JAMANI BABA MKWE!
PART: 06
Ilipoishia, “Heee…!!mme wangu unayapeleka wapi usiku huu?”
Rose aliongea kwa mshangao….
SONGA NAYO..
Ama kweli siku ya kufa nyani miti yote huteleza na ukistaajabu ya Musa utayaona ya Filauni. Rose akiwa haamini kabisa anachikiona kwa macho yake, aliomba sana mme wame asiweze kuyakagua mashuka yote aliyokuwa ameyashikilia.
Harakaharaka aliamka kwenye kitanda kisha akamfuata mme wake,
” Jamani baby si umechoka? nenda ukapumzike hii kazi niachie “
“Asante sana mke wangu sema nilitaka nikusaidie maana nimeona umechokq kweli”
“Hahaha..jamani baby sio kweli”
” Ayaa ..mke wangu”
Rose alinyanyuka kisha akamsaidia mashuka hayo na kisha akayaloweka kwenye beseni lililokuwa na sabuni ya Unga.
Akiwa analoweka mashuka hayo, kumbe mzee Matofali naye alikuwa nje huku akiwa anasikilizia nini kitajiri na kama mambo yatakuwa magumu aweze kutimua mbio.
Akiwa amekaa mkao wa kula huku akiwa anaangaza huku na kule, alimuona Rose akiwa analoweka mashuka huku akiwa amejifunga kanga tu kwani ilikuwa usiku na watu karibia wote walikuwa tayari wamelala.
Mzee huyo aliyekuwa na uchu kweli mara baada ya kuonja utamu wa mkamwana huyo, alijikuta anapandwa na midadi huku rungu lake likiwa limeanza kukakamaa. Alinyanya taaratibu kisha akamkaribia Rose na kumwambia kwa sautibya chini sana,
“Vipi yameisha?…au amegundua!”
” Yamaeisha lakini uondoke kwani yupo ndani anawez a kutukuta hapa”
“Huyo amechoka wala hawezi kutoka kwasababu ya safari”
“Mhh..mimi sitaki ugomvi … maana…”
“”Njoo hata dakika moja tu halafu niende kulala”
” Hivi mbonq huogopi! tufanye kesho akienda kazini”
“Hapana, kesho haitowezekana kwani mke wangu atakuwa atakuwepo maana alisema kurudi kesho”
” Bwana nielewe basi …mbona unakuwa mgumu hivo?”
“Sina namna ndo maana unaniona nakuwa hivi unavyoniona”
“Mmhh…aya bwana”
“Vipi sasa kwa hiyo umekubali au?”
” Aisee hapana kwakweli..”
Baada ya jibu hilo Mzee Matofali ambaye alikuwa fundi kwelikweli kwa mambo ya kitanga, alimsogelea kisha akamshika kiuno ambacho kilikuwa kimebinuka kama mlima kitonga na ndipo Rose alipokosa unjanja kabisa.
Ama kweli mapenzi yana hisia kali sana na yanaweza kumfanya mtu kupata ujasiri mkubwa sana hata ambao unaweza kuhatarisha maisha yake.
Kwa kuwa Rose alikuwa amevaa kanga tu huku akiwa ameinama, Mzee huyo alipisha kanga yake kisha akachomeka rungu lake na kuanza mchezo huku akiwa ameanagalia kwa makini kama mlango utafunguliwa.
Rose alijikuta anaacha kazi yq kufua kisha akampa ushirikiano na ndani ya dakika 6 tu, Mzee aliweza kufunga goli na ndipo alipochomoa rungu lake huku akiwa anahema kama kuku.
Alimuaga mkamwana wake huyo kisha akaenda kulala huku Rose akiwa anajipangusa utuli aliomwagiwa na baba mkwe.
Ama kweli ng’ombe hazeeki maini na kumridhisha mtu ni kazi kwelikweli.
Baada ya kumaliza kuloweka mashuka hayo, alirudi ndani kisha akamkuta mme wame amelala kwani alikuwa amesinzia sana.
Roho ilimuuma sana kwa nini amepata nusu ya utamu? alitamani kurudi na kumfuata baba mkwe huyo lakini aliogopa sana na ndipo alipoona busara kulala.
Ilipofika mida ya saa kumi na moja alfajiri, huku wakiwa wamelala, Baraka alianza kupenyeza mkono wake kwenye kifua cha mke wake huku akiwa anamsogelea taaratibu.
Walichezea mpaka wote wakawa wamefikia hatu ya kuanza mechi lakini Rose mawazo yake yalikuwa kwa baba mkwe na ndipo alipomwambia Baraka kuwa,
“Baby..samahani sana kwq leo sijisikii vizurai kwani najihisi uchovu na mwili kuuma kwa mbali hizo nakuomba tufanye jioni au usiku ukirudi kutoka kazini”
Rose aliongea kwa sauti ya upole sana.
“”Mmhh.jamani mke wangu ..jikaze tu hata dakika 5 tu zinatosha nami nitaondoka kazini vizuri”
Baraka aliongea kwa sauti ya kubembeleza.
“Jamani ..siwezi! mbona hunielewi? mimi ni wako na mda wote upo na mimi mpaka utachoka “
“”Sawa mke wangu basi nipe hata dakika 3 tu zinatosha ili roho yangu itulie maana maji ukishayavulia nguo sharti uyaoge”
Baraka aliongea huku akiendelea kumpapasa Rose.
“Niachie basi nipumzike kidogo afu kajiandae mme wangu usije kuchelewa kazini”
“Asante sana mke wangu”
Baraka aliamka kisha akaenda kuoga huku mtambo wake ukiwa umesimama tuli mara baada ya kukosa chakula.
Baada ya mda alivaa kisha akamuaga mkewe,
“My love ( kipenzi changu) naenda kazini Majaaliwa tukutane jioni au usiku japo leo nitajitahidi kurudi mapema”
“”Sawa baby…nikutakie kazi njema. Nakupenda sana”
Baad ya mmewe kuondoka huku mwili wake ukiwa wa moto kwelikweli mara baada ya maandalizi mazito aliyoyapaya kwqa mmewe, alijifunga kanga yake kisha akafungua mlango wake. Aliangaza kila sehemu na ndipo alipoona usalama unatosha.
Alitembea kwa kunyata kisha akagonga mlango chumbanj mwa baba mkwe.
Kwa kuwa walikuwa wameshapeana muda na ahadi,Mzee Matofali huku akiwa na furaha kwelikweli alifungua mlango haraka kisha Rose akaingia ndani.
Kabla ya kufanya chochote, Mzee alifunga mlango tena kisha akaona usalama unatosha.
Baraka naye akiwa ameshazikata mita kama 30 hivi, alikumbuka kuwa amesahau mask yake nyumbani na ndipo alipoanza kurudi nyumbani kwa haraka sana.
Baada ya kufuka mlangoni, aligonga hodi kisha akafungua mlango….
JE NINI KILICHOENDELEA???
PART: 07
Ilipoishia, Baraka naye akiwa ameshazikata mita kama 30 hivi, alikumbuka kuwa amesahau mask yake nyumbani na ndipo alipoanza kurudi nyumbani kwa haraka sana.
Baada ya kufika mlangoni, aligonga hodi kisha akafungua mlango….
SONGA NAYO…
Baada ya kuingia ndani huku akili yake yote ikiwa inawaza barakoa, alishangaa kutomkuta Rose ndani ya chumba hicho kakini wala hakutilia maanani sana kwani.alijua atakuwa kaenda haja.
Alipekua na kuviringisha nguo zilizokuwa zimerundika na ndipo alipofanikiwa kuona barakoa yake hiyo. Kwa kuwa alikuwa ameishachelewa, alitoka ndani harakaharaka kisha akaegesha mlango.
Akiwa ndani ya chumba cha baba mkwe, Rose alisikia sauti ys mlango ukiwa unafungwa na kufunguliwa ndipo alipopatwa na butwaa kama mtu aliyeibiwa hela ya kodi .
Wahenga wasema, sikio la kufa, halisikii dawa hata kidogo.
Baada ya mda kidogo, hakusikia sauti yoyote na ndipo alipoamua kufunga mlango ili vibaka wasifanye yao.
Taaratubu alifungua mlango kisha akatoka nje na kurudi kwenye chumba cha baba mkwe wake huku akiwa amevaa dera lake ambalo lilionesha maungo yake yote hususani wowowo mithili ya mtu aliyemtupu.
Ama kweli cheche za utamu zikikutana na cheche za utamu basi utamu kolea huweza kutokea . Aliangaza macho yake kushoto kulia, mbele nyuma kisha akazama ndani ya chumba cha baba mkwe huku akiwa na hamu balaa. Wakati anafanya hayo yote, kumbe Mwajuma Ndala ndefu alikuwa anamchungulia kupitia dirishana na ndipo alipojisemea mwenyewe kwa sauti ya chini,
“Aisee sijawahi kuona maajabu haya! yaani mtu na mkwe wake wanakulana! Alooooohooo! makubwaaa. Sasa huyu Rose mwenyewe ana mwezi tu ameolewa lakini kumbe mambo yake makubwa. Aisee ailikuwa ananisema mimi kuwa niko malaya lakini hapa kapatikana labda sio mimi, yaani lazima mme wake azipate habari hizi na shoga yangu Aisha bila kusahau Mama mkwe wake”
Mwajuma Ndala ndefu aliongea peke yake kama mwehu kwa sauti ya chini.
Baada ya kuongea hayo, Mwajuma alitamani kutulia lakini akashindwa na ndipo alipoamua kwenda mlangoni mwa Rose Makusudi kabisa kisha akamuita Rose,
“”Shoga ake…Rosee…Shoga ake mimi..fungua basi mlango”
Mwajuma alimuita Rose
Rose akiwa kwa baba mkwe, alishikwa na hasira kweli mithili ya kiboko aliyejeruhiwa lakini hakuwa na namna ya kumjibu Mwajuma.
“Huyu Malaya ananitakisha nini asubuhi hii? alaa! anachosha kweli utafikiri ananidai sasa siku nyingine tutaleteana uhasama”
Rose aliongea kwa hasira huku akiwa amekumbatiana na baba mkwe wake.
“Muache tu…maana alijua upo ndani hivyo sio kosa lake:
Mzee matofali alimwambia Rose.
Baada ya kutoka hapo, Mwajuma Ndala ndefu alimfuata shoga yake Aisha ambaye alikuwa jirani kabisaa.
“Hodi shoga ake…hodiii”
“”Karibu…””
“”Bado umelala…nakuomba haraka nikupe breaking News za motomoto”
“Hee…zipi tena shoga angu…””
“We njoo tena uje na dera lako kabisa bila kusahau simu yako”
“”Hahaha..hahah…shoga una mambo wewe.. yaani unajuaga kunipa raha kweli”
Ndani ya dakika tano, Aisha alikuwa tayari kila kitu huku akiwa na shauku ya kujua nini amememuitia,
“Sasa shoga ake, yaani leo jiandae kucheka na kuvunjika mbavu!! yule anayetuitaga wadangaji ..yaani leo nimemuona kwa macho yake yupo anakulana na babamkwe wake! mpaka mda huu bado yumo ndani””
Mwajuma alimwambia Aisha
“Aloooo..!! yaaani leo nitacheka mpaka basi tena tunakaa nje ili akitoka tumuone vizuri. Ndo maana nakupendaga bure shoga yangu”
Aisha alimwambia Mwajuma ndala ndefu .
Harakaharaka walitembea kisha wakakaa nje japo kibaridi kilikuwa bado kinavuma kwelikweli kwani ilikuwa bado asubuhi.
Huko chumbani, mambo yalianza kuiva huku Mzee Matofali akioneshs ufundi wake wa kipekee hasa kwa kutembea na mpira kwenye mstari bila mpira kutoka nje.Rose naye alishikwa na butwaa huku mwili wake ukiwa umechemka kwelikweli.
Mzee aligusa kila kona na kila sehemu ya uwanja huku Rose akibaki anarusharusha miguu yake kama mbuzi anayetaka kukata roho. Ndani ya dakika ya 15 ya kipindi cha kwanza, Mzee matofali alifunga goli la kwanza kwa shuti la mbali kisha mpira ukazama kwenye nyavu ndogo.
Rose alihema kwelikweli lakini Mzee baada ya dakika 10 alianza kipindi cha pili ambacho kilimchukua dakika 30 kufunga goli huku Rose akiwa hoi binitaabani.
“”Baby..nimechoka..tutafanya badae mchana”
Rose alimwambia Mzee matofali.
“Sawa mtoto mzuri”
Baada ya dakika kama 5 hivi, alivaa dera lake huku akiwa amechoka vibaya.
Alishika kitasa kisha akafungua mlango. Vile anataka kutoa kichwa nje tu! alikutana na sura ya Mwajuma na Aisha…
JE ITAKUWAJE?….
PART: 08
Ilipoishia, “Baby..nimechoka..tutafanya badae mchana”
Rose alimwambia Mzee matofali.
“Sawa mtoto mzuri”
Baada ya dakika kama 5 hivi, alivaa dera lake huku akiwa amechoka vibaya.
Alishika kitasa kisha akafungua mlango. Vile anataka kutoa kichwa nje tu! alikutana na sura ya Mwajuma na Aisha…
SONGA NAYO…
Akiwa haamini alichokiona kwa macho yake, Rose alirudisha kichwa chake ndani kisha akafunga mlango huku akiamini kuwa hajaonekana. Ama kweli siku zile 40 zilianza kuonekana kutimia kwa mrembo huyo huku akiwa anachungulia kwenye dirisha kuona kama wameondoka lakini aliwaona wamekaa tena wakiwa hawana dalili yoyote ya kutoka huku wakiwa wanacheka na kulaliana.
Baada ya kuona hivo, aliongea na mzee Matofali ili wapange njia ya kuwahamisha akina Mwajuma na Aisha ambao wanaogopeka kusambaza habari kwa haraka sana zaidi ya redio.
“Baby..sasa mimi natokaje ndani humu?..yaani wamekaa karibu na mlango kwa mbele kidogo na wakiniona watamwaga mtama kwenye kuku wengi . Hawa nawajua vizuri hivo nisaidieni kuwatoa kwa kuwadanganya hata dakika 3 tu! mimi nitakuwa nimeshatoka”
Rose alimwambia baba mkwe wake huku akiwa amejishika nyonga zake.
“Usijali kipenzi changu, ngoja nivae afu nitawadanganya kwa kutumia akili zangu zote, kikikubwa wewe kaa karibu na mlango huku ukiwa unachungulia kile kitakachokuwa kinaendelea”
Baba mkwe alimwambia mkamwana wake
Baada ya kumaliza kuvaa suruali yake, Mzee matofali alifungua mlango wake taaratibu kisha akatoka nje. Baada ya kufika nje, aliwakuta akina Mwajuma na Aisha wakiwa wamekaa huku wakiwa wanacheka kwelikweli.
“Shikamoo ..baba”
Mwajuma na Aisha walimsalia mzee Matofali
“”Ohh..marahaba wanangu..mmeamka vizuri? sasa naomba mnisaidie kitu kimoja kama hamtojali wanangu”
“Tuko tayari mzee wetu”
“Sawa..sasa naomba mnisaidie kunichotea maji walau dumu moja kwa jirani kwani mke wangu hayupo yupo msibani”
“Ohh..sawa mzee wangu ngoja tukusaidie leta kifaa”
“Sawa wanangu”
Mzee aliingia ndani kisha akachukua madumu 2 na kutoka nayo nje kisha akawapatia akina Mwajuma na Aisha.
“Sawa baba dakika 5 tutakuwa tumeshamaliza kazi hiyo”
Harakaharaka mzee alirudi ndani huku akitaka kugongwa ba ukuta kwa sababu ya haraka kisha akamwambia Rose atote haraka. Ama kweli mwanadamu ana akili nyingi sana na kile ukipangacho basi majibu yake watu wanakuwa nayo.
“Shoga yangu..huu ni mtego wametutengenezea ..sada wewe nenda ukachote maji mimi nitabaki hapa lakini nitasogea pembeni ili niweze kumchukua picha vizuri”
Mwajuma alimwambia Aisha
“Sawa shoga yangu maana sitaki kukosa uhondo huu kabisa”
Aisha alimwambia Mwajuma kisha akaenda kuchota maji.
Ndani ya dakika 1 huku Rose akijua kuwa wote wameenda kuchota maji, alifungua mlango kisha akatoka nje. Baada ya kutoka nje huku akiwa amevaa dera lake la mtepeto amalo lilionesha maumbo yake yote,alishangaa kumuona Mwajuma akiwa amekaa japo kwa mbali kidogo .
Aisee aliishiwa nguvu kabisa na ndipo alipotamani kumezwa n ardhi au kupasuka lakini haikuwezekana.
“Shoga angu kumbe upo? maana nimekugongea mlangoni mwako lakini sikupata msaada wowote shoga angu”
Mwajuma alimwambia Rose huku akiwa anamsogele huku akiwa anamchukua picha kimyakimya kabisa.
“Ndio nipo, ulikuwa unahitaji nini”
“Hapana ..kukusalimia tu ndugu yangu”
“Mhh..hiyo kali kweli”
“Ila umependeza kweli naona umejazia kweli…shoga ake”
“”Huo umbea sasa ..sasa inakuhusu nini?
“Jamani! kwani nimekosea wapi? sisi watani bwana”
“Ayaa bwana yaishe”
Rose aliingia ndani huku akijua kuwa tayari mambo yamesanuka. Baada ya mda , Aisha alimaliza kumchotea maji mzee matofali kisha akaenda kuangalia uhondo kwa Mwajuma.
Baada ya kuangalia picha na video za Rose akiwa anatoka kwa baba mkwe wake aliangua kicheko kikali sana ambacho kilimfanya Rose akose uvumilivu ndani kisha akafungua mlango na kuwafuata huku akijua wanamcheka mwenyewe.
Wakiwa wanacheka na kulaliana, walishangaa kumuona Rose akiwa amesimama nyuma yao huku akiwa amekunja uso.
“Nimewavumilia kwa mda mrefu, nimewaona kwa mda mrefu na sasa nimechoka kabisa! nataka mniambie kwa nini mnanicheka laa sivyo nitawawasha vibao mda huu”
Rose aliongea
“Hee..! makubwa! ..yaani unataka kutupangia juu ya furaha yetu! tukucheke wewe umekuwaje? mbona sioni kitu cha kuchekesha kwako? sasa kama unataka ugomvi, wewe niguse au mguse shoga yangu”
Mwajuma Ndala ndefu alimwambia Rose kisha akafunga kanga yake vizuri.
Wakiwa wanarushiana maneno huku Rose akiwa amejiandaa kumshambulia Mwajuma, gafla mana mkwe wa Rose alitokea kutoma msibani na ndipo aliposhangaa kuona alichokiona kwa macho yake.
“Heeeh.!!…mnafanya nini!”
Mama mkwe ambaye anaitwa Getruda aliogea kisha akaweka mkoba wake chini na kuingia kati.
“”Mama…mama subiri nikwambie kitu kuhusu mkamwana wako huyu…”
Mwajuma alimwambia Getruda ambaye ni mamakwe wa Rose.
JE ALIMWAMBIA NINI?
JE ITAKUWAJE?
PART: 09
Ilipoishia, Wakiwa wanarushiana maneno huku Rose akiwa amejiandaa kumshambulia Mwajuma, gafla mana mkwe wa Rose alitokea kutoma msibani na ndipo aliposhangaa kuona alichokiona kwa macho yake.
“Heeeh.!!…mnafanya nini!”
Mama mkwe ambaye anaitwa Getruda aliogea kisha akaweka mkoba wake chini na kuingia kati.
“”Mama…mama subiri nikwambie kitu kuhusu mkamwana wako huyu…”
Mwajuma alimwambia Getruda ambaye ni mamakwe wa Rose.
SONGA NAYO…
Akiwa ndani ya chumba chake, Mzee matofali mara baada ya kusikia kelele hizo huku kwa mbali akihisi sauti kama ya mke wake, alipigwa na butwaa kama mzazi aliyefiwz na mwanaye kipenzi. Kilichomchanganya zaidi, ni pale aliposikia Mwajuma akitaka kumwambia jambo mke wake Getruda jambo lililomfanya akose cha kufanya.
Waswahili wasema hakuna siri yoyote ya watu wawili au zaidi na ukitaka kujua ukali wa nyuki basi wachokoze wakiwa kwenye mzinga wao.
Mwajuma alianza kuwaka kwelikweli mithili ya moto wa petroli huku akiwa anadai kuna jambo anataka kumwambia bibi mkubwa yani Getruda hali ambayo pia ilimuweka Rose katika wakati mgumu sana huku akiomba sana Mwajuma aweze kunyamaza na ikiwezekana amuombe radhi lakini nafasi hiyo haikupatikana.
“Bibi mkubwa…bibi mkubwa..subiri nikwambie chanzo cha ugomvi huu. yaani ni kwamba…”
Mwajuma alikuwa anaanza kusimulia mkasa mzima huku Rose akiwa anatetemeka sana kisha Mzee Matofali akajitokeza na kukatiza mawasiliano hayo.
“Mke wangu!..pole na safari ..kuhusu suala hili, naomba niachie niongee nao kwani sioni kama kuna shida kabda wametofautiana kauli tu! . Kapumzike kwanza upate na kipolo kilichosalia “
Mzee Matofali alimwambia mke wake kisha akamshika mkono wake pamoja na mkoba wake na kisha wote wakaelekea ndani ya chumba chao walichokuwa wanakaa.
Mwajuma aliyekuwa ameanza kushusha season kwa bibi mkubwa, alibaki na butwa huku akitamani kwenda mpaka chumbani mwa bibi mkubwa ili akampe ubuyu huo kutoka forozani zanzibar.
Rose baada ya kuona mama mkwe wake aingia ndani, alishusha pumzi kisha akameza mate lakini yalikuwa ya moto kweli kama uji wa shuleni.
” Ayaaa..ongea sasa na fanya kile ulichotaka kufanya mbuzi wewe! sisi sio type yako na wala hatuna ujinga wako wa kujitembeza mpaka kwa baba mkwe. Kwa taarifa yako, kila kitu tunacho na ushahidi upo kama unabisha sema ila leo utajuta. Una laana tena ya kishetani wewe mbuzi. Aloooo…
imeisha hiyooo..kama unataka kupasuka pasuka”
Mwajuma na Aisha walimshambulia Rose kwa pamoja huku wakiwa wanainama mbele yake nakutingisha wowowo zao japo hazikuwa kubwa kivile hususani Mwajuma aliyekuwa flat kama ubao na kwa mbali kidogo Aisha alikuwa nalo kama la mbuzi.
Wakati anaambiwa hayo, Rose alibaki kimya huku akijua kuwa tayari wana kila aina ya habari kuhusu yeye na ndipo alipowaza nini afanye ili waweze kumlindia siri yake hiyo.
Akiwa bado anajishauri, Mzee Matofali alitoka ndani ili kutuliza moto kabla haujasambaa na kuunguza nyumba .
Aliwaita wote watatu kisha akaweka pembeni ili kuzuia habari hiyo kuenea,
“Nyie wote ni watu wazima lakini pia ni watoto kwangu kulinganisha na umri ambao ninanao. Tumekaa hapa mda mrefu lakini sijawahi kuona mambo kama haya yanatokea ambayo mwisho wake unaweza kuwa mbaya sana.Niachowaomba wanangu! tuchunge ulimi wetu lakini tusameheane kama kuna mtu alimkosea mwenzie ili maisha yaweze kuendelea. Ni matumaini yangu, baada ya hapa hapatakuwepo na mgogoro wowote ule, uwe wa kimaneno au vitendo. Wanangu hata glasi kwenye kabati, hazikosi kugongana. Mwisho naomba kila mtu amshike mwenziye mkono kama ishara ya maridhiano. Nawapenda sana wanangu na tumeyamaliza kabisa, tuishi kwa amani. Yote tuliyoongea hapa, iwe siri yenu na muyatunze mioyoni mwenu. Asante kwa kunisikiliza”
Mzee matofali aliongea hayo kisha wote wakatawanyika.
Baada ya kumaliza kupata kipolo hicho, bibi Getruda, alitoka nje huku akiwa na hamu ya kujua nini alitaka kumwambia Mwajuma lakini pia nini chanzo cha ugomvi huo. Akiwa anaelekea huko alikutana na mmewe ambaye alimwambia,
“Mke wake unaenda wapi? kama ni kusuluhisha, haina haja labda kama kuna mambo mengine ya ziada unataka kuongea nao”
“Sawa mme wangu ila ngoja kwanza niende kwa Mwajuma ili niongee naye mawili matatu kisha nitaenda kwa Mkamwana wetu naye nipate mawili matatu ili nami niweze kukazia”
“Utaenda kule vurugu tena mke wangu!”
“Hapana..nitatumia busara”
“Ayaa..mimi simo”
Baada ya maneno hayo, bibi Getruda aliona kama kuna jambo ambalo linafichwa na ndipo alipoendelea na msimamo wake kuelekea kwa Mwajuma.
“”Hodii..”
Getruda alibisha hodi
“Karibu sana bibi mkubwa nikupe ubuyu”
“Asante”
Bibi Getruda alikaa mkao wa kula kisha Mwajuma naye akakaa mkao wa kusimulia..
JE ITAKUWAJE?…
PART: 10
Ilipoishia, Baada ya maneno hayo, bibi Getruda aliona kama kuna jambo ambalo linafichwa na ndipo alipoendelea na msimamo wake kuelekea kwa Mwajuma.
“Hodii..”
Getruda alibisha hodi
“Karibu sana bibi mkubwa nikupe ubuyu”
Mwajuma aliitikia
“Asante”
Bibi Getruda alikaa mkao wa kula kisha Mwajuma naye akakaa mkao wa kusimulia.
SONGA NAYO…
Kama ni kuzama baharini basi maji yalikuwa yamewafika shingoni wawili hawa yaani Rose na baba mkwe huku wakiwa hawajui namna gani ya kujiokoa.
Mzee matofali baada ya kuona mke wake ameng’ang’ania kwenda kwa Mwajuma, alianza kupatwa na wasiwasi mkubwa kama mshichana aliyechelewa kuona mwezi wake huku akiwa ameshiriki mapenzi .
Aliwaza jinsi gani ya kumaliza suala hilo lakini akaona haiwezekani tena na ndipo alipochukua maamuzi ya kuondoka nyumbani kwa mda ili asikilizie nini kitakuwa kinaendelea nyumbani hapo.
Baada ya mda mfupi,,Mzee matofali aliondoka nyumbani hapo kisha akaelekea kijiweni ambapo alikutana na wazee wenzake waliokuwa wanacheza drafti huku wengine wakiwa wanakunywa kahawa.
Aliungana nao lakini alionekana mwenye mawazo mpaka wenzake wakawa wanamshangaa. Alitaka kuomba ushauri kwa mzee mwenzake ambaye yaliwahi kumkuta lakini alijipa moyo kwamba huenda Mwajuma ataweza kulinda siri kama walivyokubaliana.
Na huko upande wa Rose ambaye alikuwa tayari ameshazimia kwa baba mkwe wake mithili ya kidole na pete, alianza kuchungulia kwa mbali huku akimuona Mwajuma akiwa anaongea jambo fulani na mama mkwe wake.
Akiwa anaendelea kuchungulia, alijikuta anaanza kutokwa na jasho mwili mzima huku akiwaza na kuamua kama Mwajuma atavujisha taarifa hizo, basi yupo tayari kujinyonga au kunywa sumu ili kueopusha aibu ambayo ilikuwa inamnyemelea.
Mambo yaliendelea kuwa mambo na wahenga walisema kila lenye mwanzo basi lina mwisho wake. Akiwa amekaa mkao wa kula huku akiwa ametegesha masikio yake mithili ya popo, Bibi Getruda alimwambia Mwajuma ampe ubuyu aliomuhaidi huku.akiwa ameusubiria kwa hamu zote.
“Nakusikiliza mwanangu, nini chanzo cha ugomvi wenu maana Rose kwanza ni mpole lakini pia sio mtu wa mambo mengi na mda mwingi anashindaga nyumbani. Leo imekuwaje kwa mtoto wa watu kuingia kwenye ugomvi wenu huu?”.
Bibi Getruda alimuuliza Mwajuma
“”Hahaha…yaani mpaka nashindwa nianzie wapi na niishie wapi. Huyo ndo unamuita mtu mpole kweli mama yangu! sasa mambo yake ni makubwa sana kuliko unavyomjua wewe”
Mwajuma alimjibu Bibi Getruda
“Unamaaanisha nini? maana sijakuekewa. Hayo mambo makubwa ndo yapi maana mimi sio kwamba namtetea lakini kiukweli anatabia nzuri sana labda nisijue…”
Bibi Getruda alimwambia Mwajuma.
“Sasa naomba uwe nakini unisikilize nitakachokwambia lakini kabla sijakwambia naomba unihakikishie kama utaweza kutunza siri maana ni jambo nyeti sana na mimi sitaki kuonekana mchonganishi”.
“Hee!! siri gani tena…niambie tu maana umri wangu huu sio wa kuropoka tena kwani ni mengi tumeyaona, tumeyaishi na kuyasikia. Unaniweka kwenye taharuki kubwa mwanangu…please naomba uniambie moja kwa moja sio kufichaficha.
Getruda alimwambia Mwajuma.
“Sawa mama..sasa ni kwamba…mnamo mida ya asubuhi..mara baada ya kijana wako Baraka kwenda kazini, Mkamwana wako alikuja moja kwa moja mpaka chunba cha mmeo huku akiwa amejifunga kanga moja tu ambayo ilichora maumbile yake vizuri sana. Kilochoendelea mle ndani hatukujua lakini tulisikia sauti za miguno ya kimahaba zinazotolewa mara mtu akaribiapo kufika kileleni. Alikaa kama lisaa lizima hivi kisha akatoka nje na bahati mbaya kwake, alishangaa kutuona nje tumekaa huku tukiwa tunapiga story.Baada ya mda kidigo alitufuata kisha akaanza kutugombeza kwa kudai kuwa tunamsema yeye”
Mwajuma alimwambia Bibi Getruda kisha akamuonesha video ya Rose akitoka chumbani mwa baba mkwe wake.
“Heee!!…heee!!.heeee!..dunia imeisha! Asante sana mwanangu kwa taarifa hii nzuri sana. Nikiuza mihogo yangu lazima nikupe zawadi”
Getruda alimwambia Mwajuma.
Baada ya kupata kizima, alitoka ndani kisha akaelekea kwa kwa Rose huku akiwa anatokwa na machozi kama mtoto mdogo.
Je itakuwaje?