Clickable WP Image
JOIN US WHATSAPP CLICK HERE
JOIN US TELEGRAM CLICK HERE

KWA HERI DARESALAMA

Kisolo cha 11

TULIPOISHIA KWENYE KISOLO CHA KUMI

Ilipofika saa 3 asubuhi mama Asha alinitumia ujumbe ukiuliza kama nimeshajiandaa, nikamjibu “NDIO NIMESHAJIANDAA”

“SAWA PANDA MAGARI YA MAWASILIANO USHUKE MWISHO WA GARI AU NIJE NIKICHUKUE?” aliniuliza

“HAPANA, NGOJA NIPANDE TU GARI” nilijikuta mgumu, mwanaume nisiyekuwa wa Dar nilikuwa sitaki kudeka kwa mwanamke japo nilitamani anitoe kimaisha

“HAYA POA, HARAKA BASI MIMI UTANIKUTA” alisema

ENDELEA KISOLO CHA 11

“okay”

Niliiamka pale nilipokuwa nimeketi kwa haraka haraka halafu nikatoka na kufunga mlango kwa ufunguo. Baada ya hapo nilienda mpaka barabara kuu na kusubiri daladala. Ilichukua dakika nyingi sana kupata gari inayoenda mawasiliano maana ile asubuhi kulikuwa na abiria wengi hivyo magari yaliyotokea Mbezi yalikuwa yameshajaa hatari hatari.

Nilibahatisha kupata gari japo kwa kubanana lakini nilikomaa na nilifanikiwa kufika Mawasiliano lakini nilikuwa nimusipite sana.

Nilipofika mwisho wa gari nilimpigia simu mama Asha nikamueleza kwamba nimeshafika, akaniambia nitoke nje ya ile stendi nitamkuta nje kidogo.

Nakumbuka nilisogea nje kweli niliiona gari yake ikiwa imepaki barabarani nikaisogelea naye akashusha kioo huku akitabasamu

“Baby” alisema mwanamke yule na kunifungulia mlango

“Umeamkaje” nilimuuliza

“Safi tyuu” Alisema kwa madaha na mimi nikafunga mlango nikafunga mkanda

“Wala usifunge mkanda”

“Kwanini?”

“Hatuendi mbali” alisema

“Tunaenda wapi?” nilimuuliza lakini hakunijibu akaendesha gari mpaka sehemu ambayo ilikuwa sio mbali, ni chini ya mita kumi na tano.

Kulikuwa na kasehemu fulani hivi ka kuvutia sana, kanaitwa CRIZO NYAMACHOMA, tukazama ndani ya ile ile sehemu tukaketi.

Muhudumu alipokuja tu mama akafunguka “Tuchomee mbuzi kilo mbili”

Moyo wangu ulitoa tabasamu pana ila mdomoni halikuonekana, yaani mimi kwa namna hiyo hapo alinipatia kabisa. Alinitazama machoni nikaonyesha macho ya kuridhia na jambo hilo halafu akaendelea “Ukiwa unaandaa, tuletee juisi ya mchanganyiko”

Oppppssss….nilivuta pumzi ndefu halafu nikachukua kiswaswadu mfukoni ili niangalie labda kuna hata ujumbe

“Babe, nimewaza sana leo usiku” alisema mwanamke yule

“Umewaza nini dear?” niliuliza

“Nahitaji mtoto mwingine…” alisema

“Mh ma Asha unahitaji mtoto?” nilimuuliza “Kwani wale wanne hawakutoshi?”

“Mh nina watoto wanne lakini wote ni wa kike, nahitaji hata mmoja tu wa kiume….nizalishe basi” alisema na kunifanya nipate mtihani mpya katika akili yangu.

Nikiwa nazidi kuwaza ndipo muhudumu akaleta Juisi akaitia pale mezani halafu akatamka “Karibu”

Niliivuta na kuinyonya mdogo mdogo huku nikitafakari

“Baby” alisema mwanamke yule mi nikamgeukia bila kujibu “Nizalishe basi” alisema

“Subiri niliwazie hili” nilisema

“Sawa”

Baadaye kidogo nyama zililetwa, na kwa kuwa sijui kujivunga nilitafuna kwa spidi ya abuja nilisikia raha sana ya kula huku nikijua baadaye kitu fulani kinaweza kutokea ambacho ni kitamu zaidi.

Tulipomaliza kula, mama Asha alilipa tukaondoka na kwenda kwenye gari halafu akaniambia “Twende pale mbele kidogo”

Aliendesha gari kwa sekunde kadhaa tukafika nje ya duka la nguo liitwalo Mr Kadeti tuliingia ndani na kuanza kuchagua nguo.

Mama Asha alinichagulia suruali kali tatu, mashati mawili pamoja na fulana mbili halafu akalipia tukatoka. Tuliingia kwenye gari halafu akaniambia “Funga mkanda”

Nilifunga mkanda tukaanza safari nyingine kuelekea Sinza Madukani, kwa mara ya Kwanza nililiona duka linalotamba sana la VunjaBei

“Haaah….kumbe VunjaBei iko huku?” nilisema kwa mshangao

“Ndio, ila kuna maduka kibao hapa Dar ya VunjaBei, kuna lingine liko Kinondoni Studio na lingine sijui wapi kule nimesahau, ila hata mikoani yapo kibao” alisema

Tulishuka kwenye gari tukazama ndani ya duka, kiukweli kule kumbe ndo kuna nguo bwana weee….tulichagua nguo ni kali sana, nilipata nguo nzuri nyingi

“Nisaidie ‘T-Shirt’ ya Yanga bosi” nilisema baada ya kuona nyingi zilizokuwa kule ni za Simba SC

“Hahhaaa….hizo hatuuzi hapa broo” alisema muuzaji

“Daaah…mnazingua” Niliongea

Tulipomaliza kununua tulitoka, kwa kifupi hapo nilikuwa nina nguo za kujaza begi zima.

Tuliingia kwenye gari akanitazama na kuvuta pumzi “Funga mkanda” alisema tena na mimi nikafunga mkanda, safari ya kuelekea nisipopajua ikapamba moto, haoooo…mpaka Kariakoo

Mighorofa ilikuwa imesimamia kucha, kila kona pamezungukwa na mijumba mizuri “Enheee…hii ndiyo Dar niliyokuwa naiona kwenye TV” nilisema

“Mmmmmh” aliguna mama Asha

“Ndio…..ningepata nafasi nipige hata picha moja hapa” Nilisema

“Usijali nitakupiga picha ngoja kwanza”

Tulifika sehemu moja, siikumbuki kwa jina ila ni duka kubwa la viatu, akaniingiza ndani akanipiga viatu jozi tatu vya kufunika miguu na vya wazi (sandals) jozi mbili.

Nilimshukuru sana, hapo ndio nikaanza kujua kwanini watu wanapang’ang’ania Dar. Kumbe maisha sio magumu ni wewe tu ucheze na akili ya wamama kwa kuwapiga mtarimbo ulioenda shule, nilijikuta natabasamu.

Haikuishia pale, tulipoingia ndani ya gari mama Asha alinichukua akanipeleka hadi Msimbazi, kule kuna mtaa mmoja hivi wanauza simu, akanichukua akanipeleka katika duka la simu za SAMSUNG nilipofika mzee, nilichanganyikiwa kwanza maana kila simu niliyoiona ilikuwa ni kali, nilizama ndani hivi nikajua lazima nikatambe mtandaoni siku hiyo.

Mama Asha alilipia pesa nyingi sana, nilishangaa sana maana mimi sijawahi kuwa na wazo la kinunua simu inayozidi laki moja, lakini cha kushangaza alinunua simu aina ya Samsung S20 pesa nyingi sana, mpaka nikashika tama na kuwaza “Kumbe mjini kuna watu wana pesa hivi?” hakika nilichoka hasa.

Tulirudi ndani ya gari nikiwa na box la simu mkononi mwangu, nilipoingia ndani ya gari tu alinikumbatia huku machozi yakimtoka

“Baby nafanya haya yote kwa sababu, nakupenda, sihitaji uteseke nataka upate kila raha hapa duniani, kuanzia sasa wewe ni kama mume wangu, sijawahi kupata penzi tamu kama ninalilolipata kwako, wanaume wengi huwa wanaringa pale wanapokuwa wanajua wanapendwa ila wewe hauonyeshi kuringa hata kidogo” Alisema mwanamke yule nikasema ndio hapo nimeshamkamata

“Nafurahi sana kwa sababu umenifanya na mimi nijione mtu kati ya watu. Naomba usije ukaniacha mpenzi” nilisema na kumbusu shingoni

“Sitoweza, nakupenda sana” alisema mama Asha

Mama Asha aliniachia baada ya kunikumbatia kwa muda mrefu halafu akawasha gari na kuanza kuliendesha kuelekea Kimara Baruti. Bado nilikuwa naishi kwa Mtoni japo Mtoni yeye alikuwa rumande.

Tulifika Baruti mida ya saa 7 na nusu mchana, akaniambia niweke simu chaji ijaye.

Wakati naweka simu chaji alifunga mlango kwa ufunguo halafu alinifuata na kunikumbatia kwa nguvu, baada ya kunikumbatia kwa nguvu aliniachia na kunivuta mkono

“Twende chumbani honey” aliniambia

Sikuwa na kipingamizi juu ya hilo, niliingia ndani ya chumba chake na kumpa lita, halafu tukaanza kuvua nguo moja moja mpaka mwisho tukawa tumeingia kwenye mahaba mazito.

Wakati tunapeana hizo raha alikuwa akilalamika “Mi nataka mtoto….nimwagie…nimwagie nikuzalie dear,,,, aaah” alisema mwanamke yule nikajikuta naachia mzigo ndani nilikuwa sijui kama alikuwa kwenye siku za kupata mimba au la…..

Kisolo cha 12

Tulikaa pale mpaka ile simu ikajaa, halafu ndipo akaanza kunionyesha namna ya kuitumia, aliniwekea bando maana alikuwa na pesa kwenye simu yake, akaniunganisha, mitandao ya kijamii halafu mwisho nikawa niko hewani.

Alipoondoka tu nilianza kujipima nguo moja moja, zile nguo zilinikaa hasa, na mimi niligeuka mtoto wa mjini. Nilitamani sana watu wa kule kijijini kwetu wangeniona, hasahasa Caren ambaye alishaniumiza sana kisa tu alikutana na Mtoni mwenye maisha.

Nilikiri kwamba nitafanya juu chini ili tu anione ninavyong’aa, nilijisikia amani moyoni, halafu sasa natoka na bosi mama ana pesa mpaka hajui azipeleke wapi.

Ilikuwa ni siku tano tu zimepita tangu mama Asha aliponipeleka shopping, siku hiyo ilikuwa ni siku ya Alhamisi mchana nakumbuka nilikuwa nimekaa pale saluni kwa mama Asha huku nikiwa nachezea simu yangu janja kwa mbwembwe zote. Muda huo mama Asha hukuwepo ila kulikuwa na wale wasusi wengine waliokuwa wakiwasuka wateja wawili.

Nikiwa nimekaa nje kwenye sofa la nje ya saluni alitokea binti mmoja ambaye alikuwa anataka huduma ya kutengenezwa nywele zake.

“Mambo” yule msichana alinisalimia nikainua macho na kumtazama alikuwa ni mzuri sana alionekana ametoka kufumua nywele zake muda sio mrefu maana zilitimka sana.

“Safi karibu” Nilisema

“Asante, nitapata huduma hapa?”

“Ndio, nenda ndani utawakuta hao”

“Sawa”

Yule msichana alinipita, aliponipita nikageuza shingo kutazama hivi amejazia maeneo ya nyuma, nikaguna kwanza huku nikitukana kimoyo moyo “Mani…..na” nilisema na kutabasamu. Kumbuka sikuwahi kulala na mwanamke isipokuwa mama Asha ambaye alikuwa ameanza kunifundisha mautundu ambayo sikuwahi kuyapata kabisa huko Shinyanga

Yule msichana alishikilia dera lake na kuzama ndani akawa anaongea na wale wasusi kwa mbwembwe. Baada ya kuingia ndani nilimpotezea nikaanza kupiga selfie pale pale nje.

Nikiwa napiga selfie yule msichana alirudi nje na kuketi kwenye sofa

“Vipi’ nilimuuliza

“Wamesema nisubiri kwanza wammalizie huyo mteja” alijibu

“Okay…..” nilisema huku nikiziangalia zile picha nilizokuwa nimejipiga mwenyewe. Niliona moja ambayo nilikuwa nimepiga vibaya nikaamua kuifuta.

“Hee mbona unaifuta hiyo na ni nzuri?” aliniuliza msichana yule kumbe muda wote alikuwa akiangalia nilivyokuwa nazicheki zile picha zangu

Nilitabasamu kisha nikamjibu “Mi naiona mbaya mbona”

“Sio mbaya bana” alisema huku akionekana mtu ambaye anazoea watu kwa haraka sana

“Hata hivyo nimeshaifuta, hamna namna tena” nilisema huku nikitazama simu yangu

“Haya bhana” alisema binti yule.

Tulikaa kwa kimya cha muda mrefu ndipo ghafla shetani akanipitia na kuniuliza ninakaaje kimya mbele ya mtoto wa kike tena ambaye anaonekana anafaa kabisa. Na mimi nilivyokuwa mjinga niliamua kumtii shetani na kumchokoza yule binti

“Mi naitwa Lembo….Vipi wewe unaitwa nani?” niliuliza swali la kutafutia gia, bado binti akakaa kimya huku akijibu ujumbe kwa kutumia kiswaswadu chake

Nilimgusa begani mwake kwa bega langu kisha nikauliza “Eti” akashtuka

“Unaongea na mimi?” aliniuliza

“Yeah, kwani si tupo wawili tu hapa jamani?” Nilisema

“Ndio…..Mi ninaitwa Aisha” aliniambia

“Wow, unakaa mitaa hii au?” Nilimuuliza

“Hapana mimi nakaa Kigamboni, ila leo nimekuja kushinda kwa mama mdogo wangu anakaa huku

“Oh sawa, karibu sana”

“Asante….umesema unaitwa nani vile?” aliniuliza

“Naitwa Lembo”

“Mh…hilo jina la Tanzania kweli?” aliniuliza

“Hahaha….kwanini?”

“La tofauti sana…..”

“Usijali mimi ni mtanzania mwenzako” nilisema

“Sawa, na wewe unafanya kazi hapa?” aliniuliza

“Ndio…..Mimi nasafisha kucha” niliongea huku nikichezea simu

“Anhaa….hutoagi ofa?” aliniuliza huku akicheka cheka, niliinua macho nikamtazama alikuwa anacheka tu

“Ah ofa tena?” Nilimuuliza akachezesha kichwa kwa ishara ya kukubali

“Hamna ofa….kazi ya boss hii mdogo wangu” nilisema

“Mmmmh” alinigunia kitu kilichonifanya msimamo wangu uzidi kupotea tu

“Usigune, sasa…”

Aisha alizidi kucheka kadri nilivyokuwa nikimtania, nilijisikia kabisa nahitaji ofa kutoka moyoni mwake ila nilitamani iwe kwa siri kwa sababu sitaki kuharibu huku kwa bossi, ananihudumia kila kitu.

Nilivyokaa karibu na Aisha nilianza kutamani hata kumuomba namba, ila kabla sijafanya hivyo, nilimuona msusi Dada Lucy ametoka na kumuita “Njoo tushamaliza huku” alisema maneno hayo Da Lucy kitendo kilichonikatisha stimu. Nilijikuta natamani kumuambia asubiri kidogo nimalizane naye…..LEMBO LEMBO LEMBO, NAKUHURUMIA PALE UTAKAPOANZA UMALAYA HALAFU MAMA ASHAA AFAHAMU.

Kisolo cha 13

Aisha aliinuka na kwenda ndani kupewa huduma iliyokuwa imemleta pale saluni. Nilijisemea kimoyomoyo kwamba lazima niichukue namba ya yule msichana.

Siku ile sikujua kuwa mama Asha alikuwa wapi, na niliogopa kumtafuta maana alishawahi kuniambia kwamba nisimtafute mpaka anitafute yeye maana alihofia kuanzisha ugomvi kati yake na mume wake.

Nilikaa kama nusu saa nzima nikiwaza mambo tofauti tofauti, ndipo nikapata wazo nikainuka na kwenda ndani ya saluni nikamkuta yule binti wanakaribia kumaliza kumtengeneza nywele, niliondoka haraka nikaenda sehemu ambayo nilijua tu ataipitia akiwa anaondoka pale.

Lengo langu lilikuwa ni kumuomba namba tu binti Aisha, na nilikaa kwa muda mrefu bila kumuona akipita.

Nikiwa natafakari kurudi kule saluni simu yangu iliita na ilikuwa ni namba mpya. Niliipokea

“Hallo” Nilisema

“Uko wapi?” Njoo kuna mteja hapa” ilitoka sauti ya dada Lucy

“Anhaa siko mbali nakuja” Niliongea huku nikianza kupiga hatua kwenda kwenye saluni ile, nilipofika tu hivi nilimkuta Aisha akiwa ameketi kwenye lile sofa la nje. Alinitazama huku akitabasamu

“Ulienda wapi?” aliniuliza

“Ah nilikuwa nacheki msosi mara moja” niliongopea

“Haya, yaani ndio uniache hapa au hukujua mi nitaweza nikawa mteja wako?” aliniuliza

“Ah kumbe wewe ndo mteja mwenyewe” nilisema huku nikinyoosha kidole.

“ndio, si nilikuambia?”

“Ulisema unataka ofa” nilisema huku nikienda ndani “Njoo ndani sasa” Nilisema

Aisha aliinuka na kunifuata ndani, alipofika ndani aliketi kwenye kiti maalumu halafu mimi nikaandaa vifaa vyangu na kumsogelea nikaketi niweze kumpatia huduma.

Nilianza kazi yangu kama ilivyokuwa ada, baadaye nilipomaliza alinilipa halafu akaondoka na kuniacha pale.

Kilichoniuma ni kwamba kuna msichana mmoja naye ni msusi pale, alikuwa anakaa pale ndani muda wote wakati mi nikiwa namfanyia usafi wa kucha Aisha, yaani yule alifanya mimi nisiweze kuomba namba kabisa pumbavu zake

Huwezi kuamini mara tu baada ya kuondoka haikupita hata dakika 30, nilipokea message

“Asante kwa huduma yako” Nilipousoma ule ujumbe niligundua ile ni namba ambayo Lucy alinitafuta nayo muda ule akiniambia kuna mteja.

“Nani?” Nilimuuliza maana mimi kwa harakaharaka nilijua ni Lucy lakini nilikuwa najua hakuna huduma yoyote ambayo nilikuwa nimempa da Lucy kwa siku ile.

“Mh mimi Aisha”

Iiih nilishtuka sana kumbe ile ilikuwa ni namba ya Aisha “Umeipata wapi?” Nilimuuliza

“Heee we kaka wewe….hii namba si alikupigia nayo yule mdada mnayefanya naye kazi”

“Ndio, kumbe ya kwako?”

“Ndio, walikuwa hawana dakika ndo nikawapa hii wakakupigia nayo”

“Okay sawa, nimekubali” nilisema kwa furaha, yaani lengo langu la kumuomba namba limefanikiwa kiurahisi sana. Nilijipongeza kwa kunywa Afiya nyeusi

Aisha hakuendelea kunichatisha alitulia kimya, na mimi nikakaa kimya.

***

Baadaye muda wa saa 12 mama Asha alikuja ofisini, alinikuta ninachezea simu yangu halafu tukatazamana kwa macho ya mahusiano wote tukatabasamu. Alinikaribia nikamuamkia

“Shikamoo” Nilisema hii kuwaua maboya wale watu wengine wasishtuke kile kinachoendelea kati yetu.

Mama Asha aliitika salamu “Marahaba umeshindaje?”

“Safi”

Mama alienda mpaka kule ndani akakuta wasusi wanapiga zogo, mi nilikuwa niko nje bado. Nilipokaa kidogo alinitumia message

“BABY NAJUA UMECHOKA NENDA NYUMBANI KAPUMZIKE” alisema mwanamke huyo

“POUWAH” nilijibu kwa furaha halafu nikaingia ndani nikachukua chaja yangu na kuwaaga nikaondoka bila shida.

Nikiwa njiani nilikutana na Aisha naye ameshabadilisha mavazi, amevaa vizuri sana

“Vipi unaenda wapi?” nilimuuliza

“Naenda zangu nyumbani, alinijibu Aisha

“Anhaa….tuende wote?” nilimuuliza

“Twende kama unataka” alisema

“Hahaha…hapana nitauawa huko…labda wewe utwende kwetu” nilimuambia huku tukisimama kila mmoja wetu alionekana kutaka mazungumzo na mwenzake

“Kwani kwako ndio sitauawa mimi?” aliniuliza

“Sasa uuawe na nani?”

“Mkeo”

“Ah wapi mi naishi mwenyewe mbona” nilitamba, laiti angelijua kwamba nakaa ghetto la mshikaji wala asingeliongea

“Mh….kwanza wewe unaishi wapi? Hapa hapa Magomeni ama?” aliniuliza

“Hapana, naenda kupanda mwendokasi mi nakaa Kimara” nilisema

“Mh kimara ipi?”

“Baruti”

“Haya bana basi powah” alisema mwanamke yule

“Twende basi” nilitamka kwa hisia

“Nikafanye nini sasa jamani?” aliniuliza

“Tukapige hata story mbili….tatu”

“Mh…labda siku nyingine bhana…kuna kazi naenda kufanya nitakuwa free kesho mchana ila nitaingia kazini usiku” alisema

Sikutaka hata kujiuliza anafanya kazi gani ya usiku, nikaamua kupanda dau “Kwani hiyo kazi unalipwa shilingi ngapi?” niliuliza

“elfu kumi” alinijibu

“Mh, elfu kumi twende kwetu mi nitakupa hiyo hela” niliongea kwa jeuri

“Kweli?” Aliniuliza

“Ndio…..”

“Mh sasa mimi si utanitaka vitu vingine ambavyo sijapanga kuvifanya?” aliniuliza

“Hamna bhana”

“Sawa, tafadhali sihitaji kufanya chochote tutapiga tu story sawa?” Aliniuliza

“Usijali” nilisema

Kiurahisi urahisi tu nilimchota Aisha bila kutarajia, tulipanda mwendokasi haoo mpaka Baruti. Tulipofika baruti niliweka simu kimya (silent) ili nisije nikajiharibia, maana niliamini mama Asha anaweza akanipigia muda wowote.

Kichwani mwangu niliamini kwamba usiku ule Aisha hatopona, lazima achezee mjegeje.

Tulishuka kwenye mwendokasi tukatoka kituoni na kutembea kwa mguu taratiibu kuelekea geto. Tulipofika ghetto hivi niliamini yule binti atachanganyikiwa na ghetto lile nililokuwa nikiishi ila sasa kizaazaa na utatanishi ulianza pale nilipokuta taa ikiwaka ndani.

Muda huo nilikuwa nakatiza nyuma ya chumba nikaona taa za vyumba vyote viwili zilikuwa zinawaka, nilijitia moyo kwamba labda nilikuwa nimeacha taa ikiwaka muda wa asubuhi nilipoondoka.

Tulizidi kutembea kuizunguka nyumba, tulipofika mbele ya chumba hivi nilishuhudia mlango ukiwa wazi, nikapata wasiwasi mkubwa labda kuna wezi wamepita pale au ni Mtoni karudi.

“Ndio tumefika?” Aisha aliniuliza

“Ndio, embu subiri kidogo kuna kitu sielewi” nilisema huku nikizidi kuogopa maana lile sio geto langu, na mtoto wa watu nimeshamkatisha kwenda kwenye shughuli zake.

Nilijifanya naenda kwa kujiamini nikaenda mpaka ndani huku bado nikihofia usijekuta ni wezi wakanifanyia kitu kibaya

Nilinyata bila kuongea, lakini nilipochungulia chumbani nilimkuta Mtoni akiwa amelala na boxer tu huku akionekana mtu aliyechoka

“DAAAH MWAMBA KARUDI?” nilijiuliza huku nikimtazama, roho iliniuma sana maana alikuwa ameshaniharibia utamu wangu. Niliamini kwamba lazima niweke vyombo kwa Aisha lakini sasa kama mwenye gheto kaja nifanyeje?

Nilitoka nje nikiwa na hasira, binti alikuwa ananisubiri nje……

Kisolo cha 14

“Hello” nilisema “Rafiki yangu kaja, kwa hiyo hatutaweza kulala hapa

“Mh” Aisha aliguna, alionekana amekasirika “Kwa hiyo?” aliniuliza

“Tutatufute chumba tukalale mpaka kesho” nilisema

“Mh” aliguna kuonesha hajaridhika.

“Usigune, tufanye hivyo” Nilisema na kurudi nikaurudishia mlango halafu tukaondoka kwa pamoja.

Barabarani kote hakuongea, mashavu aliyavimbisha kwa hasira, alionekana hajakipenda kile kitendo kabisa. Na mimi sikujali nilimkaushia mpaka tulipofika katika nyumba ya wageni tukachukua room halafu tukazama ndani.

Japo haikuwa ratiba yake lakini usiku ule lilimkuta jambo. Aisha aligeuka kuwa mwanamke wa pili kwenye maisha yangu.

**

Asubuhi na mapema niliamka na kumuacha binti kule kwenye ile nyumba ya wageni halafu nikarudi nyumbani kwa Mtoni. Nilipofika nilimkuta Mtoni akiwa ameketi anaonekana amekasirika. Mkononi alikuwa ameshikilia moja ya vile viatu alivyokuwa ameninunulia mama Asha.

“Niaje kaka” Nilisema huku nikimtazama Mtoni.

Mtoni alinitazama kwa hasira na bila kunijibu aliniuliza swali jukwaju “Hivi viatu umepata wapi?” aliuliza huku akionekana mwenye shari tayari

“Nimenunua” nilisema huku nikipata wasiwasi kwanini ananiuliza swali lile.

“Na zile nguo kwenye begi lako?” aliniuliza

“Vyote nimenunua bro”

“Hadi simu ya milioni hiyo wewe unawezaje kununua huna hata mwezi hapa mjini”

Nilikaa kimya sikuwa na jibu lililo kamili, alionekana kama vile ana wivu juu yangu.

Nilitoka nje kwa wasiwasi ila ghafla nikiwa nje nilimsikia akiongea na simu huku akifoka

“We mwanamke ni Malaya sana….kila mvulana anayekatiza mbele yako unamtaka tu….wewe ni mshenzi tu nakuambia mama Asha”

Nilishtuka niliposikia jina mama Asha

“Najua hivi vitu wewe ndo umemnunulia…..mbwa mwenyewe….mpumbavu nini, si ungeniambia tu unataka kunitumia kimwili upotee zako, acha umalaya wewe” Mtoni alifoka sana akiwa chumbani ndipo nikajiongeza kwamba kumbe Mtoni naye alishapita naye

“Tokaaa……yaani siku mbili tu umenipeleka rumande ukaanza kuliwa, je ningekaa mwezi sasa?” alisema Mtoni kwa hasira, nikajua imeshakuwa tempa.

OHOOOO KUMBEE!!!!

JE ITAKUWAJE?

Kisolo cha 15

Niliingia ndani nikaongea naye

“Bro samahani sana, sikujua kama ni mtu wako, mi ningejua wala nisingepita naye” Nilisema

“Daah, yaani huyu mwanamke bwana” alisema Mtoni huku akionekana kujikatia tamaa, alikuna kichwa

Nilijiandaa halafu nikaondoka kuelekea kazini.

Nikiwa kule kazini mama Asha alikuja akaniambia

“Nenda nyumbani yule ana tempa sana, anaweza akaharibu vitu vyako”

“Sasa ninaenda kufanyaje?” niliuliza

“We nenda kaniambia anazichoma zile nguo nilizokununulia”

“Eeh?” aliniongezea wasiwasi

Haraka haraka niliinuka na kuondoka pale nikaenda kupanda gari na kurudi Baruti.

Kama utani, ile nafika nyumbani tu hivi nilimkuta ameshaziweka kwenye moto halafu kaketi pembezoni kwenye matofali huku anakula sigara taratiibu

“Ah bro unafanya mambo gani man” nilimuuliza

“Acha usechu….Na wewe ondoka huku ndani fala nini?” aliniambia kwa hasira

“Mh” nilibaki nimeshika kiuno sijui nifanye nini. Niliingia ndani nikaangalia vitu vingine, ile natazama hivi aliingia ameshika lirungu mkononi akanifokea “Toka ndani kwangu fala, ntakuulia hapa hapa” alisema Mtoni akiwa na hasira huku  akininyoshea lile rungu

“Nimek….” nilitaka kumuuliza swali ila lile rungu lilinipitia kwa bahati nzuri nikakwepa likagonga TV ikadongoka kule

“Mamaye…..wewe mjinga unaona TV unaharibu”  alisema kwa hasira nikamkwepa huyo nikatoka nje na kukimbia. Yuko hapa nyuma yangu.

Nilitoka nduki nikakimbilia barabarani huko, sijui niende wapi tena

Nikiwa nimesimama mahali alinitumia “We fala usipite tena kwenye anga zangu ntakuua” Aliniambia

Nilijua amekasirika, lakini kwa upande wa pili nilimshukukuru Mungu kwamba nimelipiza kisasi maana yeye alishawahi kuniibia Caren kipindi amekuja kule kijijini.

Aliniongezea ujumbe mwingine “Uwe unauliza utakuja kufa na UKIMWI mbwa wewe” alinitukana nikapata hasira na mimi nikaamua kumjibu kwa jeuri sana

“KWENDRAAAA….WE ULIFIKIRI ULIPONILIA CAREN NILIFURAHI SANA? ONJA MAUMIVU NA WEWE FALA NINI”

“HAINA NOMA” alinitumia ujumbe

********

Baada ya yale yote nilibaki na msongo wa mawazo, sikujua siku ile nitaenda kulala wapi, yaani chaka langu nililokuwa najificha limeungua na moto, sikujua nitajificha wapi kwa kipindi kile.

Niliamua kumpigia simu mama Asha ili nimueleze niliyoyakuta. Mama Asha alipokea

“Wewe” alisema “Unaendeleaje?”

“Daaah acha tu mama Asha” nilisema kwa maumivu makali

“Vipi tena jamani?”

“Nimekuta ameshachoma, hivi kwanini hukuniambia kwamba wewe na yeye mpo katika mahusiano? Mbona umefanya hivyo?” nilimuuliza

“Samahani, niliacha kusema maana nilijua utanikatalia, nisingekubali kukuachia kirahisi hivi Lemboo” alilitamka jina langu kwa style ambayo ilinifanya nikatabasamu

“We endelea tu na kunichekesha ila mimi hapa sina nguo, sina kiatu, na sina pa kulala” nilisema

“Usijali yule mjinga tu, nitakutumia pesa ulale leo halafu tutatafuta namna upate nguo na chumba chako kizuri zaidi ya hicho, sawa?”

“Sawa hamna shida nakuaminia lakini mh”

“Usiogope mi ni wako tyu”

Baadaye mida ya saa 12 jioni Mama Asha alinitumia shilingi elfu hamsini, kwa kifupi mimi nilikuwa nalelewa kwa muda ule, stress sikuwa nazo kabisa.

Nililala chumba cha elfu kumi tu mpaka asubuhi kesho yake, nilipoamka nilioga na kuhudhuria kazini kama ilivyokuwa kawaida yangu.

Ni zaidi ya siku tano zilipita mimi sina nyumba ya kulala, zaidi kila siku nilikuwa nalala katika nyumba za wageni. Nilipata hasira ndipo nikaamua kumfuata mama Asha akiwa kwenye gari anataka kuondoka

“Mama Asha” nilimuita akainua macho na kunitazama usoni halafu akatabasamu nikaongea

“Nataka nirudi nyumbani” nilisema

“Nyumbani wapi?” aliniuliza

“Shinyanga” alisema

“Weweee…..ukafanye nini….kwanini kwanza?” aliniuliza

“Maisha ni magumu, sasa ndo naishije hivi? Sina pa kulala, sina hata nguo heri niondoke” nilisema kwa hasira……JE HUU NDO UTAKUWA MWISHO WA LEMBO KUWEPO JIJINI DAR ES SALAAM? NA JE NDO TUMEPATA JINA LETU LA KWA HERI DARESALAMA? SIJUI….

KWA HERI DARESALAMA

Kisolo cha 16

“Pole mpenzi….ila usijali mi nitakufanyia hivyo naomba ukapumzike leo tu halafu kesho tutaangalia namna ya kufanya, kuna hela naenda kuchukua”

Sikujibu chochote nilimuangalia tu mama Asha, sikuwa na namna, alitoa shilingi elfu 30 akanipatia akanishika shavuni na kuniangalia kwa huruma “Nakupenda Lembo” aliniambia

Sikuwa na jibu, niliondoka zangu huku nikijifanya nina hasira lakini kwa kifupi mfukoni nilikuwa na kama 250000 ambayo nimeipata tangu nilipofukuzwa na Mtoni, zote hizi ni pesa ndogondogo nilikuwa nikizikusanya pale alipokuwa akinipatia yule mama mara tu baada ya kugundua sina eneo maalum la kulala.

Nakumbuka, baada ya muda ule mi sikwenda mbali nilichukua chumba maeneo yale yale. Sasa usiku vita ikaanza.

Mama Asha alinipigia simu akaanza kuongea kwa kuninong’oneza

“Ingia WhatsApp baby” alisema mwanamke yule

“Kuna nini tena?” niliuliza

“Ingia wewe, kuna picha nimekutumia”

“Ah mi nishalala, na sina kifurushi bwana” nilisema

“Mmmh mi sitakii…ingia bachiiii” alianza kunidekea “Ingia online la sivyo mi sitakupa tena tamu yangu” aliniambia kama vile mtoto ila ghafla akakata simu nikahisi labda mume wake alikuwa ametokea.

Nilikaa nikatafakari usiku ile napata wapi vocha, ndipo akanitumia ujumbe “Ingia please, halafu ninawashwa…uko wapi?” aliniuliza

“Niko lodge” nilimjibu

“Okay ingia WhatsApp sasa” alisema

Nilitulia kwa muda ila, akili ikaanza kuniambia yule mwanamke lazima atakuwa kanitumia kitu kizuri maana alionekana anawashwa sana usiku ule.

Nilitoka nje taratiibu nikamkuta mlinzi wa ile nyumba ya wageni akibugia Azam Energy Drink nafikiri ni kwa sababu alikuwa hataki kupata usingizi

“Unaenda wapi ndugu?” aliniuliza

“Naenda kutafuta vocha dukani mara moja”

“Saa hizi?” aliniuliza

Eee, kwani sitopata?” nilimuuliza

“Ngumu sana”

“Ahaa…..we hauna hela kwenye simu unitumie nikupatie taslimu?” nilimuuliza

“Shilingi ngapi?”

“Hata elfu tano” nilisema

“Sina nina elfu moja tu”

Kwa kuwa tatizo langu ni kifurushi cha usiku ule tu, nilimpatia buku akanirushia shilingi elfu moja kwenye simu yangu halafu mimi nikajiunga zilikuwa MB 500.

Nilijilaza nikawasha data nikaanza kupata upepo wa feni la chumba cha nyumba ya wageni, ndipo zikaanza kuingia jumbe za kutosha. Nilipotazama kuna picha kibao za mama Asha alikuwa amenitumia za uchi wa mnyama nikawa namtazama ni minyama tu iliyojazia, meupee….halafu katikati ya mapaja kuliwekwa kitu kitamu sijapata ona kabla

“Daaaah” nilijisemea huku mashine yangu ikianza kuchangamka na kujisikia moto wa ajabu.

“UTANIUA WEWE MWANAMKE” nilimtumia ujumbe kwa hamasa

“Na nini babe?” aliniuliza

“Na kitumbua chako hicho, ni kitamu sana ujue” nilisema

“Hahaha…ni mali yako….baby naomba unitumie picha ya naniliiu yako” aliniambia

Poa dakika moja tu”

Niliwasha taa, na kuanza kuiselfisha mashine yangu halafu nikamtumia WhatsApp akaanza kulalamika

“Honey uwiiiii…natamani ningekuwa hapo niinyonye….asssssh” alituma ujumbe wa hisia nikajikuta nawaza mbali sana.

Baada ya huo ujumbe mwanamke yule alipotea hewani moja kwa moja nikabaki nawaza mambo mawili, either kanogewa akaamua kumpa mumewe, au mumewe kawa karibu naye akawa ameshindwa kunjibu jumbe zangu.

Nilijaribu kulala lakini kamwe usingizi haukunipata muda wote niliwaza kunyanduana tu, ndipo nikaamka nikavaa nguo zangu na kutoka nje ya chumba nikaingia mtaani kusaka mrembo.

Niliingia katika baa moja nikawa naangalia kuna wanawake machangudoa kibao, hapo nina jeuri ya pesa, najua hakuna wa bei ghali kushinda uwezo wangu, ndipo nikamfuata mrembo mmoja na kumgusa kidogo

“Hello” nilisema naye akanigeukia nikajua yeye ndio yule yule hivyo nikamshika kiuno na na kubinya kalio.

Yule mwanamke alinigeukia kwa tabasamu ila nilishtukia nimelambwa kibao cha maana paaaah…..usoni nikaanza kuona minyota nyota kudadeki

“Mfyuuuuuuuuu……mshenzi mmoja wewe….unafikir tupo hapa hatuna kazi za kufanya?” aliniuliza kwa dharau huku akisogea mbali………….DUUUH MWAMBA LEO KAPATIKANA

Kisolo cha 17

Kwa maumivu ya kile kibao alichonitandika nilijikuta hamu zangu zote zinaisha, nikaamua kuondoka taratiibu ili niende kule nilipokuwa.

Nilipotoka tu nje ya ile bar, kuna binti mmoja alinikimbilia na kuniomba samahani kwa niaba ya yule msichana

“Samahani bosi, yule msichana alikuwa na hasira, usikasirike” alisema na kunifikia tukawa tunatembea wote mdogo mdogo

“Daaah bar yenu mna dharau sana asee” nilisema kwa hasira “Mimi ni wa kupigwa kofi kweli?” niliuliza

“Ndio maana nikasema kwamba mimi nikuombe msamaha kwani wewe si ulitaka mwanamke wa kwenda kulala naye?” aliniuliza nikasita na kumtazama bila kujibu halafu akaongeza swali “Una shilingi ngapi?” aliniuliza

“Kwani usiku mzima mnafanya shilingi ngapi?” nilimuuliza swali juu ya swali

“Kwangu mimi mbele ni shilingi elfu 30 nyuma ni 60” sikumuelewa anamaanisha nini kusema nyuma, ndipo nikafika dau

“Nitakupa hiyo thelathini”

“Sawa….” alinijibu

Yule binti aliniacha pale akaenda kuchukua vitu vyake halafu akarudi tukaenda wote katika nyumba ya wageni halafu tukalala mpaka asubuhi akiwa ananiburudisha mno.

Asubuhi nilichelewa kuamka kuliko yeye maana alikuwa bize na kazi na mimi sikuwa bize sana na ukilinganisha na ule uchovu wa usiku basi nilichelewa kuamka mpaka ilipofika saa tano ndo nikaamshwa na mtetemo wa simu yangu

Nilipoitazama simu ni mama Asha ananipigia, nikapokea na kuongea kwa uchovu “Hallo”

“Heee….mbona uchovu au umelala bado?” aliniuliza

“Ndio”

“Kuna nini hadi ulale mpaka muda huu? Au usiku umetiana nini?” aliniuliza

“Hamna ila nilichelewa kulala maana nilikuwa online” nilidanganya

“Haya njoo hapa ofisini haraka kuna kitu tuzungumze niko na mtu halafu anataka kuondoka” alisema mama Asha

Kwa haraka haraka nikajua labda yuko na Mtoni, nikamuuliza “Upo na mtu gani?”

“We njoo” alinijibu

“Ok powa nakuja sasa hivi” nilijibu

Ilibidi niamke na kuoga halafu nikatoka kule chumba cha wageni, nilipofika mbele pale saluni nilimkuta mama Asha akiwa na mwanaume ambaye mimi nilikuwa simfahamu.

“Kwema?” niliwauliza

“Kwema…umeamkaje?” Mama Asha alisema huku akinikagua juu mpaka chini

“Niko safi” nilijibu

Nilisimama pembeni yao halafu nikamsikiliza…..  JE HUYU MWAMBA NI NANI?

Kisolo cha 18

“Sasa sikiliza, huyu hapa ni dalali, nimemuuliza kasema kuna chumba kizuri sana kiko Tabata kimanga, mi nataka ukakae huko” alisema

“Sawa” nilijibu moja kwa moja maana mimi ninahudumia siwezi kupinga chochote, na nilitamani sana niwe na ghetto langu vilevile.

“Basi twende tukakiangalie”

“Poa”

Tulipanda gari ya mama Asha tukazishika barabara na kuelekea Tabata, tukiwa njiani mama Asha alipigiwa simu na mumewe

“Ba Asha” mama Asha alisema baada ya kupokea simu

“Vipi unaenda wapi?” Aliuliza mumewe kwenye simu maana nilisikia mazungumzo upande wa pili kwani spika ya simu ya mama Asha ilikuwa na sauti kubwa sana.

“Mh umeniona wapi?” aliuliza mama Asha

“Nimeona gari yako ikikatiza hapa RiverSide”

“A….naenda hapo mbele kidogo”

“Sawa” Baba Asha alisema na kukata simu

Mama Asha alitabasamu na kuiangalia simu yake “Yaani huyu ana wivu” alisema

“Ndio mapenzi hayo” Yule dalali alidakia

“Mmmh” alisema Mama Asha “Mapenzi gani hayo yaani hataki nitembee kabisa”

Nilikaa kimya kabisa maana najua mimi ndiye mwizi.

Tulipofika Tabata, yule dalali alinipeleka katika chumba fulani hivi kizuri sana, japo kilikuwa kimoja ila kilikuwa kikubwa huku kikiwa na choo ndani, nilikipenda mwenyewe. Uzuri pia pale wapangaji walikuwa ni wachache yaani ni watatu tu.

“Umekionaje?” aliniuliza Dalali

“Kizuri sana….nimekikubali mtu wangu” nilisema

“Nilisema chumba ni kizuri, ila bi mkubwa hakuamini” alisema dalali

“Mh kweli umekipenda Lembo?” aliniuliza yule mwanamke

“Ndio, nimekipenda sana sana sana…” nilisema kwa msisitizo

“Basi sawa, ngoja tukilipie halafu tukanunue vitu vya ndani ili uhamie kesho” alisema mama Asha

“Sawa”

Aliamua kukilipia kodi ya miezi sita

***

Kweli kesho yake alininunulia vitu vyote vya ndani kisha mimi nikahamia, na mimi kwa mara ya kwanza nikawa namiliki geto.

Ulikuwa ni mwanzo wangu wa kula bata, hakika niliyafurahia maisha ya Dar. Kila siku nilishangaa kwanini watu wanalalamika kwamba Mjini kugumu, sikuona ugumu wa maisha hata kidogo, hadi umeme nililipiwa.

Siku tatu baadaye nilikuwa nimekaa zangu pale saluni huku nikiwa nachezea simu ndipo akatokea mwanaume mmoja ambaye sikuwahi kumuona ana kwa ana kabla, lakini ile sura niliifahamu ni ya baba Asha kwa sababu mama Asha alishawahi kunionyesha picha yake kwenye simu.

Yule mwanaume alikuwa amevalia kanzu yake safi ya rangi ya maziwa, kichwani alitupia kibarakashia halafu alinipita na kuingia ndani ya saluni kusalimiana na wale wasusi wa kike.

Niliendelea na simu yangu mkononi, ni kuperuzi tu mtandaoni lakini mama Asha muda huo hakuwepo.

Mzee yule baada ya kuongea na wale wadada, alitoka nje na kunitazama kwa shauku ya kunijua

“Hujambo?”aliniuliza huku akinitazama usoni

“Sijambo shikamoo” nilisema huku nikijua labda kuna kitu anataka nimsaidie

“Wewe ndiye unaitwa Lembo?”

“Ndi…ndi….o” nilijibu

“Anhaa…ndiyo unafanya kazi hapa?”

“Ndio” nilisema

“Haya sawa, kazi njema ndugu yangu” Yule mzee alisema na kuondoka…..JE LIPI LITAFUATA HAPA?

Kisolo cha 19

Kuanzia pale nilianza kupata wasiwasi kwamba ameshapata fununu kwamba kuna mtu anamlia tunda lake, niliogopa kidogo, na hata nikaamua kumpigia simu mama Asha

“Bebe beiiibee” alisema mama Asha kwa mbwembwe

“Vipi uko wapi?” Nilimuuliza huku kidogo nikipata wasiwasi

“Kwani vipi? Kuna uzima?” aliniuliza

“Ndio, ila mumeo kaja hapa ananiuliza mimi ni Lembo” nilisema

“Kakuuliza kama wewe ni lembo?” aliniuliza mama Asha

“Ndio”

“Kakujulia wapi?” aliniuliza

“Ndio nikuulize wewe, kwani hukuwahi kumuambia chochote kuhusu mimi?”

“Hapana hatujawahi kukuongelea kabisa….mbona pambee” aliniambia

“Duh” nilisema

“Ila usiogope, nitamaliza kila jambo” alisema Mama Asha, kiukweli nilipata hofu.

******

Kadri siku zilivyopita nilipoteza mawasiliano kabisa na Mtoni, nilishanogewa na penzi la mama Asha, kila kitu nilichokitaka alikuwa ananipatia, lakini kila mara niliwabadilisha wasichana wadogo wadogo hadi Malaya wa kununua nilikuwa nachukua tu.

Nilijisikia furaha na niliamini ule ni muda halisi wa kuvunja mifupa ilhali meno ipo.

Siku moja ya ijumaa jioni nilikuwa nimelala najisikia mizuka kinoma, nikamcheki mama Asha “Mpenzi” nilisema

“Nambie”

“Njoo basi masikani”

“Ah leo haiwezekani bana, dingi yuko nyumbani…” aliniambia wote tukacheka maana tulikumbuka wimbo wa zamani wa msanii mmoja ambaye anaitwa Noorah alishawahi kuimba mstari kama huo kwenye wimbo uitwao, Ukurasa wa Pili.

“Hallooo” nilisema “Kwa hiyo nipige tu puli eti” nilisema wote tukacheka

Mama Asha alianza kupoteza kujiamini alihisi ameshashtukiwa na mumewe, hata zile amsha amsha zilipungua, nilijikuta nammiss vibaya mno.

Nikiwa sina hili wala lile nilitoka nje kuna dada mmoja alikuwa amepanga jirani yangu, alikuwa anaitwa Mosi, nikamkuta amekaa na mdogo wake wakiwa wanaandaa vya kupikia, ila mdogo wake alikuwa haishi pale.

“Mambo” niliwapa salamu na kuketi

“Pouwa” aliitika yule dada, halafu mdogo wake akaendelea na kazi zake za kukuna nazi

Nilimgeukia nikamuuliza “Mbona wewe hujaitikia salamu yangu”

“Mh” alisema na kuinua uso akanitazama “Shikamoo” alisema kwa aibu halafu akaangalia chini

“Marahaba…Japo…” nilisema

“Japo nini?” dada yake alidakia

“Mi hiyo shikamoo sidhani kama inanifaa” niliongea

“Huyu ni kama mdogo wako lazima akuamkie” alisema dada mtu huku akiweka vizingiti vya uchokozi wangu kwa mdogo wake

“Haha haya bana sawa” Nilisema

Nilikaa pale kwa muda kidogo halafu nikainuka na kurudi ndani. Nikiwa ndani nikasikia anamuagiza

“Nenda gengeni kalete kitunguu swaumu” alisema Mosi

“Weee” nilisema….aende nisimfuate?” nilijiuliza huku nikiinuka na kuketi kitandani kwa sekunde kadhaa. Baada ya hapo nilisimama na kutoka nje nikafunga mlango wangu vizuri nikaenda mpaka kule alipoagizwa.

Nilimuona yule mdogo mtu akiwa ananunua alichotumwa pale gengeni nikamfuata na kumchokoza

“We umekuja kununua nini?” nilimuuliza

“Kitunguu” alisema binti huku akishikilia nguo yake ndefu vizuri ili isiburuze chini

“Anhaa….twende nkakununulie soda” Nilisema nikaona amepandisha mabega

“Akuu….” alisema na kupokea kitunguu halafu akaondoka nikamfuata

“Kwanini hutaki sasa?” nilimuuliza

“Hamna….mimi sitaki soda yako”

“Unataka nini?” Nilimuuliza

“Sitaki kitu” alisema

Tulitembea huku nikimchokoza kwa muda “Hivi unaitwa nani?”

“Naitwa Lina…wewe unaitwa nani?” aliniuliza

“Naitwa Lembo” nilisema nikaona binti kashtuka

“Eehn??” aliniuliza

“Naitwa Lembo”

“Lembo?” aliniuliza

“Yes……”

“Ahahaa…..” alicheka Lina huku akibana midomo yake kwa kiganja chake, alionekana mtoto mdogo bado.

“Hauna simu?” Nilimuuliza

“Sina simu”

“Sasa nitakupataje tena, maana nataka kuongea na wewe zaidi halafu tushakaribia kufika nyumbani” nilisema

“Mi sina simu, siruhusiwi kuwa na simu” alisema

“Daaah…..haya baaana…..kwa hiyo sasa?” nilimuuliza

“Kwani wewe unataka tuongee nini?” aliniuliza

“Kuna kitu nataka nikuambie Lina halafu hivi unajua wewe ni mzuri sana?”

“Mh asante” alisema

Lina alinivutia kuruka naye sema sasa hakuwa na simu mi ningefanyaje? Nilimuuliza “Unalala hapa kwa dada leo?”

“Akuu mi naenda kwetu”

“Kwenu ni wapi?” nilimuuliza

“Sio mbali ni hapo mbele tu” alisema mtoto Lina

“Sawa wakati wa kuondoka utanigongea dirisha ili nikusindikize basi” Nilimuambia

“Sawa”

JE KATOTO LINA KATAMTAMUITA AKASINDIKIZE MWANANGU LEMBO?

Kisolo cha 20

Lina kidogo alionekana muelewa, tulipokaribia nyumbani nilizuga kama sikuwa naye, nilimuacha akatangulia halafu mimi nikaenda dukani nikanunua energy moja halafu nikarudi nyumbani nikiwa nimeishikilia mkononi.

Nilipofika nyumbani sikumkuta mtu yeyote nje, hivyo basi niliingia moja kwa moja ndani kwangu nikajilaza, sikuwa na stress kabisa.

Kwa kuwa bado nilikuwa sijafuta namba ya Mtoni, nilikuwa nikiona hadhi (status) zake katika programu ya WhatsApp na hata siku hiyo nilipopita kwenye hadhi nilimuona akiwa amechapisha picha yake akiwa na kamera huku akitangaza biashara kumbe alikuwa ameshaanza dili mpya ya kupiga picha zile za maeneo.

Alichapisha picha za wasichana fulani akionyesha kwamba amewapiga picha na aliweka tangazo lake la upigaji wa picha wenye jina la RiverIn.

Sikuendelea kumfuatilia sana. Niliendelea na mambo mengine mtandaoni.

Baada ya masaa mawili kupita mimi nimeshasahau kabisa habari za Lina nilisikia dirisha langu limegongwa, nilishtuka na kukumbuka kwamba nilimuomba agonge dirisha langu kabla hajaenda ili nimsindikize.

Niliinuka chap na kuchungulia dirishani, nilipochungulia nilimuona anatembea kwa madoido mtoto yule ikabidi nitoke haraka na kufunga geto langu.

Nilimfuata hadi njiani na nilimkuta akiwa anatembea taratiibu.

“Lina” nilimuita

“Mmh” aliitika kwa mguno

“Nilijua umeshaondoka”

“Hamna nilikuwepo” aliniambia

“Kwani kwenu mbali sana?” nilimuuliza

“Hamna tunakatiza tu mtaa huu wa hapa nyuma na tutakuwa tumefika, ila tupitie hii barabara ya huku” alinionyesha njia nyingine ambayo ilikuwa ni chocho yaani haina pikipiki wala watu wengi.

Tulianza kutembea mdogomdogo. Kadri Lina alivyokuwa akipiga hatua mdogo mdogo huku akishikia gauni lake refu ndivyo nilivyokuwa namtamani na hata kumsogelea nikamshika kiuno.

Niliposhika kiuno nilijua atanifokea lakini badala yake alijiachia na kunigeukia huku akinilegezea macho nikaanza kujihisi tofauti.

“Lina unajua wewe ni mzuri” nilisema huku nikimtazama machoni akakaa kimya ananiangalia nikaanza kujisikia hisia kali zikinitembelea.

Hakika sikuweza kuvumilia nilijikuta ninamvuta kwa nguvu na kumsogezea mdomo nikaunasa ulimi wake. Taratiiibu barabarani bila kuogopa, nilimnyonya denda nikaona amelegea lege lege.

Nafsi yangu ilianza kusuuzika hata pale nilipopelekea mkono juu ya kalio lake dogo nikalishika na kulibonyeza kama parachichi ndo akaunyanyua mkono wake na kuniwekea kifuani akapapasa.

Akili zilianza kunitoka na hata kujikuta namshika ziwa la kushoto, nikaona amesisimka akanichia ulimi na kusema “Aaa ah….mi usini….” akiwa hajamaliza sentensi nilimnasa busu mdomoni nikasikia mkono wake umetua juu ya flaizi yangu na kuaanza kumpapasa mamba aliyekuwa amejificha humo dani lakini ametuna tayari.

Nilishindwa kabisa kuelewa, nilisikia raha, tena alivyo na makusudi alinyanyua tisheti yangu akauzamisha mkono ndani ya boxer yangu akaushika mpini nikachanganyikiwa.

“We Lina wewe” nilisema kwa hamasa huku nikimtazama amaeuuma mdomo wake ananiangalia yaani alikuwa mdogo ila pigo zake zilikuwa sio za nchi hii.

Lina alipoona nishapagawa aliutoa mkono kwenye boksa yangu halafu akaniaga “Mi naondoka tutaonana kesho” alisema na kupiga hatua nikasema wewe usinitanie, nikamvuta na kumkumbatia “Lina mi nataka” nilisema

“Utanipa shilingi ngapi?” Lina aliniuliza swali lililonishangaza kidogo, kumbe hata katoto kadogo vile kanadanga?

JESUU!!! KUMBE NAKO KADANGAJI? HATA MIMI HII DAR INGENISHINDA!!

INAENDELEA…..

Share.
Leave A Reply

error: Content is protected !!