia
Baada ya kumfanyia hivyo, alikaa kimya bila kuongea chochote kisha akaelekea sebuleni.
Kitu ambacho nilikuwa sipendi, ni kuonwa na mdogo wangu nikiwa nalia.
Nilijipangusa machozi yangu kwa kitamba kisha nikatoka chumbani humo.
Nilielekea sebuleni na kumkuta mme wangu akiwa ameketi na Delila ambaye alikuwa anamwaga machozi.
Nilinyanyuka hapo na kutoka nje kisha nikaamua kumpigia simu mama.
Simu iliita kisha ikapokelewa,
“Shikamoo mama” nilimsalimia..
“Marhaba mwanangu.., mnaendeleaje?”
“Mama kuna shida hapa …”
“Shida gani tena?”
“Mama!,yaani Delila asubuhi kaamua kunimwagia maji halafu kanisukuma kidogo hata mimba itoke. Nimeshindwa kwakweli, hawezi kunivuruga nyumbani kwangu”
“Hee!, halafu sherehe si imeshaisha!, anatafuta nini huko!, mpe simu niongee naye!, mda huu akate tiketi arudi nyumbani”
“Mama siwezi kumpa simu!, ngoja nikutumie kifurushi umpigie..”
Nilikata simu kisha nikamtumia kifurushi.
Baada ya kufanya hivyo, nilianza kurejea ndani lakini nilishangazwa kumkuta mme wangu akiwa amesimama mlangoni.
“Kusanya mizigo yako nikusindikize upande gari uende nyumbani”alitamka.
Kauli hiyo iliacha nikiwa nimeganda kwani nilifikiri ameshanisamehe. kichwa kiliniuma sana, nifanye nini ili mme wangu anilewe ndipo nili…..
PART: 04
ILIPOISHIA
Baada ya kufanya hivyo, nilianza kurejea ndani lakini nilishangazwa kumkuta mme wangu akiwa amesimama mlangoni.
“Kusanya mizigo yako nikusindikize upande gari uende nyumbani”alitamka.
Kauli hiyo iliacha nikiwa nimeganda kwani nilifikiri ameshanisamehe. kichwa kiliniuma sana, nifanye nini ili mme wangu anilewe ndipo nili…..
SONGA NAYO….
Wakati nikiwa sielewi nini nifanye kwa wakati huo, Delila alipigiwa simu kisha akaipokea.
Nilitega masikio yangu vizuri ili nijue nani anampigia, bahati nzuri alikuwa mama mara baada ya kumsikia akimsalimia.
Baada ya salamu, alinyanyuka sehemu alipokuwepo na kuekea kwa nje ili tusikie nini anaongea.
Nilichukua nafasi hiyo kuongea na mme wangu japo alikuwa hataki hata kunisikiliza
“Mme wangu hivi unanipenda kweli?” Nilimuuliza
‘Unamaanisha nini kuniuliza hivyo!, ningekuwa sikupendi ungekuwa hapa?” Alijibu kwa sauti ya juu.
“Mbona hutaki kunisikiliza ?. Kila ninachotaka kukwambia naonekana mwenye makosa. Huyo mdogo wangu leo hii awe chanzo cha ugomvi mimi na wewe!. Kumbuka tumetoka mbali mme wangu” nilimwambia.
“Huwa sipendi mgeni yeyote aondoke ananung’unika!, ni bora uondoke wewe ukijifunza utarejea..”
“Nisamehe basi yaishe …” niliongea huku nikiwa nimepiga magoti.
Baada ya kumwambia hivo, alikaa kimya na kuondoka kisha akaelekea chumbani. Nilimfata hukohuko ambapo alikuwa anavua shati lake.
“Ngoja nikusaidie kuvua shati mme wangu…” nilimwambia huku nilijitahidi kuonesha sura ya tabasamu japo moyo wangu ulikuwa na maumivu makali sana mithili ya mtu aliyechomwa na mkuki.
Nilimshika kifuani mwake kisha nikaanza kumvua shati lake taratibu. Baada ya kumtoa shati, nilimkumbatia huku kichwa changu nikikilaza kifuani mwake kama mtoto mchanga alalavyo kwenye mgongo wa mamaye.
“Nakupenda mme wangu!, please usiniumize!,” nilimwanbia kwa maneno laini huku mikono yangu ikiwa inazidi kumpapasa mgongoni.
Baada ya mda mfupi, alianza kulainika ndipo naye alipoanza kunikumbatia huku mikono yake ikiwa inagusa kwenye nyonga zangu.
Mda huo nilimuona mme wangu mpya kabisa kana kwamba ndo mara ya kwanza kukutana naye.
Hisia kali zilinipanda huku mwili wangu ukiwa wa moto.
“Nakupenda mke wangu…, nakupenda sana…” alitamka kisha tukagusishana ndimi zetu na kuanza kupeana busu laini kwa kupishaniasha midomi yetu huku pua zetu zikiwa zimegusana
Aliniangalia nami nikamuangalia ndipo nilipotabasamu na kuangalia chini.
Taratibu…nilianza kumfungua mkanda huku akiwa amesimama.
Baada ya kumfungua mkanda, nilimvua suruali na kubaki na nguo ya ndani ndipo aliponibeba na kunipandisha kitandani.
Tulila upande kila mmoja huku tukiwa tumeangaliana mpaka nikajihisi aibu jepo nilikuwa nimemzoe.
Tangu tufunge ndoa, sikuwahi kuwa kwenye mahaba mazito hasa mida ile jambo lililokuwa la kipekee.
Nilinyanyua kidole changu kisha nikakielekeza kwenye pua yake halafu nikakitoa ndipo alipotabasamu.
Kitendo cha kumuona mme wangu anatabasamu, kilinifanya nijihisi mwenye furaha kali mpaka huzuni na hasira vikaisha vyote.
Tuliendelea kutaniana huku fimbo ya babu Juma ikionekana kutuna kwelikweli mpaka nikeitamani kuimumunya.
“Naomba…” nilimwambia huku nikiwa nimeshika kwenye fimbo.ya babu Juma.
“Unaomba nini…hahaha,” ? Aliniuliza huku akiwa anacheka
“Hicho hapo nataka nimumunye…” nilimwambia kisha nikafuka uso wangu kwa viganja vyangu
“Chukua mama ni mali yako…” alitamka…
“Asante kipenzi changu…”
Kabla ya kufanya hivyo, nilitafuna pipi kifua ambayo iliweka ladha na kaubaridi mdomoni mwangu.
Taratibu nilianga kumumunya fimbo ya babu Juma mpaka mme wangu akaanza kutetemeka huku akiwa anatoa miguno mitihili ya simba wa mwituni.
“Hapohapo ndo penyewe .” Nilijisemea mwenyewe huku nikiendelea kumumunya fimbo ya babu Juma.
Baada ya dakika kama 10 hivi, alionekana anahaha huku na kule kwa kurusha miguu ndipo nilipojikuta nacheka kicheko cha furaha.
“Hapa hachepuki tena!, sijui nilikuwa wapi mda wote…” nilijisemea mwenyewe.
Nikiwa na furaha ya aina yake, nilimuachia kisha naye akaanza kunifungua bikini yangu niliyokuwa nimeifunga.
Wakati ananifungua, mikono yake ilikuwa inanigusagusa kwenye mapaja yangu hali iliyozidi kunipandisha hisia kali sana mpaka nikajihisi nipo karibu ya kilelele cha Kibo na Mawenzi.
Yote hayo yalikuwa ni maandalizi ya kuanza mechi ya kirafiki huku nikiwa nimeikamia kutoruhusu kufungwa magoli ya mbali.
Sasa zilibaki sekunde chache ambazo hata kuku asingeweza kumeza punje la mtama kabla ya mechi kuanza huku kila mtu akiwa tayari kwa mashambulizi.
Mme wangu wakati anataka aanzishe mashambulizi, gafla mlango wa chumba ulisikika ukigongwa.
Tulishtuka na kubaki tumetoa macho..
“Samahani shemu nina shida na wewe…” sauti ya Delila ilisikika huku akiwa kama analia hivi….
Mme wangu akibaki ameganda kama barafu kisha Delila akagonga mlango kwa mara nyingine. Nilitamani nimmeze mzimamzima lakini sikuongea chochote ….
PART: 05
ILIPOISHIA,
Sasa zilibaki sekunde chache ambazo hata kuku asingeweza kumeza punje la mtama kabla ya mechi kuanza huku kila mtu akiwa tayari kwa mashambulizi.
Mme wangu wakati anataka aanzishe mashambulizi, gafla mlango wa chumba ulisikika ukigongwa.
Tulishtuka na kubaki tumetoa macho..
“Samahani shemu nina shida na wewe…” sauti ya Delila ilisikika huku akiwa kama analia hivi….
Mme wangu akibaki ameganda kama barafu kisha Delila akagonga mlango kwa mara nyingine. Nilitamani nimmeze mzimamzima lakini sikuongea chochote
SONGA NAYO…
“Mke wangu.., ngoja nimuangalie anayegonga mlango anashida gani?” Alitamka huku akiwa anataka kuamka kitandani.
Kabla ya kuamka, nilijaribu kumkumbatia huku nikiwa na hisia kali sana lakini ilishindikana.
“Ngoja nimuoene mara moja halafu narudi mda huu…: alitamka.
Nilijsikia vibaya sana mpaka nikajihisi mnyonge sana. Aliamka akavaa nami nikaamka huku nikiwa na sura ya huzuni.
Roho iliniuma sana mpaka nikatamani kutoa machozi lakini nilikaza hivyohivyo. Nilifungua mlango nami nikasogea sebuleni hapo ambapo nilimkuta mme wangu akiwa anambembeleza mdogo wangu ambaye alionekana akimwaga machozi.
Kitendo hicho kilinishtua sana huku nikijiuliza nini kinamuliza. Sikupata jibu kwa mda huo.
Niliendelea kuketi sebuleni hapo ndipo nilipomsikia Delila akimwambia mme wangu,
“Mama ameniambia nikate tiketi mda huu nirudi nyumbani” alitamka huku akiwa analia.
“Pole ngoja niongee na mama mkwe kama hakuna emergence uendelee kuwepo hapa maana hapa ni nyumbani” alimwambia.
“Mhh..abaki anafanya nini?”nilitamka.
“Naomba ukae kimya…” mme wangu alitamka huku Delila akinitazama jicho kali sana.
Niliamua kukaa kimya huku kwa mbali nikijua lazima aondoke . Baada ya mazungumzo hayo, mme wangu aliniita kwa nje kisha akaniambia,
“Nyumbani umewapa taarifa gani hasa mamamkwe?”
“Sijamwmbia chochote wala sijaongea naye tangu asubuhi..” nilimjibu
“Sawa sasa naenda kuwakatia tiketi ili mwende wote nyumbani”
“Nimsindikize kwani hapajui nyumbani?” Nilitamka kwa sauti ya juu kidogo.
“We mwanamke!, usinipangie ! Nitakuwasha makofi mda huu…!:
“Kwa kosa lipi nimelifanya?” Nilimuuliza.
“Nimesema umsindikize mdogo wako …”
“Siendi na sitoki nyumbani hapa!?. Nakuheshimu sana mme wangu lakini kwanini unanifanyia hivi?. Nilimjibu.
Baada ya kumwambia hivyo, aliondoka kisha akaingia ndani.Nilibaki kwa nje huku nikiwa nimeshika tama.
Mda si mrefu, Delila alitoka ndani akiwa na mme wangu huku akiwa amebeba begi lake.
Alipita karibu yangu kisha akatema mate karibu na nilipokuwa nimekaa
Kitendo hicho kiliniuma sana lakini kwakuwa alikuwa anaodoka, niliamua kumtunzia kiporo siku nikijifungua atanitambua .
Waliendelea na mwendo mpaka wakaishilia ndipo nami nilipoingia ndani.
“Hee!, yaani ngoja nijifungue atanitambua kuwa mie mkubwa wake” nilijisemea mwenyewe.
Badaye mama aliniipigia simu kisha akaniuliza,
“Delila nimemwambia aondoke leoleo!, ameshakata tiketi?, maana nampigia simu hapokei”
“Ameondoka na mme wangu mda si mrefu…, nitakuja kapanda gari gani…”
“Sawa…” aliitikia kisha akakata simu.
Mda ulizidi kutaradadi huku nikimsubiri mme wangu arejee nyumbani lakini hakutokea.
“Mbona harudi au wamekosa gari? Nilijiuliza kisha nikampigia simu mme wangu kipenzi lakini hakupokea.
Nilipiga simu kwa mara nyingine tena lakini hakupokea ndipo aliponitumia meseji,
“I can’t talk please text me”
“Vipi mmepata gari?
Nilimjibu kwa meseji
Hakunijibu meseji yangu. Nilimpigia kwa mara nyingine tena ndipo alipojibu,
“Nipo kazini!, una shida gani?”
“Nilikuwa nakuuliza gari mmepata?”
“Nilishia njiani nikaenda kazini lakini nadhani magari ya kwenda Tanga amepata…”
“Sawa mme wangu kwahiyo unarudi saa ngapi?”
“Leo kuna uwezekano nikakesha kazini ili kufidia mda nilioupoteza, japo sijajua naweza kurejea mapema kwani kuna shida gani?”
“Hakuna shida nilikuwa nauliza ili nikuandalie chakula kitamu…”
“Ok”
Alinijibu kwa mkato. Sikuwa na hofu yoyote mpaka ilipotimia mida ya saa 3 za usiku bila mme wangu kurejea .
Mda huohuo, mama alinipigia simu kwa mara nyingine,
“Delila kapanda gari gani maana hajafika mpaka mda huu…”
“Mhh!, sijajua maana alienda peke yake kukata tiketi ..”
“Nampigia simu hapokei mda huu …”
“Ngoja nimuulize mme wangu maana simu yangu hawezi kupokea kwa kiburi chake” nilikata simu .
Nilimpigia simu mme wangu mida ya saa nne kasoro lakini simu iliita mpaka mwisho bila kupokelewa ndipo….
PART: 06
ILIPOISHIA
“Ngoja nimuulize mme wangu maana simu yangu hawezi kupokea kwa kiburi chake” nilikata simu .
Nilimpigia simu mme wangu mida ya saa nne kasoro lakini simu iliita mpaka mwisho bila kupokelewa ndipo….
SONGA NAYO…
Kitendo cha kutopokea simu, kilianza kunitia kwenye wasisi mkubwa kwani haikuwa kawaida yake kutopokea simu yangu.
Nilianza kuwaza na kuwazua nfdipo nilipokuja na maswali kichwani mwangu,
“Kwanini siku zote hajawahi kukesha kazini!?, na kwanini simu yangu hapokei?”
Maswali hayo yalinifanya kwa mbali nianze kumfikiria vibaya mme wangu hasa nilipoanza kurejelea aliyekuwa anamtumia picha wakati wa usiku.
“Au atakuwa kaenda kwa mchepuko wake?, nilijiuliiza huku uso wangu ukiwa umejawa na huzuni .
Kinyonge sana, nilijitupa kitandani kisha nikakumbatia foronya la mme wangu kwani nilikuwa sijazoea kulala peke yangu.
Ulikuwa ni usiku mzito sana na wenye kiubari kilichotokana na kimvua kilichokuwa kimenyeesha jioni.
Taratibu…, nilianza kupitiwa na usingizi mpaka nilipokuja kushtuka mida ya saa 11 za alfajiri.
Nilishika simu yanngu kisha nikampigia tena mme wangu lakini hakupokea tena
Hali hiyo ilizitdi kunichanganya kabisa ndipo nilipoamka mda huohuo ili nijue nini kimemsibu mme wangu.
Wakati nafanya maandalizi, gafla mama alinipigia kwa mara nyingine tena na kuniuliza,
“Umeamkaje mwanangu?”
“Salama, shikamoo mama..”
“Marhaba mwanangu, umemuuliza mme wako Delila alipanda gari gani?”
“Hapana mama sijamuuliza.”
“Hee!, kwanini!, maana hatujalala huku nyumbani kila tukimpigia simu inaita mpaka mwisho…”
“Mme wangu alikesha kazini jana na kila nikimpigia hapokei , mda huu najiandaa kwenda ofisini kwake..”
“Fanya hivyo mwanangu maana nasikia kuna basi limepinduka jana…”
“Sawa mama ngoja niende mda huu…”
Nilkata simu)
Mnamo mida ya saa moja asubuhi, nilianza safari kuelekea ofisini kwake huku nikiwa sijui nini kimempata mme wangu kipenzi.
Baada ya kukaribia ofisini kwake, gafla simu yangu ilianza kutetema ikiwa kwenye mkoba wake ndipo nilipoichomoa na kukuta ni mme wangu anayepiga.
Nilifurahi mwenyewe hata kabla ya kuipokea mpaka wapita njia wakanishangaa lakini kwangu haikuwa tatizo kwa nilivyokuwa nampenda mme wangu.
Nililipokea simu kwa sauti laini huku nikiwa natabasamu ..
“Hello kipenzi changu jamani…”
“Uko wapi mbona kama watembea?” Aliniuliza
“Usiku mzima sijalala kwa ajili yako. Kila nikiliga simu haipokelewi ndipo nilipoamua kuja moja kwa moja ofisini kwako”
“Hee !,unafuata ninj?, si nilikwambia nitakesha kazini?”
“Ulikuwa hupokei simu yangu. Halafu mama ananiambia mpaka mda huu Delila hajafika nyumbani na akipigiwa simu hapokei. Vipi hajakwambia amepanda gari gani wala kuwasiliana naye?”
“Sijui sina taarifa naye labda atakuwa kaenda kwa marafiki zake”
“Kwani sasa hivi uko wapi maana nimefika ofisini kwako naona mlango umefungwa”
“Kuna project ya siku 3 hadi 4 natakiwa kuifanya kwa kukusanya data…:
” Jamani sasa mbona hujaniambia?, naogopa sana kulala peke yangu”
“Usijali mke wangu niko natafuta nitakuletea zawadi kipenzi changu”
“Sawa mme wangu sasa swala la Delila tunafanyaje? Maana mama ananipigia simu mda wote kuniulizia…”
“Mwambie mama mkwe atulie, atakuwepo tu huenda alikosa gari jana..”
“Sasa alilala wapi?”
“Hapo ndo sijui lakini ni mtu mzima atakuwa na marafiki zake”
“Ebu jaribu kumpigia tuone kama ataopokea au mtumie meseji”
“Sawa dakika moja nakujibu…”
(Alikata simu)
Baada ya dakika mbili niliona meseji ikiingia kwenye simu yangu ndipo nilipoifuangua na kukuta ni meseji kutoka kwa mme wangu ambayo ilisomeka hivi “DELILA YUPO KWA RAFIKI YAKE KASEMA ANAMALIZIA KUFANYA CLEARANCE HAPO CHUO”
Baada ya kusoma meseji hiyo, nilimjibu,
“Asante . Sasa unakuja lini?
“Nadhani baada ya siku 3 au 4 “
“Mhh.! Sawa..”
Baada ya kufahamu wapi Delila alipo, nilimpigia mama kwa mara nyngine kisha nikamtaarifu ili kumuondoa hofu.
Mama hakupenda kusikia hivyo huku akioesha sauti ya hasira baada ya kuambiw yupo kwa rafiki yake halafu hapokei simu yake.
“Huyu mtoto huyu!,atakuja kutuletea balaa” mama alitamka kisha akakata simu.
Baada ya mazungumzo hayo, niliweka simu yangu kwenye mkoba na kuanza kurejea nyumbani.
Mnamo mida ya saa 2 asubuhi, niliwasiri nyumbani na kuandaa chai. Wakati namalizia kupata chai, gafla nilisikia mlango unagongwa ndipo niliponyanyuka kujua nani anabisha hodi.
Nilifungua mlango ndipo nilipokutana na uso wa jirani yangu aitwaye mama Suzi aliyekuwa amevalia kijola.
“Karibu sana shoga angu…”(tulikumbatiana)
“Asante sana…”
“Karibu chai…”
“Asante nishapata kitambo. .”
” Gusagusa hata kidogo basi ..”
“Asante shoga nimeshiba…”
“Haya bwana umekataa chai yangu…”
“Nisamehe bure shoga. Sasa kuna jambo moja nilikuwa naomba unisaidie…”
“Lipi hilo?”
“Nataka unisindikize ukweni makumbusho kuna vizawadi nataka nimpelekee mama mkwe”
“Mhh..sijui kama itawezekana maana mme wangu huwa hapendi nitoke nyumbani…”
“Hatuchelewi tunawahi kurudi kwani mme wako anarudi saa ngapi?”
“Hayupo kasafiri kidogo …”
“Kumbe kasafiri, hapo hakuna shida yoyote twende…”
“Sawa ila tuwahi kurudi..” nilimkubalia kisha tukaanza maandalizi.
Mnamo mida ya saa 5 za asubuhi, tulishuka stendi ya Makumbusho huku tukiwa tumebebelea vizawadi hali iliyowafanya dereva bodabda waanze kutukimbilia.
Tulisimama pembezoni kidogo mwa barabara kisha tukaanza kujipangusa vumbivumbi. Ndipo nilipopatwa na mshangao na mshutuko mkubwa sana huku nikiwa siamini nini macho yangu yanaona.
Nilidondoka chini kwa mshutuko huo huku mama Suzi akibaki na mshangao nini kimenisibu…..
JE NINI NILIKIONA?
INAENDELEA…