MWALIMU ALITAKA MWENYEWE ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Sehemu Ya 5 Kijana Michael akusubiri kuikuta kumi na mbili aka aachia shuti moja kali sana, ambalo lilimsinda gori kipa ambae licha ya kuambaa mbaa kuufwata lakini akaziona wavu zinacheza, hapo zililipuka shangwe za hali ya juu, siyo tu wanafunzi peke yao, ata walimu nao waliinuka toka kwenye bechi na kushangilia, gori lile, ata mwali Jackiline nae akiwa ameshikilia kijikaratasi chake, alijikuta anainuka na kushangilia, tena kwa sauti ya juu kabisa, huku akirusha rusha mikono yale na kusababisha kifua chek kilicho beba maziwa mazuri na magumu yenye…
Author: Raha Special
MWALIMU ALITAKA MWENYEWE ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi Sehemu Ya 1 Mwalimu alitaka mwenyewe, ni mkasa mfupi ambao unausiana na kisa ambacho siwezi kusema moja kamoja ni chakweli, ila nusu ya mambo yaliyo andikwa yanaegemea kwenye ukweli, lakini tahadhari kwa majina yaliyo tumika, ayaja tumika kwa ubaya, wala siyo tabia halisi za wenye majina, hayo kama itatokea ukatajwa kwa bahati mbaya, basi natanguliza samahani, japo wapo watu halisi nilio wataja, na pengine walisha tangulia mbele za haki, mungu awalaze mahali pema peponi Mwaka 1999 mwezi wa saba, ndani ya mji wa Songea uliopo mkoani Ruvuma,…
SISI WANAWAKE WAPAMBANAJI, HATUNA BAHATI KWENYE MAPENZI Sisi wanawake wapambanaji hatuna bahati Kwenye mapenzi hata siku Moja Wanasema wanawake sio waaminifu sio kweli, upande wa wanaume na wanawake ni bahati tu kupata mahusiano ya kweli. Wakubwa zetu wanasema usimkatae mwanaume kwa sababu hana kipato, mkatae mwanaume ambae hana malengo nilijikuta naingia Kwenye majaribu nilikua na mahusiano na mwanaume tulipanga malengo mengi Mwenzangu mtumishi wa serikali mimi mfanyabiashara nina duka na mkulima pia mwenzangu akapata mtihani mimi ndio nilikuwa natoa pesa Zangu kumsaidia. Anawaambia marafiki zake siwezi kupata mwanamke kama huyo nilipambana nae kwenye changamoto mpaka amekaa sawa akaanza kupunguza mawasiliano…
NILIKUWA DADA WA KAZI, SASA NI INJINIA Nina imani uko salama kaka SpeshoKuna story niliwahi kukupatia kuhusu kaka mmoja alikuwa anaitwa hamisi.. hamisi wa kibada kama unakumbuka vizuri Sasa nimekuja leo kutoa ushuhuda namna MUNGU alivonifuta machozi kutoka kuwa dada wa kazi niliyedharauliwa na Hamisi wa kibada hadi kuwa Mke halali mwenye biashara inayoeleweka Ushuhuda upo kama ifuatavyo: Baada ya kuumizwa na yule Hamisi wa kibada niliamua kuachana na mapenzi kabisa yaani nikaanza kusali kwa nguvu zote yaani nikawa ninamuomba ruhusa bosi wangu kila jumamosi nikawa ninaenda kanisani,bosi wangu akaniruhusu maana mimi ni msabato yaani nimezaliwa kwenye usabato Baba yangu…
MUME WANGU AMENIAMBUKIZA UKIMWI MAKUSUDI Mimi ni mama wa watoto wanne mtoto wangu wa kwanza nilizaa nilipomaliza form 4, baadae maisha yalikuwa sio magumu sana lakini niliona nimekosea na kuiaibisha familia yangu ndipo niliona Bora niolewe. Nilikuja kuolewa na mwanaume mwingine ambaye siye baba wa mtoto Wangu wa kwanza Kwa sababu nilikuja kugundua mwanaume niliyezaa naye ni mume wa mtu kwa hivyo sikuona vema kuendelea kuharibu ndoa hiyo. Sikutaka kuwa sehemu ya machozi ya huyo mama na nilijua one day anaweza kuwa mama wa mtoto wangu na ndivyo ilivyo hadi sasa maana baba wa mtoto baadae alimchukua mtoto na anamsomesha…
ANA WANAWAKE HUKO NJE, LAKINI HANA MTOTO HATA WA KUSINGIZIWA Habari, Mimi ni mama mwenye mtoto mmoja Nina miaka 32 ninaishi na mwanaume huu mwaka wa 6 hatujabahatika kufunga kupata mtoto ila mimi kanikuta nina mtoto mdogo sana yeye ndo kamlea mpaka sasa mtoto ana miaka nane, napitia changamoto ya kukosa mtoto mwanaume ananidharau kuwa sizai na wakati yeye ana wanawake huko nje lakini Hana mtoto hata wa kisingizia hata ukimwambia twende hospital tukapime hakuna ushirikiano kabisa Mimi Nina kazi na najipambania sana sio mwanamke ambae nimekaa nyumbani bila kazi namsomesha mwanangu shule ya gharama tu lakini moyo wangu unaugua…
MCHUNGAJI ALIMWAMBIA ASIOLEWE NA HUYO JAMAA, MAANA ATAKUFA, NA AKAFA KWELI Habari yako kaka Spesho mimi ni binti wa miaka 25. Nina changamoto moja naomba nisaidie mawazo yako. Dada yangu yaani binamu yangu aliolewa 2023 akafariki 2024 mwezi wa 9. Sasa kwa situation ilivyokuwa mpaka wao kuoana kuna mchungaji alimuambia asiolewe na huyo jamaa unless awe imara sana kiroho maana atakufa na magonjwa mazito na ni kweli aliugua kisukari na presha. Sasa shida ni hii, mimi shemeji nilikuwa namfahamu kwa miaka 5 kabla ya wao kuoana lakini sikuwahi kuongea nae wala kutaka kujuana nae kabisa sikuwahi!! Ila msibani tukaongea na…
TUNA MIAKA 13 KWENYE NDOA, LEO ANASEMA MIMI SIO MWANAMKE WA HADHI YAKE Mimi ni mwanandoa wa miaka kumi na 13 nimefunga ndoa kanisa lakini kwanzia tumeanza kuishi mikasa imekuwa mingi sana mume wangu kila mara huwa namfumania na wanawake anakuja anaomba msamaha namsamehe. Lakini kwa sasa ameona amtongoze mpangaji wetu na kuanziasha mahusiano na nimekuja kujua wameshapanga hadi mikakati ya kuoana na mume wangu ameeenda kwa mjomba wa huyo binti akaidai kuwa anahitaji kumuoa Lakini kwa imani yetu ya kikristo hairuhusu kuwa na ndoa mbili tumeshauri na wasimamazi wa ndoa akaomba msamaha akasema aliteleza kumbe alifanya hivyo ili mambo…
ANANIAMBIA WAHI KAFUNGUE DUKA, KUMBE LENGO LAKE ALALE NA MDOGO WANGU Nina umri wa miaka 32 na ni mama wa watoto wa 4, mimi na mme wangu umri tuko sawa, kati ya hawa watoto wawili ni watoto wa baba mwingine yaani mtoto wangu wa kwanza na wa pili. Pia nimebahatika kuzaa na mme wangu watoto wawili pia. Kaka huyu mwanaume sio mtu mbaya sana kwa familia yake yaani ni mtu anajali na hajawahi kuwabagua watoto kabisa kwani anawalea vizuri tu, tangu tukutane walikuwa wadogo kawalea kama watoto wake tulikuwa kwenye upangaji hadi tukafanikiwa kujenga na kupata mafanikio kidogo. Huyu baba…
ALINIAMBIA ANATUMIA NYOTA YANGU, HIVYO INATAKIWA NIRUDI KWAKE Habari kaka naomba ushauri wenu jamani mwaka 2018 nilikutana na mkaka akasema ananipenda anataka kuniowa hivo ikabidi twende kucheki afya lakini wote tulikutwa tupo salama tukaanza mahusiano. Wakati huo yeye alikuwa na miaka 38 na mimi 24 wakati tunaaza mahusiano alinikuta na mtoto 1 na yeye alisema ana watoto 2 pia alisema mke wake wameachana kwa talaka, alikuwa ananipenda sana na mtoto wangu alitujali pia kwa kila kitu. Tukaanza maisha alikuwa na maisha ya kawaida sana ila Mungu akafanya njia yake akafungua milango ya baraka akawa na hela lakini hivo vyote kapata…
NILIBADILI DINI, NIKAIMBA KWAYA ILI ANIOE, LAKINI AMENIKATAA Habari kaka naomba unisaidie na mimi ili watu wanipe ushauri mimi ni binti wa 27 naishi na mtu na nimezaa nae mtoto mmoja ila tatizo langu ni kwamba huyu mwenzangu hataki ndoa, toka tumeanza kuishi hadi sasa huu ni mwaka wa 12. Nilipata mimba nikiwa mdogo sana hadi sasa bado tupo pamoja ila naomba watu wanishauri kwani sijui nifanye nini hadi sasa na sielewi kama huyu mtu ana nia na mimi kwani tunakaa vizuri ila mkiongea swala la ndoa basi ujue mtagombana Nilipofikia hadi wazazi wangu hawana ushirikiano na mimi kama wamenisusa…
BINTI YANGU ANAOLEWAJE NA MWANAUME AMBAYE NILIKUWA NA MAHUSIANO NAYE Mimi ni mama wa watoto watatu,tuliachana na mme wangu baada ya kushindwa kuelewana,nikapata mwanaume mwingine tukaanza mahusiano hajaoa ni kijana Bado na alikuwa hajawa na kazi ya kueleweka tukadumu kwa miaka miwili nikamtambulisha kwa baadhi ya ndugu na marafiki,mwaka huu mwanzoni akafuatilia vyeti vyake vya shule na mwezi wa tatu alituma maombi ya kazi baada ya nafasi kutolewa na serikali,majibu yakatoka amepata kazi mkoa wa Mbeya mwezi wa nane akaenda kuanza kazi akitokea Mwanza kwenda Mbeya akaniacha Mwanza Tukaendelea kuwasiliana vizuri,ghafla akaanza kubadilika akaanza kuwa ananiambia habari za kwangu kuwa…
NIMEGUNDUA MUME WANGU AMERUDIANA NA MPENZI WAKE WA ZAMANI Mimi ni mama wa mtoto mmoja nilikua naishi na mume wangu vizuri japo wakwe zangu wananichukia.. Kilichonifanya nikuombe ushauri nilimfuatilia mume wangu na kugundua amerudiana na mpenzi wake wa zamani ambaye walikua wanasoma wote Nikamweleza kama ninajua akadharau na kusema hawezi kuacha kuwasiliana nae nikaona nimwambie kama hutaki kuachana nae mimi naondoka hapa Kabla ya Kumwambia swala la kuondoka nilimpigia mama yake na kumweleza mama yake hakunipa ushirikiano akaungana na mwanae siku moja niliangalia simu yake nikakuta meseji za yeye na huyo mwanamke kuwa wanaenda kuonana nikanyamaza Kweli nikaona anajianda nikamuuliza…
HIVI NI SAHIHI MAMA KUINGIZA MWANAUME NDANI, MBELE YA WATOTO WANAOJIELEWA? Kaka shikamoo, mimi ni binti wa miaka 19 nina wazazi wangu wote wawili ila walishatengana, nimelelewa na bibi yangu tangu mdogo hadi namaliza kidato cha nne mwaka 2024, upande wa mama tupo watoto watatu na kila mtu ana baba yake. Kilichonileta hapa ni kuomba ushauri, kipindi nasoma secondary likizo nyingi nilikuwa naenda kumsalimia mama ila kitu cha kushangaza alikuwa analeta mwanaume ndani, nimeenda kumsalimia kama mara 3 hivi yani kila nikienda nakuta ana mahusiano na mwanaume mwingine jumla ya wanaume nilioshudia akiwaleta ndani ni wa tatu achana na baba…
UCHAWI WA BIBI YANGU UMENIFANYA NIISHI MAISHA MAGUMU SANA Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24 na nina mtoto mmoja. Kabla sijapata mtoto nilikuwa nikisumbuliwa na matatizo ya kiafya kwa muda mrefu sana. Mama yangu alinipigania kila hospitali, tulikosa majibu. Tulienda hata kwa manabii, bado hakukuwa na mabadiliko. Baadaye tukaenda kwa wataalam wa jadi nao wakasema tatizo langu linasababishwa na bibi yangu mzaa mama. Ukweli ni kwamba bibi mara kadhaa amewahi kunitamkia maneno mabaya na kunikatia tamaa, lakini sikuwa na uhakika. Nikiwa bado naumwa, nilikuwa ninaishi kwa dada yangu mjini ilhali mama alikuwa kijijini. Hatimaye nikapata mchumba ambaye alinipenda…
NINA MAHUSIANO NA MUME WA MTU KWA MIAKA 12 SASA Mimi nina tatizo kwenye mahusiano yangu nilikuwa na mahusiano na mume wa mtu takribani miaka kumi na mbili sasa nimejaaliwa kuzaa naye watoto watatu lakini kwa miaka yote hiyo hakuwahi kunipa heshima kama mke wake yaani hakuwahi kunitambulisha kwao japokuwa nyumbani kwetu alikuwa anatambulika vizuri kama mume wangu, Mwanzo alinishawishi sana kwa pesa alizonazo mpaka akagharamia kunipeleka chuo cha maendeleo ya jamii lakini nilitafuta kazi sikubahatika kupata kazi.Basi maisha yaliendelea akawa anakuja kwangu kwa kujificha yaani asijulikane kuwa yupo na mimi, kiukweli haya mahusiano sikuyapenda kabisa na hata yananimalizia amani…
AKIFIKA TU HUNIFANYIA UKAGUZI, KWA KUNIINGIZIA VIDOLE SEHEMU ZA SIRI Hello habari, Naomba unipostie kwa fans wako nipate ushauri wa hiki ninachokipitia…… Mimi ni msichana age yangu 27 naishi Dodoma. Miaka mitano iliyopita nikiwa naishi na kufanya kazi ya kuuza duka la dada yangu nilijikuta naingia kwenye mahusiano na baba mmoja mtu mzima age yake 58 ambaye alianza kunishawishi kwa ofa mbalimbali akija dukani na mwisho nilijikuta nimeimgia kwenye mahusiano. Alidai kuwa amenichunguza mimi ni binti mwenye tabia nzuri anataka kubadilisha maisha yangu. Alinipangishia apartment na kunishauri nihame kwa dada yangu na aliniahidi kunifungulia biashara. Kweli alinipa mtaji wa kufungua…
HUWA ANASUBIRIA NISINZIE, NDIO AANZE KUNIINGILIA Kaka habari mimi ni mama wa watoto wawili naishi na mme wangu tangu tufunge ndoa Sasa tuna miaka 4.. Lakini kilichonileta kwako ni kwamba.. Mume wangu ni mtu ambae hajali kabisa kuhusu mimi hanaga muda na mimi hata nikimuomba tupate nafasi ya kuzungumza na nimshirikishe ninavyojisikia kuhusu upweke anakubali tu lakini hatimizi hata kunitunza hanitunzi hata watoto kuwanunulia mawazi ni mpaka mimi kwa kuwa na mimi Nina kibarua ndio hicho kinakua kinanisaidia na hata swala la chakula anahudumia lakini sio kwa kiasi kinachotakiwa na kwa asilimia kubwa mimi ndio nakua na mzigo mkubwa zaidi…
NIMEMPA KWA SABABU YA PESA ZAKE, YEYE ANATAKA KUMUACHA MKE KABISA Naomba nisaidie kuposti kwa fansi wako nipate kushauriwa.Mimi ni Binti wa miaka 21 Ninaishi dar es salaam, katika maisha ya kuhangaika kujitafuta niliingia kwenye mahusiano na Mme wa mtu na huyu mwanaume Mimi sikumpemda nilikuwa kwake sababu ya pesa tu basi baada ya kuanza mahusiano tulidumu kama miezi mitano akaja kaniambia anataka anipeleke kwao wakanijue Mimi nikawa na pingamizi nikamwambia kuwa wewe si Mme wa mtu utanipelekaje kwenu? Akasema kuwa Mimi simpendi nilikuwa naye kwa ajili ya kumchuna tu nikamdanganya kuwa mimi mbona nakupenda jamani akasema kuwa yeye ni…
DADA WA KAZI KANIPINDUA, NIKAFUKUZWA AKAOLEWA YEYE NA MUME WANGU Mimi ni mwanamke ndoa yangu ina miaka saba sasa. Nimevumilia mengi kwenye maisha ya ndoa, nimehangaika kujenga heshima ya familia yangu. Niliamini tumebarikiwa, maana tuna kila sababu ya kufurahia. Tumebarikiwa watoto wawili. Lakini naandika haya nikiwa nimevunjika moyo. Tatizo lilianza pale tulipomleta dada wa kazi. Nilimchukua kwa nia njema, atusaidie majukumu ya nyumbani kwa kuwa mimi nilikuwa na majukumu mengi kazini. Nilimchukulia kama mdogo wangu, nikampa uhuru wa kutosha. Baada ya muda, nilianza kuona mabadiliko kwa mume wangu. Alianza kunidharau, kunijibu kwa ukali, na hata mara nyingine analala sebuleni. Nilidhani…
NAJIONA KABISA NISHAKUWA SINGLE MOTHER, NA SIKUWAHI KUFIKIRIA Habari ya mchana kaka Spesho, please hide my name, Naomba nipewe ushauri labda nitapata amani ya Moyo maana naona kama dunia imenilemea sina furaha tena na haya maisha. Ni hivi nilikutana na mume wangu nikiwa binti mdogo kabisa wa miaka 22, kwa wakati huo tuliishi kama wapenzi tu, mwaka 2017 tulitambulishana kwa wazazi wote wa pande zote na alinilipia mahali ingawa tayari alikuwa na mtoto mmoja ambaya alizaa na mwanamke mwingine ambaye aliachana naye na alishaolewa,baada ya hapo tulianza kuishi pamoja kama mke na mume. Mimi ni mtumishi wa serikari na mume…
NAHISI WASIOOLEWA WANAFAIDI ZAIDI KWA KUWA MICHEPUKO Habari kaka …mimi ni mama wa watoto wawili ila baba tofauti …mtoto wa kwanza familia ilimkataa huyo Mwanaume …mtoto wa pili nimezaa na mwanaume ambaye alikwenda kwetu na kutoa mahari …tumepishana miaka 9 …mimi nina 30 mtoto wetu ana miezi sita Sasa mwanaume alibadilika Sana na hata tarehe aliyopanga kurudi kumaliza mahari na kusema tarehe ya ndoa ilifika na hakwenda wala kutoa tamko lolote. Juzi kati nikampigia simu usiku maana alikuwa anaweza hata kukaa siku tatu au nne hajatutafuti… Nilivyo mpigia akaanza kuongea akijua mimi ni mchepuko wake …nilimuuliza sana maswali na yote…
MUME WANGU ALINIKATAA, NIKAAMUA KUANZISHA MAHUSIANO NA RAFIKI YAKE Kaka mimi nashida ninaomba ushauri wako mimi mwaka juzi nilipata mchamba akanitolea mahari tukaanza kuishi wote tukakaa Kama mwezi mmoja akawa ameondoka Maana anafanya nchi za nje na akiondoka anakaa muda mrefu Sana Sasa kipindi yeye alipoenda Kazi mimi nilienda nyumbani kwetu tutakubaliana wakati nipo kule akanipgia simu na kusema tuachane mimi ni malaya kiukweli niliumia Sana na ukiangalia mimi nimekuwa muaminifu Sana kwa mume wangu alinitukana Sana na kusema mimi kwetu masikini bais mimi nikawa Sina Budi kukubaliana na maamuzi yake Sasa Kuna siku rafiki yake alinitafuta na kuniuliza kuhusu…
ALINIKATAA NIKAAMUA KUMUOA DADA YAKE, AMEMCHUKIA SANA Habari kiongozi, Naomba nikushirikishe mkasa huu kwenye mahusiano yangu, naishi Dodoma kikazi. Mwaka 2014 nilipopata ajira na kupangiwa Dodoma nilikutana na dada mmoja kwa jina Maria wakati huo akiwa mwaka wa kwanza Chuo Udom.. Nilimpenda sana na kwa wakati huo na yeye alionesha kunipenda tukawa kwenye mahusiano yenye furaha na amani so nilijitoa kwake kwa kiasi kikubwa kwa maana sikutengemea kama ipo siku anaweza kunigeuka. Alipomaliza chuo na kupata kazi ya ualimu (Shule ya private) huko Kilimanjaro aliniomba nilipangishie nyumba na kununua vitu vya ndani kama kitanda n.k ili iwe ni rahisi nikienda…
BINTI USIZAE KABLA HUJAOLEWA, UWEZEKANO WA MWANAUME KUKUACHA NI MKUBWA MNO Habari kaka, leo nimeguswa kuzungumza jambo , naomba upost pengine kuna mtu atajifunza kupitia mimi. Iko hivi kipindi nasoma chuo nilikutana na kijana mmoja ambae nilimuamini kwa haraka sana ni kijana mpole kwa muonekano basi tukawa marafiki na haikuchukua muda tukaingia kwenye mahusiano. Mwanzoni mwa mahusiano aliniambia kuwa hatumii kilevi chochote, na alijifanya ni mtu mwenye hofu ya Mungu sana ( nadhani aliona kuwa mimi pia nipo hivyo ) basi nikamuamini …kadili siku zilivyokuwa zinaendelea nilianza kuona tabia zake halisi , kwanza alikuwa na mtoto na alinificha nilipogundua hilo…
NILIENDA SAFARI YA KIKAZI, NIMERUDI NIMEMKUTA MKE WANGU ANA MIMBA YA MWANAUME MWINGINE Habari ndugu syaga james?? Ninaomba ufiche jina langu, kisa changu ni Kama ifuatavyo: Mim ni mwanaume wa miaka 37 ni baba wa watoto watatu, wawili wakiume wa mwisho ni wa kike. Kidogo mimi na mke tuko mbalimbali kulingana na utafutaji wa maisha, namaanisha mke wangu yuko mkoani kwetu yaani nyumbani, na mimi niko nje ya mkoa huo, ila huwa ninawasiliana na mke wangu kuhusu familia na mambo yanaenda vizuri tuu. Kikawaida kila mwezi huwa nakuja mara moja, ila kuna kipindi nilikaa muda mrefu bila kurudi kama miezi…
Tukiwa Kitandani, Alikuwa Akinibadilishia Njia, Na Kuniwekea Kinyume Na Maumbile Kaka Habari za majukumu……, Naomba unipostie kwa fans wako wanipe ushauri maji yamenifika shingoni. Ni story ndefu ila naombeni ushauri wenu. Naitwa…… naishi Kahama ni mwajiriwa nina umri wa miaka 38 ila mahusiano kwangu yamenikataa kiasi cha kujikatia tamaa maana hadi sasa nimeoa na kuachana na wanawake watatu ambapo ni mmoja tu niliyezaa naye mtoto mmoja ambaye ni wa kwanza. Huyu wa kwanza ilikuwa enzi za ujana baada ya kumpa ujauzito tulipeleka mahari kwao nikaanza kuishi naye lakini baada ya mtoto kukua alienda masomoni Dar es salaam miaka mitatu na…
BABA YAO ALINIOA ILI APATE WATOTO WA KUWATOA KAFARA Kaka mimi nina Watoto wawil,Nilizaa na baba fulani nilikaa naye miaka 9 baadae alinitelekeza,lakini alitumia njia mbaya mno aliniita mahali akiwa na mke mwingine akaniambia yeye hakuwa na mpango na mimi yeye alifuata kwa sababu zake tuu? nikamuuliza kwa hiyo nyumbani kwetu mlifata nini hadi kufata taratibu zote? akatulia tuu huyo mama aliyekuja nae ni mke waliyeachanaga zamani, Naomba nifupishe,YULE MAMA ALINIAMBIAGA MAMBO MABAYA SANA NILILIA KWA UCHUNGU SANA HIYO SIKU MAANA NALIKUMBUKA WALIPOENDAGA NYUMBANI YEYE NA WAZAZI WAKE BABAANGU MKUBWA ALIWAHOJI SANA AKAWAAMBIA KAMA HAMNA MPANGO NA BINTI YETU BORA…
Niliwadanganya Wazazi Nina Mtoto, Ili Nimuoe Single Mother Mie ni Mwanaume Wa miaka 32 Nikiwa na miaka 24 Nilipata Mchumba ambae ni mwanamke mwenye Mtoto mmoja na babaake Alishakufa kwa ajali alikuwa bodaboda sasa mimi ili niwe na huyu mwanamke niliamua kwanza kuwadanganya familia yangu kwamba na mimi nina mtoto hapo nipo chuo sasa familia ilibariki suala la kuwa na mahusiano na ilikuwa rahisi kwa sababu wote tulikuwa na watoto Sasa changamoto inakuja mama yangu anaumwa saana anatamani kumuona mjukuu nakumbuka kaka yangu alifariki mwaka 2021 nilitafuta mtu akawa kama Bibi wa binti yangu na niligharamia akaja msibani kutoka uko…
Mume Wangu Hana Nguvu Za Kiume, Ila Huyu Mpenzi Wangu, Ambaye Ni Mume Wa Mtu, Anazo Nguvu Asante, Mimi changamoto yangu Nipo kwemye ndoa Nina miaka 7 kwenye ndoa nimepata watoto watatu ila Wawili wametangulia mbele za haki Changamoto ilianza Baada ya kumzaa mtoto wa 3. Mume akanibadilikia akawa na mahusiano Nje ya ndoa nilipogundua akawa mkali sana changamoto kubwa ikaanza Mara tuu Baada ya mwanangu wa pili kuumwa na kufariki akasema Mimi na mamangu ni wachawi, tumemuua mwanae Sasa tunataka kumuua na yeye, akasema nisipate shida nikitaka kumuua nimuwekee tu sumu kwenye chakula yeye akila atakufa, pia akaniambia Nipo…
BABA MDOGO ALINIBAKA NA KUNITOA USICHANA WANGU PORINI Naomba unipostie kwa fansi wako labda nitatua mzigo mzito kichwani mwangu Mimi ni mtoto wa pili kati ya watoto nane wa wazazi wetu nikiwa mdogo nilikuwa natatizo la kuumwa na kupelekwa hospital na baba kulazwa bila mama, mama alibaki nyumbani nilipofika darasa la nne nilipona nikawa siumwi tena, mimi nilikuwa nampenda sana baba yangu, ila nilianzwa kutengwa na wazazi wangu na kaka zangu walikuwa wakinipiga sana kila siku nikisema kwa wazazi hawaguswi Nilipofika darasa la 6 baba aliniambia mimi sio mwanae sijui alichokuwa anamaanisha nini ila alisema hivyo nililia na sikuuliza maswali…
Baba Alikuwa Anatuvutisha Bangi, Kisha Anatufanya Matusi Nina miaka 25 katika familia yangu tupo watoto wa 3 kipindi naanza kupata ufahamu nilikuwa naona baba na mama yangu Wanatupenda sana maana walikuwa hawatukatazi kufanya chochote kwa mfano inaweza ikawa siku ya sikukuu baba anatuambia tutoke twende tukatembee. Tukifika bar anatuagizia safari na varuu tunakunywa ikaenda hivyo mpaka mama yangu akawa mlevi kabisa mlevi wa vilabuni akawa anatuacha sisi na baba yeye analala vilabuni Kipindi hicho Mimi nipo darasa la 3 Kuna siku tulilewa sana nimelala usiku mkubwa nikashtuka nikakuta tumefungiwa mlango wa chumbani kwa nje maana tulipopanga tulikuwa na chumba na…
Nimeanza Kuamini Umri na Elimu, kuna Wakati ni Vitu vya Kuzingatia Hello Kaka Spesho Nakufuatilia sana nimeona mtu ana tatizo Kama langu nami nikaona nisikae kimya Binti Nina miaka 25 Nampenda Mungu Sana,Huyu mkaka nilikutana Nae mwaka 2022 alinipenda Sana Lakini Mimi kwa wakati huo sikuwa nawaza habari za Mahusiano Wala Nini…. Nikampotezea kabisaa tukawa marafiki Watumishi wa Mungu anampenda Mungu Sana na Mimi pia vivyo hivyo. Katika kipindi chote hicho Sikuwahi kujua umri wake Elimu yake wala kazi yake ni mtu anaficha Sana vitu vyake Basi sikuona shida kabisaa… Aliendelea kunifuatilia Sana akitaka anioe me sikuwa tayari Kuna wakati…
Nilipogonga Mlango, Alitoka Mwanaume, Akiwa Amejifunga Khanga Ya Mke Wangu Ndugu mabibi na mabwana habarini za Leo kwa jina naitwa Lameck nina umri wa miaka 40 ni baba wa watoto wawili mwaka 2007 nilinunua eneo langu nikajijengea kijumba changu nikahamia na mwaka 2008 nikapata mchumba na mwaka 2009 nikafunga ndoa kanisani maaana tuliokoka na mimi na mke wangu tukaanza maisha ya ndoa kwenye kile kibanda changu alichokuta nimekijenga na mwaka 2010. Tulipata watoto wetu wawili hawa ni mapacha ambao kwasasa wapo fom one tuliendelea na maisha ya ndoa tukiwa na maisha ya kawaida tu mimi sikuwa na kazi maalum ila…
Nilimsaidia Pesa Apate Pasipoti, Kafika Ulaya Kasema Hanitaki Mimi nina mpenzi wangu ambae ndani ya mwaka mmoja hadi sasa tulipitia changamoto nyingi sana alikua anafanya shughuli ndogo ndogo. Lakini kwakua alikua anayo passpot akaniomba nimsapoti pesa ili aweze kupata safari ya kwenda nje kufanya kazi. Nilijitahidi sana hadi tulifanikiwa na Mungu alibariki akaondoka lakini ahadi yetu ilikua nikuoana baada ya wiki moja. Kupita nakaingia katika mtandao wa kijamii Nilikuta mpenzi wangu amepost picha za mwanamke mbili akiwa ameandika majina ya kimahaba niliumia sana baada ya kumtumia zile picha akujibu chochote kile siku tatu kupita niliamua kumuliza kwani umeyafanya yote haya…
Mkaka Mmoja Aliniambia, Mbona Unanuka Kama Maiti Iliyooza Mimi ni msichana mwenye umri 25. ukiniangalia unaweza sema siteseki lakini ukweli Kuna mambo yalikuwa yananiumiza sana moyo . Kuna changamoto niliipata toka 2024 nilikuwa ni mtu wa ndani TU siyo kwamba naumwa hapana ila Kuna hali TU ilitokea ilianza kama utani.. Ya kunuka yaani blaza nakwambia kunuka tena unakuwa unanuka TU Kwa wakaka ,Nakumbuka siku moja wakati nimepanda daladala nimekaa na mkaka pembeni naona mtu anashika pua Kila muda huku akiniangalia na kusonya , hata sikuwaza coz najua mimi nimeoga na nimepaka perfume nikawa najiamini … Ile hali ikawa ikiendelea Kila…
Nilivyofanywa Kirahisi Ndani Ya Daladala Hadi Nikajidharau MIMI MWENYEWE IMEBIDI TU NICHEKE TU Dada, mida ya saa mbili kasoro Jana nikiwa kwenye dalala natoka kazini, nilijikuta naingiliwa kirahisi sana na mkaka ambaye alikuwa kasimama nyuma yangu hata simjui. Yani hata sijui hata nielezeeje, Daladala ilikuwa imejaa nikawa nimesimama halafu nyuma yangu akawa amesimama mkaka sikuwa na hofu Kwa sababu alionekana ni mkaka mstaarabu halafu mbele yangu akawa yupo mdada, kadri daladala ilivyokuwa inazidi kusogea wakawa wanazidi kuingia watu tukajikuta tumebanana, hapo ndo shida ilipo anzia yule kaka akaanza kuwa ananishika shika namtoa Mkono, mwisho sijui nilipitiwa na nini nikajikuta nafanywa…
Ndege Yatoa Mlipuko Mkubwa Wakati Maadhimisho Ya Uhuru Kenya Chanzo: KENYANS WEBSITE Wakenya kadhaa waliachwa na hofu mnamo Ijumaa, Desemba 12, baada ya ndege za Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) kuruka chini vibaya wakati wa sherehe za 62 za Jamhuri katika Uwanja wa Kitaifa wa Nyayo. Tukio hilo liliwaacha watu wengi, akiwemo Rais William Ruto na viongozi wengine mashuhuri, kuingiwa na hofu kutokana na maonyesho ya kishindo ya ndege ya kivita ya Kenya Airforce. Wakati wa harakati hizo zisizo za kawaida, ndege za kivita zilifanya uharibifu kwenye njia yake ya ndege karibu na uwanja huku madirisha ya nyumba kadhaa…
Mke Wangu Alimuua Mwanangu, Nikamtetea Asifungwe, Leo Najutia Mimi nilifiwa na mke wangu kipindi anajifungia ila mtoto yeye alibaki, mtoto tulimlea Kwa shida sana nikisaidiana na mama yangu na ndugu zangu hasa dada zangu mpaka akakua. Baada ya miaka mitano niliamua nioe mwanamke mwingine, Sasa nilivyo muoa akawa anasema siyo vizuri yeye awepo halafu mwanangu aendelee kuishi Kwa mama yangu mzazi, baada ya kuona anasisitiza hicho kitu niliona acha tu nikamchukue mtoto aje tuishi naye. Mwanzoni mtoto aliishi vizuri tu, shida ilianzia pale mke wangu alipo pata mtoto wakwake, ndo nikaanza kuona mabadiliko Kwa mwanangu, mtoto alianza kuwa mnyonge sana,…
Ni Mfumo Uko Hivyo, Au Mimi Ndio Sielewi? Jamani wadau naombeni mnisaidie majibu yenu hapa kuhusu nitakachokieleza hapa huenda mimi ni sina elimu na haya mambo ya mtandao au sielewi! Maana ukipata jambo ulilete kwa wadau harafu watakusaidia majibu wenye uelewa wao,! Katika maisha yangu nimeumizwa sana na kitu mapenzi kuna muda nilikuwa sitamani hata kuyasikia katika masikioni mwangu kutokana na nilivyoteseka na hili janga! Mimi nina watoto wangu wawili alhamdullillah mwenyezi Mungu amenijaalia nashukuru, sasa habari iko hivi kuna mchumba nilimpata akasema anataka kunioa wala hana mpango wa kunichezea kabisa maana alipo toka huko hata yeye ameumizwa vibaya mno…
