JOIN US WHATSAPP
CLICK HERE
JOIN US TELEGRAM
CLICK HERE
SIRI YA SHULE YA BWENI | THE BOARDING SCHOOL SECRET
Simulizi hii imelenga kuwaelimisha Wanafunzi, Walimu na Watu wote wanaohusika na Elimu moja kwa moja, au kwa namna moja ama nyingine.
Utatazama uchafu na maovu yote yanayofanywa na Wanafunzi na Walimu huko Mashuleni. Lakini pia, utaona madhara ya huo uchafu kwa wahusika.

