Thursday, May 1, 2025

Jinsi ya Kudumu Muda Mrefu Kitandani Wakati Wa Tendo (Kufanya Mapenzi)

 Jiunge na Magroup yetu

TELEGRAM | FACEBOOK


Jinsi Ya Kudumu Muda Mrefu Kitandani Wakati Wa Tendo

1. Jua jinsi ya kumuandaa mwanamke hasa kumtia nyege, usiwe na haraka ya kuingiza mashine kabla mwanamke harowa

2. Badilisha mtindo hasa unapokaribia kufika kileleni

3. Epuka sana kujichua au punyeto. Hii itakufanya ushiriki vizuri zaidi katika kutengeneza mapenzi na mwenzi wako. punyeto hufanya uongeze kasi ya kufika kileleni

4. Jua jinsi ya kuiingoza akili yako. Akili yako ndiyo inayodhibiti viungo vyako wakati wa tendo. Unaweza kuiongoza akili yako kuvumilia wakati wa kumwaga au kutoa maji

5. Jaribu Kuwa na wakati wa kumbusu wakati wa kufanya mapenzi

6. Tulia. Usichangamke sana. Tambua kuwa hapo Unafanya mapenzi na mwenzi wako

7. Fahamu kuwa kutengeneza mapenzi kama uzoefu, sio kukimbilia kileleni tu

8. Jifunze mwili wako jinsi unavyopokea ili uuelekeze kwenye raha. Unavyochelewa kukojoa penzi huwa linakuwa la nguvu na kumfanya mwenzio aridhike

9. Ili mdumu kwa muda mrefu pamoja. Inatakiwa kila mmoja kati yenu awe anaridhika 

Add Comments


EmoticonEmoticon