Zawadi Tatu ambazo Mwanamke hawezi Kukupa ikiwa Hakupendi Sana
Kama mwanamke anakupenda sana, basi kuna Zawadi tatu ambazo ni lazima atakupa tu, na kama hakupendi sana, hizo zawadi utazisikia tu kwa Wanaume wenzio.
Hizo zawadi hizi hapa
1. Pesa: Ukiona mwanamke anakupa pesa yake, ambayo ameitafuta kwa jasho lake, basi jua kwamba huyo mwanamke amekupenda sana. Sio rahisi rahisi mwanamke ampe pesa mwanaume, labda wale wanawake Mashuga Mami wanaorubuni Vijana wadogo.
2. Utiifu (Heshima): Ukiona mwanamke ni mtiifu sana kwako na anakupa heshima yako, basi jua huyo mwanamke anakupenda sana, lakini mwanamke asiyekupenda mara nyingi anakuwa anabishana na wewe, mshindani na mpinzani kwako.
3. Amani: Mwanamke akikupenda sana anakupa amani, na sio msongo wa mawazo (stress). Huepuka mapambano na wewe, kukukosoa mara kwa mara
TAZAMA PIA VIDEO

