1- Mwanamke anapokuwa na hasira, zaidi nusu ya anachosema-huwa hamaanishi...
2- Wakati mgumu sana kwa mwanamke ni pale anapokuwa mbali na mwanaume
anayempenda kwa dhati.
3- Mwanamke si kama 'detol advert', usipomtunza wewe... kuna Wengine
watamtunza.
4- Inachukua muda kwa mwanamke kumwamini mwanaume, ni ngumu mwanamke kubadilika
anapofanya maamuzi yake, lakini .
5- Mwanamke ni kama shule ambayo hata ukisoma vipi huwezi kuhitimu.
6- Cheti chako cha ndoa sio "leseni ya kuendesha gari", Cheti chako
cha ndoa ni "sawa na kibali cha kuendeshea gari tu.
7- Anaweza kuwa uchungu sana moyoni lakini usiku huwa mtamu sana, yote hayo
yatakuwa kwenye mtazamo wako.
8- Mwanamke ni mtu mgumu sana kusahau jambo hasa ukimuumiza, atakumbuka kila
saa kwa uchungu zaidi, sasa epuka kumuumiza.
9- Mwanamke anaweza kuwa msiri sana... lakin Mara nyingi wanapokuwa wagumu
kusema jambo kwa wanaume zao, wao hukimbilia chumbani kwao au huenda kuwaambia
marafiki zao huku wakilia.
10- Wanawake wote Wanapenda sana kuombwa. wanaume mara nyingi huwa hatujui
hili.......
11- Wanawake wote wana tabia ya kipekee kama chumvi, uwepo wao unaweza
usionekane lakini kutokuwepo kwao hufanya vitu vyote vikose ladha.
12-Kama anakupenda anaweza kukufanyia chochote unachomuomba kwa kadri utakavyo
wewe hata kama ni kukufurahisha, hivyo usimlazimishe ili akukupende utajuta.
13-Kama mwanamke anakupenda kweli, basi hata kukuomba pesa atakuonea aibu na
hasa akikupenda hawezi kamwe kukuacha utumie pesa hovyo""" hicho
ndio kinawafanya wawe watu wa pekee....
Ukimpata mwanamke unayempenda na kumcha Mungu, mthamini maisha yake yote na
usimwache aende zake.. Atakufanyia wema maisha yako yote.