MIMBA YA MWALIMU
UTANGULIZI
“Kabla ya leo hii mimi kuwa hapa
Nilikuwa mwalimu wa Kiswahili katika Shule ya Sekondari ya Mkwakwani, Tanga. Maisha yangu yalibadilika kabisa pale nilipojikuta nikiingia jela kwa kifungo cha miaka 30 baada ya kumpa mimba mwanafunzi wangu, alifahamika kama Lisah.
Nilijua ni kosa kubwa, lakini mapenzi yasiyo na mipaka yalinifanya kupotea njia. Lisah alikuwa tofauti na wanafunzi wengineāhakuwa muoga, na hakuogopa kuonyesha hisia zake. Mwanzoni, nilijaribu kumpuuza, lakini uvumilivu wangu ulinishinda .
Hatimaye, nilijikuta nimeingia kwenye
uhusiano wa siri naye, uhusiano uliogeuka kuwa jinamizi lililonitesa na kuharibu maisha yangu..
Unataka kujua nini kilitokea kabla ya yote
Jiunge na mimi episode 1
EPISODE 1
Hadithi inaanza maeneo ya stand ilikuwa ni majira ya asubuhi na mapema nikiwa na mabegi yangu tayari kwa safari ya kwenda shule ya sekondari iliyopo mkwakwani ,TANGA
Na hii ilitokea baada ya ajira kutoka
nilijikuta nikichaguliwa kama mwalimu wa kiswahili katika shule hiyo …..
wazazi wangu wakinipa wosia kwani ndo ajira zilitoka na kwa bahati nzuri , mungu si athumani leo nimejipata
moyoni nilikasikia kale kama nyimbo ka zuchu ”
Sisi ndo nani
Sisi ndo wale wale
(Sisi ndo wale wale)
Mlio tukataa (Mlio tukataa)
Mkasema hatufiki mbalee (Jamani Mungu si athumani)
Sasa tumejipata (Aii aaah hee)
Sisi ndo wale wale (Sisi ndo wawawawa)
Mlio tukataa (Mlio tukataa)
Mkasema hatufiki mbalee (Jamani Mungu si athumani)
Sasa tumejipata Aritikitiki tikitiki Eeh rikiti tikiti Tikiti tikiti
Tikiti tikiti
Heee!
“neema imefunguliwa “
Ghafla alianza mama “mwanangu una bahati sana yaani umemaliza mwaka huu umeajiliwa . Kuna wenzako wamesota na wanasota hawajaajiliwa mpaka leo hivyo tambua kuwa una bahati sana. Kafundishe mwanangu achana na mambo ya kidunia “
baba alidakia “Tena na tabia yako ya “gusa achia , twende kwao” usipojiangalia utafungwa miaka 30. yaani “Gusa achia twende jela ” wote tulicheka maana mzee wangu alipenda
sana utani lakini nilielewa
alichokimaanisha .
Niliwajibu “nimewaelewa wazazi wangu nitaishi vizuri nitawaheshimu na kuwajali wanafunzi na watu wengine kama navowajali nyinyi wazazi wangu” .
muda huo gari lilifika maana tulikuwa barabarani na tayari ikanipasa niingie kwenye gari na niliwaaga wazazi wangu na safari iliwadia.
Basi majira ya jioni nilitimba tanga mjini na niliwauliza wenyeji na wakanielekeza sehemu shule
ilipo…basi nilienda guest na kubook
chumba kwa sababu nilikuwa nishachelewa nikajisemea “ooooooh , kwanini niende leo???
“ngoja nile utawala kidogo, sababu tayari mimi ni mwajiliwa serikali “
Basi nililala na pale guest huku nikijua kuwa nahitaji kujiunga na shule ya sekondari ya mkwakwani nipokelewe kama mwalimu mpya wa somo.la kiswahii.
….SIKU ILIYOFUATA ……….
Nilipofika Shule ya Sekondari ya Mkwakwani, Tanga, ilikuwa ni siku nzuri
sana ukichukulia ndoto yangu kubwa
ilikuwa ni kuishi huko maana maisha ya Dar es saalam
” oya weeee sio poaaaaaaaaaĆ aaaaaaaa”.
na kitu kilichofanya nitamani kusoma tanga ni kwa sababu nilisikiaga machizi wangu wakiongea
“Oyaaaa tanga sio powaaaa ani kuna pisi kali sana yaani watoto laaaa hulaaa sio hawa wala nauli . waliotanguliza biashara mbele mahusiano nyuma
…..” huyo ni ally mshikaji wangu wa faida sana ….
kuna jamaa yangu anaitwa kelvin aliongeza vitu anavyovijua kuhusu tanga mmmmmh “we kelvin wewe umepigaje hapo” alisema …..
“yaani sio hivyo tu , ukibahatika kuoa tanga wanawake wa kule ni hatari kuna jirani yetu kamuoa mtanga . Huwezi amini ndani ya maji ya kuoga vinatiwa vitunguu, iriki na ndimu . yaani ukioa mtanga halisi hata nyanya anaweka kwenye maji ya kuoga !!!!!!..
nilicheka sana baada ya kukumbuka
haya maneno kutoka kwa kelvin nikajisemea
” kwa sasa si niko tanga sasa nitajua kila kitu. Huenda kelvin alisema ukweli “.
Wakati nakumbuka yote hayo nilikuwa natembea kwenye njia ya kuelekea ofisini .
Nilikuwa na shauku ya kuanza kazi yangu mpya kama mwalimu wa Kiswahili. Nilijua kuwa ni fursa nzuri, na ndoto yangu ya kuishi tanga na kuoa tanga, inakwenda kukamilika rasmi
hivyo sikuach kuachia tabasamu
wazungu huliita “smile killer”
Shule hii ilikuwa na mazingira mazuri sana , yenye miti mikubwa ya kijani inayojaa kivuli, na madarasa yalijengwa kwa ustadi wa hali ya juu . wanafunzi , walimu na wafanyakazi wengine walikuwa wakijituma na kila mtu alijishugulisha …..
Wanafunzi walikuwa wakivaa sare za shule zifuatazo ; shati na hijabu nyeupe masweta na suruali za bluu bahari, kwa wasichana na suruali za dark bluu na mashati meupe kwa wavulana Kila
mmoja alionekana kujitofautisha na
mitindo ya kisasa, kwa heshima ya sheria za shule.
Wanafunzi walikuwa wanacheka na kuzungumza, lakini kadri nilivyokuwa nikitembea miongoni mwao, nilianza kugundua kuwa kuna kitu kimoja kilichokuwa tofauti.
Niliona macho ya watu wengi yakinitazama kwa makini, wengi wao wakiwa na tabasamu za kuvutia, lakini walikuwa na hofu ya kutovunja sheria za shule. Kila walipojipanga mbele
yangu, walikuwa na hofu ya kukosea,
lakini pia alionyesha shauku ya kujua zaidi.
Lakini kabla sijafika mbali mara ghafla alikuja mbele yangu
binti mmoja mrembo sana mweupe ana macho meupe madogo fulani hivi yaani mwili mzima rangi hiiiiiii yaani rangi moja.
mtoto mweupe peeeeeeh alinipokea vitu kwa tabasamu bashasha huku akiyalembua macho
‘karibu mkwakwani mwalimu nilibaki nmeduawaaa……..
Maana sio kwa urembo wa huyo mtoto
EPISODE 2
Nilibaki nmeduwaa nikimtazama yule binti maana sio siri ni chombo yaani sio weupe tu na nyuma nako bomboclaaaaaaaat yaani vile vitu vya konde boy mjeshi….
Nilishtuka kutoka kwenye mawazo mazito kuhusu huyu mtoto baada ya kukumbuka wosia wa mzee baba
….(mwanangu fundisha , na hasa hasa nikakumbuka kale kamsemo “GUSA ACHIA TWENDE JELA “
Hapo ndo naishiwa nguvu kabisa walikuja na wanafunzi wengine kunipokea mizigo basi kumbe yule binti ni dada mkuuu bwana akawambia
“yaani mgeni kafika hata kumpokea mnashindwa hivi mnajitambua kweli
????”
“tusamehe dada mkuu hali hii haitajitokeza tena ” walisema wale wanafunzi akawaamuru waondoke
yaani huyu mtoto kila alichonacho kwangu ni taabu ana sauti nzuri tamu ya mahaba (rashidi umalaya tu,
nilijisema moyoni mwangu) ila kasauti
ka huyu mtoto unaweza ukauza hata kiwanja cha urithi au ukampa funguo za gari la bosi wako …
nilimuuliza nikiwa serious kidogo “,unaitwa nani ???,”
“naitwa lissah, naweza kukuita sir nani
???,”
“unaweza ukaniita sir Rashidy “
“ooooh sir Rashid nice name(jina zuri) “
“nashukuru sana kwa unasoma kidato cha ngapi lissah”
“nipo kidato cha tatu , kwa hiyo
mwalimu utafundisha somo gani” alijibu lisah
“otea wewe nitakuwa nafundisha lipi”
lissah alicheka tabasamu nalo jamani haka katoto”utakuwa unafundisha kiswahili”
” Umejuaje hilo lissah???” nilimuuliza
Akasema “niliambiwa na walimu kuwa atakuja mwalimu w kiswahili jana lakini ulivokuja leo nilijua tu ndo wewe”
Hapo tulikuwa tushafika nje ya ofisi ya mkuu wa shule akanambia “tumefika unaweza ukaiingia mkuu yupo ofisini “
nilimwambia “asante sana akasema
usijali akawa anaondoka . Lakini ile anaondoka kule nyuma ni singida dodoma singida dodoma macho haya pazia udenda huo …..mpaka alipopotea .
Niligonga mlango ofisini kwa mkuu wa shulena aliniruhusu niingie . Alinipokea na kunambia karibu kijana wangu katika shule yetu hii kisha akanambia changamoto za ualimu na mambo mengine mengi mwishowe aliamua kunipa baadhi ya fomu nizijaze lakini kichwani mwangu ile “singida dodoma ndo ipo nikawa nacheka “
nilisikia sauti ya mkuu wa shule
“unacheka nini sir Rashid?????
nilizuga kwa kumwambia ” hapana na furaha sana ya kuungana nanyi hapa tanga si unajua ajira ngumu “.
Nilikuwa na furaha kubwa kwa kumaliza taratibu za kujiunga na shule hii, nikijua kuwa nitajitahidi kufundisha na kuwaongoza vijana hawa kwa mafanikio. Lakini, sikujua mmoja wa wanafunzi hawa angekuwa na nafasi kubwa katika maisha yangu.
……..MWEZI MMOJA BAADAYE ….
Siku moja, baada ya masomo, niliingia ofisini kwa ajili ya majukumu yangu ya kawaida. Nilikuwa nikipanga vipindi vya Kiswahili kwa siku zijazo na kufuatilia maendeleo ya wanafunzi.
Kwa sababu mambo tayari yalikuwa yashachanganya na mimi nishachanganyikiwa niliamua . kumpotezea lissah licha ya zile tamaa zangu za siku ya kwanza ……. sababu nilijuwa kuwa Tanga ni sehemu ya kazi na ualimu ni kazi yangu na ntafundisha
…..
Basi nikiwa naendelea kuweka mambo
sawa nilikuwa nimeinama nikiwa napanga vipindi vyangu walimu wengine washaondoka zao na kibaya zaidi nilikuwa zamu hivyo sikuwa na namna .
Ghafla nikiwa nimeinama naandika nilihisi mtu akiingia nilianza kuviona vitu vyake kabla sijaona sura yake
hivyo nilipandisha macho yangu mpaka juu mashallaah alikuwa ni lissah nikazuga niko seeious . Sauti nyororo ilisikika
“please sir may come in (naweza kuingia )
“yes lissa head girl come in (ingia )
akataka aanzw kupiga un`gen’ge nilipokumbuka kuwa lugha ilikuja na boti nikamwambia “ongea kiswahili tuokoe muda “
Lakini leo lissah hakuwa mchangamfu kama nilivyomzoea ikabidi nimuulize “lissa nini mbona kama hauko sawa ??? unaumwa au ????? au kuna nini!?? nilionyesha kujali kidogo
“hapana siumwi mwalimu lakini nina shida “
nilishtuka ‘shida gani tena lissah”
Aliingia na kusogea karibu yangu zaidi
ilikuwa karibu ya meza niliyokuwa naandika …
Lisah: “Mwalimu Rashid, kuna jambo ambalo ningependa kukuambia na ni lazima niseme leo na sio kesho ….
nilibaki nimetahamaki “jambo gani hivo yena linaonekana kubwa haya niambie nakasikiliza ujuwe mwalimu ni kama mzazi , wewe nijulishe nitakusaidia lissAh” …..
Lisah alijizuia kidogo, akashusha pumzi kidogo na akaangalia chini. Alikuwa
akijitayarisha kusema kitu kizito, lakini
aliguna na kusema kwa sauti ya chini:
Lisah: “Mwalimu, ningependa kuwa na mazungumzo ya binafsi na wewe, kuna jambo la muhimu linalohusiana na mimi na wewe naomba usimwambie mtu mwingine.
nilishtuka………
Nini hicho lissah anataka kusema ??????