1. Sio kila wakati ni wakati wa kufanya tendo la ndoa. jifunze kumtambua mwenzi
wako akiwa na uhitaji na asipokuwa na uhitaji
2. Kama wewe ni mwanaume una udhaifu wa kufika kileleni haraka sana, basi
jaribu kujisoma timing yako ili uache kumpa mateso hivyo basi unapoona ukaribia
punguza spidi na mtoe babu nje pale unapohisi unakaribia kufika kileleni. Hii
itachelewesha kumwaga haraka
3. Usitumie muda mwingi kufanya staili moja wakati wa kufanya mapenzi. Mwenzi
wako anaweza kuchoka haraka. Muda mzuri ni wakati unapohamia kwenye tendo la
ndoa huwa linahitaji uchunguzi wa kutosha. Kwa mfano, usibusu kwa muda mrefu,
usilambe kwa muda mrefu, usichezee chuchu kwa muda mrefu, usifanye staili moja
kwa muda mrefu.
4. Usitake staili ya pili haraka sana kabla ya mwenzi wako hujamfurahisha na
ulichokuwa ukifanya. Usikimbilie kumbusu mdomoni wakati anataka chuchu
5. Usimhitaji mwenzi wako kwa ajili ya kufanya mapenzi wakati unajua vizuri
akili yake iko mahali pengine; labda yupo kwenye hedhi, yupo kazini, ana
wasiwasi na watoto. Usiudhike ikiwa mwenzi wako anakataa kukupa shoo. Sio
kwamba mwenzi wako hakutaki, lakini jua sio wakati sahihi kwake
6. kuwa Muungwana, unapokuwa kifuani kwa mkeo na unagundua kuwa anakaribia
kufika kileleni jua kuwa huo si wakati wa kupunguza spidi. Huo ndio wakati wa
kusukuma kwa nguvu au haraka kama anavyotaka. Anakaribia kufika kileleni.
Ukiharibu ukiwa karibu kufika, inaweza kumchukua muda kufika hapo tena
7. Wakati wa kufanya mapenzi ni wakati usiofaa kuzungumza juu ya kazi za
nyumbani, kazi, majukumu.
8. Mke mumeo anapokuona wewe tambua kuwa upo kwenye nafasi ya kumpa raha
anazostahili, usimfanye asubiri kwa muda mrefu. Piga chuma kikiwa chamoto
9. Baada ya mume kumwaga. Upe muda uume kabla ya kipindi kijacho ili ujirudishe
mahala pake. Ukiikimbiza, inaweza kusimama lakini ikapoteza ugumu katikati ya
njia kwa sababu haijapumua vya kutosha.