PENZI LA KILAZA NA MWALIMU WAKE
PART: 05
ILIPOISHIA,
“We!, usipige kelele watasikia.. ” mkuu wa shule alitamka…
“Mwalimu mimi sitaki…sitaki…”,Sofia alitamka huku akiwa anatetemeka.
“Unasema?!…..” mkuu wa shule aliuliza kwa mshangao huku mkono wake mmoja ukiwa umeshikilia fimbo ya babu Juma.
Wakati mambo yakiwa hivyo ofisini, huko kwa upande wa Madamu Eliza mambo yaliendelea kuwa magumu mara baada ya kuona Sofia kakaa mda mrefu ofisini mwa mkuu wa shule…
SONGA NAYO….
Mkuu wa shule akiwa haamini kama kitumbua kinakaribia kudondoka kwenye mchanga, alijikuta anaanza kutumia nguvu kubwa lakini haikuwa rahisi kama alivyodhani.
“Mwalimu niache mimi…niache…nitakupigia kelele mda huu.. ” Sofia alitamka huku akiwa amemshika mkono mwalimu.
Baada ya mda mfupi huku kijasho chembamba kikiwa kinamtoka, mkuu wa shule alishika suruali yake kisha akachomoa waleti iliyokuwa na noti nyekundu na kumpatia Sofia kiasi cha shilingi elfu 30.
Sofia alikataa katakata kiasi hicho kisha akamwambia,
“Sipo tayari …kwanini lakini…?”
Mwalimu alikaa kimya huku akiwa hajui nini akifanye.
“Si umejifanya mjuaji!, utaona nani mkubwa kati yangu na wewe. Ondoka hapa!, mda huu nenda ukaniandikie barua yenye kurasa 4 huku ukieleza kwanini unatoka nje mda wa darasani na kwanini unavaa shanga “
Sofia akiwa haamini anachokisikia, alivaa shati lake kisha akatoka ofisini humo.
Wakati anatoka, Madamu Eliza alimuona ndipo hofu ilipozidi kuongezeka.
“Sasa itakuwaje?” Madamu alijisemea mwenyewe huku akiwa anatetemeka.
Akiwa katika hali hiyo, mkuu wa shule alimuita,
“Madamu…”
“Abee!…”
“Nakuomba mara moja…”
“Sawa nakuja..:
Madamu Eliza gafla sura yake ilibadilika ndipo kwa unyonge alipoingia ofisini kwa mkuu wa shule.
“Sasa kuna mwanafunzi anaitwa Sofia naomba umpatie adhabu kali kwa utovu wa nidhamu..” alimwambia.
“Sawa mkuu…” aliitikia huku akiwa anatetemeka.
“Pale shambani kuna kichuguu mwambie akisawazishe chote..”
“Sawa…”
Baada ya kuambiwa hivyo, Madamu Eliza aliondoka ofisini humo huku akiwa hajui nini atamwambia Sofia kwani alikuwa anamuonea aibu sana.
Kwakuwa ilikuwa ni amri, alifanya hivyo ndipo alipoenda moja kwa moja mpaka darasani na kumuita Sofia aliyekuwa anaandika barua.
Alimuonesha adhabu hiyo kisha akamuuliza,
“Kwanini umepewa adhabu hii?” Madamu alitamka.
Sofia hakujibu chochote kwani alikuwa na hasira kali sana ya Madamu kutembea na mpenzi wake Kilaza.
Baada ya mida ya saa 10 hivi huku wanafunzi wakiwa wametawanyika, Sofia alimalizia kuandika barua kisha akampelekea mkuu wa shule aliyekuwa bado ofisini.
“Umemaliza kuandika..!?” Alimuuliza.
“Ndiyo…” Sofia aliitikia kisha akampatia.
“Subiri kwanza hapa niipitie..” alimwambia kisha akaanza kuisoma.
Baada ya kuisoma, alishtuka sana na kuona imeshakuwa kesi ndipo alioamua kutumia njia nyingine kumaliza utata huo.
“Sasa wewe binti,..unajisikiaje kuwa na mimi?” Alimuuliza.
“Sipo tayari kuwa kwenye mahusiano..niache nisome..” Sofia alimjibu.
“Masomo yapo. Sasa nataka nikusaidie…, barua hii nitaichana na adhabu zote nimezifuta ila kwa hali ya ubinadamu naomba unipe moyo wako…”
“Wewe ni mkubwa sana, mimi ni kama mwanao huoni aibu? ” alimuuliza.
“Mapenzi hayana umri. Utasoma kwa raha sana katika shule hii na hakika utafaulu”
Baada ya kuambiwa hivyo, kwa mbali Sofia alitabasamu huku akiwa ameinamisha kichwa chake chini.
“Ngoja nijifikirie nitakupa jibu lakini siyo leo” alitamka.
“Mhh..kwanini isiwe leo?”
“Sijisikii vizuri..”
“Kwahiyo unaniachaje basi..”
“Siku nyingine basi…”
“Kweli…!”
“Ndiyo..”
“Sawa ngoja niamini ila hakikisha unatunza siri…”
“Sawa naomba niondoke basi ..”
“Hakuna shida..”
Sofia aliondoka ofisini humo kisha akaanza kuelekea nyumbani.
Wakati mkuu wa shule akizidi kuweka mitego yake, Kilaza kama kawaida yake, aliwadanganya wazazi wake kuwa anaenda (TUITION) ndipo alipobebelea begi lake moja kwa moja kuelekea kwa Madamu Eliza huku akijisemea.
“Yaani leo Madamu lazima akimbie shoo!, labda siyo mimi..nitampelekea moto kwelikweli” alitamka huku akizidi kutafuna vitunguu swaumu pamoja na Tangawizi.
Akiwa nyumbani huku akiwa amejifunga kanga, Madam Eliza alisikia mtu anagonga mlango ndipo alipojifunga kitenge juu ya kanga kisha akafungua mlango.
“Hee, kumbe ni wewe!, ila wewe mtoto..”Madamu Eliza alitamka huku akiwa anatabasamu.
“Madamu mimi siyo mtoto bwana.: Kilaza alitamka kisha akaingia ndani.
“Enhee!, asante kwa kuniletea matatizo..” Madamu Eliza alimwambia
“Madamu Matatizo gani tena.. hiyo imeisha…” Kilaza alitamka huku mkono wake ukiwa unaelekea kwenye paja la Madamu Eliza.
“Sasa unatakiwa kuongea naye ili ujue nini kamwambia mkuu wa shule..”
“Hilo halina shida…”
“Hivi si unampenda kweli?!: alimuuliza.
“Walah simpendi sema huwa anapenda kunishobokea.”
“Mhh…”,aliguna.
“Amini kabisa.. “,Kilaza alitamka huku mshipa wake ukiwa unapanda kuelekea kwenye kitovu.
“Haya ngoja niamini..”Madamu alitamka.
Baada ya mazungumzo hayo, ukimya ulitawala kidogo huku Kilaza akizidi kupapasa mapaja ya Madamu Eliza.
“Najisikia usingizi…” Madamu alitamka huku akiwa anahisi hamu kwelikweli.
“Basi tukalale…”, Kilaza alitamka huku akiapa kumfanyia maangamizi Madamu.
Madamu alinyanyuka kisha Kilaza akambeba mpaka kitandani ….
PART: 06
ILIPOISHIA
“Najisikia usingizi…” Madamu alitamka huku akiwa anahisi hamu kwelikweli.
“Basi tukalale…”, Kilaza alitamka huku akiapa kumfanyia maangamizi Madamu.
Madamu alinyanyuka kisha Kilaza akambeba mpaka kitandani ….
SONGA NAYO….
Wakiwa kitandani, Kilaza aliweka kifua chake wazi huku akiwa anatabasamu kisha Eliza akalala kifuani mwa Kilaza.
Kilaza alijisikia mwenye furaha mno ndipo alipoanza kumuimbia kwa sauti ya chini kidogo.
“Baby nikikushika kiuno ..tamu,
Nikikuchumuchumu..taamu,
Nikikukumbatiaah…utamu kolea,
Penzi letu baby, tamu,
Yaani mpaka kisogoni..tamu.
Taraararah..tamu utamu kole.
Kwenye jua , mi kivuli,
Kwenye mvuaa, mi mwamvuli…
Mi sindano, tena uzi, nawe koti nikushone eeh,
Nakupenda we!,
Nakujali we!,
Kwako sijiwezi,..
Oohh my love…,
Mpenzi wangu we,
Roho yangu we,
Mimi sijiwezi
Ooh my love..
Lala..la..lala..laala,
Lala kifuani,
Lala..la..lala,
Lala baby usinzie…”
Mashalah, Kilaza alimpagawisha Madamu Eliza kwa sauti yake ya kipekee huku kwa taratibu akiwa amemshika mgongoni kwake.
“Usije ukasema?;
Aiaiai…bye,
Bye..bye..bye..
Baby nakupenda sana, nilikuwa wapi kukufahamu mapema.
Unanipa raha mpaka nachanganyikiwa,
Ohh…my goodness. .”
Madamu Eliza alitamka huku akiwa anajiviringisha kifuani mwa Kilaza.
Baada ya mda kidogo, wawili hawa walijikuta katikati ya kiwanja kwa ajili ya kuanza round ya kwanza huku Kilaza akiwa amepania game kwelikweli.
Alimkumbuka mtu kazi Mandonga alivyopigwa vibaya mno na Kaoneka ndipo alipovuta pumzi ya moto isiyoumiza kwenda kwa Madamu Eliza..
Round ya kwanza ilianza kwa kasi sana huku Kilaza akipeleka moto kwelikweli ndipo Madamu Eliza alipojikuta anapata raha sana isiyoelezeka.
Baada ya dakika 5, Kilaza alimaliza Round ya kwanza kisha akaunganisha round ya pili ambayo ilienda dakika kama 45 hivi huku Madamu Eliza akiwa tayari kwa mara ya kwanza amekiona kilele cha mlima kilimanjaro.
Kilaza aliendelea na kasi ileile ndipo Madam Eliza alipoomba kupumzika kwani alikuwa amechoka kwelikweli huku chemuchemu ya uzima ikiwa imeanza kukauka.
Miili yao, ilijawa na jasho mithili ya watu walionyeshewa mvua.
Kwa mara ya kwanza, Madamu Eliza, alikimbia mchezo huku akielekea bafuni kwa uchovu mkali ulioambatana na utamu
Akiwa kitandani, Kilaza alitabasamu na kucheka peke yake,
“Hapa sawa…” alitamka.
Mda si mrefu Madamu alirejea kisha akatamka,
“Jamani…ulitaka kunitoa roho mmh..hivi unakula nini “
“Hahah kawaida tu baby..” alijibu.
“Sasa mda umeenda uende nyumbani…” Madamu alitamka.
“Baby leo nalala huku…” Kilaza alitamka
“Mhh…utaleta shida nyumbani…” alimwambia
“Nitawadanganya kuwa nililala nasoma…” Kilaza alitamka huku akitabasamu
“Mhh…nimechoka mie bwana…” Madamu alitamka huku akiwa amerembua macho
” Hatutofanya chochote tutalala tu maana siwezi kulala bila wewe” alitamka.
” Jamani….” Madamu alitamka.
JE KILAZA ALILALA AU ALIONDOKA?
JE NINI KILIENDELEA?
JE NYUMBANI KWA KILAZA ILIKUWAJE?
PART: 07
ILIPOISHIA
“Baby leo nalala huku…” Kilaza alitamka
“Mhh…utaleta shida nyumbani…” alimwambia
“Nitawadanganya kuwa nililala nasoma…” Kilaza alitamka huku akitabasamu
“Mhh…nimechoka mie bwana…” Madamu alitamka huku akiwa amerembua macho
” Hatutofanya chochote tutalala tu maana siwezi kulala bila wewe” alitamka.
” Jamani….” Madamu alitamka.
SONGA NAYO…
Baada ya kutimia mida ya saa 1 za jioni, mama Kilaza alishangaa kutomuona mwanaye kama ilivyokuwa kawaida yake siku zote.
“Huyu mtoto huyu! TUITION gani hii ya kusoma mpaka mda huu!,. Anasoma anasoma nini!, kila siku anaburuza mkia!, ngoja aje atanismbia” alitamka huku akiwa anajiandaa kupika chakula.
Mda ulizidi kutaradadi ikawa saa 2 za usiku mpaka wakapata chakula lakini Kilaza hakuonekana ndipo hofu ilipotanda nyumbani kwao.
“Hivi kaenda wapi huyu!” Mama Kilaza alitamka.
“Kwani alikuaga kuwa anaenda wapi?” Baba Kilaza alimuuliza mkewe.
“Kasema anaenda kujisomea ..,”
“Wapi huko!?” Alitamka kwa sauti.
“Hata sijui kanambia anaenda kujisimea..”
“Asituhangaishe!, ni mtu mzima wala siyo mtoto” alitamka kisha akaelekea chumbani kulala bila wasiwasi wowote.
Mda huohuo, Mama Kilaza mapigo ya moyo yalianza kwenda kwa kasi huku akiwa hajui wapi alipo kifungua mimba wake.
Nguvu ya kwenda kulala, hakuipata kabisa hasa alipojikuta anakumbuka maumivu aliyoyapa pindi ana ujauzito wake mpaka anajifungua.
Alijaribu kupiga simu kwa majirani lakini Kilaza hakupatikana .
Akiwa ameshika tamu sebuleni, baba kilaza aliyekuwa anajihisi baridi, alinyanyuka kitandani kisha akafungua mlango na kumuita,
“Wewe!, hulali!?” Alimuuliza
“Nakuja mme wangu..”alitamka
“Njoo tulale..”
Baada ya kuambiwa hivo, taratibu mama Kilaza alielekea chumbani kisha akalala huku akiwa ametega masikio yake yote kuona kama mlango utagongwa.
Wakati taharuki ikitanda moyoni mwa mama Kilaza, huko upande wa pili Madamu Eliza alikuwa amekumbatiana na Kilaza huku mabusu ya hapa na pale yakipita.
Kilaza mtaalamu wa mapenzi , alimpagawisha kwelikweli Madamu Eliza mpaka akajikuta anakosa uvumilivu na kumuuliza ,
“Hivi ulijifunzia wapi?” Alimuuliza
“Hapana wala sijajifunzia popote na hapa nimekupa robo tu ya…” Kilaza alitamka kwa kukatisha maneno.
“Hee,!, kwamba unaweza kuzidi hapa..!””
“Mimi huwa siyo muongeaji sana ila utaona kwa vitendo”
“Mhh., lakini nakuomba iwe siri yako yaanj sitaki wanafunzi wajue kama natoka na wewe kimapenzi” alimwambia huku mkono wake ukiwa umeshilia koni.
“Kwa hilo usijali kabisa…”Kilaza alitamka huku kiganja chake kikiwa kimegusa kwenye tunda..laini”
“Hakika umeniweza!, ..sikujua kama uko mtamu kiasi hiki..”
“Hahaha, mbona kawaida..” Kilaza alicheka.
“Sasa nyumbani utawambia nini?” Alimuuliza
“Hawana shida lakini ikiwezekana nikae humu hata wiki afu ndo niende nyumbani..” Kilaza alitamka.
“Mhh!, na shule je?” Alimuuliza
“Sasa shule sielewi hata nisomeje…”
“Utahesabika kama mtoro sasa na unaweza pewa adhabu..”
“Sasa si utanitetea kuwa nilikuwa naumwa…?”
“Mhh..ngoja niangalie”
“Yaani hapo unafanya mafekeche mambo.gudaguda” Kilaza alitamka.
Baada ya Mazungumzo hayo, wawili hao walipitiwa na usingizi lakini Kilaza kila baada ya lisaa limoja alikuwa anazinduka huku akitaka mechi hali iliyomuogopesha Madamu Eliza,
“Jamani huchoki lakini…” alitamka huku uso wake ukiwa umezingirwa na usingizi.
“Yaani kwa jinsi ulivyo mzuri, kila nikikutizama mwili mzima unanisisimka”
“,Tulale basi si uliniambia hatufanyi chochote usiku huu..”
“Daahh..kidogo basi hata dakika 2”
“Hapana nimechoka afu niko mk….** vu, nitakupa cha asubuhi.., sawa baby..”
“Sawa…”
,”Baby umechukia…?” Alimuuliza.
“Hapana sijachukia…”
“Tulale sawa…”
“,Sawa..”
Kilaza alijitahidi kulala huku kila mda akuchungulia kwenye saa yake ili apate cha asubuhi kabla ya Madamu kwenda shuleni.
Masaa yalionekana kama yameganda hivi kwa upande wa kilaza kwani kila alipochungulia alijikuta imeongezeka nusu saa tu.
Mnamo mida ya saa 11 za alfajiri, kilaza alimuamusha Madamu Eliza kisha akamwambia,
“Mda tayari…”
“Mhh kwani sasa hivi saa ngapi?
“Saa 11 alifajiri…”
Baada ya Kilaza kutamka hivyo, alimvuta Madamu kuelekea kifuani mwake huku chu***chu zake zikimtekenya kifuani.
“Yaani hata hamu ya kwenda shuleni hatokuws nayo!, labda siyo mimi” Kilaza alijisemea mwenyewe huku akipenyeza mkono wake kuelekea….
PART: 08
ILIPOISHIA,
“Mda tayari…”
“Mhh kwani sasa hivi saa ngapi?
“Saa 11 alifajiri…”
Baada ya Kilaza kutamka hivyo, alimvuta Madamu kuelekea kifuani mwake huku chu***chu zake zikimtekenya kifuani.
“Yaani hata hamu ya kwenda shuleni hatokuwa nayo!, labda siyo mimi” Kilaza alijisemea mwenyewe huku akipenyeza mkono wake kuelekea….
SONGA NAYO…
Baada ya mda si mrefu, moto uliwaka kwelikweli tena usio wa kitoto. Jasho liliwatiririka mwili mzima mithili ya wakimbiaji wa mbio ndefu yaani marathoni.
Kubwa Zaidi, Madamu Eliza alijikuta anachechemea huku akijihisi maumivu mwili mzima.
Alipomzika kidogo mpaka akajakuzinduka mida ya saa 2 ya asubuhi.,
“Hee!, mama…nilikuwa na kipindi asubuhi..mbona hujaniamsha?” Aliuliza huku akiwa hajui afanye nini.
“Nami nilipitiwa na usingizi…” Kilaza alitamka huku akiendelea kuvuta shuka.
“Mhh..ngoja nijiandae mda huu nielekee shule..” alitamka.
“Mpigie simu mkuu wa shule mwambie unaumwa kazi itakuwa imeisha…: Kilaza alimshauri Madamu.
“Mhh..hapana ngoja kwanza nifike halafu nitaomba ruhusa…” alitamka
“Hapo sawa, usisahau kumwambia mwalimu wa Zamu kuwa nami naumwa..”
“Sawa nitaangalia mazingira yakoje…” alitamka.
Mda si merefu, Madamu Eliza alibeba mkoba wake mdogo wa wastani uliokuwa na rangi ya kijivu huku kwa ndani akiwa ameweka simu yake aina ya Sumsung kisha akaelekea shuleni.
Baada ya kupiga hatua chache, aliihisi maumivu sehemu ya mapaja yake ndipo alipoamua kusimama kisha akapanda boda mpaka shuleni.
Bila kuchelewa huku akiwa amejaa hofu, alienda moja kwa moja mpaka kwa mkuu wa shule ndipo alipokuta mlango umefungwa huku kwa mbali sauti zikisikika kutoka chumbani humo.
Aligonga tena kwa nguvu ndipo mkuu wa shule alipofungua kisha akatoa nusu kichwa mithili ya mtu anayechungulia kisha akatamka,
“Samahani kuna kazi ya kiofisi namalizia njoo baada ya nusu saa” alitamka kisha akafunga mlango.
Baada ya kuambiwa hivyo, Madamu Eliza aliondoka moja kwa moja mpaka ofisini kwake ndipo alipokuta anakabwa na usingizi mzito.
Huko ofisini kwa mkuu wa shule, hakuwa mwingine bali ni binti Sofia aliyekuwa ameitwa ili ajaze fomu na mkuu wa shule
“Samahani mwalimu naomba kwenda darasani maana mda huu tuna kipindi..”,Sofia alitamka.
“Mwalimu yupo atakufundisha hata peke yako…” alimwambia
“Mhh….: aliguna huku akiwa ameshika tama.
“Basi sawa nenda ukasome ila jana uliniambia leo utanipa jibu…”,mkuu wa shule alitamka.
“Nitakwambia jioni mda wa kutawanyika au kesho maana bado najifikiria…” alitamka.
“Mda wote bado unajifikiria!..” mkuu alitamka kwa mshangao huku akiwa amezamisha mikono yake ndani ya mifuko ya suruali yake ya kitambaa cha satini
“Mambo mazuri hayahitaji haraka…” Sofia alitamka huku kwa mbali akionesha sura ya tabasamu la uongo.
“Sawa badae nitakuita..” mkuu wa shule alimka.
Baada ya mazungumzo hayo, mkuu wa shule alikuna upala wake uliokuwa umesogea kuelekea kwenye komwe la kichwa chake kilichokuwa na umbo kama kokwa la embe
Sofia naye alirejea darasani huku akili yote ikumuwazs mpenzi wake Kilaza ambaye hakubahatika kumtia kwenye mboni ya jicho lake siku hiyo.
Aliangaza huku na kule kila kona ya darasa lakini hakufanikiwa kumuona.
Hofu kali ilimjaa moyoni mwake mpaka akajikuta macho yake yanakuwa mekundu mithili ya nyanya mshumaa.
“Yuko wapi?, ..jamani ..siwezi kusoma bila kumuona. Madamu atakuwa anajua alipo …”,Sofia alijisemea huku akitamani kwenda kukiwasha na Madamu ofisini kwake.
Wakati mambo yakiwa hivyo kwa Sofia, huko nyumbani kwa akina Kilaza, taharuki kubwa ilizidi kuziandama nyoyo zao hasa mama Kilaza ambaye mapigo ya moyo yalimwendea kwa kasi sana
“Mme wangu, mpaka sasa mwanetu hatujui yuko wapi, twende kumtafuta..” alitamka huku akiwa ameshika tamu.
“Tumtafute wapi?!, mtoto huyu ni mtundu sana!, nimeongea vyakutosha lakini hataki kunisikia. Siwezi kuacha kazi zangu kisha…’ alitamka.
“Mhh mme wangu, ndo wakutoa maneno haya..!” Mama kilaza alitamka kwa mshsngao.
“Wewe nenda ukaulizie hata shuleni akikosekana tutajua nini kifanyike…: alitamka kisha akatoka ndani.
Baada ya mazungumzo hayo, mama Kilaza alijiandaa kwa kuvaa gauni lake la rangi ya njano kisha kwa juu akajifunga kitenge tayari kuelekea shuleni.
Hapakuwa mbali sana, wala karibu sana, ni mwendo wa umbali wa wastani hivi.
Wakati anakaribia shuleni, binti Sofia alimuona Madamu Eliza akitokea ofisini kwa mkuu wa shule ndipo alipoamua kufanya maamuzi magumu.
“Liwalo na liwe, kama nitafukuzwa shule nifukuzwe lazima kieleweke kati ofisini humo
Nilimuona kwa macho yangu akiwa na mpenzi wangu bila shaka yoyote, atakuwa anajua alipo. Hata kama hajui, nitamkomesha aache kabisa.” Sofia alitamka huku mwili mzima ukiwa unamuwasha kupigana.
Alichomoka darasani, huku uso ukiwa umejikunja kwa hasira kisha..
JE KILAZA WATAMPATA?
JE VITA YA MADAMU NA SOFIA ILIKUWAJE?
NINI KILIFANYIKA?