MAMBO 14 AMBAYO KILA MWANAMKE ANATAKA
MWANAUME WAKE AJUE KUHUSU KITANDANI
Wanaume na wanawake wana mtazamo tofauti kwa tendo la ndoa kwa hivyo ni muhimu
kwa mwanamume kuwa na wazo la kile anachotaka wakati wa kufanya mapenzi.
Hapa kuna mambo 14 ambayo kila mwanamke anataka mwanaume wake ayajue
1. Anataka uzingatie maeneo yake ya asili yanayo mpa hamu ya tendo la ndoa.
2. Kabla hujaanza kunuandaa hakikisha upo safi kwenye mwili wako huna uchafu
wowote
3. Fahamu kuwa Kinembe chake ni sehemu nyeti sana hasa wakati wa tendo
kinachukua nafasi kubwa sana ili yeye afike kilelelni. Epuka kutumia nguvu
wakati wa kuchezea kisimi maana inaumiza unapotumia nguvu nyingi kwenye kisimi
chake, kwahiyi Kuwa mpole.
4. Saizi ya uume wako haijalishi kwa mwanamke yeyote isipokuwa ujue matumizi
yake hata kama yeye anamaumbile makubwa au madogo
5. Kuwa na haraka haraka ni furaha wakati mwingine. Angependa ikiwa
utamshangaza wakati mwingine.
6. Maandalizi ni muhimu sana kwa wanawake. Wanawake wanahitaji muda zaidi
kwenye maandalizi kwasababu ya raha ya msisimko
7. Kilichomfurahisha mpenzi wako wa zaman kitandani hakitafanya kazi kwa huyu
wa sasa ukikirudisha akirink kinaweza kukuharibia kazi na mpenzi wako wa mwisho
kitandani Zingatia mwili wake na wewe anachotaka.
8. Kitandani pakiwa pachafu huwa panaharibu tendo la ndoa kuwa msafi .
9. Kuna raha zaidi kwenye matiti kuliko kwenye chuchu zake. Usizingatie sana
chuchu pekeake na ukasahau sehemu nyingine ya matiti yake.
10. Wakati wa tendo la ndoa, usimfanye mwanamke akae mkao wa kukunguza tumbo
lake. Wakati mwingine mwanamke huonjoi tendo kulingana na tumbo lake maana kuna
basda ya ukubwa wa tumbo huendana na urefu,upana au kina cha sehemu za maumbile
ya mwanamke
11. Mwanamke yeyote huwa Anataka busu zuri sana. Pia usisahau kumbusu wakati wa
tukio kuu.
12. Gusa kisimi chake wakati wa tendo kuna Wanawake wengi ambao huwa hawafiki
kileleni mpaka kisimi.
13. Epuka kuwa na mtindo mmoja kitandani. Badilisha mara nyingi mtindo yako
14. Usisahau kumbembeleza na kumwambia jinsi unavyompenda baada ya tendo la
ndoa