MATESO YANGU: KUANZIA TUMBONI, KUZALIWA, KUSOMA, HADI SASA Sehemu Ya Pili Asubuh mapema afajiri tulikuwa tumefika kwa mtaalam huyo alizungumza na yule mfasiri tuliye mtafuta malawi na kafwata yule tulietoka nae Njombe ili kumfikishia bibi kile kinachozungumzwa na mtaalam bibi alitoa kiasi cha pesa japo sikumbuki ilikuwa kiasi gani tulianza safari siku ileile kurudi bibi alimlipa mfasiri wa kimalawi na akatutakia kila lakher tukafika kyela muda kama wa saa mbili usiku hatimae siku yapili tukafika Njombe salama salimini kwakuwa tulifika usiku pia tulilala wakati hu mama tulikuwa tukiishi nae pale kwa bibi akiwa katika hali ileile. Bibi aliniambia tukaokote kuni…
Author: Raha Special
MATESO YANGU: KUANZIA TUMBONI, KUZALIWA, KUSOMA, HADI SASA Hadithi Ya Kweli Sehemu Ya Kwanza Naitwa Nasri mzaliwa wa Njombe kama ilivyo ada watoto husimuliwa na Jamii au wazazi maisha ya wazazi wao kabla ya kupatikana kwao(watoto). Mimi pia ni miongoni mwa waliosimuliwa maisha ya wazazi yalikuwaje. Baba na mama yangu walikutana katika chuo cha ualimu sumbawanga miaka mingi iliyopita baada ya kuhitimu elimu ya ualimu bahati nzuri waliajiriwa kituo kimoja wakapata watoto wawili Me na Ke pia walijenga nyumba ya kisasa kwa wakati huo kila mmoja wa wana kijiji walitamani jengo hilo ambalo limejengwa kwa mishahara ya baba na mama….…
SAFARI YANGU YA MAPENZI: KUTAPELIWA, KUCHEZEWA, NA HATIMAYE KUPATA MUME WA KWELI Hadithi Ya Kweli EPISODE 1 – 4 Kusoma hadithi, bonyeza hizi link hapa chini: SAFARI YANGU YA MAPENZI 1 – 2 SAFARI YANGU YA MAPENZI 3 – 4
SAFARI YANGU YA MAPENZI: KUTAPELIWA, KUCHEZEWA, NA HATIMAYE KUPATA MUME WA KWELI .. Sehemu Ya Tatu MTOTO WA KISHUA ALIYENIFANYA NIHISI NIMEPATA MUME WA KWELI Baada ya kuumizwa na mwanaume wa kazini, nilijikuta nikivutwa na mwanaume mwingine tofauti kabisa—mtoto wa kishua.Alikuwa mdogo kwangu kiumri, lakini alijua kupenda. Alikuwa na pesa, alinitreat kama malkia, na alinipa uhakika wa maisha mazuri. Tulikuwa na mahusiano ya kifahari—dinner kwenye hoteli kubwa, vacations, na shopping za gharama.Kwa mara ya kwanza, nilihisi kuwa labda huyu ndiye mume wa ndoto zangu. Alionyesha upendo wa dhati na alionekana kama mtu aliyekuwa tayari kujenga familia na mimi.Lakini, baada ya…
SAFARI YANGU YA MAPENZI: KUTAPELIWA, KUCHEZEWA, NA HATIMAYE KUPATA MUME WA KWELI Hadithi Ya Kweli .. Sehemu Ya Kwanza MCHEZO WA MAPENZI NA MUME WA MTU Nilipofikisha miaka 27, nilianza kuhisi shinikizo kubwa la kupata mume. Marafiki zangu wengi walikuwa tayari wameolewa na baadhi yao walikuwa na watoto. Nilihisi kama muda wangu ulikuwa unaisha. Kwa hiyo, nilianza kujaribu njia mbalimbali za kukutana na wanaume—kwenye mitandao ya kijamii, dating sites, na hata kupitia marafiki wa karibu.Ndipo nilipokutana na mwanaume kutoka Johannesburg, South Africa, kwenye dating site. Alikuwa tajiri sana, alinipa hela nyingi na hata aliniwekea flights kwenda kumtembelea. Maisha yake yalikuwa…
TULICHOMFANYA YULE MCHAWI HATAKUJA KUSAHAU KAMWE – FULL STORY Hadithi Ya Kweli EPISODE 1 – 25 Kusoma hadithi, bonyeza hizi link hapa chini: TULICHOMFANYA YULE MCHAWI HATAKUJA KUSAHAU KAMWE 1 – 5 TULICHOMFANYA YULE MCHAWI HATAKUJA KUSAHAU KAMWE 6 – 10 TULICHOMFANYA YULE MCHAWI HATAKUJA KUSAHAU KAMWE 11 – 15 TULICHOMFANYA YULE MCHAWI HATAKUJA KUSAHAU KAMWE 16 – 20 TULICHOMFANYA YULE MCHAWI HATAKUJA KUSAHAU KAMWE 21 – 25
TULICHOMFANYA YULE MCHAWI HATAKUJA KUSAHAU KAMWE SEHEMU YA 21 Safari ikazidi kusonga kuelekea kusiko julikana.Ilikuwa muda wa usiku sana na giza lilikuwepo kiasi,kiasi fulani kulikuwa na nuru ya mbala mwezi.Tulitembea tukiwafuata wale watu ambao mpaka wakati huo hawakufahamu kama tulikuwa nyuma yao!.Sasa kuna mahali walifika yule wa mbele akampatia mwenzie aliyekuwa nyuma ishara ya kwamba inapaswa wasimame,waliposimama pale kwa muda ndipo kuna watu wengine ambao nilipowahesabu walikuwa ishirini,sasa ukijumlisha na wale wa lile kundi la kwanza ambao walikuwa wa tano akiwemo Headmaster pamoja na Ema,jumla yao ilifanya kundi lote la watu kuwa ishirini na tano.Basi ndipo nikamuona yule mzee Makono…
TULICHOMFANYA YULE MCHAWI HATAKUJA KUSAHAU KAMWE SEHEMU YA 16 Nilifungua ule mlango ulokuwa umefungwa kwa komeo nikatoka nje na kuanza kukimbia kama mwendawazimu.Niliingia kwenye shamba la jirani na hapo kwao Monica lililokuwa na mahindi madogo saizi ya magoti kisha nikalala chini!.Nilishindwa kuelewa mpaka muda huo binti Monica atakuwa yupo wapi maana mlango haukufunguliwa na yeye ndani hakuwepo!.Sasa nilinyamaza kimya ili kuona ni kitu gani kilikuwa kinaendelea.Baada ya kama dakika 20 hivi,nikawa nasikia sauti ya Monica ikiniita kuashiria kunitafuta,mimi niliendelea kukaa kimya huku nikichukua tahadhari na nilidhani uenda asiwe Monica nikaingia chaka!.Kwa mbali niliona ule mlango wa ile nyumba unagunguliwa mtu…
TULICHOMFANYA YULE MCHAWI HATAKUJA KUSAHAU KAMWE SEHEMU YA 11 Safari mpya ya maisha ilianza rasmi pale nyumbani baada ya Maza mdogo kuja,kabla hajaja kutoka mjini tuliishi kwa kujiachia kama vile tupo mamtoni na tulikula na kunywa tutakavyo,lakini sasa yale maisha ya mwanzo yakatoweka,kula nyama ya kuku tena ilikuwa muujiza uliohitaji Mungu mwenyewe kuingilia kati!,kuku wale wa wikiendi walikuwa wakisafirishwa kupelekwa mjini na sisi hapo nyumbani kula Kayabo wa chukuchuku bila viungo,ilifikia sehemu ukila mboga iliyoungwa kwa mafuta na nyanya unamshukuru Mungu kwa muujiza wa kipekee!.Kuku alipopikwa mimi na Ema vyetu ilikuwa ni miguu,shingo na kichwa na tunyama twa kuzugia kama…
TULICHOMFANYA YULE MCHAWI HATAKUJA KUSAHAU KAMWE SEHEMU YA 6 Haukupita muda ba’mdogo akawa amerudi ndani na kusema amejaribu kutazama kila pembe ya lile jiko hakuona mbuzi.Sasa tukawa tunajiuliza yule mbuzi alikuwa akilia mle ndani ya jiko au alikuwa akililia nje?,mashaka na hofu viliendelea kutawala sana.”Naona hawa wajinga wanataka tena kurudia mambo yao” Alisema ba’mdogo.”Hizi dalili siyo nzuri kabisa za kuendelea kuishi hapa,haya mambo yalinitesa sana kipindi fulani ila yalikoma,naona sasa yanaanza kurudi” Aliendelea kusema.Tulikaa macho kiasi kwamba mpaka kukapambazuka mida ya saa 11 alfajiri.Sasa Ema nae akawa anajigeuza geuza akiugulia maumivu ya kipigo alichokuwa amepokea usiku.Ilipofika mida ya saa 1…
TULICHOMFANYA YULE MCHAWI HATAKUJA KUSAHAU KAMWE Hadithi Ya Kweli SEHEMU YA 1 Miaka ya fulani baada ya kumaliza shule ya sekondari,niliamua kwenda kumsalimia Ba’mdogo aliyekuwa mkuu wa shule fulani ya sekondari hapo kwenye hicho kijijini.Wana kijiji walikuwa wakimpa heshima kubwa Ba’mdogo kwasababu wanafunzi wote waliosoma kwenye ile shule walifaulu kuendelea na elimu ya Sekondari ya upili(Advance),japo shule ile ilikuwa ya kata na kwa mwaka ule nilienda mimi ilikuwa imefaulisha kwa awamu ya kwanza,yaani toka hiyo shule ianzishwe wanafunzi waliokuwa wamefika kidato cha ilikuwa tayari ni mara moja,hivyo nilipofika mimi wale nilowakuta ndo walikuwa wa awamu ya pili.Sasa kwa mwaka ule…
USIROGWE UKAONDOKA NYUMBANI NA KWENDA USIPOPAJUA KWA KIGEZO CHA KUTAFUTA MAISHA – FULL STORY Hadithi Ya Kweli EPISODE 1 – 7 Kusoma hadithi, bonyeza hizi link hapa chini: USIROGWE UKAONDOKA NYUMBANI NA KWENDA USIPOPAJUA 1 – 3 USIROGWE UKAONDOKA NYUMBANI NA KWENDA USIPOPAJUA 4 – 7
USIROGWE UKAONDOKA NYUMBANI NA KWENDA USIPOPAJUA KWA KIGEZO CHA KUTAFUTA MAISHA SEHEMU YA NNE Ilipoishia,Basi ikabidi hela ya field ilipoingia takribani laki sita nimpe yote jamaa, Alafu mimi ntajua ntaishije, nitaendaje huko field na pia ntarudi vipi nyumbani,,,,,, mzee usiombe yakukuteEndelea,Tukamaliza UE, chuo kikafungwa watu wakasepa zao makwao, wengine kwenye mikoa waliyoomba field, mzee mzima nipo bado sina muelekeo, Mfukoni sina hata coin, Daah ntafanyaje sasa, ila uzuri ni kuwa niliomba field makampuni mbali mbali ya hapo hapo Dar, Mungu saidia nikapata kampuni mmoja maeneo ya Temeke, Fine ila sasa nauli ya kwenda huko napataje, ntaishi wapi nitakula nini, ukisikia…
USIROGWE UKAONDOKA NYUMBANI NA KWENDA USIPOPAJUA KWA KIGEZO CHA KUTAFUTA MAISHA Hadithi Ya Kweli SEHEMU YA KWANZA Nilizaliwa mwishoni mwa miaka ya themanini katika kijiji cha chabutwa wilaya ya Sikonge mkoa wa Tabora, nilifanikiwa kupata elimu yangu ya msingi hapo kijijini, shuleni nilikuwa vizuri sana, si walimu tu bali hata wanafunzi walinipenda. Familia yetu ilikuwa ya maisha ya kawaida sana kwani baba na mama wote ni wakulima wadogo wadogo tu, kwetu tulizaliwa wawili tu mimi na mdogo wangu wa kiume.Basi baada ya kumaliza shule ya msingi nilichaguliwa kujiunga na shule ya skondari Chabutwa iliyopo pale katani. Kwa vile nilikuwa John…
NILIYOYAONA NYUMBANI KWA RAFIKI YANGU KIPINDI NASOMA Niliwahi kwenda kutembea nyumbani kwa rafiki yangu kipindi nikiwa shule ya msingi. Tulikuwa tumemaliza vipindi vya mchana na kwa vile hakukuwa na kazi nyingi shuleni siku hiyo rafiki yangu alinialika kwao. Nilipofika nilivutiwa sana kwao kulikuwa pazuri pamepangwa vizuri na kulikuwa na bustani yenye maua ya kuvutia. Ilikuwa mara yangu ya kwanza kufika huko na nilihisi furaha ya kipekee.Tulicheza, tukacheka, na tukapiga stori za kitoto mpaka jioni ilipokaribia. Ghafla nikiwa nipo kwao kabla sijaludi nyumbani mvua kubwa ilinyesha kabla sijajitayarisha kurudi nyumbani. Rafiki yangu na familia yake walinikaribisha nikae hadi mvua iishe pia…
BODA BODA ALIVYOKUWA ANAMBAKA MWANANGU WA MIAKA SITA, WAKATI AKIMPELEKA SHULE Binti yangu ana umri wa miaka sita na yuko katika darasa la kwanza. Tunaishi umbali wa kilomita moja kutoka shuleni kwa hivyo kila siku Okada mwanaume ambaye tumezoeana naye humpeleka shuleni na kumrudisha nyumbani mchana kwa sababu mimi na mume wangu tunafanya kazi na tunatoka nyumbani mapema, mara tu baada ya kwenda shule. Siku moja nikiwa kazini nilipokea simu kutoka kwa mwalimu wake wa darasa akiniomba nijisaidie huko haraka iwezekanavyo. “Nini kimetokea kwa Angel?” nilihoji kwa wasiwasi. “Hakuna cha kuogopa, hakikisha unakuja kabla hatujaachana kwa siku hiyo.” Bila shaka…
MWANAUME ALIRUHUSIWA NA MKE WAKE KUCHEPUKA, TAZAMA KILICHOTOKEA Kwasababu mkewe alikuwa katika kipindi cha kulea na alifanyiwa upasuaji wakati wa kujifungua .Mkewe siku moja alimuonea huruma mumewe baada kuona majipu na chunusi kumtoka usoniMke Akamwambia mumewe, mume wangu mpenzi, najua jinsi gani unaumia na kuvumilia kutokana na Hali yangu jinsi ilivyo..Nakuomba chukua hii 1k tembea tembea kidogo mtaani upunguze uzito lkn kumbuka kutumia kinga , Nakupenda mme wangu…. mmmwaaa mmmwaaa Mumewe alimshukuru mkewe , akapokea Ile hela akaondoka zake..Lakini baada ya lisaa limoja na nusu mme wake akarudi nyumbani .MAONGEZI YAO YAKAWA KAMA IFUATAVYO:-MKE: mmm Mara hii umerudi mme wangu?? Kwa Kweli…
MAMA MKWE ALIYEWAPIMA WAKWE ZAKE KUONA HURUMA YAO IKOJE Mama mkwe mjanja aliamua kuwapima wakwe zake watatu kwa mpango wa hila. Alitaka kuona ni kwa kiasi gani walikuwa na mioyo ya huruma, hivyo akaandaa tukio la kubuniwa. Kwanza, alikwenda kutembea kando ya mto na mkwe wake wa kwanza. Wakiwa katikati ya matembezi, alijifanya kuteleza na kuanguka majini, akipiga mikono kana kwamba anazama. Bila kusita hata kidogo, mkwe wa kwanza akaruka majini na kumwokoa. Asubuhi iliyofuata, alipoamka, alikuta gari jipya aina ya Toyota Corolla limeegeshwa nyumbani kwake na ujumbe ulioambatanishwa:“Kutoka kwa mama mkwe wako mpendwa.” Siku iliyofuata, alijaribu ujanja uleule na…
KIBURI CHANGU KIMENIPONZA Wanandoa, niandikapo meseji hii nalia. Nawaomba msifanye makosa kama yangu. Kama mmegombana hakikisheni mnapatana kabla jua halijachwa. Msimpe Ibilisi nafasi.Kilichotokea ni kwamba asubuhi ya siku ya tukio, tulikuwa tunakunywa chai na mke wangu mezani. Nikamuomba anipakie mkate wangu siagi lakini namna alivyokuwa anapaka sikupenda na nikajikuta nimemfokea kwa sauti ya juu.”Weeee acha kunivimbia mimi unampandishia nani sauti ? Kama unaona napaka vibaya si upake mwenyewe?” Alinijibu kwa hasira.(Niliinuka nikifyonza) “Haya kunywa hiyo chai yako sili na huo mkate wako sio lazima””Utajiju”. Alinijibu nami nikaondoka zangu kwenda kazini.Niliporudi nilimkuta kakaa sebuleni ila kiburi changu kikaniambia usimsemeshe, mkomeshe hadi…
Peter Mbugua: Kijana Wa Miaka 25, Aliyeoa Mwanamke Wa Miaka 67, Tazama Kilichotokea Story Ya Kweli Chanzo: muranganewspaper.co.ke, NTV Kawaida katika jamii ni kwamba wanaume huchumbiana au kuoa wanawake wachanga na wanawake huchumbiana au kuolewa na wanaume wazee. Lakini simulizi imebadilika. Wanawake wakubwa wanaochumbiana na wanaume vijana. Wanawake hawa kwa kawaida huwa na umri wa miaka 40 na kuendelea, na wako vizuri kifedha, na wanahitaji kupendwa, kimwili na vinginevyo, jambo linalowafanya wavutiwe sana na idadi inayoongezeka ya vijana wa kiume ambao wangependelea kuwekwa badala ya kufanya kazi ili kujipatia riziki. Wanasema kila mtu ana haki ya kumpenda amtakaye. Pamoja na…
UTAJIRI WA MASHARTI UNAVYOMTESA RAFIKI YANGU Nina rafiki yangu tulisoma wote “O Level” shule Fulani, Baadae Tukaachana Mimi Nikaja mkoa X na Kupiga Mishe zangu yeye Akabaki Mkoa Y. Baadae ikibidi nirudi mkoa Y kuwapa Hi maskani nakuta rafiki yangu ana mabadiliko ya kimaendeleo sana.Nikakuta Jamaa Kajenga kanunua usafiri mzuri, pamoja na Hilo ana Gari 3 aina FUSO, ana HardWare kubwa, Pikipiki Si Chini ya 9 Kawapa Vijana Jioni Wanaleta Hesabu.Mwanzoni alikuwa hana mishe kubwa zaidi ya Kuendesha TAX na TAX pia Haikuwa Yake, Kwahio Yeye Alikuwa Anapeleka Hesabu.Katoboa maisha ndani ya muda mfupi sana nikamuuliza ni mishe mishe hizi…
NILIBAKWA NA BABA KISA UTAJIRI Mwalimu Special, mimi ni binti wa miaka 19. Naomba ufiche jina langu la Facebook na namba yangu ya simu(Imezingatiwa). Nahitaji ushauri Kama binti yenu, mdogo wenu na wengine ni rafiki zangu. Kama utaweza kunishauri wewe kama wewe itapendeza lakini ukinipostia kwenye ukurasa wako itapendeza zaidi ikiwezekana nipate Msaada wa kisheria pamoja na ushauri wa Kisaikolojia maana kiukweli sijielewi kwa sasa kwasababu ya maumivu niliyosababishiwa. Baba yangu mzazi,sio wa kambo hapana ni baba yangu mzazi kabisa. Alinibaka miezi mingi iliyopita,ilikuwa siku ya jumamosi,alitoroka dukani kwetu Kariakoo na kumuacha mama huko.Alipofika nyumbani mtaa wa Masaki,alimtuma House girl…
NIMEONA UCHI WA MAMA WA RAFIKI YANGU Wakuu, Kwa masikitiko makubwa sana naleta hii story. Nimemtembelea rafiki yangu ambae aliniambia yuko likizo nyumbani kwao, sasa nimefika nikapiga hodi hakuna aliyeitikia, nikaamua kukaa nje tu pale nisubiri wahusika waje, huyu jamaa kwao wanatumia bafu la nje,nikaona mlango wa bafu unafunguliwa, mama wa jamaa akatoka akawa kama anajifunika kanga hivi vizuri nikaona uchi wake. Huyu mama kiumri ni mtu mzima huenda akawa na miaka 60+. Alivyoniona akaniambia tu kyanyangwe mwanangu hujambo nami nikazuga ka sijaona k yake nikawa namsalimia kwa adabu zote. Huu utupu wake kuuona umeniacha na mawazo sana kwa kweli…
NIMEDATE NA DEMU WA RAFIKI YANGU, NIMEKUTA BADO BIKRA “I’m sorry,Kuna msichana alikuwa na mahusiano na rafiki yangu kwa muda wa miaka kama mitatu hivi hadi sasa.Lakini wiki tatu nyuma katika hali ya kutaniana nikamtongoza. Kiutaniutani akakubali na kweli akaja geto na nikafanikiwa kula tunda.Ila kilichonishangaza nimemkuta demu bado hajawahi kabisa kuguswa. Nimekuwa wa kwanza kutoq usichana wake.Mwenyewe amenithibitishia kwamba ni kweli hajawahi kufanya chochote na rafiki yangu kwa miaka yote hiyo mitatu tangu waanze kuwa kwenye mahusiano.Anasema kwamba walipeana ahadi wasifanye chochote hadi siku wakija kufunga ndoa na kuishi pamoja kama mke na mume.Majuzi hapa jamaa tayari ameshapeleka posa…
MKASA WANGU WAKATI NAUTAFUTA UTAJIRI Miaka hiyo nikiwa ni kijana mwenye nguvu, walikuja kijijini kwetu jamaa wawili wameongozana na MZUNGU. Muda wote MZUNGU yuko kimya tu, zaidi ya salamu yake ya Jambo Toto, hata wazee aliowakuta aliwasalimia hivyo.Jamaa wakatoa photo album iliyokuwa na picha ya vitu kadhaa walivyokuwa wanavitafuta. Kulikuwa na picha ya pasi ya mkaa ya Shaba nyekundu, mkuki wenye kichwa (ncha ya DHAHABU), sarafu ya Rupia ya Ujerumani, gudulia la kuhifadhia maji lenye rangi ya bronze na vitu vingine vingi.Basi wazee wetu wakaziangalia zile picha na wanakubaliana kwamba ni KWELI hizo Mali ZIKO msituni pale kijijini kwetu.Kimbembe kikaanza…
KIJANA ALIYECHUKIA UMASIKINI NA KUSAKA UTAJIRI Ni stori ya kweli ya kimaisha ya namna nilivyopata utajiri wangu.. Nimezaliwa kwenye familia masikini sana,na nauchukia umasikini, home tulikua tunaweza kupitisha siku nzima bila kula,au tunapiga pasi ndefu tunakula usiku tu.Nilipomaliza la saba kwa shida sana,ikabidi nianze heka heka kutafuta maisha.Piga sana spana gereji,piga sana saidia fundi,nimehangaika sana.Nikakimbilia Dar kwa kuunga unga hivyi hivyo.Kufika Dar life lilikua gumu sana,ikawa nalala tu mitaani yaani nilikua chokoraa proper.Katika gang niliyokwepo ikatokea jamaa akasema kuna mchongo Mererani huko machimboni, tukaenda.Kufika Mererani life lilikua gumu zaidi, ni hatari kule nikawa ‘nyoka’, ni kazi ya hatari sana ile…
MKE WA RAFIKI YANGU ANANITAKA ILI ALIPE KISASI KWA MUME WAKE Ndugu zangu Moja Kwa Moja kwenye mada, nina mshikaji tumeshibana ki mtindo Japo mm nina mapungufu na yeye pia anayo ila tumechagua kusonga kama washikaji. Umri wetu ni 28+.Mwamba alianza ku date na rafiki wamke wake ambaye ni jirani yake, kama mjuavyo mapenzi yalivo na nguvu ilikua ni ngumu kuyaficha, hatimaye yakafichuka mke (shemeji) akajua bahati mbaya mwamba kanogewa.Harakati za mke wake kutaka kuwatenganisha zikagonga mwamba, jamma Kila nikimuasa aachane na bi mdogo abaki na mke jamaa anadai kumuacha mtu wake ni ngumu maana anapata mapenzi matamu zaidi ya…
NILIMSABABISHIA MATESO MKE WANGU Mkurugenzi mkuu wa ”Merumba Group”alikuwa ofisini kwake akimsimulia binamu yake Richard mkasa uliomkuta miaka miwili iliyopita. “Kuna mdada mrembo sana alikuja ofisini kwangu hapa na kuniambia,,,,,,,.” “Samahani bosi.” “Bila samahani nikusaidie nini?” “Naomba unisaidie kupata ajira.” “Ajira gani?” “Nikupikie ,nikufulie,nikunyooshee nguo,nikufagilie nyumba,nikuoshee vyombo,nikutandikie kitanda,nikuogeshe na kadhalika.” “Ehee makubwa!Si useme unataka kuwa mke wangu ,naona kazi zote ulizozitaja zinafanyika nyumbani na hapa ni ofisini kulikoni?” Yule mrembo kilio kikamtoka kikiambatana na machozi na kutamka :– “Siyo mimi ndo nataka kuwa hivyo ila ni maisha ndiyo yanataka hivyo.Nilimaliza chuo kikuu Mzumbe mwaka 2005 na kutunukiwa shahada ya kwanza…
BIBI HARUSI KIKOJOZI Salvatory alikuwa akikatiza kwenye Korido ndefu ya bweni la Mango,shule ya sekondari ya watakatifu Rufino na Rinaldo iliyoko wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma.Alisimama ghafla,uso wake ulimvimba kwa gadhabu.Jasho jembamba lilimchuruzika katika paji lake la uso,japo hakukuwa na joto kali kiasi la kusababisha jasho kumtiririka usoni kama bomba la kijiji.Chanzo cha yote hayo!Ni hasira alizonazo dhidi ya kijana aliyekuwa amekutana naye uso kwa uso koridoni. “Nimetoka chumbani sasa hivi,lakini haujanifulia shuka langu moja!Una akili kweli wewe?” “Hapana kaka,sio kwamba sikufulii.Nilichukua shuka lako moja nikufulie,halafu lingine nimalizie muda huu maana hata mimi nilikuwa na lundo la nguo zangu nyingi.Hivyo…
ZAWADI YA MCHAWI Onua alikuwa ametoka tu kuhamia katika nyumba ya kifahari Jijini pamoja na mumewe Ekene. Walifunga ndoa wiki chache zilizopita na ilibidi wahamie kwenye nyumba kubwa kwa familia yao mpya. Alipamba nyumba nzima kwa ukamilifu jinsi alivyofikiria kuwa nyumba yake ingekuwa. Hakuweza kusubiri kuanza kulea watoto na mumewe. Wikiendi hiyo, Onua alipokuwa amejipumzisha kwenye kochi sebuleni, wakitazama kipindi walichokipenda cha televisheni, walisikia mlango wao ukigongwa. Onua na Ekene walitazamana kwa sura ya mshangao. Huyo anaweza kuwa nani? Ekene aliuliza. Je, umewaalika marafiki zetu tayari? Hapana mpenzi, tumehamia sasa hivi. Sikualika mtu yeyote, Onua alijibu, lakini wacha nione ni…
MWALIMU SITAKUSAMEHE – FULL STORY ❌ Simulizi hii ni ya kikubwa wewe mdogo usisome EPISODE 1 – 35 Kusoma hadithi, bonyeza hizi link hapa chini: MWALIMU SITAKUSAMEHE 1 – 5 MWALIMU SITAKUSAMEHE 6 – 10 MWALIMU SITAKUSAMEHE 11 – 15 MWALIMU SITAKUSAMEHE 16 – 20 MWALIMU SITAKUSAMEHE 21 – 25 MWALIMU SITAKUSAMEHE 26 – 30 MWALIMU SITAKUSAMEHE 31 – 35
NILIBAKWA NA WANAUME WATATU SIKU YA HARUSI YANGU Mkasa Wa Kweli Chanzo: BBC Terry Gobanga ni Kasisi, Mke na mama wa watoto wawili aliyezaliwa mjini Nairobi nchini Kenya japo makao yake kwa sasa ni nchini Marekani katika jimbo la Texas. Terry Gobanga – wakati huo akijulikana kama Terry Apudo – siku iliyoandaliwa kama ya harusi yake jamaa na marafiki walifika wakimsubiri bibi harusi ambaye ni Terry lakini hakuonekana wala hakuna aliyejua aliko. Hakuna aliyedhani kuwa alikuwa ametekwa nyara, akabakwa na kisha kuachwa kama mzoga barabarani kilomita kadhaa kutoka nyumbani kwao. Ni matukio ambayo yalibadilisha kabisa maisha ya Terry. Hivi leo…
NILIKATAA KUBAKWA, WAKANISHUSHA PORINI, NIKALIWA NA FISI Mkasa Wa Kweli Chanzo: BBC Irene Mbithe mwenye umri wa miaka 27 ni mtoto wa kwanza kati ya watoto sita katika familia yake kutoka Machakos. Irene ni mmoja wa wale ambao maisha yao yalivurugika alipovamiwa na fisi, ambapo anasimulia jinsi alivyopoteza mkono wake, na jicho katika shambulio baya baada ya madereva wa lori kumshukisha njiani usiku wa manane katika hifadhi ya mbuga ya wanyama alipokataa wamnyanyase kingono. Wakati huo alikuwa na umri wa miaka 19 na maisha magumu ya nyumbani yalimlazimu kuanza kutafuta ajira na mapema ili awasaidie wazazi wake. Alifanikiwa kupata ajira…
MAMBO KUMI USIYOYAFAHAMU KUHUSU WANAWAKE WALIOKO KWENYE NDOA! 1. Ukimya unaashiria ana zaidi ya hasira (amekasirika sana), kuwa makini. Kwahiyo, iwapo umemkosea mke wako au mwanamke uliyenaye kwenye mahusiano na yuko kimya, kuwa makini tambua anaweza kupanga mipango ya hatari ya kukudhuru wewe au yeye mwenyewe. 2. Anatambua harufu yako! Harufu yako anaifahamu, utakapojaribu kumsaliti au kupaka mafuta yeyote yasiyo toka nyumbani au kukumbatiana na yeyote. Tambua kuwa, mke wako atajua tu! 3. Anatambua mavazi yako,viatu vyako na nguo zako za ndani. Vyote unavyovaa kwenye mwili wako anavifahamu. Chochote kipya ambacho utapokea kama mavazi au kukinunua pasipo kumshirikisha jiandae kujibu…
UGALI WA BUKU JERO ULIPELEKEA NITOLEWE BIKIRA ZOTE NA WANAUME WATATU KWA WAKATI MMOJA – FULL STORY Mkasa Wa Kweli EPISODE 1 – 22 Kusoma hadithi, bonyeza hizi link hapa chini: UGALI WA BUKU JERO ULIPELEKEA NITOLEWE BIKIRA ZOTE MBILI 1 – 4 UGALI WA BUKU JERO ULIPELEKEA NITOLEWE BIKIRA ZOTE MBILI 5 – 8 UGALI WA BUKU JERO ULIPELEKEA NITOLEWE BIKIRA ZOTE MBILI 9 – 12 UGALI WA BUKU JERO ULIPELEKEA NITOLEWE BIKIRA ZOTE MBILI 13 – 17 UGALI WA BUKU JERO ULIPELEKEA NITOLEWE BIKIRA ZOTE MBILI 18 – 22
UGALI WA BUKUJERO ULIPELEKEA NITOLEWE BIKIRA ZOTE NA WANAUME WATATU KWA WAKATI MMOJA Namba 18 Tuliishia pale Esta na David walipokuwa mbezi beach, Ndipo Mido akapiga na kumuambia binti aende nyumbani mama yake anamuhitaji. Endelea Ilibidi tuondoke na David alinipeleka mpaka nyumbani, lakini yeye aliishia getini, mi nikaingia na yeye akaendelea na safari zake. Nilipofika nilimkuta mama akiwa amekaa sebuleni anaangalia kipindi cha nyimbo kwenye channel moja iitwayo TUMAINI TV, nikamuamkia “Mama shikamoo” Ndipo akanigukia na kunijibu “Marahaba, usharudi haraka tu hivi??” aliniuliza nikashangaa kidogo kwamba kwani si nimeambiwa nirudi kwa sababu yeye alikuwa ananihitaji. “Nimerudi, si ulisema nirudi mama??”…
UGALI WA BUKUJERO ULIPELEKEA NITOLEWE BIKIRA ZOTE NA WANAUME WATATU KWA WAKATI MMOJA Namba 13 Siku zilisogea kila mara niliuliza taarifa za msiba nikaambiwa mpaka baba alipozikwa sikufanikiwa kufika kabisa nyumbani kwa sababu nilikuwa nimeamua kusubiri mitihani nimalize kwanza ndio niende nyumbani. Hata hivyo siku moja nilikuwa sijisikii kufanya mitihani kabisa ila nilijitia moyo kwamba nitafanikiwa kuifanya vizuri, ubaya mmoja semester iliyokuwa imepita, nilikuwa na mitihani miwili ambayo nilikuwa sijafanya vizuri, kwa kuzoeleka wanaita Supplementary, sikutaka kuongeza nyingine Nilifanya mitihani nikiwa na mawazo mchanganyiko, roho ilikuwa inaniuma sana, mitihani ilikuwa ni migumu sana, nilipofikia mtihani wa tatu nikamfuata Mido na…
UGALI WA BUKUJERO ULIPELEKEA NITOLEWE BIKIRA ZOTE NA WANAUME WATATU KWA WAKATI MMOJA Namba 09 “Tafadhali ondoka hostel, nitakupatia room nzuri sana, au kama unaona vipi, pale nyumbani utakaa na mama, yupo na mtoto wangu mdogo na housegirl maisha mazuri tu, usiogope…..” “Hapana Mido bado nitazidi kuumia” “Sina nia mbaya, sihitaji penzi lako, sihitaji chochote, ila ninajisikia kukusaidia, najua maisha magumu ya chuo ndiyo yalikupelekea ukutane na yale maswahibu, kwa hiyo niko tayari kukufanya uwe na furaha” DAAA NILISHINDWA NIMJIBU NINI ENDELEA Mido alipoona nipo kimya sana nashindwa kumjibu, alinipa option, akaniambia nifikirie juu ya hilo halafu nitampa majibu kama…
UGALI WA BUKUJERO ULIPELEKEA NITOLEWE BIKIRA ZOTE NA WANAUME WATATU KWA WAKATI MMOJA Namba 5 Tuliishia pale Esta alipopoteza fahamu baada ya wanaume wawili kumuingilia na kumuumiza sana Endelea hapa….. Nilipata kushtuka baada ya muda, nikashangaa niko wapi, kwa haraka haraka sikukumbuka kwamba mara mwisho nilikuwa kwenye gari. Lakini niliinuka na kutazama niko wapi ndipo nikakuta niko kwenye kitanda cha hospitali, nimevalishwa nguo za wagonjwa, mkononi nimetundikiwa dripu halafu nilikuwa bado nasikia maumivu makali sana. Nilijiuliza kwamba nani amenileta pale hospitalini, ndipo ghafla akaingia mama mmoja mwenye umri kati ya miaka hamsini hadi hamsini na tano, alikuwa amevaa kama nesi,…
UGALI WA BUKUJERO ULIPELEKEA NITOLEWE BIKIRA ZOTE NA WANAUME WATATU KWA WAKATI MMOJA Mkasa wa Kweli Namba 1 Nilikuwa na marafiki zangu Zena na Betina tukiwa tunapiga story za maisha, sio kwingine ni ndani ya Mawasiliano park, karibu kabia na ofisi za TCRA, Dar es salaam. Nilikuwa nawaza mambo mengi wenzangu wote walikuwa na maisha mazuri, ilikuwa ni usiku saa 6 sijala, mi naitwa Esta nasoma chuo kikuu cha Dar es salaam. Elimu yangu ilikuwa changamoto kubwa sana katika maisha yangu nikawa nashindwa kuelewa nifanye nini kwani sina mkopo wa chuo licha ya kuwa mwanafunzi niliyesoma kimaskini tangu shule ya…
