Wednesday, April 30, 2025

Style Nzuri za Kufanya Mapenzi wakati wa UJAUZITO - Mwanamke akiwa na Mimba

 Jiunge na Magroup yetu

TELEGRAM | FACEBOOK


 KUFANYA MAPENZI KIPINDI CHA UJAUZITO


Kiu yetu baadhi ni kujibiwa maswali kama, ni ruksa kujamiina na mjamzito...
Jibu ni NDIYO

Kama jibu ni ndiyo je style zote zinaruhusiwa...!
Jibu ni HAPANA

Staili ambazo mwanamke mjamzito anaweza kutumia na mwenza wake wakiwa katika huba na kumfanya afurahie tendo la ndoa....

1. KUINAMA
Hapa mwanamke anapaswa kuinama na kushikilia kiti, kitanda au kitu chochote kitakachomfanya asichoke miguu yake wakati mwanaume atakapokuwa akimwingilia kimwili.

Hii ni staili nzuri kwa mwanamke mjamzito kwani mwanaume hataweza kulisukuma matumbo lake.

Hata hivyo, staili hii ina tatizo moja, uume wa mwanaume hauwezi kukisugua kinena na ikumbukwe kuwa mwanamke ili aweze kufika kileleni lazima mwanaume asiwe mvivu kukishughulisha kinena cha mwanamke kwani ni moja kati ya sehemu kuu ya mwanamke inayoamsha hamasa ya mapenzi na msisimko wa ajabu unaompelekea mwanamke yoyote yule kufika kileleni.


Hivyo, mwanaume hapa lazima ahakikishe anatumia mkono wake kumshikashika mpenzi wake kinena ili kumhamasisha kimahaba, lakini wakati anamshika mwanamke sehemu hiyo lazima ahakikishe vidole vyake si vikavu kwani endapo vitakakuwa havina unyevunyevu basi lazima mwanamke ataumia mara baada ya kupapaswa navyo katika kinena kwani kinena kimefunikwa na ngozi laini hivyo mwanaume anapaswa kuhakikishwa vidole vyake haviwi vikavu ili kumwezesha kuaamsha hamasa yake ya mapenzi.

2. KUKAA

Mwanaume anakaa kwenye kiti kisha mwanamke anakaa kwenye mapaja yake, hapa uume hautaweza kuingia wote hali itakayomfanya mjamzito asiumie na mjamzito mwenye mimba ya miezi 8 hufurahia zaidi staili hii kwani ikumbukwe kuwa katika kipindi hiki mtoto huwa tayari ameshuka.

Add Comments


EmoticonEmoticon