Baba Subiri, Nitaiweka Mwenyewe 37 – 38

ππππ π¦π¨πππ₯π, π‘ππ§πππͺπππ π πͺππ‘π¬ππͺπ
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Sehemu ya 37
π Hamadi ndio kaniibia au?…π
Mbona siamini.
( Mama katafuta pesa kila Kona ya chumba ajaona pesa…akipiga simu aipatikani…akatoka nje kavurugwa akamwambia jilani yake jilani akamchana mama)
” Wewe ulikuwa auoni kama yule alikuwa mapenzi na wewe hana kama angekuwa anakupenda asingeweza kumshika mwanao matako wewe ulikuwa umekumbatia nyuki pole Sana hamadi iyo ndio sifa yake.
( Mama akavurugwa kwake apajui akamuona chizi madampo akamsalimia kwa adabuΒ na akamwambia ya hamadi chizi akacheka akamwambia)
” Tatizo lako uliendekeza nyege pasipo kunifatilia mimi.
” Naomba unisaidie anakaa wapi.
” Kabla sijakusaidia anakaa wapi natakiwa nikusaidie fikra pana juu ya kujua mpenzi wa kweli.
” Nisaidie tu.
( Chizi anamwambia maneno ambayo mama awezi kuingiza akilini tena anawaza mkopo wa watu na Muda wa marejesho umefika chizi yeye anaongea)
” SIFAΒ KUMTAMBUA MPENZI WA KWELI
Mpenzi wa kweli ni yule ambaye hatangoja kujua nini unahitaji yaani hana sababu ya kusubiri kuombwa ndiyo atoe msaada.
Ni yule atakayejua wakati gani huna furaha au una furaha na atakuwa na wewe kwa hali zote mbili.
Ni yule atayekuwa tayari kukusikiliza kwa kile utakachosema, hatojali umeongea baya au zuri.
Atakuwa na wewe wakati wa shida na raha. Hatakuwa mtu wa kuvizia vizia na kujisogeza wakati ukiwa na raha.
Mpenzi wa kweli atakuheshimu na hatopenda kuwa kikwazo cha maisha yako, atakulinda daima.
Atakupenda kwa moyo wake wote na wala si kwa ajili ya shinikizo fulani (pesa au mali)
Mpenzi wa kweli ni yule atakayeonyesha kuthamini nafasi yako kama rafiki au mpenzi mbele ya wengine, hafichi hisia zake mbele za watu, atakutetea na kukufanya wa kwanza.
Kwenye ukweli mpenzi mzuri atasema bila kukuficha na atapenda kukuonyesha mifano ya namna ya kuwa mkweli na mwaminifu.
Mpenzi wa kweli ni yule anayejiamini, asiyeyumba katika maamuzi hata kama atalazimika kufanya maamuzi magumu.
Atakuwa tayari kuvumilia, hatakuwa mwepesi wa hasira wala kutumia lugha chafu na ubabe.
Umenielewa?
” Ndio.
( Mama anaitikia tu ilimladi chizi ampeleke kwakina hamadi…chizi akamwambia)
” Aya nifate sasa twende kwakina hamadi.
( Mama anaongozana na chizi anaenda kwakina hamadi anafika anaona wanawake zaidi ya wanne wamelizwa pesa ndefu tofauti na ya kwake alikaa kimya wakati mama yake hamadi anasema)
” Sasa mimi nitawasaidia nini hamadi yeye kama mnam-bemenda wamama watu wazima nyinyi si munamzaa yule uku mnakimbia Leo mnampa kuma.
( Chizi akadakia)
” Waambie waambie dada kwani awajawaona wazee wenzao dada ingia ndani hawa nawatimua na bakora maana waswahiri wanasema asiyefunzwa ma mamaye ufunzwa na ulimwengu ulimwengu wenyewe ndio hamadi sasa Subili dada niwaonyeshe kazi.
( Cha ajabu chizi kaanza ma mama kumpiga bakora uku anasema)
” Mshenzi wewe ulimfukuza mpaka mwanao ili utombwe vizuri na hamadi umemtukana mumeoΒ kwa kumfatisha hamadi si umemwambia mumeo mtoto sio wake ni wa hamadi.
( Kamuweka mkwaju wa mgongoni wote wakaanza kukimbia viatu wameacha chizi anawafata na bakora za mgongo yani anawakimbiza kama wezi kila mmoja na njia yake…mama hamadi alifurahi sana…sasa mama anafika kwake watu wa marejesho nao awa hapa mama akashika kichwa akaanza kulia)
” πββοΈπππ nimeibiwa mimi.
” Ulichoibiwa chako chetu tunakitaka.
(Mama anazidi kulia na watu wa marejesho awama huruma wanamwambia mama)
” Fungua mlango tuchukue vitu usitupigie kelele Sisi.
( Dah yani akuna ata jilani anayemsaidia mama)
Sehemu ya 38
Alichukuliwa vitu vyake vyote walimuachia nguoΒ tu na mkeka…mama alizifunga nguo kama furushi anaenda kufua alafu akaliegemea uku anawaza mapenzi yalipomfikisha anaumia kweli kweli…..kila akiwaza pesa zake…Β upande wa Tina na yeye kaiba pesa kwa mama yake wameenda kupanga na hamadi….sasa mama mkubwa akapajua hapo walipoamia….ila Muda wa kurudi uyo Tina na hamadi ndio aujui…akaenda kwa mama kumwambia wauwe Siku mzima wakamngoje tina…anafika kwa mama ndio anamuona mama yupo kwenye majanga ya kubebewa vitu)
” Mdogo wangu Pole sana.
” Acha tu dada.
” Sasa mdogo wangu usiwaze nitakupa godolo usilale chini nitakupa tena mtaji urudi kwenye biashara yako ya kuuza mihogo.
” Sawa dada.
” Ila sasa pale shuleni nasikia sasaivi wamezuia izo biashara watoto wanapikiwa utauza hapa hapa nje kwako.
” Sawa dada.
” Ila naomba sasa unisindikize tukakae sehemu tumsubili tina ba uyo bwana ake yani nawakamata wote nawaweka ndani.
” Sasa uyo bwana ake atakuwa na kosa gani?
” Yeye ndio kamshawishi Tina aniibie.
” Sawa twende polisi kwanza.
” Sawa.
( Mama alijiandaa anabembeleza mtaji wakaenda police kuchukua RB Alafu mama mkubwa akachukua namba ya police mmoja pale yani anawaza akiwaona tu amtonye police…basi wakarudi mpaka sehemu walipopanga kina hamadi…wamekaa sehemu wanasikia maneno )
” Yani jamaa anampakuaΒ yule demu ivi kwanini wanawake awajionei huruma.
” Wewe umejuaje na mambo ayo ni ya siri.
” Unaambiwa anafua shuka zina mavi toka ahamie hapa.
( Mama mkubwa anajikaza kimoyoni anaona kabisa anayezungumziwa ni tina anafanywa kinyume na maumbile…vijana wakawa wanaendelea kupiga story tu wao awajui wanawachoma wazazi mioyo)
” Wanawake wanazingua.
” Sio wanawake ata Sisi tunazingua kwanini tuwafanye ivyo.
( Madampo chizi akatokea…mama bado akimbie ila chizi alivutiwa na yale maongezi akasimama mbele yao akawa anasema)
” SABABUΒ ZINAZOFANYA BAADHI YA MABINTI WA KISASA KUKUBALI KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE
Shinikizo kutoka kwa wapenzi
Wanaume wengine hulazimisha au kushawishi kwa nguvu, wakitumia kauli kama “uthibitisho wa mapenzi.” Msichana anaweza kukubali si kwa hiari bali kwa hofu ya kumpoteza mwenza.
Ushawishi wa mitandao na ponografia
Maudhui mengi ya mtandaoni yanaonyesha tendo hili kama la kawaida au la βkisasa,β hivyo baadhi ya mabinti hujaribu kuiga bila kuelewa athari zake.
Kukosa elimu sahihi ya afya ya uzazi
Wasichana wengi hawajapewa elimu ya wazi kuhusu mwili wao, mipaka ya ngono, na madhara ya baadhi ya vitendo.
Kutaka kumridhisha mwenza kupita kiasi
Baadhi hujihusisha na vitendo visivyowapendeza ili tu kudumisha uhusianoβhii ni dalili ya kujishusha thamani binafsi.
Udanganyifu kuwa ni βsalama zaidiβ dhidi ya mimba
Ni kweli haipelekei mimba moja kwa moja, lakini watu hupuuza hatari kubwa za kiafya zinazoweza kutokea.
Udadisi na majaribio
Katika zama za sasa, vijana wengi wanajaribu vitu vipya bila kuchunguza matokeo ya muda mrefu.
Ulevi au matumizi ya dawa za kulevya
Hali ya kulewa hupunguza uwezo wa kufanya maamuzi sahihi, na mtu anaweza kujikuta amefanya kitu ambacho asingefanya akiwa na akili timamu.
Historia ya majeraha ya kisaikolojia
Watu waliopitia unyanyasaji wa kijinsia au mazingira magumu wanaweza kuwa na mipaka isiyo thabiti kuhusu miili yao.
Imani potofu kuwa ni βstyle ya kisasa ya mapenziβ
Baadhi wanaamini ni sehemu ya kuwa bila kujua si lazima kila kinachoonekana kisasa kiwe salama.
Kukosa uwezo wa kusema HAPANA
Hili ni tatizo kubwaβmtu anajua hataki, lakini hana nguvu ya kusimamia maamuzi yake.
JE, KUNA FAIDA YOYOTE KIAFYA?
Kitaalamu, hakuna faida ya kiafya inayojulikana kwa mwanamke kuingiliwa kinyume na maumbile.
Hakuboreshi afya ya uzazi
Hakuna manufaa ya kimwili yanayozidi hatari zake
Faida zinazotajwa mara nyingi ni za βhisia au starehe binafsi,β si za kiafya
ATHARI ZA KIAFYA KWA MWANAMKE
Michubuko na majeraha ya ndani
Sehemu ya nyuma aina asili kama uke, hivyo huathirika kirahisi.
Hatari kubwa ya maambukizi (HIV)
Utafiti unaonyesha hatari ya kupata maambukizi kama HIV ni kubwa zaidi kupitia njia hii kuliko uke.
Maambukizi ya bakteria
Bakteria kutoka kwenye puru wanaweza kusababisha maambukizi makubwa kwenye mwili.
Kudhoofika kwa misuli ya haja kubwa
Inaweza kusababisha kushindwa kuzuia haja baadaye.
Maumivu ya muda mrefu
Baadhi ya wanawake hupata maumivu ya kudumu hata baada ya kuacha tendo hilo.
Hatari ya kupasuka kwa tishu
Katika hali mbaya, sehemu ya ndani inaweza kutoka njeβhali hatari kiafya.
Athari za kisaikolojia
Hatia, aibu, au msongo wa mawazo vinaweza kujitokeza hasa kama tendo halikuwa la hiari.
JE, INA HATARI WAKATI WA KUJIFUNGUA?
Kwa ujumla:
Haina athari ya moja kwa moja kwenye njia ya uzazi (uke)
Lakini kama kulikuwa na uharibifu wa misuli ya puru, inaweza kusababisha:
Ugumu wa kudhibiti haja wakati wa ujauzito au baada ya kujifungua
Maumivu au usumbufu wakati wa kusukuma mtoto
Kuongeza hatari ya matatizo ya nyonga
Kwa hiyo, athari si za moja kwa moja kwenye mtoto, bali kwenye afya ya mama.
Ukweli ni huu:
Sio kila kinachofanywa na wengi au kinachoonekana βmodernβ kinafaa kiafya au kimaadili kwako. Mwili wako una mipaka yake ya asili, na kuvuka mipaka hiyo kunaweza kuleta madhara ya muda mfupi na mrefu.
Uamuzi bora unatokana na:
Elimu sahihi
Kujiheshimu
Kuweka mipaka thabiti kwenye mahusiano.
( Mama mkubwa yalimtoka macho maneno ya madampo ametoa kwa ulefu kuonyesha si kitendo kizuri anafanyiwa tina…wanaangalia mbele wanamuona Tina na bwana ake wamelewa wameshikana mikono wahuni wanasema)
” Haooo ndio Muda wao huu demu anaenda kufilwa.
( Mama mkubwa alitetemeka kwa hasira…uku mama akusubiliwa simu apigiwe police aliita kelele za wizi tu anamwitia yule hamadi)
” MWIZIIIIIIIIII.
INAENDELEA






