Tuesday, April 29, 2025

Wanaume Mliooa - Fahamuni hili Jambo ndugu zangu

 Jiunge na Magroup yetu

TELEGRAM | FACEBOOK


 WAPENDWA WANAUME MLIO OA


 Hakuna atakayekuambia haya ila mimi nitakuambia;
Ukitaka kufika mbali kimaisha, mpende mkeo, mtunze vyema, mfurahishe na maombi yake yatakufungulia milango ya mafanikio.


 Kumbuka mambo yanapobadirika kiafya au kifedha ni mkeo tu ndiye atakayekulisha na atakuwepo kwa ajili yako wakati wa shida na matatizo. Marafiki zako wengi na mademu wa pembeni watakuacha!

Add Comments


EmoticonEmoticon