JOIN US WHATSAPP
CLICK HERE
JOIN US TELEGRAM
CLICK HERE
KATOTO KA MADRASA
Episode 5 – 10
Baada ya Husna kuchomoka nyumbani kwenda kumfuata yule mkaka akiwa njiani anajisemea yani kwanini baba anarudi kesho si lingekaa tu hukohuko yani ataniaribia raha zangu zote yani shida nyingine hizi za kuzaliwa kwenye familia za watu wanaojifanya wanapenda sana dini. Alifika ile sehemu waliokubaliana wakutane na kweli akamkuta yule kaka. Husna alifurahi sana na akamkumbatia kwa furaha na kumchumu mdomoni chapchap bila kupoteza mda wakazama getto ilikua majira ya sanne na nusu.