JOIN US WHATSAPP
CLICK HERE
JOIN US TELEGRAM
CLICK HERE
WAPENDWA WANAUME MLIOOA
Hakuna atakayekuambia haya ila mimi nitakuambia;
Ukitaka kufika mbali kimaisha, mpende mkeo, mtunze vyema, mfurahishe na maombi
yake yatakufungulia milango ya mafanikio.
Ukitaka kufika mbali kimaisha, mpende mkeo, mtunze vyema, mfurahishe na maombi
yake yatakufungulia milango ya mafanikio.
Kumbuka mambo yanapobadirika kiafya au kifedha ni mkeo
tu ndiye atakayekulisha na atakuwepo kwa ajili yako wakati wa shida na
matatizo. Marafiki zako wengi na mademu wa pembeni watakuacha!