Author: Raha Special

KWA NINI WANAWAKE WANAKUKATAA SANA WAKATI UNAWATONGOZA?   Wakubwa Tu Masomo yaliyoandikwa humu ni kwa ajili ya Watu wazima tu, kuanzia miaka 18 na kuendelea.   Utabonyeza link hapo chini kufungua Kijitabu kidogo tu chenye Maarifa ya kutosha, ambayo yatakusaidia sana katika safari ya mapenzi.   BONYEZA HAPA kusoma makala vizuri zaidi         Advantage of Love   Connection to a Balanced Life   Love is one of the essential aspects of a balanced life. Without it, life risks becoming hollow and disconnected.   It’s as important as maintaining self-care, finding purpose, and nurturing friendships. Together, elements like love, personal growth,…

Read More

KWA NINI WANAUME HAWAKUTONGOZI?   Wakubwa Tu Masomo yaliyoandikwa humu ni kwa ajili ya Watu wazima tu, kuanzia miaka 18 na kuendelea.   Utabonyeza link hapo chini kufungua Kijitabu kidogo tu chenye Maarifa ya kutosha, ambayo yatakusaidia sana katika safari ya mapenzi.   BONYEZA HAPA kusoma makala vizuri zaidi .. .. .. Advantage of Love   Love and Physical Health   Did you know love can impact your physical health? Studies show that loving relationships contribute to lower blood pressure, reduced stress, and even better immunity.   Positive emotional connections trigger the release of hormones like oxytocin, which has been referred to as…

Read More

EPUKA KUTONGOZA MWANAMKE KWA KUTAMKA NAKUPENDA KATIKA HAYA MAZINGIRA   Wakubwa Tu Masomo yaliyoandikwa humu ni kwa ajili ya Watu wazima tu, kuanzia miaka 18 na kuendelea.   Utabonyeza link hapo chini kufungua Kijitabu kidogo tu chenye Maarifa ya kutosha, ambayo yatakusaidia sana katika safari ya mapenzi.   BONYEZA HAPA kusoma makala vizuri zaidi         Benefits of Love   Love Fuels Emotional Well-being   Imagine a life without emotional connections. Without love, we miss out on the joy, comfort, and reassurance that close relationships bring. Love, whether shared with family, friends, or romantic partners, nurtures our emotional health. It…

Read More

VIMEPITWA NA WAKATI LAKINI VINAMPATIA HESHIMA MWANAMKE! Kuna vitu vingi sana ambavyo sasa vinaonekana ni vya kipuuzi lakini vilimpatia heshima mwanamke. Mwanamke yeyote yule akiamua kuvizingatia vitairudisha heshima yake na kuipandisha juuuuu sana mawinguni! INASIKITISHA SANA KWA MWANAMKE ANAYEPUUZIA MAMBO HAYA AMBAYO ANAYAITA YA KIPUUZI. 1. Kuvaa Brazia. Baadhi ya wanawake hawapendi kuvaa Brazia wakidai ni ushamba pasipo kujali kuwa ndiyo heshima ya mwanamke. Mwanamke, utamaduni wa kuvaa Brazia sio wa kuupuuzia, kuyaacha wazi matiti hakumpi heshima mwanamke hata kidogo. 2. Kuvaa nguo ya ndani. Kuvaa nguo ya ndani kwa mwanamke(chupi) sio utamaduni wa kuupuzia kwasababu humpatia heshima mwanamke lakini…

Read More

USIACHE KUSOMA KAMA UNA MIAKA 20 MPAKA 45! 1. Kama una umri huu hakikisha unatengeneza mahusiano yako mazuri na Mungu! Kwanini? Kwasababu umri huu ndiyo umri ambao SHETANI atayavuruga maisha yako kiuchumi na kimahusiano. Pasipo Mungu,katika umri huu uchumi wako na mahusiano yako yatavurugwa vibaya sana na SHETANI. 2. Kama una umri huu hakikisha hauamini kila MTU! Kwenye umri huu utakutana na matapeli wengi wa mahusiano lakini pia utakutana na watu ambao wanakuja kwenye maisha yako ili tu kuyavuruga. Kuwa makini sana! 3. Kama una umri huu hakikisha umefahamu ni kitu gani unakihitaji kwenye haya MAISHA! KWASABABU. Hautaweza kufanya kila…

Read More

SHERIA NANE ZA MAISHA YA FURAHA AMBAZO WASIOKUPENDA HAWAWEZI KUKWAMBIA! 1. Usiibe mali ya mtu mwingine! Inaweza ikawa pesa, ardhi,mke au mume. Cha mtu sumu,kiepuke hakinaga FURAHA ya kudumu MILELE! 2. Heshimu dini au imani ya mtu mwingine! Hii itakusaidia kutoingia kweye CHUKI za kidini au kiimani ambazo zinaweza kukukosesha FURAHA. Chuki za kiimani hazinaga MWISHO isipokuwa wanaopigana mpaka wazikwe! 3. Kula chakula ambacho umekitafuta mwenyewe au umeshiriki kukitafuta. Hii itakusaidia kuepuka masimango na manyanyaso kutoka kwa hao ambao wamekutafutia CHAKULA. 4. Usitegemee PESA za mke,mume au ndugu yako yeyote yule!JIFUNZE KUTAFUTA PESA AMBAZO zinatokana na jasho lako! Hata kama…

Read More

HAUJUI UCHUKUE MAAMUZI GANI? ZIFUATAZO NI ISHARA SABA ZA KUFANYA MAAMUZI SAHIHI! 1. Zingatia mapigo yako ya moyo. Kama unataka kufanya maamuzi basi zingatia mapigo yako ya moyo, kama unataka kufanya jambo ambalo sio sahihi mapigo yako ya moyo yatakuwa yanaenda haraka sana. Achana na jambo hilo sio sahihi linaweza kukuletea madhara! Kama unataka kuchepuka, kufanya uzinzi, kuiba, kuua lazima hali hii utakumbana nayo kwasababu sio maamuzi yako sio sahihi. ACHA! 2. Zingatia mfumo wa mmeng’enyo wa chakula (Your gut feeling!) Kama unataka kufanya jambo ambalo sio sahihi, hamu ya chakula itapotea hata kama una njaa ile hamu ya kula…

Read More

SHERIA NANE ZA KUZINGATIA ILI KUONGEZA THAMANI NA HESHIMA YAKO 1. Usijibu meseji back to back! Mtu akikutumia meseji,ukamjibu halafu akakutumia tena ukajibu akatuma tena ukajibu yaani kuchati na mtu kwa muda mrefu tambua kwamba sio kwamba atakupenda kwa hicho unachokifanya bali atakudharau na kukushusha thamani kuwa hauna kazi za kufanya. 2. Fanya kile ambacho wewe unaamini ni SAHIHI! Jifunze kuamini kile ambacho kiko kwenye fikra zako ambacho unaona ni sahihi, watu wana tabia ya kuwathamini na kuwaheshimu watu ambao wanaonekana wenye misimamo. Kama wewe ni mtu wa kufuata kila ambacho unaambiwa na wengine, utadharaulika sana milele! 3. Usimpigie mtu…

Read More

ZIFUATAZO NI SIRI TANO ZA KUISHI MAISHA MAREFU YENYE FURAHA! 1. Puuzia na usipoteze muda wako kwenye vitu ambavyo hauwezi kuvizuia! KAMWE usiogope kuhusu kitu ambacho hauwezi kukizuia. Hiyo ndiyo maana halisi ya maisha ni FUMBO. Kupoteza muda kufikiria vitu usivyoweza kuvizuia kama vile magonjwa na kifo, utakufa mapema sana ndugu! 2. Jenga tabia ya kucheka(kufurahi) angalau mara moja kila siku! Hii itasaidia kukuondolea msongo wa mawazo na kukuongezea uwezo wa kujiamini. Ukijiamini, unaweza kufanya jambo lolote chini ya JUA. 3. Wachukie watu kimya kimya, na wafurahie watu machoni pa watu wengine! Hiyo ni siri nyingine ya maisha ya furaha.…

Read More

HUU NDIO UTAFOUTI WA MWANAMKE NA MWANAUME KATIKA UVUMILIVU! 1. Mwanamke atavumilia maumivu kwa ajili ya urembo wake. Kuhusu kupendeza. Mwanamke yuko tayari kuvumilia maumivu. Atavaa kiatu cha kisigino kirefu sana chenye kumuumiza ili mradi aonekane mrembo,atakaa chini kwa masaa zaidi ya sita akivumilia maumivu ili tu asukwe msuko wa kisasa, atatoboa pua,masikio au ngozi yake ili mradi apendeze. Mwanamke kuhusu suala la urembo wake, hataki mchezo kabisa yuko tayari kuvumilia maumivu ya aina yeyote ile. 2. Mwanamke atavumilia maumivu kwa ajili ya watoto wake. Ndiyo, yuko tayari kuteseka na kuumia ili watoto wake wapate furaha. Lakini sio kwa ajili…

Read More

KWANINI KUSHIRIKI TENDO LA NDOA NA WANAWAKE AU WANAUME WENGI SANA SIO SIFA YA KUJIVUNIA 1. Utawarithisha watoto na ndugu zako umasikini. Wazazi na walezi wenye akili wanatumia pesa zao kuwekeza kwenye ardhi,nyumba na biashara ambazo zitawafanya waishi vizuri uzeeni lakini pia warithishe watoto wao. Lakini wewe, kutumia pesa zako gesti na kwenye viwanja mbalimbali vya starehe na wanaume au wanawake wa kila aina vitakufanya kufilisika kiuchumi na kukosa urithi mzuri kwa watoto wako. 2. Utawarithisha watoto wako na ndugu zako kutokujiamini. Kutembea na wanawake au wanaume wengi sana ni moja ya dalili ya mtu asiyejimini na asiye na msimamo.…

Read More

Mambo Matatu Ya Kutisha Kuhusu Nguo Za Mitumba Wakati nikipitia mitandao ya kijamii asubuhi ya leo nimekutana na picha hii iliyonitafakarisha sana. Kupitia tafakuri hiyo nimejifunza mambo yafuatayo ya kutisha ambayo nimeamua kukushirikisha ili nawe ujifunze pia. 1. Nguo za mitumba ni nguo ambazo zimevaliwa na watu na kuzitupa baada ya kuona hazifai tena kwa matumizi yao(Nalifahamu hilo muda mrefu sana). Hivyo basi, unapovaa nguo ya mtumba tambua kwamba inaweza isiwe salama sana kwako! Magonjwa ya ngozi yanaweza yasiishe kwenye miili yetu kwasababu ya nguo hizi,narudia tena tukiwa tunazivaa na kutamba nazo tutambue kuwa sio salama ndiyo maana zilitumika na…

Read More

UTAFAHAMU TABIA HALISI ZA MWANAUME KUPITIA MAMBO YAFUATAYO! 1. Usafiri pamoja naye. Kupitia safari,utajua ni tabia gani mwanaume husika anazo kupitia ulaji wake(vitu anavyopendelea kula),kujiheshimu kwake kwa watu asiowajua, kuzungumza na watu asiowajua na namna ambavyo anastahimili mazingira mapya ya ugenini! Kuna wanaume hawawezi kuishi vizuri ugenini, watakuaibisha tu! 2. Uhusishe masuala ya Pesa. Mwanaume utajua tabia yake halisi kama ni mchoyo au bahili, kama ana roho nzuri au mbaya, kama anajua kutunza pesa au kutumia vibaya pale tu ambapo utahusisha masuala ya pesa. 3. Utakapomuona akiwa mwenye Hasira. Akiwa mwenye hasira,utajua kama anaweza kujiongoza mwenyewe na sio kuongozwa na…

Read More

FAHAMU MAMBO YAFUATAYO KABLA HAUJACHELEWA NA KUHARIBU MAISHA YAKO!! 1. Kuwa na URAFIKI (ukaribu) sanaaaa na mtu fulani tambua ipo siku atakuvunjia heshima, kwasababu mmezoeana na anajua hauwezi kumfanya chochote! 2. Vitu vinaisha, watu wanabadilika,maisha yanabadilika na kusonga mbele! Usiwekeze sana muda wako kwenye vitu kwasababu havidumu lakini pia maisha nayo hayadumu. Usijisahau na kuwa na kiburi! 3. Mwisho wa yote, utabakia wewe kama wewe! Kwanini? Kwasababu utazikwa peke yako(mwenyewe), kama ni ugonjwa utakutesa mwenyewe,kama ni furaha itakuwa ya kwako. Hivyo basi,heshimu kila kitu kinachohusu maisha yako. Jifunze kufanya maamuzi mwenyewe yanayohusu maisha yako kwa faida yako! 4. Hakuna kitu…

Read More

Maeneo Saba Ambayo Ni Lazima Utasemwa Tu 1. Kama hauna uwezo wa kufanya tendo la ndoa hautazuia kusemwa vibaya, LAKINI pia kama unafanya tendo la ndoa na kila mtu( WEWE NI MALAYA) watakusema vibaya pia. 2. Kama wewe ni tasa(hauwezi kupata watoto) hautazuia kusemwa vibaya. LAKINI pia, kama wewe umezaa watoto wengi sana WATAKUSEMA vibaya pia. 3. Kama ukifunga ndoa ya gharama kubwa sana ( ya kitajiri) wapo ambao watakusema vibaya na hautaweza kuwazuia, lakini pia ukifunga ndoa ya bei rahisi sana (ya kimasikini) utasemwa vibaya pia. Sio HIVYO tu, ukiamua usifunge ndoa, mkachukuana sogea tuishi na mwenzi wako bado…

Read More

LEO TUJIFUNZE SAIKOLOJIA YA BINADAMU! 1. Kujua kama mtu anakudanganya Mwambie arudie tena anachokiongea(anachokizungumza) ! Kama anachokisema hakina ukweli, atakirudia kwa kukosea na pasipo kujiamini. 2. Watu ambao kila wanapokaa wanakunja mguu juu ya mwingine (wanakunja nne) mara nyingi watu wa aina hii wana MALENGO NA NDOTO KUBWA KWENYE MAISHA YAO! 3. Mtu ambaye wakati anaongea au unaongea anakuangalia machoni na kukusikiliza kwa makini ana kiwango kikubwa cha Kujiamini, lakini anayeangalia chini au kupoteza utulivu. Hajiamini! 4. Watu wengi walio na elimu( wasomi) wana muamini Mungu kwa asilimia hamsini tu! 5. Mtoto wa kiume ambaye ni wa katikati kuzaliwa miongoni…

Read More

YAFUATAYO NI MAMBO AMBAYO PESA HAIWEZI KUNUNUA! 1. Tabia. Pesa haiwezi kununua tabia nzuri au mbaya. Tabia hujengwa na mtu mwenyewe na sio kwa kutumia pesa japokuwa pesa inaweza kuathiri tabia ya mtu na sio kumbadilisha utu wake asilia wa rohoni! 2. Maadili. Pesa haiwezi kununua maadili. Kama maadili ya mtu ni mazuri au mabaya hayawezi kubadilishwa kwa kutumia pesa. Haiwezekani kabisa kulazimisha maadili mabaya ya mtu fulani yawe mazuri kwa kuyanunua.Never! Maadili ni utu wa ndani ambao huanzwa kujengwa tangu utotoni, japokuwa ukubwani maadili ya mtu yanaweza kuathiriwa kwa kubadilika kwa muda tu kutokana na kile anachokimiliki lakini sio…

Read More

WAAFRIKA WENGI TULIZALIWA MASIKINI NA TUNAWEZA KURITHISHA VIZAZI VYETU UMASIKINI KWA SABABU ZIFUATAZO! 1. Wazazi wetu walitufundisha Kupenda PESA ni vibaya! Hii ni tofauti kabisa na watu kutoka Ulaya(wazungu) na Asia( Wahindi pamoja na waarabu). Wao wanawafundisha watoto umuhimu wa pesa kuanzia utoto wao,kuitunza na kuizalisha. Lakini, Waafrika tulifundishwa kuwa kupenda pesa tutakuwa wezi na vibaka. Jambo ambalo sio sahihi! 2. Wazazi wetu walitufundisha kuwa na Watoto wengi na wake wengi ni UTAJIRI ! Wazazi wetu hawakutufundisha kuwa utajiri ni kumiliki mali nyingi zisizohamishika(ardhi,majumba, mashamba) pamoja na utajiri wa kumiliki vitu vingi vinavyokuingizia PESA na vichache sana visivyokuingiza pesa badala…

Read More

TABIA HIZI NANE ZITAKUFANYA UFE MAPEMA SANA KWA MSONGO WA MAWAZO! 1. Kupenda kuwafanyia watu wengine vitu vizuri sana, lakini wewe haujifanyii vitu hivyo. 2. Kusema ndiyo ili tu kuwafurahisha watu wakati roho yako inatamani useme hapana. 3. Kujishusha wakati wote ili kuwafurahisha watu! 4. Kuwaruhusu watu wengine kutoheshimu mipaka yako uliyojiwekea (Kuingilia uhuru na amani yako). 5. Kwenda kinyume na miiko,sheria na kanuni zako ulizojiwekea ili kuwafurahisha watu. 6. Kutaka kuhakikisha kila mtu akupende! 7. Kukaa kimya mtu anapokuumiza(kubakia na maumivu moyoni pasipo kusema) kwa kuogopa kumuumiza aliyekuchukiza. 8. Kujaribu usiumie au uziumizwe na Jambo lolote au kitu chochote!

Read More

KAMWE USIWAAMINI WATU WAFUATAO!! 1. Wanaosaliti WENGINE KWASABABU wewe unaweza kuwa ndiye unayefuata kusalitiwa. 2. Wanaodanganya WENGINE KWASABABU wewe unaweza kuwa ndiye unayefuata kudanganywa. 3. Wanaowaumiza wengine kwa namna yeyote ile. Haupaswi kucheka nao kabisa kwasababu wewe ndiye unaweza kufuata kuumizwa na wao. Jitenge au usijenge mazoea au ukaribu nao! 4. Wanaokufanyia mabaya(kukudanganya,kukufokea, kukuibia mke au mume) halafu wanakwambia kuwa WANAKUTANIA. 5. Wanaokutafuta au kuwa karibu na wewe wakati wa shida tu!( Ukiwa mgonjwa au umefiwa na mtu wako wa karibu, ukiwa umepata majanga ya ajali, umeibiwa au umepoteza kazi au biashara). Watu hawa wanajionyesha kwako kwenye matatizo yako na…

Read More

ISHARA SABA ZINAZOKUDHIBITISHIA MKE AU MUME WAKO ANAKUSALITI! 1. Akipigiwa simu mkiwa pamoja naye hapokei na akipokea anaenda kuongelea mbali na wewe inaweza kuwa bafuni,chooni au chumbani kwenu ilimradi tu usisikie mazungumzo yao! 2. Hapendi uguse simu yake au kupokea simu yake akiwa mbali na simu. Ukipokea simu yake bila ruhusa yake, anakuwa mkorofi mwenye hasira kama simba mwenye njaa kali! 3. Hajiamini na wakati mwingine ataanza kukukwepa ndani ya nyumba. Mnapotazamana uso kwa uso atakuonea aibu na pasipo shaka atatazama chini au kuangalia pembeni! 4. Ataanza kukudanganya kwa kutumia sababu zisizo na maana yeyote ili aweze kuruhusiwa kutoka nyumbani…

Read More

MAMBO SITA AMBAYO WAAFRIKA TUNAYAPUUZIA LAKINI WAZUNGU WANAYATUMIA KUFANYA MAMBO YA AJABU DUNIANI. Kwasababu mambo haya wao wanayachukulia kama sehemu ya kuongeza ufanisi wa akili zao na kuongeza uwezo wao wa kufikiri na kujiamini. Inawezekana itakushangaza, lakini mambo haya ambayo haujawahi kufundishwa na yeyote yule lakini unayafahamu na umekuwa ukiyapuuzia. Leo hii nakufundisha mambo sita bure kabisa ambayo yatakusaidia kuwa mtu mwingine kabisa smart sana na kuanzia sasa haupaswi kuyapuuzia tena kwasababu yatakufanya uwe mtu wa KUJIKUBALI(KUJIAMINI),HODARI, SHUPAVU na usiye na MSONGO WA MAWAZO… 1. Kujifunza kupika na kupenda kula chakula cha kujipikia mwenyewe. Kwasababu chakula cha kujipikia mwenyewe ni…

Read More

JINSI YA KUEPUKA KUPIGANA NGUMI NA MKE AU MUME WAKO KWENYE NDOA YENU! 1. Sikiliza ili uelewe, sio ili ujibu. Wakati mke au mume wako akiwa anazungumza msikilize kwa makini umuelewe na utafakari anachokimaanisha. Lakini, ukimsikiliza ili tu uweze kujibu basi utajikuta unaropoka au kuongea maneno ya kumkwaza kwasababu haujachuja faida na hasara ya kile unachotaka kuongea,mtagombana tu! 2. Ongea kwa upole na utaratibu,hata kama umekwazika. Hata kama umekasirika, ongea kwa sauti ya chini na ya upole. Jikaze na zuia hasira zako, bila kufanya hivyo. Mtagombana tu! 3. Usibishane ili ushinde. Kamwe usipende kubishana na mke au mume wako ili…

Read More

Yafuatayo achana nayo yanakurudisha nyuma kimaendeleo kwenye maisha yako! 1. Makosa yaliyopita Epuka kujihukumu kwa maisha yako na mienendo iliyopita. Jisamehe na wekeza nguvu zako katika maisha yako ya sasa na ya baadae. Wahenga walisema yaliyopita si ndwele tugange yajayo”. Kuwaza yaliyopita kutakusababishia msongo wa mawazo ambao hauna faida za kiafya na kiuchumi maishani mwako! 2. Uvivu Epuka kuendekeza uvivu. Uvivu ni hali ya kutumia muda mwingi katika kustarehe na sio shughuli za kimaendeleo maishani mwako. Uvivu ni chanzo cha umasikini wa kiroho,kiuchumi na kijamii. Mafanikio yeyote yale,hayataki uvivu bali kuwekeza muda wako na jitihada au juhudi zako kutafuta unachokitaka…

Read More

Wafundishe watoto wako ustaarabu ufuatao kuhusu CHAKULA wasikuaibishe 1. Kula pasipo kumwaga mwaga. Wafundishe watoto wako kuona thamani ya chakula wanachokula kwa kula pasipo kumwaga chini hovyo,kumwaga mezani au kujimwagia chakula na kuchafua mavazi yao. Kuwafundisha watoto kula pasipo kumwaga chini kutawafanya kujua thamani ya chakula kwenye utoto wao na watakapokuwa watu wazima,kwamba chakula kinapatikana kwa jasho kinapaswa kutumiwa kwa umakini kwasababu kuna wengine wanakikosa. Ni ushauri tu! 2. Kula pasipo uharaka, wale taratibu! Hii itawafanya wawe wastaarabu katika utoto wao na watakapokuwa watu wazima. Lakini pia, watu wakubwa katika nyazifa,utawala au maeneo yeyote Duniani huwa hawapapatikii chakula. Yaani chakula…

Read More

MAMA UNATAKA WATOTO WAKO WAKUPENDE NA WASIKUSAHAU MILELE FANYA YAFUATAYO! 1. Waambie ukweli kuhusu baba yao! Kama ni single mother unalea mwenyewe, baba yao amefariki waambie ukweli! Kama yuko hai lakini mahusiano yenu yalivunjika,angalia namna ya kuwaambia ukweli! Unaweza kufikiri unajenga kumbe unabomoa,siku wakianza kumtafuta baba yao au kufuatilia kuufahamu ukweli wao wenyewe na wakatambua kuwa ulikuwa unawadanganya hata kama ulikuwa unafanya kwa nia njema. Watoto wako watapoteza imani na wewe! Hawatakupenda tena. 2. Usiingize mwanaume chumbani na kulala pamoja naye Kama sio baba yao wanayemjua! Wakikufumania au kushuhudia ukifanya hivyo watakuuliza maswali magumu ambayo utashindwa kuwajibu ukweli na utawadanganya.…

Read More

MWANAUME FANYA YAFUATAYO HAUTAKOSA MWANAMKE WA KUOA! Ujumbe huu ni kwa mwanaume ambaye anataka kuoa lakini kila Mwanamke anayemhitaji hakubali kuolewa naye. Yafuatayo ni mambo ambayo mwanaume ukiyazingatia HAUTAKOSA MWANAMKE wa kuoa, inawezekana hautatafuta bali utatafutwa na kazi yako itakuwa kuchuja anayekufaa miongoni mwa kundi kubwa la wanawake wanaokuhitaji uwaoe. Yes, ndiyo hivyo. Unafikiri kwanini zamani baadhi ya himaya za kifalme zilitangaza mabinti wa kike wanaotaka kuolewa na Mtoto wa kifalme wajitokeze katika siku fulani maalumu ili mtoto wa kifalme aweze kuchagua binti wa kuoa aliyemfaa? Unafikiri kwanini umati wa mabinti wengi sana walijitokeza ili waweze kuchaguliwa kuolewa na Mtoto…

Read More

NJIA SABA ZA KUWA MTU MWENYE KUJIAMINI 1. Kuwa mtaratibu. Kuongea hovyo pasipo utaratibu na utulivu kunaweza kusababisha uongee mambo yasiyo ya maana ambayo yanaweza kukuondolea hali ya kujiamini. 2. Kuwa mtu wa kusikiliza kwa makini na kutafakari kwa kina kabla ya kuongea. Hakikisha hauingilii mazungumzo ya mtu akiwa anaongea. Hii itakusaidia kuongea vitu ambavyo vina uzito na maana ambavyo vitakufanya uheshimike na kusikilizwa jambo ambalo litakuongezea hali ya kujiamini zaidi. 3. Ongea vitu ambavyo unavijua sanaaa au una uhakika navyo. Kama vitu hivyo umefundishwa au umejifunza,hakikisha umefanya mazoezi ya kutosha kabla ya kusimama mbele za watu kuongea. Hii itakufanya…

Read More

KAKA USIACHE KUMPIGANIA DADA YAKO!! Ujumbe huu ni wa kwako kijana wa kiume ambaye una dada nyumbani. Lakini pia, ujumbe huu ni kwa ajili ya kaka ambaye baba alifariki,yeye kama mtoto wa kiume amebaki kama baba wa familia au kiongozi wa familia yenu. Nakushauri kaka,haupaswi kumtelekeza dada yako. Unapaswa kuwa nguzo muhimu na kumpigania kwenye maisha yake kwasababu baada ya BABA YENU upo wewe; 1. Usinyamanze kimya anapofanyiwa unyanyasaji kwenye ndoa yake. Baada ya baba yenu upo wewe,usikubali kwenye ndoa yake apigwe na kufanyiwa vitendo vya unyanyasaji. Msaidie kumshauri,kumfariji na kusuluhisha matatizo yao ili awe na furaha na amani. Hivyo…

Read More

Nilimdanganya Nina Mimba, Alichosema na Kufanya Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 27. Nimekuwa kwenye uhusiano na mpenzi wangu kwa mwaka mmoja sasa. Tulikutana mwaka 2021, wakati huo nilikuwa na mtoto wa mwaka mmoja. Nilikuwa sijui kama nilihitaji uhusiano mwingine, kwani baba wa mtoto wangu alikataa kumlea, na mimi sikutaka kuingia kwenye uhusiano mwingine. Yeye alijaribu sana kunifatilia, lakini nilikataa.Mwaka 2023, alizidi kunifatilia. Ni mchungaji mtarajiwa, na alikuwa akinieleza ndoto yake ya kuoa tangu akiwa mdogo. Nilimkataa kwa sababu ya umri wangu, na majanga niliyopitia katika mahusiano ya zamani. Alikuwa mtu wa kazi sana akitoka kazini anaenda kanisani, kisha…

Read More

MY NAME IS TOMORROW My name is Tomorrow “not my real name”, I own a company, none of my staff knew me as the owner except the Manager and the Secretary. (I had told them not to disclose my identity). I don’t usually go for a visit. One day, I visited the company and I saw my Ex wife, who had thrown me out of my own house. I asked the Manager and he said she is one of their staff. I instructed the Manager to promote her to Personnel Officer, gave her a car, a bungalow, garden boy, security…

Read More

𝗛𝗨𝗬𝗨 𝗠𝗪𝗔𝗡𝗔𝗨𝗠𝗘 𝗞𝗔𝗟𝗢𝗚𝗪𝗔 Mimi ni mama wa watoto wawili, mwanangu wa kwanza nilizaa huko nyuma huyu mwingine ndo nimezaa na huyu mkaka niliyekuwa nimepanga sehemu nakaa peke yangu naendesha maisha yangu nikakutana na huyo kijana yeye alikuwa anakaa na wazazi wake basi tukawa marafiki mwisho tukawa na mahusiano wakati huo yeye anaishi kwao na mma yake wa kufikia alikuwa anasema anamtesa tesa nikamwambia atufute chumba apange akasema hawezi kupanga kwa sababu hana kazi nikamwambia wewe ni mtoto wa kiume pambana tu utapata kazi.Basi kuna ishu alienda kufanya akapata pesa akapanga akaniambia rudisha vitu kwenu tuishi wote, sawa nikakubali tukawa tunaishi…

Read More

NAOGOPA KUWA MWANAMKE – FULL STORY (1 – 30) Kusoma hadithi, bonyeza hizi link hapa chini: NAOGOPA KUWA MWANAMKE 1 – 5 NAOGOPA KUWA MWANAMKE 6 – 10 NAOGOPA KUWA MWANAMKE 11 – 15 NAOGOPA KUWA MWANAMKE 16 – 20 NAOGOPA KUWA MWANAMKE 21 – 25 NAOGOPA KUWA MWANAMKE 26 – 30

Read More

UTAMU WA KARANI WA SENSA – FULL STORY ONYO: Wakubwa tu wasome hii hadithi EPISODE 1 – 23 Kusoma hadithi, bonyeza hizi link hapa chini: UTAMU WA KARANI WA SENSA 1 – 5 UTAMU WA KARANI WA SENSA 6 – 10 UTAMU WA KARANI WA SENSA 11 – 15 UTAMU WA KARANI WA SENSA 16 – 20 UTAMU WA KARANI WA SENSA 21 – 23

Read More

MUME WANGU ALIVYOGEUKA SHOGA – FULL STORY Mkasa Wa Kweli EPISODE 1 – 30 Kusoma hadithi, bonyeza hizi link hapa chini: MUME WANGU ALIVYOGEUKA SHOGA 1 – 5 MUME WANGU ALIVYOGEUKA SHOGA 6 – 10 MUME WANGU ALIVYOGEUKA SHOGA 11 – 15 MUME WANGU ALIVYOGEUKA SHOGA 16 – 20 MUME WANGU ALIVYOGEUKA SHOGA 21 – 25 MUME WANGU ALIVYOGEUKA SHOGA 26 – 30

Read More

NAOGOPA KUWA MWANAMKE 26 Nilitoa vyombo kinyonge sikujua ni kwanini ila ile kauli iliniuma kumbe Brayton anamwanajeshi wake basi nilikosa amani nilielekea chumbani kwangu mpaka mda wanaondoka niliagana nao juu kwa juu.. Brayton alirudi usiku nilikuwa nipo ndani alinigongea sana wala sikutaka kufungua nililala mpaka asubuhi nilikusanya nguo zangu kwenye begi nilizamilia kuondoka yaani yule raia wa kawaida tu alinizimisha je huyo mwanajeshi wake si atanidedisha kabisa.. “Safari ya wapii!?.. Lilikuwa ni swali kutoka kwa Brayton baada ya kuniona na mizigo.. “Nimeona bora niende nyumbani nikapumzike.. “Kwahiyo humu huwezi kupumzika!?.. Aliuliza huku akinifuata nilikosa ujanja. Alivyoona nipo kimya aliivuta begi…

Read More

NAOGOPA KUWA MWANAMKE 21 Ndio Broo Brayton Ila samahani sikukwambia mapem….. Kabla sijamalizia kuongea alinyanyuka na kuondoka kwa hasira na kuniacha nikiongea mwenyewe.. “Ina maana ananiona mdogo!?.. Au sitakiwi kuwa na mahusiano. Nilibaki niliwaza sikutaka kwenda kulala ndani nilijilaza sebren nikimsubiri basi alirudi mda wa usiku sana tena akiwa amekunywa yaani alilewa na hiyo haikuwa kawaida alipitiliza hadi chumbani kwake baada ya mda kidogo alikuja nilipokaa.. “Mimuh.. Aliita Brayton kwa utulivu nilikaa vizuri na kumtazama.. “Huyo mwanaume uliyemchagua umefuata vigezo vipi kwake.. Ni pesa!?.. Aliuliza Brayton akiwa amenikazia macho. “Au muonekano wake wa nje umekuvutia zaidi.. Sema mbona upo kimya..…

Read More

NAOGOPA KUWA MWANAMKE 16 Wakiwa bado wanang’ang’ania kuondoka na mimi niliiona gari ya Brayton ikifunga break mbele yetu kisha alishuka na kusema huku akisogea nilipokaa.. “Muachieni huyo.. Walikuwa wabishi Brayton alichomo bastora na kuipiga juu mlio wa risasi uliwatawanya wote na kufanya wakimbie…. Brayton alinifuata pale nakunikaomata mkono kuninyanyua kisha alinikumbatia kwa nguvu huku akihema mno. Sikuwa hata na nguvu ya kupinga nilikuwa nikitetemeka kwa Baridi machozi pia hayakukauka.. “Sikujua Kama ni mdhaifu kiasi hiki.. Alisema akiwa bado ameniweka kifuani mwake “Samahani .. Ilo ndio neno la mwisho kulisikia kutoka kwake sababu nilikata moto mda uleule wala sikujua kimeendelea nini..…

Read More