MAPENZI KWENYE NDOA YANAPOKUWA MATAMU
1. Wote wawili mkiwa hamchokani na kuwa na hamu
na mwenzie
2. Usingizi utapendeza zaidi mkiwa mnalala wakati sahihi
3. Kutokuwa na stress huleta ustawi wa kihisia na kiakili
4. Migogoro istokee mara nyingi na kama ikitokea itatuliwe mapema
5. Kuwa na Mazungumzo ya karibu zaidi na mwenzio mara nyingi
6. kufanya mapenzi kwa lengo la kuwa na watoto kunaleta furaha
7. Wawili nyinyi mnatakiwa kupeana nafasi ya kuvutiana zaidi
8. Wote wawili muwe na nyongeza ya kimaisha kujipatia kipato
9. Wote Wawili mrudi nyumbani kwa wakati sahihi
10. Wote Wawili jitengenezeeni kumbukumbu ya mapenzi yenu
11. Watoto wataishi kwa furaha endapo mama na baba watakuwa na furaha zaidi
12. Wote Wawili muwe karibu zaidi mara nyingi
13. wote Wawili muwe na hamu zaidi ya kufanya mapenzi